NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU😳
Episode 51
Askari Jose alitoa simu ya mama Rey na kumuonyesha baba Rey video zote walizokuwa wakinirekodi, baba Rey hakuamini macho yake😳aliishia kutetemeka mithili ya nyumba inayotikishwa na tetemeko la ardhi.
“Hii simu ni ya huyo marehemu mkeo, na hawa mabinti waliondoka nayo ili badae iwe misaada kwao, hivi huu ni ubinadamu au ni unyama huu” Askari Jose alimuuliza baba Rey ambaye alishindwa kabisa kujibu chochote zaidi ya kutetemeka midomo yake, “Nafikiri majibu yote mtayatoa mahakamani, askari. mosesi wafunge pingu hawa tuwapeleke kituoni” Alisema afande Jose kisha baba Rey na vijana wake wakafungwa pingu, huku mimi na na Da Regina tukiwa chini ya ulinzi kutokana na tuhuma za mauwaji zilizokuwa zinatukabili hivyo polisi walitaka kuendelea kuufanya upelelezi wa kina dhidi yetu, mimi na Da Regina tulipelekwa Locap ya wanawake.
Episode 52
Mama alikuwa akituletea chakula tunakula tukiwa locap, hatimaye siku iliyofuata tukaitwa kwenye ofisi ya mkuu wa kituo. “Nisikilizeni ninyi mabinti, mnakabiliwa na kesi mbili, kesi ya kwanza mmefanya mauwaji ya muajiri wenu wa kike aliyewaajiri, na kesi ya pili mmemuwekea mlinzi pilipili mpaka sasa mlinzi yupo hospitali macho yamevimba japo ana kaunafuu kidogo. Mbali na hapo kesi nyingine inayowakabili mmemuibia boss wenu simu na simu hiyo sisi kama polisi tumeipata mikononi mwenu.Hivyo mtafikishwa mahakamani leo hii kujibu mashtaka” alisema mkuu wa kituo.
“Lakini mkuu baba hiyo simu ina ushahidi wa video ambazo nilikuwa nikirekodiwa na bosi wangu ambazo alikuwa akijifanyisha mapenzi na mbwa” Nilimuambia mkuu wa kituo.
Episode 53
“Sijaona video yoyote kwenye hii simu na wala hii simu haina video yoyote hebu angalia”alisema mkuu wa kituo huku akinionyesha ile simu ya mama Rey😭 machozi yalinitoka kwani hakukuwa na video hata moja. Nahisi video zote zilifutwa na hata hivyo baba Rey na vijana wake hawakuwa locap walikuwa wamepanga kwenye hotel iliyopo karibu na mahakama.
Basi tulitolewa pale polisi na kupelekwa mahakamani, tulipandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kesi inayotukabili mimi na Da Regi. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa kusimamishwa mahakamani, hatimaye tukasomewq mashtaka lakini ajabu ni kwamba………
JE NINI KILIENDELEA?
Episode 54
Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa kusimamishwa mbele ya mahakama kujibu mashtaka, nilikuwa na woga sio mchezo huku mwili wangu kutetemeka mithili ya mgonjwa auguwaye malaria kali. Nikimtazama mama yangu huku machozi yakinitoka😭 nikazungusha jicho langu na kumtazama baba Rey, alitazama pembeni kwa aibu, nikamtazama na Rey aliyekuwa amekaa karibu na baba yake Rey akanikonyeza 🫤 kama ilivyokuwa kawaida yake na sikujua ule mkonyezo uliashiria nini. Nikaridisha macho wangu kwa hakimu ambaye alikuwa ni mwanamke mwenye nywele za mvi alizozichana vizuri na kuonekana maridadi kutokana na miwani yake nzuri aliyokuwa ameivalia pamoja na suti nyeusi ambayo iliusitiri vyema mwili wake mnene, nilimtizama huku machozi yakinitoka😭
“Faili namba 16, mtuhumiwa namba moja Radhia Othumani pamoja na mtumiwa namba mbili Regina Charles,” tulitajwa majina yetu kisha askari wa mahakama akatupatia ishara tusimame mbele ya mahakama kusikiliza mashtaka wakati huo tulikuwa tumefungwa pingu. Basi tukasomewa shtaka la kwanza la mauwaji pia shtaka la pili la wizi wa pesa pamoja na simu. Mashahidi wa baba Rey walikuwa ni watatu, mlinzi, mtoto wa mama Rey mkubwa pamoja na Rey mwenyewe ambaye wakati wote alikuwa akinitazama kwa huruma sana.
Episode 55
Upande wangu na Da Regi hatukuwa na mashahidi, tulitaka kujitetea wenyewe. Basi mashahidi mlinzi pamoja na mtoto wa mama Rey wa kike waliposimamishwa watoe ushahidi waliongea kila kitu sana, ajabu mama alipoona nazidiwa naye akanyoosha kidole na kupewa nafasi ya kuongea. “Jamani muheshimiwa hakimu mimi kaka mama yake Radhia najazia kabisa kwenye ushahidi uliotolewa na huyo aliyekuwa mlinzi wa sehemu mtoto wangu alipokuwa anafanya kazi, kweli mtoto wangu na mwenzake walikuja nyumbani wakiwa na pesa nyingi pamoja na simu ambayo askari anayo, kwahiyo siwezi kumtetea eti kisa ni mwanangu akafungwe tu siwezi kufunga jambazi muuwaji” alisema mama watu wakampigia makofi pake mahakamani sana hata baba Rey mwenyewe akampongeza mama kwa kumshika mkono. Shahidi namba tatu ambaye ni Rey sasa akasimamishwa ili afunge ushahidi. Ajabu..
Rey alianza kuongea huku machozi yakimtoka😭
“Muheshimiwa hakimu, natambua uwepo wako na pia naheshimu kazi yako, nimesimama hapa kudhibitisha kwamba ni kweli mabinti hawa walimuua mama yangu na ni kweli waliiba pesa na simu? Muheshimiwa hii nafasi nimekuwa nikitafuta kwa siku nyingi na nitatoa ushahidi wote ila tu nipewe ulinzi” aliongea Rey, watu wote walimkodolea macho hasa baba yake kwani hakujua Rey anataka kusema nini.
Episode 56
“Muheshimiwa wazungu, wajerumani, waarabu, walitutawala mpaka tukapata uhuru lakini sisi kwa sisi tunafanyiana ukoloni na utumwa, hawa mabinti wameteseka sana nyumbani kwetu mimi nikiwa shahidi😭, baba na mama kazi yao ilikuwa ni kuwarekodi hawa mabinti picha za uchi ambazo waliwafanyisha na wanyama kisha wanaenda kuuza huko nje ya nchi, dubai, Marekani n.k,” aliongea Rey huku baba yake akiwa amemtolea sana macho, na kama mtabisha nina ushahidi wa CD moja ambayo nilimulibia mama kwenye pochi yake enzi za uhai wake” alisema Rey na kwa bahati nzuri pale mahakamani kulikuwa na Screen ndogo, waliweka ile CD kwenye Deki, yani watu walitizama kwa dakika moja ilibidi wazime tu, sio hakimu, sio askari, sio nani wote walikuwa wanalia kama watoto😭
Baba Rey alisimama mwenyewe na kunyoosha mikono juu ishara ya kujisalimisha mbele ya mahakama baada ya kuona watu wanalia kama vile kuna msiba., Alipojisalimisha alisimamishwa pale kizimbani huku Rey akiwa anaongea.
Episode 57
“Kingine muheshimiwa hakimu kuhusu mauwaji ya mama, naweza kusema ni Mungu mwenyewe alipanga kwani mama hakuuawa bali aliteleza na kupiga kichwa chini” aliendelea kuongea Rey lakini hakimu alimwambia inatosha hakutaka kusikiliza zaidi bali alifuta machozi yake kwa leso na kutoa hukumu, baba Rey alipigwa fine ya bilioni 4 za kutulipa mimi na Regina, faini hizo ni pamoja na tiba dhidi yetu na pia gharama za kututumia kwa miaka yote 7, pia alihukumiwa kwenda jela sawa kifungu cha mtu aliyelawiti mtoto na pia udhalilishaji wa wanawake, yeye, mlinzi pamoja na wafanyakazi wake wote walihukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini juu ama Lah wanyongwe, ilibidi baba Rey akahamishe pesa bank kwenye account zetu tulizofunguliwa na serikali mimi na Da Regina. Baada ya hapo baba Rey walipelekwa gerezani.
Tulipotoka pale mahakamani sikutaka kabisa kurudi nyumbani kwa mama tuliondoka na da Regi kwenda kuanzisha maisha yetu, mpaka nakuandikia mkasa huu mimi ni mtanzania ninayeishi dubai kibiashara na huku nimeolewa na Rey mtoto wa baba Rey kwasasa Mungu anetujalia ndoa yetu tuna watoto wawili🙏
KARIBU DUBAI,
*****MWISHO****