NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGUğŸ˜
Episode 36
Mama Rey alimuagiza binti wake akamwambie mlinzi asage pilipili, wakati huo tulikuwa tunatetemeka kwa woga mimi na Da Regina., “Sasa Nisikilizeni tunaanza na adhabu ndogo kisha tunafuata adhabu kubwa, adhabu ya kwanza wakati pilipili inasangwa naomba jumba lote hili mlideki, msafishe tailisi zing’ae mpaka nikiangalia chini niwe najiona, sabuni ya unga ile pale kwenye kindoo madekio yale pale mimi nipo chumbani” alisema mama Rey na kuingia chumbani kwake.
Da Regina akanivuta karibu yake “acha nikung’ate sikio mdogo wangu, hiyo pilipili inayosangwa sijui tutawekewa machoni au sirini hatujui lakini ni heri mateso ya jela kuliko haya, hapa inabidi tutumie akili ya kuzaliwa” aliniambia Da Regina.
“Mh Da Regi tunatumia akili gani dada, yani hapa hatuna ujanja tena” Nilimwambia Da Regina. “Hapa cha kufanya tuliweke sabuni ya unga kwenye mandoo kisha tumwage maji ya mapovu chini, halafu tukakae chumbani tupige kelele, lazima mama Rey atatoka chumbani kwake akikimbilia chumbani kwetu, akithubutu tu kufanya hivyo ataeleza vibaya kwenye tails maana hizi tails bado mpya, anaweza kuvunjika au hata kufa” Alisema Regina. “Mh mwenzio naogopa tusije tukazua balaa juu ya balaa” Nilimwambia Dah Regina.
Episode 37
“Ni bora hivyo yani tukubaliane tu na matokeo yatakayokuja hapa hakuna jinsi mdogo wangu” aliniambia Da Regi, harahara tukafanya kama alivyonielekeza, tukajaribu kwamba je tails inateleza mtu akitembea? Kweli ilikuwa inateleza. Basi tukaenda kukaa chumbani.
“Uwiiii mama tunakufaaa mama tunakufaaa” tulipiga kelele kwa nguvu punde tulisikia kishindo kikubwa sebuleni ile tunachungulia tu mama Rey alikuwa ameanguka chini huku damu nyingi zikimtoka mdomoni, anajinyoosha nyoosha kaka kuku anayetaka kufa, mlinzi naye alikuwa kaanguka pembeni huku akifikicha macho yake yaliyoingia pilipili, kwani wakati tunapiga kelele yeye ndio alikuwa analeta ile ndoo aliyoloweka pilipili ya unga, alipofika tu sebuleni aliteleza ndoo ikaanguka pilipili maji ya pilipili yakamrukia usoni,
Pale mlangoni walibaki mabinti wa mama Rey watatu wakiwa wamesimama wanashangaa shangaa,. Da Regi anabiambia ” Hawa mabonge nyanya hawawezi kutushinda tuwashushie kipondo tukimbie zetu, wale watoto wa na Rey kusikia vile mmoja mkubwa akaokota lifimbo alilolichomoa kwenye fagio la ndani wakawa wametuzuia mlangoni ili tusitoke,, hapo ukawa ni mpambano sasa, sisi wawili wao watatu.
JE NINI KILIENDELEA?
RADHIA WATAFANIKIWA KUTOA AU?
Episode 38
“Leo nyie hamtoki hapa kama mama yangu amekufa lazima na nyie mkanyee debe” Alisema Rahel mtoto wa Mama Rey mkubwa. Nilitaka kumvaa nimpige mabanzi ya maana, Da Regina akanizuia. “Radhia subiri, huyu niachie mimi” alisema Da Regina kisha akanirudisha nyuma na kumshika tai Rahel, alimpiga Rahel ngumi nyingi za mdomo mpaka Rahel akatema meno mawili huku mdomo wake wa chini ukiwa umepasuka katikati ya lipsi, Rahel alianguka chini na kupoteza fahamu.
Wadogo zake walipoona vile wakakimbilia kwenye choo cha nje kisha wakanifungia huko chooni. “Radhia hapa tuondoke zetu tukizidi kuzubaa hapa tutapata kesi” aliniambia Da Regina tukatoka nje kwa kupitia getini kisha tukawagungia kwa nje. Hao tukaambaa mtaani, “Sasa Radhia tunafanyaje na hapa tulipo
Episode 39
hatuna hela kwanini tusingemwibia mama Rey pesa ili tupate nauli, hapa bila pesa tutateseka” Alisema Dada Regina. “Kwa hiyo una maana turudi au?” Nilimuuliza Da Regi. “Ndio turudi tukapekue chumbani kwa mama Rey hatutakosa hela” alisema Da Regina. basi kwakuwa hatukuwa mbali na nyumbani kwa mama Rey tukaamua kurudi, tulirudi na kufungua geti, bado watoto wa mama Rey walikuwa wamejifungia chooni, sisi tukaenda kuwafungia kwa nje, tulipita pale sebuleni bado mlinzi alikuwa anahangaika kufikisha macho yake yaliyoingia pilipili huku akilia, mama Rey alikuwa Kalala pembeni huku akiwa amejinyoosha kuashiria kwamba amekufa, tulipita hadi chumbani kwake tukakusanya pesa nyingi na kuziweka kwenye mfuko tulioukuta mule chumbani kwake, “Radhia tuondoke sasa tusije tukakutwa” aliniambia Da Regi.
Episode 40
Tukatoka nje tukiwa na pesa pamoja na simu ya mama Rey pamoja na Simu ya mlinzi. wakati tunatoka tu kwenye mlango wa nyumba ghafla geti likagonga maana tulilifunga kwa ndani. “Mlinzi uko wapi fungua geti” Ilikuwa ni sauti ya baba Rey , akiongea kwa kufoka. “Ehee Radhia, baba Rey huyo hapa sijui tufanyeje na tukisema turuke ukuta tutakatwa na hivyo vyupa, sijui tufanyaje Mungu wangu maana tukibambwa tu tumekwisha” Alisema Da Regina huku akitetemeka sana kwa woga, nikamvuta mkono tukaenda kujificha nyuma ya nyumba huku baba Rey akizidi kugonga geti kwa mda kidogo.
Kulipita kimya kifupi, ndipo tukamsikia baba Rey akiongea na fundi getini, “Hebu nisaidie tulikate hili heri maana nahisi humo ndani hakuna usala sio kawaida mlinzi kutoka hapa getini nina mashaka na huko ndani” aliongea baba Rey mara ghafla……
JE ITAKUWAJE BAADA YA BABA REY KUINGIA NDANI?
VIPI RADHIA NA REGINA WATAKAMATWA?