NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU😭
Episode 31
Tuliongozaza na Clinton pamoja na wenzake huku wakiwa wamebeba napanga, mikuki, mishale na wengine wakiwa wamebeba vitoweo walivyopata msituni katika kazi yao ya uwindaji . Tukiwa njiani tunatembea mara ghafla tukashtukia 😳 tunakutana ana kwa ana na jopo la walinzi wa ile sehemu tuliyotoroka. “😭 Eee Mungu wangu balaa gani tena hili” Niliongea kimoyo moyo huku nikitetemeka na kujificha nyuma ya Clinton huku kijasho chembamba kikinitoka. Walinzi wawili tu ndio walikuwa na bunduki wengine wote hawakuwa na kitu. 🥹
“Kwa usalama wenu waachieni hao mabinti na nyie muendelee na safari zenu” Alitoa amri mlinzi Desmond ambaye alikuwa ameshikilia bunduki kubwa, Clinton alipiga hatua za haraka na kwenda kusimama mbele ya mlinzi Desmond. “Sisi ni watanzania kutumia silaha za moto sio jadi yetu, wekeni silaha chini tuuchape mkono” Aliongea Clinton kwa hasira, jicho likiwa limetoka huku akiongelea karibu kabisa na uso wa Desmond.
Desmond hakujua anazungwa tu, aliinana kuweka bunduki yake chini, ile anainuka tu alipigwa gwara iliyompeleka mpaka chini kwa kishindo, wakati anataka kunyanyuka kutoka pale chini, Clinton alimpiga ngumi nzito ya mbavu iliyotoa sauti na kumfanya Desmond apige miereka chini na kutapika damu, hapo vita ikaanza kukolea kati ya wale walinzi na wawindaji.
Episode 32
Walinzi walipoona wanazodaiwa nguvu waliamua kukimbia kwasababu walikuwa wamezidiwa kwa kila kitu, kuanzia silaha, ngumi na mbinu za kivita, walikimbia na kumuacha mlinzi Desmond akiwa chini anaugulia kwa maumivu makali, Clinton aliniweka mabegani mwake huku aliwaamuru wenzake tukimbie maana si ajabu wale walinzi wameenda kuongeza silaha au kuita wenzao, Tulikimbia umbali mrefu huku Clinton akiwa amenibeba mabegani mwake kwasababu nilikuwa nimechoka sana, hatimaye tukatokea sehemu yenye mwanga wa jua, kwa mbele tukaona magari yakipita na hapo nikashushwa mabegani kwa Clinton na kuanza kutembea.
“Sasa Nyie mabinti tayari tumewatoa msituni, pale mbele ni barabarani sijui mnaelekea wapi na sisi hatuna chochote mfukoni cha kuwasaidia japo nauli” Aliuliza Clinton. “Kaka kwanza ahsante kwa msaada wako mpaka umetufikisha hapa tunashukuru sana. “Ndio
Episode 33
kwa hapa wala msijali kabisa hamuwezi kudhurika kwasababu pale mbele ni kambi ya jeshi Msata, ukipita mbele kidogo unatokea kijijini.” Alisema Clinton, basi tukaagana nao mimi na Da Regi tukaendelea kutembea huku tukishauriana tufanye nini, wakati tumefika pori la jeshi pale Msata ili tuingie barabarani ghafla tulikutana na gari jeusi likiwa limepaki kando ya barabara la vumbi,, mara viyoo vya gari milango ya gari ikafunguliwa kisha nikashtukia kwenye gari akitokea baba Rey pamoja na vijana wengi wanne, tulipiga yowe kwa nguvu mithili ya mtu anayebakwa na mara moja kundi kubwa sana la wanakijiji walitokeza wengine wakiwa wameshika napanga, wengine mafimbo, kila mmoja alikuwa na silaha yake ya kujihami. Pale tuka……..
JE NINI KILILIENDELEA?
Episode 34
Wakati tukiwa tayari tumeshapita kambi ya jeshi Msata, mbele kidogo kabla hatujaingia kijijini tuliona gari jeusi likiwa limepaki kando ya barabara, mara milango ya gari ikafunguliwa hamadi nikashtukia😳 kumuona baba Rey na vijana wanne wakishuka garini, kumbe walikuwa wametutega barabarani, tulipiga yowe kiasi kwamba watu wa kijijini wote walikusanyika eneo lile huku wakiwa na napanga, wengine mishale na wengine mafimbo. ” Jamani kuna nini hapa” Aliuliza mzee mmoja.
“Mzee hawa ni mabinti zangu nimewaajiri Dar es salam kwenye duka langu, asubuhi ya kuamkia leo wametoroka na pesa zote za mauzo nikaambiwa wameonekana huk…” kabla baba Rey hajamalizia kuongea nikamkatisha.
“Hapan..” Nami pia nikakatishwa kuongea na yule mzee aliyekuwa anamuhoji baba Rey. “We binti hivi umelelewa na wazazi kweli, huko kwenu ndio mnavyofundishwa kwamba mkubwa akiongea na wewe uongee hebu acha mkubwa aongee” yule mzee alinifokea nikakaa kimya huku machozi yakinitoka 😭
“Haya baba ongea” yule mzee alimwambia baba Rey. “Basi mzee ni kama hivyo sasa baada ya kusikia wapo huku mimi nimewafuata ili niwarudishe Dar es salam wakajibu mashtaka” alisema baba Rey. “Haya binti haraka sana ongozaneni na huyu baba mkalipe pesa za watu, watoto wa kike mnakuwa wezi alaaa shubamiti😳” alisema yule mzee kwa hasira.
Episode 35
“Jamani sikilizeni basi pande zote mbili, mbona mnamsikiliza huyu pekee” Da Regina aliongea kwa kulia, lakini wale wazee pamoja na wanakijiji walichachamaa kutuponda kuwa sisi ni wezi, sijui ni kwasababu waliona gari ama vipi, tulipakizwa garini kwa nguvu kisha gari likaondoka kwa kasi kurudi Dar es salam😭😭😭 hakika nililia sana ndani ya gari kuona narudi tena kule nilipotoka.
Majira ya saa mbili usiku tulifikishwa nyumbani kwa mama Rey, tumkuta mama Rey pamoja na mabinti zake, mama Rey aliponiona tu akicheka sana kisha akanitemea mate usoni na kunifyonza “Yani ulitaka kunitoroka mimi ili uharibu kazi yangu, mama yako ameshakula hela zangu nyingi , juzi tu ndio kaniomba hela apaue nyumba yake nikamwambia sawa lakini nitamkata mwanao kwenye mshahara leo hii Radhia unadiriki kutoroka, hahahaha, hebu Ramla kamwambie Maiko getini kuwa asage ile pilipili aliyoianika mchana, ili tuwape adhabu kidogo hawa shuwain” alisema mama Rey 😭nikazidi kulia huku nikitetemeka kwasababu sikujua ni adhabu gani tutapewa mimi na Dada Regina ya kusagiwa pilipili.
JE NINI KILIENDELEA SASA?