TAFUTA HELA BROO
PART 06
Tulipoishia
Ile ghafla simu yake ikaita akaitoa mfukoni kumbe aliyekuwa anampigia alikuwa ni Nsia na namba aliisevu hivyo hivyo Nsia, duu alivyoishika tu kwa kuwa alikuwa karibu na Rutu, Rutu aliona jina hilo
Endelea nayo
Ili kuizima soo ilibidi aiweke simu ile sikioni, “yes niambie mkuu” alionge na kuikata ile simu bila Rutu kugundua, halafu akaendela kuongea uongo na kweli
“ndio mkuu……sawa ila mimi nipo likizo…….hahahaaaa sawa afande….haya” aliongea kumbe alikuwa haongei na mtu yeyote, kisha akairudisha mfukoni na kuanza kuongea na Rutu huku akiiweka simu silent na kuiweka mfukoni
“vipi kazi inaenda ee” aliongea huku akiutazama msingi ulikuwa umeshachimbwa kesho yake walitakiwa waje kuweka tofali za kuanza kusuka msingi,
“aah kazi inaenda, bwana vipi nikajua Nsia Swai ndo anakupigia” alisema Rutu
“yupi huyu wa kwa Swai?” aliuliza Bella
“yap”
“ptuu” alitema mate chini kwa dharau “yaani hata namba yake sitaki kabisa sasa nifanye nayo nini?” alisema mtaalam
“hahahaa” Rutu alicheka bila kuujua mchezo halafu Bella akaonodoka pale na kuingia ndani kwenye nyumba yao ya kila siku, ndipo akampigia Nsia na kuongea naye kwa sauti ya chini
“mbona umenikatia simu” binti aliuliza
“nope baby nilikuwa kwenye pikipiki, sasa wakati naitoa mfukoni nikajikuta nimekata kwa bahati mbaya ila sa hivi ndo nimefika home vipi baba kakuletea shida”
“hapana, hayupo ila naogopa sana”
“haya poa ngoja nakucheki” alisema mtaalam na kukata simu akachukua hela za kwenda kuwalipa mafundi then akatoka nje na kumpa fundi mkuu
Fundi mkuu hakutakiwa kumlipa Rutu kwa sababu Rutu yeye alitakiwa alipwe na Bella mwenyewe hivyo Bella alitoa 15000 na kumpa Rutu,
Rutu alishukuru sana, aliingiza vifaa ndani, na kumuaga mtaalam halafu akaenda nyumbani kwa ajili ya kuoga.
Baada ya kuoga aliondoka na kwenda moja kwa moja hadi kwa Nsia alitaka leo akainjoy hata busu la binti tu maana alijua kupewa tendo ni mpaka pale atakapokabidhiwa awe mke wake wa ndoa kamili
Rutu alifika mpaka nyumbani kwa binti akaingia mpaka sebleni binti alikuwa chumbani akiwa anabanika makande kwa ajili ya usiku,
“nisubiri dakika moja ninakuja hapo sebuleni” alisema binti akiwa jikoni anachochea moto
“sawa, vipi mzee hajarudi bado?” aliuliza mtaalam
“hapana atarudi baadaye kidogo leo walienda Songwe”
“ok, basi poa”
Binti alitoka jikoni na kwenda moja kwa moja hadi sebuleni alimkuta Rutu akiwa ameketi, mda wote binti alifunika kichwa chake
“mbona leo umefunika kichwa chako kwa kitambaa akati sio kawaida yako” mtaalama alisema binti akatabasamu “njoo sogea hapa” alisema Rutu binti naye akajisogeza,
Ile amejisogeza tu mtaalam akamvuta binti akamdondokea kwenye mapaja akakaa pale kwa kupakatwa
“bhaan…” binti alisema lakini Rutu akakishika kile kitambaa na kukifunua akakutana na urasta wa gharama
“wooooow” alisema mtaalam kwa kuona nywele ambayo mwanaume mwenzake kagharamia “umependeza baby”
“santé sweetie jamani” binti alisema na kumkumbatia. Kiukweli kutoka moyoni binti alikuwa anamuelewa sana mwamba hata hivyo alitumia nguvu sana kujaribu kumuacha lakini alishindwa
“naomba nikubusu mpenzi” mtaalam aliomba na kumshika binti kiuno, wakasogezeana midomo na kuanza kubusiana huku mshikaji akimtekenya tekenya
“ahahaaa, usin….itekenye hahha baby” alisema kwa utamu mpaka akaanza kujipanua mdogo mdogo sasa wakiendeleka kunyonyana mate si steam zikawapanda na kuanza kushikana shikana mabusu mpaka mshikaji akajikuta ameshamvua binti blauzi akawa ananyonya maziwa ya mtoto wa kike.
Kama pono binti alilegea, alikuwa anatamani hata kidole tu hata hivyo, jamaa hakufanya makosa alipenyeza mkono mpaka ndani ya chupi ya binti akaanza kuushika shika uchi wa binti
“baby baaaana” alisema binti ndipo jamaa akamuachia na kuinuka akaenda kuufunga mlango wa sebule ili mzee asije akaingia akawakuta pale wakiwa wanashikana shikana, baada ya kufunga mlango akageuza macho pale binti alipokuwa amekaa, tayari alikuwa ameshainuka anakimbilia ndani jamaaa akamfuata wakikimbizana mpaka chumbani kwa binti wakadondoshana kitandani hali iliyopelekea mchezo uendele
Bwa Rutu alishuka sketi ya binti akaivua na kuanza kumshika shika akiwa na chupi tu,
“hhhuuuuh sijawahi kushikwa style baby, angalia usijenifanya please uwii aassh”
Jamaa akajua leo anapewa naye akavua nguo zake na kubaki na bukta tu, hii hali ikampelekea binti hofu maana alikuwa hajawahi kuingiliwa kimwili tangu alipozaliwa. “mbona unavua jamani” alisema akiwa amelegea kabisa.
“subiri mke wangu tuinjoy”
“nonoono usinifanyie hivyo jamani aaash” binti alisema na kumkumbatia jamaa bila kujua hisia za namna ile zinatokea wapi lakini Rutu alipojaribu kuivua chupi binti aligoma kabisa akawa hataki yaani
“jamani si uachie kidogo siingizi sana naingiza kichwa tu”
“hapana sitaki bana” alisema binti na kumsukuma mtaalam, saa ngapi asidondoke ile simu ya binti aliyopewa na jamaa mpya halafu ikadondoka chini
Rutu alijikokota akiwa anajikaza mgongo ulikuwa umeumia kidogo, kuja kugeuza macho simu ya binti iko pale chini, akaiokota na kuitazama kama imeharibika, alipoiwasha hivi screeni imekuwa nyeusi tii
“Mungu wangu simu yangu umeifanyeje jamani” alisema binti kwa hasira
“ah wewe ndo umenisukuma”
“mshenzi wewe unajua gharama ya hii simu”
“samahani Nsia” alisema mtaalam kwa magoti
“vaa nguo zako na utoke ndani kwetu mwehu wewe huna hata hela halafu unaniharibia vitu vyangu”
Kwa upole Rutu alichukua nguo zake akavaa na kutoka taratibu, alipofungua mlango tu akakutana na baba yake binti ndo anataka kuingia ndani
“vipi kijana mmegombana au? Mbona sura umeikunja sana”
“hapana mzee shikamoo”
Rutu hakutaka mzee ajue tukio lililotokea, aliondoka na mzee akaingia ndani kwa wasiwasi sana huku akimuita binti yake
Nsia alitoka akiwa macho mekundu alikuwa analia kwa simu kupasuka wakati hata siku mbili hajamaliza nayo,
“shikamoo baba” alisema binti huyo na kuelekea jikoni kuendelea kuchochea moto
“marahaba vipi mbona kama kuna ugomvi ndani ya nyumba hii”
Binti pia hakutaka kumueleza mzee tatizo liko wapi, kwa sababu hata hivyo mzee alikuwa hajui kama binti amepewa smartphone na mtaalam
Baada ya kuchochea moto alirudi sebuleni na kuchukua kasimu kake kadogo ka batani akatuma sms kwa Bella
“Bella mbona kimya sana” aliuliza
“safi tu uko wapi mbona umekuwa kimya mud asana”
“hamna kuna mtu kaniudhi sana halafu mimi sijui hata nitakueleza vipi”
“nini tena tatizo my” mtaalam alianza swaga za mapenzi kwa binti
“nisamehe kuna mtu kaidondosha ile simu imepasuka kioo hakionyeshi chochote”
“hahhaa hiyo ni screen, usijali kesho nitaitengeneza basi, wewe kama unaweza kuniletea sasa hivi, halafu kesho asubuhi nikienda kuchukua nondo za ujenzi nayo niitengeneze huko mjini” alisema mtaalam
“sawa, ngoja niangalie upepo wa mzee akienda kuoga tu nakuja njiani chapu ila siji mpaka kwenu tukutane njiani” alisema
“sawa “
“asante kaka”
Baada ya mzee kwenda kuoga binti alipata nafasi ya kuondoka chapu na kwenda mpaka pale karibu na kwa Bella halafu akamuandikia sms akaja na kukutana naye ndipo akampa simu ile ikatengenezwe
“Nsia” alisema jamaa kwa hisia na kuiweka ile simu mfukoni
“abee” alisema binti.
Bella alimvuta mkono kwa nguvu akatua katika kifua cha jamaa na kuanza kunyonya kidole
“ulivyosuka hivi umependeza,…..nakupenda Nsia” alisema mtaalam na kumshika binti mashavu akajigeuzia kichwa maana binti alikuwa mfupi kuliko yeye
“jamani kaka”
Nsia alimtazama kwa macho ya aibu jamaa akamsogelea mdomoni na kumpiga busu la mwaka ambalo walishea mate kwa mbali halafu akamuachia……..
PART 7
“wahi nyumbani usije ukagombezwa …..sawa toto?”
Binti alitikisa kichwa kwa ishara ya kukubali halafu akabaki anamshangaa tu mtaalam, alianza kuondoka taratibu na kurudi nyumbani kwao halafu akainga jikoni na kuendelea na mapishi yake ya makande.
Usiku mida ya saa tano, Rutu alikua amelala chumbani kwake huku akijutia kitendo kilichotokea pale kwa binti baada ya kuangukia simu ya binti na kuipasua screen, yeye hakujua kama ile simu aliyempa ni Bella.
Mtaalam alichukua simu yake na kumuandikia sms binti akamtumia sms ya kumuomba msamaha kwa lile tukio lililotokea pale lakini binti aliivungia ile sms kwa sababu alikuwa bado ana hasira na jamaa kwa kumvunjia simu yake aliyohongwa siku moja kabla
Lakini pia katika maisha kwa sababu unaweza kupenda usipopendwa, au kupendwa usipopenda basi hii nayo ilitokea kwa binti mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Mahadia ambapo binti huyu alimzimia sana Rutu lakini Rutu kamwe hakumpenda binti huyu
Mahadia usiku ule alikuwa hajalala, alipata taarifa kwamba Rutu amerudi kutoka Dar na haijulikani ni nani aliyempa namba ya Rutu hivyo akaamua kumtext
“Mambo” Mahadia alituma SMS
Kwa sababu bado Rutu alikuwa hajalala alishtuka sana na alijua labda Nsia ndiye aliyejibu SMS ile aliyomtumia mwanzo hivyo akaifungua haraka upesi akakuta ni ya namba ngeni
“Poa nani mwenzangu” alijibu na kuuliza swali papo kwa hapo
“mimi Mahadia bwana nasikia umerudi kutoka Dar”
“ahaa kumbe wewe! Ndio bwana nimerudi kutoka Dar vipi hii namba nani kakupa?” aliuliza mtaalam
“mmmmh kwani kuwa na namba yako ni vibaya jamani?” alisema binti
“sio vibaya”
“ok basi tuendelee kuchat”
“ok nambie”
“Kwanini uliondoka bila kuaga na umerudi bila taarifa, vipi unaondoka lini?”
“sina mpango wa kuondoka siku za karibuni”
“safi sana ukae tu huku, kesho nakuja kukuona”
“karibu sana”
“asante sana, vipi wifi mzima?” aliuliza binti
“mzima ndiyo” alijibu Rutu yaani kitendo tu cha kutokuwa na kampani na Nsia kilifanya Mahadia ageuke kampani ya Rutu hivyo alichati naye kwa muda mrefu
Hata hivyo Mahadia alionekana kutokufurahi kitendo cha kuambiwa kwamba wifi ni mzima hivyo akatulia kimya kwa hasira, laiti angejua kwamba hapendwi hata asingekasirika angetulia kimya kimya abembeleze
Baada ya binti kukaa kimya usingizi ulimpitia Rutu akajikuta amelala mpaka asubuhi ilipofika akaamka tena…..baada ya kuamka aliangalia simu yake hata aone SMS ya Nsia lakini kamwe hakuiona ikabidi naye atulie, ya nini kujipendekeza kwa mtu asiyekupenda bana.
Aliswaki na kunawa uso, halafu akapakua kiporo na kunywa chai akawahi kazini kule kwa Bella. Leo hakumkuta Bella maana Bella alikuwa amewahi mjini kufuatilia suala zima la nondo kwa ajili ya ujenzi, hata hivyo walikuja wale mafundi wa jana wakamsalimia na kwenda kubadili mavazi ili wavae ya kikazi zaidi
“sasa bosi hapa tunafanyaje” aliuliza fundi mkuu
“wewe ndiye fundi, fanya unachoona kinafaa, mimi nielekeze unachokihitaji nimpigie tajiri”
“sawa nafikiri Cement ipo ya kutosha naomba nianze kazi hii katika jina la Yesu” alisema fundi kumbe yule fundi alikuwa ameokoka bwana.
*
Huku mjini Bella alikuwa ameshanunua kila kitu, alikuwa anapakia kwenye kiyoriyori (kirikuu) ili iweze kupelekwa nyumbani, alipomaliza kupakia yeye alienda kwa fundi akachukua simu ya binti ilikuwa imeshatengenezwa na kuwa kama jana,
Simu alipoipokea alilipa shilingi laki moja na ishirini na kuondoka huku akiwa anaikagua ile simu, alipoifungua hivi aliamua kuingia moja kwa moja hadi kwenye SMS na kuanza kuzipitia moja kwa moja
Aligundua kuwa Nsia ana wanaume zaidi ya watuatu ambao alikuwa akichati na kila mara na kila mmoja alikuwa akimuahidi kuwa atakuwa mume wake na ndiye atakaembikiri
“hahaa, usikute huyu demu ni bikira kweli” aliwaza Bella na kutabasamu “ila mimi ni mafia sina muda wa kupoteza nitaitoa tu” aliwaza
Baada ya kufika nyumbani aliangalia kama vile vifaa vya ujenzi vipo kikamilifu halafu akatoweka bila hata kuwaaga mafundi wale akaenda hadi kwa Nsia.
“hodiii” alisema mtaalam Nsia naye akajitokeza mlangoni huku akitabasamu “mambo”
“safi tu kaka karibu” alisema binti na kurudi ndani akaketi kwenye sofa
“vipi baba yupo?” aliuliza mtaalam na kuvua viatu vyake halafu akazama ndani kwa binti na kuketi
“hayupo, ameenda kazini”
“huwa anarudi saa ngapi?” aliuliza
“mpaka saa kumi mbili jioni au saa moja”
“ok” Bella alitoa simu ile mfukoni na kumpa binti
“ndio tayari kuitengeneza ama?” aliuliza binti huku akiipokea simu
“ndiyo, embu ikague kama imekaa poa” alisema mtaalam kwa sura inayoonyesha majigambo, ilikuwa ikionesha anajiamini kwamba yeye hakuna kitu anachoshindwa kwa binti
Binti aliweka laini kwenye ile simu kisha akaiwasha na kuitoa password, katika kuiangalia simu alishtuka kwa furaha maana simu ilikuwa imeshakuwa mpya zaidi.
“jamani” binti alisema kwa uso wenye furaha
“imekuwaje”
“imekuwa nzuri sana kaka, asante kaka” alisema binti huku akimuita kaka kila mara, jamaa alichukia sana kwani alitamani binti amuite baby
“Nsia” alisema mtaalam
“abee kaka”
“kila kitu unachotaka nitakufanyia, lakini natamani niupate moyo wako tu, niumiliki nahisi ningekuwa na furaha sana, tazama jinsi ninavyojitolea kwa ajili yako, naomba nafasi please”
“Kaka jamani kaka, lakini kaka unajua unanipa wakati mgumu kaka”
“Nsia kafunge ule mlango pale nikuambie” alisema mtaalamu
Kwa sababu binti aliamini kwamba anatakiwa aheshimu anachoambiwa na mkubwa wake, aliinuka na kwenda kurudishia mlango halafu akarudi na kuketi pale pale alipokuwa ameketi mwanzo
Bella aliinuka na kwenda kuketi pembeni yake halafu akamvuta na kumlaza kifuani mwake, binti akaanza kuhema kwa uoga huku moyo ukimuenda kasi akitamani ainuke akimbie lakini ndo hivyo mjeda angemkamata tu.
“Naomba uweke simu yako pembeni kidogo ili isidondoke halafu nikuambie kitu kizuuuri” alimbembeleza
“mmmh jamani kaka unataka kuniambia nini sasa” binti alisema na kuweka simu pembeni kidogo lakini ilikuwa sio mbali
“naomba nikunyonye ulimi kidogo tu”
“jamani hapana sit…..”kabla hajamaliza sentensi yake tu hivi alishangaa ananyonywa ulimi unamung’unywa huku mkono mmoja wa mjeda ukiwa unapapasa chuchu ndogo za binti huyo alikuwa na asili ya kichaga lakini alizaliwa na kukulia Jijini Mbeya
Bella alitumia ufundi wake kumchezea binti huku akifungua vishikizo vya blauzi ya binti huyo na kuanza kuvifungua mpaka cha mwisho kabisa halafu akifunua ile blauzi na kuchezea maziwa laifu, yalikuwa yamesimama haswa
Binti kwa kuchezewa kule alijikuta anajilaza kwenye kochi mwenyewe bila taarifa na alikuwa anahema kwa nguvu
Mjeda alizifunua ile blauzi vizuri na kuachia ulimi wa binti halafu akaupeleka mdomo polepole kwenye nyonyo ya mtoto wa kike halafu akaizamisha mdomoni na kuinyonya huku mdomo ukitoa sauti fulani hivi ya mahaba
“auwii…..kaka be….la” alisema binti na kuyabana mabega ya mtaalam alikuwa ameshaanza kusikia hisia
Wakati akiendelea kumnyonya mziwa mtaalam aliingiza mkono kwenye sketi ya binti akakutana na taiti iliyobana vizuri ikabidi aishike na kuishusha mdogo
Binti alinyanyuka na kuanza kumzuia mjenda “nooo please kaka usifanye hivyo” binti alisema kwa uoga huku akijaribu kuishika mikono ya mwamba, lakini mwamba livyokuwa mjeshi alizidi kuivuta ile taiti mpaka magotini
“tulia kidogo tu Nsia please sifanyi chochote nakigusa kwa mkono tu please” alisema mtaalamu kwa hisia na kumlalia binti akampa ulimi kwa mara nyingine
Binti alijaribu kujitoa pale lakini alikuwa ameshalegea, Nsia alifanikiwa kuishika chupi akairudisha na kuibana miguu lakini Bella akaishika ile taiti akaishusha na kupanua miguu ya binti kwa nguvu akazama katikati halafu akaanza kumtekenya
Saa ngapi binti asinogewe akashangaa chupi imechanwa na kutupwa kule halafu mwamba akaifungua plaizi na kuitoa dudu yake akashika binti vizuri na kuilengesha kunako kitumbua cha Nsia
“aaaash kaka unaniumiza jamani”
“mmmwah” mshikaji alimbusu mdomoni “taratibu naingiza baby” alisema mtaalamu na kuipaka mate halafu simu ya binti ikawa inaita akaitazama anayepiga ni Rutu
“Rutu anakupigia” alimuambia binti
“achana naye bana” baada ya jamaa kupewa nafasi aliweza kuilegesha ikiwa imelowa mate tepetepe halafu akaizamisha taratibu huku akimnyonya binti ulimi na kukumbatiana kwa nguvu
Vivyo hivyo baada ya Rutu kumpigia binti akaona hapokei, alijisikia vibaya sana maana ni mwanamke wa malengo kwake, hivyo aliona kwamba kwa kuwa Bella hayupo pale nyumbani basi atumie fursa hiyo kwenda kwa binti ili akamuombe msahamaha kwa sababu ya tukio la jana ake
Aliondoka pia bila kuwaaga mafundi akaenda kwa Nsia…….
JE NINI KITAFUATA?
PART 08
Wakati akiwa njiani Rutu alisikia sauti inamuita nyuma, ile amegeuza macho tu hivi akamuona Mahadia akielekea kule alipokuwa anaelekea yeye.
“Rutu mambo” alimpa salamu
“poa kwema?” Rutu alisema huku akiwa anasimama na kumsubiri
“kwema unaelekea wapi mbona unaonekana una haraka sana”
“aaah kuna mtu naenda kumuona hapo mbele kidogo nirudi dakika moja”
“mmmh lakini Rutu samahani, mimi nimekuja huku mtaani kwenu kukutafuta wewe, unajua kuna msaada wako ninahitaji?”
“msaada gani?”
“twende nyumbani kwenu nikakuoneshe”
“weee, sikiliza mimi nimetoroka jobu nikaonane na mpenzi wangu hapo mbele, usinikatishe safari zangu”
“sawa Rutu basi mimi nikuache uende ukamuone” binti alisema kwa hasira maana alichokuwa anakitaka ni mapenzi kutoka kwa mtaalam lakini hivyo hivyo Rutu alikuwa hana time naye ya kihisia
Kumbe wakati wote waliokuwa wakipiga story hivyo muda ulikuwa unaenda na Bella kule kwa binti alikuwa ameshamaliza mchezo
“Bella unajua umeniumiza” alisema binti huku akijifuta damu kwenye sehemu zake nyeti
“mmmh pole sana, najua umeumia lakini ukikaa kama siku tano hivi halafu ukafanya tena, basi ujue hautaumia, utasikia raha tu”
“sawa”
“haya mimi ninaondoka hivi” alisema mtaalam na kuinuka “tutawasiliana” alitoka nje
Kitendo cha kutokea barabarani tu hivi akakutana na Rutu akiwa anaelekea kwa binti, wote walishtuka sana lakini
“vipi umetoka kwa Nsia?” Rutu aliuliz kwa wivu
“ndiyo…..umh aah nilimletea simu yake alikuwa ameniomba nimsaidie kupeleka kwa fundi”
“oh kumbe” Rutu alisema huku mwili wote ukimtetemeka alihisi kwamba kuna kamchezo kameanza “baba yake yupo?”
“alikuwepo sema ametoka muda sio mrefu”
“haya poa ngoja nikamcheki”
“sasa wewe ina maana kazi unaacha halafu unaenda kumuangalia demu wako, wewe haupo serious kabisa Mwanangu…..rudi kazini bwana” Bella alimwambia ili tu aweze kurudi maana alijua akienda kwa binti lazima atashtuka kwamba kuna kamchezo kametendeka
“nakuja sa hivi, Nsia nafikiri ni wa muhimu kuliko hata kazi yako hiyo, hujui tu nimetoka wapi mimi na yeye” jamaa alisema kwa hasira halafu akanyoosha moja kwa moja hadi kwa Nsia
Kwa sababu alikuwa ameshahisi vibaya wala hakutaka kugonga mlango, akaufungua kwa nguvu lakini kumbe binti alikuwa ameshaubana kwa ufunguo
“Hodiiii” aliita mtaalam “hodiiiii, hodii,……Nsiaaa……..mzee Swai” aliita mtaalam kwa huzuni huku roho ikimuuma, alijua kabisa lazima binti angekuwa ndani hivyo roho ilimfanya ajihisi vibaya
Alizunguka nyuma dirishani kwa Nsia, kumbe dirisha lilikuwa wazi akasogeza pazia kidogo na kuchungulia ndani, aliweza kumshuhudia Nsia akiwa ameketi kitandani analia kwa kwikwi
“Nsia Nsia” aliita kwa uoga huku machozi yakimlenga “mbona unalia, nakugongea mlango haufungui una maana gani Nsia?…….nifungulie please Nsia please” alisema mtaalam kwa uoga
“Nakuchukia Rutu” binti alisema
“kwanini unanichukia au kisa umempata mtu mwenye hela? Huyo atakuchezea na atakuacha Nsia please naomba ufungue mlango” alisema mtaalam
“sijampata mtu yeyote lakini nakuchukia kwa kitendo ulichonifanyia jana” binti alitafuta namna ya kumkwepa mtaalam
“Lakini mpenzi, mangapi tumekoseana, basi nipe ile simu nikatengeneze halafu nitakuletea”
“hapana nimeshatumia hela yangu kutengeneza naomba uondoke please Rutu” alisema binti
Kwa kujiongeza tu, Rutu alijua tayari ameshaibiwa tunda lake na kwa kumtazama tu binti alijua ameshamsaliti
“sawa Nsia ninaamini utanikumbuka siku moja, na ejapo ukihitaji msaada wangu hata wa mawazo sitakusaidia” alisema mtaalam na kumuangalia binti mara ya mwisho halafu akiondoka huku nafsi ikiwa inamuuma
Rutu baada ya kutoka pale hakwenda tena kazini kwa Bella, aliondoka moja kwa moja na kufika nyumbani kwa mama yake, alimkuta Mahadia akiwa anapiga story na mama yake.
Kwa hasira aliingia ndani bila hata kumuamkia mama yake, mama akajua kuna tatizo hapo
“We Rutu” mama aliita
“naam”
“mbona umetoka mapema sana, halafu kwanini husalimii ukikuta watu nje”
“samahani mama, ninaomba nipumzike” mtaalam alisema na kuweka simu yake kwenye stuli kisha akajirusha kitandani, ile amejilaza tu hivi simu yake ikaita, alipoitazama aliona anayepiga ni Bella, hasira zikamjaa zaidi hadi akaikata ile simu
Alipoikata hivi Bella alituma message “njoo uchukue hela yako ya malipo” alisema mtaalam Bella, Rutu alitafakari asijue nini cha kufanya akashuka kitandani na kutoka nje
“Mahadia samahani naomba uende hapo mbele kuna nyumba mpya inajengwa, kanichukulie hapo 15000 tafadhali urudi”
“sawa” binti alisema na kuinuka maana alikuwa anamuelewa sana jamaa, binti aliondoka akaenda mpaka kwa Bella na kumkuta akiwa amesimama ana mawazo kama nini, alikuwa akijutia suala zima alilolitenda kwa mshkaji wake lakini alijitia moyo, hela si ipo
Alichukua shi 50000 (elfu hamsini) na kumkabidhi binti, “kampe hii hela yote mwambie atafanya kazi kwa siku tatu” alisema mtaalam Bella kwa gia ya kufanya Rutu azidi kuwa karibu naye ili kuumaliza ugomvi
Baada ya binti kuodoka Bella alimuandikia SMS Nsia. “Vipi mpenzi, upo powa?” alituma SMS akitaka kuelewa imekuwaje
“jamani sina amani” alijibu binti
“amani kwa nini baby, utapona usijali”
“tatizo sio kupona, ila unajua nafsi imeniuma nimemsaliti mwanaume wangu, naomba please isitokee tena mimi na wewe naomba tuishie hapa hapa” binti alijibu kwa uchungu
Kwa sababu Bella alikuwa ameshakipata alichokitaka, alitabasamu na kumjibu binti “basi sawa”
Binti aliisoma ile text ikamkatisha tamaa, akajua kumbe jamaa alimtamani halafu akaingia mkenge kirahisi rahisi tu, alichukua panadol na kumeza kwa ajili ya maumivu halafu akatoka chumbani na kwenda jikoni kwa ajili ya kuandalia chakula
‘sijui imekuwaje nikaingia mkenge kirahisi hivi’ binti aliwaza huku akijutia maamuzi yake halafu akaanza kuwasha moto, baada ya kumaliza aliweza kutoka nje ya nyumba yao ili achote maji bombani
Akiwa anachota akaangazia macho huku na huko. Barabarani aliona watu wawili wanapita akawatazama vizuri alikuwa ni Rutu pamoja na Mahadia, alikuwa anamsindikiza Mahadia, alipita naye mitaa ile akiwa na makusudi kwa sababu alikuwa anataka amkomoe binti
Naye Rutu alipomuona binti, aliamua kufanya makusudi akamshika Mahadia kiunoni halafu wakatembea kwa mapozi, Mahadia akajua lazima ameshapendwa na na mshikaji lakini kumbe mshikaji yeye anamkomoa mwanamke wake aliyemsaliti
Roho ilimuuma sana Nsia, hadi akajisahau maji yakajaa ndoo na kumwagika chini “Mungu wangu” alisema kwa uoga na kuishika koki ya maji akayafunga na kuelekea jikoni
Muda sio muda Rutu naye alimfikisha binti mbele kidogo halafu akasimama naye.
“Rutu nimeinjoy sana kuwa karibu na wewe leo” alisema binti na kumeza mate
“mimi mwenyewe nimefurahi sana kukaa nawe kwa karibu, hakika nimegundua kuwa una mvuto wa hali ya juu Mahadia” alisema mtaalam
“jamani asante” alisema huku akichekacheka kwa aibu
“tutaweza kukutana lini, nataka tukae kutwa nzima tukiwa karibu” alisema mtaalam
“siku yoyote ni wewe tu Rutu wala usiogope kuniambia”
“sawa mpenzi, nakupenda sana”
“nakupenda pia Rutu”
“haya poa basi ngoja nirudi nyumbani, shika hii buku tano itakusaidia basi”
“no nonooono baby, mimi sihitaji hela yako jamani” alisema binti na kurudi nyuma hatua chache, Mahadia alikuwa mwanamke wa kipekee sana
“basi sawa tutawasiliana” alisema Rutu na kuanza kuondoka kurudi nyumbani huku binti naye akielekea kwao mtaa wa pili
Rutu alipofika njiani iliingia SMS kutoka kwa Nsia “Rutu kumbe ndivyo ulivyo hivyo” alituma binti mshikaji akatabsamu akijua imepenya hiyo………………
PART 09
“kwanini unaniambia hivyo?” aliuliza lakini alijua kabisa kwamba binti anasema kwa wivu japo naye alimsaliti
“unapita na mwanamke wako hapa kwetu kweli?”
“kwa hiyo wewe unahisi mimi huwa sipendwi na wanawake wengine, wewe si umenisaliti kwa sababu sina hela?” alisema mtaalam kwa hasira
“jamani Rutu, mi sijakusaliti” binti alijitetea
“basi nakuja hapo kwenu”
“njoo unafikiri naogopa?” alisema binti na kuanza kukatakata mchicha
Baada ya dakika tatu Rutu alienda mpaka kwa Nsia, akamkuta Nsia ameketi nje anakata mboga, binti alikwua muoga leo maana bado alikuwa na maumivu sehemu za siri kwa sababu ya kuingiliwa kwa mara ya kwanza na mtaalam Bella
“kanisubiri sebuleni nakuja” alisema binti
“hapana siendi…… vipi simu yako ulisema umeitengeneza umepata wapi hela?” alisema mtaalam
“baba kanipa hela”
“hahahahaa, Nsia” alicheka sana mtaalam “kwa maisha yapi mlio nayo akununulie simu juzi halafu leo aitengeneze kwa gharama ya zaidi ya shilingia 80 kwanza inaweza ikafika hata laki, maana simu yenyewe ni ya gharama”
“kwa hiyo umekuja kunisanifu sio?”
“imeniuma sana, umenisaliti, sitokusahau, kwa sababu ya hela tu unanisaliti, sasa kuninyima kote miaka hiyo yote leo unakuja kumpa mtu kizembe kisa simu”
“kwani wewe ulikuwa una hadhi gani ya kupewa na mimi, embu sikiliza Rutu naomba uondoke kwanza usinichefue”
Wakiwa wanazidi kugombani pale nje karibu na jikoni, mzee Swai alitokea na kuwakuta wanaongea ilibidi jamaa apaze sauti kwa makusudi ili kumuharibia
“ina maana hiyo smartphone yako baba alikununulia shilingi ngapi?” aliuliza makusudi
Binti moyo ulimpiga paaah, akaanza kuogopa maana mzee wake alikuwa hajui kama binti anatumia simu ya smartphone
“baba pole” alisema binti ili kupotezea ile mada lakini mzee alikuwa tayari ameshasikia kila kitu
“asante, lakini Nsia naona kama unanipanda kichwani, mimi nimekununulia simu gani au ndio unamdanganya mwenzako”
“baba…..mmmh b…” binti alitaka kujitetea lakini alikatwa kauli na Rutu
“ina maana baba hujamnunulia simu mtoto wako? Je hizo nywele alizosuka ni wewe umempa hela?” aliuliza
“hapana nywele nilipomuuliza alidai wewe ndiyo ulimpa hela”
“haya basi inatosha mzee” Rutu alisema na kuondoka zake huku akiacha moto ukiwaka huko nyuma yeye akaenda nyumbani na kujilaza kitandani huku bado akiwa na hasira maana alimpenda binti muda mrefu halafu amemsaliti siku hiyo hiyo
Kutokana na hasira mtaalam aliamua kumandikia binti SMS “kwanza kuanzia leo naomba usinizoee Malaya wewe” hizi zote zilikuwa ni hasira.
“wewe Rutu huna jipya, ulidhani baba yangu atanifukuza nyumbai ama, sikiliza baba yangu ni muelewa sana na ameshanielewa kabisa tena unaweza ukashangaa nimeolewa na Bella”
Hii message ilipenya kwa mtaalam mpaka ndani ya auriko na ventriko kabisa alijisikia vibaya akalia kwa uchungu huku akikumbuka matukio mengi aliyowahi kufanya na mtoto wa kike halafu leo eti ndo anamuambia hivyo.
Hata hivyo hakujibu ile message alitulia kimya tu na kushuka kitandani akaenda kutafuta chakula cha usiku jikoni halafu akarudi ndani akila. Kwani chakula kilikuwa kinaingia basi?
Kesho yake ilikuwa ni jumapili ambapo mzee Swai alikuwa hana tabia ya kwenda kazini kabisa alikuwa anapenda kwenda kanisani kusali maana alisali katika dhehebu la Moravian na alikuwa anapenda kwenda na binti yake
Leo binti alikataa kata kata kwenda kanisani kwa sababu bado alikuwa na maumivu makali. Hata hivyo mzee alipotoka kanisani alimpa mtoto mmoja biblia na kumuambia amsaidie kupeleka pale nyumbani akampe Nsia, yeye akaendelea na harakati za kuzunguka zunguka mtaani
Akiwa anapita katika grocery moja, alimkuta Bella akiwa anakunywa bia na marafiki zake,
“baba Nsia” alimuita kwa furaha mzee akamgeukia “shikamoo”
“’aaah bwana marahaba kumbe upo hapo?” alisema mzee na kuanza kutembea kuelekea maeneo yale walipokuwa wameketi kina Bella
“unapita mbali sana mzee wangu, karibu upate hata moja moto hapa maana sio kwa baridi hii ya Mbeya mpaka natamani nirudi zangu Dar”
“hahahaa, sawa bwana kweli kuna baridi” mzee aliketi na kuagiza bia japo kanisa alilotoka kusali lilikuwa haliruhusu yeye kunywa pombe
Story zilianza kati ya hao watu wawili na mara nyingi mzee aligusia upande wa binti yake akiamini kwamba akipata mwanaume mwenye uwezo kama Bella lazima atakubali amuoe lakini vivyo hivyo alikuwa hamtaki kijana Rutu kwa sababu Rutu sio mwanaume halisi anayeweza kuilea familia
“hahahaa, mzee unanifurahisha sana” alisema mtaalam na kunywa bia yake kwenye glass
“kweli unajua nilimuonya binti yangu kuhusiana na kijana yule lakini aliamua kumng’ang’ania kwa sababu alikuwa na utoto ‘baba mimi ninampenda Lutu” alisema mzee maana herufi R na L zilimsumbua kidogo
“ni kweli mzee lakini binti yako ana hasira sana jana kanikaushia mpaka leo naona kama hataki kunisalimia” alisema
“usiwe na wasiwasi hilo tu? Mbona nikienda nyumbani anakuandikia SMS muda huo huo, mimi nina uhakika anakupenda” mzee alionekana kumkubali sana Bella na hii yote ni kwa sababu mshkaji alikuwa na mkwanja usio wa kawaida kutoka jeshini
Waliendelea kunywa, lakini pia kule kwa Bella mafundi walikuwa wanamalizia msingi.
Mida ya jioni jioni Bella alikuwa ameketi nje kwake akichati kwenye simu yake, mara iliingia message kutoka kwa Nsia
“TOTO” leo Nsia badala amuite kaka iligeuka na kuwa toto, maana yake ni baby kwa wale mliozoea kuchat kwa kutumia maneno ya mahaba kwa kiingereza
“mmmmmmh” Bella aliguna kwenye SMS
“mbona unaguna jamani” aliuliza binti
“hamna ulikuwa umenisusa kabisa ndo maana ukanikaushia mpaka saa hizi lakini haina shida bana”
“unajua mimi naogopa sana lakini”
“unaogopa nini”
“umekuwa mwanaume wangu wa kwanza kabisa natamani pia ungekuwa mume wangu kabisa mimi sitaki kuwa na wanaume tofauti tofauti katika maisha yangu”
“hilo tu wala usijali baby”
“sawa mpenzi, nimeamua hadi kumuacha mpenzi wangu kwa sababu yako, nimeshakupenda kabisa” binti aliandika maneno hayo magumu hadi Bella akacheka kule alipokuwa amekaa
*****
Penzi la Nsia na Bella lilikuwa na nguvu na kila mtu aliona ya kwamba lazima Nsia aolewe na Bella walisubiri kadi za mualiko tu.
Hata hivyo jambo hili lilimpa wasiwasi mkubwa sana Rutu hadi akakata tamaa ya kuwa na mwanamke yoyote maana alidhani kwamba angemuoa binti kabisa. Ila Mahadia alikuwa ni binti mzuri kuliko hata Nsia, alikuwa na umbo, mweusi mwenye mwanya lakini kasoro yake ilikuwa ni moja tu alikuwa hajiheshimu kama ilivyokuwa kwa Nsia, hii ndiyo sababu ya Rutu kumkataa Mahadia na kuamua kuwa na Nsia lakini Nsia akamsaliti na kumfuata mtu mwenye pesa zake bwana Bella Mwakisosi
Ni wiki tatu zilikuwa zimepita, nyumba ya Bella ilikuwa kwenye linta na madirisha pamoja na milango vilikuwa vimeshaletwa hivyo walisubiri tu nyumba ikamilike ili ndoa ifungwe kamili
Nsia alikuwa ameshapata mazoea makubwa sana na Bella ambapo mara kwa mara alikuwa akimtembelea nyumbani kwake, kumpikia na pia kumfulia na usafi mwingine pale nyumbani,
Sasa siku moja binti alimaliza kupika nyumbani kwake akaweka chakula vizuri ili baba akija aweze kukuta, halafu binti alitoka nje akafunga mlango na kuhifadhi ufunguo chini ya tofali moja hapo nje kisha akatoka kuelekea njia ya kwa Bella kwa ajili ya kwenda kumfulia nguo zake. Leo alikuwa amevalia moja ya mavazi aliyonunuliwa na Bella, alipendeza hasa
Wakati akiwa anakatiza njiani alikutana na Mahadia. Kwa kifupi alikuwa hamjui kabla hata siku ile alipokuwa na Rutu hakuweza kumuona maana walikuwa mbali kidogo
Nsia alibaki akimshangaa Mahadia maana alikuwa ni bonge la beautiful girl ambaye alikuwa na mvuto usio wa kawaida,
“mambow” Mahadia alimsalimia Nsia
“poa uko powa?” Nsia aliuliza huku akimshangaa binti Mahadia akampita
“niko pouwaa” alisema binti akiwa anabana pua kidogo, sauti ilikuwa tamu na jinsi alivyokuwa mzuri Nsia mwenyewe alitamani kuwa mzuri kama binti huyo lakini ndio hivyo haiwezekani
Kwanza Mahadia alikuwa amevalia mtandio aliousokota kama ushungi kichwani na kuubana kwa pini maalum, halafu pia binti alivaa kiblauzi fulani hivi cha maua maua kilichoacha sehemu za juu za maziwa yake zikionekana kwa kuchora herufi V
Halafu chini alivaa suruali ya kubana iliyokuwa nyeusi, ilimshika vyema binti alitembea kwa madaha na kuishia kwenye kona
‘mmmh kabinti kazuri jamani’ Nsia aliwaza na kuendelea na safari yake ya kuelekea kwa bwana Bella.
Alipofika kwa Bella hakuwepo mtu yeyote nje, ila binti alivyotazama mlangoni akaona kama vile mlango umefungwa kwa ndani, alitazama chini mlangoni akakuta raba jozi moja ya Bella, sendo zake pamoja viatu vya kike vilivyokuwepo pale
Kidogo alishtuka halafu akasogea mlangoni akitaka kugonga, lakini kabla hajagonga akasikia sauti ndani
“aashshshh….. ah taratibu mume wangu” aliishiwa nguvu halafu akataka kuondoka lakini akajitia moyo
“mh inawezekana hata sio yeye” hivyo akaelekea dirishani kusikiliza sauti
“mmmh Diana wewe mtamu sana” ilikuwa sauti ya Bella ikiongea ndani ya nyumba ile…. Binti akachanganyikiwa…………………
PART 10
Nsia kwa kupagawa kule, na upole wake wote alijikuta akishindwa hata kufoka, aliondoka akiwa bado ni mpole huku machozi yakimtoka kama chemchem.
Hata hivyo alifika nyumbani akaketi barazani huku akilia kwa muda wa nusu saa machozi yalikuwa yakimtiririka kila kona ya mashavu yake
Alichukua simu yake na kumuandikia Bella message ‘asante Bella kwa kunifanyia haya yote, Mungu atakulipa nakuambia’ aliandika kwa uchungu halafu akainuka na kufungua mlango
Wakati anafungua mlango alisikia kama sauti za watu wanapita njiani wakiwa wanaongea, aligeuza macho yake na kuwatazama, akagundua kuwa ni Rutu alikuwa anapita na yule binti mzuri (Mahadia) na walikuwa wameshikana mikono huku wakicheka kwa mahaba mazito sana
“what?” binti alijiuliza swali na kufikiria labda anaota “ina maana yule ndiyo girlfriend mpya wa Rutu? Hapana haiwezekani jamani” binti alijikuta akiongea peke yake, uchungu ulizidi mara dufu ikabidi aache kufungua mlango na kuondoka mpaka barabarani kuangalia wanapoelekea
Aliwaona wamefika karibia na kona halafu wakakumbatiana na kupeana denda kitendo kilichofanya binti achanganyikiwe zaidi, walishikana kwa hisia na kutaniana huku wakicheka, halafu ikapita pikipiki iliyomfanya apande halafu mtaalam akawa anampa mtoto wa kike hela ya nauli anakataa
Nsia alianza kuona wivu tena, hakukubali, alimsubiri mtaalam arudi mpaka akamkaribia, huku machozi yakimtoka bila kuwa na kizuizi chochote, alijikuta anamsogelea mtaalam na kutaka kumkumbatia lakini mtaalam akamsukuma kidogo huku akiwaza ‘kumbe dawa ya demu ni kutafuta demu mkali zaidi yake’
Nsia alipiga magoti chini kwenye barabara na kuanza kulia na kuomba msamaha “Rutu naomba unisamehe please mpenzi wangu, nilikusaliti lakini sio kwamba sikupendi, nakupenda sana Rutu ila tu ni tamaa zilinishika
Mtaalam alicheka kwa dharau “siwezi, ninaomba unisahau maana ulishaniumiza sana Nsia”
“ninajua kwamba nilikukosea na nimeshajuta tayari, naomba unisamehe, natamani siku zingerudi nyuma Rutu ili nikuonyeshe mapenzi mpenzi wangu naomba please Rutu”
Wakati binti akiendelea kuongea pale kuomba msamaha nini….. kuna pikipi ilikuja kwa upande aliokuwa amesimama Rutu. Rutu alisogea pembeni kwa ajili ya kuikwepa pikipiki akijua binti naye ataikwepa lakini binti hakwepi anaendea kulia kwa kwikwi halafu pikipiki ipo kwenye speed 120
Inataka kupiga binti hivi, Rutu aliirukia ikaanguka kule halafu yeye akatukana “was*ge nyie mnajua gharama ya huyu mwanamke, alisema na kumnyanyua binti pale chini alipokuwa amepiga magoti
“umeumia?” alimuuliza na kumshika mabegani binti akatikisha kichwa kusema hapana hajaumia
Wale watu waliokuwa kwenye pikipiki waliinuka na kutaka kumletea jamaa noma, sasa kudhalilika mbele ya msichana haifai hivyo ni kupanga mkono na wahuni
“unaona umevunja site mirror mpumbavu wewe dogo” alisema dereva wa pikipiki
“kwani mnatakaje kwa mfano” alisema mtaalam na kuwasogelea huku akiwa amekunja sura kwa hasira
Mmoja kati ya wale majamaa alimrushia ngumi, kwa bahati mbaya ikampata jamaa usoni “mamaaa” alipiga kelele kwa uchungu huku hasira zikiwa zinamuandama zaidi, alishika uso na kuuachia halafu akamrukia yule mtaalam akadondokea pikipiki iliyokuwa chini yeye akampanda juu juu
Vivyo hivyo yule mwenzake alitaka kumpiga teke kwa nyuma lakini kwa bahati nzuri Nsia alimsukuma pembeni na Rutu akainuka akachukua jiwe na kumpiga mmoja usoni, alipiga kelele za maumivu halafu mwenzake akachukua rungu ili ampige Rutu, Rutu alikwepa likamshukia mwenzake aliyekuwa chini likamsababisha maumivu zaidi mtu huyo
‘Rutu waache bwana” binti alisema
“subiri nikuoneshe dawa ya hawa maku**, wanataka kuleta ujinga.” Alisema na kumrukia huyu mwingine akamchochea ngumi za haraka haraka halafu akainuka na kumshika binti mkono “twenzetu” alimvuta halafu akampeleka nyumbani kwao na kumuingiza ndani halafu akaketi kwenye kochi huku akicheki uso wake uliokuwa umeumia kidogo.
“Rutu umenisamehe” alisema binti
“nitakujibu kwenye simu tafadhali mimi ninaondoka” mtaalam aliinuka na kwenda nyumbani kwao akatulia,
Wakati alipofika nyumbani alianza kuchati na Mahadia “mpenzi umeshafika nyumbani?” alimtext
“yes my husband, nimechoka hatari”
“umechoshwa na pikipiki au?”
“hapana kwa kitu ulichonifanyia upendo wangu umezidi mara dufu mume wangu” alisema binti
“ohohoho kimoja tu dear, mh”
“siku nyingine nitakupa hata vitano, mpaka useme hutaki”
“alaaah!! Sawa nakukubali Mahadia”
“ok powa ngoja nikaoge sweetie”
Rutu aliacha kuchati na binti, na muda huo huo ndiyo Bella alikuwa anamtoa mwanamke yule Nsia aliyemkuta naye, alimpakia pikipiki na kuondoka mazima, halafu mtaalam akaja akashika simu yake na kusoma SMS alizotumiwa na watu tofauti tofauti
Aliona SMS ya Nsia ikabidi amjibu “samahani sana, kuna mtu nilimuachia geto langu alikuwa na mwanamke wake ndani”
“usinidanganye Bella nimesikia sauti yako ukiongea na mwanamke ndani ni wewe wala usinitext tena na mimi sina mpango na wewe tafadhali”
Binti alisema kwa hasira kisha akampigia Rutu na kuongea naye ili ajue kama amemsamehe kwa kitendo alichokuwa amemfanyia wiki nne zilizokuwa zimepita tayari
“nimekusamehe Nsia, lakini ukinikosea tena kamwe sitoweza kukusamehe kwa mara nyingine” alisema mtaalam
“nashukuru sana Rutu na nakuahidi kwamba haitotokea tena niamini mimi mpenzi wangu”
“sawa dear” alisema mtaalam na kurudisha penzi lake upya wakaanza kama zamani
Hata hivyo moyo wa Rutu bado ulikuwa na kovu, zawadi ya bikira alikuwa amepewa mtu mwingine kwa sababu tu ya pesa na kumtunza mwanamke kwa kumnunulia simu, mavazi pamoja na kumremba kwa kumsuka na kumpa kila kitu alichokuwa anakitaka.
‘nitajitahidi kumpenda hivyo hivyo’ Rutu alipiga moyo konde halafu akaondoka nyumbani na kwenda kijiweni kuonana na washkaji zake wa kila siku
Habari zilizokuwa kijiweni ni za Nsia kumsaliti Rutu kila mtu alisema kwamba binti hajafanya vyema kabisa hata hivyo Rutu aliposikia maneno yale alirudi kimya akiwa na maumivu makali bila kutaka kuendelea
Siku mbili baadaye Rutu alikuwa na ahadi ya kutembelewa na Mahadia kwa mara ya pili, Mahadia alikuwa amejitolea sadaka kumpa raha zote mwamba alizokuwa anazitaka, hii yote ilikuwa ni kwa sababu alikuwa amempenda mnyama tangu kipindi wakiwa shule
Rutu alimchezea mama yake trick, wakati mama alipotoka na kwenda sokoni mchana, alimuingiza Mahadia ndani chap na kuhakikisha hamna jirani yeyote aliyekuwa amemuona binti huyo ili kuepusha uongo.
Rutu alivua shati akabaki na fulana na kujilaza kitandani kifudi fudi, Mahadia naye alikuwa hapendagi uoga, alivua nguo zake na kubaki na chupi tu halafu akamrukia kifuani jamaa akaanza kumnyonya ulimi kwa hisia kali.
Mtoto wa kike alikuwa na uzoefu mkubwa sana katika mapenzi suala ambalo lilimpa burudani sana Rutu,
Kama mtoto mdogo Rutu alizamishwa kwenye mapaja na kubanwa huku akizungushiwa ulimi kila kona ya mdomo wake, binti alianza kujizungusha kiuno huku akitoa sauti za mahaba zilizosikia hadi nje ya nyumba yao
Mlango uligongwa ngo ngo ngo, binti akasitisha zoezi la kumshika shika mtaalam “ni nani huyo?” Mahadia alimuuliza Rutu kwa sauti ya kunong’oneza
“sijui” jamaa alijibu na kupuuzia wakaendelea kuchezeana, mlango ukiwa unazidi kugongwa nje, aliyekuwa anagonga ni Nsia mara akasikia ndani kasauti kautamu “aaah” hapo mashine ilikuwa imeshapenya pembeni mwa kofuli na kuzama moja kwa moja hadi kwenye tundu tamu lenye joto kali kutoka kwa binti
“we Rutuuuu” Nsia aliita kwa hasira zaidi moyo ukimuuma akijua tunda lake linamegwa taratibu, alipiga makofi kwenye mlango “Rutu nifungulie mlango bwana aaaah najua upo ndani na mwanamke wako”
“aash oh hiiii beibi taamu” alikuwa akilia Mahadia, yeye hakujali kelele za chura, alichojali ni utamu kutoka kwa mwanaume aliyempenda kuliko wote, alikatika ile balaa, hadi Nsia nje akasikia sauti paah paah paaah zikiwa ni za makalio ya Mahadia humo ndani
Nsia alijisikia kulia sana, alikuwa anapitia maumivu makali, hivyo akaamua kuondoka na kwenda nyumbani
Kama kawaida baada ya saa moja, aliona Mahadia amepitishwa na pikipiki pale kwao paaap akajua kumbe ndiye alikuwa anampa bwana ake utamu. Alijikatia tamaa maana binti alikuwa ni mzuri kuliko yeye kama mara tatu hivi
“Hello mambo” iliingia SMS kutoka kwa Rutu
“sitaki sitaki sitaki Rutu”
“hutaki nini?” aliuliza
“sitaki kukusikia, kumbe ulikuwa hujanisamehe, unaendelea na wanawake wengine Rutu
“sasa, hata nikiwaacha wewe utakubali kunipa?” aliuliza mwamba
“kwanini nisikupe kwani mimi sina hicho alichokuwa anakupa au?” alisema binti SMS iliyomfurahisha sana Rutu kwa kuwa alikuwa anampenda
“duuuh sikuamini”
“nakuja hapo nije nishuhudie ukimpigia na kumuambia kwamba humtaki tena” ilikuwa mtego mbaya kutoka kwa binti.
JE MWAMBA ATAKUBALI KUMWAMBIA MAHADIA HIVYO?