Clickable WP Image
JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

NIGHT CLUB

Sehemu ya 46

Ilipoishia………..Kessy kamsamehe na  kaondoka na Saida mpaka nyumbani,huku Erick anakutana na vitisho kutoka kwa Maiya!

Songa nayo……….

Nilikuwa sijaujua upande wa pili wa Maiya,kumbe Maiya ni katili kuliko hata alivyokuwa Salim.

Sasa nilianza kuona yaliyokuwa nyuma ya pazia!

“Erick nasubiri jibu unakuja au hauji!!”

“Nakujaaa!”

“Okay sawa nakusubiri!!”

Alisema kisha akakata simu,kwa haraka naweza kusema Maiya alibadilika na kuwa mbabe!!

Nilikaa nikatafakari,kwa mara nyingine nikajutia kuruka ruka na watu nisiowajua!

Mtu unakutana naye Club hujui ni jambazi ni nani unaruka naye daahh!!

Jioni ilifika nikafunga banda langu nikachukua usafiri mpaka kwa Maiya!

Nilipajua sababu siku ya mwisho nilirudi nikiwa sina kitambaa!

Nilifika nikaingia ndani walinzi wakaniongoza mpaka kwa Maiya!!

“Karibu mpenzi!!”

Alinipokea kwa tabasamu Maiya akaja kunikumbatia lakini sikuonyesha uchangamfu wowote mbele yake!

“Sasa umenuna nini baba kijacho jamani!!”

“Maiya mi mapenzi ya kutishiana siyawezi hata kidogo!!”

“Sasa mimi nimekutisha wapi?”

“Sasa ndiyo kauli gani zile za unakuja au hauji? unataka kuniua na mimi?”

“Hahahaha!punguza presha mpenzi mimi sina mpango huo,nataka mwanangu aishi akimuona baba yake,alafu ebhu shika hapa usikie kanapiga teke sijui ka Ronaldo aka katoto jamani!!

“Hahahahaha!ebhu kwenda zako kitoto hata miezi mitatu hakina eti kinapiga teke!”

“Kweliiiiii,huamini ebhu tega sikio usikie kanaimba ako kama #jack_mambo,halafu ukiweka mziki Sasa uwiiiiiih kanacheza kama Michael Jackson!”

“Hahahahhahaa!”

“I can’t wait to see you my beibiiiiiiii!!!”

Maiya alionekana kuwa na hamu sana ya mtoto!Japo nilienda nimenuna Ila vituko vyake vilinipa tabasamu!

“Aya baba sasa hapa inabidi ukamuwekee kijacho mikono!”

“Mmhh!bwana kwani Hana!!”

“Ndiyo hanaaa!”

Maiya alinishika mkono mpaka chumbani akanisukumia kitandani kisha akaanza kuvua nguo zake moja baada ya nyingine!

“Erick nataka unikojolee ndani,unipe mimba nyingine zibebaneee humo humooo!”

Alisema Maiya huku akiwa amebakisha chupi anataka kuivua nikasimama nikamzuia!!

Unawezaje kumruhusu mtoto wa kike anavua chupi na wewe umezubaa tu,utakosa pointi!!

Nilisimama nikamkumbatia ulimi ukianguka shingoni kwanza nikaacha lovebite kama mbili,Kisha nikampa denda la nguvu Maiya akawa anahema juu juu!!

“Mmmh!mmmhhh!mmmhh!”

Nilipitisha ulimi sikioni nikaanza kulisafisha kwa ncha ya ulimi,huku navuta pumzi na kuiachia kwa utaratibu kisha nikaachia na busu mwaaaaaaa,Maiya alisisimka haswa!!

“Oooshiiiiiiiiiiiiiihhh!”

Miguu ya Maiya ilikosa nguvu akajitupia kitandani nikamfuata,nikaanza kumnyonya chuchu zake kubwa na nzuri hatari!

Mkono mmoja nikapitisha pangoni nikawa nampapasa Maiya ambaye alianza kukinyonga kiuno chake huku anahema kwa kasi!!

“Mpenziii nipeeee,nimezidiwaaaa,baba kijachooooo uuuhhhhhssssiiiiii!!”

Maiya alikuwa amelowa zamani bila kuguswa!!

Baada ya kumaliza kufanya utalii wa nje,niliamua kufanya utalii wa ndani!!

Maiya alipitisha mkono na kuichomoa bakora yangu ndani ya boksa,akaanza kuipapasa!

“Mpenziiiii naombaaaaaaa aaahhh!”

Alisema Maiya akimaanisha anataka bakora,nami nampaje bakora kabla sijazama chumvini kabla sijaisugua g spot walau adondoshe bao moja au mbili kwanza??

Ndicho nilichokifanya ulimi ulizamia chumvini kidole kimoja likaingia ndani kucheza  na g spot,mkono mmoja ukawa unapapasa chuchu za Maiya!!!

“Eriiiiiick!”

“Naam!”

“Nioeee!”

Baada ya kumaliza mambo yangu sasa niliingia pangoni taratibu,pango la mwarabu Maiya lilikuwa na joto hatari kama siyo kidume ningeumbuka mapema asubuhi!!

“Oooh!Erick nakojoaaaaa !eriiick mwagia ndaniiiiii!!mwagaaaa uuuhhaaaaasiii tamuuuuuu!!”

***************

Kessy na Saida walifika nyumbani,Saida alionekama kushangaa sana mazingira ya nyumba na vitu alivyovikuta!

Yani alivyochukua havina thamani kama alivyovikuta!!

Machozi yalimtoka Saida akajikuta amekaa kwenye sofa machozi yanamtoka!

“Vipi mpenzi mbona unalia?”

“Naona aibu hata kukuangalia Kessy!!”

“Mbona yameshaisha cha msingi uonyeshe mabadiliko acha tamaa!!”

“Nakupenda Kessy!”

“Nakupenda pia na nimekusamehe!!”

Kessy alimsimamisha Saida akamkumbatia kwa hisia!

Walijikuta wanapapasana mwisho ndimi zao zikakutana kwa hisia wakakanza kubadilishana mate!!

Dakika kumi na tano zilitosha kuwaweka tayari kwa ajili ya pambano!

Tayari walikuwa chumbani wakiwa hawana nguo hata moja!

Saida alikuwa chini kajilaza miguu yake kaichanua,Kessy akiingia kati na kuanza kuipitisha bakora yake juu kabla hajaizamisha pangoni!!

“Baby please ingiza taratibu sijafanya muda mrefu!!”

Alisema Saida kwa sauti ya chini,kitu ambacho Kessy hakuamini ila alianza kuamini baada ya kuanza kuingiza na kupata tabu,hata ilipoingia bado kulikuwa na mbanano wa hatari na joto kali sana!!

“Taraaaatibuuuuu Kessy!”

Mechi ilipigwa Kali sana mpaka mapumziko bao zilikuwa nne kwa mbili!

“Kessy!unajua sijui ni mapepo sijui nini?”

“Kwanini Saida!”

“Mwanaume mtamu kama wewe,nakukimbia halafu nakuibia dahh!mpaka saivi nikijiuliza nilikuwa nataka nini sielewi!!

“Unahisi kwanini ulifanya vile!”

“Sijui Kessy nahisi ni ujana,ujana maji ya moto Erick!”

“Sasa yamepoa eeh!”

“Nimejitambua,Erick sitaki maneno niliimiss hii kitu,tangu nitoke hapa kwako sijawahi kufanya mapenzi nikafika kileleni,sijui uliniroga Ila leo kidogo tu umeshanikojolesha Mara nne,nipe baba nipeee acha maneno!!”

Alisema Saida huku anapanda juu ya Kessy tayari kuendesha farasi!!

JE UNAHISI SAIDA KARUDI KWELI AU ANA LAKE JAMBO?

Sehemu ya 47

Ilipoishia………….Saida baada ya visa vyote alivyomfanyia Kessy,kumuibia mara mbili lakini karudi na Kessy ameonyesha nia ya kumsamehe na tayari wako kitandani wanavunja amri ya sita!

Songa nayo………….

Saida alionyesha kumiss mapenzi ya Kessy!Hata sauti na kauli zake zilisema bila kuonyeshwa!!

Moyoni alikiri kwamba katika wanaume wote aliowahi kuwapitia Kessy ndiye anampatia zaidi!

Alimkuta Kessy kawa mjuzi na mtaalamu zaidi,utamu wake uliongezeka mara dufu.Tofauti na mwanzoni Kessy alikuwa zuzu anayejua kuchomeka na kuchomoa!!

Kessy hakuwa yule tena,Kessy alizijua kona zote,alijua apige wapi golikipa aukute mpira wavuni!!

Kessy alikuwa mtu wa chenga nyingi,Saida akikatia kiuno kushoto  Kessy anakatia kulia,akikatia chini mwenzake anakatia juu!!

Mpaka wanaachiana kila mmoja aliridhika na mapenzi ya mwenzake!

“Kessy!”

“Naomba kesho nikupeleke kwa mama yangu,sitaki nikupoteze tena,umenifunga minyororo sasa baba sitakimbia tena!!”

“Uko tayari kuolewa na mimi?”

“Hata Sasa ivi Kessy ukimleta Shekhe hapa Niko tayari unioe babaangu!!”

“Kwanini umecjanganyikiwa hivi ghafla!!”

“Kessy naona nilikuwa mjinga,sikukujua vizuri hakika umenipatia umanifikisha sehemu sijawahi kufika!!”

Waliongea mengi Sana siku hiyo na kuwekeana ahadi mbali mbali mpaka kufikia hapo kila mtu aliridhika na mwenzake na walikubaliana ndoa ipite haraka iwezekanavyo!!

***************

Baaada ya mechi nzito na Maiya mwisho tulikaa na kuanza kuongea mambo kadhaa!

“Hivi Erick kwanini unakaa siku zote hauombi pesa,huniombi chochote nini tatizo?”

“Hapana Maiya mi naamini kumsaidia mtu siyo pesa,nisaidie kitu kitakochonisaidia siku zote za maisha yangu,unaweza kunipa milioni mia mbili lakini zisifanye kazi yoyote!”

“Okay!nambie unataka nini?”

“Nahitaji kupanua biashara yangu Maiya,niuze mitumba Tanzania nzima na hata nje ya mipaka ya Tanzania!”

“Okay,nipe siku mbili ntakupa jibu!!”

“Sawa ntashukuru!!”

Siku hiyo nililala kwa Maiya nikaondoka asubuhi!!!

Moja kwa moja nilienda mpaka kazini nikamkuta Kessy tayari kashafika!

“Dah!mwanangu umewahi leo,nikajua uko honeymoon unapiga saba!!”

“Acha zako bhana!”

“Vipi umemuacha nyumbani Saida!”

“Hapana ameenda kwao Chamazi!!”

“Nilijua umemuacha akusafishie nyumba,ungekuta kang’oa hadi madirisha!!”

“Hawezi bhana leo alitaka twende kwao,nimekataa nimemwambia siku nyingine ila naona ndoa inanukia!!”

“Wacha weeee!!”

“Siyo ivyo mzee,tumekula Bata sana umri unaenda Kaka!”

“Hahahahaaa!sawa bhana!!”

Nilifungua Banda langu nikaendelea na kupanga panga nilipomaliza nikakaa kusubiri wateja!!

“Ivi Abobo unamfikiriaje?”,aliniuliza Kessy.

“Sitaki hata kumsikia nampigia na simu hapokei mara anakata naona kapanda bei!”

“Dah!unajua nilienda msibani siku ile lakini hakuwa akinijali,hakujua hata nimeondoka sangapi na hajanipigia mpaka leo!”

“Achana naye bilionea Laizer yule!!”

Tulikaa tukaendelea na stori zingine ghafla simu yangu ikaita.

Nilipoangalia alikuwa ni mdada niliyewahi kumuuzia sindiria akaniomba namba,nipokea fastaaa!

“Hallo vipi dada unakuja nini?nikuandalie mzigo!!”

“Hapana Erick,ila kuna marafiki zangu wamependa sana sindiria zako!!”

“Wow!Sasa siuwalete!!”

“Hapana kwani huwezi kuja Erick,tutakulipa nauli zako na fidia,halafu sasa tutanunua kwa elfu kumi kila moja!”

“Duh,wanachukua ngapi?”

“Wewe lete kali kabisa hata thelathini!”

“Wapi Sasa?”

“Njoo kawe ukifika hapa ofisi za Cloudz  mbele kidogo kuna geti jeusi ndipo ofisi zetu zilipo!!”

“Powa nakuja ila msiniangushe!!”

“Powah!usiwaze we lete nzuri kama ulizoniuzia!!”

Niliinuka nikachukua sindiria kali kama hamsini nikazitia kwenye begi,kisha nikamuaga Kessy aniangalizie naenda sehemu!!

Nilifika mpaka kawe kwa maelezo ya Beatrice nikafika mpaka kwenye lile geti nikagonga nikaruhusiwa!!!!

“Vipi Kaka!”,aliniuliza mlinzi!

“Kuna mtu nimekuja kuonana naye!”

“Anaitwa nani?”

“Beatrice!”

“Okay,subiri!”

Yule mlinzi alipiga simu kisha nikaruhusiwa akanielekeza nikaenda!

Niliingia kwenye ofisi kubwa nzuri,mbele kulikuwa na kina dada kama nane hivi!!

Hakukuwa na mwanaume hata mmoja kwenye ile ofisi!!

“Karibu Erick!!”

Alinikaribisha Beatrice Kisha akanitambulisha kama muuza sindiria!!

“Mkaka mzuri unauza sindiria,unataka kuiba wake za watu!!”

“Hahahahahahhaah!”

Alitania dada mmoja wote tukacheka!!

“Muiteni  na boss aje achague!”,alisema mmoja wapo!

“Mmh!Alice kwa nyodo ebhu ngoja nimcheki!”,alisema Beatrice kisha akaingia kwenye chumba kingine ambacho ndicho ofisi ya boss wao!

“Ebhu zimwage hapa tuchague!!”

“Na za sisi kina Isha Mashazi zipo?”,aliuliza akimaanisha watu wanene!

“Zipo saizi zote dada wewe tu!!”

Beatrice alitoka kwenye ofisi ya boss,Kisha akasema amesema nimpelekee ofisini!!

Nilibeba kama sindiria kumi na tano nikaingia nazo ofisini!

Nilimkuta mwanamke amekaa kwenye kiti chake kavalia suti na miwani kainama anapitia makaratasi yake!!!

Nilipoingia alinyanyua macho akanitazama……

La haula!Macho yangu yalitua mwanamke ambaye nikimuonaga mwili unakufa ganzi,mapigo ya moyo yanasimama,sindiria zote niliziachia zikaanguka chini!

Nikabaki nimeduwa mdomo wazi,macho nimeyatumbua kama mjusi kabanwa na mlango!!

JE NI NANI HUYU MWANAMKE??

MTAJE KAMA UNAMJUA!!

Sehemu ya 48

Ilipoishia………..Erick kakutana na mwanamke anayemtafuta miaka mingi,mwanamke ambaye alibadilisha maisha yake kipindi cha nyuma kabla hajazama tena kwenye starehe za ujana!

Songa nayo……

*********

Mwili ulikufa ganzi,mapigo ya moyo yalisimama kwa sekunde kadhaa!

Kitendo cha kuangusha sindiria chini,kilimfanya yule dada anitazame kwa makini kabla hajaniuliza chochote!!

“Kaka vipi?”

Aliniuliza lakini bado nilibaki nimeganda kama sanamu!!

“We mkaka!”

“Na..naa…naaam!”

Alivyoita mara ya pili nlishituka nikaokota sindiria zile chini Kisha nikamuwekea mezani huku nababaika!!!

“Karibu…sindiria ni..ni… nzuri!!”

“We mkaka vipi?okay weka hapo toka nje nizijaribu ntakuita!!”

Japo kulikuwa na AC ila nilihisi kijasho chembamba kikinitoka!!

Nilitoka nikarudi kwa wale wadada huku nikiwa nimepoteza ile hali ya kuchangamka!!

“Vipi chinga mbona kama uchangamfu hakuna!”,aliniuliza Beatrice!

“Au Alice kamvuruga nini maana huyo sista naye siyo poa!!”

“Mmmh!eti itakuwa ivi kweli Alice mlishamuona na mwanaume!!”

“Mi tangu nimekutana naye hapa sijawahi kwa kweli yule anajikutaga mtakatifu!!”

“Hahahaha!hao wakimya ni balaa Wana yao chini chini,unakuta wanachepuka hatari!!”

“Taratibu akiskia kazi hamna!”

Mada ilibadilika wakaanza kumjadili Alice,mada zao kidogo zilinipa mwanga kidogo kujua Alice ni mwanamke wa aina gani?

Mpaka hapo nikajua Alice ni mwanamke ambaye hana mzaha kabisa,na pia siyo mtu wa wanaume kabisa!!

Wakiwa wanaongea simu ya kwenye meza ya Beatrice iliita!!

“Shiiiiiiihhh!anapiga!”

Aliipokea akaweka sikioni Kisha nikamsikia anasema “okay!”.

“Chinga boy kaonane na Pilato huko ndani anakuita!”

Haraka niliongoza mpaka mlangoni huku nikijivika ujasiri wa ajabu,moyoni niliapa lazima Alice ajue yanayonisibu!!

Cha ajabu nilipoingia tu mle ndani,ujasiri ulinisaliti ukanikimbia na kuniacha peke yangu!!

“Ntachukua hizi tano shingapi?”

Alisema Alice huku ananiangalia,alikuwa ni binti anayeonekana kuwa na msimamo Sana!

“Elfu tano tano tu!”,nilijibu haraka!

“Mbona Beatrice kasema elfu kumi kumi?”

“Ndiyo hiyo hiyo!”

“Okay!nimezipenda nzuri!!”

Alisema Alice akaingia kwenye droo akatoa noti akahesabu noti kumi akanipa nikazipokea!

Iyo nyingine ni fidia ya usafiri wako eeh na muda!

“Ahsante!!”

“Uwe unatuletea maana hatuwezi kuja kuzunguka huko madukani tuko bize sana!”

“Sawa!”

Nilijibu nikageuka ili niondoke lakini nikasikia sauti inaniambia!

“ACHA UJINGA MWAMBIE UKWELI!!”

“YAANI WE FALA KWELI SASA UTATESEKA HADI LINI?”

Sauti ziliendelea kuniandama kipindi hicho nimefika mlangoni nimeshikilia kitasa!

Nikakumbuka kauli ya Kessy anayeamini katika hisia,huwa hachezei hisia zake,kama anampenda mtu hajifichi na hata umkanye vipi anafuata hisia zake!!!

Nikakumbuka ujasiri wa Abobo jinsi ulivyompa maisha Abobo anaishi kimilionea!!

“UKIMPENDA MTU MFUATE SIYO UNAFICHA HISIA ZAKO KWAKE,UTAISHI KUWA MTUMWA WA HISIA SIKU ZOTE,MAISHA YAKO YOTE,PIGANIA HISIA ZAKO ERICK!”

Niliiskia sauti ya Kessy ikinikanya moyoni,miguu nayo ikagoma kuongeza hatua kutoka mle ndani,mikono ikawa mizito kuzungusha kitasa na shingo ikalazimisha kuzunguka ili macho yamuone Alice,mwanamke anayenitesa kihisia bila yeye kujua!!

Ghafla niligeuka nikamuangalia Alice ambaye alishtuka na kuniangalia kwa mshangao!!

Tukabaki tumeangaliana uso kwa uso,mdomo wangu ukafunguka na kusema!!

“Hunikumbuki?”

Alice alitoa miwani yake akaniangalia Kisha akaniuliza!

“Tulishawahi kuonana?”

“Ndiyo,tulionana!”

“Wapi?mbona sikukumbuki!”

“Club!”

“Umenifananisha mimi siyo mtu wa Club,nina miaka siendi Club!”

“Ndiyo ni miaka kadhaa pia nyuma,tulionana na ukanipa kidonda chenye maumivu makali lakini yenye raha kwa mbali!!”

“Sikuelewi unajua!!”

“Siku ile Temeke miaka kadhaa huko nyuma nilikuwa club maarufu sana Temeka,Giraffe,nilimuona dada mmoja mrembo anakuja kaunta na kuagiza Savanna!

Alikuwa amevaa vizuri na alipendeza kweli!

Macho yangu yalitua kwake na kukiri kuwa msichana nimuonaye ni mrembo kuliko wanawake wote mle Club!!!

Akili ya pombe ilinifanya nikushike mkono wako,unajua ulijibuje?

“We Kaka vipi?”,kwa ujasiri nikasema

“Muhudumu mpe huyu Savannah kumi kwa bili yangu!”,ndipo ukanioa maneno yanayoishi mpaka leo ndani ya moyo wangu!”ulisema….

“Kaka naweza nikainunua hata hii Club nikitaka,hizo pesa kamsaidie mama yako si ajabu ana maisha magumu we unalewa humu!!”

“Dada unanitusi Sasa!!”,nilisema lakini ukaongeza kwa kusema…

“Usimchukulie kila aliye humu ni Malaya wengine tumekuja na stress zetu niachie unaniletea uzuri hapa utaolewa msiiiiyuuuuuu!!!”,ndivyo ulivyomalizia ukaondoka zako!!!

Naweza kusema zilikuwa pombe,lakini mbona hata zilipoisha mpaka leo nakukumbuka?nakuota nikilala?kwanini niliamka nikatuma pesa nikamjengea mama yangu nyumba kubwa ya kisasa kijijini,tena kwa kuongezea na pesa za kukopa?kwanini nilimfungulia biashara sasa anaishi vizuri!

Kuna muda nasema ni pombe,Ila nakataa ona sijalewa lakini nimekukumbuka,nilikutana na wewe Samaki Samaki Masaki nikakukumbuka!

Ulikuwa umeongozana na mzungu,nilishindwa kukufuata lakini Mungu kanikutanisha na wewe tena leo!!

Nimeshindwa kuondoka bila kuutua huu mzigo nimechoka Alice!Nimechoka kabisa moyo wangu hauna amani!Naishi kama mnyama wakati ni binadamu!!

Alice aliinama akachukua kitambaa chake akajifuta machozi Kisha akanipa kile kitambaa pia nijifute machozi!!

Nilifanya vile Kisha akanipa kalamu,akaniambia niandike namba zangu kwenye ile leso,niliandika namba na jina langu kisha nikamrudishia!

Aliangalia kisha akaniambia kwa sauti ambayo ni ya mtu aliyekuwa anajizuia kulia!

“Nitakupigia Erick!!”

JE ERICK AMEFANIKIWA AU BADO KIBARUA KIGUMU?

Sehemu ya 49

Ilipoishia…………Erick hatimaye amekutana na mwanamke ambaye amekuwa akimtafuta miaka mingi Sana!!

Songa nayo……..

Kitendo cha Alice kuomba namba yangu,kilinipa furaha na amani ya moyo sikuwa na neno la kupunguza wala kuongeza!

Kama ni nia basi nimetia nia ya dhati kabisa,nilikaa kusubiri kuteuliwa,kuona kama nitapitishwa au lah!

Nilifungua mlango nikatoka huku nikiwa mwepesi!

Sikuwa nimewahi kujiskia mwepesi kama siku ile aiseeh nilikuwa na amani sana moyoni mwangu!!

“Vipi mbona tabasam pana,Hitra kacheka nini?”,alinitania Beatrice!!!

“Nawahi bhana acheni mambo yenu mmechangua zipi?”

Siku hiyo niliingiza pesa kuliko navyouza hata kijiweni!!

Nilikusanya kama laki nne na kitu kwa hawa wadada!!

Niliondoka nikiwa nina furaha sana,kwanza nilikuwa na hela pia nimemuona na kuongea na mwanamke ninayempenda kuliko wanawake wote!

Nilirudi nikamkuta Kessy anaendelea na biashara baada ya hapo ulifika muda wa kufunga!

Tulifunga kisha Kessy akaniambia ….

“Erick mimi naona unipeleke kwa kina Saida kesho nikajitambulishe!!”

“Sasa wewe mi na hayo mambo wapi na wapi?”

“Kwanini?”

“Inabidi tumtafute mtu mzima twende naye!”

“Aah!tunaenda kujitambulisha tu kwanza siku hizi hamna mambo ya kimila yamepitwa na wakati!”

“Poa basi tunaenda sangapi?”

“Twende asubuhi saa nne ivi!”

“Kwahiyo kesho hatufungui?”

Kessy ni mwanaume wa kweli,japo ni domo zege,ila amenifundisha vitu vingi sana!

Ni binadamu anayeheshimu hisia na kuzipigania pia.Yeye ndiye aliyesababisha nipate ujasiri wa kuongea mbele ya Alice!!

Sikumficha nilimuambia ukweli Kessy kuhusu Alice akanisifia kwa kuwa mwanaume wa kweli!!

“Erick,umekuwa mwanaume sasa naamini baada ya ndoa yangu kupita,mimi na Saida tutacheza kwenye ndoa yako!”

“Hahahahaha!nakushukuru wewe,unayejua kutofautisha hisia na tamaa!

Nimeishi na wewe nikikuona ukitamani na mwisho nakuona ukipenda!”

*********

Kesho take tulienda kwa kina Saida tukajitambulisha,tulipokelewa vizuri sana!

Saida alifurahi sana na ndugu zake walitupokea kwa ukarimu mkubwa sana!

Tulikula Kisha tukaondoka zetu mapema tu.

Kwa kuwa tulikuwa tunatoka Chamazi tulipitia Dar live Mbagala Zakhiem tukanywa sana pombe siku hiyo..

Kila mtu alikuwa na furaha,tofauti na siku nyingine tulizoenda bar au Club.

Hatukuwa na mawazo na wanawake!Kessy hakuwa yule mtu wa kutoroka na kurudi akiwa anafunga zipu tena!

Tulikunywa kisha tukaondoka nikarudi zangu nyumbani nikiwa peke yangu!!

Nilifika nyumbani nikamkuta jirani akiwa koridoni anapika zake!!

Pembeni ya mlango wake niliona viatu vya kiume!Moyoni nilipata furaha maana nilijua sasa hatonisumbua tena na nyege zake!!

Nilimsalimia akaitikia nikaingia zangu ndani nikiwa nimelewa japo si sana!

Nilijitupa kwenye sofa nikawasha mziki nikaanza kucheza nyimbo tamu ya G nako gusanisha!!

Sijui nililala sangapi?nilishtuka asubuhi nikiwa na njaa sana,nikakumbuka usiku sikula nilikula mchana tu!

Niliamka nikatafuta supu magengeni  nikanywa kisha nikaenda kazini!!

Kuanzia siku ile mipango ilifanyika ya maandalizi ya harusi ya Kessy na Saida!

Nilihusika kwa asilimia zote kufanikisha furaha ya rafiki yangu,Abobo nilipompigia simu hakupokea na muda mwingine alikuwa anakata!!

Namshukuru Mungu ndani ya wiki mbili mbele Kessy na Saida walikuwa mume na mke!

Sherehe ilifanyika japo haikuwa kubwa Ila ilijitosheleza!

“Dah!Ila mambo yameenda fasta sana ndugu yangu saivi umekuwa mume wa mtu Sasa!”

“Hahahahaaaa!”

“Dah!nimebaki mimi sasa Club ntakuwa naenda na nani?”

“Hahahaha!nadhani na yako imekaribia!”

“Dahh!tuombe Mungu tu!!”

“Ila mshikaji wangu sikufichi,nimeumia sana Abobo kutokuhudhuria harusi yangu!!”

“Usijali mwanangu,ndiyo dunia yule alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba!”

“Halafu nimekumbuka vipi yule nani yule Alice alikutafuta!”

“Dah!hakunitafuta na pia nilikuwa bize na harusi yako labda nianze kufuatilia saivi!!”

“Fuatilia mwanangu!”

“Powah!”

Siku hiyo Maiya alinipigia simu jioni nikaenda kwake ambako kama alivyoniahidi alinikutanisha na Kaka zake wanaoishi dubai na mmoja anakaa china!!

Tuliongea mambo mengi hasa biashara ,mwisho tukakubaliana nianze kufuata mzigo china na Dubai!!

Baada ya kuongea nao waliondoka na kuniacha na Maiya!!

“Ahsante Maiya!!”

“Usijali Erick,nataka ufanikiwe uishi maisha yako kwa raha na amani!!”

“Unamaanisha nini?”

“Erick mimi sitaki kuolewa,nilikuwa nataka mtoto nashukuru naenda kuitwa mama na mimi,halafu mimba yangu ni ya mapacha!”

“Mapachaaa!!?”

“Ndiyo Erick ulilenga penyewe,nakushukuru kwa hilo,we ni kijana bado tafuta binti saizi yako uoe!kama nikikuhitaji ntakuambia uko huru Erick!”

“Nashukuru Maiya!”

“Ukikwama popote nambie nitakusaidia,pia hiyo cheki hapo ni ya milioni  hamsini najua itakusaidia sana!”

Maiya hakutaka hata kufanya mapenzi na mimi tena,niliondoka nikiwa na furaha!

Kwa uzoefu wangu wa biashara niliokuwa nao,niliamini sasa naenda kufanikiwa muda si mrefu!!

Nilienda benki kesho yake nikadroo milioni hamsini za cheki ya Maiya Kisha nikaziingiza kwenye akaunti yangu jumla nikawa na milioni tisini za kitanzania!

Nilitabasamu Kisha nikasema “NIFELI MWENYEWE!”

Nilienda kazini nikamkuta Kessy ameshafika,nilichelewa sana sababu nilipita benki!

Nilimshirikisha wazo langu langu la  biashara akakubali!

Akasema yeye ana milioni sitini benki,hivyo tulikubaliana tutaanza wote kufuata mzigo China na Dubai!

“Ila mwanangu unaniangusha sana!”,aliniambia Kessy!

“Kwanini?”

“Unajua nasubiri uniambie chochote kuhusu Alice halafu uko kimya tu!”

“Dah!hajanipigia mwanangu!”

“Kwanini usimfuate sasa!”

“Dah!Ila kweli ntaenda!”

“Siyo utaenda,nenda saivi mimi ntakuangalizia na ukichelewa ntakufungia banda lako!!”

“Dah fresh mwanangu ngoja niwahi!”

Kessy ndivyo alivyo,hapendi kuona mtu anadharau hisia!Alikuwa tayari kubaki peke yake akiangalia biashara ili aniruhusu kwenda kupigania hisia zangu!

Niliondoka nikachukua bodaboda mpaka kawe!!

HAYA SASA MAMBO NI MOTO?

JE UNAHISI KWANINI ALICE HAJATIMIZA AHADI YAKE??

Sehemu ya 50

Ilipoishia………….Erick akiwa kwa Anti Suzy na Alice,wanapokea taarifa ya kifo cha Maiya, mwanamke aliyemuua mumewe sababu ya Erick!!

Songa nayo……..

Nilishindwa kujizuia,machozi yalinitoka kama mvua!

Nilitoka mezani nikaenda zangu chumbani kule nililia sana, Alice alinikuta kule!

“Erick unalia nini? unamjua?”

“Hapana simjui Ila imenikumbusha kifo cha baba yangu!!”

Nilimdanganya Alice akanielewa,tulitoka wote mpaka msibani!

Kwa sababu ya ndugu zake walikuwa Dubai,Oman na nchi zingine,mazishi yalifanyika kesho yake!

Nililia sana msibani siku ile,nilikuwa nina kila sababu ya kulia siku ile!!!

Nikiangalia kaburi la Maiya na wanangu, uchungu ulinizidia!!!

Nilimkumbuka Maiya kwa mengi,nikakumbuka mara ya mwisho alinipa cheki ya milioni hamsini,nikafanye biashara,pia akaniunganisha na ndugu zake wa Dubai na China kibiashara!!!

Msiba ulipita maisha mengine takaendelea na taratibu zote zikafuatwa,tangazo la ndoa likafanyika kanisani!!!

*************

Alice alikuwa amefuata dini ya mama yake,tofauti na Aisha aliyemfuata baba yake!

Hivyo tulianza kuhudhuria mafunzo ya ndoa kwa miezi mitatu!

Hayawi hayawi mwisho yakawa,haowi mwisho nikamuoa mwanamke wa maisha yangu!!

Naukumbuka usiku wa kwanza ananivulia nguo,nakusimama mbele yangu!!

Bakora yangu ilisimama maradufu, ukizingatia ndiyo naenda kukata utepe mwenyewe!!

“Mume wangu naogopa!!”,aliongea Alice baada kumlegeza na sasa ulikuwa muda wa mwiko kuzama chunguni,kuonja chumvi kama iko sawa!!”

“Usiogope mpenzi,nafanya taratibu!!”

“Ingiza kichwa tuuu…asiiiiihh..naumia chomoaaaa aaashiiiii!!”

Alilalamika Alice baada ya bakora kuzama na kuchana bikra yake aliyoitunza kwa miaka mingi!!

“Oooshiiiii!!mumewanguuuu,naumiaaa jamaniiii,aaahhsiiii!!”

Nilijua kuna kazi kubwa kuitoa bikra,huruma huwa siyo nzuri kabisa!!

Nilifanya mchezo wa kuingiza na kutoa mpaka nikakojoa nikatulia!!!

“Umeniumiza mume wangu!!”

“Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi mkewangu!!”

“Ahsante mume wangu!!”

Sasa Erick ni mume wa mtu,maisha yangu yanaenda safi,biashara inasonga nikisaidiwa na mwanamke mwenye akili na maono ya maisha!!

Siyo kila mwanamke anaweza kusimama nyuma ya mwanaume akafanikiwa,wengine wapo kwa ajili ya kuchuma na kukuacha mweupe!

Alice ni mwanamke ambaye kila mwanaume anatamani awe naye!!

Tumejenga Kigamboni,biashara yetu imepanuka zaidi,nategemea kuitwa baba hivi karibuni!!

Siku moja Abobo alinipigia simu akinialika kwenye starehe!!

“Kaka kama vipi twenzetu maisha Club kuna bonge la shoo watoto kama wote!!

“Hahahahah!nimeoa Kaka Mimi na watoto wapi na wapi?mpigie Kessy!!

Alimpigia Kessy akakutana na jibu lile lile Kisha akatuma meseji!

“MNAJIKUTA MMEOA, KUOA HIYO KWIYO!!”

 Abobo bado hajaacha mambo yake,bado anaendekeza starehe na kubadilisha wanawake!!

Tumemuachia mabanda yake,tunamsubiri ajitambue tumuunganishe kwenye biashara yetu inayotupa mamilioni!

Sasa wenzake tunamiliki nyumba na usafiri wa maana yeye bado amepanga,kama kuna mwanamke anaweza kumtulia huyu jamaa anitafute tafadhali!!!!

Kessy anaenjoi na mkewe Saida,nakula Bata na Alice,Abobo analewa!!

Kama kuna kitu umejifunza tafadhali toa maoni yako!

Binafsi nimeona madhara ya starehe na kuruka na wanawake tofauti mwisho utajikuta umetembea na shangazi yako bila kujua!

Starehe gharama, starehe Zina mwisho wake,ukiwa na pesa siyo lazima ufanye starehe,tumia kipato ulichonacho kuongeza na kupanua biashara yako kila siku!!!

Akili za kuambiwa,changanya na zako,ukimpenda mtu pambana!

******MWISHOOO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥*****

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!