DADA WA KAZI
Episode 21
halafu baby nina habari njema kwako”
“Mmmh, habari gani?”
“Ile ishu imekata jana so leo nakupa mama la mama, ujitafunie utakavyo”
“Ololololooo kweli?” Dullah aliuliza
“Ndio”
“Haya shika hii kanunue sabuni, itakayobaki ya kwako ukate na ile ulinunua soda siku ile” Alisema akimpa Noti ya elfu kumi
“Hahaha…..asante mpenzi mmmwaaah” Binti alimbusu mdomoni halafu akaondoka akikimbia kuelekea dukani.
Dullah alitoka akaingia ndani na kujiandaa kumkwanyua
“Hii ni mara ya mwisho, kesho atanisikia bombani tu shenzi huyu” Aliwaza mwamba na kutabasamu kidogo halafu akachukua simu na kuingia Twitter anajisomea Memes.
*
Baadaye binti alirudi, akiwa na sabuni, akaenda kuloweka nguo kisha akaingia chumbani na kujivua nguo zake zote baada ya hapo alitoka na mtandio akaelekea chumbani kwa Dullah kumpa huduma maalumu.
.
Dullah akimuangalia mtoto alivyo na mtandio, nafsi ilikuwa inamuuma kabisa kabisa, mtoto alikuwa analipa.
Mtindi sio wa kawaida, halafu tako lileee, mlima kilimanjaro kama katuni za Masoud jamani, akawa anatembea kwa mapozi huku akijigeuza geuza mtoto wa kike.
Binti aligeuza kalio hivi dullah akabaki anaguna kiume “Bsssssssh……..bsshshffff yaani wewe mtoto umejaliwa jamani” Alisema
“Utanioa?” Aliuliza mtoto wa kike kwa hisia
“Nitakuoa mpenzi usijali” Dullah alisema suala la uongo
“Woow” Alienda akamuangukia “bas ngoja nikupe mali yako mume wangu mtarajiwa” Alisema na kumkalia wakaanza kulala taratiiibu kitandani kwa furaha ya ajabu huku wakipigana mate
Mtoto wa kike alimpanulia miguu huku mtandio ukifunguka halafu akaanza kumkatikia hivyo hivyo.
Dullah siku hiyo hakuchelewesha, alishusha bukta na kuchomoa mjeledi halafu akamlengeshea binti akiwa juu, alianza kuukatikia huku akimsifia
“Umejaliwa, aaaash ikiingia tu mimi siwezagi kufanya chochote nabaki naisikiliza tu mpenzi aaaazh aaah oooh baby” Alisema mtoto wa kike halafu akawa ameingiza ulimi katika sikio la kijana huyo anamtekenya taratiibu kabisa
“Wooow” Alisema kijana kwa hisia “Nitakumiss nikiondoka” Alisema Mtaalam huku akimkumbatia na mkono mmoja akilishika kalio akawa analipapasa taratibu.
Episode 22
“Wooow””Nitakumiss nikiondoka” Alisema Mtaalam mkono mmoja akilishika kalio akawa analipapasa taratibu huku binti akiikatika kama vilie anataka wasifanye tena
Alilizungusha kushoto kulia halafu akanyanyua kiuno juu ikachomoka
“Noo”
“Aaaaagh” Mtoto wa kike alisema na kushusha kiuno chini akakutana nayo ikaingia tena ndani
“AAAAAASH baby” Alisema huku akipiga mikelele kama yote “Nakupenda Dula nakupenda mbona leo hukojoi” Alianza kulalama akakizugusha kwa fujo huku kijasho chembamba kikianza kumtoka akizidi kumkumbatia maana yeye alishafika muda sasa kazi kumfikisha mwamba
“Baby, kojoa, aaaj kojoa ndani mpenzi kojoa aaaash” Alisema kwa hisia mtoto wa kike “aaaaash aaash” Alisema kwa hisia kali huku akizidi kumkatikia
Saa ngapi asianze kelele Dullah “Baby ooh zinakuja zinakuja” alisema
“Haya, kojo tu baby nataka” Alisema kwa furaha ndipo jamaa akamkojolea ndani bila kuogopa siku moja baada ya MP huwa sometimes sio nzuri sana
**
Binti alienda akafua nguo zake safi kabisa halafu baada ya kufua nguo alitulia na kufanya kazi zingine za nyumbani kama kupika na kadhalika
Dullah alijisifu sana
“Huyu binti ni mtamu kabisa ila malaya” Aliwaza huku akichungulia nje ya nyumba. Halafu akatoka na kwenda kukata ticket
Kesho yake Jumamosi Alfajiri Dullah aliamka na kuoga halafu akaswaki.
“Mzee wangu” Alimuita baba yake
“Naam” Mzee aliitika na kushuka kitandani akatoka chumbani
“Mi ndo naondoka hivyo” alisema maneno ambayo yalimshtua mtoto wa kike aliyekuwa ameshashtuka usingizini na aliketi kitandani
“nini” aliwaza Omega huku akisikiliza kwa makini
“Ndo unaondoka, basi muage mama yako mimi natoa pikipiki nikupeleke hadi stend” Alisema mzee
“Mama Amka basi” alisema Dullah
“Niko macho, mwanangu” mama alisema
“Naondoka nakuaga mama angu” Alizungumza
“Sawa Allah akuongoze mwanangu utukumbuke baada ya kufika salama”
“Asante mama”
Ghafla Omega alifungua mlango na kutazama “Ah Omega” Alisema Dullah
“Ndo unaondoka?” Aliuliza
“Ndio”
“Bila hata kuniaga?” Aliuliza
“Mmmh samahani” Alisema Dullah
“Haya” Binti alitamka na kufunga mlango kwa nguvu halafu akajilaza kitandani huku roho ikimuuma”
Episode 23
” Binti alitamka na kufunga mlango kwa nguvu halafu akajilaza kitandani huku roho ikimuuma”
Dullah alitoka nje na kupanda pikipiki ya baba yake basi akapelekwa stand kwa ajili ya kwenda kupanda gari kuelekea jijini Mwanza
Walipofika stand Dullah alitoa shilingi 50000 akampa baba “Asante baba tutawasiliana”
Alipanda gari halafu gari ikaondoka baada ya muda robo saa
Kwenye gari message za lawama zilikuwa haziishi kutoka kwa Omega kila mara akimlaumu kwanini ameamua kuondoka bila kujali kwamba anampenda
Baba alirudi akaenda kwanza dukani kumchunguza mkewe kama yupo ili akamkwarue binti wa kazi
“Bora leo umekuja kunisaidia na mimi nikapumzike nyumbani” Alisema Mama Dullah baada tu ya kumuona mumewe”
“Hahaha….ni haki yako mama yangu…ila basi ngoja nikaoge haraka nakuja sa hivi”
“Haya mume wangu” Alisema mama
Mzee alidandia pikipiki na kuwahi nyumbani ndipo alipomkuta binti amehuzunika sana hata kuosha vyombo hawezi ikabidi ambembeleze mpaka binti akalainika wakachapana Rungu kimoko, mzew akaoga na kwenda dukani huku akiwa na furaha tele
BAADA YA MWEZI MMOJA
Mzee Saleh au Baba Abdallah alikuwa ametokea kwenye SACCOSS kwani alikuwa hajaenda kazini kwa sababu ilikuwa ni sikukuu kitaifa
Alipita dukani kwake voop akiwahi nyumbani
“Baba Abdallah, Baba Abdallah” Mama aliita kwa nguvu lakini mzee alijifanya hasikii akiitwa hivyo akanyoosha.
Ilipita kama dakika moja akacheka kwa nguvu “Ananiitia nini ngoja niende kwa mke mdogo mie” Mzee alisema kwa furaha huku akivua helment
Alifika mpaka nyumbani akapaki pikipiki halafu akasogea mlangoni bila kuita ili amfanyie surprise binti Omega
Alicheki jikoni Omega hayupo, akafungua chumba chake akachungulia bado akamkosa halafu akaamua kwenda mpaka sebuleni huku akinyata nyata.
Alipofika sebuleni alimkuta binti amesimama huku akitazama dirishani kama vile ana mawazo
Baba alienda kwa kunyata anataka kumkumbatia
Lakini akili ya binti ilikuwa mbali ana alikuwa akiwaza hivi
“Sasa hii mimba itakuwa ya nani?” Alijiuliza kichwani mwake “Ya Dullah? Hapana…..Ya baba?” Alizidi kujiuliza Au ya Nick? Mh sio Steve kweli, au Yerik.
Episode 24
Tuliishia pale Omega na Baba walipofumaniwa na mama
Endelea sasa
“Mke wangu” Alisema mzew huku akiitafuta suruali ilipo.
Mama alilegea kabisa akawa ameketi chini hajaamini kama mumewe angeweza kufanya suala la aibu kama lile
“Siamini baba Abdala….siamini” Alisema mama huyo na kuinama akalia kama mtoto mdogo kiukweli lilikuwa suala la fedheha
Mzee alipoona yamekuwa hayo aliamua kutoka na kuwahi chumbani kwake akaenda kuvaa nguo huku akijilaumu “Mimi ni mjinga sana”
Mama naye alimrukia Omega kitandani akaanza kumpiga
“Shenzi….shenzi….Mbwa wewe” Alisema na kumvuta binti akamtupa chini
“Mamaa….ninaumia” Alisema binti baada ya kujigonga kwenye sakafu
Mama alizidi kulia bila kuelewa afanye nini “Yaani wewe kweli omega wewe? Aliuliza na kuchukua simu yake akapiga chini kwa hasira.
“mama nisamehe” Aliomba lakini mama alimuwahi akampiga kibao “mimi sio mama yako mshenzi wewe”
Sasa kila mara mama akifikiria tukio lile aliishiwa nguvu akajikuta analia na kuketi kitandani “Mungu nilikukosea nini mimi…aaam…hiiiih”alilia sana
Omega alipoona ishakuwa hatari, alichukua khanga na kutoka akikimbia akaenda kujificha nyuma ya choo
Halafu baba yeye alikuwa ashakipimbia muda mrefu sana.
Mama aliona suluhisho ni moja tu, kumtolea binti nguo zake na kila kilicho chake akamtupia nje. Halafu akafunga mlango wake na kuondoka kurudi dukani.
Omega alibaki pale nje akilia, alijutia matendo yake, kibarua kishaota nyasi, aliinuka na kuokota nguo, na viatu akakusanya kwenye begi kisha akaenda kwa mguu mpaka mbele kidogo huku akiwaza “Naenda wapi saa hizi, Songea nitafika?” Aliwaza sana mtoto wa kike kisha akatoa pesa kwenye begi na kuchukua pikipiki akaomba apelekwe stendi
Alipofika stand kwa bahati nzuri aliweza kupata fursa ya gari Inayoenda muda ule wa saa 9 alasiri. Alienda hana hata simu masikini ya Mungu mwili ulimpoza
Ikiwa ni muda wa saa 3 usiku, alifika kijijini kwao, akapokelewa vizuri lakini pia alikuwa ameshanunua kitochi cha kumsaidiaa ila laini alisajili mpya maana ya zamani hakuweza kurenew, kwani alisajiliwaga
Aliwaza sana binti
Huko Iringa aliacha visa vya kutosha,
FINAL
Huko Iringa aliacha visa vya kutosha, baba Alikuwa amempigia magoti mkewe anamuomba msamaha lakini mama naye alichukua nguo zake akatoweka nyumbani akaenda kwao huko Makambako
Haikupita muda sana, mzee alimfuata wakayamaliza na mama alirudi nyumbani wakaendelea na maisha japo upendo uliyoyoma na kupungua zaidi.
BAADA YA WIKI
Binti alikuwa akitapika sana nyumbani ndipo mama akagundua ana mimba
“Omega una mimba?” Mama aliuliza
Binti alilia na kujibu “Ndio mama” Alisema Omega
“Oh….oh….oh, baba Luka njoo” alimuita mumewe mama huyo
“Nini?”
“Mtoto wako simuelewi”
“Kivipi”
“We njoo”
Baba Luka alitoka akiwa anavuta tumbaku ndipo akafika pale na kumkuta binti akilia
“Vipi tena”
“Mtoto wako ana mimba” Alisema mama ndo mzee akashtuka na kumuita
“Omega!!!!!” Aliita
Binti hakuweza kuitika aliinua kichwa tu na kumtazama baba
“Una mimba?” Aliuliza na binti alitikisa kichwa kukubali “Ohooooo…..ya nani?” Aliuliza
“Ya baba mwenye nyumba aliyeniajiri” Alisema
“Eeeh????” Alishangaa Baba na kuondoka pale akaenda ndani
Baada ya dakika moja alitoka na panga akaanza kumkimbiza binti
“Mpumbavu mmoja wewe nimekutuma ukafanye kazi sio umalaya” alisema huku akimkimbiza
“Auwiiii, auwiiiii, nisamehe baba” Binti alipiga mayowe lakini mzee hakuelewa
“Rudi huko Huko ulikotoa hiyo mimba” Alizidi kumfukuza kwa kasi ana panga mpaka binti akafika mbali
Hata hivyo kwa jinsi baba alivyokuwa mkali, Omega aliogopa kurudi nyumbani akapotea mazima na ilipita muda mrefu bila kumuona wala kujua alipopotelea na wala hawakujali kwa sababu ndivyo familia zetu za kiafrika nyingi zilivyo
HAKIKA MSHIKA MAWILI SIO LAZIMA APONYOKWE NA MOJA, BALI ANAWEZA PONYOKWA NA YOTE PIA
HAYA YALIKUWA MAISHA YA BINTI OMEGA BAADA YA KUFANYA KAZI ZA NDANI KWA MUDA MREFU
MWISHO WA HADITHI..
*
Wapi uliinjoy simulizi hii?
Pia umejifunza nn kwenye simuliz hii?
.