𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗠𝗞𝗪𝗘 𝗙𝗨𝗡𝗗𝗜, 𝗞𝗔𝗠𝗭𝗜𝗗𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗘
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya kwanza
Kwanini unataka kuondoka saizi wakati jambo nililokuitia bado.
” Mama mume wangu nimemuaga nakuja ila silali.
” Yani asma unajiendekeza usilale hapa sio kwenu nipe namba nionge na mume wako.
” Mama si ungeniambia tu saizi niwai kurudi.
” Nipe namba nionge na uyo mumeo.
( Mke wangu akaona atoe namba yangu)
” 075747206.
” Sawa nampigia.
( Kabla ajapiga alienda mgeni ambaye shoga wa mama mkwe na mama mkwe akamwambia yule shoga yake)
” Asma amekuja nimemuita mala saizi anataka kumuwai mumewe uyu akili anazo kweli?
” Iyo ndoa yeye ndio wa kwanza kuolewa unajua mama yako anataka kukwambia nini usiku.
( Mke wangu alikaa kimya yule shoga wa mama yake akaendelea)
” Asma umezaliwa peke yako mama yako anataka kukupa maujuzi ya kwenda kumtuliza mumeo sio unakaa kizembe unategemea upole ukutulize kwenye ndoa unatakiwa uwe fundi pale kitandani mumeo akitoka pale asifikilie nje sasa aya ayafundishwi darasani utulie upewe mambo.
( Mke wangu macho yamemtoka tu…mama yake sasa anasema)
” Uyu ajui ata kuzungusha kwa juu unampeleka mumeo mpaka dirishani unamuuliza nje anapita nani akimtaja jina ujue ujamfikisha unatakiwa umfikishe mpaka macho yanaingia ukungu wa nje amuoni anaishia kuguna sasa wewe unayajua aya.
” Siyajui.
” Ndio utulie.
” Ila mama ayo si ungenifundisha kabla sijaolewa.
” Sikutaka kukufundisha kwenye barua naogopa asingekuoa ungeenda kuwafanyia Waume za watu ungealibu ndoa za watu wangekuuwa mwanangu sasa upo kwenye ndoa nakufundisha ukamtulize mume.
” Sawa.
( Mke wangu akakubali alale afundishwe jinsi ya kuja kunipa mimi mautamu…sasa mama mkwe akachukua simu ya mke wangu ananipigia yeye ndio aniambie kwamba mke wangu arudi akatoka kwa nje network aipate vizuri anakaa mbagara ndani ndani uko mimi nakaa ubungo kibangu…nilipokea simu kwa mapozi nilijua ni mke wangu)
“Haloo my Wife moyo wangu mke wangu ninayekupenda sana niambie my wangu.
” Ludia tena?.
( Nikastuka mbona sauti sio ya mke wangu nikaongea sauti ya mshangao)
” Nani wewe umeshika simu ya mke wangu.
” Usiogope mimi mama yake Rudia tena yale maneno umenikumbusha mbali sana ludia tu.
( Mtihani huu niludie nilichosema kweli nionge na mama mkwe Nilikaa kimya akaongea tena)
” Nimekuomba naomba urudie yale maneno nimesikia raha sana usiogope mimi sio mama mkwe wa kizamani mimi mama mkwe wa kisasa ngoja nikutoe wenge Pokea busu kwanza ilo Mwaaaaaaaaaaaaa aya rudia.
( Yamenitoka macho nilipokuwa nimesimama uku najuta kupokea simu najiuliza nirudie au mama mkwe akanibusu tena aliniita jina langu)
” Rashidi mmwaaaaaa aya rudia nakuomba.
Sehemu ya Pili
Basi.
( Nikajifanya kama mawasiliano yamesumbua vile)
” Halo halo halo.
( Nikakata simu na nikaizima jasho limenitoka nawaza mama mkwe wangu kidogo zomwa au mwezi mchanga…nikalala kikubwa mke wangu yupo kwao na simu ndio kashika mama yake…upande wao mama mkwe akarudi ndani anaongea na shoga yake)
” Mfunde wewe mimi kuna sehemu naenda.
” Jamani sijajipanga kufunda.
” Wewe mfunde tu ya kiheshima heshima yale ya ndani kabisa kama maajabu ya tui la nazi niachie mwenyewe.
” Sawa.
( Shoga mtu akamuweka mke wangu chini akaanza kumfunda)
” Asma nisikilize na uzingatie aya nayokwambia.
” Sawa ila Samahani mama kashamwambia mume wangu Nalala uku.
” Kashamwambia alafu kaondoka na simu yako.
” Ndio.
” Basi kashamwambia wewe akili iweke hapa.
” Sawa.
( Shoga mtu akaanza kwa kumwambia)
” MBEMBELEZE MUME KITANDANI
Sio mtoto tu ndio umbembeleze alale hata mume anahtaji kubembelezwa hili Apate lala.
Unaweza ukambembeleza mumeo kwa maneno matamu yakikutoka kinywani mtoto wakike unampetipet mumeo kwa maneno laini yenye kusisimua mwili huku ukimkanda mwili umtoe machovu ya kazini.
Mbembeleze mumeo kwa mabusu motomoto, kifuani mwake umejiweka, na kijisauti kitamu chenye kutia hamu, Hakika mume wako atafurahia na kusahau yaliyopita uko anakotoka
Sio mume amerudi kazin umeamuacha peke ake kitandani Wewe uko sebulen unaangalia season aihuu!! mfuate mumeo ndani ukampe burudani
mbona mambo mengine madogo madoho tu ukiyafanya kwa mumeo na mume ukihisi unamjali kutokana na mambo hayo madogo mbona pia wewe mke utapata furaha na utulivu katika ndoa yako
sema tu wanawake wenyewe sisi, mda wa kubembeleza waume zetu hatuna
Hili nalo tatizo mtu anataka kushindana na mume wake utakula hasara asma
mume kama mtoto mdogo anahtji kutunzwa, na kubembelezwa pia,, na sio kuleta mashindano.
” Sawa nimekuelewa.
” Chengine sasa nisikilize.
” Sawa.
” USAFI WA MWILI WA ASMA UZINGATIE
Nakuita Asma!…nakuita binti…nasisitiza kuhusu usafi kwa ujumla. Wanasema usafi ni hulka ya mtu ni kweli lakini ukiamua kuwa msafi hushindwi…na kwanini ushindwe! Nitagusia mambo machache ambayo kuhusu usafi wa miili yetu maana urembo na usafi ni kama kobe na jumba lake haviachani!
Hebu tuanze…
1.USAFI WA NYWELE
Utatia aibu kama utasukia weaving lako wiki mbili hadi nne na usiwe umepitisha maji kichwani… haijalishi uko wapi ila kukaa na nywele wiki nne pasi kuosha ni UCHAFU bibi!!… toa nywele bandia hizo…au fumua mzigo wa yebo yebo huo uoshe kichwa kama huwezi kuosha zikiwa kichwani…watu wanaweza wasikwambie ukweli ila pembeni ukapewa cheo cha yule dada mchafu maana huwa zinanuuuuka acha!!
2 USAFI WA KUCHA
Hii trend ya watu kufuga kucha pasipo kujua namna ya kuzitunza ni shida tupu. Kama unajijua huwezi kutunza kucha zako usifuge kufuata mkumbo. kucha zinahitaji usafi jamani… halafu unakuta mtu kafuga kucha ndeeefu halafu mbayaaa…hivi uone au ndio makusudi tu!…
mmmh mmmh fuga fupi basi kidogo kama huwezi kutunza…. Au katilia mbali zote tujue moja…. Kumbuka mikono inashika vingi, inagusa sehemu zetu zile, mikono inaingia jikoni, mikono inasalimia watu!!…zisafishe, zing’arishe kwa rangi mpaka mtu anasikia raha kukusalimia!…na za miguuni usisahau maana uko ndiko majanga matupu…ukucha haufai kuvalia sendozi wala ndala…why?
3.USAFI WA MAKWAPA
Umevaa nguo ya kukata mikono…kwapa lina nywele… hapo maksi zinapungua…. Za nini mwali?… unataka kuweka relaxer au kusukia weaving?… vinyweleo kwapani huchangia kuleta kikwapa na zaidi hulowesha hata nguo uliyovaa… Nasty!… achilia mbali kukupunguzia sifa ya usafi…nyoa kwapa lako bwana we!… lisugue na baking soda au limao ling’ae… huwezi jua ukute usafi wa kwapa lako ndio uliomvutia mtu wako au utamvutia mtu wako…kalaghabao!
4.USAFI WA KINYWA
Hapa kuna kutokujua namna ya kuswaki vizuri au ugonjwa… hebu kunja mkono kama unataka kufumba mdomo kisha achia pumzi ya mdomo hapo mkononi…unasikia harufu gani?…. au jilambe kidogo nyuma ya kiganja kisha sekunde tano nusa ulipojilamba…unasikia harufu gani?…. hiyo ndio harufu wanayoisikia watu kinywani mwako….
Swaki ulimi vizuri, kunywa maji mengi kinywa kisikauke, tafuta zile chew gum flani za kurefresh kinywa…it is a must have kwenye pochi yako …. Unajua tena! Sasa unakosaje kitu kama hicho kwenye pochi . mwisho kabisa angalau jitahidi kuswaki kabla ya kulala…swaki tu halafu asubuhi utagundua tofauti ya ukilala bila kuswaki na ukiswaki kabla ya kulala!
5.USAFI WA MATAKO
Ona ulivyoguna!…. hapa akitokea mtu akasema kila mtu atembee matako wazi tutaona mambo makuu hahahahaaaa…tako lina vipele utasema umevaa ganda la fenesi nyuma…why?…. hebu chukua mafuta ya nazi upake hapo nyuma kila usiku kila asubuhi anhaaaa!…. sio bebi anapeleka mkono nyuma anashtuka na kuuliza umevaa nini? Kumbe ndio ngozi imeharibika!…. ukiona si muhimu sawaaa
6.USAFI WA MASIKIO
Huwa namtoa maksi kabisaa mdada ambaye ukikaa naye karibu unakuta sikio lina nta hilo balaa…yuuuck!…au nyuma ya sikio na kwenye kona kona za sikio kuna weusi flani hivi unaoonyesha sikio halisafishwi na hapo ukute ana mkoba wa elfu 70… nguo ya laki!…na usafi mdogo wa sikio umemshinda!…mwaka huu usiwe wewe mwenye sifa hizi…safisha sikio lako hata mara moja kwa wiki…na safisha sikio lako kila ukioga khaaa!
7.USAFI WA KITOVU!
Heheheheee hapa naweza kukamata wengi…. Ukute kitovu kina magamba hicho!…. ni sehemu sensitive sana kuchokonolewa chokonolewa ni kweli …lakini ndio hata mara moja kwa mwezi chukua kitambaa chovya kwenye maji ya uvugu uvugu safisha kitovu chako taratiiiiiiibu!
8.USAFI WA MIGUU
Unamkuta mdada ana dhahabu mbili tatu hapa na pale… kajisugua mwili katakata…. Ila mguu ana zagamba!… ana gaga hilo limemganda!… ana sugu za vidole balaaa….mmh mmh huu ni uchafu na uzembe bwana!…. unaanzaje kupata mazagamba mjini hapa kama si uvivu wa kusafisha miguu….
Sio lazima ukaanike miguu uoshwe na watu saluni….hata kwako unasafisha miguu yako na inang’aa tu…unahitaji beseni, maji ya uvuguvugu… shower gel… brashi na ubao wa kusugulia gaga unaopatikana maduka ya urembo wa elfu moja mia tano tu! Namna ya kusafisha nitakuletea juma lijalo
9.USAFI WA UKE
Basi kipengele hiki ndio watu huzodoana mpaka basi….unasikia usitie vidole ukiswafi…wengine tia vidole bwana mbona mama zetu sijui bibi zetu walitia vidole…. Vyovyote unavyoamini sawaaa!
Hapa ni kwa mtazamamo wangu na maoni yangu mimi binafsi…
Kuosha uke wala sio kazi kubwa sana…. ni vile uupende tu uke wako na usiuone kero…. Ondoa nywele zile kule chini… ziondoe mara kwa mara asma usingoje ziwe msitu huooo unasubiri kuufanyia kwa mfano hata ukae na limsitu!!….mechi ya ghafla pyaaa Mume kaja bila TAARIFA toka MASOMONI Kwa mfano anakukuta na forest lako kama mchoma mkaa hahahahahaaaaaaa hebu mie!
Ushaweka uwanja msafiiii… na njia nzuri ya kunyoa ili usitoke vipele…ni nyoa kufuata nywele zako zinavyoota… shaver yako ielekee kule ninakolalia mpaka uwanja uwe msafiii kisha weka sabuni au shaver gel nyoa against sasa pole pole juu juu bila kugandamiza shaver utabaki softiiiii
Au…tumia veet! Ni nzuri mnoooo na hukuacha
Safi ,na wax huwa inauma kidogo…usijaribu kuwax home kama huna utaalamu utaunguza ikulu hahahahaaa
Na unaposhave shave mpaka nyuma huku kwenye mstari wa ikweta…shave tu ubakia msafi sehemu yote!…kumbuka kupaka mafuta ya nazi au mchaichai ukishashave…hupati vipele… ama tumia maji ya liwa…chovya pamba pitisha pitisha maeneo uliyonyoa…ukitoka vipele labda ulitumia wembe butu au used heheheheee
Sasa ushanyoa….
Asma naona unasinzia ngoja niache hapa lala kwanza.
( Mke wangu alilala…upande wa mama yake kumbe kaja ubungo kwangu…nakaa mwenyewe tu nasikia mlango unagongwa nikajua mke wangu karudi naenda kufungua nipo na pensi nyepesi juu tumbo wazi ile nafungua ni mama mkwe nikataka kufunga mlango akaniambia)
” Usifunge nimebanwa.
( Nilijisikia aibu na minywele yangu ya kifuani mama mkwe akaingia ndani moja kwa moja akaenda chooni…mimi nikaenda chumbani kwangu kuvaa nguo Nikatoka namuona karudi chooni yupo sebuleni)
” Mama naomba unisamehe sana nilijua mke wangu ndio anagonga uwaga asemi hodi.
” Rashidi wewe mwanaume.
( Mimi kimya akaniambia neno likanishangaza)
” Rashidi nimependa kifua chako kimekaa kiume zaidi mwanangu kama atajua kucheza nacho basi utasikia raha kwenye dunia hii je anaweza kucheza nacho?
( Niliinama chini maana ni swali zito akaniambia)
” Rashidi usinione aibu nimekwambia mimi mama mkwe wa kisasa.
” Nashindwa nikujibu nini maana Sisi polini tumefunzwa kutunza siri za wake zetu.
” Sasa niambie usiogope mimi nachotaka wewe ufurahie maisha uone umepata mke wa starehe na burudani ndio maana nakuuliza anaweza kucheza na kifua hicho?
( Nijizime data sijui nimwambie ajui unaonaje ukichezee wewe…mawazo tu kichwani yananizunguka ukimya wangu ukamfanya anyanyuke anisogelee ananiambia)
” Basi ninong’oneze kama unashindwa kuongea kwa sauti anaweza?
” Mama usinisogelee mimi dhaifu sana Samahani sana mama.
” Nishapata jibu mwanangu akulizishi ndio maana umekuwa ivyo acha uoga basi jiongeze.
(Duu najiongeza nini?)
Sehemu ya Tatu
Nikawa nawaza uyu mama mkwe yupo kwenye mitego ya kunipima imani…niriludi nyuma na kumwambia)
” mama ndoa yangu bado changa sitaki kuitoa doa wewe ni mama si Shemeji.
” Kwaiyo angekuwa Shemeji yako ungejiongeza kwa taarifa yako sina mtoto mwengine jiongeze acha kuwa mwanaume wa kizamani anayemweshimu mama mkwe kuliko mama yake mzazi.
” Siwezi siwezi siwezi.
( Nilitoka mbio na kukimbilia chumbani kwangu nikafunga mlango uku nasema kimoyoni siwezi anachotaka si kitu kizuri naweza kuwa chanzo cha mauwaji…mama mkwe akasonya akatoka nje…nikaenda kufunga mlango uku nawaza mama mkwe anao mtindio wa ubongo usingizi sijaupata nikawasha simu nicheze game nipoteze mawazo nakuta sms namba ngeni)
” Iyo namba yangu mimi mama yako mkwe ila wewe aujui kilefu cha mama mkwe maana yake mkwe umkwee”
( Nilifuta sms na nikaipiga block ile namba isije kunipigia wala kunitumia sms…nikafosi usingizi nikalala asubuhi nikaenda zangu kazini ila sikutaka kumshirikisha mtu aya mambo maana wataona nimeoa sehemu sio alafu nitakuwa najitukanisha mwenyewe…upande wa mke wangu kaamka anamwambia mama yake)
” Naomba simu nimpigie mume wangu nijue kaamkaje.
” Aya njoo uonge nae alafu simu inabaki kwangu.
” Sawa.
( Kweli kwangu simu ikawa inaita yani naogopa mpaka kupokea simu ya mke wangu ila nikaona si vizuri acha nipokee ila siongei maneno ya mahaba)
” Haloo.
” Mume wangu.
” Nam.
” Shikamoo mume wangu.
” Marhaba.
” Umeamkaje mume wangu.
” Nimeamka salama je wewe?
” Nipo salama tu mume wangu.
” Asante kwa kusikia ivyo nipo kazini mke wangu.
” Sawa kazi njema mume wangu.
” Asante baadae.
” Sawa.
( Nilikata simu nilifurahi kuongea na mke wangu…nikafanya kazi zangu mpaka jioni natoka kazini naona sms imeingia namba ya mke wangu)
” Mume wangu funguo umeweka wapi au umetembea nazo usinipigie mama yupo na wageni ataki kelele”
” Funguo IPO hapo juu ya mlango si unajua siwezi kutembea nazo mimi ni msahurifu sana”
” Sawa mume wangu “
( Mimi sasa narudi nyumbani nawaza nimuulize mama yake kashawai kuugua uchizi au niuchune tu nisije kumkwaza mke wangu..nafika nyumbani nafungua mlango upo wazi…nikafika sebuleni naita sasa kwa mbwembwe)
” My wife my wife.
( Kimya nikajua usingizi umeshamshika mke wangu nafungua mlango wa chumbani taa ikazimwa…pakuzimia taa ni kitandani pale…nikacheka kimoyoni nikasema mke wangu anahamu nao anataka nimle gizani…nikapanda kitandani na giza langu sasa kumshika matako naona matako makubwa na mke wangu matako makubwa ana nikastuka mkono nikapeleka kwenye kuwasha taa pale pale kitandani nawasha taa ni mama mkwe ndio kalala kitandani alafu yupo kama alivyokuja duniani)
” Usiogope mimi ndio nilikuwa nachati na wewe nautaka huu.
(Analeta mkono mbeleni kwangu)
Sehemu ya Nne
Niliuzuia mkono na nikanyanyuka na kukimbilia sebuleni uku akili yangu sikuiruhusu itafakali matako ya mama mkwe…nikatoka kabisa na kuondoka…nikamtumia sms kwenye namba ile ile ya mke wangu atajua mwenyewe kama kamwachia simu mke wangu au anayo yeye)
” Mama ichi unachofanya kikwetu ni matusi makubwa siwezi mimi kulala na wewe fikilia kwa makini”
( Kumbe simu anayo akanijibu)
” Usiwe mjinga kula kuku na mayai yake ndio uwe mjanja Rudi unile nakusubili”
( Kwa mala ya kwanza sikuwai kufikilia kama kuna siku nitapiga block namba ya mke wangu…sasa nikaipiga block asinipate hewani…nikaenda kuchukua chumba gest kulala uku nawaza sana mama mkwe anataka kugundua nini…upande wa mke wangu shoga wa mama yake anaendelea kumfunda)
” Asma Tulia nikwambie.
” Sawa.
” Leo sikupi mineno mingi ikakutia usingizi.
” Sawa.
( Akamwambia)
” MSHIKE MMEO
Naongea na wewe asma…
Mara nyingi mambo tunayoyaona hayawezekani ni yale ambayo hatujawahi hata kujaribu.
Ukijituma kwa upendo, kila kitu kinawezekana.
Leo nataka nikupe somo dogo —
Namna ya kumuweka mmeo nadhifu katika nguo za ndani.
Wanaume wengi wanapiga kazi, wanajitoa, lakini mara nyingi wanateleza katika eneo dogo sana — usafi wa mwili na nguo za ndani.
Hapo ndipo unapopaswa kumsaidia kwa upendo, si kumkosoa.
🩲 Nunua boksa pea 14, singlendi 14, na soksi 7.
Tengeneza mfumo wa alama ndogo za kificho mfano:
Boksa mbili & singlendi mbili kwa Jumatatu,
Mbili kwa Jumanne,
Mbili kwa Jumatano,
na kuendelea hadi Jumapili.
Hakikisha hizo alama unazijua wewe tu — ni siri yenu ya ndani ya ndoa.
🛁 Namna ya kufanya:
Asubuhi kabla hajaenda kazini, mchagulie nguo safi, mpambe kwa heshima na upendo.
Anaporudi jioni, mpokee kwa furaha, mpe pole na kazi zake.
Mpeleke bafuni, msaidie kuoga, mpake mafuta, kisha mpe boksa na singlendi mpya.
Hivyo atakuwa nadhifu muda wote — ananukia vizuri, ana confidence, na anajivunia kuwa na mwanamke anayejali.
Ukiajiriwa, ukijishughulisha au ni mama wa nyumbani —
kuwa mbunifu, mama!
Tumia kidogo unachopata kumuwekea mmeo hadhi yake.
Usafi wa mmeo ni heshima yako pia.
MSHIKE MMEO.
Usimwachie dunia imfanye smart — mfundishe wewe mwenyewe kwa upendo.
Tuishie hapa kwa Leo maana wewe kwa usingizi.
( Asma ilo akaliandika kabisa limemkuna…mimi uku asubuhi nikaamka gest nikasema niende nyumbani nikabadilishe nguo siwezi kwenda kazini na nguo za Jana…nafika nyumbani naona funguo nilipomwelekeza ndio alipoziacha…nikafungua mlango naingia ndani naona nguo juu ya kamba yani mama mkwe amenifulia mpaka boxsa…nilitoa macho tu maana nyumba yangu ina fensi nikasema inamaana kafua usiku kaenda kwenye tenga la nguo chafu nafika sebuleni nakutana na barua kaandika)
” RASHIDI NAOMBA UNIONE HURUMA SAUTI YAKO ILINICHANGANYA NIKAJA GALDEN LOVE LAKO NDIO UGONJWA WANGU NILIVYOONA NIMEKUWA CHIZI KABISA NAJUA NAKOSEA NAOMBA NA WEWE UKOSEE KIDOGO MALA MOJA TU UKATE KIU YANGU NAKUJA USIKU NAOMBA UNIPOKEE NAOMBA UTOE BLOCK KWENYE SIMU ZOTE NAKUOMBA SANA HII NI SIRI YETU AWEZI KUJUA MWANANGU”
( Nilitoka na barua nje nia yangu niichome moto…kumbe mke wangu katoroka kwao kaja kuniona natoka tu nje nakutana nae cha kwanza akanipokea ile barua akanikumbatia)
” Mume wangu nimekumisi nakupigia sikupati hewani umenipa wasiwasi mpaka nimetoroka kwa mama.
” Asante kwa kunimisi.
( Akatoka kwenye kumbato sasa anafungua barua ile)
” hii barua ya nini tena…
Sehemu ya Tano
” Mke wangu usiifungue acha nataka niichome moto.
” Ya nini?.
( Uzuri mke wangu sio mbishi ananipa bila kuifungua maana naogopa kuleta balaa yeye na mama yake…kweli nikaichoma moto ile barua…namaliza kuchoma moto…mama mkwe kafika)
” Wewe aya kiherehere gani uondoke nyumbani kwanza lipa bodaboda kabla maelezo yoyote.
” Mama ungenikosa nani angekulipia bodaboda.
” Mumeo.
” Mume wangu anaenda kazini sio vizuri kuchukua bodaboda pasipo pesa.
” Wewe lipa kwanza acha ujuaji.
( Mimi ndio nililipa ile pikipiki aliyokuja nayo mama mkwe alafu mama mkwe akaniambia)
” Rashidi mkeo anafundwa kule Kwaiyo Atakuja kwako wiki IJAYO vumilia ni mapito tu ya Muda namuandaa kuja kuwa mke mtamu kwako.
” Mama sema mke mwema usiseme iyo Kauli.
” Asma usipende kunikosoa.
” Hapana mama uyu ni mume wangu sio kijana wa ovyo.
” Aya twende nyumbani.
( Alimshika mkono..mimi naona kabisa nipo na mama mkwe wa ovyo kabisa najiuliza kimoyoni uyu kwani bwana hana au?…nikamwambia)
” Mama usimshike ivyo kama mtoto vile shikeni nauli hii tembeeni kistaharabu tu.
” Sawa.
( Waliondoka uku mke wangu anachezea simu yake nikajua ananitumia sms nikamtoa kwenye block chap na kweli alinitumia sms)
” Samahani mume wangu naomba umzoee tu mama yangu akiwa na hasira achagui neno la kusema najua umejisikia vibaya naomba umsamehe”
( Nikamwambia)
” Sawa nimemsamehe ila mke wangu jaribu kujua umuhimu wa simu ya mkononi kuwa simu ya mkononi ni simu yako binafsi sio kila mtu anaishika iyo sio simu ya mezani”
” Nisamehe mume wangu aitajirudia”
” Sawa”
( Nikaenda zangu kazini sasa nikafanya kazi sana kuondoa mawazo ya mama mkwe kichwani nikajikuta nimepitiliza ufanyaji wangu wa kazi….nikarudi nyumbani nikaenda kuoga nikalala sebuleni na pensi tu nyepesi tena nimelala chini kunyosha mgongo…mlango sijafunga nimesindika tu kumbe mama mkwe kaja kasukuma mlango akaingia sebuleni alikuta nimelala chali nanyosha mgongo….yeye bila kufikilia mimi ni mume wa mwanawe alinyanyua sketi yake juu akatoa chupi…akanitambuka alafu anajishusha mdogo mdogo….mimi kama naota ivi nikastuka naona kuma ya mama mkwe hii hapa kwakweli kuma ni kuma tu mboo ilisimama mama mkwe akasema)
” Sasa je hii aina macho acha icheze na mwenzie uko.
( Mama mkwe anaitoa mboo yangu kwenye pensi anailengesha kwenye kuma yake nasema)
” Mama usifanye ivyo mimi mume wa mwanao mama mkwe.
” Kelele wewe mkwe umkwee tulia nikutambike.
( Nitulie au nitumie nguvu nisifanikishe analotaka mama mkwe nawaza mala kichwa cha mboo kimegusa mashavu ya kuma ya mama mkwe)
Dah yani,..
INAENDELEA


