Hadithi

Dada Nampa Shemeji Vyote 19 – 20

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

𝗗𝗔𝗗𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗣𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗠𝗘𝗝𝗜 𝗩𝗬𝗢𝗧𝗘

ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi

Sehemu ya 19

👉 Ashakum si matusi…👇

Nitasema kwanini nimemuacha…uyu anatoka nje ya ndoa tena si kutoka tu anaenda kutoa anachonipa anaenda kutoa kilicho aramishwa na Mwenyezi Mungu.

( Mzee mmoja wa ovyo akasema)

” Nini icho.

( Shemeji likamtoka)

” Mkundu.

( Wote walishika kichwa wakasema)

” Astaghafurahi Astaghafarahi laana kum.

( Shemeji akasema)

” Alikuwa ananilazimisha mimi kunipa kwenye ndoa mkundu nilikuwa nakataa kwa sababu najua ni kitendo kimepingwa na Mwenyezi Mungu ata shetani mwenyewe anakukana hii zambi aimuhusu yani ni kitendo akifai ata kidogo baada kuona simpi anachotaka ndio akawa anatoka nje kutoa mkundu nilitanguliza neno ashakum si matusi…kwa mujibu huo mimi siwezi kukaa na mwanamke kama uyu.

( Dada alizimia na uchungu juu…wazee sasa wenyewe wanaita bajaji wanampeleka hospital…sasa hospital ndio kukawa balaa..mzee mmoja alijitolea kumpeleka alipata majibu ya kweli dada anafilwa alikutana na nesi akamwambia mzee)

” Uyu kama mwanao na mumewe ajaja usikubali aendelee kwenye iyo ndoa tumemziba na kanga kuokoa uhai wake mwanao amefilwa mkundu upo wazi.

( Mzee akashika kichwa akasema ukweli yeye ni sehemu ya msaada…akawapigia simu wazee wenzie wakasema…kijana alikuwa sahihi kuachana nae…upande wangu Shemeji alikuja na record ile nilisikiliza nilifurahi…nilimpa kuma aitombe atakavyo kanifurahisha…upande wa baba faudhia sasa akaanza kuumwa kibofu cha mkojo akikojoa mkojo autoki kawaida…akaenda hospital akalazwa kibofu kimejaa mchanga…sasa akafanyiwa operesheni…kilichomkuta  mboo ikalala mazima dokta sijui kamfanyia vibaya operesheni au ndio pigo kutoka juu…shoga wa dada kusikia mwanaume mboo aifanyi kazi…alimpa nauli tu akamwambia)

” Rudi tu kijijini siwezi fuga mbwa asiyewinda.

( Baba faudhia analia sasa kapoteza uwanaumme wake…

upande wa dada maisha yakamshinda ametoka na mwanawe hospital ameenda kupanda basi anarudi kijijini mtoto kafanana na baba faudhia…walikutana kwenye basi kila mmoja na kilio chake dada akasema)

” Nakuchukia.

” Usinichukie mimi jichukie mwenyewe mimi mwenyewe nakuchukia wewe ndio umenizoesha mk…

( Dada akamzuia kwa kumziba mdomo…maana alikuwa anaropokwa…wakaenda zao kijijini…dada akawaza sana juu ya maisha yake alivyoyaharibu kwa mikono yake akawaza amempa mkundu mganga pasipo mafanikio yoyote akaanza kulia sasa anajuta kwa kile alichokuwa anafanya…alilia sana sana….sasa upande wangu penzi paja mixsa mapicha kama yote…ujinga wa mahaba nikatupia mtandaoni…dada akaniona na shemeji tunalishana ice cream…alishika simu akanipigia)

” Mdogo wangu unatoka na shemeji yako?.

( Ndio nikampa hili jibu ambalo si kweli ila kumuumiza roho tu)

” DADA NAMPA SHEMEJI VYOTE”

( Damu nzito kuliko maji dada analia uku anasema)

” Mdogo wangu nimekukosea ila usije kukosea na wewe usije toa mkundu narudia mkundu si mapenzi salama Mdogo wangu.

” unasema?

” 😭😭😭.

Sehemu ya 20

(Dada analia tu…nilikata simu nikacheka sana…akaja shemeji nikamsimulia akacheka sana akasema)

” Mimi na wewe atuachani yeye acha alee mwanawe uko atajua mwenyewe.

( Nilimrukia nikampa denda yani sisi tunapenda kutombana kama chakula tukiona faudhia kalala sisi nyege zimetupanda tulitombana sana…asubuhi shemeji alivyoondoka…moyo wa huruma ukanijia nikamtumia dada laki tano nikamwambia)

” Dada mimi siwezi kufilwa kwenye maisha yangu nimekutumia laki tano ufungue biashara maisha yaende kukosea ni sehemu ya maisha usije ukakata tamaa ya kuishi mlee mwanao kwa upendo.

” Sawa Mdogo wangu.

( Baba faudhia alishindwa kuvumilia hali aliyonayo akawa anaomba msaada kwa wahuni..walimwelekeza dawa ya miti shamba…akachimbe mizizi sijui ya mti gani achemshe anywe…na yeye kwa sababu anataka kurudi kwenye uanaume wake akaenda kuchukua mizizi iyo akachemsha akanywa…kumbe ni mizizi ya sumu…baba faudhia akuchelewa hapo hapo akafa…amekufa kwa sababu ya kupambania uanaume wake….nakusihi wewe mwanaume unayedinda iyo ni adhina usitumie vibaya…ukipoteza huo uwanaume wako utautafuta kwa tochi…na unaweza yakakukuta yaliyomkuta baba faudhia…nakusihi wewe mwanamke unayetoa mkundu angalia yaliyomkuta dada angekosa nesi kuwa na huruma angepoteza maisha…Linda mkundu wako mapenzi fanya kwa njia iliyo alalishwa….upande wa mimi na shemeji mapenzi bulbul nilichukua simu namsoma jogoo poll uku namsubili shemeji nimpe tamu mie)

” HII IWE SIRI YAKO USIMWAMBIE MWINGINE

Yawezekana unampenda sana huyo mkaka au mdada ila mazingira yanakuwa magumu sana kumuinulia hisia za mapenzi na kuupindua huo moyo wake. Wakati mwingine status zenu ziko tofauti kabisa ama kwa hali zenu za maisha nk

Usiteseke tena rafiki yangu tumia njia moja kati ya hizi au zote ikishindikana hii tumia nyingine mpaka ufanikiwe kwenye Hilo tamanio la moyo

1.MUALIKE DINNER, mahusiano ni gharama kwahiyo kubali kuingia gharama ili umpate mtu wa udhaifu wako. Tumia kitu ili upate hicho kitu kwasababu bila gharama huwezi kuvipata vitu fulani unavyovihitaji na gharama ni moja ya ishara uhitaji na userious wako kwwa huyo mtu

Akikubali mwaliko wako wa dinner tafuta eneo rafiki sana kwa status yako na yenu liwe eneo rafiki hata kama lina vitu vya gharama nafuu ila liwe eneo nzuri sana ili ajiona emethaminiwa hapo ndipo utakuwa mwanzo wa ukaribu zaidi uongea mambo ya msingi sana na yeye juu ya maisha na mitazamo yako juu mambo fulani hapa ongea point tu achana na ule UGALATIA

Pia, zingatia uvaaji, unaweza kuvaa kwana ya mtoko usivae kama unaenda msibani na wewe

2.MUOMBE ULIPIE DOUBLE KWENYE EVENT ukimuomba muende naye hiyo siku, akikubali basi hakikisha unalipia na muende naye huko kwenye event si mtakaa sehemu moja wote yeye ndiye mwenyeji wako hali na mazingira ya hapo mlipo yanambadilisha namna ya kukuhisi wewe aanze kukubalisha kwenye mtazamo wa kirafiki na kukuleta kwenye mtazamo mpenzi sherehe ikiisha utaanza kuona dalili za PENZI kuchanua unaweza kumkaribisha kwako ili akapaone ndipo aende kwake akikataa usiwe na haraka atakuambia siku nyingine kubali tu mambo hujipa yenyewe bila kutumia nguvu 😀

3.MWAMBIE UNAUMWA atakusihi kwenda kupata tiba basi muombe akusidikize hospital, si atakuja hapo kazini au kwako kukuchukua basi ondoka naye kwenda hospital usimtake akulipie bili za hospital jigharamie hiyo ni tunu ilinde usimpe majukumu utapoteza thamani ✍️  mkiwa hospital wewe deka sana hii ni sumaku ya kumnasa mtoto wa mtu kirahisi bila nguvu

Naomba niishie hapa kwa leo maana sitaki kuwapa zote zingine zibaki kama SIRI YANGU.

(Nilicheka na mimi nawapa siri siwezi kumuacha shemeji…ila japo sipo sawa kwenye jamii ila mazingira yamefanya niwe hapa leo…mpaka hapa ndio mwisho wa simulizi hii mazuri chukua mabaya yaache)

Mwisho Mwisho

error: Content is protected !!