Nilivyobakwa na Majambazi, Mbele ya Mume Wangu na Mwanangu | Part 13 – 18

π‘ππππ©π¬π’ππππͺπ π‘π π ππππ ππππ, π ππππ π¬π π π¨π π πͺππ‘ππ¨ π‘π π πͺππ‘ππ‘ππ¨
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 13
Loooh! Huwezi amini.
Tulimkuta james akiwa kalala kwenye sofa barazani akiwa hajielewi, mbaya zaidi hakuwa peke yake, alikuwa na vijana wengine watatu nao walikuwa wamelala vile vile hawajielewi.
β Hiki nni?β Mchungaj alihamaki.
Haraka nilimkimblia james pale chini na kujaribu kumuinua.
Looh! Alikuwa ananuka pombe isivyo kawaida.
β Yaani ameanza kunywa gongo?β Aliuliza baba.
Kumbe ile harufu ilikuwa ya gongo. Baba alichukia sana. Tulimchukua james na kurudi nae nyumbani. Baba aliwapiga simu watu anaowajua kazin kwa james na kumuombea ruhusa.
Nilianda maji ya baridi na kwenda kumuogesha vile vle. Nilipommwagia maji alizinduka.
β Mke wangu..β Aliniita.
β Kwanini unafanya hivi lakn?β Nilimuuliza kwa uchungu sana. James hakunijibu aliangalia tu chini kwa aibu. Nilimmwagia maji na kumuogesha mwil mzima. Nilimfunga taulo na kwenda kumlaza kitandani.
Nilitoka barazani.
β Anaendeleaje?β Aliniuliza baba
β Yupo sawa. nyie mnaweza kwendas asasa.β Niliwaambia. Usiku ule ule baba na mama walirudi kwao, pia mchungaj aliondoka.
Walipoondoka nilifunga mlango vizuri kisha nikachukua biblia yangu na kuanza kuomba. Nilmlilia mungu na kumtaka anitoe kwenye yale majaribu. Nilimuahidi kufanya lolote lile ikiwa atanisaidia katika lile jaribu.
Niliomba amuondolee mume wangu zimwi la ulev lililokuwa linamuandama. Usiku kucha niliomba. Niliimba na kumlilia mungu peke yangu.
Majira ya saa kumi na moja nilirudi chumbani! Nilimkuta james akiwa kalala fofofo.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.
Majira ya saaa nne asubuhi baada ya kuamka, nilikaa ne chini na kumtaka anieleze kwanini aliamua kwenda kunywa gongo.
β Nisamehe mke wangu..β
β Hapana mume wangu! Hii tabia sasa inazidi kuwa mbaya. Kipindi kile baba amekataa usinioe ulianza kuwa mlevi, na sasa tunatatizo lingine unaanza tena ulevi. Hiii tabia gani lakini?β Nilimuulza.
Hakunijibu.
β Unanikera ujue! Haya mambo gani, yaani tukipata tatizo tu wewe unaanza ulevi. Wewe ni mwanaume, tena ni mwanajeshi, inakuwaje unakuwa muoga hivyo.β
β Mimi sio muoga.β
β Muoga, ungekuwa sio muoga ungeyakabil matatizo yako. Usingekimbilia kwenye pombe.β Nilimbwatukia.
Kwazaidi ya masaa matatu nilibwatuka mtoto wa kike pasipokukoma. Niliongea yote nikamaliza. James aliniomba msamaha na kuniahid lile swala halitakuja kutokea tena. Nilimtaka iwe hivyo, nilimwambia akiendelea hivyo nitamuacha na kurudi kwa wazazi wangu.
β Haitatokea tena mke wangu.β ALiniahidi.
β Haya sasa tupange kwa pamoja! Hili tatizo tunalitatuaje.β
β Kwakuwa tunataarifa zake mbaya dawa ni kwenda kumchoma polisi. Nitaenda polis na kuwataka wamshughulikie haraka iwezekanavyo.β Aliniambia.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦..
Kabla ya kwenda kazini alijiandaa na kuelekea polisi.
Masaa matatu mbele alirudi.
β Wanasemaje?β Nilimuuliza.
β Polisi wanataka tuwape muda! Lakini pia wametutaka tuchukue tahadhari! Kwa maelezo waliyonipa wao yule jamaa sio mtu mzur! Kwa muda mrefu wamekuwa wanapambana nae.β
β Mmh! Yaani wanamjua kabsa huyu ni jambazi baada ya kumkamata na kumfungula kesi wao wanasema wanapambana nae.β
β Kwa dondoo nilizozipata nahis yule bwana anatumia madawa pia! Ni mshirikina ndio mana polisi wanashindwa kabisa kumpata.βAliniambia.
Kauli yake hii niliiunga mkono, nami niliona ni kweli, yule jamaa lazima atakuwa mshirikina. Pia nilihisi hata mume wangu lazima atakuwa kamroga, Maana mume wangu alivyokuwa jasiri wala asingeenda kunywa kwakumuogopa yeye.
β Kwahiyo tunafanyaje sasa?β Nilimuuliza.
β Kwakuwa leo naenda zamu, naomba usilale hapa. Siku zote ambazo mimi nitakuwa zamu naomba uende ukalale kwa wazaz wako chabruma.β ALiniambia. Swala hili halikuniingia akilini hata kidogo.
Sikuona kama ni sahihi, yaan niikimbie nyumba yangu kisa mshenzi mmoja asiye na mbele wala nyuma. Nilikataaa. Nilimwambia siwezi kwenda.
β Kwanza kisasi chake anataka kukifanya mbele yako, hivyo ukiwa haupo hawezi kufanya kitu.β Nilimwambia.
Kishingo upande James alikubali na kwenda kazini.
Masaa sita baada ya james kuondoka, majira ya saa saba usiku nikiwa usingizini nlisikia kshindo kisicho cha kawaida kwenye mlango wa nyuma. Nilifumbua macho na kujaribu kusikiliza.
β puuu..puuuuu..puuuu..β Ulisikika mlio wa nyundo mtu akijaribu kuvunja mlango.
EP 14
Ndiii. Moyo wangu ulipiga
Hofu ilinishika.
Nilifikiria haraka haraka chakufanya nikakumbuka Makala nililowahi kuisoma kwenye ukarasa wa mwandishi maarufu samwely kisinga. Makala hio ilihusu kitu cha kufanya wakati umevamiwa na majambazi.
Nikiwa nakumbuka vitu mbali mbali nilivyosoma, pale pale simu yangu iliita.
Mlio wake ulisikika hadi nje, kwa mbali niliwasikia watu wakiongea nje.
β Simu inaita ndani.β ALiongea mmoja wa watu aliokuwa anavunja.
β Tuondoke..lazima simu itamuamsha..β Aliongea mwingine.
β Aaaah kumbe walitaka nisiamke. Hawa watakuwa vibaka na sio majambazi.β Niliwaza ,sasa ili kuonyesha nimeamka nilpokea ile simu na kuongea kwa sauti. Kwa mbali niliwasikia wale watu wakiondoka nje.
Aliyepiga simu alikuwa James.
β Kuna watu walikuwa wanavunja nje.β Nilimwambia.
β Unasemaje?β Aliniulza kwa ukali.
β Wamegonga sana mlango, ila nahisi wameondoβ¦.β Kabla sijamaliza kuongea vizuri James alikata simu.
Nusu saa mbele nilisikia mlio wa gari nje.
β fungua mlango.β Nilimsikia james akiongea. Haraka nilishuka kitandni na kwenda kufungua mlango. ILe kuufungua tu james alinikumbatia kwa nguvu sana.
β Pole sana.β ALiniambia.
β Ahsante β Nilimjibu.
Alikuwa kaja na defender ya jeshi pamoja na askari wenzake watatu. Wote walikuwa na silaha. Walikagua kagua nyumba kisha wakachukua maelezo yangu. Walipojihakikishia hakuna kitu kibaya waliondoka na kumuacha james.
β Inabidi tuhame huu mkoa..β Aliniambia james.
β Yaani tumkimbie yule mshenzi.β
β Hapana ..hatumkmbiii.. tunachofanya ni kujiepusha tu shali. Toka tugombane nae maisha yetu yamekuwa magumu sana. Stress zimekuja nyingi. Kila siku mambo ya ajabu ajabu yanatokea. Ni kama kuna mkosi Fulani tumetupata baada ya kukutana ane.β
β Unachoongea ni sahihi! Lakini kazi yako itakuwaje? β
β Usijali. Nitafanya jambo nitahama. Mkuu wa kambi ni jamaa yangu na ananikubali sana. Hawezi kunizuia nisihame.β Aliniambia.
Sikumjibu, badala yake tulikumbatiana. James alinibusu nami nilijibu mapigo. Alinishika hapa, nami nilimshika pale. Dakika tatu mbele tullikuwa kama tulivyozaliwa kitandani tukifanya yale yasiyosimulika.
Changamoto ya dyudyu yake kukataa kusimama haikuwepo.
Mechi ilikuwa nzuri sana, saa moja mbele kila mmoja kiu yake ilikata. Nilijilaza kwenye kifua chake hadi nikapitiwa a usingizi.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦..
Mwezi mmoja mbele james alifanya mpango tukahama. Tulitoka songea tukahamia makambako. Tofaut na songea maisha ya makambako yalikuwa mazur sana. Zile stresss za kumuwaza juma hazikuwepo tena.
Tuliishia kwa amani yote .
Maisha yetu yalibadilika sana. James alinifungulia biashara nikawa naziendesha.
Mwaka mmoja mbele nilijaliwa kupata ujauzito, mimba haikunisumbua, miezi tisa mbele nilifanikiwa kujifungua mtoto wa kiume tukampa jina la Onesmo.
Tuliendelea na maisha yetu bila shida yoyote ile, ila sasa nakumbuka tarehe tisa ya mwaka 2007, Kuna jambo ambalo lilinikera sana liltokea. Mwanamke asiyefahamka alikuja kumuweka mtoto kwenye get letu.
Nikiwa natoka nje nilimuona, nilipomchukua kumtazama nilikutana na ujumbe.
β James nimeamua kukuletea mtoto wako..naomba mlee , mimi nmeshindwa.β Ulisomeka ule ujumbe.
β Inamaana james kazaa na mwanamke mwingine nje?β Nilijiulza pasipokupata majibu. Muda ule ule nilimpigia simu James akaja.
β Mke wangu sijawahi kukusaliti na wala sitakuja kukusaliti! Huyu mtroto sio wangu.β Aliongea james.
β SIo wako kivipi? Inawezekana vipi mtu atoke huko alikotoka aje kumuweka mtoto hapa kama sio wako.β
β Kuhusu hilo hata sielewi.β ALijibu James.
β Aaaah.β Nilitamka baada ya kukumbuk jambo, mama wa yule mtoto nilikuwa namjua na nilishamkumbuka. Haraka nilimsogelea james na kumuambia.
β Unasemaje?β Aliuliza james kwa mshangao.
EP 15
β Mke wa juma! Huyu mtotoΒ kaletwa na mke wa juma.βΒ
β Hapana. Huyu mtoto sio wangu.β
β Kukataa hakukusaidii kitu! Kwakuwa tumeletewa haina haja ya kukataa wala kumtafuta tena. Tukifanya hivyo tutakuwa tunayaleta maswala ya nyuma.β Nilimwambia james. James hakunielewa. Alikata kata kata kumpokea yule mtoto.
Kuondoa shar niliamua kumpokea kwa nguvu. Nilimchukua na kumlea kama mwanangu. Wakati mimi nikifanya hayo kumbe james alichukua nywele za mtoto kwa siri na kwenda kupima DNA.
Majibu yalipotoka aliniletea .
Ilikuwa kweli yule mtoto hakuwa wa kwake.
β Si nilikuambia mke wangu! Huyu mtoto sio wangu.β Aliniambia.
β Hatakama sio wako, kwasasa hatuwezi kurudi nyuma tena. Tushaaamua kumchuku na kumlea. Acha tumleee.βNilimwambia. Kwa shingo upande james alikubali. Tulimlea yule mtoto kama wakwetu. Yeye na mwanangu onesmo wote tuliwahudumia sawa.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.
Miaka sita mbele, mwanangu onesmo akiwa na miaka 8 na yule wa Juma akiwa na miaka 6 nilishika mimba nyingine. Upataji wangu wa mimba ulikuwa na shida kidogo. Sijui kwanni nilichelewa sana.
Yaani baada ya mwanangu kuwa na miaka saba ndipo nilikuja kushika mimba ya mtoto mwingine. Taarifa ya mimba yangu ilimfurahisha sana juma. Pia wazaz wangu songea walifurahi sana,Kwakuwa walikuwa hawajawahi kumuona onesmo tulipanga safari hadi songea kwenda kuwasalimia.
Mume wangu james aliomba ruhusa tukasafiri wote wanne had songea, yaani mimi, james, mwanangu onesmo, na mbarika, yule mtoto wa juma.
Tulifikia hotelini songea mjini. Tulikaa pale na kufurahia maisha siku mbili kisha siku ya tatu tukaelekea chabruma kuwaona wazazi.
β Waoooo.β Alitamka mama baada ya kumuona onesmo. Alimkumbatia kwa upendo mkubwa sana.
Tukiwa na furaha kubwa baada ya kukutana tena, nje zilisikka kelele za watu.Haraka sana wote tulitoka nje. Tulishuhuda watu wengi sana wakikimbia kutoka kotazi na kuelekea kwenye msitu uliokuwa na barabara ya kuelekea lilambo.
β Kuna nni?β Tulimuulza mmoja wa vijana waliokuwa wakikimbia.
β Mauaji..mwili wa mwanamke umeokotwa kwenye msitu..β Aliongea yule kijana.
β Mmmh! nani tena huyo aliyeuwawa?β Tuliulizana. Hakuna aliyekuwa na majibu.
James alitutaka tukae ndan yeye akaenda kuangalia.
Akiwa huko alinipigia simu na kunieleza jambo lililonishtua sana. Aliniambia mwanamke aliyeuwawa ni mke wa juma. Alikuwa kakatwa kabisa kichwa. Mwl wake na kichwa chake vilitengenishwa kabisa kisha akawekwa kwenye mfuko na kutupwa kwenye kile kichaka.
Hiii taarifa ilinishtua sana.
Akili yangu haikuwa na mtu mwingine wa kumfikria zaidi ya Juma. Niliamini juma ndiye aliyemuua mkewe.
β Hivi kwanini huyu mtu hajakamatwa?β Nilijiuliza.
Kiukwel nilichoka, moyo wangu ulikuwa mzito na nilichukia uamuzi wangu wa kuja nyumbani. Hili tuko lilitibua furaha yangu yote.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Baada ya siku tatu za kukaa kwa wazazi siku ya nne tuliondoka, kwanza tulienda songea mjini. Tulikaa pale lodge siku moja na siku ya pili yake tulipanga kuondoka.
Taratibu zote zlifanyika siku ya pili yake tukapanda basi la superfeo kuelekea makambako, lakin katika hal isiyokuwa ya kawaida, ndani ya basi tuliyopanda alikuwepo Juma. James alivyomuona tu alishidwa kuvumilia.
EP 16
Alisimama.
β Unataka kufanya nini?β Nilimuuliza.
Nilimshika mkono na kumtaka akae chini. Nilimvuta akakubali kukaaa.
β Huyu mjinga siwezi kumuacha..kaua mtu..tena kamchinja kikatili sana halafu yuko hapa kama hakuna kitu hivi.β Aliongea kwa uchungu sana James.
β Kama unajali sana ungewapigia polisi..sio wewe kujichukulia sheria.β Nilimwambia. James alinielewa. Alitoa smu yake mfukoni na kumpigia rafiki yake. Alimtaka apige simu polisi.
β Nimempigia fred awapige polisi, baada ya muda polisi watafika.β Aliniambia.
Had muda wa kuondoka unafika, polisi walikuwa hawajafika. James alitoka kwenye siti yake na kwenda kumtaka dereva asubiri kdogo asiondoe gari.
β Kama kuna muhalifu hakuna haja ya kuwasubiri hao polisi, hata hapa stendi polis wapo.β ALiongea yule dereva na kushuka.
Kumbe wakati hayo yote yanafanyika, juma alikuwa anatuangalia tu. Alikuwa anajua kila kitu tunachokifanya. James akiwa anarudi kukaa, juma alimshika mkono.
β Umeamua kunichomea kwa polisi sio?β Aliuliza juma. James aliusukuma mkono wake, pasipo kumjibu alimpita na kuja kukaa.
Muda ule ule polisi wa pale stend walifika. Waliinga kwenye gari na moja kwa moja walimfata James. James bila kusita aliwaonyesha Juma. Aliwaambia Juma ni jambaz, yeye ndiye aliyemuua mwanamke kwakumchinja chabruma.
β Unauhakika lakini?β Waliuliza polisi.
β Uhakika gani mnaoutaka! Huyu jamaa ni muhalifu. Ushahidi wote upo wazi. Hata mimi nilipokuja kituoni kumshtaki polisi walisem wanamtafuta! Sasa shida iko wapi. Mkamateni na mumuondoa hapa.β Alibwata james.
Ajabu wale polis ni kama walimuogopa hivi Juma, badala ya kwenda kumshusha walienda kuongea nae. Tena waliongea nae kistaarabu sana.
Sekunde kadhaa walikuja tulipokaa na kututaka tuache kuzingizia watu .
β Sio busara kuchafua watu.β Walitumbia wale askar na kushuka kwenye gari.
Muda ule ule gar liliondoka.
Huuu ulikuwa ni ushindi mkubwa Kwa juma, alitugeukia pale pale na kutuonesha alama ya dole.
β Hii hali haiwezi kuendelea! Huyu mtu nitamnyosha. Ngoja. Nitamnyosha nakuambia mke wangu. Nitamnyosha..β Aliongea james.
β Hupaswi kuwa hivyo mume wangu! Usimpe nafasi shetani. Sio busara unabwata na watoto wetu wanatuangalia. Ona onesma na mbarika wanavyokuangalia.β Nilimwambia. James alijikaza na kutuliza hasira yake.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Masaa nane mbele tulifika makambako , moyoni niliomba Mungu Juma ashuke njiani , lakni tofauti na matumaini yangu. Tuliposhuka na juma naye alishuka.
β Usiogope mke wangu, huyu mshenzi nitamnyosha..nitamnyosha.β Alinihakikishia James.
Tulimpotezea na kuelekea nyumbani.
Kwa siku tatau james hakuondoka nyumbani, hakutaka kutuacha peke yetu, na hata wanangu shule alikuwa anawapeleka mwenyewe. Maisha haya sikuyapenda hata kidogo. Uhuru ulikuwa haupo kabisa. Ni kama tulikuwa vitani hivi.
β Tutaishi hivi mpaka lini?β Nilimuuliza james.
β Hili litaisha. Nimeongea na wenzangu leo tutaanza msako. Tukimpata tutamfundisha adabu na tutahakikisha hakanyagi tena makambako hii.β Aliniambia.
β Ila kuweni makini sana.β nilimwambia.
Siku ile ile, james na askari wenzake wanne walianza msako. Walimtafuta Juma makambako yote bila ya mafankio. Siku ya pili tena walifanya hivyo hivyo, nayo hawakufanikiwa.
Zoez hili liliendelea kwa muda wa wki moja hivi, hawakufanikiwa kumpata. Niilimshur james aachane na hilo swala na tuendelea na maisha yetu kama hakuna kitu kinachoendelea.
Maisha yaliendelea kama kawaida, kwa wiki kadhaaa hatukumuona na wala hakuna chochote kilichotokea, lakini sku moja nikiwa naenda sokon niliwashuhudia majambaz wakipora duka la mpesa.
Walipiga risas juu watu wakawa wanakimbia kimbia. Kwa sekunde kadhaa niliduwaaaa, lakini bahati mbaya nikiwa nimelala chini niliinua sura yangu kutazama, bahati mbaya macho yangu yalikutana na macho ya juma. Alikuwa kashika silaha kwenye lile duka nae akipora.
β Juma..β Nilitamka kwa mshangao tukiwa tunaangaliana.
EP 17
Kwa sekunde kadhaa mim na juma tuliangaliana. Moyoni hofu ilikuwa kubwa sana, maana niliwah kusoma sehemu kuwa ni hatari sana kuangaliana na jambaz unayemfahamua akiwa anapora sehemu.
Ndiii ..ndiiii. Moyo wangu ulipiga.
Tofauti na mategemeo yangu! Juma hakunifanya kitu. Baada ya kuchukua hela, pikipki ilikuja wakapanda na kuondoka kwa kasi sana eneo lile.
Kilichobaki pale ni kilio, dada wa pale mpesa alikuwa kapigwa risasi ya mguun. Damu nyingi zilimvuja hivyo akaanguka chini na kupoteza fahamu. Polisi walivyofika walimchukua na kufunga lile duka.
Safari yangu ya sokoni ilikufa pale pale! Muda ule ule niligeuka na kurudi nyumbani. Akil yangu haikuwa sawa hata kidogo. Nilimpigia simu mume wangu James na kumueleza kla kitu kilchotokea.
Alinitaka nitule na nondoe hofu.
Baadae ssna alikuja, kwa pamoja tulishaurana tufanye nini!
β Twende polisi tukamtaje jum au?β Nlmuulza james.
β Yaah nazani naweza kuwafanya polsi sasa wakafanya kazi yao kwa weledi. Ukute polsi wanamchukula poa ndo mana hawamkamati. Lakin kama tutaenda kuwaeleza kuwa nay eye alikuwa kwenye lle tuko inaweza kusaidia.β
β Ok sawa.β Aljibu James. Muda ule ule tulijiandaa na kuelekea polisi.
Tulioa maelezo yetu na yote tunayoyafahamu kuhsu Juma! Polisi walitushukuru sana kwa uamuzi wetu. Walituahidi kulifanyia kazi lile swala.
James alisisitiza na kuwataka wafanya kaz yao kisha tukaondoka.
Nusu saa mbele nikiwa nyumbani, namba ngeni ilnpigia.
β Halloo>β Niliongea.
β Kwanini umefanya ulichofanya?β Aliniulza yule mtu aliyepiga simu. Nilikaa kwa sekunde kadhaa nikijarbu kuitambua le sauti.
Sikuitambua.
β We nan?β Nilimuuliza.
β Nakuuliza kwanini umefanya ulichofanya?β Alinulza tena yule mtu! Aliponiulza kwa mara hii ya pili nilimjua. Alikuwa juma.
Aliendelea.
β Hvi haujiulza kwanini polsi songea hawakunikamata? Hiv haujuliz licha ya mabaya yote bado nadunda mtaani? Hiv hujiuliz mmi ni mtu wa aina gani? Eeeh kwanin bado unatafuta ubaya na mimi?β Aliniulza maswali mfululizo.
Nilishindwa kujibu.
β Kwa utaratbu wa kazi yangu pale pale tuliipoangaliana ilibidi nkuue, ila unajua kwanini sikukuua? Ni kwasababu mumeo kuna jambo nimemuahidi! Nilmuahidi lazima nikubake mbele yake.β Aliongea juma.
Maneno yake haya yalinikera na kunipa hofu! Haraka sana niliamua kukata simu.
β Ulikuwa unaongea na nani?β Aliniulza james.
β Juma..β Nilimjbu.
β Juma kaipata wap namba yako?β Aliuliza james.
Kabla sijamjibu, pale pale ujumbe uliingia kwenye simu yangu. Haraka niliufungua . Ulikuwa umetoka kwa Juma.
β Najua unajiulza ni wapi nimepata namba yako! Sasa kwa taarifa yako namba yako nmeichukua polisi. Pale ulipoandika maelezo yako na kuacha namba mimi nimeichuua pale pale.β Aliniambia juma katika ile sms.
EP 18
Nilimuonesha James.
Aliduwaaa.
β Hiv huyu mtu ni nani? Mbona anaonekana ananguvu sana?β ALiuliza james swali lisilo kuwa na jibu.
Muda ule ule James alinichukua tukaenda kwa Rco kuwashtakia askari wake kwakutoa namba yetu kwa jambazi, lakini cha ajabu tukiwa pale, Rco alitutaka tuongee na Juma tumalizane. Alituambia kwa nguvu alizokuwa nazo juma ni ngumu sana kupambanae.
β Unasemaje?β Ailuliza james kwa ukali sana.
β Inaonekana nyote hamumjui Juma vizuri, umesema kwa mara ya kwanza mlikutana songea! Ila huyo juma kabla ya kuja songea kwanza alikuwa mbeya. Na kwa mkoa wa mbeya hakuna asiyemjua. Na sio tu wananchi, juma anajulikana hadi na raisi.β ALiongea yule Rpc.
β labda niwaeleze kidogo kuhusu huyo juma ndipo mtaelewwa na kujua ili jambo linauzito gani.β ALiongea Rpc.
Pale pale alianza kutueleza mambo meng ya juma.
Miaka ya 90s kabla mm sijawa RPC, mim na wazazi wangu tulihamia mkoa wa mbeya. Tulivyofika pale tulikuta mkoa wa mbeya ni mkoa wenye utamadun wa peke yake . Uliikuwa ni mkoa ambao watu walipenda kuishi kibabe. Aliongea Rpc
Aliendelea.
Kuna mitaa ulikuwa huwez kupita bila kusumbuliwa hata na watoto wadogo ikiwa watakuona mlaini.
β Sasa RPC haya yote unatueleza ya nini?β Aliuliza james.
β Yana umuhimu mkubwa sana, we nisikilize tu.β Aliongea Rpc
Aliendelea.
Maisha ya ubabe yalitawala hata club, ilikuwa kama utaenda na mrembo mkali ilihali hauna ubavu basi utanyanganywa na wenye ubavu. Hicho ndio kipindi nawaona watemi wa ngumi, karate na kungfu akina shetan, daudi n.k. ilikuwa wanafahamika hata wakipita mtaani kwa mienendo ya mikogo ua ukokomavu na sugu mikononi mwao sababu ya mazoez.
Aliendelea.
Sasa kipindi hicho alikuwepo jambazi maarufu sana mkoani humo ambaye alikuwa ni jambazi wa kimataifa , Zambia walimfahamu, south afrika walimfahamu na nchn mwake walmfahamu. Alifahamka mpaka na raisi. Jina lake maarufu lilikuwa kitasa, lakini jina lake asili ni juma.
Na ndio huyu juma mnayemzungumzia, wakat huo alikuwa mdogo mdogo.
Aliendelea.
Huyu jambazi alitusumbua sana, aliutikisa mkoa. ALibaka na kufanya mambo mengi ya ajabu bila kukamtwa. Polis wote waliojifanya kimbele mbele maisha yao yaliharibika. Aliwaua na wale wa kike aliwabaka na kuwafanyia udhalilishaji mwingi sana. Alituambia.
Huyu Juma ujambazi wake alikuwa anaufanya kwa taarifa! Alikuwa havamii sehemu bila ya kutoa taarifa. Yaan alikuwa anakuambia kabsa, siku fuan nakuja kwako kuvunja, Niandalie hela yangu. Ukikataa ndo hivyo yanakukuta mabaya.
Nakumbuka siku moja, alimwambia polisu mmoja wa kike ambae alkuwa anamfatilia kuwa usiku wa ile siku ataenda nyumban kwake kumbaka.Yule pols altoa taarifa kituon na tukaongeza ulinzi nyumban kwake, lakn licha ya hivyo juma alifankwa kumbaka tena pale pale huku polis wakiwa nje wanalinda. Alituambia.
β Unasemaje?β Aliuliza james kwa ukali.
β Unamaanisha hata mke wangu atambaka kwakuwa alisema atambaka mbele yangu?β Aliuliza tena james swali lingine.
β Kama alisema hivyo ni kweli atambaka..β Alituambia Rpc
INAENDELEA






