𝗠𝗨𝗪𝗔𝗦𝗛𝗢
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 07
Niliukagua mfuko, nikajuta zawadi kem kem kutoka kwa Seba alikuwa amemuagiza Ibra anieletee, japo nilifurahia lakini kiukweli niliogopa, sana maana nilishafumwa na shem, ilibidi nimtoe siraji aondoke maana kingeweza kunuka kabisa.
“Sasa ntafanyaje jamani?” nilijiuliza kwa muda mrefu lakini nilipata jibu kwamba ili zisivuje hizi story, lazima Ibra nimtunuku apple langu akinikojolea mara moja lazima atakuwa mpole tu, Nilitafuta namna ya kumuanza
“Ibra” nilimtumia ujumbe
“Nambie shem” alinijibu
“Asante kwa mzigo ulioniletea”
“Poa usiwaze, niliambiwa na Seba nilete kwako”
“Ok I know but thanks much” nilimtumia kwa ajili ya kumfanya aone kama namjali hivi ili anitongoze angalau
“Ok usiwaze”
“Ushafika home?” nilimuuliza
“Hapana, siendi home naenda Tabata kuna ishu nafuata”
“Ok ukitoka huko utaniambia tuchat” nilimtumia
“Haya haina neno” alimaliza kihivyo mimi nikatulia
Moyoni nilijua kabisa lazima atanitafuta tu tuchat na tukishachat basi mitego kama yote tamuwekea
Hata hivyo bado nilikuwa njia panda, sikuwa na uhakika kama kanisikia nikisuguliwa au la, hivyo nilijiuliza maswali mengi ambayo yote yalinipa jibu kwamba amesikia, nilijihisi mkosaji sana
Niliingia WhatsApp kuna jumbe zilikuwa zimetoka kwa seba tano, tatu zikiwa za maandishi na mbili zikiwa ni picha. Nilizifungua kutazama hivi ni kwamba zilikuwa za rungu lake likiwa limesimama nililitazama ninalifahamu vyema maana nimedumu nalo kwa miaka kadhaa.
Kiukweli sikuwa na hisia nalo kwa muda ule maana nilikuwa nimeshatolewa hisia zote na Siraji japo kipindi cha nyuma nilikuwa nimemfokea kwamba sitaki lakini niliona kama sitaweza tena kumzuia maana sio kwa jinsi alivyokuwa ananitoa kwenye shida.
Nilishuka kitandani na kwenda bafuni kuoga halafu nikarudi na kuweza kuvaa na kutoka nje ya nyumba nikaketi barazani huku nikipiga story na majirani zangu
Tukiwa tunapiga story pale nilisikia ujumbe kwa simu hivyo nikafungua haraka nikakuta ni ujumbe uliokuja kwa namba mpya
“Vipi umeingia kwenye website ya chuo kuangalia course work?” namba hiyo iliniuliza
(NB: Course work ni matokeo ya awali yanayotoka chuoni yakijumuisha majaribio, presentation pamoja na home work)
“Sijaangalia” nilimjibu
“Ingia uangalie” aliniambia mtu huyo
“Kwani nani you?” nilimuuliza
“Sir Eliudi” alijibu nikashtuka maana ni yule mwalimu ambaye alinipeleka ofisini kwake akanidinya siku tano zilizopita
“Mmh haya”nilimjibu huku nikijiuliza namba yangu kapata wapi lakini niliingia kwenye website ya chuo kutazama course work
Sikuamini matokeo ya somo lake nilifaulu vizuri ilikuwa ni 39 ya 40 mh yaani nilikosa moja tu
Kichwani nilibaki najiuliza kwamba kumbe ukimtunuku lecturer penzi basi wewe ni wa kufaulu, moyo ulinienda mbio nikamuandikia message
“Mmmh asante” nilimtumia
“Usijali, mtihani wa chuo unakaribia hivyo basi utanitafuta tukakae mahali tuongee vizuri ili niangalie namna ya kukusaidia”
Niliitazama ile message mara mbili mbili, nilikuwa naogopa kuijibu maana nilijua nikishamruhusu kwa mara ya pili basi utakuwa ndo mchezo wetu kila mara, nilitulia na kujibu
“Nitaangalia namna ya kufanya” nilimuambia
“Sawa haina shida” alinijibu
Nilipomaliza kumjibu ile sms niliinuka na kuingia ndani, nikachukua hela ili niende kibandani nikachukue vitu vya kupikia siku hiyo, halafu nikatoka na mfuko mkononi
Nilitembea huku nikimpigia simu Seba
“Hallo Sebastian” nilimuambia baada ya kupokea simu
“Nambie” alisema
“Nashukuru sana kwa mzigo ulimuambia Ibra aniletee” nilimuambia
“Ok usijali, kuna kazi nafanya hapa ntakucheki”
“Sawa, but uliahidi utakuja wiki hii mbona unanipotezea?”
“Nitakuja usijali, ila ntakufanyia surprise”
“Sawa mpenzi”
“ok” seba alikata simu mi nikaendelea na safari yangu
*
Baadaye muda wa saa 3 nilipata ujumbe nikiwa nakula, ujumbe huu ulitoka kwa shemeji Ibra
“SHEM”alituma ujumbe wa aina hiyo
“Mh ndo umetoka now?” nilimuuliza
“Ndio”
“Ok ulikuwa kwa wifi najua” nilianza mbwembwe zangu ili tu nitongozwe
“Hahaah, hamna nilikuwa kwa mshikaji wangu mmoja alikuwa na party ya Birthday”
“Ookey, karibu tule”
“Asante but uliniambia kwamba kuna kitu unataka uniambie” aliniuliza nikabaki nachanganyikiwa hivyo nikaamua kumuambia ukweli
“Ibra please naomba Usiniharibie kwa Seba ninampenda sana” nilimuambia
“Mmh sasa nikuharibie nini?” aliniuliza
“Hivyo tu, elewa kwamba usiniharibie, mi ntakupa chochote unachokitaka ila usimwambie kitu chochote kibaya kuhusu mimi”
“Mh” aliguna nikajua text yangu ya kwamba ntampa chochote anachokitaka imeshamchanganya
“mbona unaguna shem?” niliuliza
“Hamna”
“Ok lini utakuwa free uje unisalimie?” nilimuuliza kumpima imani kama ni mrahisi kumsaliti rafiki yake
“nitakuambia nikiwa free”
“Ok mi nalala, niko upweke hata sina mwenzangu wa kulala naye” nilimuambia
“Mmmh” aliguna
“Unaguna nini njoo basi tulale” nilimpagawisha kwa sms yangu hiyo
“Shem bana emb tuache kuchat maana shetani atanipitia ujue”
“Hahhaaaaaa, unaogopa ibra njoo nkupe apple” nilimtamanisha mpaka akapagawa nikaona ameanza kujibu kimahaba
“Mmmh Diana, unajua ntakuja kweli halafu wewe ni shemeji yangu sitaki kunaniliu na wewe” aliniambia nikatabasamu nikijua penyewe hapo
“Mmmh kwani haiingii, si unafanya kwa siri asijue, au wewe hupendagi utamu” nilimuambia halafu nikamalizia kula na kuvuta kitabu nijisomee lakini akajibu
“Kesho nikiwa free ntakutembelea” alisema Ibra nikajikuta nimecheka kwa nguvu maana alikuwa amepandawa na hamu tayari,
“Ok g9t mi ngoja nijisomee”
“Poa” alinijibu nikaanza kusoma zangu.
EP 08
Asuhuhi na mapema niliamkia Darasani kulikuwa na vipindi vingi sana na vilinifanya niwe bize sana siku hiyo. Nilishindwa hata kuwasiliana na watu wowote, ilikuwa ni wiki mbili tu zimebaki tuanze mitihani ya kufunga chuo
Kila muda nilikuwa nasoma sielewi nachokisoma maana mambo yalikuwa mengi nilikuwa nimechezea muda sana mara akaja kijana ambaye alikuwa akinisumbua sana kwenye kiti cha pembeni yangu
“Mambo Diana” alisema Chriss
“Poa nambie”
“Kimya sana” aliniambia “Hata sms zangu huwa hujibu tena”
“embu bwana msikilize mwalimu huko unanisumbua” nilimjibu kwa hasira maana Chris alikuwa msumbufu kwangu mno, nilikasirika kila aliponisumbua
“Ok muda wa kula unicheki” alisema Chris mimi nikavunga na kumtazama, sikupenda mazoea kabisa na kijana yule aliyekuwa anatokea tanga japo alikuwa ni mzur na mchangamfu
Tulipomaliza kuongea aliondoka na kuhamia katika kiti kingine mi nikabaki nimekaa zangu kimya namsikiliza mwalimu
Hata hivyo baadaye tulitoka nje baada ya vipindi kuisha, hapo ndipo nilipotoka na kutembea tembea mpaka maeneo ya kununua chakula nilikuwa mimi na mashoga zangu tuliketi kwenye viti na kuagiza chakula
Mara nkasikia sauti ya chris “we diana” ilitoka katika njia iliyokuwa nje na hotel ile
“ah” nilisema kwa hasira na kumgeukia “Nini tena Chris lakini?” niliuliza maana nilikuwa sitaki mazoea naye yaan niliona kabisa yule sio type yangu
“Daah, sawa kwa kunifokea nilitaka tuende tukale wote kule cafeteria but sawa bye” alisema Chris na kuondoka akiwa amefuatana na mwenzake
Nilibaki nikiwatazama, ndipo shoga angu mmoja alinitazama, alikuwa anaitwa Aisha “Vipi Diana mbona mnafokeana na Chris”
“Ah, yaani msumbufu yule kama ananitaka taka halafu mimi simuelewi kabisa”
“mh lakini si anakununulia chakula si uende wewe ukale tu chakula mbona bahati hizi sizipati mimi” aliuliza
“hapana shoga mi nikienda tu najua atanitaka kimapenzi wakati mimi sina mpango huo wala simpendi” nilijibu ndipo muhudumu akaleta chakula na kuweka mezani
“Mchune kwani shi ngapi” Flora aliingilia mada
“Haha, bana niacheni” nilifoka na kuanza kula.
Tulipomaliza tulirudi kwenye vipindi mpaka jioni, ndo tukatoka mi nikaenda nyumbani.
Ilikuwa ni siku nzima sijachat kabisa kwenye simu ila nilipofika nyumbani tu hivi nikaketi kitandani niliweza kutazama simu na kuanza kumtumia message Seba wa kwanza kabisa lakini nilsubiri zaidi ya dk 10 hakujibu nami nikampotezea
Ghafla ujumbe uliingia kutoka kwa Ibra
“Hello Diana”
“Mambo” nilimtumia
“Safi vipi upo chuo?” aliniuliza
“Nope sipo chuo niko home shem”
“Ok nilitaka nikutembelee”
“Hahahaa, shem bwana, vipi kwani wewe uko wapi? Nilimuuliza akajibu
“Niko Kigamboni”
“Ok sawa” nilimjibu kwa mkato maana siku hiyo sikuwa na hamu ya kuwa karibu na mwanaume yeyote
“So nije au nirudi zangu Temeke?” aliniuliza
“Daah, mimi sijisikii vizuri utakuja siku nyingine”
“Daah, sasa mbona nimekununulia matunda njoo basi uchukue?” aliniambia
Hali ya kuniambia ameninunulia matunda tu ilinifanya nione aje tu maana sikuwa sawa, mwili ulichoka choka sana siku hiyo nilimtext
“Basi njoo kama umeninunulia matunda usije ukakasirika bure” nilimuambia
Baada ya kujibu text ile niliweka simu chaji halafu nikavua nguo kwa ajili ya kuoga ili nipike then, baada ya dakika 20 nilimaliza kuoga nikarudi ndani na kuanza kuandaa masuala ya mapishi ili nile si unajua nilikuwa naishi mwenyewe.
Nikiwa naandaa mboga ya ugali nilisikia mlango umegongwa
“Nani?” niliuliza
“Ibra” alisema mtu huyo nikashtuka kumbe ni shemeji.
“Oh”.niliinuka na kufunga khanga vizuri na kwenda moja kwa moja hadi mlangoni nikaufungua huku nikitabasamu “Mambo jamani karibu” nilisema kwa furaha
Ibra alitoa tabasamu pana kisha akaninyooshea fuko ambalo lilikuwa na matunda ndani, nililipokea na kushukuru “Karibu ndani Shem” nilisema but kichwani mwangu nilitamani sana asiingie maana siku hiyo nilikuwa siko na mudi kabisa kukaa karibu na mwanaume
“ok ngoja niingie nikae kidogo” aliniambia mimi nikarudi ndani na kuketi kitandani halafu naye akafuatia akaketi kitandani pembeni yangu.
Niliinuka na kukaa chini kabisa kwenye zulia halafu nikaendelea na kazi ya kukata kata viungo vya mboga, ghafla tumbo likaanza kunikata vibaya sana, nikainuka nikilishika tumbo
“Shem vipi?” aliniuliza
“Tumbo” nilisema huku nikikimbilia chooni, maana nilianza kujihisi vibaya mno
“Mh” aliguna jamaa mimi nikaingia chooni na kujifungia, tumbo hilo halikuwa la kawaida nilianza kuhisi kitu na kweli kilikuwa sio uongo, nilishuhudia naanza kuloa kwa mbali halafu nikavua nguo ya ndani maana nilikuwa ndo naingia kwenye siku zangu “Oh my God” nilijisemea chooni mara nkasikia sshhhhshshssssh jikoni saut ya mkaango ikitoka, nilishtuka.
Kwa bahati nzuri nilikuwa na pedi za ziada hivyo nilitoa uso tu mlangoni na kutazama “Shem samahani”nilisema huku nikimtazama yeye anapika jikoni
“Nini?” Ibra aliongea
“Naomba unisaide pochi yangu hapo kwenye msumari”
“Ok” aliongea akiwa anatazama juu kwenye msumari ndipo akatoa pochi na kunikabidhi
Nilirudi ndani ya choo nikafungua pochi na kutoa pedi kisha nikajiweka sehemu zangu zafi ndipo niliporudi chumbani
Ibra alikuwa akinisaidia kupika “Mh shem unajua mapishi naomba niendelee” nilisema kwa shauku huku nikisogea kwake
“Usijali kaa hapo nipike” aliniambia
Nilitabasamu na kujirusha kitandani huku nikimtazama, na kuichukua simu yangu kuna message 2 za Seba
“UKO WAPI?…..”
“NAKUJA SA HIVI” iliingia message iliyonishtua kidogo maana sikuwa na taarifa ya yeye kuja siku ile
Nilitaka nimjibu nimuulize kama yupo serious lakini kabla sijatuma nikasikia ngo ngo ngo mlangoni ikifuatiwa na sauti yake “BEBE BEIIIBIIII” ilikuwa sauti nzito ya seba nje. Nilichanganyikiwa bila kujibu chochote wote tulishtuka mimi na Ibra japo hatukufanya chochote but akimkuta ndani mule tena akiwa anapika hawezi kutuelewa
“Seba!!!!?” niliita kwa mshangao lakini alifungua na kuzama chumbani halafu akatukuta tuko ndani na Ibra kasimama jikoni anapika, niliogopa!!!
EP 09
“Man” alisema Ibra kwa uoga wa rafiki yake
“Mh” Seba alibaki kuguna tu huku akishangaa, hata zawadi aliyokuwa ameishika mkononi ilidondoka chini, alibaki ameduwaa maana najua hakuamini kile alichokiona kule ndani kwangu
“Seba, karibu” nilisema huku machozi yakinitoka maana tayari nilifumwa japo mimi sikufanya chochote.
Seba na Ibra walibakiwa wamedindiana kama vile jogoo waliotaka kupigana kwa hasira, hii ilinipa wasiwasi zaidi niliogopa maana wangepigana ndani ingekuwa kisanga.
Niliona Seba ameinama akaokota mzigo wake aliokuwa amekuja nao, taratibu akatoka mule chumbani bila kuniongelesha wala kunigombeza.
Machozi yangu yalikuwa ni mengi mno, niliogopa, nilijuta, na tena sikuelewa nifanye nini jamani mwanaume wangu aliyenitunza sikuwa hata na mkopo chuo lakini yeye alijitoa sadaka kuhakikisha sipati shida yoyote mjini pale
“Ibra” nilisema kwa hasira huku nikifuta machozi yangu nikaona Amenigeuzi macho yenye mshangao “Toka ndani kwangu” nilimfokea kwa hasira maana yeye niliona kama ndo chanzo lakini kiukweli chanzo kilikuwa cha kwangu mimi pekee, ambapo kigezo cha kuwa karibu na ibra ni kwa ajili ya kuepusha asimuambie Seba kwamba nilikuwa na mwanaume mwingine ndani.
Taratibu Ibra alipiga hatua kutoka nje ya chumba changu, sikuwa na namna, aliondoka moja kwa moja nikabaki peke yangu huku nikilia
Niliwahi mlangoni na kufunga chumba changu, kisha nikajirusha kitandani na kuendelea kulia
“Jamani Mungu nisaidiee, ooh Mungu baba nisaidie……. Seba mi sijafanya chochote na rafiki yako daaaah” nilisema kwa machozi lakini nikiwa nalia mara jikoni pakalipuka kutazama hivi ni moto wa yale mafuta yaliyokuwa yamezidi moto na kuungua
Niliwahi kuzima moto na ile gesi kule ndani halafu nikazidi kulia.
Nilijaribu kushika simu, sielewi elewi nifanyeje, mara nikainuka na kwenda mlangoni nikafungua na kuchungulia nje hakuna cha maana, nilirudi ndani na kuketi tena daaah moyoni nilikuwa nimeshaharibu tayari.
Nikiwa nimeketi kitandani Mara nikasikia mlio wa pikipiki nje, nilishtuka ambapo niliinuka bila taarifa na kuchungulia kweli ni yeye alikuwa amerudi pale nje Sebastian akiwa na pikipiki ya Siraji ila alikuwa anaendesha mwenyewe na Siraji hakuwepo
Seba alikuja hadi mlangoni
“Vipi jamani Seba naomba unisamehe” alisema Seba kwa hasira
“Nipishe” alinifokea ikabidi nisogee pembeni maana alikuwa mbabe halafu pia vitu vya ndani alinunua yeye na kodi alikuwa akilipa yeye
“Jamani” niliongea kwa uoga ndipo akapita na kwenda mpaka mule ndani ya chumba akafungua kabati na kuanza kutoa nguo zake ambazo alikuwa ameziacha mule kwa muda mrefu.
Alifunga kabati na kuweka nguo kwenye begi lake la mgongoni, kisha akaanza kutembea kama mtu anayetoka lakini alisimama na kufikiria
“Jamani unaenda wapi Seba naomba unisamehe” nilisema kwa uoga.
Seba alinitazama kwa muda mrefu bila kunijibu halafu akatabasamu kidogo huku akiingiza mkono mfukoni, na kugeuka akaenda kwenye radio ya sabufa na kuchomoa waya kwenye kebo “Hii naondoka nayo kamwe naomba usinitafute malaya wewe” alinifokea ikabidi niende mlangoni kumzuia
“Nooo please Seba sijafanya chochote na Ibra please mume wangu” nilisema huku nikifunga mlango na kupiga magoti lakini Seba alibeba sabufa na kuweka begani tayari kwa kuondoka
Niliinuka na kumkumbatia kwa nguvu seba jaman “Usiondoke Seba mi sijafanya chochote” niliongea kwa huzuni huku nikimkumbatia ilhali tu kujaribu kumfanya anisamehe “Sijafanya chochote Seba” nilisema kwa huzuni
Ghafla seba alinisukuma kwa mkono mmoja nikapepesuka na kutua mlangoni huku nikilia
“Nipishe wewe mwanamke ntakuua” alisema seba kwa hasira mimi ndo nikazidi kukaza, mara akapeleka mkono kiunoni mwake na kutoka na bastola, kwa jinsi nilivyoogopa nilijishangaa nimeondoka mlangoni bila taarifa
Alifungua mlango na kuondoka taratibu nikabaki mpweke sina hili wala lile hata ile hamu ya kula nilikosa tena nilimlaumu shetani.
INAENDELEA

