WATOTO WA BOSI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 6
Alvin alinikata jicho pale chumbani kwake a kuanza kunichamba aliongea maneno makali Sana juu yangu kisha akaniamuru niende kumuoshea gari yake ambayo ilikuwa safi tu…tayari muda ulikuwa umeenda sana …Niliosha gari haraka ili nikawahi kupika maan muda ulizidi kwenda. Nilipomaliz niliingia ndan kwenda kumuita Alvin. Nilimkut amekaa sebleni pamoja na Dallan wanaangalia tv. Kaka Alvin gari lako tayar nishaliosha unaweza ukaondoka. Enh bro usiku huu una mtoko mwenzet wa kwenda mahali tuambizane bac Dallan alimuuliz kaka yake. Mi mwenyewe namshangaa huyu bint mi hata sielewi ana shida gan kwahy mtu akiosha gar ndio ana safar hebu acha ushamb bhan mda umeenda kapike Mimi njaa inauma. Nilijikut nikipandwa na hasira kali juu ya Alvin nilimuangalia moyon nikajisemea hapa niepushe shar tu niende jikoni kupika. Dallan alinitazam bila hata ya kusema kitu chochote ila moyoni alifadhaika. Niliingia jikon hasr zilinipand nikaanza kulia. Sijui niondok nyumbani lakini nikisema niondok nitaenda wapi nyumbani nimefukuzw na hapa nakul nalala vizr ni huyu mpuuzi mmoj tu ndio ananisumbua mi hata sielewi shida nn ila ngoj nitamtolea uvivu huyu mpuuzi. Nilijiongelea mwenyewe huku napika. Mara Dallan akaja jikoni kwa kunishtukiz . Nilivyomuon nilijifut machoz harak na kujidai Niko bize na kupika. Allin usizuge mbon kama unalia nn shida?. Dallan aliniuliz Niko sawa tu ni kitunguu hichi ndio kimenifany nitoe machoz chakula sasa hivi kitakuw tayar niliongea huku nikijilazimish kucheka ila moyoni nina machungu yang. Mh sawa Dallan aliguna na kuondoka nje. Niliandaa msosi mezan niliwakaribish ili waje kula. Walikuj na kukaa mezan ili wale na mm nilichukua sahan nilipakua na kwenda kukaa jikoni ili nile . Ile nakaa tu Alvin aliniita nilitoka jikoni na kumfuata. Naomba ukanitandikie kitanda Nina usingiz najhs kuchoka. Alvin muache kwanz akale Allin na yy anachoka. Unamsemea ww huyu ni mkeo au mbona ninyi wawili siwaelew mna ajenda gan?. Alvin aliuliza Hamna ajenda yoyot pia Kaka Dallan mm humu ndan ni kijakaz kwahy kuweni huru nitumeni hata ikawa saa nane za usik nitafanya kazi kwa kuwa mm ni kijakaz halaf nguv ya maskini ni mtaj wake mwenyw endeleeni kula watoto wa bosi. Niliongea kauli iliyowatibua wote wawil . Jamani nimeshib Allin Asante kwa chakul Dallan alienda chumbani kwake niliondoka na kwenda chumbani kwa Alvin kumtandikia . Nilikut ndan pako hovyo hovyo hasir ndipo ziliponizid. Hivi huyu Alvin ni kichaa sio maana mtu mweny akili zake hawez kufanya ujinga kama huu. Niliongea kwa saut bila kujua kwamb nilisahau kufunga mlango. Ndio mimi ni kichaa tena sio kichaa wa nn ni kichaa wa mapenzi. Alvin alinijib na kufunga mlango wa chumbani kwake. Niligeuk na kumuangalia vizuri huyo kichaa wa mapenzi. Naomba ukae nina maongezi na ww Allin. Nilikaa kitandani kwake ili nismkilize shid yake ni nn hasa. Una mahusihano na pacha Wang Dallan? Enhe ww na Dallan kumbe ni mapacha oh mungu wang ndio maana mmefanana hatar jaman hongeren nilijibalaguza maan sio kwa swal hilo. Maneno meng ya nn ndio shida ya watanzania jibu swali nililokuuliz Allin. Sina mahusihano yeyote na Dallan namuheshim kam kaka yang tu na sijawahi kufikiria hilo. Ok Allin nakupenda Alvin alinitamkia bila hata ya aibu. Enh kaka Alvin naomba nipatie muda nikujib bas tafadhali naomba nitoke nje. Sikia mapenz hayan muda wa kufikiria nahitaji jib now unanipenda au hunipend na kama hutonipa jibu Sasa hiv hutatoka had unipe jibu. Alvin alisogea mlangon na kufunga mlango na funguo kish akazishik mkononi. Mungu wang shida gani hii jamani sawa nakupenda naomba nitoke nje. Niliamua kumjib ili nimridhishe nitoke nje. Sawa Asante nashukuru Alvin alinijib na kunisogelea karb alinivut kwak na kunipig kiss hadi aliporidhika mwenyw aliniachia. Moyon nikawaz huu ndio mda muafak wa kulipiz ujinga wake aliokuw anaufanya. Kwahy umeridhik hapo ulipo kunipend kwak ndio maana ulikuw unanifanyia visa sio . Allin tutaongea hay mama kila kitu na mda wak ni wivu tu ndio ulikuw unanisumbua tafadhali naomba unisameh. Alvin alinipigia magoti ili nimsameh Enhe mtoto wa bosi unanipigia magot mm tena kijakaz nisie na maana nilimuuliz Alvin.
Episode 7
Sawa nimekusamehe naomba uinuke mm sio wa kuniomb msamah umuombe Mungu wako. Asante sana Allin nashukur kama umenielew. Naomba unifungulie mlango niondok bac. Alvin alisimama na kunifungulia mlang nilivyotoka hapo sikutak kugeuka nyuma hadi chumbani kwangu niliingia na kufunga mlango Asubuhi niliamka mapema na kufanya usafi nyumba nzim kwa kuwa nilipata taarif ya wageni kwenye sherehe ya kuzaliw ya Alvin. Moyon nilijikut nikimpenda kwel Alvin . Niliiend jikoni kuaandaa chai mra Bi Afsa aliingia jikoni na kunikut napika. Nilifurah nilivyomuon hat hivy nilikuw tofaut na siku zote. Shikamoo mama nilimsalmia huk nikitabasam. Marahaba binti yangu naon leo uko na furah sio kama nilivyokuzoea. Hamna bhana mbona niko kawaita tu mama . Sawa ila hongera umefanya usaf ndan kote na wagen wapo njiani wanakuj leo ndio bosi anakuj. Bosi gani mama nilimuuliz bi Afsa. Anha namaanisha mama yao akina Alvin na Dallan . Sawa na vipi kuhusu baba yao? Nilimuuliz tena bi Afsa. Baba yao yupo ila hakai hapa walitengana kitamb sana . Sawa nilimjib nikapeleka chai mezan ambap nilimkut Dallan tayar kashaa . Enh umeamk mda kaka Dallan Hamna sasa hivi tu nataka nikampokee mama anakaribia kufika Tanzania. Sawa ngoj nikamuamshe Alvin na yy . Nilienda chumbani kwa Alvin kumuamsha niligonga mlango alikuj kufungua akiwa amevaa boksa tu huku juu kifua waz. Nilijiskia aibu na kuziba macho yangu. Nisameh sijajua Kama hujavaa nilikuj kukuamsha chai tayar twende ukanywe. Acha utoto Allin hebu njoo hapa Alvin alinitoa mikon machon na kunivut ndan kwake. Unachonionea aibu mm ni nini hasa umesahau ya kuwa mm na ww ni wapenzi Sasa. Najua Alvin lakin sijawahi kumuon mwanaum hiv live labd kweny movie nilimjib Alvin huku nikikwepesha macho yangu nisimuangalie usoni. Hebu acha masihara Allin hujawah kuwa na mahusihano na mtu yeyote ww?”. Ndio mm sijawahi tafadhali naomba uniachie nitoke hapa mama na kaka Dallan watanihis vibay nimekuj muda chumbani kwako. Ok nibusu ndio utok humu ndani la sivyo utabaki humu humu. Alvin lakin mb… kabla sijamaliz kumjib aliniwah na busu tulibadilish mate kwa sekund kadhaa nilijhs tofaut kwa mar ya kwanza. Alvin aliniangalia kwa muda na kuniambia nakupenda ww umeletwa na Mungu ili uje kuw mke Wang. Mara mlang ulikuj kugongw niliinuk harak kitandani huku nikitetemek kwa hof . Lakini Alvin hata kutetemeka vip unaogop nn ? Alvin aliniuliz Watanihis vibay Alvin nilikuambia lakini hujatak kunisikia. Alvin aliingia bafuni mi nilienda kufungua mlango na kumkuta Bi Afsa . Mama niliit huku nikiw na hof moyon mwang. Hiyo kuita chai ndio mazima umezamia chai inapoa tu kule huyo Alvin yupo wap? Mama Alvin nimempa taarifa za chai kaniitikia kaend kule chin gym kufanya mazoez kaniachia kaz ya kumfanyia usaf ndan kwak. Sawa fanya harak muende mjin kununua vitu vya baadae kwenye sherehe . Sawa mama bi Afsa aliondoka nilishush pumz kuona nimesalimik kwenye uongo huo . Alvin alitoka bafuni alivaa nguo na kwend kunywa chai. Na mm nilitok chumbani kwa Alvin nikaelekea mezan kula. Alvin utaenda mjin kununua keki pamoj na vitu vyak muhimu vinavyohitajik utaongozan na Allin akusaidie kubeba. Pia Dallan utaenda kumpokea mama Mimi nitabak kuwapokea wagen hapa nyumbani. Tulimalz kula niliend kujiandaa tukaondoka na Alvin. Dallan nay alielekea uwanja wa ndege kumpokea mama yak. Tuliend bakery kuweka oda ya keki tukaelekea mliman city. Alvin alinunua vitu alivyovihitaj kisha tukaingia kweny duk la simu. Alvin aliulizia bei alivyoridhik aliniambia nichague simu. Nilishtuka enhe kumb unataka uninunulie simu mm mbon bei kubwa hivy Alvin. Usijal nitafanya lolot kwa ajil yak ili niwe na ww naomba uchague sim Kati ya hiz napat shid kuongea na ww. Duu moyon nikajisemea hili zari la mental nilichagua tukalipia na kuondoka. Tulipitia hotelin kula chakul cha mchana. Aliin maliz kula unifuate Alvin aliongea nilikul pal tukainuk na kupandisha ngazi kuelekea juu ya ghorof ya hoteli hiyo. Tuliingia kwenye chumba alichokod Alvin. Alvin unataka tufanye nini umenileta huku chumbani. Allin mm ni binaadam nina hisia unanifikiriaj kuhusu hili. Si ungeniambia nijiandae umenishtukiz Alvin tutafanya siku nyingine. Hapana siwez kuvumilia Allin nahitaji penz lako. Alvin alifung mlang na kunisogelea karb na kuanza kunishik mwil Wang. Kaka Alvin lakin nakuomba tufanye siku nyingine tafadhali. Mimi sio kaka yako tafadhali ndio maana tupo hap. Alvin alinivua nguo zang na yy alivua na kujikuta tukivunja amr ya sita ya MUNGU. Nilipatw na maumivu makali San kwn ndio ilikuw mar yang ya kwanza kukutan na mwanaum. Allin mm sio muhun na nimekupend ukweli kutoka moyon asant kwa hii zawad nahaid kukuoa na leo nitakutambulish rasm kama mpenz Wang mbel ya familia yangu. Alvin aliongea maneno yote hayo huku akinipig mabus mfululizo nilikuw namsikiliz tu bil ya kumjib chochot huk moyon niko nawaz simu ya lak sab nimeuz usichan wang. Ila potelea mbal niliinuk na kwenda bafun kwa shid Alvin na yy alinifat tuliog wot tulivaa nguo na kuondoka .
Episode 8
Tulipitia bakery kuchukua keki na kurud nyumbani. Alvin alipaki gari na kushuka nilibeb mizig na kuingiza ndan mingin Alvin alinisaidia. Enh leo umemsaidia kijakaz kubeba mizig maajab ya dunia hay Dallan alimchokoz kaka yak lakn Alvin hakujibu kitu. Usikasirike bhan kaka mi nakutania mama yup ndan pia na Cathy yup amefik. Tuliingia ndani ambap tulimkut mama yao na akina Alvin amekaa sebleni na huy msichana Cathy. Cathy alisimama Mahal alipokaa na kumkimbila Alvin na kumkumbatia kwa furaha. Jamani Hb wang nilikumisi leo nimekuletea zawad kweny sherh yako nitakup baadae. Asante Alvin alijibu na kujitoa mikonon mwa Cathy. Alisogea kumsalimia mama yak na mm nilisogea kumsalim bosi wang. Mama shikamoo Alvin alimsalimia mama yak. Marahaba nilikumisi sana kaka yak aliniambia umeenda kununua vitu vyak ndio maan umeshindw kuja kunipokea. Ndio mama, Alvin alimjib Lakini sio mbay Cathy nay kaja kunipokea alifika kabla ya Dallan . Jaman mwanamke huyu mama yao na akin Alvin ni muongeaj hatar alinigeukia na mm. Nimepat habar zako toka kwa bi Afsa karb. Asante mama niliinuk na kupeleka vitu vya Alvin chumbani kwake kish nikatoka harak nikaelekea jikoni alipo bi Afsa. Mbona mmechelew hivy masaa sita kwel mlipitia wap? Bi Afsa aliniuliz. Mama si tuliend mjin tukapitia na bakery kuweka oda ya keki ndio maana tumechelew isitoshe kun foleni. Mhh sawa yangu macho binti yang ila ukae ukijua mtu mzima adanganywi. Bi Afsa aliongea hivy nilishtuk kajia nn kitu nilichokifanya. Kwann unasema hivyo mama nilimuuliz Hamna halaf kabadilish hiyo sket ina damu hujui kuhesabu siku zak. Niligeuz sket niliyovaa na kuona dam kidg niliona aibu. Nilitok jikon kwa kuibia na kwend chumbani kwangu kubadilish nguo. Nilirud jikoni kupika mara Cathy alikuj jikon. Bibi jamani nataka leo nimpikie chakul anachokipend Alvin. Jiko lako mama mpikie mumeo mtarajiw leo mke mkubw naona wivu tu hapa. Nilijiskia vibay ina maana Alvin kanirubun mm kanitoa usichan wang kumbe ana mtu wake. Mama najskia vibay tumbo linaniuma nilimwambia bi Afsa. Sawa kapumzike pia unywe dawa baadae upat nafuu. Sawa nilijib na kuondoka chumbani kwangu. Nilijilaz kitandani huku akil yangu ikiwaz san na kujion mjing mchana mmoj Tena kwa dakika kadhaa nimeharib malengo yang nilipandw na hasir nililia sana. Potelea pote Kama kanitoa bikra bas hatopata nafs tena ya kuuchezea mwil Wang mm ni ng’ombe wa maskin sizai hat sik moj . Sijui kwann nina nuks namna hii. Nilipitiw na usingizi nilikuj kuamka saa moj kasor baada ya bi Afsa kuja kuniamsh. Niliamk na kufungua mlango nilimkut Bi Afsa jiandae hark sherehe inakaribia kuanza. Niliingia bafuni kuoga na kutok nje shereh ilikuw inatak ianze kwan chakul waliagiz hoteln na wagen walikuwa wameshafika weng. Nilitafuta kiti cha nyum na kukaa nikitazam shrh. Cathy alikuwa mstar wa mbele sana kama sherehe ya kwake. Niliinuka na kwenda kumpiga picha Alvin nilivyotak kurud mahali nilipokaa alinishika mkono na kuniit alichukua maiki na kuongea . Wapendwa shereh yangu nitaomb Allin atufungulie kwa kuomb. Nilichukua maik niliomb na kufungua shereh nilirudish maik kwa Alvin lakin hakuniachia mkon na kuninong’onez masikion mwang. Unataka uende wap nataka nikutambulishe leo mbele ya watu kuwa ww ndio birthday girl leo . Nilishtuka na kumuangalia Cathy aliyekuw anatuangalia kwa jich baya Alvin unataka ufanye nini tena ujue nitafukuzwa kaz endapo utafanya hivy tafadhali . Alvin aliniachia mkon nilitok hap mbele na kwenda kukaa nyum. Mama yao na akina Alvin alichukua maiki na kuanza kutambulish familia yake. Napenda kuwatambulish watoto wang Alvin na Dallan mapacha hawa ila mtajiuliz kwann leo ni sherh ya Alvin pekee hii ni sapraizi kubw niliyoiandaa kwen kwa sabab leo kijana Wang atamtambulisha mchumba wake na kumvisha Pete . Watu walishangilia na kupiga makofi na vigelegele. Niliinuka taratibu na kutok eneo la sherehe na kwend chumbani kwangu. Sikutaka kuona upuuzi uliokuw unaendelea . Nililia San had nilipitiw na usingiz . Nilikuj kushtuka saa nne kasor ambapo nilisikia makelele watu wakiwa wanabishan. Niliamka na kutoka nje nilikut mzozo ukiendelea kati ya Alvin mama yake . Ungesema kama hutaki shereh kuliko aibu kubwa uliyoionyesh mbele ya wazazi wa Cathy pamoja na marafiki zangu hivi unafikiri Cathy atakuw kwenye hali gani kwa Sasa. Mama yake na Alvin alifoka kwa hasira. Mama simuhitaj huyo Cathy kujuan na familia yao isiwe chanz cha mm na yy kuoana kuna ninayempenda ns ndie nitakayemuoa huyo Cathy umalaya wak akaupeleke huk huko. Alvin alimjib mama yake kwa hasr na kuondoka chumbani kwake. Nilitoka nje na kukuta watu wakiongea kila mtu na neno lake . Nilimfuat bi Afsa na kumuuliza nn kimetokea. Alvin kamkataa Cathy mbele ya watu kasema ana mtu wake mwingine kisha ametoka hapa na kuingia ndani na sherehe ndio imeishia hapa. Anha yamekuwa hayo niliongea huku nikitabasam. Vipi unatabasam nn umefurah hili jambo kutokea? Bi Afsa aliniuliz. Hapana mama sijacheka . Mara alikuj Cathy mahali tulipokaa samahani nina shid na ww binti.
Episode 9
Nilijikut nikishtuk na kumgeukia Unasemaje hebu niione hii simu yako nilimpatia aliiangalia na kuniuliza umeipata wapi hii simu. Nimenunua kwani vipi nilimuuliz Cathy. Nimeikuta risiti ya simu kweny chumba cha Alvin niambie amekununulia simu ww ndie uliyemfanya anidhalilishe mbele ya watu. Nilishindwa kumjibu Cathy kwa kwel hilo swal lake mbele ya Bi Afsa. Unashindw kunijibu cio utaenda kulijib hili swal kwa bosi wako aliyekuajil halaf ww na umalaya wako unawatak vijana wake. Cathy alinishik mkono ili anipelek kwa mama yao na akina Alvin. Tafadhali Cathy hebu mwachie huyu binti mm namfaham vizuri hawez kufanya hivy bi Afsa alinitetea . Kelele na ww kafanye kaz zako na sio kuingilia mamb yasiyokuhus Cathy alimjib bi Afsa ambaye ni mama mtu mzim umri sawa na mama yake. Alinivut had sebleni tulmkut bosi amekaa huku akinyw wine huku Dallan akijarib kumbembelez mama yake apunguze hasr. Bosi Alishangaa kutuona pale mm na Cathy. Enhe na nyie shid nn tena mbona mmeshikan hivy? Bosi alituuliz. Mama tunakaa tunaangaik Alvin Wang kapatw na nn kumbe kidudu mtu huyu hapa naona kamtek mtoto wako ndio maan mud wot wapo wot tu. Cathy alianza kulia. Sijakuelew Cathy niambie mama shid ni nn. Namaanisha kuw huyu bint anatembea na Alvin. Uongo mama mm sitembei na Alvin jaman ananisingizia tu nilijarb kujitetea. Kelele ww unathubutu kubishan na ss kaa kimy tukiw tunaongea tafadhali mama yao na akina Alvin aliongea kwa hasira. Sawa mama nisameh kwa hilo nilimjibu na kuangalia chin huku machozi yakinileng. Mama nina ushaid kabs nilienda chumbani kwa Alvin mchan nimekuita risit ya simu anayoitumia huyu bint. Anha kumbe tatiz ndio hilo jaman Dallan alidakia niliinuk na kumuangalia huyu na yy anatak kusema nn ten nilijiuliz moyon. Cathy tafadhali muombe msamaha Allin umemkosea hiyo simu mm ndio niliiagiz nimempa apige picha zetu mm na Alvin hiyo risit sio vibay ndug yang akiw nayo chumbani Kama mama huamin chukua hiyo sim na uiangalie Dallan alinitetea . Cathy alinipokony simu na kumpatia bosi aiangalie. Bos alichukua na kuangalia bahat nzur hakukut namb hata moj zaid ya picha nilizompig Alvin muda ule nilivyofungua shereh. Bosi alinirudishia simu na kuniambia aliniangalia sana Kish akaniambia Kumbuka kaz ndio imekuleta hapa na sio kitu kingn kwahiyo usijisahau San pia kaa mbal na vijana wang unawez ukaend. Nilitoka na kwend chumbani kwang nilijiskia vibay San kwa kitu kilichotokea . Nilivua nguo nilivaa kang na kujitupa kitandani nilikuw na mawazo tele. Kwanini Dallan kanitetea uongo mbele ya Mama yake na Cathy na alijuaj Kama Alvin kaninunulia simu Nilikuj kushtuk baada ya mlang Wang kugongw niliinuk na kwend kufungua huk nikiw na usingizi. Nilishangaa kumuon Alvin mda huo Enhe Alvin unataka nn mda huu ww nilimuulz . Kwa mke Wang nakuj jins ninavyojisikia Alvin aliingia ndani na kufunga mlango . Mke wako nani na ulinioa lin we nilimuuliz. Ww ni mke Wang ndoa ilipita jana kwahiyo hapa bado sherh tu kipenzi Chang. Niliangalia saa ni saa saba kasor za usiku nilipand kitandani kulala na yy alinifuat. Nimeshindwa kupata usingiz mke Wang Niko nakuwaz malkia Wang. Alvin aliongea na kunikumbatia. Alvin mimi sina nguvu hum ndan ni kijakaz tu naomba tuachan kabla ya penz letu halijafik mbal ili kama maumivu niyapate kidog tu kuliko huko mbel ninavyoon. Alvin aliinuka na kuniangalia kwa sekund kadhaa. Hivi umenipenda kwel au umenitaman tu Alvin aliniuliz. Nimekupenda kwann umesem hivy. Nimesema hivy kwa sabab kwa mtu uliyempend kwa dhat huwez kuongea pumba Kama uliyoongea hapa kwanz ww ni nan hadi usisemwe na ukion penz linapigw vita jua hil ndio litakalodum daima. Nakupenda sana Alvin nakuon wa tofaut San. Asante nakupenda pia mke Wang. Tulilala hadi asubuhi nilikuj kushtuk saa mbil asubuh nikimkut Alvin bado amelala hana hat habar yoyot. Alvin Alvin hebu amka bhan asubuhi hii tutakuj kufumwa hapa. Niliingia bafuni kuoga nilivaa nguo zangu na kutok nje kufanya usafi. Hivi huyu Alvin yupo wapi mm katok chumbani Jana kisa nimeenda kulala kwak na sitaondok mapem ten nitakuwep kwanz. Cathy aliongea baada ya kuniona ninakuj mahal walipokaa. Niliwasalimia nikaenda kufanya kaz zang zinazonihus. Nilienda chumbani kwa Dallan ili nikafanye usaf. Niligonga mlango alikuj kufungua alivyoniona alifurah. Anh kumbe ww vip shem umekasirk na vioja vilivyotokea jana usijali ww ndio mama lao ? Dallan aliniuliz. Shemeji yak kwa nan heb acha utan natak nifany usaf ila Asante sana kwa kunitetea Jana. Usijal najua kila kitu Allin majuz niliongea na Kaka alinieleza vyot mm ndie niliyemwambia afany vile ili umsamehe kwa vitu alivyokuw anafany. Mnh kwahiyo unajua nn nimefanya na Alvin niliuliz. Hilo muhimu hujui pacha Wang kwahy siri zang ni zak pia half tunataka mtoto tulee kabl hatujafa hap . Kaul hii ilinishtua kidog unamaanisha Nini ww Dallan Usiwe na presh mi nipo sebleni nakunyw chai baadae.
Episode 10
Sio bure huyu hebu nijifanyie zangu usafi nikafanye mambo mengin. Nilifany usaf haraka ili nikanywe chai. Nilienda jikon naanz kunyw chai tu Cathy alikuja jikon. Allin binti mremb aliyeutek moyo wa Alvin unajion umeshinda eeh pale ulivyotetew na Dallan sio. Sijatetew kitu chochot ni ukwel kwamb sina mahusihano na Alvin tafadhali naomba uniach niish kwa aman ujio wak humu ndan usinitie presh ww kama una akil dili na mfuga mbwa usidil na mbwa wak nilimjib Cathy kwa hasira. Unasemaj ww yaan unaniongelea mafumbo mm sasa nimekuelew nitadil na Alvin sio na ww. Hapo umenena Cathy niliinuk jikon na kutok nje maan chai niliion chungu mda huo. Cathy hakulizik alinifuat nje nilipokaa kibarazan. Ww ni mfanyakaz hapa kwahiyo kitendo cha kukaa ni kuwa huna kaz naomba unioshee gar lang nataka kutok. Gar tu kukuoshea usijal hiyo kaz nimefanya san kipindi nip nyumbani kwet. Niliinuk na kwend kuchukua mpira wa maj na sabun . Nilimkut Alvin anakunyw chai nilimpit Kama sijamuona huk nikiw nimekunja sura hatar. Alishindwa hata kuniongelesh jins nilivyokuw. Nilitok nje ili nikaoshe gar ile naanz Alvin alikuj Mahal nilip alichukua osheo pamoja na mpir akaanza kuosha gar. Alvin unafany nn ww heb acha unataka mama yak akuon niliongea kwa saut ya chin. Usijal kipenzi Chang nakusaidia kufanya kaz na ww unachok pia . Daah saw ila akija huyo kivurug wako akakukut hapa ataend kusem tu. Usijal najua kuchez na akil za watu my wife. Mara Cathy alikuj alishangaa kumuon Alvin anaosh gar lake. Enhee kulikoni Tena Alvin kuosh gar badala ya huyo mfanyakaz. Cathy aliongea na kumsogelea Alvin na kumshika bega mbel yang. Sikia Cathy jarib kuheshim kila mtu hata kam ni mfanyakaz pia huyu anaitw Allin hilo ndio jina lak na sio mfanyakaz kingn mm si mumeo mtarajiw enh nikiosh gar la mke Wang mtarajiw sio dhamb. Bas acha tuoshe wote kipenzi Chang sio vizur Cathy alijibalguz Vizuri shika maji na sabun hii hapa unawez ukaendelea maan umenionea hurum mume wak osha mwenyewe. Alvin aliondoka na kutuacha mm na Cathy. Nikimuangalia kish nikaondok na mm . Nilipitiliz jikon kupik chakul cha mchan nilimkut bi Afsa anaosh vyomb. Enh shikamoo mama sikakuon tang asubuhi niliongea. Mh marahaba mm mbon nipo ww ndio sijakuon enhe naomba uniambie ukwel una mahusihano na Alvin? Hapan mama Sina mahusihano nay yul dada tu ndio ana wiv wa kijing. Mtu hun mahusihano nay anakununulia simu ya bei kama hi kwa kaz gan hasa uliyoifany . Hamna mama ni upendo tu jamani. Sawa ila mfich maradh kifo umuumbua. Mama na ww ushaanza misemo yako yaan hata sipat mud wa kupumua huku ww nikitok nje Cathy nitakond walah. Sawa pika hark bosi ale anaondok leo mmh mama anaondok half anarud lini ten niliuliz huk moyon nikiw na furah. Sijajua atarud lin maan ana biashara zake huko Sweden ila watoto wake ndio wanazisimamia hap Tz. Bas nilpik hark na kuandaa chakul mezan. Mama yao na akina Alvin hatimay aliondoka Alvin Dallan pamoj na Cathy walimsindikiz mm niliend chumbani kwang kujipumzisha. Nilikuj kuamk saa kum na mbil nilienda jikon kuandaa chakul cha usik. Nilisikia mlang ulifunguliwa wa sebleni nilitok kuangalia nan . Walikuw Alvin pamoj na Cathy Nilishangaa kumuon Cathy hajaondok. Alvin alienda chumbani kwak Cathy alinifuat niliposimama. Hivi unajua kwann sijaondok ni kwa sabab nampenda Alvin kwahiyo be prepared yajay yanafurahish. Nilimuangalia Cathy bila hata ya kumjib kitu chochot aliondoka na kuelekea chumban kwa Alvin. Sikujal kwa sabab najua Alvin ananipend hawez kunisalit kirahs. Niliend jikon kumalizia kupik niliaandaa chakul mezan . Niliend had chumbani kwa Alvin kwend Kuwait ili waj wale chakul. Nilivyokaribia mlang nilisikia mzozo kat ya Alvin na Cathy ilinibid nitege sikio nisikie kuna nn. Cathy naomba uvae nguo zak sikupendi na sikujitaj kwahiyo ni sawa na kaz bure tu half sipendi kukuona chumbani kwang iwe mwanz na mwish. Sitok Alvin mm nakupenda na nitafanya chochot ili niwe na ww nambie unampend yule mfanyakaz sio. Halaf ukishajua ili ugundue nn tafadhali vaa nguo zak na utok nje. Alvin alifoka kwa hasira kias kwamb saut ilitok had nje. Ww niambie tu nijue Kama ndio huyo anayekuzuzua. Sawa naona umegom kuvaa nguo ngoj niondok nikuach ulale peke yak chumb hakipo kimoj. Alvin alisogea mlangon na kufungua mlango lakin haukufunguk. Cathy nipe funguo nitok nje nina nja. Sikup funguo na hutok leo had unikubalie ombi langu. Nilitaman kugonga mlang lakin nilijikut hasr zikinipand nilitok mlangoni hap na kushuka chin nilikutan na bi Afsa anafung mapazia ya sebleni sikumuongelesh nilipitiliz chumbani kwang .
INAENDELEA

