NIMEMFUMA MKE WANGU, AKIWEKA UCHAFU WA UKENI KWENYE CHAKULA
Mimi ni Kijana Miaka 30, Naishi Na Mke Na Mtoto 1. Familia yangu imekua ikinilalamikia sana kuwa mke wangu ni mshirikina, anafanya mambo mengi ili niwe chini yake na nimsikilize yeye tu na sie mwengine, Madai haya nimekua nikiyakanusha mara kwa mara kwakua sijawahi ona tabia hio wala kuamini kua mke wangu anaweza fanya hivyo
Ndugu wakawa wanalalamika kuwa kwasasa sina msaada kwao, nasaidia familia ya mwanamke pekee, lakini mimi najiona nipo sawa tu na kumtetea mke wangu siku zote.
Leo wakati narudi kazini kwa mda ambao ni Tofauti na nilio uzoea, nilimkuta mke wangu anafanya kitu cha ajabu sana, Kuna uchafu ulikua kwenye Pichu yake, sasa akawa anaulowesha ule uchafu kwenye kibakuli cha maji, kisha anachanganya kwenye Mboga na Juisi, ambavyo hivyo mlaji ni mimi nikitoka kazini..
Niliona Mwanzo mwisho nikiwa nimejificha kando ya dirisha, Baada ya kuona yote ikabidi nitoke taratibu na kuondoka pale nyumbani bila yeye kujua.
Aisee nimechoka ndugu zangu, Nikarudi home jioni ile, akanipa chakula nikakataa na juisi nakakataa kunywa, akaanza kulalamika sana kuwa simpendi nimekula kwa mchepuko kwanini sitaki kula chakula chake, Hajafaham chochote juu ya nilicho kiona,Naombeni Mbinu za kuachana na Huyu Mke bila kuongeza Vita zaidi, Japo nampenda ila kwa tabia hii haivumiliki

