CHUMBANI KWETU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 3
basi weekend ikafika,baada ya kunywa chai tukaondoka amani akawaambia wasituhesabu chakula cha mchana tutakula huko huko ,
tukaenda maduka ya nguo nikachagua nguo,viatu na mahitaji mengine,tukazunguka zunguka mjini mchana tukaingia hotel moja kula ,bas mhudumu mmoja akatukaribisha na alimchangamkia aman hatariš§ umepotea sana amani nini shida?
nipo majukumu tu karibuni sana asante karibu dada asante sio dada ni shem wako huyu ooh umeoa aman ndio aseee mimi nmefurah sana kusikia hivyo maana haikuwa rahisi ,nikawaza mbona kashangaa sana kusikia amani kaoa na haikuwa rahisi nini𤨅
dah acha tu mapito ndugu yangu kabisa karibu shem asante yaani uwe unakuja hata bila ata uyu mumeo shemu wako niko hapa utanikuta jisikie upo nyumbani kabisa nashukuru sana š
basi tukaagiza chakula tukala tukaondoka, tulivyofika nyumbani akasema wewe jaribisha tu nguo zako mimi nipo nje sawa nikaingia nikasema huyu mkaka ana matatizo sio bure ..
yaani mtu hana muda nae wala mpango lakini ananihudumia hivi khaaa au ni sh*ga anaficha aibu kwa watu asijulikaneš³š³
ndo aonekane ana mkeš§ndomana yule mhudumu kashangaaā¹ nikapanga nguo kwenye kabati sasa ilikuwa usiku tumekaa na aman chumbani nikawa nataman nimuombe simu nimpigie shoga angu betty nimpe umbea,
wazaz ata sikua na hamu naoš nikasema au niache ntamuomba kesho wifi zuu simu ,
lakini umbea unawasha jamani ššš nikamuomba tu roommate unaweza nisaidia simu yako nimpigie rafiki angušš amna shida akanipa sasa nkawa nawaza nitamtetaje na mwenyewe yupo nikaghairi nikajifanya haipatikani labda kazima maana muda umeenda saa nne hiiš¤
afu kwanini tulienda mjini ujasema tununue na simu uwe na simu yako mwenyewe na mimi nilisahau kabisa maana Kuna muda naweza taka nikupigie nikwambie kitu nikawaza khaaa makubwa hayaš¤£š¤£š¤£š kesho nikipata muda ntapita dukani nikununulie sawa? sawa
basi asubuhi mida ya saa tano akaja mgeni nyumbani kuleta simu kwamba ameagizwa na amani,basi amani akampigia zuu kumwambia anipeleke kusajili line ameagiza mtu aniletee simu,
wifi akanipeleka nikasajili line tukarudi nikachaji simu ilivyojaa hapo nishaweka line nikasema ndo muda wa kumpa betty umbea sasaš¤£š¤£š¤£
nikaingia chumbani hapo nikatafuta namba yake kwanza maana niliiandika kwenye karatasi nikampigia sasa, nikamuadithia alichekaje akasema ila rafiki angu nachokiona mimi huyo kaka sio mzima au pengine hiyo familia sio watu wazuri au wasiwe wakawa na lengo baya usije tolewa kafara shoganguššš
niliogopaje betty mimi naogopa usiogope bhana ila uwe makini uwasome tu mmmh wewe na huu mji nilivyo mgeni na sina nduguš¤nkapata msaada wapi mimišakanitia moyo pale ,
nikamwambia bas sawa hiyo ndo namba yangu uisavešjion aman alivyorudi akaniuliza simu uliipata ndio asante sana ook umeipenda lakini mana ata hujachagua nimeipenda sana sawa ukitaka chochote tu utasema sawa poa unipe namba yako sasa,basi tukabadilishana namba akanambia nimnyooshe nguo zake za kesho kazini,
nikanyoosha nilivyomaliza naingia chumbani nikakuta ameshalala pale kwenye sofaš¤£
nikasema mwaka huu najionea maajabuš¤š¤£ nikachukua shuka nikamfunika na mimi nikapanda zangu kitandani nkaanza mumpa mchapo Betty anancheka tuš¤£š¤£š¤£ nikamwambia naanza kuogopa wasiwe freemasons hawaš¤£š¤£š¤£š¤£ššš …
asubuhi nikakuta ameondoka nikashtushwa na simu inaita alikuwa ni yeye akanambia kwenye meza nimeacha hela kidogo hapo sijui utanunua nini mwenyewe,
afu nilikwambia ukitaka kitu uwe unaniambia lakini sijaona useme unaniomba hela kwani hunaga shida ya hela wewe?š¤š¤£nkakuta kaniwekea elfu 50 nikampa asanteh..!
Ā basi nikaenda m_pesa nikamtumia rafiki angu betty elfu20 maana alikuwa ananisaidia sana uko nyumbani na ni rafiki angu sana wa shida na rahašššnikaona sio mbaya nimpe tu, elfu 30 nikabaki nayo sikua ata na cha kununua
Episode 4
basi watu wanaanza kumuonea wivu bettyš¤£š¤£š¤£ ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,
kama ni hela zake alinipa na kunikopesha sana tu, na mama nisingempa maana nilikuwa bado nina kinyongo cha kuniforce niolewešš
okay….! tunaendelea eee basi nikawa namwambia wifi si twende hata tukatembee tembee jamani mimi nilishazoea kuzurura bhanaš¤£š¤£š¤£…..
kukaa ndani kama broiler inanikera basi nikamshawishi akasema basi ngoja twende kwa rafiki angu mmoja hivi ila hatukai sana tunarudi amani na aunt watukute tusharud hamna shida tukatoka tukaenda kuna sehemu mdada anauza ice cream na coneš¦š§
akanambia ni rafiki ake anaitwa joy akatukaribisha pale akatupa na cone za ofaš¦
umepotea shogangu nipo si unajua kwetu pale kutoka ni tabu najionea hadi shida kutoka toka mmmh kama mwali hamna bhana si kama hivi nimekuja kwa mwaka mara moja ndo hivvyo hivyo ata iwe miaka kumi ndo nshakuja,
huyu wifi angu mke wa amani mmmh weweee aman kaoa ndio jamani ni bora ndo ata kunialika shogangu jamani harusi yenyewe haikuwa na mambo mengi hata sherehe pia hatukufanya ndoa imepita tu basi jamani haya mama ,
karbu dada mimi naitwa joy asante mimi naitwa zawadi sawa mimi na zuu marafiki kindakndak kwahyo na mimi wifiyo hivyo ujue sawa nafurahi kukufahamuš„°
hatukukaa sana tukaondoka njiani nikashindwa vumilia nikamuuliza wifi mbona joy kashangaa sana kusikia amani kaoa mmmh hamna kitu kashangaa tu labda kwa vile hakualika na hatukufanya sherehe kweli? kwani kuna tatzo lolote wif?
hapana Aaah niambie2 au kama kuna kitu unataka kuuliza uliza tu amna chochote wifi angu haya mama au ndo wivu hahahaha jamani mimi ata sina wivu huna lolote nishakujua una wivu weweš¤£š¤£š¤£
nikajikaza kuuliza mengine,ila moyoni nawaza isije ikawa wanga hawa kama lile movie la kina kanumba na wemaš¤š basi usiku huo amani tukawa tunapiga story ananiuliza mambo ya kijijini kwetu alikuwa mchangamfu sanaš¤£š¤£š¤£nikasema uyu sio wa kumpenda maana inaonekana hana wazo na mimiš
nikamuuliza kwani na wewe ulilazimishwa kuoa? kwanin? sababu inaonekana kama hukuwa na shida ya ndoa šhamna kawaida tu sawa afu utaniacha lini?š unamaanisha kukupa talaka?
ndiošmbona bado mapema sana italeta shida kwanini? mama ataanza nibughudhi na pia nitakosa cha kujibu kwamba nimekuacha kwa kosa gani..?!
kwani kuna tatizo kwa sasa wewe kuwa hapa hapana oky basi tulia tu usiwe na haraka mmmh nikasema uyu kaka hajatimiaš¤£š¤£š¤£ ananivuruga mjue nikapanda kulala yeye hana shida na mimišš„ŗ
ila nikaanza kuwaza au simvutii hata kama hanipendi sio anifanyie hivyoššš ndoa ikafika mwezi siku hiyo akanambia vaa pendeza mama tukatembee mjinišnikaoga zangu mimi nikapiga pambaš safari ya mjinišš basi akanipeleka maeneo ananizungusha zungusha sangapi tusiende kwa joy eti tuingie apa tule ice creamš§
tulivyoingia tu joy acha atukarishe karibu kaka amani na wifi zawad za tangu siku ile mimi apo najisemea tu uyu jamani wenzie tulikuja kwa kuiba yeye ndo ananichangamkia ananitaja na jina kabisaš¤š”
nikajibaraguza kumjibu tu lakini nikaona kama amani amebadilika uson kachukiaš¤š nikasema Leo ntakomaš¤ tukatoka tulivyofika kwenye gari akaniuliza umejuana vipi na joy š¤wee Kwan kusema ukweli ni mpaka na hela?š nkasema mimi tulikuja na wifiš„ŗwee tulivyofika nyumbani alitusema mimi na zuu tukamuomba msamaha akawa anasema humu ndani hamna kutoka mtu bila ruhusa yangu au ya mama sijui kwanini unajisahau zuu,
Halafu na wewe zawadi naona unataka kunizoea sa nikawaza mimi kosa langu niniš³
nikaendelea kumuomba msamaha bhana hadi uko chumbani, akasema kwamba etii lazima nikitaka kutoka nimuage yeye ni mume wangu nilichekaš¤£š¤£š¤£
unacheka nini? kwahyo mimi naongea ujinga hapa hapanaš„ŗ nilijiwazia tu mkewe na hatujigi jigiš basi Betty akanambia amekuja uku amepata kazi basi uje unisalimie jamanišakaja siku moja tukapiga umbeaš¤
maana tulimiss haswa alivyoondoka akantext uyo kaka ndo hatufanyi chochoteš¤šndio khaaa ebu acha ujinga muanze weweee unachelewa wapi weeeeeeeewe kifupi alinambia eti nijisexxysheš¤£š¤£naanzia wapi ata sielewi,sasa siku hiyo nikasema nimtest kama mashine nzima,š¤£š¤£ššš¼āāļø
alikuwa amelala kwenye sofa pale alikuwa anasoma novel akapitiwa na usingizi,kikawa kile kitabu kimemfunika usoni nikafika ad pale sijui ndo nmshikeš¤£š¤ asije niona malaya bure nikaghairiš nkageuza nikalale zangu kitandani mimi š¼ akaniita zawadi?š
INAENDELEA

