Hadithi

Chumbani Kwetu 3 – 4

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

CHUMBANI KWETU

ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi

Episode 3

basi weekend ikafika,baada ya kunywa chai tukaondoka amani akawaambia wasituhesabu chakula cha mchana tutakula huko huko ,

tukaenda maduka ya nguo nikachagua nguo,viatu na mahitaji mengine,tukazunguka zunguka mjini mchana tukaingia hotel moja kula ,bas mhudumu mmoja akatukaribisha na alimchangamkia aman hatari🧐 umepotea sana amani nini shida?

nipo majukumu tu karibuni sana asante karibu dada asante sio dada ni shem wako huyu ooh umeoa aman ndio aseee mimi nmefurah sana kusikia hivyo maana haikuwa rahisi ,nikawaza mbona kashangaa sana kusikia amani kaoa na haikuwa rahisi nini🤨…

dah acha tu mapito ndugu yangu kabisa karibu shem asante yaani uwe unakuja hata bila ata uyu mumeo shemu wako niko hapa utanikuta jisikie upo nyumbani kabisa nashukuru sana šŸ™

 basi tukaagiza chakula tukala tukaondoka, tulivyofika nyumbani akasema wewe jaribisha tu nguo zako mimi nipo nje sawa nikaingia nikasema huyu mkaka ana matatizo sio bure ..

yaani mtu hana muda nae wala mpango lakini ananihudumia hivi khaaa au ni sh*ga anaficha aibu kwa watu asijulikane😳😳

ndo aonekane ana mke🧐ndomana yule mhudumu kashangaa☹ nikapanga nguo kwenye kabati sasa ilikuwa usiku tumekaa na aman chumbani nikawa nataman nimuombe simu nimpigie shoga angu betty nimpe umbea,

wazaz ata sikua na hamu naošŸ™„ nikasema au niache ntamuomba kesho wifi zuu simu ,

lakini umbea unawasha jamani šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ nikamuomba tu roommate unaweza nisaidia simu yako nimpigie rafiki angušŸ™ˆšŸ’ƒ amna shida akanipa sasa nkawa nawaza nitamtetaje na mwenyewe yupo nikaghairi nikajifanya haipatikani labda kazima maana muda umeenda saa nne hiišŸ¤”

 afu kwanini tulienda mjini ujasema tununue na simu uwe na simu yako mwenyewe na mimi nilisahau kabisa maana Kuna muda naweza taka nikupigie nikwambie kitu nikawaza khaaa makubwa hayašŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ‘Œ  kesho nikipata muda ntapita dukani nikununulie sawa? sawa

basi asubuhi mida ya saa tano akaja mgeni nyumbani kuleta simu kwamba ameagizwa na amani,basi amani akampigia zuu kumwambia anipeleke kusajili line ameagiza mtu aniletee simu,

wifi akanipeleka nikasajili line tukarudi nikachaji simu ilivyojaa hapo nishaweka line nikasema ndo muda wa kumpa betty umbea sasa🤣🤣🤣

nikaingia chumbani hapo nikatafuta namba yake kwanza maana niliiandika kwenye karatasi nikampigia sasa,  nikamuadithia alichekaje akasema ila rafiki angu nachokiona mimi huyo kaka sio mzima au pengine hiyo familia sio watu wazuri au wasiwe wakawa na lengo baya usije tolewa kafara shogangu😭😭😭

niliogopaje betty mimi naogopa usiogope bhana ila uwe makini uwasome tu mmmh wewe na huu mji nilivyo mgeni na sina ndugušŸ¤”nkapata msaada wapi mimi😭akanitia moyo pale ,

nikamwambia bas sawa hiyo ndo namba yangu uisavešŸ™ƒjion aman alivyorudi akaniuliza simu uliipata ndio asante sana ook umeipenda lakini mana ata hujachagua nimeipenda sana sawa ukitaka chochote tu utasema sawa poa unipe namba yako sasa,basi tukabadilishana namba akanambia nimnyooshe nguo zake za kesho kazini,

nikanyoosha nilivyomaliza naingia chumbani nikakuta ameshalala pale kwenye sofa🤣

nikasema mwaka huu najionea maajabušŸ¤”šŸ¤£ nikachukua shuka nikamfunika na mimi nikapanda zangu kitandani nkaanza mumpa mchapo Betty anancheka tu🤣🤣🤣 nikamwambia naanza kuogopa wasiwe freemasons hawašŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ …

asubuhi nikakuta ameondoka nikashtushwa na simu inaita alikuwa ni yeye akanambia kwenye meza nimeacha hela kidogo hapo sijui utanunua nini mwenyewe,

afu nilikwambia ukitaka kitu uwe unaniambia lakini sijaona useme unaniomba hela kwani hunaga shida ya hela wewe?šŸ¤”šŸ¤£nkakuta kaniwekea elfu 50 nikampa asanteh..!

 basi nikaenda m_pesa nikamtumia rafiki angu betty elfu20 maana alikuwa ananisaidia sana uko nyumbani na ni rafiki angu sana wa shida na raha😘😘😘nikaona sio mbaya nimpe tu, elfu 30 nikabaki nayo sikua ata na cha kununua

Episode 4

basi watu wanaanza kumuonea wivu betty🤣🤣🤣 ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,

kama ni hela zake alinipa na kunikopesha sana tu, na mama nisingempa maana nilikuwa bado nina kinyongo cha kuniforce niolewešŸ˜’šŸ’ƒ

okay….! tunaendelea eee  basi nikawa namwambia wifi si twende hata tukatembee tembee jamani mimi nilishazoea kuzurura bhana🤣🤣🤣…..

kukaa ndani kama broiler inanikera basi nikamshawishi akasema basi ngoja twende kwa rafiki angu mmoja hivi ila hatukai sana tunarudi amani na aunt watukute tusharud hamna shida tukatoka tukaenda kuna sehemu mdada anauza ice cream na conešŸ¦šŸ§

 akanambia ni rafiki ake anaitwa joy akatukaribisha pale akatupa na cone za ofašŸ¦

umepotea shogangu nipo si unajua kwetu pale kutoka ni tabu najionea hadi shida kutoka toka mmmh kama mwali hamna bhana si kama hivi nimekuja kwa mwaka mara moja ndo hivvyo hivyo ata iwe miaka kumi ndo nshakuja,

huyu wifi angu mke wa amani mmmh weweee aman kaoa ndio jamani ni bora ndo ata kunialika shogangu jamani harusi yenyewe haikuwa na mambo mengi hata sherehe pia hatukufanya ndoa imepita tu basi jamani haya mama ,

karbu dada mimi naitwa joy asante mimi naitwa zawadi sawa mimi na zuu marafiki kindakndak kwahyo na mimi wifiyo hivyo ujue sawa nafurahi kukufahamu🄰

hatukukaa sana tukaondoka njiani nikashindwa vumilia nikamuuliza wifi mbona joy kashangaa sana kusikia amani kaoa mmmh hamna kitu kashangaa tu labda kwa vile hakualika na hatukufanya sherehe kweli? kwani kuna tatzo lolote  wif?

hapana Aaah niambie2 au kama kuna kitu unataka kuuliza uliza tu amna chochote wifi angu haya mama au ndo wivu hahahaha jamani mimi ata sina wivu huna lolote nishakujua una wivu wewe🤣🤣🤣

 nikajikaza kuuliza mengine,ila moyoni nawaza isije ikawa wanga hawa kama lile movie la kina kanumba na wemašŸ¤”šŸ™„ basi usiku huo amani tukawa tunapiga story ananiuliza mambo ya kijijini kwetu alikuwa mchangamfu sana🤣🤣🤣nikasema uyu sio wa kumpenda maana inaonekana hana wazo na mimi😭

nikamuuliza kwani na wewe ulilazimishwa kuoa? kwanin? sababu inaonekana kama hukuwa na shida ya ndoa šŸ™ˆhamna kawaida tu sawa afu utaniacha lini?šŸ™„ unamaanisha kukupa talaka?

 ndiošŸ™ˆmbona bado mapema sana italeta shida kwanini? mama ataanza nibughudhi na pia nitakosa cha kujibu kwamba nimekuacha kwa kosa gani..?!

 kwani kuna tatizo kwa sasa wewe kuwa hapa hapana oky basi tulia tu usiwe na haraka mmmh nikasema uyu kaka hajatimia🤣🤣🤣 ananivuruga mjue nikapanda kulala yeye hana shida na mimišŸ™„šŸ„ŗ

ila nikaanza kuwaza au simvutii hata kama hanipendi sio anifanyie hivyo😭😭😭 ndoa ikafika mwezi siku hiyo akanambia  vaa pendeza mama tukatembee mjini😘nikaoga zangu mimi nikapiga pambašŸ’ƒ safari ya mjinišŸ˜‡šŸ˜Ž basi akanipeleka maeneo ananizungusha zungusha sangapi tusiende kwa joy eti tuingie apa tule ice creamšŸ§

 tulivyoingia tu joy acha atukarishe karibu kaka amani na wifi zawad za tangu siku ile mimi apo najisemea tu uyu jamani wenzie tulikuja kwa kuiba yeye ndo ananichangamkia ananitaja na jina kabisašŸ¤”šŸ˜”

 nikajibaraguza kumjibu tu lakini nikaona kama amani amebadilika uson kachukiašŸ¤”šŸ™„ nikasema Leo ntakomašŸ¤” tukatoka tulivyofika kwenye gari akaniuliza umejuana vipi na joy šŸ¤”wee Kwan kusema ukweli ni mpaka na hela?šŸ˜” nkasema mimi tulikuja na wifi🄺wee tulivyofika nyumbani alitusema mimi na zuu tukamuomba msamaha akawa anasema humu ndani hamna kutoka mtu bila ruhusa yangu au ya mama sijui kwanini unajisahau zuu,

Halafu na wewe zawadi naona unataka kunizoea sa nikawaza mimi kosa langu nini😳

nikaendelea kumuomba msamaha bhana hadi uko chumbani, akasema kwamba etii  lazima nikitaka kutoka nimuage yeye ni mume wangu nilicheka🤣🤣🤣

 unacheka nini? kwahyo mimi naongea ujinga hapa hapana🄺 nilijiwazia tu mkewe na hatujigi jigišŸ™ˆ basi Betty akanambia amekuja uku amepata kazi basi uje unisalimie jamanišŸ™„akaja siku moja tukapiga umbeašŸ¤”

maana tulimiss  haswa alivyoondoka  akantext uyo kaka ndo hatufanyi chochotešŸ¤”šŸ˜Žndio khaaa ebu acha ujinga muanze weweee unachelewa wapi weeeeeeeewe kifupi alinambia eti nijisexxyshe🤣🤣naanzia wapi ata sielewi,sasa siku hiyo nikasema nimtest kama mashine nzima,šŸ¤£šŸ¤£šŸ™ŒšŸƒšŸ¼ā€ā™€ļø

 alikuwa amelala kwenye sofa pale alikuwa anasoma novel akapitiwa na usingizi,kikawa kile kitabu kimemfunika usoni nikafika ad pale sijui ndo nmshikešŸ¤£šŸ¤” asije niona malaya bure nikaghairišŸ™ƒ nkageuza nikalale zangu kitandani mimi 😼 akaniita zawadi?šŸ™„

INAENDELEA

error: Content is protected !!