SHINDIKANA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 4
Pia kwa mbali nilianza kuzihisi dalili za upendo wa dhati kwa huyu kahaba. Niliona kabisa
kwamba nilikuwa nimezimika na nimekufa juu yake. Nilikuwa natamani muda wote niwe naye.
Nikavaa ngio zangu na kasha nikaondoka kutoka katika chumba kile cha gesti. Kwa upande wa wakati ilikuwa ni majira ya saa mbili usiku. Niliona leo niwahi kurudi nyumbani kwani nikichelewa yaweza tokea vita kuu ya tatu ya dunia ambayo itakosa msuluhishi.
**********
“Hello! Niambie mdogo wangu”. Ilikuwa ni sauti ya mama Careen akiongea na simu mchana huu wa leo.
“Safi tu sista”. Upande wa pili wa simu ulijibu.
“Vipi, mbona kimya sana? Yaani uko kimya utadhani hauko katika jiji hili!?”. Mama Careen aliongea.
“Nipo dada yangu. Nitakuja siku moja kukutembelea”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Sawa tu bwana. Yaani tunaishi utafikiri si ndugu?”. Mama Careen alilalama katika simu.
“Kwa nini wasema hivyo dada?”. Uliuliza upande wa pili wa simu.
“Sasa ni mwaka wa ngapi hatuonani? Humjui shemeji yako wala mwanangu. Kila nikikuuliza, waniambia uko katika jiji hilihili la Kano. Hivi hii ni haki kweli mdogo wangu?”. Mama Careen aliongea.
“Punguza moto dada yangu. Natambua nimekosa. Safari hii wala sitakuangusha. Nitahakikisha kwamba ninakuja kukutembelea wewe pamoja na familia”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Lakini hayo si ndiyo maneno yako kila wakati? Mara oooh! Nakuja kesho halafu ooooh! Nimepata udhuru nitakuja wiki ijayo. Hebu jifunze adabu wewe mtoto. Yaani unavyonikera natamani mpaka kukutapika!”. Mama Careen aliendelea kuongoa huku sasa akionesha dhahiri kwamba alikuwa amepandwa na jazba.
“Dada yangu nisamehe. Amini safari hii sitakuangusha nitakuja kukutembelea”. Upande wa simu uliongea.
“Haya wewe ndiye mwamuzi. Ukipenda njoo na usipopenda usije. Mimi sitakuwa na neno nawe kuanzia sasa. Wewe si mtoto mdogo wa kushinda tunakumbushana mambo madogo kama haya wakati waelewa wazi ni jambo la msingi”. Mama Careen aliendelea kufoka.
“Vipi mama Careen, mbona wazozana na simu?”. Nilimwuliza mama Careen mara baada ya kuwa ameacha kuongea na simu. Na kwa wakati huo mimi nilikuwa nimetoka chumbani ambako nilikuwa nikijiswafi mwili wangu.
“Nilikuwa naongea na mdogo wangu”. Mama Careen alijibu kwa kifupi huku jazba ikiwa bado haijapungua.
“Anhaaaa! Yule ambaye ulishawahi niambia kwamba yupo hapahapa Kano?”. Nilimwuliza mama Careen huku nikimtazama usoni.
“Ndiye huyohuyo. Yaani mimi ananikera sana huyu mtu. Yaani mambo yake ni ya kitoto utafikiri ni mtoto mdogo”. Mama Careen aliongea.
“Mh! Yakupasa umsamehe kwani ndiye nduguyo wa pekee”. Nilijaribu kumtuliza.
“Ushaanza na wewe mambo yako. Yaani wewe ndiye unayefuga ugonjwa!”. Mama Careen alinigeuzia kibao.
“Mh! Basi mama yaishe. Mimi natoka kidogo. Nitarejea baadaye”. Niliaga ili kuepusha shari kwani namfahamu fika huyu mwanamke.
“Sasa ole wako uchelewe kurudi leo. Utanieleza kwa nini jogoo hatagi”. Ilinipata hiyo nikiwa navuka kizingiti cha mlango.
Yaani mwanamke alikuwa na shari huyu balaa! Hakuna siku ambayo tungekaa kwa amani na kufurahi kwa pamoja kama mume na mke.
Muda wote ilikuwa ni kuzozana na kutoleana maneno ya kashfa ambayo muda mwingine yaliambatana na vipigo vya hapa na pale. Vipigo vya aina zote vidogo na vikubwa ambavyo mara nyingi vilikuwa vikihatarisha uhai wa ndoa yetu.
Ama kweli mke nilikuwa naye. Na sikuwa na ujanja juu ya mke wangu kwani alikuwa ni mwanamke ambaye nilimchagua mwenyewe na kumwoa wala sikuchaguliwa na mtu yeyote.
Sikulazimishwa na mtu yeyote kumwoa mwanamke huyu bali ni kwa mapenzi yangu mwenyewe. Niliamua kuingia mkataba wa maisha kwa kula naye kiapo cha ndoa takataifu tena ya kanisani ambayo ilishuhudiwa na mashuhuda wengi sana.
Kwa wakati huo mawazo yangu yalikuwa juu ya kahaba wangu mrembo. Niliamua siku ya leo niipitishe nikiwa naye kwani sikuwa na shughuli nyingine ya kufanya. Niliamua niende nikampe mapenzi motomoto nami nipate burudani tamu ambayo huwa naikosa kutoka kwa mke wangu kutokana na kisirani chake.
“Hello! Mambo”. Niliongea katika simu mara baada ya kuingia katika sehemu nilipohifadhi namba za watu wangu mbalimbali na kulichagua jina la kahaba mrembo ambalo nilikuwa nimelisevu likisomeka PATRICK.
Niliamua kuisevu namba ya kahaba kwa jina la Patrick ili kuepusha maswali kutoka kwa mama Careen endapo angeamua kuipekua na kuifukunyua simu yangu.
Niliamua kuichukua tahadhari hiyo kwani nilimfahamu fika mama Careen kwamba alikuwa ni mwanamke ambaye alikuwa akipenda sana udambwidambwi.
“Poa vipi mzima wewe?”. Upande wa pili wa simu uliongea kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
“Mimi niko fresh kabisa”. Nilijibu.
“Eeeeeenheee! Lete maneno”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Maneno yatoke wapi zaidi ya kukumiss tu”. Nilijibu huku nikiendelea kutembea.
“Ha ha ha ha haaaaaaa! Yaani wewe unimiss mimi badala ya kummiss mkeo!”.
“Aaaah! Najua huwezi kuamini lakini ukweli wenyewe ndiyo huo”. Nilijibu.
“Haya unanimiss kwa lipi sasa?”. Alihoji Yule mrembo katika simu.
“Nakumiss kwa yale mambo matamu sana ambayo huwa unanipa. Mambo haya huwa siyapati kwingine kote zaidi ya kwako”. Niliongea.
“Acha kunichekesha bwana. Ina maana kwa mkeo huwa hupati?”.
“Amini hebu nielekeze nyumbani kwako nije sasa hivi maana ugwadu nilionao ni balaa!”. Nilimsisitiza Yule mrembo.
“Heeeeee! Uje kwa nani?”.
“Jamani si nakuja kwako? Kwani kuna ubaya gani? Mi wala siyo simba kusema huenda nikakung’ata ukafa!”. Nilimchombeza Yule mrembo kwa maneno matamu na laini.
“Ila una vituko wewe mwanaume sipata ona. Huwa unanipa raha sana kwa maneno yako. Haya basi njoo mtaa wa Jalawa ukifika hapo nipigie nami nitakuja kukuchukua”. Hatimaye yule mrembo alikubali kuniruhusu niende kwake.
“Nd’o hivyo kisura. Hebu kubaliana na ushauri na maoni yangu”. Nilimwambia yule mrembo pindi tulipokuwa chumbani kwake kabla hata hatujayaanza yale mambo yetu.
“Lakini we mwanaume ni wa ajabu sana. Yaani hivi umekomaa kabisa mimi niachane na shughuli hii ambayo ninaifanya”. Yule mrembo aliuliza.
“Ninakimaanisha kile ambacho ninakiongea”. Nilimwambia.
“Ok, lakini hivi unafahamu kwamba hii biashara ndiyo ambayo inaniweka katika jiji hili la Kano?”. Mrembo aliuliza.
“Ndiyo nafahamu fika na kwa uwazi kabisa”.
“Sasa kama wafahamu, je, ni kwa nini wataka mimi niiache hii shughuli? Hivi huoni maisha yangu yatakuwa magumu sana na jiji hili litanishinda?”. Mrembo aliongea huku akinitazama usoni kwa macho yake malegevu.
“Mimi nimejitolea kukusaidia kwa kila kitu katika maisha yako”. Niliongea kumtoa hofu yule mrembo malkia.
“Basi naomba nikuulize swali”. Mrembo aliongea.
“Uliza tu wala usijali”. Nilimruhusu.
“Hivi ni kwa nini umeamua kuyafanya haya yote ambayo umekusudia?”. Swali hilo lilitua katika ngoma za masikio yangu.
“Nimeamua kuyafanya haya yote kwa sababu ya upendo wa dhati ambao ninao juu yako”. Nilimjibu.
“Acha propaganda zako bwana. Wewe utampendaje kahaba?”.
“Upendo hauchagui. Popote pale mtu aweza kupenda bila kujalisha tabia, dini, sura, rangi au kabila la mtu”. Niliongea huku nikimtazama usoni.
“Mh! Hii kali sasa. Je, kwa nini usimpende hivyo mkeo?”. Yule mrembo aliniuliza swali moja la msingi sana na ambalo lilinichoma sana moyo.
“Mke wangu hatupatani hata kidogo. Yaani mpaka inafika kipindi huwa najilaumu ni kwa nini nilimwoa mwanamke yule. Mwanamke ana gubu, mwanamke ana inda, mwanamke amejaa kisirani toka unyayoni mpaka utosini”. Niliongea hayo kwa uchungu sana mpaka yule kahaba akanionea huruma.
“Mh! Usimseme hivyo mkeo”. Yule mrembo aliongea huku akinikuna kifuani.
“Ni kweli haya nikuambiayo. Laiti ungemshuhudia huyu mwanamke kwa vitimbi anavyonifanyia, ungenionea huruma”. Niliongea.
Sehemu Ya 5
“Lakini ni kwa nini basi usikae chini na mkeo halafu mkazitazama tofauti zenu na kisha mkaijenga ndoa yenu?”. Kahaba huyu aliongea maneno ya hekima sana.
“Nimejaribu hilo si chini ya mara thelathini lakini mwanamke ametia boriti masikioni. Yaani yeye ndiye ambaye ameitawala ndoa. Mbabe yeye, mkali yeye, mwamuzi yeye. Yaaani mimi sina sauti kabisa katika ndoa yangu”.
“Mh! Pole sana”.
“Ahsante sana. Na hii hasa ndyo sababu kuu iliyonifanya mimi nichepuke na kutafuta faraja huku”. Niliendelea kuyatiririsha maneno yangu mithili ya kasuku.
“Mh! Aisseh!”. Yule mrembo alibaki aking’ung’uta tu.
“Na kwa siku hizi kadhaa ambazo nimekuwa nawe nimetokea kuvutiwa nawe kupita kiasi. Ninahitaji nikuweke ndani kabisa, utulie tutengeneze maisha”.
Yule mrembo hakujibu kitu zaidi ya kunikumbatia huku mkono mmoja akiwa amemshika mjomba. Chuchu zake zilianza kukisugua kifua changu taratibu na kuanza kunifanya nijiskie raha isiyo kifani.
Mkono wangu nami haukuzubaa. Ulienda moja kwa moja mpaka kwa shangazi na kugonga mlango ambao ulikuwa umefungwa.
Mrembo akaufungua tatatibu mkanda wa suruali yangu na kuanza kuyamung’unya machungwa pamoja na kuulamba muwa kwa wakati mmoja.
Kitendo kile kilinifanya nisisimkwena mwili vilivyo na kuyaamsha maruhani yangu ya mahaba ambayo kwa wakati huo yalikuwa yamelaka usingizi wa pono.
Mrembo yule aliendelea kuumung’unya ule muwa kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu mpaka pale ambapo niliridhika na yeye pia aliridhika.
Yeye haikuwa shida kumchojoa nguo zake kwani kwa wakati ule alikuwa katika vazi la khanga moja nyepesi tu.
Hivyo nilimnyanyua na kisha nikambwaga kitandani taratibu na kisha nikamchanua miguu yake. Mikono yangu ikaanza kuyachezea matiti yake kwa ustadi wa hali ya juu. Niliipeleka midomo yangu na kisha nikaanza kuyamung’unya matiti yake ambayo yalikuwa yamesimama tisti.
“Ooooosh! Aaaaaaash!”. Ni mlio ambao alikuwa akiutoa mrembo huyu pindi mimi nilipokuwa nikishughulika na matiti yake.
Baadaye nikaamua kuhamisha mandhari ya kufanyia shooting. Nikaanza kuulamba mwili wake taratibu huku nikishuka tumboni mpaka katika kitovu chake.
Nikaweka kituo mahala hapo kwa muda huku nikiyasikiliza makelele ya kilio ambayo mrembo yule alikuwa akiyatoa.
Baada ya kukilamba kitovu chake kwa muda fulani, basi nikaanza taratibu kushuka kuelekea kwa shangazi ambako nilienda kuhakikisha kama maji yalikuwepo ya kutosha kabla sijaanza kuuchochea moto chunguni.
“Nipeeeeee! Baaaaaaaby! Nipe pleeeease!”. Alilalamika yule mrembo akiomba kupewa dozi yake tamu ya juisi ya parachichi.
Nilipohakikisha ya kwamba yule mrembo alikuwa amelainika vya kutosha basi nikamshika mjomba na kumpeleka moja kwa moja mpaka kwa shangazi na kumwamuru aanze kuchochea chungu cha maharage cha shangazi.
**************
Nilimkunja yule mrembo na akakunjika sawasawa. Nilimchezesha muziki wa aina zote ambao aliukubali. Niliendelea kuuchochoea moto kwa ustadi wa hali ya juu huku yule mrembo akiendelea kulia kwa raha isiyomithilika.
“Am coming baby! Aaaam comiiiing!”. Alipiga kelele yule mrembo pindi nikiendelea kuchochea kuni chunguni. Na kwa wakati huo nami nilianza kuziona dalili za kupiga mshindo.
“Ooooooosh! Aaaaaaash!”. Mrembo alipiga kelele huku akifika kileleni na mimi kwa muda huohuo nikapiga mshindo mkuu.
“Ooooooooooh!”. Mrembo yule alipiga ukelele mmoja mkali pindi majimaji ya moto yalipoingia kwa raha ya aina yake chunguni.
Mrembo yule alinikumbatia kwa nguvu na kumfanya mjomba azidi kujiingiza ndani zaidi huku akiendelea kutema sumu zake zenye utamu ambao yule mrembo aliufurahia.
“Oooooooh shiiiiiy!”. Yule mrembo alipiga kelele huku akinisukumia pembeni.
“Nini tena beib?”. Nilihoji huku nikiwa nimestaajabu kwa kitendo hiki cha huyu mrembo.
“Yaani kumbe haukuvaa kondomu?”. Yule mrembo aliuliza.
“Nilidhani hutojali baby”. Nilijibu.
“Ona sasa ujinga wako huo. Na ole wako uwe umenitia mimba!”. Yule mwanamke aliongea huku akionesha wazi kuwa ametaharuki.
“Lakini ukipata ujauzito wala haitokuwa tatizo”. Niliongea.
“Haitokuwa tatizo? Hivi wewe mwanaume ukoje? Mbona unashindwa kuwa mwelewa? Unafikiri mimi nikipata mimba maisha yangu yatakuwaje?”. Yule mrembo kahaba aliongea.
“Jamani mpenzi mbona nilikwishakuweka wazi kwamba uachane na hiyo shughuli unayoifanya na mimi nitakugharamia maisha yako”. Nilimwambia huku nikijaribu kumbusu huku yeye akinipiga kofi la huba shavuni.
“Wewe unataka kunisababishia matatizo wewe? Hivi unafikiri mke wako akija kugundua kwamba una mahusiano na mimi unadhani itakuwaje?”. Mwanamke yule alihoji.
“Mimi nilikwishakueleza kwamba usiwe na wasiwasi hata kidogo kwani mimi ndiyo mwanaume wa nyumba na ndiye mwenye maamuzi ya lipi nifanye au lipi nisifanye”. Niliongea.
Niliongea maneno hayo kwa lengo la kumwondoa hofu yule mrembo ingawa nilikuwa nikifahamu wazi kwamba endapo mama Careen angeyafahamu haya mahusiano mapya ambayo nilikuwa ninayaanzisha, basi nyumbani pangechimbika na kisha pangewaka moto.
“Sasa ni kitu gani ambacho kimekuvuta kwangu ingawa naamini mkeo naye atakuwa ni mzuri na mrembo hata yawezekana akanishinda hata mimi?”. Yule mrembo aliuliza.
“Kwako nimevutika na upole ukarimu pamoja na mapenzi matamu ambayo unanipa. Kwa kweli penzi ambalo wanipa sijawahi lipata popote pale”. Niliongea.
“Mh!”. Aliguna.
“Halafu pia u mwanamke mzuri na mrembo sana”. Niliendelea kumpamba kwa sifa lukuki.
“Lakini mpenzi wajua kuna kitu hujanitendea haki kabisa”. Niliongea huku nikimkumbatia vyema yule mrembo.
“Jambo gani hilo tena?”. Aliongea yule mrembo huku akiwa amenirembulia macho yake makubwa kiasi yenye mvuto wa kuyatazama na kidole chake cha shahada akiwa amekiweka katika midomo yangu.
“Yaani toka nimeanza kuwa nawe ni muda sasa umepita, lakini hujawahi nitajia jina lako hata siku moja licha ya kukuuliza mara kwa mara”. Niliongea huku nikimkandika busu moja matata.
“Sawa mpenzi wangu. Nadhani kwa kipindi chote hicho ulikuwa si wakati sahihi wa wewe kulifahamu jina langu. Kwanza nilifikiri wewe ni mpita njia tu kumbe ulikuwa wataka kuweka makazi kabisa”. Yule mrembo alijimwaga kwa fasihi tamu za kimahaba.
“Ok, sasa leo ninakuomba unitajie jina lako”. Nilimsisitiza yule mrembo.
“Sawa, jina langu mimi ni Jasmine”. Aliongea huku akiniangalia kwa huba.
“Wooooow! Jina zuri na tamu kama ulivyo wewe mwenyewe”. Niliongea kumpamba yule mrembo ingawa ulikuwa ndiyo ukweli halisi.
“Acha fiksi zako bwana!”. Jasmine aliongea huku akiwa na macho yaliyojaa soni.
“Sasa wewe pia mbona hujawahi nitajia jina lako?”. Jasmine aliuliza.
“Sikuwahi kukutajia kwa sababu hukuwahi niuliza”. Nilimjibu.
“Haya basi waitwa nani”.
“Mimi naitwa Gabriel Mayanja ingawa wengi hupenda kuniita Mayanja”. Nilimwambia Jasmine.
‘Ok, jina zuri lakini mimi napenda kukuita beib au mpenzi”. Jasmine aliongea kwa bashasha za kimapenzi.
“Vyovyote utakavyo mpenzi wewe niite tu”. Nilimweka huru Jasmine.
Siku ile nilishinda nyumbani kwa Jasmine. Tulishinda tukipeana mahaba motomoto ambayo kila mtu aliyafurahia. Yalikuwa ni mahaba ambayo yalizikonga nyoyo zetu na kuzikata kiu zetu za huba. Kila mtu kwa upande wake aliridhika na penzi kutoka kwa mwenzi wake.
“Leo hii ni lazima unipe majibu yanayoeleweka ya maswali yangu la sivyo kesho ni lazima utazikwa na tuanze kuomboleza matanga”. Ilikuwa ni sauti ya ukali ya mama Careen usiku huu pindi nilipotia mguu nyumbani kutoka kwa Jasmine.
Kwa wakati huo wote ambao nilikuwa nikihojiwa maswali hayo, nilikuwa nimelala juu ya sakafu huku nikiyaugulia maumivu makali sana. Maumivu haya yalitokana na kipigo kikali sana ambacho nilikuwa nikiendelea kukipata kutoka kwa mke wangu mama Careen.
Wakati naingia ndani ya nyumba nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishtukia upawa wa mboga ukitua katika kichwa changu na kunifanya nipige kelele za maumivu makali ya kichwa niliyoyahisi.
Hilo mama Careen wala hakulijali, bali alinipiga tena mgongoni kwa shambulizi kali la kutumia ule upawa. Shambulizi lile lilinipeleka chini moja kwa moja huku nikiwa nimeanza kuchuruzikwa na damu puani.
Mama Careen aliendelea kunishushia mapigo mfululizo pale chini ambayo yalinijeruhi sana. Mwili wangu ulikuwa ukizizima kwa maumivu makali sana. Huyu mwanamke kwa kweli alikuwa akijua kutandika. Haikujalisha jinsi yake.Yaani akikutandika ni lazima utatia adabu tu.
“Mke wangu mimi sielewi kabisa ni nini ambacho unakizungumza”. Niliongea huku nikiendelea kusikilizia maumivu pale juu ya sakafu.
***********
Mwe MWe mweee mweee wanaume msikubali kupigwa na wake zenu haileti picha nzuri ndani ya jamii hasa ugomvi wa nnje, kingine mr law nakuambieni katika upendo hakuna ugomvi pia Wanawake heshimuni waume zenu maana mnakosa mengii
……………………………………………………………
KICHAPO KUTOKA KWA WIFE MAMA CAREEN Kilisababisha kuwa na maumivu makubwa sanaa yani laiti ingekuwa mwanaume lelemama angeshauwa ,kama siyo kuhama nyumba yako mwenyewe.
“Mke wangu mimi sielewi kabisa ni nini ambacho unakizungumza”. Niliongea huku nikiendelea kusikilizia maumivu pale juu ya sakafu.
………………………………………………….
“Ninarudia tena kwa mara nyingine, ninataka kujua vito na baadhi ya nguo zangu vimeenda wapi? Haiwezekani vitu vyangu vikatoweka kiajabuajabu!”. Mama Careen aliendelea kuongea huku akiendelea kunishushia kipigo kitakatifu.
“Mimi sielewi mama Careen. Mbona wewe umekazania kwamba mimi ndiye ambaye nimechukua vitu vyako?”, Niliongea kwa kujitetea katika sauti ya maumivu.
“Sasa humu ndani tunaishi wangapi”. Aliuliza mama Careen baada ya kuwa amenitandika upawa katika makalio yangu.
“Humu tunaishi wengi na wewe mwenyewe unajua kabisa”. Niliendelea kujitetea.
“Kwa hiyo una maana huyu mtoto mdogo Careen ndiye ambaye amechukua?”. Mama Careen alihoji kwa ghadhabu sana.
“Huwezi jua mke wangu”. Nilijibu hivyo kwa lengo la kumshawishi akubaliane nami.
Ukweli wa dhahma ile yote mimi ndiye ambaye nilikuwa naufahamu. Mimi ndiye ambaye nilikuwa nimechukua baadhi ya vifaa vya urembo vya mke wangu kama vile; bangili, herein, pete n.k na kwenda kumpa Jasmine kama zawadi.
Nakumbuka nilimpa Jasmine nikimdanganya kwamba nilikuwa nimemnunulia. Jasmine alifurahi sana na kuamini kwamba kweli mimi nilikuwa ninamaanisha penzi la dhati kwake. Aliahidi kulidumisha penzi letu hili changa na kunipenda milele.
“Nasema hivi baba Careen, mimi sihitaji maelezo yako ya kitoto na yasiyo na kichwa wala miguu. Ninachokihitaji ni vitu vyangu virejee hapa. Hii ni tabia mbaya kabisa”. Mama Careen aliendelea kufoka huku sasa akibubujikwa na machozi na kuondoka kutoka eneo lile ambalo alikuwa akinisulubu.
Nami kwa aibu na fedheha kubwa nikajizoazoa kutoka pale chini huku mwili wangu ukiwa umelemewa mzigo mzito sana wa maumivu yasiyomithilika. Nikaamua kwenda chumbani ili nikayapunguze mawazo yangu.
..
***********
Penzi langu na Jasmine lilizidi kukua kwa kasi mithili ya moto mkali ulao nyika. Jasmine sasa alikuwa ameiacha ile kazi yake ya ukahaba na nilikuwa ninajaribu kuiweka sawa mipango ya kumfungulia mradi ambao utayaendesha maisha yake.
Nilikuwa nimeamua kabisa kuimarisha koloni langu kwa Jasmine baada ya kuona mke wangu mama Careen ananiletea mambo ambayo siyaelewi kabisa.
“Baby nina jambo moja nyeti ambalo ninapenda nikushirikishe”. Jasmine aliongea siku moja tukiwa nyumbani kwake tukiyafurahia mapenzi yetu.
“Jambo gani tena mpenzi wangu?”. Nilimwuliza Jasmine.
“Ni jambo la kawaida tu”. Jasmine aliongea huku akiniachia busu mwanana.
“Umeanza kunitisha sasa mpenzi wangu”. Nilimwambia.
“Usihofu mpenzi, ni kawaida”. Jasmine aliongea.
“Ok, ni jambo gani hilo?”. Nilimwuliza.
“Katika siku za hivi karibuni nilikuwa najihisi tofauti katika mwili wangu. Nimekuwa nikijisikia uchovu wa mara kwa mara, kichefuchefu na miguu kuniuma”. Jasmine aliongea.
“Aaaaah! Hayo yatakuwa ni malaria”. Nilimjibu kwa kujiamini sana utadhani mimi ni daktari.
Sehemu Ya 6
“Kwa nini wasema hivyo mpenzi?”. Jasmine aliuliza huku akinitazama usoni.
“Unajua malaria mimi naifahamu sana. Dalili zake ni kama hizohizo ambazo umezitaja. Itakubidi uende hospitali ukapime ili uanze dozi mapema?”. Nilongea huku nikimfariji Jasmine.
“Basi jana niliamua kwenda hospitali kwa lengo la kupima. Baada ya vipimo, niligundulika kwamba nina ujauzito wa mwezi mmoja”.
.
“Unasemaje weweeeee?”. Niliuliza kwa taharuki utadhani ya kwamba nilikuwa sijakisikia kile ambacho Jasmine alikuwa amekiongea.
“Nina ujauzito wa mwezi mmoja mpenzi”. Jasmine alirudia kuongea tena kwa mkazo.
“Hapana haiwezekani!”. Niliongea huku ubongo wangu ukiwa kama umeacha kufanya kwa sekunde kadhaa.
“Sasa haiwezekani nini?”. Jasmine alihoji kwa mshangao.
“Sasa wewe unafikiri tutafanyaje?”. Nami nilimjibu kwa kumkandika swali.
“Tutafanyaje kivipi?”. Naye alinijibu kwa kunirushia swali lilelile.
“Hivi wewe huoni kama hili ni tatizo kubwa?”. Nilimwambia.
“Sasa kuna tatizo gani hapo wakati wewe ulisema wanipenda na wataka kuanza maisha na mimi”. Jasmine aliongea.
“Sawa, lakini vipi mama Careen akiligundua hili? Huoni kwamba patachimbika?”. Nilijaribu kutoa tahadhari.
“Hilo utajua wewe maana tangu mwanzo mimi nilikwambia kuhusu hili. Je, wewe ulinijibuje? Si ulisema nikuachie wewe ya kwamba utajua namna ya kufanya!”. Jasmine aliongea huku sasa akionekana kukasirika kidogo usoni.
“Sawa la … la … lakini ….”. Kigugumizi cha ghafla kilinijia.
“Lakini nini?”. Jasminie aliuliza.
“Tena ulisema wewe ndiye mwanaume wa nyumba na unaamua nini ukifanye na nini usikifanye. Hebu acha kunichanganya bwana”. Moto wa Jasmine sasa ulizidi kupanda.
“Ok, mama wala usijali. Mimi nitajua namna ya kufanya. Nakupenda sana Jasmine”. Niliamua kumuweka sana ili kuisafisha hali ya hewa ambayo niliona inaanza kuchafuka taratibu.
.
“Hayo ndiyo maneno. Siyo unakuwa unaleta ngonjera zako hapa ambazo hazieleweki kama siyo mwanaume bwana!”. Jasmine aliongea huku akionesha wazi kwamba alikuwa na furaha kutokana na maneno yangu.
*********
Ujauzito wa Jasmine ukazidi kuyaimarisha mapenzi yetu. Mimi nikampenda sana Jasmine na yeye pia akanipenda sana. Tulithaminiana na kuheshimiana. Tuliweka ahadi na mipango mingi na kabambe katika kuliimarisha penzi letu.
Ujauzito wake ukazidi kukua kwa kasi. Miezi ikazidi kukatika. Kichwa changu kikawa na mawazo mengi sana ambayo yalikuwa yakizidi kuongezeka kila uchao.
Nilikuwa nikiwaza ni namna gani nitaweza kukabiliana na varangati la mama Careen pindi ambapo atakuja kuyagundua mahusiano yangu ya kimapenzi na Jasmine.
Hilo lilikuwa ni dogo kati ya yale ambayo nilikuwa nikiyawaza. Jambo kubwa ambalo ndilo liliniumiza kichwa hasa ni suala la ujauzito wa Jasmine. Suala la mimi kutembea na Jasmine niliona ningeweza kulizima endapo moto wa mama Careen ungewaka lakini suala la ujauzito mh!
Hili lilikuwa kubwa na nilishindwa kulibeba kabisa. Nilikuwa nikiliona kabisa jahazi likienda mrama na mimi kama nahodha nilikuwa sina uwezo wa kulinusuru jahazi hili katika gharika hili kubwa.
“Lakini haya yote ameyataka yeye mwenyewe mama Careen. Mwanamke ni mshari balaa. Hajui hata kuibembeleza na kuitunza ndoa. Kila siku ni ugomvi tu ambao hauna hata sababu ya msingi”. Niliwaza siku moja nikiwa chumbani wakati mama Careen akiwa nje uwanjani akicheza na Careen.
“Furaha ya ndoa yetu ilipotea miaka mingi nyuma. Siku za mwanzo za ndoa yetu ndipo nilipolifurahia penzi langu na mama Careen lakini baada ya hapo, ndoa yetu ilibadilika na kuwa chungu kabisa”. Niliendelea kuumizwa na mawazo kichwani mwangu.
“Na kila nikijaribu kumsogeza jirani mke wangu ili tuitengeneze ndoa yetu, yeye alikuwa mbali nami zaidi ya kuzidisha ushari wake. Hajali kabisa ustawi wa ndoa yake”. Nilizidi kutiririkwa na mawazo lukuki mengine yakiwa ni maswali ambayo yalikosa majibu.
Hatimaye taratibu machozi ya uchungu yakaanza kuniporomoka. Niliumia kwa sababu mimi na mke wangu tulikuwa tumeshindwa kuitengeneza ndoa yetu na hatimaye ilikuwa ikielekea katika misukosuko.
.
Baadaye usingizi ukanipitia na kunisahaulisha yale yote ambayo yalikuwa yakiniliza. Nilianza kuota ndoto nzuri na tamutamu juu yangu na Jasmine. Niliota tukiyafurahia maisha pamoja.
***********
Siku moja mama Careen akawa amepata mgeni. Mgeni huyu alikuwa ni mwanamke. Mwanamke huyu alikuwa ni mzuri na mrembo sana.
“Mh! Mdogo wangu wewe una mambo makubwa sana”. Mama Careen aliongea pindi walipokuwa wamekaa sebuleni.
“Kwa nini waongea hivyo dada?”. Mgeni aliuliza.
“Yaani tumepoteana miaka mingi sana hatuonani. Halafu jambo la kushangaza eti sote twaishi katika jiji hilihili la Kano”. Mama Careen aliongea.
“Nisamehe dada yangu. Ni maisha tu ndiyo yamesababisha yote haya”. Mgeni aliongea.
“Wala hata usiyasingizie maisha. Maisha ndiyo yakufanye ushindwe hata kunijulia hali nduguyo?”. Mama Careen aliendelea kuongea kwa kutoa lawama kwa mgeni ambaye alikuwa ni mdogo wake.
“Halafu naona mambo yako si mabaya. Yaani safari hii umeamua kabisa kutundikwa mpaka mimba. Mbona siyaamini macho yangu!”. Mama Careen aliongea kwa mshangao huku akilitazama tumbo la mdogo wake ambalo kwa sasa lilikuwa kubwa.
“Dada yangu. Mimi safari hii ninataka kuolewa. Nimepata mchumba ambaye ananijali na yuko tayari kabisa kunioa”. Mgeni aliongea.
“Ha ha ha ha haaaaaaaa! Yaani Jasmine wewe leo hii unataka kuolewa?. Mh! Haya bwana. Je, na biashara yako ya ukahaba unamwachia nani?”. Mama Careen aliuliza.
“Ile biashara nilikwishaiacha dada. Huyu mchumba wangu ndiye ambaye amenibadilisha na kunifanya niiache biashara hii kabisa. Nimeamua kubadilika kabisa na kuanza maisha mapya dada yangu”. Mgeni aliongea huku machozi yakimlengalenga.
“Yaani leo ndiyo unatambua kwamba biashara uliyokuwa ukiifanya ilikuwa ni mbaya. Je, wakati mimi nakukanya juu ya biashara ile mbona hata ulikuwa hunisikilizi?”. Mama Careen aliongea.
“Nisamehe dada yangu. Na ndiyo maana leo hii waniona niko hapa mbele yako nikiwa nimebadilika kabisa. Mimi si yule Jasmine wa zamani, kahaba. Mimi ni Jasmine mpya. Naomba unisamehe kwa yote ambayo nilikukosea dada yangu mpenzi”. Jasmine aliongea huku akiporomokwa na machozi.
“Haya nimekusamehe mdogo wangu”. Mama Careen aliongea huku akimkumbatia Jasmine.
Ghafla simu ya Jasmine iliita.
“Hallo! Baby”. Jasmine aliongea mara baada ya kubonya kitufe cha kupokelea simu.
“Uko wapi? Mbona nimefika hapa kwako sijakuona?”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Nisamehe mpenzi wangu. Leo nimeenda kumtembelea dada yangu yule ambaye nilikwambia”. Jasmine aliongea.
“Sasa mbona hukunitaarifu?”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Naomba unisamehe mume wangu. Mimi nilifikiri kwamba hutakuja nyumbani kwa wakati huu ndiyo maana sikukutaarifu. Nisamehe sana mpenzi wangu”. Jasmine aliongea.
“Ok, nimekusamehe”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Halafu mpenzi, nilipenda jioni ya leo twende pamoja huku kwa dada yangu ili nikutambulishe kwani dada ana hamu kubwa sana ya kukuona”.
“Ooooh! Hilo wala usijali. Nitajaribu kuziweka sawa ratiba zangu ili kusiwe na usumbufu wowote”. Upande wa pili wa simu uliongea.
“Ahsante sana mpenzi”. Jasmine alishukuru.
“Ok, usijali”. Upande wa pili wa simu uliongea.
Baada ya Jasmine kuongea na ile simu, basi maongezi yake na mama Careen yakaendelea. Wakaendelea kupeana michapo ya hapa na pale ambayo iliwaletea furaha tele katika nyoyo zao.
“Ndiyo hivyo dada. Hakika utampenda kwani ni mwanaume mzuri, mtanashati, anayejali na ambaye anajua nini maana ya pendo la dhati”. Jasmine aliongea.
“Mh! Haya bwana. Waswahili walisema mtu chake. Tutaona hiyo jioni kama hizo sifa unazompamba kweli anazo?”. Mama Careen aliongea huku akicheka.
CHANZO CHA TATIZO MAMA CAREEN NADHANI UMEPATA PICHA.
Hapa hii inaitwa Ndoige ya Mandonga hahaha.. Dada MTU laiti akijuwa Wanashea Mme itakuwejeee????
Mbaya zaidi Mdogo MTU Mjamzito loooh… Hapo nani MBAYAA????
Waswahili Husema Nyumba Ikosapo furaha lazima kuna kuteleza nje kupata furaha au Amani ya moyo hii inaambatana na Majuto Mjukuu,unakuja kuelewa tatizo its too late kama ilivyo Kwa mama Careen.
“Hodi humu ndani!”. Nilipiga hodi mara baada ya kufika nyumbani na kubaini kwamba mlango ulikuwa umefungwa.
Kwa upande wa wakati ilikuwa ni majira ya mchana. Nilikuwa nimerudi nyumbani mapema ili nipate kujiandaa kwa ajili ya safari yangu na Jasmine kwenda kwa dada yake kwa ajili ya kunitambulisha.
Sikutaka kabisa kumwangusha mpenzi wangu Jasmine.
Mlango ulifunguliwa na mama Careen ambaye leo alinishangaza sana. Uso wake ulikuwa na furaha kubwa sana tofauti na siku zote katika maisha yetu ya ndoa. Hakika sijawahi kumshuhudia mke wangu akiwa katika hali hii ya furaha katika maisha yetu ya ndoa.
Furaha ile iliufanya uso wake uchanue na kuuruhusu uzuri wake uonekane dhahiri. Hakika mke wangu alikuwa ni mwanamke mzuri sana ila uzuri wake siku zote ulikuwa ukifunikwa na ukali wake.
Roho yangu sasa ilianza kuniuma. Nikaanza kujilaumu ni kwa nini nilikuwa nikimsaliti mwanamke huyu ambaye mwenyezi Mungu alikuwa amenipatia.
Ikafika kipindi mpaka nikataka nighairi safari yangu ya kwenda kwa Jasmine lakini nikaamua kukaza kwamba kwani nilimfahamu sana huyu mwanamke. Alikuwa ni mwanamke ambaye alikuwa hatabiriki.
“Leo tuna mgeni mume wangu”. Mama Careen aliongea kwa furaha.
“Mgeni?”. Niliuliza kwa staajabu.
“Ndiyo mume wangu”. Mama Careen alijibu.
“Mgeni gani?”. Name nikauliza.
“Mdogo wangu, yule ambaye nilikuwa nikikupa habari zake kila siku”. Mama Careen akaongea.
“Anhaaaaaa! Basi hamna tatizo”. Nilimjibu mama Careen mara baada ya kukumbuka kwamba amekuwa akinieleza mara kwa mara kwamba ana mdogo wake ambaye anaishi katika jiji hili la Kano.
Mama Careen akatangulia mbele kuelekea sebuleni akaniacha mimi pale mlangoni huku nikijiweka sawa mavazi yangu kwa lengo la kwenda kukutana na mgeni ambaye nilikuwa sijawahi kukutana naye hata siku moja.
Nilipoingia ndani moyo wangu ulitaka kupasuka kwa mshutuko mkubwa sana ambao uliupata. Macho yangu hayakuamini kile ambacho yalikuwa yakikishuhudia. Ubongo wangu ndiyo uligoma kabisa kukubaliana na picha nzima ambayo ilikuwa ikionekana pale sebuleni.
“He! Mayanja vipi? Umekujuaje huku?”. Jasmine aliuliza swali ambalo lilileta utata kwa mama Careen.
Mimi nikaiona hali ya hewa imeanza kuchafuka kabisa pale sebuleni. Nikakosa kabisa nmana ya kuweza kulinusuru lile balaa ambalo harufu yake ilianza kusikika.
“Vipi Jasmine, kwani mnafahamiana?”. Mama Careen aliuliza kwa mshangao.
“Huyu ndiye yule mchumba wangu ambaye nilikuwa nikikueleza hivi punde kwamba anataraji kunioa. Mayanja huyu ni dada yangu mpendwa anaitwa mama Careen”.
Masikini Jasmine alikuwa akiyaongea haya yote asijue ni siri gani ilikuwa nyuma ya pazia. Hakujua kabisa kwamba aliyekuwa akimkaribisha alikuwa ni mwenyeji wa nyumba ile na ndiye ambaye alipaswa kumkaribisha yeye.
Mama Careen hakukiamini kile ambacho alikuwa akikisikia. Alibaki amesimama akiwa ameduwaa huku macho akiwa ameyatoa mithili ya mjusi ambaye alikuwa amebanwa na mlango.
Ghafla mama Careen alianguka chini na kuzimia. Kitendo kile kilizua tafrani kubwa mle sebuleni na kufanya kila mtu ataharuki.
“Kwani ni nini kinaendelea Mayanja? Mbona sielewi?”. Jasmine alihoji wakati huo mimi nikiwa ninampepea mama Careen.
“Fanya utaratibu tumuwahishe hospitali Jasmine. Huyu ndiye mke wangu niliyekuwa nakueleza siku zote”. Nilimweleza Jasmine.
“Oooooooh! Mamaaaaaaa! Jamani Mayanja. Ni kwa nini umenitenda hivi. Mbona umenitia aibu ambayo nitashindwa kuibeba. Nitaiweka wapi sura yangu jamani?”. Jasmine naye alikaa chini na kuanza kulia.
Mimi nikaona hapa nikifanya uzembe nitampoteza mama Careen. Nikachomoka mbio kutoka mle sebuleni na kuelekea nje ambako nilitafuta taksi.
Tulimpakia mama Careen na kumuwahisha hospitali. Na kwa wakati wote huo Jasmine alikuwa amempakata Careen huku akilia kwa uchungu.
Tulipofika hospitali, tulimshusha mama Careen na manesi wakampokea na kumpeleka kwa lengo la kupatiwa huduma. Hali yake haikuwa nzuri hata kidogo.
Mimi na Jasimine tulikaa katika dawati la kupumzikia huku tukimwomba mwenyezi Mungu atende muujiza wa kuyanusuru maisha ya mama Careen.
Baada ya dakika kama ishirini hivi kupita, daktari alitoka na kutujia pale ambapo tulikuwa tumekaa.
“Ok, wewe ndiye mume wa mgonjwa?”. Daktari aliuliza hilo kwa kuzingatia maelekezo ambayo tulikuwa tumeyaandikisha kwa nesi awali pindi tukimfikisha mgonjwa pale hospitalini.
“Ndiyo dokta. Mgonjwa wangu anaendeleaje?”. Nilimwuliza daktari kwa bashasha ya kutaka kujua hali ya mama Careen.
Daktari hakunijibu bali alinivuta na kunisogeza mbali kidogo na Jasmine. Moyo wangu ulikuwa una hofu kubwa sana kwa wakati ule.
“Wewe ni mwanaume hivyo unapaswa kujikaza kiume kwa taarifa hii nitakayokupa”. Dakatari alianza kuongea huku akinigongagonga bega.
“Unataka kusema nini dokta?’ Nilimwuliza daktari huku nikiwa nimemtolea macho.
“Kwa bahati mbaya, mkeo tumempoteza. Amefariki dunia”. Maneno yale yaligota katika ubongo wangu na kuniletea kizunguzungu ambacho kinilinifanya nile mweleka na kuanguka chini.
Baada ya hapo nikazirai.
**********
Mazishi ya mama Careen yalifanyika nyumbani kijijini kwetu. Ulikuwa ni msiba mkubwa sana ambao ulinipa uchungu mkubwa. Msiba huu ulikuwa umekitikisa kijiji chetu kutokana na umaarufu wangu.
Jasmine kwa wakati wote huo alikuwa akilia asijue ni nini cha kufanya. Kifo cha dada yake kilikuwa kimemchanganya kabisa.
Baada ya mazishi ya mama Careen tulikaa matanga.
Msiba ulipokwisha, mimi na Jasmine tulirejea jijini Kano huku Careen tukiwa tumemwacha kijijini na bibi yake.
Maisha yetu jijini Kano hayakuwa ya furaha hata kidogo. Ile furaha ambayo mimi na Jasmine tulikuwa nayo ilikuwa sasa imeyeyuka.
Baada ya wiki mbili toka mimi na Jasmine tutoke kijijini, kuna tukio moja kubwa sana lilitokea. Tukio hili lilizidisha ule uchungu ambao mimi nilikuwa nao.
Jasmine alikutwa akiwa amekufa kwa kunywa sumu huku akiwa ameacha ujumbe wa kunituhumu mimi kuwa ndiye msababishaji wa madhila hayo yote.
Polisi walinikamata na kunifungulia mashtaka ya kusababisha vifo vya watu wawili ambao ni mama Careen na Jasmine. Kesi hii ilikuwa nzito na ililalia upande wangu.
Hatimaye nikapatikana na hatia na nikahukumiwa kifungo cha miaka ishirini gerezani.
FUNZO
Katika mahusiano ya ndoa yatupasa tuepuke tamaa. Turidhike na ndoa zetu. Siku zote tuishi katika kuzijenga ndoa zetu na si kuzibomoa. Tuepuke kufanya maamuzi ambayo baadaye huja kutugharimu
****MWISHO***

