SHINDIKANA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 1
MAISHA ni mafumbo sanaa pia katika maisha busara ni kitu chamsingi zaidi kuliko chochote.
MAAMUZI ya busara pia yanachangia kwenye maisha ya wawili hasa wanandoa,chombezo letu mpya inaleta uwiano mbaya katika mapenzi hii ni sababu ya kutosikilizana.
KUHESHIMIANA pia ni chachu ya kuwa na mahusiano bora. CHOmbezo letu hili halipishana saaana na Iliyopita ya kama ni wewe ungefanyeje,kwamba mwisho wa uovu aibu hivyo waweza Pata Somo poa kupitia hapa,mr law naomba tuu ?? ??????????yako kwa ?? ???????? tuu sina mengi ispokuwa burudani…
KARIBU Mzigoni….. Mzigo wetu unaweza ita Shidikana au mdada malaya aloshindikana akiwa katika ndoa yake hivyo tuna somo kubwa sanaaaa…
Twendee kaziii….
*******************************************************
“Hivi baba Careen, unajua mimi sikuelewi kabisa siku hizi?”.
“Kwa nini hunielewi?”. Nilimjibu mama Careen.
“Eti eeeeh! Unajifanya huelewi”. Mama Careen aliongea huku sasa akiwa amekishika kiuno chake kwa mikono yote na kunitolea macho pima.
“Hapana naelewa”. Nilijibu kwa kifupi.
“Unaelewa nini?”. Mama Careen alibandika swali jingine.
“Ninaelewa kwamba hunielewi siku hizi?”. Nilimjibu kwa nyodo.
??????????
“Haya bwana, wewe jifanye una misemo kama waswahili wa pwani”. Mama Careen alinichambua.
“We mwanamke hebu acha kuniharibia siku. Yaani ndiyo kwanza kunakucha lakini ushaanza kuupepeta mdomo pe pe pe peeee! Mithili ya chiriku”. Nami nilimzodoa mama Careen kwa maneno ya dharau na kashifa.
“Sawa bwana mshindi wewe. Lakini mi nakwambia mbio za sakafuni huishia ukingoni”. Mama Careen aliniasa.
“Acha maneno yako bwana. Hayo ni maneno ya kuku tu wala hayamtishi mwewe”. Nilimjibu mke wangu kwa dharau huku sasa mikono nikiwa nimeiweka mfukoni na mguu mmoja nikiusugua chini.
Mama Careen hakujibu kitu bali alimnyanyua Careen ambaye alikuwa hajui ambacho kinaendelea kutokana na umri wake na kuelekea ndani chumbani.
Mimi nikampuuza mwanamke huyu ambaye niko naye katika ndoa mwaka wa kumi sasa. Nilimwona ni mwanamke wa kawaida ambaye hakuwa na jipya zaidi ya maneno mengi kila uchao.
Nilitoka nje ya sebule na kuanza kufanya utaratibu wa kuelekea kazini. Mwanamke huyu kwa kweli alikuwa amenichafua kabisa asubuhi hii ya leo. Roho yangu ilikuwa nyeusi na sikuelewa nitaimalizaje siku.
Nilitamani nighairishe kuelekea kazini lakini nikaona huo utakuwa si uamuzi wa busara hata kidogo. Haikutakiwa mafarakano ya nyumbani yaharibu utaratibu mzima wa kazi. Nilijua namna nzuri ya kumdhibiti mwanamke huyu.
****************
Ilikuwa ni majira ya jioni wakati mimi nikitoka kazini kuelekea nyumbani kwangu. Nilikuwa sipendi kabisa kurejea nyumbani kutokana na maneno ya kero ya mke wangu. Ndiyo kwangu mimi yalikuwa ni maneno ya kero ingawa ilikuwa ni haki yake kuongea kutokana na kusikia tetesi za kwamba nilikuwa nikitoka nje ya ndoa.
?? ?? ?? ?? ?? ?? ?? ?? ?? ?? ?? ..??????????
“Unajua Juma mimi nina tatizo moja kubwa sana ambalo linanikera sana”. Nilimwambia Juma rafiki yangu ambaye tulikuwa tukifanya kazi katika ofisi moja.
“Tatizo gani bwana Mayanja?”. Juma aliniuliza huku akinitazama usoni na wakati huohuo tukitembea kuelekea majumbani kwetu.
“Unajua huyu shemeji yako amekuwa kero sana siku hizi”. Nilimweleza bwana Juma.
“Ki vipi bwana Mayanja?”. Aliniuliza bwana Juma.
“Yaani siku hizi amekuwa akiupepeta mdomo kama wale wanawake wa uswahilini. Yaani yeye muda wote ni manenomaneno tu”. Nilimwambia Juma huku uso wangu nikiwa nimeukunja.
“Ha ha ha ha ha haaaaaaaa!”. Juma aliangua kicheko kikubwa sana kitendo ambacho kilinishangaza sana.
“Yaani Juma mimi nina matatizo makubwa nyumbani halafu wewe unanicheka. Ina maana unanidharau?”. Nilimwuliza Juma kwa ghadhabu sana.
“Siyo kwamba nakudharau rafiki yangu ila unanifurahisha sana Mayanja”. Juma aliongea.
“Sasa ni nini ambacho kinakufurahisha hapa?”. Nilimwuliza Juma huku nikiwa dhahiri nimestaajabu.
“Mwanamke hawezi kukusumbua hata kidogo. Mwanamke hatakiwi kukuendesha hata siku moja bwana Mayanja”. Juma aliongea.
“Lakini yule ni mke wangu Juma”. Niliongea.
“Hata kama! Unatakiwa utende kiume!”. Juma aliongea huku akinipigapiga mgongoni.
“Sasa nifanyaje Juma?”. Nilimwuliza Juma.
Sehemu Ya 2
“Sasa hilo ndilo swali bwana Mayanja”. Juma aliongea huku akiniangalia usoni.
“Ndiyo unijibu haraka sasa, maana mimi nimechoka kabisa”. Nilimwambia bwana Juma nikiwa nina munkari wa kutaka kujua suluhu ya tatizo hili ambalo lilikuwa likinikabili.
“Tulia bwana Mayanja, mambo yako yatakuwa safi kabisa”. Juma aliendelea kunipooza moyo wangu ambao kwa sasa ulikuwa ukichemka sana.
“Kwa hiyo tunafanyaje sasa rafiki yangu?”. Nilimwuliza bwana Juma.
“Mwanamke hatakiwi kukuendesha hata kidogo. Jambo la kufanya ni wewe kwenda kuondoa stress”. Juma aliongea.
“Sasa hizo stress nitaziondoa wapi na nitaziondoa vipi”. Nilimwuliza bwana Juma kwani maelezo yake sikuyaelewa hata kidogo na yalizidi kunichanganya.
“Wewe subiri wala usiwe na mchecheto. Mimi ndiye kamanda wako katika hili na nitakuelekeza kila kitu na mambo yako yatakuwa fresh kabisa.
Maongezi yetu yalitupeleka mpaka kituo cha daladala. Tulipanda ndani ya daladala ambayo ilitupeleka mpaka katika mtaa wa Mbazi ambako ndiko yalikuwa makazi ya bwana Juma.
Juma alinikaribisha katika nyumba anayoishi kisha yeye akaingia chumbani. Sikufahamu alienda kufanya nini kule chumbani lakini baada ya muda wa kama sekunde thelathini alirejea pale sebuleni. Alinikuta nikiwa nimejipumzisha katika sofa mojawapo pale sebuleni. Naye akaketi katika sofa mkabala na mimi.
“Bwana Mayanja, kama nilivyokueleza hapo awali, ni kwamba tatizo lako leo litakwisha kabisa na utairejelea furaha yako kama hapo zamani”. Juma aliongea huku akichukua rimoti na kuwasha Tv iliyokuwa pale sebuleni.
“Lakini bwana Juma wewe unaonekana una maneno mengi kama chiriku”. Nilimwambia Juma.
“Kwa nini wasema hivyo Mayanja?”. Juma aliniuliza huku akinitazama usoni.
“Una maneno mengi lakini vitendo hakuna. Sasa toka umeanza kuniambia kwamba tatizo langu leo litafika suluhu ni muda mrefu sasa lakini sioni vitendo”. Nilimwambia Juma.
“Tulia bwana Mayanja kwani mazuri hayataki haraka. Muda bado haujafika. Kuwa na subira kidogo na baadaye utafurahi mwenyewe na roho yako”. Juma aliongea.
Huyu Juma mimi namfahamu vizuri kwani amekuwa ni rafiki yangu kwa muda mrefu sana. Tatizo la huyu jamaa ana maneno mengi utafikiri mwanasiasa lakini vitendo mara nyingi huwa ni sifuri.
Ni mwaka wa saba sasa Juma amekuwa ni rafiki yangu mkubwa. Tumekuwa tukishirikiana katika mambo mengi sana ya huzuni nay ale ya furaha. Katika kipindi hicho chote cha urafiki wetu kuna jambo moja limekuwa likinishangaza juu ya Juma.
Mpaka sasa hivi Juma ni kijana ambaye anaishi maisha ya ubachela ingawa umri na uwezo wa kuoa anao. Kila ninapomuhoji juu ya hili basi amekuwa ni mtu wa kupiga danadana za hapa na pale.
************
Ilikuwa ni majira ya saa mbili usiku, mimi na Juma tulikuwa tumetinga katika mtaa wa Pinto. Mtaa huu ulikuwa ni mtaa maarufu sana jijini Kano. Ulikuwa ni moja ya mitaa ambayo imechangamka sana. Muda wote iwe mchana au usiku watu walikuwa wakishughulika utadhani hawalali.
Jambo ambalo liliufanya mtaa huu uwe maarufu sana ni biashara ya ufuska. Biashara hii ilikuwa maarufu sana hasa nyakati za usiku katika mtaa huu. Akina dada wengi walikuwa wakionekana wakiinadi miili yao kwa lengo la kuwavutia wanaume ambao wangekwenda kulala nao na kuwapatia pesa.
“Sasa bwana Mayanja hapa ndio penye suluhu la matatizo yote yanayokukabilia katika ndoa yako”> Juma aliniambia huku akinyoosha kidole kunionyesha jengo la Grand Cassino.
“Mbona sikuelewi bwana Juma? Yaani kunizungusha kwote kule umeamua kuja kunileta huku ambako kumejaa laana na ushetani wa kila aina!”. Niliongea huku nikimshangaa bwana Juma.
“Ushetani? Ushetani uko wapi?”. Juma aliniuliza huku akinitazama usoni.
“Ina maana wewe huna macho? Angalia wanawake wale makahaba, yaani wako uchi kabisa”. Nilimwambia Juma huku nikimwonyesha wanawake ambao walikuwa wakijiuza nje ya Grand Cassino.
“Kweli wewe bwana Mayanja naona umeanza kuchanganyikiwa. Ile ndiyo tiba halisi ya matatizo ya ndoa yako ambayo unasema kila kukicha inakuchanganya kichwa chako”. Juma aliongea maneno ambayo yalinishangaza sana.
“Una maana gani Juma?”.
“Nina maana ya kwamba, inakupasa uende ukachague mrembo mmoja wa nguvu ambaye atakuondoa mawazo na huzuni ulizonazo na kukufanya uwe bwana Mayanja kamili”. Juma aliongea.
“Juma rafiki yangu sasa naona umeamua kunipotosha kabisa”.
“Sasa nakupotosha nini Mayanja?”.
“Hivi wewe huoni badala ya kupunguza matatizo ndiyo nitakuwa nayaongeza matatizo kwa kumsaliti mke wangu?”. Nilimwuliza Juma.
“Mimi siwezi kukupotosha hata kidogo rafiki yangu. Wanawake wa hapa hawana stress. Unamchukua unalala naye na kisha unamlipa ujira wake kidogo halafu mnaachana. Mimi miaka yote ndipo mahali ambapo huwa najivinjari na mwenyewe waniona sina presha kabisa katika mambo ya mapenzi”. Juma aliongea.
Kwa mbali nilianza kuona kama maneno ya Juma yalikuwa na ukweli ndani yake. Kwa nini nimbembeleze mwanamke ambaye habembelezeki? Mimi siyo mtumwa wake kabisa. Yaani namlisha, namvisha, akiugua namtibu nab ado nimbembeleze? Aaaaaaah! Haiwezekani hata kidogo.
“Ok, sasa ndiyo nafanyaje?”. Niliamua kumwuliza Juma maana mimi nilikuwa mgeni kabisa katika mambo haya.
“Kwanza shika hizi kondomu. Pili unaenda pale na kumchagua unayemtaka baada ya hapo mnaenda gesti na kumalizana. Gesti haziko mbali. Utaniangalia mimi ninavyofanya”. Juma aliongea huku akinikabidhi mipira ya kiume.
Baada ya hapo tukaondoka kuelekea nje ya Grand Cassino ambako kulikuwa kumejaa wanawake wengi warembo makahaba.
“juma nenda na mimi. Cheki ninavyolipa”. Mwanamke mmoja alimwambia Juma huku akiyatikisa makalio yake.
Kumbe Juma alikuwa maarufu sana katika maeneo haya. Kila mwanamke kahaba alikuwa akimfahamu. Ama kweli waswahili walisema tembea uyaone.
Sehemu Ya 3
Macho yangu yalitua kwa mwanamke mmoja mrembo ambaye alikuwa akija kwangu kwa mwendo wa maringo sana. Alikuwa na uzuri ambao ulikuwa ni ngumu sana kumithilika na uzuri wowote duniani. Moyo wangu uliingiwa na ganzi na mdomo wangu ulishikwa na kigugumizi. Nikatokea kumpenda ghafla kwa mahaba mazito.
“Twende zetu”. Mwanamke yule mrembo aliniambia huku akinishika mkono.
Nami mithili ya mwanakondoo aliyekuwa akielekea machinjoni nilimfuata yule mrembo. Nilikuwa nimeshikwa na wehu wa ghafla.
Tulipata gesti na kisha nikachukua chumba. Tukaingia ndani huku nikiongozwa na yule mwanamke ambaye alionekana ni mwenyeji sana maeneo yale.
“Vipi mbona unaonekana mwoga sana?”. Yule mrembo kahaba alinihoji kwa sauti moja tamu sana.
“Mh! Hapana. Niko safi kabisa”. Nilimjibu kwa sauti iliyokuwa imejaa kigugumizi.
“Ok, umebeba kondomu?”. Aliniuliza.
“Yes! Ninazo”. Nilimjibu huku nikizitoa zile kondomu na kuziweka juu ya meza ambayo ilikuwa mle ndani.
“Sawa. Fastafasta ni shilingi elfu tano, saa moja ni shilingi elfu kumi na tano na mpaka asubuhi ni shilingi elfu thelathini. Sijui wewe ungependelea huduma ipi kati ya hizo?”. Yule mrembo kahaba aliniuliza.
“Saa moja”. Nilimjibu yule mrembo.
Yule mrembo alianza kutoa sketi yake fupi na laini na kubaki na tight ambayo ilizionesha vyema hips zake. Akaitoa blauzi yake na kubaki na sidiria ambayo iliyabeba matiti makubwa kiasi yenye mvuto sana.
Baada ya zoezi hilo kuisha alikuja na kunikumbatia kisha akanipa busu moja mwanana katika sikio langu. Busu lilile lilinifanya nisisimkwe na mwili na kuirekebisha vyema akili yangu ambayo ilikuwa mbali sana. Mjomba naye alisisimka na kuanza kujitutumua ndani ya suruali yangu mithili ya chatu aliyemwona mwanambuzi.
Yule mrembo alinichukua na kunikalisha taratibu juu ya kitanda na kisha akanikalia katika mapaja yangu na kuanza kufungua vifungo vya shati langu huku macho yake ya huba yakinitazama.
Baada ya sekunde kadhaa akafanikiwa kunifungua shati langu na kulitupia mbali. Baadaye sasa akaja katika suruali yangu ambapo aliutoa mkanda wa suruali na kisha kuifungua zipu ya suruali taratibu na wakati huo wote mjomba aliendelea kututumka mle ndani ya mkwego utadhani amelishwa hamira.
************
“Woooooooow!”. Yule mrembo alipiga ukulele mara baada ya kunivua suruali na kumwona mjomba jinsi alivyo mkubwa mithili yam chi wa kinu.
“I like it”. Aliongea yule mrembo huku sasa akianza kumsukasuka huku mimi nikiwa nazichezea nywele zake.
Yule mrembo alimsuguasugua mjomba kwa muda na kisha akamtumbukiza katika kinywa chake. Akaanza sasa kummung’unya mithili ya koni. Nilihisi raha ambayo nashindwa hata kuisimulia.
Mrembo akaendelea kummung’unya mjomba huku mjomba naye akizidi kututumka na kujaa vyema katika kinywa chake. Alinipa raha huyu mrembo mpaka nikahisi kutokwa na machozi.
Baadaye nami nikamchukua na kumlaza taratibu juu ya kitanda. Nikataka nami nimwonyeshe ufundi wangu na ajue kwamba nami ni mojawapo wa wataalamu wachache sana katika fani hii ya mahaba waliopo duniani.
Nikaanza kuyatomasatomasa matiti yake taratibu kitendo kilichomfanya afumbe macho na kuanza kutoa miguno ya taratibu ikiashiria kwamba alikuwa akijisikia raha isiyo kifani.
Nikaanza kuyamung’unya maziwa yale taratibu huku mkono wangu wa kulia ukiwa umefika kwa shangazi na sasa ulikuwa ukimchezea taratibu na kwa umakini wa hali ya juu.
Nilizidisha utundu wangu katika kumchezea na kwa wakati wote huu alikuwa akipiga kelele za mahaba mithili ya mtoto mdogo aliyenyang’anywa pipi.
Nikaanza sasa kumlamba mwili wake taratibu mithili ya chatu anavyomlamba mwanakondoo kabla ya kummeza. Kitendo kile kilimfanya asisimkwe sana.
Niliendelea kumlamba kuanzia shingoni, masikioni mdomoni, tumboni na kisha kitovuni mahali ambapo alionesha kwamba alipenda nipalambe zaidi kwani alipiga ukulele mkubwa pindi nilipofika hapo.
“Ooooooh! Aaaaaashhh! Please give me!”. Yule mrembo alilalama.
Nami nikaona isiwe
shida. Nikachukua kondomu na kuivaa. Baada ya hapo nikamfuata pale juu kitandani. Hapo nikamwacha mjomba aende kumsalimia shangazi. Hakika nilimnyoosha sana yule mrembo kahaba mpaka mwenyewe akashangaa.
“Ahsante, bill yako imeisha”. Yule mwanamke alishukuru.
“Usijali tutaonana siku nyingine”. Nami nilimjibu huku nikiamka kutoka kitandani.
“Hivi waitwa nani vile?”. Nilimwuliza jina yule mrembo maana alikuwa amenipa mahaba yaliyonipagawisha sana.
“Jina langu halina haja kulifahamu. Mimi nakupa huduma ya ngono tu basi”. Yule mwanamke alijibu.
“Basi naomba namba yako ya simu”. Nilimwambia yule mrembo.
“Namba yangu ya simu waitakiani?”. Aliuliza.
“Wajua umenipa huduma bora sana hivyo nilikuwa nataka kila nikija niwe nakupigia simu ili kukupata kwa urahisi”> nilimwambia.
Maneno yangu aliyaona yana mashiko ndani yake. Kwake ilikuwa ni muhimu sana kumtunza mteja asipotee.
“Namba yangu ni 08973327”. Aliongea yule mrembo.
“Ahsante sana nashukuru”. Nilishukuru mara baada ya kuisevu ile namba.
Niliachana na yule mrembo kahaba nikaanza safari ya kurudi nyumbani kwangu. Kwa upande wa wakati ilikuwa inakaribia kabisa saa nne ya usiku. Moyoni nilikuwa nina amani ya kutosha sana kwani yule mrembo kahaba alikuwa amenisuuza na kuniondoa stress zote.
Nilijua nikifika nyumbani tu ni lazima kutakuwa na kitimutimu kwani muda ulikuwa umekwenda sana. Nilimfahamu sana mke wangu mama Careen, Alikuwa ni mwanamke mwenye hasira za karibu sana na yuko radhi kufanya maamuzi yoyote yale.Ilikuwa yataka moyo sana kuishi na mwanamke huyu.
Niliwasili nyumbani kwangu kama majira ya saa tano kasoro robo hivi. Hali niliyokutana nayo pale ilinitisha kwa kweli. Mke wangu alikuwa amesimama mlangoni huku mkononi akiwa ameshika upawa wa kusongea ugali.
“Haya niambie mwanaume wewe. Usiku wote huu unatoka wapi?”. Mama Careen aliniuliza.
“Sasa ndiyo maswali gani hayo mke wangu?”. Nami nilimjibu kwa swali.
“Mimi ni mke wako hivyo ninapaswa kujua umetoka wapi saa hizi”.
“Hivi humu ndani nani ni mwanaume hasa? Mbona unataka kunipanda kichwani wewe mwanamke?”. Nilimjibu kwa fedhuli.
“Anhaaaa! Unaniletea dharau siyo?”. Mama Careen aliongea huku akionesha wazi alikuwa amekasirika.
Ghafla ule upawa wa ugali ulishuka juu ya shavu langu na kunifafanya nianguke chini huku makalio yakiwa juu. Nilihisi kama nyotanyota zikimwetamweta hivi.
Sikupewa hata nafasi ya kutafakari. Upawa ukaanza kushuka juu ya makalio yangu kwa mapigo ya maana. Nilipiga kelele za maumivu. Mama Careen alinikung’uta kweli siku ile.
Baada ya kuhakikisha nimekung’utika vya kutosha mama Careen aliingia ndani huku akiniacha nikiugulia maumivu makali sana yaliyosababishwa na mkung’uto mwanana kutoka kwa mama Careen.
***********
“Hivi kwa nini hujaolewa mpaka wakati huu wakati vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu unavyo?”. Lilikuwa ni swali ambalo nilimwuliza mwanamke huyu mrembo kahaba ambaye siku kadhaa hapo nyuma tuliwahi kufanya mapenzi.
Leo hii tena nilikuwa nimekutana naye kwa mara nyingine. Tulikuwa tumepeana mahaba motomoto katika nyumba hii ya kulala wageni. Na kwa sasa tulikuwa tumemaliza kupeana mahaba motomoto na tulikuwa tukiongea.
“Hivi wewe unafikiri mimi nikiolewa hii biashara nitaifanyaje?”. Yule mrembo alinipachika swali badala ya kunijibu swali langu ambalo nilimkandika hapo awali.
“Sasa ni kwanini waifanya biashara hii ya kuuza mwili?”. Mtindo wa kuulizana maswali badala ya majibu uliendelea.
“Hivi nisipoifanya biashara hii wewe unafikiri nitakula wapi na msoto wa maisha wa hapa Kano?”.
“Sasa mimi nataka uache kuifanya hii biashara na nitakutimizia mahitaji yako ya kila siku”. Nilimwambia yule mrembo.
“Hebu achana na mimi bwana, si tumeshamalizana? Nimekupa ulichokuwa ukikihitaji sasa niache mimi niende. By the way umenipa mambo matamu. Nashukuru”. Aliongea Yule mrembo na kutoka nje ya chumba kile cha gesti.
Yaani mpaka muda huu nilikuwa simfahamu huyu mrembo kahaba alikuwa akiitwa nani. Kila nilipokuwa nikijaribu kumuhoji jina lake, alikataa katakata kunitajia.
INAENDELEA

