MWALIMU NAKUPENDA ILA INAUMA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 11
Mimi Toka form one mwishoni mpaka sasahiv
form two ,nilikuwa Sina marafiki shuleni Wala
Nini Toka agness alivyonigeukaga „sasa Leo
nilivokuwa narudia Dom kutoka dukani
nikamkuta Agness kakaa kitandani kwangu
nilivyofika nikamuangalia tuu hata
sikumuongelesha maaan nilionayo tuu
yananichanga tosha sitaki muongezeko wa
matatizo. Agness akaanza kujichekesha mambo
Shey Wala sikumjibu akawa anaendelea
kujiongelesha mwenzie nimemkalia kimya
alivyoona Hali inaazidi kuwa mbaya akaja mbele
yangu akanipigia magoti akakiri amekosea na
anaomba nisamehe mie nikamwambia sawa jila
hata sikumsamehe na alijua kuwa sikumsamehe
akaniambia Shey mimi siinuki hapa adi
unisamehe nikawazaa nikasema sawa
nimekusamehe inuka agness akainuka alifurah
uyo akaenda kwenye begi lake akatoa vitu vingi
anasemna kaniletea zawadi ata na Mimi nilikuja
vitu vingivingi kwaiyo tukafanya lle challenge
mpya ya marafiki kupeana zawadi izamuzamu
.Tukapiga story nyingi ila safari hii nilijitambua
niliepuka kujiachia sana maana agness sio
wakumuamini kutoa Siri zangu.
Ulivyofika usiku sana tukalala kesho yake
asubuhi na mapema saa kumi na moja kengere
ikagongwa ila chakushangaza matron kaingia
Dom letu kawaamsha wote ila sisi ,mie na
agness ametuacha tulishangaaa ila tukajisemea
labda kafanya makusudi kuangalia akili zetu
zipoje ,tukaamua kuamka wenyew tukajiandaa
polepole tukaenda kuoga ,tulivyotoka kuoga
tukaenda darasani hata hatukuenda assembly
na hamna alietusema kwanini hatujaend
mstarini ,Tukiwa tupo darasani akaja
mwanafunzi mwenzetu anaitwa Leilat ni mmbea
uyo kaja anakimbia anatuambua nyie nyie
mmekaa uku uko ofisini yule handsome boy wa
form five amekutwa na mahusiano alafu
kakataaa kwaiyo anapigana na mwalimu
Kendrick.
Mmmmmh nilishangaa nikainuka harakaharaka
tukakimbia kwenye madirisha ya ofisi kusikiliza
,na kwel tukakuta ni Tarick wanamlazimisha eti
anatoka na Mimi yeye anakata ndomaana akawa
anapigana na mwalimu Mimi na agness
tukaangaliana ,agness akaniuliza we Shey
unauhakika sasaiv hutoki kwel ya uyu mwalimu
maaan sio Kwa mihasira hiyo kisa icho ,mbona
wanafunzi wengine wanaachiwa tu wanadate
humu .Nikamjibu mie sijui na sielewi pia
kinachoendelea.
Eeeh kumbe nilijisahau nikajibu Kwanguvu
kule ndan Kuna mwalimu akatusikia tukaskia tu
sauti inasema nyie mnaosikiliza Hapo nje Kam
mlivyo ingieni ndani yule Leilat akatukimbia
katuachia msala Mimi na agness tukakamatwa
sasa ,nilivyoingia tu Mimi yule mwalimu
Kendrick sifa zikazidi akawa anazidi kumpiga
mwenzie.
Madam Lita alivyoniona tu akaanza Yan nilijua
tuuu nilijua uyu kumbikumbi akose kwenye
mambo kama hayo Yan jaman uyu mtoto ni
mmbea pili anamambo ya kikubwa sana jamn
khaaa adi anakera Leo nikamtolea uvivu
nikamwambia iv wewe mwalimu Mimi lini
nishawai kukukosea maaan Toka lle siku ya
kwanza tu unakuja darsana sikujui walahunijui
ushaanza kunisema Kwan shida yako Nini
Madam akaanza kusema eeeh eeeh jamn Toka
nianze kufundisha hapa sijawai jibishwa na
mwanafunzi wewe mwanafunzi unamapepo
wewe eeeh haya makubwa Yan makubwa haswa
mbona hii Hali sijawai kuiona tabia kama hii
kabla humu ndani ya shule , nikawanacheka
Kwa dharau Kisha nikaondoka zangu
nikamuacha chawa wao agness aendelee
kuwapa habari zangu kama kawaida yake
Chapter 12
Maisha yakaenda shule mie na mgomvi wangu
madam Lita Kila akiingia darasani mama yule
haaachi kunisema Wala kunipa adhabu, mie
nikajuaga labda kwasababu zake tu au sababu
ya utukutu wangu ,kumbe madam Lita alikuwaga
anampenda mwalimu Kendrick Tena sanaaaa
tuuu na alikuwa anawatangazia baadhi ya
waalimu wenzie kuwa ataolewa na Kendrick tuu
,ndo maaan alikuwaga hanipendi na huu umbea
wote Kuna mdada wa form four alinipaga
nilivyojua tu kumbe sababu ndo iyo
nikawapotezea mtu na bwana wake.
Siku iyo ilikuwa ni jumatatu mchanan ni siku ya
kipindi cha math ,akaingia mwalimu Kendrick
akaja akaanza kufoka kwanini watu hawafanyi
kazi zake na mie nilikuwa mmoja wa hao watu
wasiofanya kazi ila chaaajabu kapiga darasa
zima ila mie kaniruka na agness kamruka
tukawa tunashangaaa ,alivyomaliza kuchapa
akawaambia watu Aya kusanyeni ayo madaftr
,watu wakakusanya haraka haraka
walivyomaliza mwalimu akaniambia Mimi Shey
nipeleke madaftri ofisini ,nilitaka nikatae ila
nikaona sio vizur kumvunjia heshima mbele za
watu nikayabeba Yale madaftra nikapelekwa
ofisini nikiwa nataka kutoka na yeye akaingia
ofisini Kisha akaniita nikaenda kuitikia wito wake
Aaakanza mbali Mwenyew ananiuliza iv Shey
wewe unamiaka mingap ,nikamjibu ninamiaka
16 akaniangalia akajisemaa angalaunsasaiv
kidogo umekuakua ,nkajifanya kama vile
sijamsikia ,akaanza kuniambia ujue shey wewe
ni mzuri na kwel Mimi ni mzur na nalijua ilo Nina
rangi nyeupe peeee „rangi ya mtume nikamjibu
najua endelea akaniambia Mimi Nakupenda
sana Shey naomba uwe mpenz wangu
,Eeeeeeeh nilishangaaa alafu nikaaanza kucheka
Kwa dharau adi Akaniuliza kwaiyo Shey mimi
nachekesha au ,Shey akamjibu hapana
huchekeshi ila tunimecheka akaniambia Aya jibu
langu vipi sasa .Nikamuangalia nikamwambia iv
we mtu mzima unajiskia, kwanz sindio wewe
ulikuwa unanitesa mtoto wawatu eeeeh au sio
wewe adi ukanidharirisha Kwa wanafunzi wote
shule nzima wananijua Mimi nahisi ata ao form
one wenywe wananijua.
Kendrick akasema Shey najua nilifanya yote ayo
ila nimeanza kukupenda kwel kwel
,nikamwambia na Tena ukome laasivyo naenda
kukusemea Kwa mkuu ufukuzwe ata kibarua
chenyewe iki.Akanijibu Fanya unachotaka Shey
ila kaaa ukijua Nakupenda Tena Sanaa.
Nikazidi kumcheka uku naondoka maaan
naona anafufua makaburi tuu ,nakumbuka
mwezi wa kumi tukiwa tunajiandaa na mtihani
wa taifa wa kidato cha pili ,tukapewa katest
shule na kalikuwa kagumu ila mie Kila mtihani
niliopewa nilikuta unamajibu ndani ,na aliekuwa
anatusimamia alikuwa ni Kendrick,nikajua tuu ni
yeye ndo kayaandika
Nilivyo na ujeuri sasa nayafuta majibu
najiandikia utumbo wangu mwenyew basi
Kendrick akawa anapita ananicheka tuu mie
Wala sijali .ukapita mwezi sasa tukaingia
kwenye mtihani wa taifa rasmi nikafanya vizur
mtihani wangu wa kidato cha pili na Nina
uhakika na ufaulu wangu.
Tukaenda nyumbani form two wote tulikaa
nyumbani muda mrefu miezi miwili ,tukarudi
form three ila chakushangaza hatukumkuta
Kendrick „kuulizia ulizia tukaambia alipata
dharura ya kikazi na anaweza asiwep mwaka
mzima huu
Nikasema hafadhri asiwepo tuu „Agness
akaniambia sio vizur ujue mtu unaweza Kuta
amefariki uko we unasherehekea ,mie sikuwa
najari nikamjibu tu atajijua mwenywe bwana.
Chapter 13
Shule maisha yakaendelea ila mwezi wa pili
nikaja kugundua kumbe yule Tarick alifukuzwa
shule nika uliza kisa chakufukuzwa shule
wakasema eti alijaribu kupigana na mwalimu
ambae ni Kendrick ,ila nilivyoenda kuwauliza
marafiki zake ambao ndo walikuwa wanamalizia
form six wakaniambia Kendrick alimwambia
Tarick kabla ya kumfukuza shule kuvwa mwalimu
hawezi kushare na mtoto mke hata siku moja
,Yan nilijua tuuu nikasonya Kisha nikaondoka.
Nilisema Sito mmiss Kendrick ila sasa mwezi wa
ne ulivyofika tu nikaanza kumkumbuka
nne
Kendrick jamn ,nikakumbuka alivyokuwa
ananitetea hanipigi ,na miezi yote iyo hatukuwa
na mwalimu wa maths ,nilijikita nimemmiss
sana na mapenzi yamezidi kwakwel adi nikawa
najishangaa jamn mbona kipindi yupo sikuwa
hivi au ndo ukuaji ,maaan mapenzi yalizidi
.Baadae baadae pale shule wakatuletea
mwalimu mwengine wa maths anaitwa mwalime
tano mmmh uyo
Jay kwenye mwezi wa tar
mwalimu jamn nivituko kwakwel
yan
nikasharobaro anajiskia uyo.
lla sasa uyo mwalimu akawa anapenda kwel
kunishobokea Yan alikuwa ananikera hajui tuu
maaan kitu kidogo tuu darasani ananitolea
mfano Mimi adi wanafunzi wakajua uyu
mwalimu natoka nae nilikuwa sipend ila sasa
sinalakufanya namuonea huruma nisije
nikaenda kumsema uko Kwa mwalimu mkuu
akafukuzwa kazi Bure .Mwezi wa tano mwishoni
tukafanya mtihani wa kufunga shule lle rikizo ya
mwezi Wwa sita tukarudi nyumbani.
Safari hii nilivyorudi nyumbani nikakutana na
majanga ,nilikuta kampuni ya babaangu
ya
sanaaaa yan Sanaa adi ikafika
imeyumba sanaaa
mahali hawezi kuwalipa baadhi ya wafanyakazi
wake mishahara, alafu kampuni ya babaangu ni
kubwa kuliko ya mama hivyo ata mama
asingeweza kuiokoa. Baba akatafuta kampuni
kubwa na uyo mweny
kampuni anamjua
walishawai kusomaga
Wote akamwambia
anaomba awekeze kweny kampuni yake uyo
muwekezaji anaela kwel ila anamashauzi
maaana alikubali kuwekeza ila kwasharti maaan
yeye anamtoto Wa kiume anasoma njee
anasema eti Mimi nikimaliza tu chuo mwanae
anioe ilo ndo sharti.
Mama alivyosikia kuhusu ilo shrti alikataa
katakata ila baba aka mlazimisha
akambembeleza adi akakubali wakasaini
mkataba kwaiyo nikawa mchumba wa mtu bila
mie mwenywe kujijua maaan hawakunishirikisha
chochote.
Chapter 14
Mie nikashangaa tu ghafla kampuni ya baba
ikakua Tena kutoka kwenye majivu ,nikafurahi
tuu bila kujua nimeweka bondSiku zikaenda
ukafika mda wa kurudi shule Tena ,safari hii pia
tulivyorudi shule hatukumkuta Kendrick Wala
Nini tulimkuta tu uyo mwalimu Jay mwalimu uyu
mmmmh ni hatar maaan nikachangamka adi sio
Vizuri.
Tukaendeleea na masomo uku mie Hali sishwari
maaan nimemmiss Kendrick adi basi jamn
nikasema basi ata anitumie sms siana namba
yangu au ndo aliniblock kabisa ,nilipoa Sanaa
wanafunz wakiume wakawa wananiapproach ila
nawakataa namsubiri Kendrick Yan adi nikawa
najutia kwanini nilikuwa namringia mwanzo
alivyoniambia ananipenda Yan amakwel kitu
utakionea dhamni yake ukishakipoteza tuuu ndo
ninachopitia Mimi Kwa Kendrick.
Kuna siku tukiwa tunasoma darasani yule
mwalimu Jay akaja kuniita anasema eti Kuna
mtu amenifata nafika uko ananipeleka ofisini
kwake nikajua labda ananiita kuhusu mambo ya
masomo labda kumbe kaenda kuniitia kule ili
kunitongoza jamn iv uyu mwalimu anajielewa
kwel jamn Yan kanitoa darasani katikati ya
kipindi cha biology nikajua ananiitia mambo ya
maaana kwanza kaanza na kuniuliza Yan kama
vilevile Kendrick alivyoniuliza Eti Shey we
unamiaka mingap nikamwambia ninamiaka 17
akaniambia ooooh Mimi Nina miaka 27 ,eeeeh
Kwan Mimi nimemuuliza Akaendelea Mimi
ninamiliki gari aina ya vitzs ,Nina nyumba yangu
ndani ya huu huu mkoa ni kubwa Ina vyumba
vinne ,nikamuuangali Kisha nikamuuliza swal
langu moja tuu, nikamuuliza iv mwalimu
unaniambia ayo yote Mimi ya Nini.
nimekupenda Shey
Aksema mie
na
nimekupenda Toka siku ya kwanza nimekuona
,naomba usinikatae ,eeeeh nyie uyu ndo
wenzie wanatongoza hivi kwel nikamuuliza Aya
unanieleza kuhusu mali zako umeskia Mimi ni
mtu wa TRA nachukua Kodi ya mapango na Kam
hujui iv kwanza unajua hii shule ada ya Kila
mwanafunz sh. ngap .Akanijibu hajui na Wala
haijarishi ,nikamwambia inajalisha Tena Sanaa
maaan ada ya apa ni sh mil25 na ukiiangali Kwa
umakini iyo ada ndo bei ya iyo nyumba yako
unayoiringia kwaiyo niache nisome ovyoo.
Nikaondoka zangu nikamuacha mwalimu
kapigwa na butwa maaana ananijua Mimi ni
mpole na hakutegemea majibu kama haya
kutoka kinywani mwangu .
Chapter 15
Nikaondoka zangu Kwa hasira zaidi nikaenda
canteen kula na ilikuwa sio muda wakula
nilienda maksudi maaan kwasiku lle mwalimu
wazamu alikuwa yuleyule mwalimu Jay Alie
nitongoza kwaiyo asingeweza Kuja kunitoa kule
canteen.
Nilivyotoka canteen nikarudi darasani muda
narudia darasani watu ndo wanaenda
mapumziko, nilivyorudi darasani nikauchapa
usingizi nililala kama Sina akili nzur maan sisi
mapumziko yetu ni lisaa limoja na nusu nikalala
baadae nakuja kuamshwa na kelele za
wanafunzi wanavyoingia darasani ,nikaamka
sasa nikamuuliza Leilat kipindi kijacho ni Nini
Akanijibu ni mathematics, eeeeh nilichukia
sikupenda ata kukaaa kwenye kile kipindi sema
tuu nikajikaza.
Yule mwalimu akaja akaingia darasani
alivyohana ata aibu akalisalimia darasa vizur
,alafu akanita mbele ya darasa ujue kwanza
niliogopa nikawaza uyu kwanz anataka Nini au
ndo Yale mambo ya form one yanajirudia Tena
jamn ,niliogopa ila chakushangaza nilikuwa
nafikiria vibaya tuu yule mwalimu alikuwa
ananiita ilianisifie nimefanya kazi yake vizur
sana kuliko wanafunzi wote mule ndani
watu wanipigie
,akawaambia
makofi ,watu
wakapiga makofi pale.
lla nilishangaa maaan iyo kazi anayoiongelea na
anasema darasa Zima wamekosa Mimi
pekeangu ndo nimepata wakati Mimi mwenyew
nimegerezea mwanafunzi mmoja iv anaitwa
Sharon yeye ndo mweny akili Darasa Zima eti
chaaajabu yeye kakosea ila mie niliemgerezea
nimepatia adi nilishangaaa ,mwalimu
hakumaliza akaendelea kuongea eti anasema
kwakuwa nimefanya kazi yake vizur sanaaa
ananipa zawadi eti kaniletea tablet ya , watu
wote darasan Zima wakaaanza kuguna maaan
walikuwa wanahisi natoka na yule wmalimu
kwasababu ya alivyokuwa kanichangamkia sasa
Leo ndo wakanihisi vibaya kabisa kuwa natoka
nae na lle homework kafanya kama kisingizio ili
tu anipe tablet mpya.
Mimi mwenye binafsi sikupendezwa na lile
jambo niliipokea lle Tablet basi tuu Kisha
nikarudi kukaaa watu wakaaanza gumzo
darasani mara hoo nimeona mwalimu Kendrick
hayupo nimeamua kujiweka Kwa mwalimu mpya
mara sijui Nini kwanz for introduction yule
mwalimu alivyoondoka tuuu nikampa Agness lle
tablet mbele ya darasa maaan watu washaanza
kuongea jinga asije Kendrick akarudi mwakani
,Yan nilikuw
akakutana na izi habar
nimemmiss Kendrick mapenz yangu kwake ndo
yakawa yanazidi kudhihirika siku baada ya siku
lla jamn binadamu ingawa niligawa lle Tablet ila
Bado watu hawakuacha kuniandama jamn,
binadamu ni wabaya Sanaa. adi taarifa zangu
zikasambaaa zikafika adi Kwa madam Lita Tena
Kwa mara nyingine ,ila mara hii uyo madam hata
hakuniita maaan yeye alikuwa ananiita sana
kwel kesi zangu na Kendrick ambae alikuwa
anaempenda.
Inaendelea……..

