KIUTANI NIMEINGIZWA UKUBWANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Jimmy ni mwanaume wa miaka 38 kutoka nchi ya Marekani alikuwa akifanya biashara zake kubwa nchni Tanzanian pia alifungua kampuni kubwa sana. Licha ya kuwa na huo mri Jimmy hakutaka kabisa swala la kuowa yeye alikuwa Bize na biashara zake hata kama alikuwa na mambo yake mengine ilikuwa kwa siri sana hakuwa anapenda skendo za ajabu ajabu.
Katika mipango yake ya kutaka kutimiza mambo yake alitakiwa kufunga ndoa yani awe na cheti cha ndoa na wakati huo hakuwa na mpango wa kuwa na mke..
Jioni moja jimmy alikuwa amekaa na rafiki yake Patrick rais wa Tanzania, mfanya biashara mkubwa pia. Jimmy akaamua kumshirikisha swala lake ili aweze kumpa msaada.
“Kama nilivyokwambia bado nataka kuwa hapa na ili mipango yangu kutimia natakiwa kuowa.
Patrick akitabasamu kidogo kisha akanyanyua grass na kunywa fundi moja kisha akarudisha grass mezani.
Hatimae umeamua sasa.
“Hilo ni swala dogo sana jimmy hapa wasichana
Kumbuka nataka cheti na sio ndoa.
warembo wako wengi sana na wakila aina sema unataka mwanamke wa aina gani, toa sifa zake.
“Haujanielewa vizuri Patrick.
Mimi sitaki mke nataka cheti cha ndoa.
Nimekuelewa vizuri sana Jimmy Kila unachokitaka utakipata kikubwa ni pesa tu. Unajua pesa kwangu sio tatizo nataka jambo
liende haraka sana.
“Sawa nipe siku ya leo, kesho nitapata jibu.
Iwe uhakika tafadhali.
Ondoa shaka nina kijana wangu mmoja hajawahi kuniangusha.
Baada ya mazungumzo waliachana Patrick alimtafuta kijana mmoja wa chuo Mike na
kumuelezea shida ya jimmy.
“Mike najua wewe Mjanja na haushindwi nataka unitafute msichana mrembo, smart na Mjanja. “Hiyo imeisha bro nakuletea mtoto mbichi
kwenye sifa ulizotaja. Patrick alitoa kiasi cha pesa na kumpa yule
kijana. “Kesho mapema sana mlete kwangu.
“Usijali kaka hili limeisha, mapema nitakupigia simu.
Poa.
Patrick aliondoka na kumuacha Mike akiwa bado kasimama
Mike alipiga mahesabu na mahesabu yake yakaangukia kwa binti mrembo mwenye
kujiamini na Mjanja prisca. Muda huohuo alitoa simu yake na kumpigia
Prisca “Hey Puko wapi?
“Nipo chuo.
“Vizuri nipo hapa maeneo ya getini njoo chapu kuna mchongo wa maana.
“Poa nakuja hapo sasa hivi.
Mike alikaa sehemu akimsubiri mara akamuona Prisca akiwa anaelekea maeneo ya getini.
“Hey Prisca. Prisca aligeuka kumuangalia. “Njoo hapa mrembo tujue tuyajenge
Mike usinipotezee muda nataka unipe
mchongo wa maana sio michango isiyo na hela Ni mambo ya pesa ndefu mama Prisca
aliposikia mambo ya pesa ndefu alisogea karibu zaidi.
“Mmmh niambie.
“Kuna mchango wa hela kama utakuwa tayari kesho nikupeleke maeneo “Wapi?
” Maeneo flani ya watu wakubwa huko.
“Kwanza mchongo wenyewe ni mchongo gani?
“Kuna jamaa anataka cheti cha ndoa…..
Sasa mimi na cheti cha ndoa wapi na wapi? “Tulia basi nikupange.
“Eheeee
“Huyo jamaa ni raia Marekani yupo hapa ana biashara zake ukisikia biashara ni biashara kweli sio biashara ya mitumba ni makampuni makubwa, muwekuzaji wa maana kabisa.
“Nenda kwenye point tafadhali.
Ndio nakuja huko, sasa kuna mambo yake yanataka cheti kwahiyo anataka mrembo wa kufunganae ndoa ya mkataba baada ya muda
flani ndoa inakufa. Na unajua talaka ikitoka lazima upate chochote kitu.
Acha hizo wewe ukiniangalia mimi nataka ndoa ?
“Hiyo sio ndoa yani akifunga ndoa akipata cheti wewe unasepa zako unamuachia vyeti vyake.
Prisca alitulia kidogo huku akiwa kashika kidevu chake.
“Mbona kama nakuelewa hivi.
“Huu mchongo wa maana sana mara kesho unaingia chuo na ndinga yako.
Unajua kushawishi. Poa kesho tutaenda huu mchongo usimpe mtu
mwingine. “Nitampa nani wakati wewe ndio Mjanja hapa.
Kwahiyo fanya maandalizi kesho asubuhi na
mapema nakupeleka mjengoni. Poa hilo limeisha.
Usisahau kupigilia mapigo flani, yani gauni moja matata yani utoke kwaajili ya ndoa. “Naelewa.
Kesho yake mapema sana Mike alikuwa nje ya geti la chuo akimsubiri Prisca.
Pia alionekana akiwa anaongea na simu mara
kwa mara. Baada ya muda kidogo Prisca alifika huku akiwa amevalia gauni lake safi la lango ya
off white na nywele zake alikuwa amevaa vizuri. Mike alimuangalia huku akitabasamu.
“Safi sana yani umepita kulekule.
Acha maneno mengi, tunafanya je sasa? “Hakuna kupoteza muda moboss wanalisubiri
huko na wanasumbua hatari.
Walikodi tax na kuelekea kwenye kampuni ya Patrick. Wakati huo Patrick na jimmy walikuwa wakiwasubiri kwa ham
Chapter 2
Jimmy na Patrick wakiwa ofisini Jimmy alikuwa anaangalia saa ya mkononi kwake.
“Una uhakika watafika?
Kuwa mpole kaka huyu kijana hajawahi kuniangusha wapo njiani. Muda sio mrefu watakuwa hapa.
Prisca na Mike walifika ndani ya jengo la ofisi Prisca akawa anashangaa. Mike hii ni sehemu kubwa sana mpaka napata
uwoga
Tulia mtoto nilikwambia hili ni kubwa sio maadili ya kitoto kama ulivyozoea. Mike alipiga simu kwa Patrick kumjulisha kuwa. wameshafika
Niambie Mike
Nipo mjengoni na mtoto mkali.
Sawa pita ofisini kwangu.
Poa
Mike alikata simu akamuangalia priscz ambae alikuwa na hofu kidogo.
*Twende zetu.
Walielekea kwenye lift kisha wakaenda mpaka ghorofa ya tatu. Walifika kwenye mlango wa ofisi ya Patrick
Hebu subiri kwanza.
Alisema Prisca.
Vipi tena.
Huyo mtu yupoje?
Wa kawaida tu punguza wasiwasi. Prisca karibu kwenye safari ya mamilioni Hakuna kurudi nyuma.
Mike aligonga mlango.
Fungua mlango. Baada ya kukaribishwa mike alifungua mlango
wakaingia ndani Waliingia ndani ya ofisi macho ya jimmy na
Patrick yalikuwa kwao. Waoooo karibuni sana.
Asante.
Walienda kukaa kwenye sofa alimuangalia Jimmy ambae Patrick alikuwa
akimuangalia Prisca huku akimthaminisha. Bro muhusika wetu ni huyu mrembo anaitwa Prisca. Mike akimtambulisha.
Karibu Prisc
Asante. Bila shaka unajua sababu ya wewe kuwepo hapa.
Ndio
Upo tayari
Ndio maana nipo hapa. Safi, huyu ni mr Jimmy, ndio mtu ambae
mtafunga ndoa ya mkataba
Prisca alimuangalia Jimmy na kuamini kuwa ni mtu kutoka nje maana hata kiswahili chake hakikuwa kizuri akichanganya kiswahili na
kiingereza.
“Kwahiyo huyu ndio huyo msichana? Ndio, smart and Sharo kama yule uliokuwa.
unataka.
Jimmy alimuangalia tena prisca.
Nitakulipa milioni 10.
Endapo utafanya kile ninachokitaka
Prisca alishituka maana hela alivyotakiwa hakutegemea wala hakuwahi kuishika U. Una unauhakika?
Mike na Patrick walitabasamu.
Ni pesa ndogo sana kwangu.
Sawa lakini kumbuka sio ndoa kweli ni dill hakuna MAPENZI hakuna uhusiano ni cheti tu
Jimmy akitabasamu kwa mara ya kwanza kisha akasema.
Good then lets proceed.
Vipi kuhusu malipo yangu
Cheki imeisha andaliwa.
Sawa tunaweza kwenda.
Wakiongozana wote wanne wakaenda kwenye ofisi ya msajili wa ndoa.
Jimmy na Prisca walikaa kwenye viti huku mashahidi wakiwa wamesimama nyuma yao.
Je mpo hapa kwa hiari yenu? Afisa msajili
aliuliza. Prisca alimuangalia Jimmy kwa sekunde kisha
akajibu. “Ndio Jimmy nae akajibu
Ndio
Baada ya kukubali kila mmoja alisaini upande wake, vyeti vikagongwa muhuli na kukabidhiwa
vyeti vyao vya ndoa.
Jimmy alijiangalia kile cheti huku akitabasamu. Mr and mrs Jimmy hongereni sana. Asante.
Baada ya kutoka nje ya jengo jimmy alimpatia Prisca cheki ambayo ilikuwa imeisha sainiwa
“Haya ni malipo yako. Prisca alipokea kwa bashaha huku akiwa na
tabasamu pana.
Asante hapa kila mtu aende na njia yake. Baada ya hapo kila mtu alishika njia yake, Huku nyuma mike nae alipewa fungu lake
Mida ya saa kumi Prisca akiwa nyumbani kwao na furaha zake mara simu yake ilita alipoangalia alikutana na namba ya Mike
Huyu anataka nini tena na kazi imeisha? Lakini hakuacha kupokea, alipokea ile simu.
Niambie Mike. Prisca kuna jambo la dharula limejitokeza
unatakiwa kukutana tena na Jimmy Kuna nini tena wakati tumeshamakizana.
Inasemekana wafanyakazi wake wameandaa sherehe ya kum surprise hivyo unatakiwa
kuwepo kwenye hiyo sherehe.
Unasemaje wewe? Mbona kama mnaenda kunitania?
Kabia Mike hajajibu ilisikika sauti ya Jimmy. Kubaki kuja nitakupa milio mbili. Baada ya Prisca kusikia hela alitoa macho hakuwa na ta
kusema Prisca alikaa kimnya hakujua akubali hiyo ofa au
akatae. Hey lady… Sauti ya Jimmy alimshitus
Sawa lakini sijajiandaa kwa chochote, unajua kwenye sherehe natakiwa kupendeza.
“Hilo sio tatizo tukutane MAYA FASHION. “Sawa nakuja hapo sasa hivi,
Prisca alingia ndani haraka akachukua kibegi chake kidogo na kukiweka mgongoni. Wakati anaondoka mama yake alimuona.
Wapi saizi na vunegi vyako?
Naenda kujisomea na wenzangu.
Prisca unamjua vizuri sana kaka yako. Aaaah mama, hivi mtanichunga mpaka lini? Mimi nimeshskuwa mkubwa bwana na isitoshe
siendi kufanya kitu kibaya naenda kujisomea na wenzangu.
Shauku yako.
Prisca alitoka hivyo hivyo kigumu alichukua usafiri wa pikipiki mpaka Maya fashion. Alikuta gari ya kifahari imepaki nje ya duka na
muda huohuo jimmy alishuka akiwa kwenye suti moja kali alikuwa amependeza sana kuliko alivyomuona asubuhi
Jimmy alipiga hatua kumfuata Prisca alipofika
karibu alisalimia.
Ingia hapo ndani kila kitu kipo tayari ni wewe tu unasubiriwa
Ok
Prisca aliingia dukani na kuchagua nguo na viatu pamoja na vito vya thamani. Na kila kitu alikuwa amelipa Jimmy.
Baada ya hapo waliondoka na kwenda saloon
huko Prisca alitengenezewa haswa na kuvaa nguo zake, alitoka saloon akiwa kapendeza mno mpaka Jimmy alikuwa anamshangaa huku akiwa kashika kiuno.
Prisca alipiga hatua ndogo kumfuata alifika karibu yake na kusimama mbele yake. Waoooo umekuwa mrembo sana.
Asante.
Jimmy alifungua mlango wa gari na Prisca akapanda Jimmy aliweka vizuri gauni kisha
akafunga mlango nae akaenda kupanda na kuwasha gari wakaelekea ukumbini.
Walipokuwa nje ya ukumbi wakiwa bado wapo
ndani ya gari Jimmy alitoa pete. Naomba nikuvalishe hii pete
Kuna pete tena? Na hii si ni pete ya ndoa? Ndio inabidi
Prisca alinyoosha mkono na jimmy akaingia pete kwenye kidole.
Baada ya hapo akavaa na yeye kisha akashuka kwenye gari na kwenda kumfungulia mlango, Prisca alishuka
Naomba tuingize kama mume na mke kweli. Sawa
Jimmy aliweka mkono wake na Prisca aliingiza mkono wake katikati kisha wakaanza kutembea taratibu kuelekea ukumbini
Chapter 3
Walipofika mlango wa kuingilia ukumbi, mlango mkubwa wa kioo ulifunguliwa kwa heshima.
Ndani kulikuwa kumepambwa kwa mapambo meupe na ya dhahabu, maua, taa za kung’aa, na meza zilizopangwa kwa umaridadi wa hali ya Juu.
Prisca alihisi miguu ikitetemeka. Aliinama.
kidogo kuangalia pete iliyokuwa kidoleni mwake.
“Ni kweli haya yananitokea mimi? Alijisemea.
Jimmy alimsogeza karibu na kumnong’oneza,
“Leo ni siku ya furaha Wewe ndiye malkia wa usiku huu naomba usiniangushe.
Wakaingia ukumbini Watu walishangilia, wengine wakapiga makofi, na wengine waliwaangalia kwa mshangao. Kamera ziliwaka kila kona.
Prisca kijasho kilimtoka alikuwa akitetemeka kwa hofu lile jambo lilikuwa kubwa kuliko alivyokuwa amejichukulia. Alimwangalia Jimmy na kuuliza kwa sauti ya chini
“Mbona kila mtu anatuangalia?
“Leo ni usiku wa wetu nataka ulimwengu ujue kuwa wewe ni sehemu ya mafanikio yangu. sitaki mtu afutilie mashaka.
Jimmy alitabasamu kisha akajibu,
Prisca alibaki mdomo wazi.
“Jimmy sijui hata kama naweza kuvumilia.
watu “Shhh… Umeshafika hapa ona wanavyokuangalia, Wewe ndiye staa leo.
Walienda kukaa kwenye viti walivyoandaliwa na mtangazaji wa shughuli hiyo alitangaza kupitia kipaza sauti.
“Kwa mara ya kwanza tunawatambulisha rasmi JIMMY & PRISCA AU MR AND MRS JIMMY.
wanando wapya. Ukumbi mzima ukalipuka kwa shangwe..
Prisca alihisi mapigo yake ya moyo yakienda mbio, Alichanganyikiwa. Jimmy alitambua kuwa
hayupo sawa alimsogelea na kumnongoneza. “Ondoa hofu Kuwa kawaida tafadhali.
Prisca alijikaza akaanza kutabasamu.
Sherehe iliendelea kufana jimmy alisimama
kwenye nafasi yake kama bwana harusi kweli
alikuwa alimshika Prisca kwa kuiachia na hasa
kumpiga mabusu bila kuogopa.
Ukifika muda wa walitakiwa kwenda kucheza.
Walinyanyuka na kusogea mbele, jimmy alisogea na kumshika kiuno wakaanza kucheza taratibu
huku waliangaliana usoni. Prisca alikuwa anaona aibu.
“Usione aibu haya ni maigizo tu.
Prisca alijikaza mpaka sherehe ilipokuwa kuisha Ilikuwa Mida ya saa sita usiku. Walitoka ukumbini na kwenda kupanda kwenye gari ya
Jimmy.
“Inaelekea wapi?
“Kwa sasa siwezi kwenda nyumbani nimpeleke hoteli.
“Sawa.
Walienda mpaka kwenye hotel ya knigh hotel..
Hoteli yenye hadhi.
Jimmy alichukua chumba kisha akamsindikiza mpaka chumbani.
Jimmy alitoa bahasha na kumpatia.
“Malipo yako ni haya.
Prisca alipokea ile bahasha na kushukuru. “Tutaonana kama imepangwa tuonane tena. Alisema jimmy kisha akaondoka
Usiku ule Prisca alilala pake hotelini Kesho yake asubuhi aliamka na kujiandaa kisha akarudi nyumbani kwao.
Alipoingia tu ndani akakutana na sura ngumu ya kaka yake Deo pamoja na mama yake. Prisca alijua hakuna usalama alisimama mlangoni huku akiwa kamshikilia mlango.
“Kilichikugandisha hapo ni kipi? Mama yake aliuliza kwa sauti ya ukali?
Prisca aliachia mlango na kupiga hatua ndogo ndogo alisogea alipo mama yake.
“Hivi umelala wapi? Deo aliuliza
“Nilimuacha mama nilienda kusoma
“Una uhakika na hicho unachokisema?
“Ndio, siwezi mama si. Nilikuaga? “Hukunian Ila kuwa unaenda kuolewa. Prisca alivyosikia hivyo alishituka.
“Unashika nini?
“Hamna mimi sijaolewa. Prisca alikataa lakini kwa bahati mbaya pete ya ndoa aliyovalshwa na
Jimmy bado ilikuwa kwenye kidole chake.
“Hilo bati laki ni kuthibitishia cha kwanza pia kuna picha nyingine hapa.
Deo alitoa simu na kumuonyesha picha zote za ukumbini. Prisca hakuweza kubisha lakini alijiuliza kaka yake ametzipataje pataje zile picha.
“Wewe mimi siwezi kuishi na mke wa mtu hapa. ndani nenda kachukue kila kitu chako uende kwa mume wako.
“Jamani mama…
We hakuna cha mama hapa unatakiwa. kuondoka.
“Lakini yule sio mwanaume wangu ilikuwa ni dili tu.
“Sisi hatujui hilo twende kwa huyo mwanaume. wako.
“Mimi sijui anaishi wapi.
“Leo itajulikana.
Jamani kaka Deo…..
“Prisca usitake nikuvute na mapanga naomba usimame tuondoke…
Prisca hakubisha alikuwa anamjua vizuri sana kaka yake.
“Usisahau begi lako.
“Mama hilo achana nalo litamfuata nyuma.
Prisca aliondoka vile vile wakaenda kupanda kwenye pikipiki na hakujua wanaelekea wapi maana yeye mwenyewe alikuwa hajui wapi kwa kumpata Jimmy..
Chapter 4
Safari ilikuwa ndefu kidogo ilichukua takribani dakika 30, mwishowe walifika kwenye jumba
moja la kifahan Deo alldimamisha pikipiki kisha akashuka na kumuamulu Prisca ashuke Walisomea karibu na geti la ile nyumba Deo
okabonyeza kengere. Baada ya sekunde mlinzi alifungua “Boss wako yupo? Deo aliuliza bila hata salamu “Una miadi nae?
Hapana.
Subiri kwanza alisema mlinzi na kutaka kufunga geti lakini Deo alizuia geti kwa mkono wake na kusukuma kisha wakaingia huku akiwa ameshika mkono Prisca.
“Vipi mbona unaleta ubabe?
Kijana tulla mimi mwenyewe huko kwenye maeneo yangu ya kujidai ni boss kwahiyo jiheshimu kama unavyomuheshimu boss wako. Deo aliendelea kuongea huku akienda kwenye
mlango wa kuingilla ndani
Kelele za nje zilimfanya Jimny atoke nje Alipofungua mlango alikutana na sura ya Prisca. Prisca
“Ndio ni yeye nimekuletea mke wako.
Prisca nini kinaendelea hapa? Prisca hakuwa na jibu alimuachia Deo aongee. Wewe kiume unaejua kuowa watoto wawatu
billa taarifa za wazazi sasa leo nimekuletea mke wako.
Prisca huyu ni nani?
Kaka Deo naomba unisikilize nikwambie kitu.
Nyamaza utaniambia nini wewe, mimi hapa
nilipo damu inachemka naweza kuchinja mtu hapa. Wewe utampokwa huyu karna mke wako au unataka nikakushitaki kwa kuowa
mwanafunzi tena kwaajili ya manufaa yako.
Jimmy aliona hali inaweza kuwa mbaya kwa upande wake na mambo yanaweza kuhanbika Ilimbidi akubali kumpokea Prisca. Ok, sawa atakaa hapa naomba achana
mambo ya kushitaki. Huyu ni mke wako wa ndoa kisheria.
Sawa
Na hili bado hajaisha unatakiwa kujipanga kwaajili ya ndoa ya kabisa ni yani kufa na kuzikana. Deo alimgeukia tena Prisca
Wewe tulia kwenye ndoa yako huyu ndio
mumeo chaguo lako
Kuishi kwa amani
Deo alimaliza kuongea kisha akaondoka.
Jimmy alimgeukia Prisca na kumuuliza
Hiki ni nini? Mimi na wewe tulishamalizana. “Kama ulivyoona kaka yangu ni mikali sana na anajua kila kitu kilichotokea jana. Kwahiyo?
Kwahiyo nini sasa?
“Unatakiwa kwenda kutafuta suluhu na ndugu
zako
Wewe mbona umeshindwa kutafuta suluruhu
alipokuwepo hapa?
Uliona alishika panga ningesema nini? Basi kama ukiogopa panga hata mimi naogopa
vile vile na hapa ndio nimefika.
Oooh my God! Alisema jimmy huku akishika
kichwa chake na Prisca ndio kwanza alienda
kukaa kwenye kochi akawa anaangalia TV.
Jimmy alikuwa hajatulia alihisi kuchanganyikiwa. alienda kuchukua simu yake akampigia Patrick na kumuelezea tukio zima lililotokea.
Baada ya dakika kadhaa Patrick alifika па
kuwakuta wamekas sebleni huku kila mmoja
akiwa na mawazo yake.
Vipi nini kinaendelea hapa ? Patrick alimuuliza
prisca
Huyu mmarekani wenu ndio alitaka mambo yaharibike asubuhi tulimaliza kila kitu na mambo
yanaenda sawa sasa yeye akaja na mambo ya
sherehe hayo ndio yaliyoponza nyumbani kwetu
wanajua kila kitu nimefukuzwa ndio maana nipo
hapa
Prisca umeshindwa kuongea na kaka yako
ukamuelewesha?
Patrick naweza kukutanisha nae ila mkae mkijikua anaweza kuharibu mipango mizima ya
ile ndoa.
Patrick alitulia kwa muda Baada ya muda
almsogelea Jimmy na kumshika begani
Kwasababu ya usalama wako unatakiwa
kukubaliana na hãi
Jimmy alikubali kuishi nyumba moja na Prisca
alimpatia chumba cha kulala
Siku ya kwanza tu, Jimmy aliweka sheria kali.
Aliita Prisca sebuleni na kuanza kumwambia
sheria za kufuata
“Hebu kaa hapo.”
Princa alikaa akawa anamuangalia kwa makini.
“Sikiliza, hapa siyo nyumbani kwako, Hapa
unapita tu Na sitaki mchanganyiko wa kihisia au hisia za
ovyo
Orusca alimuangalia na kuuliza.
Unamaana gani kusema hivyo?
Jimmy hakumfadanukia aliendelea kusema
“Kwanza, hakuna kulazimishana kuongea Kila
mtu awe na shughuli zake. Pili, hakuna kuulizana uko wapi, umetoka saa
ngapi, au urudi saa ngapi
“Tatu…hakutakuwa na uhusiano wowote
kimapenzi kati yetu. Umenielewa?
Nimekuelewa mmarekani mweusi kwani hata
mimi sina Shobo siku shobokei hata kidogo. Wate walinyamaza na kuangaliana kama chui na
paka
‘Bado sijamaliza Jimmy aliinua kidole chake kama mwalimu, Sebuleni tutakaa wote
Chumba chako ni chako pekee yako, Ukimaliza
shughuli zako usizunguke zunguke bila sababu
Ukiona wageni wangu pitia mlango wa nyuma.
Hata kama itakuchukiza vumilia maana si mimi
niliyekuleta hapa.
Prisca alijibu kwa sauti ya chint
“Na mimi sikujileta.
Jimmy akacheka kwa dharau
“Sawa basi, tuelewane hivyo.
Jimmy aliondoka akamuacha Prisca akiwa
amekaa
Pumbavu kumbe huyu mwanaume ni jeuri klassi
hiki na hana hata huruma ila hata mimi
janiharibua akinileztea ujinga wake wa kimarekani na mimi nitakuonyeaha jeuri ya watanzania shubamit,
Siku zilienda maisha yalikuwa ya kimnya pake
ndani kila mtu alifanya mambo yake mwenyewe
hakuna aliemuuliza mwenzie.
Siku Prisca alipokuwa nyumbani, alikaa
chumbani kwake ajisomea, kuangalia TV au
kupika chakula kidogo kwajili yake. Hakuwahi
kumwambia Jimmy chochote, hata kama
chakula kolipokuwa mezani alikula pekee yake.
Jimmy kwa upande wake, aliendelea na maisha yake kama kawaida ya kifahari, raha, na
wanawake
Kila mara alikua akipiga simu
kimapenzi,
hakuona aibu Alisikika akiongea mbele ya
prisca
“Baby wangu, usiku wa leo niko available. Usilete rafiks kama yule wa jana, si mzuri kama wewe si
unajua mini napenda watoto wazuri.
Prisca alijisikia vibaya lakini hakutaka
kuonyesha alimkazia macho kwenye TV kama
vile hasiksi chochote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya
Siku moja Jimmy alirudi usiku wa manane akiwa
na wanawake wawill Walikuwa walicheka
cheka, wamevaa nguo za ajabu mmoja akiwa amemshika bega na mwingine amemkumbatia
walipofika sebuleni, alikuta Prisca amekaa kwenye kochi akitazama tamthilia Aliwaangalia
kisha akatingisha kichwa Jimmy alimuangalia Priaca kwa jicho la dharau,
“Hujalala bado? Unangoja nani?”
Prisca alijibu bila hasira wala woga:
“Inafikiri nilikuwa hakusubiri wewe?
Sasa ulikuwa unasubiriwa
nani?
Nilishakwambia fanya mambo yako mimi sia
mume wako.
Alafu Leo kuna wageni kwahiyo tupishe nenda chumbani kwako,
Prisca alinyanyuka polepole akapita kati yao bila hata kuwaangalia usoni. Allingia chumbani kwake akajifungia na kuzima taa
Ndani ya moyo wake, alihisi kitu kikimsokota
siyo sababu ya upendo, bali ni zile dharau za
mwisho kutoka kwa Jimmy hakujua kwanini
Jimmy anamfanyia vituko na kumdhalilisha
mbele ya wanawake zake
Asubuhi aliamka mapema na kwenda jikoni
akaandaa kikombe cha chai kisha akakaa
mezani na kuanza kunywa.
Jimmy alishuka kutoka chumbani kwake akamuona Prisca akiwa na kikombe kimoja.
“Nahitaji chal
Kawaamble wanawake zako wakupikle.
Jimmy alinyamaza, akatabasamu kwa dharau. “Nakuona unajifunza misimamo, Lakini
kumbuka, hapa bado ni kwangu”
Lakini tulikubaliana tuwe kwenye misimamo
Jimmy alivuta kiti skokas na kumkazia macho usoni, Prisca hakujali macho ya jimmy aliendelea kunywa chai yake taratibu
Hivi ndivyo mke anapaswa kuishi na mume
wake?
Prisca akicheka lodógo
Mume? Unazungumzia mume aina gani
wewe?
Kama upo kwangu upo kama nani? Mahirika mwenzangu kibiashara, rafiki, mfanyakazi au
mke?
Katika hicho hakuna hata kimoja. Sisi ni watu
tusiojuana ndio maana kila mtu anafuata
maisha yake bila kumshirikisha mwenzie.
Alijibu Prisca kisha akasimama na kuchukua
mkoba wake ili aondoke kwenda chuo. ile
anataka kuondoka Jimmy walimshika mkono na
kumvutia kwake, Prisca alienda kutulia kwenye
kifua cha Jimmy na jimmy alitingisha mikono
yake kwenye kiuno cha Prisca.
Unataka nini kwangu? Wake wanawake wawill
hawajakutosheleza?
Hivi hujui kama kila mmoja anaradha yake?
Sasa nataka kuonja ya kwako mke wangu
bandia
Prisca aliachia tabasamu la kejeli kisha.
akasema
Nenda kaichore ya kufanana na yangu alafu kamalizane nayo ya kwangu abadani hizi kuiona
wala kuitumia.
Jimmy alimkazia macho na kujiuliza huyu binti
anajiamini vipi kumjibu vile.
Prisca aljitoa kwa nguvu kwenye mwili wa Jimmy kisha akaondoka.
Chapter 5
Jimmy akimsindikiza kwa macho mpaka alipopotea kisha akasema yani kuku yuko bandani kwangu alafu
nashindwa vipi kumchinja? Siku nikitaka nitafanya nitafanya tu hata hivyo hakuna mwanamke mgumu kwangu ipo siku mwenyewe atanivulia nguo. Alisema Jimmy kisha akarudi chumbani kwake aliwakuta wale wanawake
bado wamelala chini ya zuria, aliwaangalia huku
akiwa kashika kiuno chake Badae alianza kuwaamsha huku akiwapigia piga mabegani
Mnalalaje kama mpo kwenu 7 Amkeni muondoke kazi yenu imeshaisha Wale wanawake walinyanyuka huku wakiwa na uchovu wa pombe walijinyoisha kivivu kisha wakaondoka. Jimmy akienda bafuni kuoga alipotoka akijiandaa na kuelekea kazini.
Prisca alikuwa amekaa kwenye mgahawa wa
chuo na mawazo yake yalikuwa mbali sana alikuwa anafikiria vitimbi anavyofanyiwa na Jimmy
Kweli di limenigeukia yangu nimeingia ukubwani kwa lazima Leo hii mimi Prisca najulikana kama mke wa mtu na huyo mume
sasa anafanya mambo ya aibu, hivi watu
wanasoma tabia zake za kubadili wanawake si watakuwa wananiona mimi ndio mwanamke wa ajabu nisieweza kumdhibiti mwanaume wangu? Wakati akiendelea kuwaza na kuwazuia alifika
Linda na kukaa pembeni yake.
Wenzako walioolewa wananenepa na kufurahia ndoa zao sijui wewe una watoa nini mpaka Inalinda kiasi hicho? Prisca alimuangalia kisha akaguna na kusema. Hii ndoa ya dili imegeuka kuwa mwiba kwangu
Kwanini?
Hivi unaniuliza kwanini kwani hujul Linda?
“Ningejua nisingekuuliza kipenzi *Hivi ni ndoa gani haina mapenzi hata kidogo?
Jimmy ananikomoa na kutaka kuniumiza kihisia, jane usiku kaka na wanawake wawili kaenda kulala nao chumbani kwake mpaka asubuhi
alafu asubuhi ananifuata na kunitaka na mimi. Duuu hayo kweli makusudi lakini Prisca wewe kweli umeshindwa kumkomoa huyo mwanaume.
Naweza ila sitaki kushindana na mtu
mpumbavu. Ila kuna jambo nitafanya mpaka natoka pale kwake atakuwa Kapata funzo kuwa wanawake wa kitanzania huwa hazitaishia ujinga.
Mida ya mchana jimmy na Patrick walikuwa
wapo kwenye mgahawa wakipata lunch. Lakini
Jimmy alikuwa mbali sana kimawazo.
Vipi mbona unawaza sana 7 Acha niwaze yani nilijua natafuta tatizo kumbe ndio kwanza naanzisha tatizo lingine. Kivipi?
Jana nilienda na wanawake wawili nyumbani ili
kumuaminisha Prisca kuwa mimi ni mwanaume. sina ninachoshindwa na hakuna wa kunizuia Sasa hiyo njia yako umefanya kazi? Najihisi kama mjinga tu na kujivunjia heshima
yangu
Na Prisca atazidi kukudharau
Sijali ninachosngalia heshima yangu tu. Kwa matendo yako ya kutokumfikia heshima yako lazima itashuka.
Mvumilie Prisca mpaka atakapomaliza chuo ataondoka kwenda kutafuta maisha yake na wewe utabaki na maisha yakon Wakiendelea kula huku kimnya kilitawala kwa
muda
la prisca ni binti mrembo sana sijui kwanini hutaki kumpa nafasi kwenye moyo wako.
Mimi na yeye hatupendani na isitoshe sina
muda wa kupoteza kwenye mapenzi
Siku zilienda prisca akawabize na mambo yake
aliwahi kutoka nyumbani na kuchelewa kurudi ili kuepukana na kero za Jimmy pamoja na maudhi
madogo madogo
Siku moja prisca aliondoka na hakurudi nyumbani kabisa.
Siku hiyo Jimmy alikosa amani akishindwa kupata usingizi kila mara alienda dirishani kwake
kuchungulia nje
Mwisho alimpigia simu Patrick
Patrick alipokea simu usiku wa saa nane huku akiwa na wasiwasi huenda kuna tatizo limetokea.
Hallow
Patrick nina tatizo,
Tatizo gani, umepatwa na nini? Prisca hajarudi nyumbani mpaka muda huu. Aliongea Jimmy kwa wasiwasi. “Umemfanya nini mtoto wa watu, ameenda wapi.
usiku huu?
Sijafanya chochote na sijui alipo. Umeharibu kumtafuta kwenye simu? Sina namba zake za simu.
jimmy, Jimmy yani unakaa na mtu alafu huna namba yake ya simu. Hayo ni maisha gani
anayoishi?
Huu sio muda wa kulaumiana kama unayo
namba yake naomba tafadhali Nitakuwa je namba yake sasa? Sikiliza wewe lala tutajua kesho Nawezaje kulala Patrick?
Patrick hakuwa na jibu wala msaada kwa muda
ule alikata simu akalala. Jimmy aliendelea kuzunguka pale chumbani kwake huku akiwa kashika simu yake mkononi.
Kulipokucha Patrick alienda nyumbani kwa Jimmy alimtafuta Mike kwenye simu kwaajili ya kumuomba namba za simu za Prisca lakini Mike hakuwa anapatikana.
Mike hapatikani.
Qooh Mungu wangu! Nitasema mimi kwa yule kaka yake kichaa mshika mapanga? Patrick huyu msichana anataka kupasua hiki kichwa
changu
Subiri yapite masaa 24 alipopatikana tutaenda polisi.
Masaa 24 tumekaa tu kumbuka yule ni mtu. Patrick
Najua sasa tutumie nila gani kumpata? Walikaa huku wakiwa wanasubin huenda
atarudi
Baada ya kama lisaa limoja kupita Prisca alirudi. Patrick na Jimmy walinyanyuka macho yao kumuangalia, Jimmy alimuangalia kwa jicho kali. Habari mr Patrick
Salama Prisca
Baada ya kutia salamu prisca alitaka kuelekea chumbani. Hey wewe msichana ulikuwa wapi usiku kucha? Prisca alisimama na kumuangalia
Hil ya kuulizana imeanza lini? Umesahau sheria zako ilizoweka? Crazy girl unataka kushindana na mimi
mwanaume?
Wewe ni mwanaume tu kama wanaume wengine ila sio mwanaume wangu hivyo angalia yanayokihusu
Patrick allona hapo kuna kazi ni bora awaache wenyewe wamalizane Jimmy acha niende mambo yenu mmalizane
wenyewe.
Patrick alivyoondoka Prisca nae akawa anaenda chumbani kwake jimmy alimfuata nyuma waliofika mlangoni Prisca alisimama na kugeuka kumuangalia
Unaenda wapi?
Prisca huwezi kuinyima usingizi alafu unakuja na kuingia kwenye nyumba yangu kama vile
danguro
“Baba una jerouse au nini kinakusumbua? Siwezi kuwa na wivu na mtu kama wewe Basi tulia nafsi mimi nilikuwa kwa mwanaume.
wangu, hata siku nyingine niliporudi wewe
endelea na mambo yako usiniwaze kabisa. Prisca alingia chumbani kwake na kubamiza
mlango Taratibu na nyumba yangu Jimmy aliondoka pale mlangoni akaenda kukaa
sebleni Siku hiyo hakuwa sawa kabisa ni wazi
swala la Prisca kulala nje ya nyumbani kilimuumiza kwa kiasi flan mpaka mwenyewe akawa hajielewi maana haijawahi kutokea huu
baada ya muda mrefu.
Haiwezekani mtoto wa kike aniletee zarau kiasi kikubwa hivi, yani nimlishe, nimsomeshe na kila
kitu ni juu yangu bado anaenda kulala na
wanaume wengine huko, haiwezekani natakiwa kuweka heshima anaiheshimu kama mwanaume.
Jimmy alinyanyuka pale na kuelekea chumbani kwa Prisca, aligonga mlango kwa fujo Prisca fungua mlango.
Unataka nini wewe mwanaume? Umesahau kuwa tulisema hakuna mtu kwenda chumbani kwa mwenzie?
Hii ni nyumba yangu huwezi kuniwekea.
mipaka
Prisca alienda kufungua mlango lakini hakufungua mlango wote wakati huo alikuwa ametoka kuoga alikuwa akifunga taulo. Jimmy alimsukuma mlango akazamia ndani na kufunga
mlango
“Unataka nini wewe?
Nataka kukuonyesha tofauti ya mwanaume na
mwanamke, nataka heshima yangu. Aliongea Jimmy huku alianza kuvua shati na kutupia pembeni, Prisca alianza kuwa na hofu alirudi nyuma na kuchukua nguo na kutaka
kuvaa lakini hakuwahi Jimmy alimfuata na kumsukuma kitandani kisha akampatia kwa juu
INAENDELEA

