JAMANI BOSS USIWEKE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 16
Amir aliludi na gari nzuli la marun, akakuta nalia P kambembeleza kachoka, akamtizama P, bila kuulizwa akasimulia sasa hajui kipi kina mliza, Amir akacheka nikampiga ngumi kwakunicheka, akasema tu samahani mimi namcheka uyu mme wako taila kabisa, kusikia anaechekwa ni P, nikaanza kufurahi, umeona shem yani mtu anacheka cheka tu ovyo bola hata na wewe shemu umeliona hilo,” sasa shem unaonaje tukiagiza keki zingize? Amiri aliniuliza wee nilishangilia nikaona sasa uyu ndo mtu,P akawa anashangaa tu haelewi…
Amir alipiga simu wakeki akaleta 10 tena, tukaanza kushindana na Amir kula keti, ila alikuwa abanichezea tu mimi yeye alikula mbili tu 8 zote nilikula mimi, nikaacha adi kulia muda huo tayali ilikuwa saa moja jioni, Amir akaomba atoke nje kidogo na P, walitoka nje Amir akaanza kumcheka P, bro ujue usicheke nimekumind, ” bro tatizo wewe aya mambo uyajui usisahau mimi ni doctor by professional…
Mke wako tayali ushampandikizia uyo,izi tabia ni mimba, nenda kampime, P alishtuka kwa furaha akasema sema kweli basi, ” bro we kampime utanipa majibu, sasa na hii hali mnayopitia na mimba hazipendi heka heka sijui itakuwaje jitahidi umlinde sana, P hakuamini alifika akanitoa nje kama yai akanipeleka mpaka hosptal nikagoma kupima wakasema hawanichomi ni mkojo tu ndo nikakubali….
EP 17
Nilipimwa tukawa tunasubili majibu,majibu yalitoka ni mama kijacho, aisee P alifurahi mno alinikumbatia kwa nguvu,nakunipa ahadi nyingi sana, ata sijui kama ataweza kutimiza zote 🤔,tuliludi nyumbani, nikamjulisha bibi kwa simu alifurahi mno adi machozi,upande wa P, alikuwa na vibe adi watu wakawa wanashangaa mmh uyu ni leo tu hakuwa na raha imekuwaje, alienda kumwambia bibj chumbani nikaitwa aisee bibi alishangilia mno, akanikumbatia nakunipa zawadi…
Nilikuwa na kula vitu vitamu na ugaki na mrenda tu, wali na pilau sikuwa naweza kula kabisa, upande wa mke wa P, alijitahisi kufika kazini ila akakuta boss ni mwingine, alichukua akataka kuondoka akaambiwa kama hataki kufanya kazi asaini karatasi zakuacha kazi, hakujibu kitu akatoka akaja na kalam aka sain akaondoka, alivyofika nyumbani akalianzisha akamuita adi mzee, na mzee alikuwa kashaludi apa alibaki mama na mkwe wake tu…
Mzee alikuja tukaitwa kwenye kikao, ikabidi kwenda kusikiliza, P akasema anamke mmoja tu, baba ake akawaka na mama ake, P alawaonesha ushahidi wa talaka na sain, kumbe kule kazini P alimwekea mtego mke wale alijua tu lazima atakulupuka, aisee mwanamke alikiwasha, akataka kugawana mali, akaambiwa tu aende mahakamani haina shida, mama mkwe alianza kugomba akataka kunipiga, P akakinga akatoa onyo mke wake nisiguswe vinginevyo patachimbika…
Baba mkwe akasema kuanzia sasa hivi anachukua kampuni yake atampa mdogo wake kwa sababu P nimkaidi hakutakuwa kumpa talaka mke wake mkubwa kwa ajili ya kampuni yake ya nje ni patina wako mkubwa italeta shida, ilileta vulugu mno, mzee akaenda kuongea na ex wife wa kijana wake, akaomba binti aolewe na mdogo wake wa mwisho aliyeko marekani, binti si akakubali kwa shart kuwa P anyang’ anywe kampuni…
Wakakubaliana, mdogo mtu akapigiwa simu kuja kuoa kwa minajim ya kampuni,mdogo mtu akakubali kwa sababu yeye alikuwa anampenda uyu binti toka mda ila huyu alimkataa tu kisa pesa, aliona ndo muda mzuli sasa wakumiliki,sisi walijua tutasalenda lakini ndio kwanza mambo yetu yakazidi kunyooka kimya kimya hakuna aliejua tunabiashara , mimi niliianza kwenye dukani kwangu na nilifunguliwa mawili la vipodozi na simu na laptop…
Mambo yetu yalikuwa yanaenda vizuli mno,tukaamua tufungue hosptal pamoja na shem Amir, tukakubaliana, tuaanza na kukodi kwanza jengo wakati tunatafuta mazingira mazuli ya kununua, tujitengenezee jina kwa kukodi eneo, tulipata tukaanza wakati huo familia ya mme wangu wametususa kabisa na wameshaozeshana…
EP 18
Ex akataka kujua taarifa zetu,ila usiri wetu ulitusaidia sana,tulificha mambo yetu mno, sikuwa napist chochote hata picha zangu, tulipambana sana, hatimae siku ya kujifungua ilifika, tayali tulikuwa na hosptal yetu na ilikuwa na huduma bola sana nilienda kujifungua, Mungu alikuwa upande wetu, nilijifungua mapacha wa kiume,kituo chetu tunachofadhili walikuja hosptali wadogo walizuiwa kwa usalama ila wakubwa eote walikuja kuniona jamani ilikuwa furaha mno, kwa mala ya kwanza tukapiga picha na watoto na mme wangu tukiwa na timu yetu ya kituo cha kulea watoto yatima, tuka funika sura za watoto tukapost vimikono tu tukiwa na furaha ya wengi,post ilijua kusambaa, kuna wafanyakazi wa ile kampuni ya zamani tulikuwa bado na no zao lakini hata baba mkwe waliona tulipost tayali tukiwa kama na wiki mbili toka nijifungue…
Baba mkwe alipiga simu kwa mwanae anamlaumu kwa nini ajamtaarifu, alitaka kujua tunaendeleaje tulimwambia asijali tuko sawa, ” kwa nini hukusema mkeo ni mjamzito umemleaje bila kazi si ungesema tusaidiane, P alikausha tu alijua kakaa kizembe kutegemea mali za familia, kumbe mwenzake alikuwa anajipanga taratibu , maadui nao wakajua wakaanza kutaka kujua tunaishije…
Muda huo ex mimba aziingii kila akitega wapi,mwisho mme amewapa wanawake wengine wanje mimba hana tena amani, akaanza kutengeneza namba nasisi tukose amani, pili alianza kudate na Amir mwisho wakaamua kuoana, siku ya harusi, tylialika mpaka wafanyakazi wa ile kampuni ya mzee, walikuja wakawa wanashangaa, kwa ukumbi ulikuwa wa kwangu, nilianza na mimi kutanua biashara…
Wakatu tunatoka kwenye sheree tukapigiwa simu nyumbani kuna majambazi ao ilikuwa saa 8 usiku, ndo tuko kalibu kufika, bahati nzuli siku hio tulihama ile nyumba alibaki mlinzi tu, tulihamia nyumba mpya, kule alibaki mlinzi tu…
Tulupata hofu, tukajua ni makazi mapya kufika sio ni kule kwa zamani na mlinzi kauliwa aisee, hii ilituumiza mlinzi wetu wa kitambo sana leo hatuko nae,tulifanya uchunguzi tukabaini alietuma majambazi ni ex wife, alikamatwa tena naushahidi alikuja nao hadi getini,lengo alitaka kuwaua wanangu alijua sikwenda nao baada ya kuona sina watoto, lakini nilienda nao walikuwa na walezi chumba cha ukumbuni ukumbi wangu unavyumba hadi vya kulala, maharisi na washenga wao na mimi room yangu na wasaidizi wangu wa kupamba, wapishi na cameraman, yani kwangu ukikodi ukumbi utatafuta MC tu…
Alivyotukosa ndo akaondoka ila camera zilimnasa, baba ake alikuja kuomba suruhu, akamtumia baba mkwe lakini P aligoma wakambembeleza ikabidi tuombe apigwe rb
Ya kukanyaga kabisa nchin kwetu, tukaro rushwa akapigwa ban ya nchi zote za africa,hui ndio ukawa msamaa wetu,akionekana tu anakamatwa kwa kesi ya mauaji,mlinzi alikuwa mzee hakuwa na familia,familia yake ilipata ajali siku moja wote wakafa….
Tulimzika lakini bibj nae siku hio hio akatutika aliomba azikwe huku huku tanzania,mama mkwe alikuja na mmewe ndugu wote wa mme ndio niliwajua siku hio,alikuwa na wadogo zake wa kiume wawili ila hawakuwa na maelewank na kaka yao walikuwa vipenzi vya mama, hakuwa na ndugu wa kike kabisa, siku ya msiba ndio walijua kuwa kumbe tuna pesa walichunguaa wakajua tayali tunakampuni nne na hosptal mbili, bado vitu wasivyovijua walianza kujipendekeza, talatibu ila tunaishi nao kwa akili mno,sasa hivi naishi na bibi yangu na joel, na wanangu na mme wangu, baba mkwe alituomba msamaa sasa hivi tuko sawa, japo hatuendi kwenda korea ni mala chache sana teba kwa matukio maalum tu, asanteni vipenzi kwa kuwa na mimi mpaka hapa mtunzi wenu simulizi za Baby smile, nawapenda sana jamani, Mungu awabaliki sana vipenzi🥰🙏…
THE END.

