KWA MAPENZI HAYA LAZIMA TU NIMSALITI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEASON TWO
Sehemu ya 21
“Wewe nini jamani” Niliongea nikiwa na furaha, nilijidai kama sijui vile, kumbe nilijua kuwa Docra kapagawa kwa ujumbe wangu “Derick, ni wewe ndiye umenitungia ule ujumbe au umeniforwadia?’
“Nimekutungia mimi mwenyewe, na ndio maana uliona nachelewa kujibu meseji yako”
“Mi nilidhani hutaki kunijibu, kumbe ulikuwa unaniandalia meseji nzuri kiasi hiki? Asante Derick, umefanya asubuhi yangu iwe nzuri..Naomba kila siku asubuhi uwe unanitumia meseji nzuri kama hizi”
“Sawa usijali nitakutumia”
Docra alinitazama usoni kwa muda mrefu kisha alinikumbatia kwa nguvu, alitaka kunipiga busu mkononi ila aliogopa, sijui kwanini aliogopa kwa sababu haikuwa mara yake ya kwanza kufanya hivyo, hata hivyo nilihisi kaogopa kutokana na aibu za kike. Hakukaa sana chumbani kwangu, aliondoka alienda kujiandaa kwaajili ya safari, nami nilijiandaa nilivaa track suti nyeupe ambazo nilinunuliwa na Docra, baada ya muda Docra alikuja akiwa amebeba begi lake dogo, nilishtuka kuona hata yeye kavaa track nyeupe ambazo zilifanana na zangu; ile track ilifanya kishundu chake kirudi nyuma zaidi, mtoto alipendeza hadi nilishindwa kuvumilia;
“Docra”
“Abee”
“Wewe mwanamke ni mzuri jamani, hapa duniani nimeona wengi ila wewe hapana”
“Mh jamani, mwongo wewe” Aliniambia akitabasam, alifurahi namna ambavyo nilimsifia
“Sijawahi toa sifa kwa mwanamke lakini wewe ni wa kwanza, kama ni kuumba basi Mungu alikuumba, itapendeza siku moja ufunge na kusali umshukuru Mungu kwa zawadi ya uumbaji ambayo amekubariki…Kuanzia juu hadi chini, huko nyuma naogopa hadi kutazama nisije nikapata dhambi ya tamaa”
Docra alicheka kwa raha zake, alafu nilifurahi sana kumuona akifurahi; sikujua kwanini nilipata hisia za namna hiyo. Mara tuliletewa chai, tulikula chakula cha asubuhi kisha tuliondoka tulielekea uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, mida ya saa nne asubuhi ndege yetu ilipaa kuelekea Tanzania. Balaa lilikuwa ndani ya ndege, picha lilianza pale ambapo wasafiri waliacha kufanya mambo yao kisha walitutazama sisi. Sio abiria tu, hata wale wadada wahudumu wa ndege walisahau majukumu yao, macho yao yalitushangaa sie ambao tulikuwa bize tukitwanga photo. Muhudumu mmoja alivumilia sana mwisho alishindwa, alitufuata pale tulipokaa kisha alituomba picha, tulishangaa kidogo kisha tulikubali, picha maridadi ilipigwa; baada ya picha yule mdada hakutuacha hivi hivi, alituelezea hisia zake.
“Natamani ningevaa kama nyie, mmependeza hadi nimewatamani, kwani nyie ni wapenzi?”
“Ha pan a” Mimi na Docra tulijibu kwa pamoja
“Sasa mbona mmependezana hivyo? mmefanana hadi raha, mpo kama mapacha” Baada ya maneno hayo yule dada aliondoka alituacha tukicheka kwa furaha.
Maneno ya muhudumu yalifanya Docra azidi kutamani kuwa karibu yangu, hata mimi mwenyewe sikutaka kuchomoka pembeni ya yake, safari iliendelea; baada ya saa moja tulifika jijini Dar. Mwenzangu yeye kwao Dar ila mimi ilibidi niendelee na safari. Utata ulikuwa pale ambapo nilimuaga kuwa naondoka tutaonana tena; Docra alikataa katakata, aliniomba siku hiyo nilale Dar kisha niondoke siku inayofuata. Nilimuuliza kuna sababu ipi kubwa ya mimi kubaki? hakuwa na sababu, yeye aliniambia nibaki tu. Kiukweli sio kwamba sikutaka kubaki, nilitamani sana ila nilishindwa kumkubalia kwa sababu mke wangu alikuwa akinisubiri kwa hamu. Pia hadi muda huo tayari niliisoma akili ya Docra, nilijua kuwa anataka nibaki ili tuwe tunacheza tu, sasa ndo mambo gani hayo? Niliona bora nirudi nyumbani.
“Kwani we unawahi nini lakini, au hupendi kuwa karibu na mimi? Please mi sitaki uondoke, baki na mimi” Alinibembeleza akiwa amenishika mikono nisiondoke
“Docra kesho ni jumatatu, na umesema kwamba kesho unaenda chuo. Napenda sana usome, kitu kikubwa kinachofanya nitamani kuwa nawe muda wote ni namna ambavyo unajitambua, kujitambua kwako kunatokana na elimu uliyonayo, hivyo basi naomba nirudi nyumbani ili ujiandae kwenda shule. Mimi leo nawahi nyumbani nataka nikaandae mzigo wa kupeleka marekani, hivyo basi weekend baada ya masomo na shughuli zangu nitakuja kwaajili yako”
“Wow! Basi sawa”
“Alafu nimekumbuka, hivi ulimjuaje Joshua?’
“Tena afadhali umeniuliza swali hilo…Mimi mwenyewe nilitaka kukuuliza ulimjuaje Joshua?’
“Ni rafiki yangu nilisoma nae primary na secondary”
“Mnafahamiana kabisa? Mnajuana kiundani?”
“Namjua vizuri tu, tabia zake, mishemishe zake na kila kitu”
“Kama ni hivyo sawa, mana yule mtu niliwahi kusikia skendo zake mbaya kule marekani, kuna siku jina lake liliandikwa kwenye gazeti kuwa anatafutwa, yeye hata biashara zake hazielewekagi, ila kwakuwa mnajuana haina shida, muhimu uwe makini tu” “Usijali, nimekuelewa sana”
Hapo sasa tulikumbatiana kisha tuliagana, yeye alichukua Taxi kisha aliondoka alielekea kwao, mimi nilizama kwenye ndege iendayo jijini Mbeya, tulipaa juu mawinguni tulielekea kwa wazee wa ndaga fijo!!
*****
Kwa jinsi mke wangu alivyonimiss alikuja kunipokea Airport ya Songwe, kabla ya vyote alinikumbatia kisha alinipiga mabusu ya kutosha, pasipo kutarajia aliniambia “Mume wangu mbona umependeza sana? pesa kidogo tu umeanza kuvaa track suti kali namna hiyo? Kumbe ukiamua kunoga unaweza, marekani kumefanya urudi mzuri kama hukupata ajali vile”. Baada ya maneno hayo nilibaki nacheka tu, laiti kama angemjua mtu aliyeninunulia nguo hizo sijui ingekuwaje. Tuliingia kwenye gari yetu ambayo alikuja nayo kisha tulirudi nyumbani kyela. Yaani ile tumefika nyumbani tu, kitu cha kwanza kufanyika kilikuwa ni mchezo wa kikubwa ambao ulianzia sebuleni hadi chumbani, tulicheza mechi ya kueleweka, hadi tunakuja kumaliza kila mmoja alikuwa hajiwezi, tulibaki tunapumua juu juu tu. Kuna muda simu yangu iliingia meseji, nilivuta kisha nilisoma meseji ambayo ilitoka kwa Docra, meseji hiyo iliandikwa hivi; “Vipi ushafika? Mwenzio nishakumiss, Je wewe hujanimiss? Naomba nijibu muda huu, pia niandikie ujumbe mzuri ili nifarijike”, nilijikuta natabasam mara baada ya kusoma ujumbe huo.
“Unacheka nini? Umeona nini kwenye simu yako? naomba nione” Mke wangu aliniambia
SEHEMU YA 22
Niliganda kwa sekunde nyingi nikiwa naogopa, mke wangu alinyosha mkono akiomba nimpe simu yangu ili nae aone ujumbe ambao ulinipa tabasam. Niliogopa kumkabidhi kwa sababu ujumbe huo ulitoka kwa Docra, m baya zaidi ujumbe ulikaa kiutamu utamu, sasa kama akiuona lazima atanihisi vibaya. “Mbona hunipi hiyo simu? Nipe nami nisome huo ujumbe” Alizidi kunikomalia
“Unadhani ni ujumbe wa maana sana? hata sio wa maana, ni Joshua ananiambia nimtumie mzigo haraka eti wazungu wanataka kumnyonga kisa mchele wangu.”
Mke wangu alicheka mara baada ya kusikia utetezi wangu wa uongo, hata lile ombi lake la kutaka nimpe simu yangu lilikufa. Nilikuwa bize nikimjibu Docra, nilitaka nimuandikie ujumbe mrefu mzuri ambao ungemfariji huko aliko. Sasa wakati mimi nikiwa bize kuandika meseji, mke wangu alikuwa bize akitazama simu yangu. “Baba Monica hiyo simu nzuri umeipatia wapi? hizo si ndo Iphone mpya ambazo zimetolewa hivi karibuni? Na nilisikia zinauzwa kwa mamilioni, wewe ulisema hutokuja kununua simu inayozidi laki 3, imekuaje ununue simu hiyo?”, mke wangu aliniuliza kuhusu simu ambayo nilinunuliwa na Docra. Nilimdanganya kuwa simu hiyo nimenunua marekani, tena inauzwa laki tatu kamili. Kwakuwa ananipenda alinielewa ila alitaka nimpe aione vizuri. Niliogopa kukataa kumpa aitazame, ila tatizo ni kwamba muda huo nilikuwa katika hisia kali nikimuandikia Docra ujumbe mkali, haraka haraka nilifuta ujumbe huo na meseji zote za Docra kisha nilimkabidhi simu mke wangu. Aliitazama hadi aliitamani, sasa akiwa bado anaikagua mara kuna meseji iliingia kwenye simu yangu.
“Huyu ulomsevu “MAJI ni UHAI” ndo nani?
“Aah huyo ni muuza maji wa marekani”
“Mbona anakulaumu unachelewa kujibu meseji zake? Pia anasema siku yake ni mbaya bila wewe”
“Si unajua kule kwa wenzetu maji yananunuliwa, huyo alikuwa akituletea maji, ni msumbufu balaa, hapo anataka pesa na ndio mana anasema bila mimi siku yake ni mbaya, na anadhani bado nipo New york”
“Sasa si umuambie kuwa umeondoka, alafu amekupigia” Aliongea akinikabidhi simu yangu.
Mtu niliyemsevu maji ni uhai sio mwingine ball ni Docra, niliogopa kupokea simu, hata hivyo ilibidi niigize kupokea ili mke wangu hasipate hofu. Sikuipokea ila nilizima sauti ya muito wa simu alafu niliisogeza sikioni, nilijidai naongea na muuza maji kumbe sikuongea na mtu, nilimwambia kuwa nimerudi Tanzania kisha nilikata simu. Kabla sijakaa sawa meseji iliingia kwenye simu yangu, “Mbona hupokei simu yangu? Mi nilijua tu tukiachana hutokuwa na muda na mimi”, ilikuwa ni meseji toka kwa Docra, ni kama nilimuona kwa jinsi alivyokuwa akipata tabu. Aisee nisiwe muongo; nilivurugwa sana, katika vitu sikupenda ni kuona namuumiza Docra. Niliwaza nifanye nini nimkwepe mke wangu kisha nikaongee na Docra, nilipata wazo la kwenda kuoga, hata hivyo mke wangu alitaka tukaoge wote. Baada ya kushtukiwa nilijidai sitaki kuoga, nilitaka kwenda nje lakini mke wangu nae alisimama akitaka tutoke wote. Nilihisi maumivu ya tumbo, nilikuwa kama mgonjwa wa stress vile, mwisho nilipata wazo flani hivi, nilijidai kupokea simu kisha niliongea “Hallo Dullah, yeah nimerudi leo, unataka kunilipa deni langu? Upo wapi? sawa nakuja muda huu, usiondoke nakukuta hapo”, angalau mke wangu aliniachia, aliniruhusu nikachukue pesa yangu kwa Dullah.
Sikwenda kwa Dullah wala kwa Abdallah, nilichepuka pembeni ya nyumba yangu nilijificha kwenye jumba bovu kisha niliandika meseji tamu kwaajili ya Docra, niliandika hivi; “Usione nipo kimya ukadhani nakutenga, muda wote nakuwaza isitoshe nakupenda, kamwe sitokuacha popote nitapokwenda, wewe ni rafiki bora hilo halina ajenda. Huwa napata shida sana kukutumia meseji, kila nikiandika nafuta, na ndio maana nachelewa kukujibu, nakosa maneno juu yako”. Nilimtumia ujumbe huo, nilijua lazima atapagawa tu, hata hivyo alinijibu kwa ufupi tu, aliandika “Asante”. Sio kawaida yake, nilitulia kwa sekunde nyingi nikisubiri labda atanitumia ujumbe mwingine lakini hakutuma, nilipata wasiwasi labda hakuupenda ujumbe wangu, kuna muda niliwaza labda alikasirika kwakuwa nilichelewa kujibu, kutokana na kuchanganyikiwa niliamua kumpigia, alipokea ila badala ya kuongea alianza kulia.
“Docra unalia nini? Nisamehe nimechelewa kukujibu meseji, au kama hujapenda ujumbe wangu nitakuandikia ujumbe mwingine” Nilimuambia kwa sauti ya upole “Ujumbe wako ni mzuri, ila asante sana, mimi leo nimekuwa rafiki yako! unaniita rafiki mimi? Sawa nashukuru” Baada ya lawama hizo alikata simu kisha aliizima moja kwa moja.
SEHEMU YA 23
Mwanaume nilivurugwa, nilipagawa, nilikuwa kama mwendawazimu! Kila nikipiga simu ya Docra haikupatikana, meseji hazikusomwa, hilo ndo tatizo la Docra! akikukasirikia utaomba pooh! Hanaga utani kwenye kukasirika, alafu anakasirika vitu vidogoo ambavyo ukivitafakari havina maana hata kidogo. Siku ya kwanza alinikasirikia kisa sikumkumbusha kufunga mkanda, hatimaye leo kaninunia kisa nimemuita rafiki yangu, sasa yeye alitaka nimuite nani jamani? mbona huyu Docra ananiumiza kichwa mimi Derick. Nilihisi mkojo unauma, nilibana mapaja nikitetemeka kwa hofu ya ku m kos a Docra. Nilitamani nipae niende Dar ila ndo hivyo ilishindikana, mara Joshua alinipigia simu, aliniambia mzigo ambao niliacha uliisha wote, pia aliniambia niandae mzigo mpya wa kutosha”
“Andaa leo ili kesho uutume, huku wateja wananisumbua, hakikisha mzigo unakuwa mwingi kweli kweli. Pesa ya mauzo ambayo imepatikana nakutumia muda huu” Baada ya kunieleza hivyo alikata simu, kabla sijakaa sawa meseji ya pesa iliingia kwenye benki yangu, ilikuwa ni pesa nyingi ambayo sikufikiria kama ningeipata kwa uuzaji wa mchele tu.
Niliondoka nilielekea kwenye mashine zangu ambazo zilikuwa zinakoboa mchele, kwakuwa niliwaambia waandae mzigo wa kusafirisha nilikuta tayari wamepakia kwenye garı tano. Mzigo huo ilibidi niusafirishe siku inayofuata, lakini kutokana na kuvurugwa na Docra nilijikuta natamani kuondoka siku hiyo hiyo. Japo nilichoka, japo sikupenda safari, japo nilitamani nipumzike na mke wangu lakini kitendo cha Docra kunizimia simu kiliniumiza moyo.
“Jiandaeni, badala ya kusafirisha mzigo kesho tutaondoka leo” Niliwaambia watu wangu wa kazi, walinishangaa sana lakini walishindwa kunibishia. Niliondoka nilienda nyumbani kwangu, nilikuta mke wangu kashaniandalia chakula cha mchana, kabla hatujakula tulienda kuoga pamoja kisha tulirudi mezani tulikula. Siku hiyo mke wangu hakutaka kubanduka pembeni yangu, muda wote aliniambia amenimiss, alitaka tuwe tunafanya tu, sikumkatalia ila nilifanya nikiwa namuwaza Docra.
“Mbona una mawazo sana? huna hamu na mimi?” “Hapana, kuna kitu kinanichanganya, huyu Joshua anataka kunivuruga”
“Amefanyaje?”
“Eti anataka kesho asubuhi nimtumie mzigo, hivyo basi leo inabidi nielekee dar nipeleke mizigo bandarini. Kiukweli nimechoka sana, siwezi kwenda, nataka nitulie na wewe mke wangu” Niliongea nikijidai sitaki kumbe nilitaka sana
“Ah jamani mume wangu usichoke kwa sababu biashara zako ndo maisha yetu, japo hata mimi sitaki uondoke ila ni vema uende tu..Si unaenda kutuma tu? we nenda mimi utanikuta, mimi ni wako” Aliniambia akinibembeleza kwa mikonyezo mitamu, muda huo alikuwa juu yangu akifanya kazi yake nzuri, kazi ya kupepeta kama twanga pepeta.
Kwakuwa niliruhusiwa na waubani wangu basi kitu ambacho nilikifanya ni kumaliza game kwa haraka ili nisepe, kwanza nilimgeuza nilimuweka chini, nilivuta hisia za kumaliza mchezo; sikutumia dakika nyingi nilimaliza. Kwa mara nyingine tulielekea tena kuoga, mke wangu aliniandalia nguo, alinivalisha kisha alinikumbatia kimahaba akinitakia safari njema. Akiwa amenikumbatia mara kuna taarifa iliingia kwenye simu yake, alisoma taarifa hiyo nilimuona kashtuka, nilimuuliza kulikoni aliniambia kuna mtu kafa kwa sababu ya kukiuka kiapo cha mapenzi.
“We hiyo taarifa inasemaje? Ebu rudia ten a”
“Ni m kaka flani kavunja kiapo, yeye na mkewe walikula kiapo cha damu ili wasisalitiane, sasa kwa bahati m baya m kaka wa watu alipitiwa na shetani, leo wanazika”
“Wewee! Kwahiyo kafa kabisa yani?”
“Ndiyo, tena amekufa kifo kibaya sana! jamani hadi namuonea huruma m kaka wa watu bado kijana”
“Mke wangu habari za kweli hizo?” Niliuliza nikiwa natamani kulia, hata mimi mwenyewe sikujua nataka kulia kwa sababu gani.
SEHEMU YA 24
Taratibu tulitoka chumbani tulielekea sebuleni, tulikuta TV ikiwa inaonyesha taarifa ya habari, kabla hatujakaa sawa mtangazaji alitangaza taarifa ile ile ambayo nilipewa na mke wangu kwamba jamaa kafa baada ya kukiuka kiapo. Na ukicheki mimi na mke wangu tulikula kiapo cha namna hiyo hiyo, moyoni nilivuja machozi niLijilaumu kwa ujinga mkubwa ambao niliufanya kwenye maisha yangu, hata mke wangu alinishangaa kuona sına raha, aliniuliza kulikoni nilimjibu sijapenda kusafiri kwa sababu nimechoka. Alizidi kunibembeleza nisichoke, alinipeleka hadi nje kisha aliniacha, nilielekea kwenye magari yangu kisha niliwaamuru madereva waanze safari, mimi nilitumia gari yangu binafsi; nilitangulia kuelekea Dar, muda huo ilikuwa saa 11 jioni.
*****
Kwakuwa nilitumia gari binafsi saa 5 usiku nilifika Dar posta kwenye ofisi za usafirishaji. Nilitafuta hoteli ya kulala ili niwasubiri madereva wangu ambao walibeba mizigo. Nilipata hoteli ya bei za kawaida, nilizama ndani hadi chumbani. Nilitamani nimtafute Docra ila niliogopa, pia nilihisi atakuwa amelala. Sikujua anakaa Dar maeneo gani, kwa ufupi nisingeweza kuonana nae usiku huo wa saa tano. Nilizama bafuni nilioga kisha nilijilaza kitandani nikitafuta usingizi lakini sikuupata, ni mawazo ya Docra tu ndiyo yalinisumbua. Moyo ukiamua kitu huwa unaamua kweli, nilishindwa kuvumilia, nilishika simu yangu nilimtumia meseji Docra nilimuuliza kama amelala lakini hakunijibu. Nilimpigia simu iliita lakini haikupokelewa, nilihisi kalala..Nilikosa raha, sikujua nifanye nini, niliogopa kumpigia tena nikiamini atanizimia simu. Nikiwa sijui oha kufanya mara alinitumia meseji aliandika hivi;
“Usinisumbue, endelea kufanya mambo yako, nitajitahidi kukusahau”. Dah! Meseji iliniuma hiyo, nilikuna nywele zangu ambazo hazikuwasha, nilimtumia meseji nilimuambia “Najuta kukuita “Rafiki yangu”, nimeumia sana kuona hupokei simu zangu, japo sikupanga ila nimeamua ku j a Dar ili nikuombe msamaha”. Baada ya kumtumia ujumbe huo hazikupita sekunde nyingi alinipigia simu, nilipokea nilisogeza sikioni;
“Wewe unasema umekuja Dar? Upo wapi? mimi nipo nyumbani Posta…Niambie basi upo wapi?’
“Nami nipo hapa hapa posta karibu na ofisi za usafiri wa meli, nimefikia hotel i”
“Hoteli gani? Ok nakuja…nakuja muda huu…nakuja sasa hivi!” Aliongea akionekana kukurupuka toka kitandani kwake.
Ilipita dakika ya 1, ya 2 hadi ya 5. Mara niligongewa mlango na muhudumu aliniambia kuna mgeni wangu, nilienda mapokezi nilikutana na Docra, nilimchukua tulielekea chumbani. Yaani ile tumefika chumbani tu alinikumbatia kwa nguvu kisha alitaka nimpe maelezo ya kueleweka nimuambie kwanini nilimuita rafiki yangu. Nilimuambia kuwa nilimuita hivyo kwa sababu mimi na yeye ni watoto wa Mungu, hakutaka kukubaliana na maelezo yangu, alinuna alikaa kitandani kisha alivuta shuka alilala. Nami nilipanda kwenye godoro kisha nilimtazama usoni, aligeukia upande wa pili; hakutaka tutazamane. Nilimwambia anitazame nimuambie kitu kizuri lakini alikataa, alitaka nimuambie yeye ni nani yangu.
“Docra wewe ni mtu nikupendaye, wewe ni kipenzi changu” Nilimuambia kwa upole, hapo sasa alitabasam kisha alinigeukia alinitazama, tulitazamana kwa muda mrefu pasipo kuzungumza chochote. Wote wawili mioyo yetu iliongea lakini tulishindwa kufanya matendo. Mimi kila nikikumbuka yule aliyekufa kwa kukiuka kiapo nilikosa raha. Sasa tukiwa tunaendelea kutazamana kumbe midomo yetu ilikuwa tayari imekutana, Docra alifumba macho, hata mimi nilikuwa nilijikuta nafumba macho, kilichofuata hapo ni migeuzano ya mahaba, miguno ya raha na vilio vya utamu utamu!
Licha ya kunogewa na busu hilo lakini nilifanya nikiwa najitambua, tena kichwani niliwaza kifo kifo tu, tayari nilianza kumuona Israeli akinichekelea. Viungo vyangu vyote vilikuwa hot zaidi ya hotpot, kule chini kwangu kulinyanyuka juu chini, kama kupatwa tu basi nilipatwa kwelikweli. Nikiwa nipo bize na mawazo, mwenzangu Docra alihisi kama yupo Jerusarem akicheza londorose! Muda wote alitetemeka mtoto wa watu, aliweweseka hadi nilimuonea huruma, nilijua kabisa kuwa anahitaji kitu flani lakini mimi mwenzie niliogopa kumpa kitu hicho. Kuna muda alitamani azamishe mkono wake ndani ya ikulu yangu lakini aliogopa, gauni ambalo alilivaa lote lilipanda juu, ndani alibakiwa na ile kufuri ambayo nilimnunulia New York, mbaya zaidi nilipiga jicho pale kati kwenye kufuri lake nilikuta pameanza kupigwa na matone ya mvua!. Kwa jinsi ambavyo niliogopa nilishindwa hata kumshika katika viungo mbali mbali, mimi nilicheza mdomoni kwake tu basi! Sikugusa shingo yake, kifua chake, kiuno wala kalio, hata chupi yenyewe tu sikuishika, nilijua endapo nikimfanyia vitu vya ajabu itabidi nimalizie kazi hiyo, hasingekubali nimuache hivi hivi. “Derick” Aliniita kwa sauti ya kuzidiwa
“Naam”
“Mimi ni nani yako?’
“Mwanamke wangu wa fa id a”
“Sitaki, mimi ni nani yako?”
“M rem bo wangu wa nguvu” “Nimesema sitaki, hivi unanichukuliaje? Kwahiyo hujui mimi ni nani yako si ndiyo?” Docra alinifokea, alinuna kabisa, alichafukwa kwa hasira zenye maumivu.
Kiukweli alinichanganya sana, huyu mwanamke kama kunivuruga tu basi alijua kunivuruga; anajua kabisa kuwa mimi na yeye ni marafiki alafu hataki nimuite rafiki, sasa ye anataka nimuite nani jamani? Mbona huyu Docra ananitesa sana mimi mtoto wa mwanamke mwenzie?. Nikiwa nimezubaa ghafla alianza kutoa machozi, alilia kwa kwikwi akitazama pembeni. Taratibu nilimgeuza kisha nilimtazama usoni;
“Docra sasa mbona unalia? Nimekukosea n ini?” nilimuuliza kwa sauti ya u pole
“Derick nakuuliza kwa mara ya mwisho, sitorudia tena. Nakuuliza hivi; mimi ni nani yako?” Hapo sasa alinyamaza kisha alinitazama bila kupepesa macho, alisubiri jibu.
SEHEMU YA 25
“Docra wewe ni mpenzi wangu, wewe ni mwezi wa maisha yangu na ni mwanamke uliyethibitishwa kwenye maisha yangu; nakupenda sana” llibidi tu nimwambie ukweli kuliko kufichaficha. “Asante Derick, asante sana. Ni muda mrefu nilimtafuta lakini sikumuona, macho yaliona wengi ila kwako nimekoma, nakupenda sanasana hadi ninahisi homa, penzi letu ni la Mungu yeye ndiye katuona, alitulinda kwa ajali na kifo alituponya, sisi sio wa Madrid wala si wa Barcelona, nitakupenda daima inshallah sema amina”
“Amina”
Mambo kunoga leoo!!! Kasheshe lilianzia hapo hapo, mwenzangu alihisi tayari tushakuwa wapenzi, sasa kama ni wapenzi kinachofuata ni nini? Bila shaka ni ndoa, hata hivyo yeye alitaka kwanza penzi. Alinivuta hadi kufuani kwake ili nimtumie ipasavyo, nilizubaa juu yake nilikuwa kama bongo zozo, sikujua nifanye au nisifanye, kila nikiwaza kufanya kuna sauti iliniambia “We mbwa utakufa we we! Usiendekeze ufala huo, kumbuka kuwa umeoa”. Licha ya sauti hiyo ya kutisha bado kuna sauti nyingine iliniambia “Derick ni kweli umeoa, unampenda mkeo hata mke anakupenda, lakini tambua kuwa hapa duniani kuna mwanamke unayemtafuta wewe na yule anayekupa Mungu. Mkeo ulimtafuta wewe, huyo Docra umepewa na Mungu, hiyo ni kama zawadi yako, usiogope kuhusu kiapo, kama Mungu ndiye kakupa huyo mwanamke basi hawezi kukuadhibu endapo utampokea, usimuache”. Sauti hiyo ilinipa matumaini, nilijikuta natabasam kisha nilianza vuruÄŸu juu ya mwili wa Docra. Kila nilipogusa mtoto alirusha miguu juu kisha alipumua kama mgonjwa wa pumu, mdomo wangu ulifanya kazi kuanzia shingoni kwake hadi kifuani, sijui hata nguo tulivuana muda gani ila ghafla tu nlishangaa wote tumebakiwa na kufuri zetu. Mikono yangu ilitua juu ya kufuri lake, niligusa kidogo tu Docra alitetemeka kisha alibana mapaja alafu alinivuta mdomoni kwake, macho yake yalibadilika rangi, yalikuwa mekundu kama damu ya mzee, kiini cha macho yake kilikuwa kikijigeuza huku na huko, hayo yote yalitokea mara baada ya mikono yangu kuchezea kifua chake ambacho kilibeba viembe vidogo vyenye ladha mubashara!
Kuna muda nilimtazama nilimuona yupo tayari kwa kutu mika, hapo sasa nilikamata kufuri lake nikitaka kulitoa, kabla sijalitoa kwa mbali nilimuona Israeli akinipa “hi”, kabla sijakaa sawa nilimsikia Israel akiniambia “Endelea na mchezo wako, badae tutakuwa wote pamoja tukicheza yope remix kwenye moto mkali sana..Endelea baba, tena wewe kijana nakutamani kweli, kwanza ni mzinifu, muongo, unatamani mwanamke haÅŸiye mke wako, mbaya zaidi unavunja kiapo ambacho uliapa mwenyewe, kama unakiuka amri 10 za Mungu wako basi karibu kwenye utawala wangu, leo hii hii mimi na mazombi yangu tutakutafuna firigisi”. Ghafla israel alipotea, nilishtuka nilikaa pembeni nikiwa natweta kwa jasho la woga, nilihisi kama ndoto vile, hata Docra alinishangaa, aliamka kisha alinitazama;
“Bebi vipi? Mbona sikuelewi?”
“Samahani Docra, sitoweza kufanya hivyo”
“Sitaki unite Docra, alafu kwanini ushindwe kufanya? Sikiliza Derick nikuambie ukweli, usinione na huu mwili ukadhani nimetumika, mimi ni mpya kabisa, tena ni wewe tu ndiye umebahatika kuwa karibu na mimi muda mwingi, mimi mwenzio maisha yangu ni ya kufungiwa ndani, ilifikia hatua sikutamani mwanaume japo nilitamani kuwa na boyfriend. Baba yangu hapendi nijihusishe na mapenzi hadi niolewe, na ameniambia kuolewa ni mpaka nimalize chuo. Pia kwa sasa hataki kusikia kama nina mwanaume na ndiyo maana ile siku alinitenganisha na wewe pale hospitali. Nilijitahidi sana kufuata masharti ya baba yangu lakini kwako nimeshindwa, mimi ni mkubwa, ni haki yangu kuwa na mpenzi kwa sasa, kubwa zaidi namshukuru Mungu amenipa mpenzi ambaye nilimtamani kwa muda mrefu, mpenzi huyo sio mwingine bali ni wewe. Natamani unioe muda huu ili tuishi pamoja unitumie tukiwa kwenye ndoa ila sidhani kama kuna mzazi wangu ambaye ataruhusu, na ndio maana nimeona ni heri tuanze mapenzi kabla ya ndoa. Derick hadi sasa umeona asilimia 90 za mwili wangu, bado asilimia 10 za siri zangu, kwakuwa wewe ndiye sahihi kwangu naomba nikuachie ufanye utakavyo, mimi ni zawadi yako, mimi ni mpya, kama huamini basi nakuruhusu nitumie utakavyo, ukikuta nimetumika naomba uniache leo hii hii” Nilishtuka kusikia Docra ni bikra, hata kama ungekuwa wewe ungeshangaa, kwanza moyoni nilisema haiwezekani. Hata hivyo sikuwa na haja ya kubisha kwa maneno, niliruhusiwa nifanye nitakavyo ili nijionee. Docra alijilaza kitandani akinisubiri mimi niende nikamalize kazi. Patamu hapooo!!!
INAENDELEA