DEREVA WA BABA
SEHEMU YA SITA
Morgan akamfata mynda huko huko, nae akaenda kuelezea shida yake amempenda sana na Morgan kweli alikuwa amempenda huyo dada sana tuu ๐ค
Mynda akamwambia mie mbona nishaongea na mwenzio tayar na tumeelewana ,๐๐๐ Morgan alilitoa jicho kama kabanwa na mlango yaan. Huyu Robby naenda kumtoa meno, akataka kuondoka kwa hasira ๐คจ๐คจ
Mynda akamshika mkono ,akamwambia yaan wewe ni mtu wa hasira sana aisee๐๐ ,mwenzio kasema ananipa laki tano we mpandie tu hakuna kinachoshindikana bwanaaa๐
Ikabidi Morgan awe mpole baada ya kusikia mambo ya kupandiana dau sasa๐๐ , sio kama hana hela , Hawa vijana wote wanahela za kuchezea nyingi mnoo na hawana kazi yeyote bado wanatumia za wazazi wao , Wanadai muda wao wa kutafuta hela haujafika๐ ๐
Morgan akamwambia Mynda mie nakupenda sio nakutaka kwa usiku mmoja Noo!!! Nataka uwe wangu yaan ikiwezekana basi tuwe familia ,,, Mynda alichekaaa๐คฃ๐คฃ akamwambia we babaa weee mbona wa zamani sana wewe ๐๐๐พ
Sikuhizi hakuna kuoana baba kupendana ilikuwa zamani we kama unataka familia nilipe nikuzalie utamtunza huko mtoto unapo taka wewe๐”
Mmh๐๐๐ akaona leo amevamia mtumbwi wa vibwengo akasema okay unataka shingap one night?? Mynda akamwambia nilipe juu ya mwizio fanya hata laki saba hivii ukinipa ml 1 nakaa na wewe wiki zima๐ค๐ค๐ค
Mmh Morgan akasema okay nipe namba yako nitakucheki , Mynda akamwambia hakuna cha namba we toa Advance bwana ๐ , Morgan hakuwa na ajizi alitoa laki 3 akampa
Ndio mynda akatoa namba ya simu yake๐ ๐ ,
Morgan alirudi ndani akiwa na hasira na Robby moyoni akasema sina shida tena na huyo dem lakini nakukomesha hautampata nitamlipa ya wiki yote baada ya hapo utajua wewe sasa afu tuone nani mjanjaaa ๐คจ๐๐พ…. mesha alimuona jinsi Morgan anavyomtazama sana Robby akaelewa hapa kuna shida ikabidi awaite chembe kwenda kuongea nao ๐ค๐ค
Lakini kila mtu akasema yeye hana shida na mwenzie na hakuna alieweka wazi kuwa kuna shida imetokea au alienda kuongea na mynda kila mtu ikabaki siri yake๐๐พ , wakati kina mesha wametoka huku nyuma kinywaji alichokuwa anatumia Irene kilikuwa kimeisha , Ikabidi Lawrence amfatie , na tayar muda ulikuwa umeenda sana yaan usiku ๐คฅ
Baada tu ya Lawrence kurudi na vinywaji irene akasema yeye imetosha anataka waende kulala , Lawrence akasema si unaenda kwenu ?? Irene akakubali akaona hapo hapo Lawrence akimpeleka kwao ndio akamuone na mama yake hakujali hata usiku ๐๐พ
Alichukua simu yake akampigia Yaksun, Yaksun alikuwa amelala tayar nyumbani kwake chumba chake kimoja cha uwani sio mbali sana kutoka kwenye nyumba ya wazazi wake ni mtaa wa pili kutoka hapo ,
Mlio wa simu iliyokuwa imechomekwa chaji ndio ulimshtua Yaksun โน
Akajiuliza usiku huu nani anampigia simu,akajiinua kivivu akashangaa namba ya irene hakuwa amehifadhi lakini jioni ilivyompigia alinakiri namba za mwisho ndio mana haikuwa shida kuikumbuka …
“Usiku huu bint msumbufu huyu aiseee” aliongea huku anairudisha hakutaka kuipokea,Akarudi kitandani kabla hata hajavuta shuka ikaita tena akainuka kwa hasira akaenda kuipokea
“We vipii mbona hupokei simuuu???” Ilikuwa sauti ya Ireene tena akiongea kwa ukali wa kulalamika kwanini simu yake imeita haikupokelewa?? Yaksun akajikuta hata zile hasira zake za kupigiwa simu usiku zinaisha akabaki kimyaa
Irene akaanza kuita haloo haloo halooo muda wote palikuwa kimya baada ya sec za irene kuhangaika akidhani hakuna mtu hewani ndio Yaksun akaita Ndio nakusikia …
Yaksun aliongea sauti nzito ya kiume ๐Irene akatoa kwanza simu akatazama namba ni ya Yaksun au Amekosea mbona sauti nzito sana ๐ ๐ ๐๐พ
“Naa..naa..naongea na Yaksun??” Irene akauliz huku hana uhakika kama ndie au vipi Yaksun akajibu ndio Mbona usiku๐?? Irene kwa nyodoo akamwambia nataka uniijie hapa ulipo nileta ,,
khaa Yaksun akamwambia sa hii sa 7 hii si uchukue Tax jamani mie nimeshapeleka Gari kupack na nimelala tayar we chukua tax ๐คฅ…
Irene akaona mbona huyu kaka anadharau sanaa yaan anamwambia aje kumchukua yeye analeta nyodo ๐คจ, akaanza kufoka kwa amri kama kawaida yake๐๐พ , Yaksun hakumjibu akaitaka tu ile simu kitendo cha kukata simu irene alipandwa na hasira akaanza kupiga simu kwa hasira bila kupokelewa โนโน
Mesha akamuona kama amepanick akamuuliza akamuelezea , mesha akachukua simu yake akampigia Yaksun , akamuomba sana kistaarabu amfate , Yaksun ikabidi ainuke tu lakini ndo kwa hasira na yeye๐คจ๐คจ, alikuwa anavaa huku anajilalamikia mwenyewe huyu Mwanamke hivi analinga niniiiโนโน …
Lawrence na Irene walikuwa wamesimama nje ya Geti ,wanamsubiri Yaksun kina mesha nao walikuwa pembeni wao walikuwa na gari yao๐ค๐ค, Morgan na Robby kila mtu alikuwa anaipiga namba ya mynda muda wote lakini hakuna aliepokelewa simu yake โน๐๐พ
Na hata walipo mtafutia macho bado hakuonekana ๐๐,simu zilikuwa nyingi wote wanapiga bila kujuana kuwa wanapiga ๐ ๐ ๐
Msg iliingia kwa Robby baada tu ya simu kukata (bwana wee embu usinisumbue simu nyingiii kama nimechukua Roho yako bwana hicho kijilaki ndo usumbue wakati wenzio wanalipa kwa dollar embu mwambie na hiyo mjinga mwenzio muache kunisumbua,mnanipigia sanaa pesa yenu nawatumia wote ) ๐๐๐ Robby akasema au sijaelewa akarudi kuisoma sms mara ya pili na tatu , tunamsumbua wangap?? ,ndio akapata akili ya kumuangalia Morgan akamuona kweli yupo bize nae anahangaika na simu kama anampigia mtu alicheka sanaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ akamfata akamwambia vipi akupokelei mzee ulimpa shingap advance ๐ ๐ ๐๐พ
SEHEMU YA SABA
Morgani akamgeukia na bonge wa ngumii๐คฃ๐คฃ๐คฃyeye mawazo yake Robby itakuwa kaongeza dau kwahiyo yeye kachinjiwa baharini๐ ๐ ๐๐พ ,
sasa anamletea dharau na dharau morgani hajapenda ๐คจ๐คฅ
Robby kwake hakutegemea kwahiyo ilikuwa gafla sana hata kukwepa alishindwa ngumi tayar ilikuwa imemfikia usawa wa jicho lake la kushoto ๐ฅบ๐คฅ๐คฅ,
Aah nae akasema hii imezidi alirudi na ngumi jiwe kwa Morgan ๐คฅ, Morgan aliiona ile anakwepa kumbe alikuwa amekanyaga sehem mbaya akaenda mzima zima chini๐คฃ๐คฃ
Robby akamfata kwa juu ngumi mbili za hasira tayar kundi lote mpaka Lawrence akafika kuwaamua tena Lawrence alifoka mpaka kiswahili wakati hakijui๐คฃ๐คฃ hakuwa anataka kujiingiza kwenye ugomvi wao ila aliona kerooo๐ค๐คจ.. akawaambia wanaume mnagombana kisa malaya ๐๐ณ??
Ndio Robby akawaonesha ile msg aliyo tumiwa na Mynda ikabidi Morgani aanze kuomba samahani sasa mana hakujua๐๐๐คฅ ,
hayo yanaendelea na lile zogo la marafiki Yaksun alikuwa kafika muda amepack mana alipiga honi za kuwaita mpaka akachoka hakuna hata alieonesha dalili za kusogea alipo ๐ก๐ก๐ก yaan kazi alihisi inataka kuota kipele hii irene kawa kama yeye ndio anayetoa mshahara wake๐๐๐พ …
Karibu lisaa zima liliisha la kuwasuruhisha Morgani na Robby kwanza wote washkaj wamesoma chuo wote yaan wanajuana kitambo sana kila kona wapo ๐ค, mpaka wamemaliz kuelewana hapo maana wote wametapeliwa Yaksun akajikuta mpaka amesinzia ndani ya gari๐๐๐ฅบ , ndio wanakuja kumgongea kioo awatolee lock kwenye milango ๐คฅ
Akatoa kimya baada ya kuingia ,Lawrence alimsalimia kwa kingeleza maana yeye hajui kabisa kiswahiliโนโน ,Yaksun hakuitikia akawasha gari bila hata kuwauliza tunaenda wapi๐๐, irene akacheka nae akaongea kwa lugha hiyo hiyo akamwambia Lawrence hajui hata kingeleza huyo baby ๐ ๐คฃ๐คฃ
Wakageuza kichekesho,Yaksun hakuonesha hata dalili za kuwaza ujinga wao yeye alikuwa zake kimyaa muda wote ni kujilamba lamba tuu midomo kama wazungu ๐ hata hilo halikumshuhurisha pia Yaksun ๐๐๐พ …
Akawafikisha nje ya geti la nyumba kubwa ya kina Irene๐ค๐ค, akasimama nje ya geti hakupiga honi kuomba kuingia ndani ๐ akawageukia nyuma akamwambia tayar tumefika jamani mie sintaigiza gari ndani vyema mkashukia hapa๐๐พ …
Irene akamwambia washuke kuingia ndani Lawrence akamwambia mie sintaingia ndani ila nitakuje kesho asubuhi ๐ค๐คฅ
Irene alikasirika mana alijua huyu ndio kaja hivyo kwao sasa anamletea habar za kuwa anakwenda kulala hotel kisha kesho asubuhi ndio atakuja hapo kwao๐๐๐๐พ , Irene akamwambia basi tunakwenda kulala wote huko huko mie nimekumiss sana bwaa๐๐
Irene alikuwa anaongea kwa Kujibebishaa mpaka basi ila alikuwa anatumia lugha ya English ambayo Yaksun hakuwa anawaelewa ๐ค๐คฅ
Lawrence akaanza kumshika shika Irene maeneo ya Bibi huko๐ค๐ค na vile alikuwa amekunywa pombe ndo kabisaaa mambo yakawa simple tu miguu chwaaa mmoja kasikazini mwingine kusini๐๐,
Lawrence akamwambia irene amwambie Yaksun ashuke kwenye gari akawasubiri nje anafanya chap๐๐ irene akamwambia hapana tusifanye hapa twende tu hotel nitalala huko mama hawezi kugomba๐คญ๐คญ๐๐พ
Lawrence akakataa hilo๐๐ akamwambia anaheshimu sana taratibu za nyumbani hawezi kuwakosea adabu wazee๐๐ mana kabla ya kuja alipitia taratibu za wazazi wa kiafrika kwahiyo anajua heshima zotee ๐ค๐ค
Irene ikabidi akubali mana yalikuwa yamemfika shingoni๐ฅบ๐ฅบ akamwambia Lawrence kesho asubuhi aje lazima akamwambia hata usijali kipenzi mie kesho hata kabla hujaamka nitakuwa hapo mlangoni ๐๐๐พ
Irene akamuita Yaksun , Yeey muda wote alikuwa kimyaa kama hayupo hapo๐๐ , Yaksun akaitika bila hata kugeukaโน , irene akamwmabia naomba unisubiri hapo nje dakika moja tu๐คจ๐คจ ,,
๐๐ Yaksun akawageukia kwanza akasema kama nitashuka hapa nitaondoka moja kwa moja๐ณ hii ni nje ya kazi๐๐พ embu kuwa na heshima kidogo madam kama unashindwa hata kujilinda mwenyewe nani atakuja kukulinda๐๐ wewe sio wa kufanya kila sehem wewe sio malaya ok muwe na kazi njema๐ณ๐ณ๐คจ๐๐พ…
Yaksun akafungua mlango ili kutokaโน, maneno yake yalikuwa kama dharau au kejeli kwa Irene๐คจ , Yaksun aliongea makavu wala hakupindisha maneno๐ณ๐ณ๐คจ , Wakati Yaksun anashuka irene akamzuia asitoke๐คฅ , Lawrence akamuuliza vipi๐??
Mana yeye hakuelewa Lugha , Irene akamwambia wewe nenda mie nitaenda ndani kesho asubuhi uje ๐๐
Lawrence hata hakuuliza mara mbili alishuka kwenye gari, Akaita Tax kurudi hotel aliko kuwa kafikia๐คจ, irene akabaki kajiinamia humo humo ndani ya gari aibuuu๐๐๐
Hakutegemea kama Yaksun anaweza kuelewa alichotaka kukifanya ndani ya gari๐คญ๐๐พ ,Hata hamu ya kushuka hakuwa nayo alitamani kuongea neno lakini hakuweza kusema๐คฅ๐คฅโน
Alikuwa kajiinamia zaidi ya dakika 10๐ค๐, Yaksun akamuita bibie vipi mbona hushuki๐ค๐ค?? Irene akabaki kupikicha vidolee๐๐ , akajitengeneza vizuri ๐๐ Akamutia Yaksun!!! Yaksun akaitika Naam huku anamtazama๐
Irene alikuwa anapikicha tu vidole kawa mdogoo sio yule wa matambo๐ ๐ ๐ ,Akamwambia Yaksun sio hivyo ulivyo fikiria hatukua tunataka kufanya mapenzi sema tu wewe hukuelewa vizuri ๐๐๐
Irene alikuwa anaamini kwakuwa walikuwa wanaongea lungha ngeni lazima Yaksun hakuna alicho ambulia ila tu alicheza na nyakati au aliotea ๐คฃ๐คฃ
Yaksun akasema ooh sawa madam haina shida ,naomba uniruhusu mimi niende kupumzika๐๐๐พ….
Irene akamwambia naomba basi nikuombe kimoja cha mwisho tafadhali ๐๐, Yaksun Akasema mhuu kipii hikoo ๐คจ,,
Naomba unipeleke alipo Lawrence nakuomba Yaksun nakuombaaa๐๐๐ ohooooo Yaksun alijikuta anachoka kabla hata hajatoa jibu๐๐ irene alimuomba kweli na hiyo ilikuwa mara ya kwanza irene kuomba kitu mana yeye anatumia amri tu๐๐
Yaksun akasema poa ni wapii๐คจ?? Irene akamuelekeza๐๐
SEHEMU YA NANE
Kwa kuwa irene alikuwa ameambiwa hotel aliyokuwa amefikia Lawrence haikuwa shida kufika๐
Akili yake ilikataa kabisa yeye kulala nyumbani๐คฅ halafu Lawrence akalale peke yake๐ค wakati amekuja kwa ajili yake๐ฅฐ , hiyo heshima anayoizungumzia yeye hata haijui kwanza ๐๐
Yaksun alimpeleka mpaka nje ya hotel akashuka ๐๐baada ya kuhakikisha ameingia ndani ya geti naye akawasha gari kurudi nyumbani kwake๐๐ kwa jinsi alivyochoka hata hakuhitaji tena kupeleka gari parking akawaza kwenda nalo nyumbani moja kwa moja ๐คจ๐คจ…
Irene baada ya kuingia ndani kabla ya kufika mapokezi alimpigia simu Bro mesha akamuuliza Lawrence yupo chumba kipi ๐คฅ, baada ya kupewa maelekezo na mesha ndio akaingia na ilikuwa baada ya kupiga sana simu ya Lawrence haikuwa inapokelewa ndio kampigia mesha ๐๐
Baada ya kufika mapokezi akatoa utambulisho wake na mtu ambae anamtafuta๐๐ , ikapigwa simu ya mezani chumbani kwa Lawrence mara mbili haikupokewa
Ikabidi wamruhusu kwenda kwa jinsi alivyojitetea sana ๐๐๐๐ ,
Alipo fika akausukuma mlango kwanza kujaribu kama upo wazi au vipi๐ค, ikawa bahati kwake mlango sijui alisahau kufunga au aliamini sana usalama wa hiyo hotel ๐
Irene akaufungua moja kwa moja hakuwa na shaka Lahaula alicho kionaa๐ณ๐ณ๐ณ kwanza Alibaki kasimama pale pale mlangoni nguvu za kuingia ndani akakosa๐ฒ๐ฒ๐ฒ๐ฒ
Akamuita Lawrence ๐ฉ๐ฉ๐ฉ aliita kwa hasira hiyo sauti yake ndio ilimshtua Lawrence Aliekuwa amelala kitandani akitazama juu na juu yake alikuwa mwanamke tena anajipimia size yake ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ Sauti ya Irene ndio ikawashtua Lawrence akakurupuka akamsukuma pembeni yule dada ๐ฉ lahaula bado irene akapigwa na mshanago mwingine baada ya kumuona huyo dada ni yule mynda aloo๐ฉ๐ฉ๐ฉ yaan yule dada aliekuwa anagombaniwa na Morgan pamoja na Robby et ndo kalala na Lawrence ๐คจ๐คจ , Huyu huyu Lawrence ambae hata hakuwa anafatilia ule ugomvi tangu mwanzo na ndio huyo huyo mwisho aliingilia tena kwa ukali akawashangaa kwanini wanagombea malayaa๐๐๐ ..
Irene akamuuliza Lawrence kwahiyo ni wewe ndie ulie lipa kwa dollar๐ณ๐ณ??
Lawrence akavuta shuka mana muda wote alikuwa amebaki kapigwa na butwaaโน. Mynda alikuwa anavaa nguo yake taratibu kama vile hakuna fumanizi maeneo hayo
Lawrence Kainuka kumfata irene alipo kuwa kasimama ๐ฅ๐ฅ,
mynda akamvuta akamwambia embu nipe kwanza pesa yangu afu nyie mkaendelee kubembelezana huko mie sina muda wa kupoteza bwana kuwatazama๐๐๐
Heee๐ Irene akabaki kuwatazama sasa hajui aondoke apigane au afanye nini๐ฅฒ๐ฅฒ
Miguu yake ilikua inatetemeka anahisi kama homa lakini sio Homa hasiraa mpaka anatamani kumpiga huyo mynda lakini anajizuia๐คจ๐คจ ,akabaki kuhema haraka haraka๐๐
Lawrence akamwambia mynda embu nenda nitakutafuta tafadhali niacheee๐ณ!!,Sasa Lawrence anaongea English wakati mynda uzuri wa buree kichwani ni zero zero zimekumbatiana๐๐๐
Mynda akamwambia bwana wee usinichanganyee embu nipe pesa yangu we vipiii nipe pesa yangu!!๐ก
Mynda sasa alikuwa kashapanic anaongea kwa sauti ya juu kama kuna ugomvi ๐ฌ๐ฌ
Irene akabamiza mlango akatoka mbio, Lawrence nae ilibidi afate mbioo nyuma na shuka lake ndani akiwa pwee mtupuuu๐ง๐ง ni tamaa tu za kutaka kujaribu kwa Mynda lakini sio et hampendi Irene๐ฅด๐ฅด anampenda sana tu sema ndo vilee alijawa na tamaa kuonja vingine radha zake ๐๐
Lawrence alifata nyuma majuto sasa ndio yalikuwa yanafata kichwani yanazomea kwa kasiii nae anajiona kweli jitu zima hovyo ๐ค๐ค, Mynda yeye alikuwa ashavaa ila pesa yake hajapewa baada ya kumuona Lawrence amemfata nyuma irene nae akatoka mbio ๐ฒ๐ฒ,we mwehuu embu nipe hela yangu bwanaa nipe hela yanguu unataka kunilala kwa mkopo we mzungu vipiii???,
Mynde alikuwa anakimbia huku maneno yanamtoka wakageuka kuwa vituko kwa baadhi ya wageni walio kuwa wanaingia hapo hotel pamoja na wahudumu ๐คฅ…
Irene alikuwa anakimbia huku analia akatoa hadi nje ya Geti Lawrence wakati anataka kupita nje ya Geti mlinzi alimzuia akamwambia huwezi kutoka ukiwa na mali ya Hotel kakaa๐๐. Lawrence alijitetea mno hawezi kuiba atarudisha tu hata hivyo vitu vyake vyote vipo humo humo hotel kwahiyo amuamin ๐ถ๐ถ
Mlinzi alikataa kata kata akamwambia haiwezekani๐๐ ,Na mynda nae akawa amefika akamshika shuka lake Lawrence vizuri akamwambia hayaa we baba nipe hela yangu huwezi kunilala mkopo mimi na unipe ya usumbufu kunikimbiza kimbiza mie kama mwendawazimu kama ulikuwa unampenda sanaa huyo mwanamke si ungekuwa nae yeye badala ya mimi embu usinichanganyee naomba hela yangu …๐๐๐
Lawrence akawa mpole akamwambia ipo huko ndani๐๐, Mynda hata hakujibu alimvuta kwa nguvu kumrudisha ndani ,mlinzi kimya akarudi kuketi eneo lake ๐ ..
Irene hakuwa hata anaamini macho yake kile yalichoona alibaki tu kusema yaan Lawrence๐๐. Lawrence wewee aaah sio kweli mungu wangu yaan Lawrence unanunua malaya na wewe daah๐ช๐ช ..
Hapo anaongea machozi yanamtoka kichwa kinamuuma akachukua simu yake akampigia Yaksun huku analia๐ญ๐ญ , Hakuwaza hata kumtafuta mesha ndio msiri wake ๐๐ช๐๐พ..
Simu ya Yaksun iliita mpaka ikakata bila kupokelewa akaipiga tena ikaitaa pia haikupokelewa๐๐, Sio kwamba Yaksun hakuwa ameiona simu alikuwa bado yupo njian anaelekea kwake kupumzika simu ilikuwa inaita anaitazama tu ๐คจ๐คจ
Ilipo ita mara ya tatu aliishika huku anajisemea Huyu mwanamke ni msumbufu embu ngoja nimuoneshe kwanza Ili asiniendeshee๐ฒ๐๐พ ..
Yaksun akaipokea ile simu hakusubiri hata irene aongee akasema yeye mfululizo tena kwa ukari haijawahi kutokea ๐คจ๐คจ๐ณ
SEHEMU YA TISA
Yaksun akapokea simu huku tayar alishachoka kumvumilia Irene yaan alichoka haswaa
Akamwambia sikia wewe nimeajiriwa na baba yako na sio wewe sawa ๐คจ๐คจ๐คจwe dem wewe afu kama hiyo kazi kesho nitaacha ๐๐พtafuta dereva anaeweza kuvumilia kero zako au mwambie bwana wako akue…..” Yaksun alikuwa anaongea kwa hasira na alimaanisha kweli hiyo kazi ataacha๐ฌ , Kabla hajamaliza maneno yake alisikia kama irene anavuta mafua ya kilio ๐ช๐ช
Mmh kwanza akaguna akatoa simu sikioni akatazama aliempigia ni iren kweli au ๐ค๐ค
Akakuta ndie yeye๐ค๐, akarudishia simu kwenye sikio akaita haloo haloo๐๐!! Lakini palikuwa kimyaa akaita tena haloo โนโน,Akajibiwa na ile ile sauti ya kuvuta mafua ya kilio ๐ง๐ง
Akajikuta anauliza kwa wasi wasi we irene unaliaa๐ณ๐ณ?? Weweee , ikawa kimyaa mara simu ikakatwa ๐ซ๐ซ
“Mungu wangu huyu bint ana ninii๐ข??” Yaksun akajiuliza huku anainuka haraka haraka alishasahau kama alitakiwa kulala muda huo na alikuwa kachoka ๐๐๐๐พ
Alitoka haraka mpaka ndani ya Gari haraka haraka akasahau chini hakuwa amevaa chochote ๐ฒzaidi ya Ki pensi kifupi cha kulalia kilichombana haswaa juu alikuwa kifua wazii ๐๐
Sio kama alitoka maksudi hapana ๐๐ hali ya Irene ilimchanganya ๐ง๐งyaan kwanini irene ampigie simu huku analia kuna ninii ๐ข๐ข, aliwasha gari huku akiipiga simu ya Irene ikawa inaita tuu bila kupokelewa ๐ฉ๐ฉ, Ikamfanya azidi kuchanganyikiwa ๐ซ๐ซ
“Shiit. Sasa nilimpeleka kufanya nini huko kama amepata tatizo nitawaambia nini wazazi wake mungu wangu ooh naomba iwe salama please irene pleas be Safe mamy๐๐๐”
Yaksun akakanyaga mafuta kwa kasii๐ ๐ , Usiku huu bara bara ilikuwa nyeupeee haikuwa na mpishe mpishe ya watu wala magari๐ค ikampa nafasi kukanyaga mafuta kikweli kweli๐๐พ๐๐พ , gari ikawa inateleza tu kwenye lami ๐ค
Dakika 20 tu Akawa anafikia eneo alilo muacha irene kwenye hiyo hotel ๐คจ๐คจ , simu haikuwa bado inapokelewa …๐คฅ๐คฅ
Muda huo na Lawrence nae ndio alikuwa anatoka nje wakiwa wameongozana na Mynda๐ baada ya kwenda na kumpatia pesa yake๐๐
Mynda akasogea hadi karibu na irene๐ akaaanza kucheka kwa jinsi irene alivyokuwa kajikunyata hakuwa na pa kwenda usiku huo๐ช๐ช ndomana aliganda hapo nje kwa muda mrefu hakukuwa na tax wala piki piki ๐๐พ๐
Mynda akamwambia yaan we bint wa kizamani kwelii๐๐ ๐ ๐ hivii Mpaka leo bado kuna ma bint wanalilia dudu ya yuyuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ we umenikuta kwani mie naikata et naikataa au uliambiwa ibaki kwenye pachu pachu yangu๐ค๐ค , nalitumia naliacha we unatumia muda wote. Dada angalia pesaaa mapenzi achia kuku kwa vifaranga vyakee๐๐ pole weee ๐๐พ…. “
Irene alipatikana kweli akabaki kimya๐ฅ ,Lawrence alikuwa anaawatazam tu hata haelewi nini afanye ๐๐,,Baada ya mynda kutema nyongo yake akasogea pembeni akachukua simu yake akaitafuta namba ya Morgan ๐ค๐ค๐ค “bora hata nikamalizie usiku wangu kwa huyu anaonekana shababi hichi kizungu uwiii cha baridiii๐คฃ๐คฃsasa sijui huyu dada analilia niniii?? Yaan hicho kidudu cha kumfanya achanganyikiwe show enyewe zero uwiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ Embu we kaka pokea simu nije kukesha kwako” Simu ya morgani ilikata bila kupokelewa๐ค …
Muda huo huo na Yaksun ndio alikuwa anapack gari kwa break kalii baada ya kumuona Lawrence anamvuta Irene kumrudisha ndani๐ค๐ค ,Lawrence alikuw kwenye zoezi la kumshawishi irene aingie ndani wakayamalize๐ช๐ช …
Yaksun hakuuliza na hakuna aliemuona wakati anakuja kwa kasiiโนโน,Mynda ndie alivutiwa na tukio hilo maana yeye peke ndio aliona tangu Gari inafunga break za nguvu Yaksun kushika akiwa nusu uchi na kwenda kwa kasi upande walipo Lawrence na Irene ๐๐
Hakuuliza nini kinaendelea alimshuka Irene kwa nguvu akamvuta nyuma๐ค ,Irene akashutuka amevutwa na naniii,Lahaulaaa๐๐๐alipo geuka akabaki mdomo wazi yaan jinsi Yaksun alivyo na ki pensi kifupiiiii kimeficha tu nanihii akee basi๐ฉ๐ฉ๐ฉ macho ya irene yakatua kwenye nani hii ๐ฒ๐ฒ๐ฒ hee ndo Yaksun akashusha macho kutazama alipo tazama irene si ndio anakuta kituko alicho nacho๐๐
Baridi nalo likamvaa yaan ile hali sasa ya kuwa nipo uchi ndio akaanza kuipata hapo๐ ๐ ๐ ,aibu sasa mbele za watu akajilaumu moyoni lakini usoni akajikaza kama hakuna baya alilo fanyaโน ,akamwambia irene tuondokee๐ณ๐ณ!”
SEHEMU YA KUMI
Iren akabaki anamshangaa akamuita we Yaksun upo sawa ๐๐?? , hakujibu kitu akamvuta waondoke ๐คฅ๐คฅ
Lawrence akamuuliza irene kwani huyu ni Dereva au bwana wako๐คจ?? , Lawrence aliuliza kwa ukalii nae alimbadilikia๐ ๐ , kabla irene hajajibu akamfata Yaksun akamsukuma ili amuachie irene wake๐
Lawrence akamwambia we mwanaume mpumbavu unakazi ya kuingilia mahusiano ya watu unafikiri unamuweza irene๐ณ๐ณ??”
Lawrence aliongea kwa kingeleza ,Yaksun akamsogelea hatua tatu mbele yake ๐คจ
Akamjibu kwa lugha yake ile ile alotumia akijua Yaksun ni Debe tupu๐๐พ
Yaksun akasema basi angalia na utazame vizuri kama huyu mwanamke namuweza au simuweziii๐ณ๐ณ , Yaksun akamvuta irene karibu yake ๐๐พ
Irene yeye alibaki amebutwa kusikia Yaksun anaongea English tena imenyooka sio kabisa ya Chuo cha udeleva hapanaa๐๐๐ irene alijikuta anagombana na mawazo yake๐ ๐
Tukio ambalo hakuna aliekutegemea hata huyo Irene mwenyewe alishangaa amevutwa na Yaksun moja kwa moja Yaksun akaitulisha midomo yake juu ya Lips za Irene ,,,Hee๐๐๐Irene ilikuwa gafla sanaa ,Yaksun akaanza kunyonya ndimi ๐ค๐คni sec tu hata irene akili haikuweza kufanya kazi kisha akamuachia akamgeukia Lawrence akamuona anatetemeka kwa hasira ,Yaksun akamwambia Umeona umeona namuweza kwahiyo kaa mbali nae,
Lawrence alikuwa na hasiraaa yaan Mpenzi wake ananyonywa mate mbele yakeeee๐ณ๐ณ๐คจ ,alisogea huku mkono kaandaa kurusha ngumii ,Kabla hata hajarusha Ngumi Yaksun akamsukuma kule akapepesuka manusura aanguke mzungu wa watu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Irene akamuuliza we Yaksun umefanya niniii๐๐???” Moyo wa iren ulikuwa unakwenda mbio kwa busu la Yaksun๐๐พ na ilichukua sec kadhaa tu akaachiwa lakini aliona kama Yaksun alitumia saa zima kuchezea ndimi yake๐คญ๐คญ, nguvu hata za kumtetea Lawrence alikosa mate ya Yaksun yalikutana mengi mdomoni kwake yakafanya akawa mzito hata kufikiria kwa wakati huo ๐คฅ๐คฅ
Alikuwa anameza tu mate mfululizo ubaridi ukamuingia akajikuta hawezi kabisa kumkatalia Yaksun wakati anampeleka kwenye gari๐ฅ๐ฅ ,Lawrence akabaki anaita anamuita irene itaa ,Yaksun akaondoa gari kwa kasi sana ๐๐พ,wakati wanaondoka Irene aligeuza macho kutazama alipo Lawrence kwa mbali sana akamuona mynda anasogea alipo Lawrence๐ฅ๐ฅ๐ง
Akageuza macho akamtazama Yaksun๐๐ ,,Yale mawazo yoooote ya kumuhusu Lawrence na upuuzi wake iren yalipotea๐ง๐ง ,akili yake ilikuwa inakumbuka vile Yaksun alimvuta akamwambia Lawrence ngoja nikuoneshe kwamba namuweza akampa busu๐๐ฅฐ๐ฅฐ Mwili wa irene akajikuta vipele vya kusisimka vimetokaaa mwili wotee ๐ ๐ ๐ ๐ค
Akajikumbatia ili kupunguza ule msisimko๐๐ ,Yaksun akamuuliza unahisi baridi madam๐ , irene akamtazama jicho kaliii yaan anamuita madam tena kwa heshima halafu kitu alichomfanyia pale anajisahaulisha auu๐ฉ๐ฉ๐ฉ Yaksun akapotezea tu ๐๐พ
Yaksun alipeleka gari mpaka nyumbani kwake, baada ya kusimamisha gari ndio akamgeukia Irene akamwambia samahani naomba nivae then nikupeleke nyumbani kwenu siwezi kwenda hivii๐ค๐ค๐ค
Irene akamtazama kwa makini sanaa๐ค๐ค jinsi Yaksun alivyokua anaongea sio kabisa na yule aliemfanyia kituko dakika chache nyuma๐ค๐ค๐ค
Wakati Yaksun anataka kushuka irene akamshika mkono “ah yak…..”Yaksun alipo mtazama iren akajishtukia akaachia haraka haraka mkono wa Yaksun na maneno yakaishia hapo๐คญ๐คญ ,hawana mazoea hayo ๐
Yaksun akafunga mlango wa gari akarudi kuket kwenye siti yake akamwambia “samahani kwa kile kilichotokea pale madam sikupanga ila kwakua ulinipigia simu hali yako sikuona kama ni nzuri na pia samahani kwa yale maneno niliyokutamkia mwanzo๐๐พ ,huenda ulinipigia simu ukiamini naweza kutoa msaada kisha nikakuangusha so sorry ๐ ,Wacha nikavae nikupeleke nyumbani ๐๐”
Maneno ya Yaksun kidogo yalifanya irene atabasam na jinsi alivyoongea kwa upendo ๐ฅฐ๐ฅฐ,Irene akamuuliza “kwahiyo ulikuwa haupo nyumbani kwani hadi yaan nama.. mmh et nguo๐ค๐ค..” irene alikuwa anashindwa aweke vipi swali lake likae sawa mana akili yake ilikuwa imevamiwa na ka kitu wanaita wivu ๐ค๐ค๐ค hapo akili yake ilikuwa inamwambia huenda alikuwa na mwanamke wa mtu huyu kakurupushwa ๐ ๐ ๐
Yaksun akajitazama alivyo akasema “sorry simu yako ilinichanganya sana hata yaan daah nimejua kama sijavaa baada ya kukuona upo salama๐๐ ”
Irene akashangaa yaan yeye ndo kamchanganya hadi atoke hivyoo akamwambia “serious Yaksun its mee๐คจ๐คฅ??”
Yaksun akatabasam๐ค๐ค akamwambia “Ngoja basi nikavae mamaa uwahi nyumbani ๐ฌ” mmh irene akamuuliza “kwahiyo unaniacha hapa๐๐??”
“Hakuna tatizo usalama asilimia zote so relax okay๐ค”
Mmh Irene akili yake ikamwambia huyu ana demu wake huko ndani hataki kumuingiza yaan usiku na giza et abaki ndani ya gari๐ ๐ ๐ akamuita haraka huku anashuka mbio mbio ๐๐๐
Akamwambia” Yaksun mie naogopa twende wote tu huko ndani๐คญ๐คญ” akaongea kwa sauti ya kudeka ashasahau tukio alilo pigwa na bwana ake kabisa๐ ๐ ๐ kaanza na kujibebisha kwa bebe za watu๐คฃ๐คฃ
Yaksun akasema ooh sawa haina shida๐ , Akamtanguliza mpaka Geto๐๐,chumba kilikuwa kimoja tu tena mitaa ya Kiswahili ๐ท,Chumba cha mwanaume kimepangiliwa hatari sio kama vyumba vya masela ๐ ๐ ,Kuna Bonge wa Bedsofa inawaka taa pembeni sofa moja la watu wawil ,Frij ndogo ya milango miwili Meza na jiko la ges plate mbili M_tv mkubwaa showcase ya kijanja ,Chini kuna Zulia ukikanyaga kama unataka kuzama vile ๐ ๐ ๐
Kuta zilikuwa na picha nyingi nyingi za Yaksun zingine za familia , Mwanga ulikuwa hafifu lakini unaona vizuri sana chumba kilivyo kizurii๐ฅฐ๐ฅฐ๐ค๐ค
Irene ilikuwa kazi yake kukagua tu chumba vyenye kinanukia sasa khaa yaan kamshinda hadi yeye wa kike๐ค๐ค๐ค
Yaksun akachukua nguo zake akamwambia “nisubiri nichange nguo basi ๐ค๐ค”
Inaendelea……

