DEREVA WA BABA
Sehemu Ya Kwanza
……. Irene ni mdada wa kishua mtoto wa Don yaan Tajiri ๐ค, mtoto wa kitajir Irene ni mtoto wa kwanza kwenye familia yenye mtoto mmoja yaan amezaliwa peke yake ๐, Baba yake ni balozi na mama yake ni Doctor ๐๐พ…..
Siku ya leo Irene alikuwa nje ya uwanja wa ndege wa mwalimu julias nchini Tanzania akitokea Mexco ambako ndio alikuwa chuo kwa muda mrefu sanaa๐ค , hata baada ya kumaliza alimwambia mama yake kuwa hatokuja Tanzania Sababu hapaelewi ๐๐๐
..
Akaamua kuwafanyia Surprise๐ฒ wazazi wake kwa kuja Tanzania Bila kuwapaa taarifa ๐๐ค
“Waoooh pako vile vilee hii nchi yangu sijui ilikosea wapiii๐๐๐ค??” Irene alikuwa anajisemeza mwenyewe huku anavua miwani yake akatazama juu kwenye anga๐๐
“finally I’m back home ooohโบโบ” akatoa simu yake ilikuwa kwenye pochi akatoa Raini iliyokuwa humo akaweka laini ingine iliyokuwa inasoma Airtel๐ค ,
baada ya kuweka akawasha simu taratibu akaanza kupitia majina aliyokua humo mpaka akapa jina alilo kuwa anahitaji lilikuwa limeseviwa Bro mesha๐ค , Akaipiga ile namba iliita kwa sec tu ikapokewa kwa bashashaa yaan unaweza sema huyo mesha alikuwa anaisubiri hiyo simu ๐ ๐
“Oyooooo!! Irene irenee wee mwanamke wewe usinambie upo Tanzania๐๐” mesha alikuwa kachangamka sanaa akafanya Irene aachie kicheko chake cha midekoโบโบ
“yaan we mesha wewe embu nifate kwanza yaan hapa nipo Airport sitaki baba wala mama wajue nataka wanione tu nyumbani ๐๐๐”
“Ohoo umeona sasa mambo yako Irene ,Unakuja kimya kimya kuna mshkaji anataka kukufungia eeh๐ ๐ ๐
“Aaah kwa Tanzania hii Broo vipii wewe hakuna mwanaume wa kunichanganya๐ hakuna wanaume hapaa bwana embu niijie๐๐” Irene alikuwa anaongea huku akibinua midomo yaan yeye bwana Tanzania aah aliona kama uchafu au kujichosha tu hakuwahi ku date na mkaka wa hii nchi ๐๐
Hajawahi kuipenda wala kuikubali hata akawaambia wazazi wake yeye ataishi huko huko mexco na sio huku ๐๐ ,
Mesha akamwambua Irene bwana umefel mie sip Dar es salam siku ya tatu leo tupo Arusha na washkaji tumekuja ki have fun๐ฅฐ๐ฅฐ
Ooh irene nguvu zilimuisha hamu tena ya Surprise akawa hana ๐๐
Akamwambua mesha basi nachukua Tax mesha akamwambia hapana usichukue Tax wait hapo hapo ninampigia simu Dereva wa mzee aje kukuchukua hapo chap๐ค
Irene akasema aah sitaki lazima nyumbani wajua kuwa ninaenda ๐๐ Mesha akasema Noo!! Nina mwambia aje kunichukua mie hata usiwe na shaka๐๐พ , Hapo Iren akacheka yes mwambie aje , Mesha akaitaka simu ๐๐พ
Mesha na Irine ni watoto wa baba mkubwa na mdogo yaan baba zao mesha na irine ni ndugu wa kuzaliwa tumbo moja na wao wamekuwa karibu sanaa wamecheza wote na wanaelewana sanaaa๐ฅฐ๐ฅฐ , zilipita kama dakika mbili baada ya mesha kukata simu ๐
Simu ya irine iliita tena mpigaji alikuwa Bro mesha๐ค , akaipokea haraka๐๐ mesha akasema sikia sasa we kaa hapo kuna mtu anakuja hapo sasa hivi ๐ค๐ค,
Iren akasema akifika utanambia akasema poa poa mesha akasema yaan Irene kesho lazima nije maamaa๐ ๐ ๐ nimekukumbuka we mtu aisee nakujaa๐ Irene akasema uje unitembeze mjini sasa๐ mana wewe unavyopapenda huku aah ๐๐๐
Wakati bado wanaongea mesha akasema amefika hapo embu angalia prado nyeupe amenitumia ujumbe hapa๐๐ , Irene akasema sawa huku anatoa simu sikioni kisha akaikata ๐๐
Akatoka kuelekea Parking hata hakuhangaika sana aliiiona ile gari imepark pembeni kidogo ๐คฅ๐คฅ
Akatembea haraka haraka mpaka akafika hapo kwenye gari akagonga kioo kwa vidole vyake mana vioo vilikuwa vimefungwa full๐๐พ,
kioo kikashushwa mmh kwanza iren akaguna baada ya kukutana na uso mwinginee hajawahi hata kuuona Dereva wa baba yake anamjua vizuri ni mtu mzima japo kaondoka miaka imekuwa mingi hajarudi๐ฌ๐ฌ …
Kwenye gari alikuwa kijana tu japo amekaa kwenye siti haikumnyima urefu wake na mapana kwenye kifua kuonekana vizuri๐, alikuwa amevaa kofia zile wanaita vijana Cap ๐งข nyeusi furana nyeusi ilikuwa imemshika mikono yake na kusababisha misuri itune haswa Jifua lake mapana 60 likafanya Fulana izidi kupendeza ๐๐
Baada tu ya kufungua kioo akamtazama irene na kufunga mida huo huo hakusubiri neno ๐คฅ, irene akagonga tenaa ,Kioo kikashushwa ,Dereva mpya akamtazama irene kuanzia juu mpaka chinii kwa dharau akamwambia we malaya vipii embu katafute bwana huko mbele oyaa sivutiwi na wewe kuwa hapa embu potea๐๐
Irene akasema whaaaat ๐ณ๐ณ๐ณwe kaka kichaa?? Kikafungwa tenaa ,Irene alikuwa tayar anatetemeka kwa hasira et mi malayaa haha๐๐ alikuwa anacheka cheko la uchungu akachuku simu yake mikono inatetemeka๐ข๐ข๐คจ
anajisemea tu kwa kurudia maneno ya huyo Dereva mpya et mi malaya havutiwi na mimi hahah Seriously๐คจ๐คจ???
Simu ikapokelewa akaongea kwa jazba Sikia bro unauhakika ni hii gariii?? Akamtajia plate number๐ค๐ค ,Mesha akasema Yes ndio enyewe gari ya mzee hiyo Irene akamwambia ongea na huyo mjinga ananiita mie malayaa๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ??
SEHEMU YA PILI
Mesha akasema ooh mungu wangu jamani jamani sikumwambia kama anakuja kumchukua mwanamke alijua mie yaan nimesahau kabisa ngoja nimpigie๐๐
Irene akasonya msonyo wa nguvuuu yaan alikuwa na hasira hakujali swala la kuambiwa et yeye havitii aah lilikuwa linamuuma mnooo ๐คจ๐คจ๐
Hazikupita hata sec mbili mlango ukafunguliwa wa gari ๐๐
Dereva akasema Sorry madam sikujua kama ni wewe sikupewa taarifa zako๐ฌ๐คฅ, uso ulikuwa umemshuka hatari
Irene hata hakumjibu akaingia ndani ya gari kimyaa kabisa๐คจ๐คจ …
Wakafika mpaka nyumbani mama yake na irene ndio alikua nyumbani muda huo na hakuwa na Taarifa za kuja kwa bint yao๐๐ alipo muona manusura avunje mguu kwa kumkimbilia ile furaha ya kuonana na mama yake akajikuta anasahau kabisa zile mambo alizosemwa na Dereva wake๐ ๐ ๐ …
Nyumba ilichamgamka gafla kila mtu alikuwa na raha๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ baba yake akamwambia irene mie umekuta nina safar ya kwenda Airport hapa naelekea Kenya kuna mkutano nitarudi kesho kutwa tutakuwa wotee๐๐, iren vile alikuwa amemkumbuka baba yake na hata lisa halijafika tangu amefika baba ake anaondoka akamwambia twende wote nikusindize mpaka Airport mie nitarudi ๐ค๐ค
Wakaingia ndani ya gari , baba yake akamwambia Irene huyu ni Dereva wetu mpya kwako๐ ila kwetu sio mpya ni mtoto wa mzee Boza Anaitwa Yaksun ๐๐,, Iren akasema ooh okay ๐
Alikubali huku akivuta kumbu kumbu za zee Boza ndio alikuwa Dereva wa baba yake miaka mingi tangu anakuwa anajielewa mara zote huyo ndio alikuwa dereva wao huyu ndio kwanza kamuona leo hapa๐๐
Baba yake akamwambua Yaksun huyu bint yangu anaitwa Irene na fikiri ulishamsikia sana ndo huyu bwana ๐ ๐ ,Yuksun akasema nashukuru kukufaham,๐๐ huku akimtazama kwa kuiba iba alikuwa anaona aibu kwa jinsi alivyopishana na mtoto wa boss wake bado hilo swala na yeye lilikuwa kichwani ๐๐ ….
Baba iren akaendeleza story na bint yake wakati gari inaondoka tayari akamwambia mzee Boza anaumwa sana hali yake sio nzuri nikaona kuliko kutafuta Dereva huko mtaani bora nimchukue mwanae mana familia yao naijua vizuri na tumekuwa kama ndugu sasa๐๐พ, irene akasikitika sana baada ya kujua yule mzee ni mgonjwaโนโน …
Baada ya kumuacha baba yake pale Airport irene alimuomba Yaksun ampeleke kwenda kumuona mzee Boza๐ค , Yaksun yeye alikuwa kimya muda wote anafata tu amri anayopewa ๐
Wakafika mpaka nyumbani kwao yaksun , mzee Boza alipo muona tu Irene alimjua japo ni muda mrefu sana hajamuona ๐๐,
Irene alimsalimia mzee boza akatoka kwenda kuongea na mke wa mzee boza yaan mama yale Yaksun๐๐พ ,alikaa huko lisaa zima ,Yaksun yeye alikuwa bize na habar zake tu
Baada ya kumaliza ndo akamwambia tuondoke ,njian kila mtu alikuwa anataka kumsemesha mwenzie lakini pa kuanzia palikuwa hakuna๐ Yaksun alitamani kumwambia mtoto wa Boss samahani kwa ule muda alivyomkosea adabu ๐ ๐ ๐
Lakini Irene kuambiwa et havutii aah hili lilikuwa tusi linalomtesa๐ช๐ช alitamani kumwambia we kaka embu badili kauli yako๐๐พ akifikilia sana anaishia kusonya tu mana wanaume wa Tanzania wote anawaona kama wajinga๐ sasa kwanini anaumiza kichwa akapotezea huku akisonya tena kwa sauti kweli kweliii๐๐
Yaksun akajishtukia kwa upole akamwambia aah madam samahani kwa kile kilichotokea pale naomba tu uniwie radhi๐๐๐ Yaksun aliongea kwa upole kweli kweliii na ndivyo anaonekana muda wote anauso wa upole sanaa mkaka wa watu hana hata shida ๐๐
Irene akapata kichwa waah ๐ค๐ค kwa nyodo akasema Never mind๐คจ,Afu akageuka pembeni huku anacheka kwa kuibia ibia yaan akaona kamkomeshaa ๐ ๐ …..
Usiku irene alikuwa anachart na mesha kwa sms, mesha akamwmabia Kesho nakuja kwahiyo kiwanja wapii tukafurahii๐ฅฐ๐ฅฐ. , mesha ni mtu wa kujirusha kwa sana ku have fun๐, muda wote yeye anawaza bata alishamaliza chuo akitaka kazi hata muda huu anapata lakini anamalizia kwanza ujana wake ndio aanze majukumu kwao pesa ipo sana tu๐ค๐ค
Irene akamwambua nakusikiliz wewe bwan๐ , huku anacheka kwa emoj akamwambia basi fresh mie sintakuja hapo Nyumbani๐ nitakwambia uje sehem afu nina bonge wa Surprise yako๐ค๐๐พ
๐ค๐ค irene akamwmabia olee wakooo Mesha ๐๐ …
Asubuhi irene alimfata Yaksun baada ya mesha kumwambia watakutan waPi na muda gani ๐ค๐ค,
Akatoka kavaa ki pensi kifupii na bode yake imekaa haswa irene ni mrembo mnoo mnoo akamuita Yaksun kwa dharau oyaa we kaka ๐,Yaksun alikuwa ndio anafika kutoka kuosha gari ๐๐, akashuka akawa kasimama mbele ya mlango anamsikiliza Irene ๐ค๐ค
Irene kwa dharau akamwambia sikia wee sa mbili kuna sehem naenda okay so fanya mizunguko yako yotee by sa mbilii uwe hapa sawaa๐ค!!
Yaksun akamjibu haina shida madam , neno madam likamkera irene na vile kama alikuwa bado ana hasira na Yaksun ๐คจ ,heey naitwa irene Not madam okay??๐
Yaksun akajisemea moyoni makubwa ๐ค, Usoni akatabasam tu akasema saw Irene๐ ,Tabasam la Yaksun unaeweza sema ni mtu mweye dharau kiburi na majivuno lakini anapendeza sana ๐ฅฐ๐ฅฐ
Irene akaenda mpaka chumbani kwake mbele ya kioo chake akawa anajitazama huku anaongea mwenyeweโน , yaani mimi simvutii๐๐?? Hahah yaan mimi hakuna mwanaume ambae ananitazama tu asimeze mate et sivutiiwi na wewe mfyuu๐๐ ” akasonya huku anajitupia kitandani akavuta simu yake akawasha data ๐คฅ๐คฅ๐๐พ….
SEHEMU YA TATU
Wakati anawasha data Irene akakumbuka neno malaya ๐, Akaweka kwanza simu pembeni akasogea karibu na kioo chake akajitazama ๐คจ,et naonekana kama malaya?? Mfyuu ๐๐
Akasonya akarudi kitandani akajitumia mgongo chini akitazama juu akavuta simu yake kabla hajafanya chochote tena akaitwa kwa ajili ya kufungua kinywa ikabidi aitelekeze simu yake atoke kwenda kula sebleni ๐….
Wakati wa chakula irene akamuaga mama yake kuwa usiku anatoka na kaka yake mesha๐ ,zaidi ya kuwa makini hakuna neno lingine alitoa mama yake sana alimuasa tu awe makini huko ๐ค๐ค๐ค,
Sa moja kamili irene alikuwa mbele ya kioo chake kawaka hatari๐mtoto shape ,rangi mashaallah mguu wa bia ๐ฅฐ Sura nayo amejaaliwa , alikuwa kava kinguo kinaachia karibu mwili wote nje na hayo ndio mavazi yake haswa ๐๐ ukiangalia kwa kutulia unaweza ona hata ki tako kwa mbalii kinabembea mashaallah ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐
huyo ndo irene mtoto wa kishua kweli maisha yake kama wa mbele๐๐พ , alikuwa kashasahau kama miadi ya Yaksun ilikuwa ni sa mbili usiku na sio sa moja ๐ฌ
“Yes !! Unaweza sema mtoto wa kimbeleee waooh ๐ afu kuna lijitu et linasema hata hunivutii mfyu๐๐ ” irene aliongea kwa kugezea sauti ya Yaksun huku anaweka kidole puani ๐๐๐คจ
Baada ya kujiona yupo kamili kila idara akachukua pesa akatia ndani ya Pochi , simu yake ilikuwa inaita sanaa ๐๐พ๐ฌ,mesha alikuwa akimpigia hakupokea kwanza alitaka kupokea akisha toka๐คฅ
“Oooh mungu wanguu mamaaa kwanini huyu dereva ametoka ,hayupo yeyee wala gari aah๐” irene baada ya kutoka nje akakuta Yaksun hayupo na gari alio kuwa anategemea kutoka nayo pia haipo,Akaingia ndani analalamika huku anaigonga miguu yake chini kwa hasira ๐ช๐ช๐คจ
” Alitoka akasema hachelewi kurudi kuna mahala ameenda binafsi๐ “
“Anakiburii! Naomba namba yake๐๐”
Irene akachukua namba ya Yaksun kwenye simu ya mama yake akaipiga iliita kidogo ikapokelewa ๐๐พ
“Kwahiyo hao wanawake zako wanaovutia ndio wanakuvutia sanaaaa mpaka unasahau kazi siooo๐คจ๐คจ??” Irene aliuliza moja kwa moja kwa shari bila hata kujitambulisha , Yaksun aliijua sauti vyema sana ๐
“Kwani naongea na nanii” Akauliza bila hata papara sauti ilikuwa imepoa sana kama mtu ambae yupo sehemu iliyo tulia ๐คฅ
Irene akacheka kwa dhihaka afu akasonya , kusonya ni kama siraha yake au ni kama bint alielelewa kiswahili sanaa๐๐๐๐พ ,
Yaksun akauliza tena naongea na nani kama hautajisikia kujitambulisha naomba ukate simu yako dada๐ค., Yaksun alikata simu baada tu ya kumaliza kuongea hakusubiri tena mpigaji ndie akate simu
“Haaa!!! Kanikatia simu haa๐๐!!! Heheh et anakazi nyingii kwahiyo mie kazi yangu ya ziada mungu wanguu๐!!!” Irene alitoka kwa hasira mpaka alipo mama yake
“Mamaaa hivi huyu kijana mmeleajee mbona anadharau sana ๐คจ๐คจ”
“Irene wangu ni yule yule kipenzi hasira hata hazijakuisha haya njoo hapa kipenzi uniambie amekufanyaje njoo๐๐”
mama ake akamkumbatia anajua udhaifu wa mwanae tangu mdogo ni mtu mweye hasira za haraka mwepesi ku panic sana ๐ค
Irene akamuelezea mama yake kuwa alishamwambia Yaksun kuwa jioni kuma sehemu ampeleke lakini mpaka sasa ndo hivyo hayupo halafu anampigia simu anamkatia bila hata kusema neno๐คจ๐คจ…
Mama irene akachukua simu yake akampigia Yaksun๐๐พ, Yaksun yeye alikuwa nyumbani kwa wazazi wake๐๐ ,alipoona tu simu ya mama irene akajua kumekucha akatazama saa yake iliyokuwa mkononi hakuwa na presha baada ya kuona ndio kwanza sa moja na dakika 12 , mwendo wa kutoka kwao mpaka nyumbani kwa boss wake ni mchache anafika ๐๐๐พ
Akaipokea ile simu kwa heshima ,baada ya salamu mama iren akamuuliza upo wapi akajibu nipo nyumbani mama akamwambia njoo irene kuna sehem anataka umpeleje , Yaksun akajibu sawa mama nakuja ๐๐๐พ…
Iren akaona kama wanamuendekeza yaaan kwa jinsi mama yake alivyoongea nae kwa upendo hakulidhika kabisaa moyo wake ulikuwa una duki duku๐ฅบ๐ฅบ akatamani kumwambia kuhusu kumuita malaya๐๐พ ,akasahau kama aliombwa msamaha roho ya chuki inamsimama wimaaa ๐คจ
Akajisema yaan nitakukomesha wewe Yaksun walai subiri sasa๐คจ๐คจ๐๐พ, akainuka pale kwa mama yake akatoka nje kabisa ya geti kumsubiri Yaksun ๐คจ
Akaliona gari linakuja taratibu ๐ก๐ก๐ก hasira zikampanda hakusubiri hata gari imsogelee yeye akaifata hukoo ๐คจ๐คจ “yaan kunichelewesha kote kulee unakuja kama vile umebeba maharusi we mbona kiburi sanaaa๐??” Irene aliongea kwa kufoka
Yaksun akamtazamaa ๐ค akamwambia Madam sorry ๐ “
,”hee madam madam madam how many time when I tell you I don’t want you to call me madam,, ooh mungu wangu sijui hata kama English unajua ,SI.TA.KIII U.NII.TE.hivyooo๐ค๐ aah” akafungua mlango wa gari Akaingia kwa hasira Yaksun akasema “Sorry” irene hakujibu kitu alibaki kimyaa ila ndo kavuta mdomo kama samaki chuchunge๐คฃ๐คฃ
Yaksun alikuwa anamuangalia Irene kupitia kioo cha mbele vile amevuta midomo๐ ๐ yeye anacheka tu moyoni ashamjua huyu bint anakosoro zake huyu๐ ๐ ๐๐พ ,
sema ndo mtoto wa boss hakuna njia ingine๐คฃ. Irene kwa bahati mbaya alitazama kioo cha mbele kwa dereva akagongana macho na Yaksun๐คญ๐คญ ,macho ya Yaksun yalikuwa yametulia yanamtazama meupee mashaallah kaka anamacho mazuri ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ kwa mwanamke mwenye hisia zako lazima uanze kuvutiwa na macho ya huyu kaka kabla hujaona jifua lake lilivyojitengeneza vizuri kwenye Tishirt zake๐ฅฐ๐ฅฐ๐
Irene akashindwa hata kushusha macho wala kukwepesha๐ , Yaksun taratibu akapeleka macho yake mbele kuendelea na kazi yake ๐๐พ,
Hakuwa amepanga irene alijikuta tu baada ya kukutanisha macho na Yaksun moyo wale ulidunda lakini alijua tu Yaksun tayar kamtamani au kavutiwa na yeye kwa jinsi alivyoubwa vizuri๐คญ๐ ,uzuri wake Irene ndio malingo yake yalipo
“Sa kwanini ananitazama hivyo ,mfyuu si alisema mie sivutii huyo๐ aende huko kwanza sio hadhi yangu๐ “
SEHEMU YA NNE
Mawazo ya Irene yakaenda kuwa Yaksun tayar amemtamani ndo mana anamtazama hayo macho ya umakini na kumkagua๐คฃ๐คฃ , Yaksun hakuwa huko kabisa alikuwa anamsikitikia ni mschana mwenye papara sana japo kamjua kwa haya masaa kadhaa tangu akutane nae๐๐พ ….
Baada ya kushuka alipo hitaji kufikishwa๐คจ , Ametembea kidogo kuingia ndani ya Club ambayo ndio ilikuwa akutane na Mesha ๐๐,
Yaksun akamuita kwa nyuma huku anakuja kwa mwendo wa haraka harakaโน
Irene akatabasam akajisemea mshenzi huyuu kwahiyo uvumilivu umemshinda ๐๐๐ ngoja nimchambee si alisema mie sivutii hahah aloo๐๐
Yaksun akawa tayar kamfikia akasema aah ma….hapana si…..” kabla hajaongea alichokifata irene akamwambia embu we kaka sikia nikuambie usijisumbue sawa๐, yaani mimi na wewe ni vitu viwili tofaut kabisaaa yaan kabisaa hatuendani so Goo!!”
๐๐Yaksun akabaki ametoa macho anamshangaa Irene huyoo akaishia ndani ๐๐พ, aliguna tu akageuza kurudi huku akiitazama simu iliyokuwa mkononi kwake๐๐ ,
Ilikuwa simu ya Irene aliisahau kwenye gari na zile haraka haraka zake na ndio Yaksun alimfata haraka kumpa baada ya kuiona โนโน
Akaingia ndani ya gari kwanza akaanza kucheka yaan anakumbuka maneno ya Irene akajikuta kicheko kinaongezema ๐คฃ๐คฃ๐คฃ”et alikuwa mexco ๐ ๐ Au alikuwa Buza huyu Demu mswahili kama ninii aah๐๐พ” Yaksun akaupiga usukani huku anaitazama simu ya irene pembeni ya siti alikuwa ameiweka๐ค๐ค ,akawa anajiuliza aende au asubiri mpaka irene atakapo gundua kuwa hana simu yake aaah alijikuta anapiga tena ngumi kwenye usukani wake ๐คฅ
Kibarua kimekuwa kigumu tangu amekuja irene๐ค๐คalifanya tu maamuzi ya kuweka kichwa juu ya usukani wake asubiri hapo๐ฌ๐ฌ๐ฅบ …
Irene kafika hadi ndani hamuona mesha watu wengi, akaamua kuchukua simu yake ili ampigie mesha ,Anafungua pochi haipo Simu ๐๐”Ooooooooh munguuu” akajikuta analalamika kwa sauti ya juu huku anashika paji lake la usooo “aaaah jamaniiiii aaah” mwili ukamuisha nguvuu aibuu ikamvaaa
Pembeni kulikuw na kochi akajitupia hapo hana hamu hata ๐๐
Sec hiyo hiyo akamuona mesha anaelekea upande wa kaunta kwa mbali๐ฌ, akainuka haraka haraka akamfata mesha “Hee!!๐ณ mbona umekuja kimyaa”
“Sikia Broo embu naomba unisaidie jamani nisaidieโน๐๐พ”
Mesha ikabidi atoe utani wake baada ya kumuona Irene kama hana mood fresh ๐ค๐ค
Akamwambia eenhee haya nambie kuna ninii
Irene akamwambia kaka naomba umpigie simu Yule Dereva wa baba nimeacha simu yangu ndani ya gari mule ๐๐พ” mesha akasema sawa njoo huku nyuma sasa tutoke kwenye kelele ๐
Mesha alimtoa nje ambapo sauti za muziki hazifiki kwa sana akachukua simu yake akampigia Yaksun๐ , Haikuchukua hata muda mrefu ikapokelewa ,Mesha akamwambia Sister ameacha hapo simu yake Kakaa sijui tunafanyaje๐๐??”
Yaksun akasema mie bado nipo hapa hapa mwambie aijie huku parking nimeiona ndio sababu sijaondoka bado๐ค๐ค ….
Mesha akaikata simu akamwambia haya ifate yupo parking hapo nje๐ “
Irene akasema, mimi ndo nifate ๐๐๐kaka nifatieeee!!๐๐๐
Irene ilibidi ambembeleze Mesha kuifata simu kila akiwaza yale matambo alomtambia Yaksun ๐ ๐ ๐ ๐ ๐คฃ uso unamjaa hayaa anaona Aibuu moyoni anajisemea kumbe alikuwa ananiletea simu yangu aaaah๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ Mesha akamwambia Washkaji kule nitawaweka sana afu sio vizuri fata mie utanikuta ndani we njoo juu sie tupo
Duu๐๐๐๐Irene akasema sawa ,Kumwambia kaka yake anaona aibu , akajivuta taratibu ule mwendo wake wa ki twinga hakuwa na mood nao tena alikuwa anatembea utadhan wajapani๐คฃ๐คฃmikono mbele hatua za hapa na hapa akaiona gari iyo ipo parking akasimama kuitazama kwa zaidi ya dakika nne๐๐,
Simu ya Yaksun ikaingia msg taratibu akainua kichwa chake kutazama simu bahat mbaya macho yake yakatazama upande wa kushoto wa gari ๐คฃ๐คฃ๐คฃakajikuta anacheka baada ya kumuona Irene amesimama kwa mbali kidogo yaan usimamaji wake tu.unaonesha hajiamini kabisa ๐๐พ๐๐พ
Akachukua simu ya irene hata kusoma ujumbe wake alighairi , akafungua mlango kumfata ,Irene alikuwa mdogooo kama pilitoni ๐ ๐ Afanye yeye ujinga aibu aone Yaksun๐ค๐๐๐ ,mana alikuwa anamfata huku anakumbuka zile zarau zake๐๐พ
Alifika akamnyooshea tu simu afu akageuka kuondoka zake hakuna aliemsemesha mwezie๐ค๐ค , Iren alichapua haraka haraka kurudi kule aliko elekezwa na Mesha kumkuta โนโน
Anafika kwanza alipigwa na mshangao ile surprise aliambiwa na mesha hakika ilikuwa zaidi ya Surprise ๐ฒ walikuw ndani ya chumba private walikuwa watu watatu tu na Irene akawa wa nne wanawake wawili na wanaume wawili
Kilichomuacha mdomo wazi irene kumuona mbele yake mkaka wa ki mexco mbele yake wakati yeye alimuacha huko mexco ๐๐พ
SEHEMU YA TANO
“Lawrence???๐ฒ๐ฒ๐ฒ๐ฒ Irene alimuita huku anamfata kwa kasi manusura hata aanguke kila mtu alikuwa anacheka
“Sio vizuri Lawrence aaah sijapendaaaa๐๐๐๐” hapo irene alikuwa anatoa lawama kwa lugha ya kingeleza huku miguu yake anaigonga chini ,sauti kaiachia ya kudeka kabisa
“Nilitaka kukufanyia surprise irene”
“Ooo’๐๐๐ Lawrence ni mtoto wa mfanya biashara mkubwa sana Mexco familia yao ni maarufu na yenye pesa sanaa , Na ndio mpenzi wa Iren kwa miaka yote ambayo yupo mexco katika vitu ambavyo vilimfanya asirudi nyumbani moja ni hii mpenzi wake Lawrence ndio alimpa uzito kuondoka mexco ๐๐พ
Katika mipango yao ilikuwa baada ya kumaliza Masomo Lawrence aje nyumbani kwao na Irene kujulikana Rasm ,๐ฅฐ lakini Lawrence akawa na kona nyingiiiii ๐ค, hata kuondoka Mexco kwa Irene aliondoka kwa hasira baada ya kuona mambo yake na mpenzi wake yanakwenda komboโน ๐๐พ
Kitendo cha kumkuta hapa hakuweza kuamini anampenda mno huyu kaka yaan wanapendana haswaa๐ซ ๐ซ ๐ซ ๐
Lawrence akamwambia niliongea na kaka ako anipokee baada ya wewe kuondoka kwa hasira nashukuru alinikubalia๐๐
Wanajibusu kila sehem ya mwili ๐ค๐๐ฅฐ
“Ooh jamani basi inatosha hayaa tuenjoy” mesha ndo aliwakatisha mana kunako endea alimuona kabisa dada ake alishabadilisha macho๐คฃ๐คฃ
Wakati mesha anawakatisha mambo yao๐๐พ. Mlango ukafunguliwa tena wakaingia wakaka watatu na mdada mwingine mesha akasema oyaaa wanangu karibuni embu Dj achia vitu sasaaa ๐๐พ๐๐พ” muda huo huo akaingia mdada muhudumu pisi ya kwenda wale wakaka walio ingia marafiki zake na mesha wote wakaanza kukonyezana ๐๐๐
Mesha akawaoma “ongea nae tu msela kila kitu helaaa” mmmh ikabidi wote wacheke mana mesha ni kama aliwasuta ile kuongea kwa sauti ๐ ๐ ๐
Mdada alikuwa mzuri mnoo unaweza sema labda ameenda Uturuki kurekebisha baadhi ya sehem zake za mwili, japo irene alikuwa mzuri mnoo๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ lakini hapa alitulia kidogoo mdada kashona ukiw mwanaume haswaaa huwezi kumuangalia mara moja tu afu et uendele na kazi zako aah๐๐พ wee๐ค๐ค hata kama ukiwa sio Rizk yaan jogoo wako mtungi hapandi lazima ulaani kwanini haupandi mtungiii lazimaa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nyie kuna watu mungu kawaumba afu unasema huyu mdada mbona mzurii jamani ๐๐anaweza kupata mwanaume yeyote anaemtaka yeyoteee๐ akamuoa tena kwa kumnyenyekea lakini yeye yupo huku anazungusha pombe kali na kuchezesha makalio kwenye ma club ๐ฅบ๐ฅบ
Haya bwana kila mtu na maisha yake aliyozoea au tusema mungu ndio anapanga kila mtu amuweke kwenye nafasi gani??๐ค๐ค mie sijui bwana kama kila mtu anachangua njia yake ama vipii๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila huyu dada muhudumu ni mzuri mnoo huyo mesha mwenyewe alijuta kuja na dem wake hapo ๐ ๐ ๐ ๐…
Walikuwa kwenye chumba ambacho ni club ndoto huko wanaita private๐๐พ hakun watu baki mnakodi sehem yenu tu kuna kunywa huko kucheza mziki pool table๐๐, mkihitaji wanawake wa kuwaburudisha wanakuja kucheza kamali yaan kila kutu mnakipata mkiwa nyie bila usumbufu wa walevi wengine .๐๐พ๐….
“Dada samahani unaitwa nanii๐๐??” mkaka mmoja alijitoa muhanga kumuuliza huyo dadaa aliekuwa anawahudumia vinywaji ๐ฌ
“Mynda” huyo dada akajibu huku anacheka cheka ndo kabisaa wanaume nyoka wakatema mate kwenye suruali zao๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃila wanaume aliewaroga ๐๐๐๐
“My GAaad! Vipi naweza pata kampani yako๐๐”
“Aaah mzee Robi nini sasa mie si ndio nimemtaka lakini we vipii๐ฅบ๐ฅบ??” Ilitokea taharuki gafla baada ya yule alieuliza jina na ndie alieonesha nia ya kumtaka huyo dada tangu mwanzo alipo muona tu๐ , ajabu mwenzie alie ingia nae na ndio alimwambia anamtaka huyo mdada yeye ndio akadakia kumuomba kampani ๐ ๐
“Embu acha zako Morgan bwana we si uweke dau ” Robby๐ค๐ akamjibu mwenzie kwa dhaarau na vile pombe zilikuwa tayar zimepanda
Morgani akamkwida shingo , mesha akainuka haraka kwenda kuwaamulia ๐๐พ, muda wote huo Lawrence na irene hawakuwa hata na habar na ule ungomvi wao walikuwa kwenye sofa kubwa kwenye kona kabisa ya Eneo ndo walikaa wawili tu walikuwa wamemisiana๐ค japo ni siku mbili tu wameachana walikuwa bize kushikana shikana kila mahala pa miili yao ๐ฅฐ๐
Ugomvi ndio uliwatoa kwenye hiyo mood , Lawrence akamwambia Irene tuwahame tukatafute eneo letu tutakalo kuwa wawil tu๐ฅฐ๐ฅฐ , irene nae akaona bora hivyo mana kitendo cha Lawrence kuja Tanzania na hajawahi kukanyaga aliamini kabisa anapendwa sanaaa๐ค ..
Wakati wanataka kutoka Mesha akawaona akawawahi haraka ili wasitoka akaongea na Irene hapo wamekuja kufurahi sasa kwanini wasaambaane hiyo ni dharula tu kila kitu kitakuwa sawa ๐๐, ikabidi warudi kukaa baada ya mesha kuwasihi sana , Mynda kama alivyojitambulisha yeye baad ya watu kutunishiana kifua akatoka zake chap ๐ ๐ watajua wenyewe ๐๐พ
Amani ikarudi tena mule ndani ๐, kila mtu akapata vibe tena wakaliamsha๐ ๐ , Robby akainuka anatoka nje morgan akamuuliz eeh kwahiyo unaenda kuongea na Mynda ๐คจ๐คจ?? Robby akacheka akasema aah wapi mie nishamtema wa nini sasa ๐๐
Robby alienda kweli mpaka kwa mynda ili kuongea nae kama vipi wautumie ule usiku wote๐ ,wakaelewana kabisa akamwambia akianza kutoka atamuita sehem,Robby akarudi zake mwepes furaha yotee ๐ ๐ ๐ , Morgan roho hata haikumpa akatoka na yeye mpaka kwa mynda kuongea nae ๐๐พ
Inaendelea…………………..


