Author: Raha Special

SINGLE MOTHER Changamoto ni kupata Mwanaume atakayekupenda wewe na Mtoto wako! Unapokuwa na mtoto, changamoto kubwa katika kuingia kwenye mahusiano siyo kupata mwanaume wa kukupenda — hao wapo tu. Utatongozwa kwa sababu si kwamba unatoka na bango usoni linalosema “Mimi ni single mother.” Lakini changamoto kubwa ni kumpata mwanaume ambaye atakupenda wewe na mtoto wako. Yaani, kukukubali wewe kama wewe na pia kukubali kuwa mtoto wako ni sehemu ya maisha yako. Changamoto Kubwa Zinazowakumba Wanawake Wenye Watoto 1. Kumuambia Mwanaume Kuwa Una Mtoto Shida ya kwanza ni hali ya kujiuliza: “Ni wakati gani muafaka wa kumuambia mwanaume kuwa nina mtoto?”…

Read More

MKE WAKO ATAKUPENDA SANAAAA IWAPO TU! 1. Unaleta pesa ya matumizi nyumbani. Moyo wa mwanamke utachoka kukupenda iwapo utaacha kuleta hela ya matumizi kwa ajili yake na watoto nyumbani.(Women are materialist in nature!), wao ni watu wa kupenda vitu sanaa kutoka kwa mwanaume na ndiyo upendo wao na heshima kwa mwanaume wanavyoutafsiri. Usipompatia pesa kwa ajili ya matumizi yake na watoto, ndivyo atakavyozidi kukudharau siku hadi siku atafika hatua atakukinai vibaya sana, kiasi kwamba anaweza kutamani kukupa nguo zake za ndani umfulie.KWANINI? ATAKUSHUSHA HADHI YA UANAUME, MWANAUME LAZIMA AKUBALI KUBEBA MAJUKUMU YA KUHUDUMIA FAMILIA. Upate, ukose wao hawajui! Wanachotaka wewe…

Read More

Mwanaume Asiejiamini Hawezi Kupata Mwanamke Mwenye Kujiheshimu Kwa asili mwanaume tangu enzi na enzi alikuwa na sifa ya kupambana na hatari misituni kukabiliana na wanyama wakali,alikuwa na tabia ya kulinda familia, kuihudumia familia kwa kuwinda wanyama porini hivyo basi kwa Mwanamke alikuwa na tabia ya kulea watoto nyumbani huku mwanaume anakwenda kupambana kwa ajili ya kuleta chakula nyumbani. Asili hiyo ipo kwa miaka na miaka na itaendelea kuwa hivyo haijalishi mabadiliko ya sayansi na teknolojia. kwa asili Mwanamke huwa anaongozwa sio kumuongoza mwanaume,hata ukiangalia vitabu vya dini utakuta mitume wote na manabii walikuwa wanaume kwa sababu ya uwezo wa kukabiliana…

Read More

Sifa 8 Za Mwanamke Ambaye Hapendeki Haijalishi Atapata Mwanaume Wa Aina Gani Bado Migogoro Ipo Palepale Kwa sababu baba ndiyo kichwa cha familia basi leo tuangalie namna ambavyo mwanaume ambaye ni muadilifu, mwaminifu,anatenda haki,hataki migogoro ndani ya familia,anataka kujenga familia imara namna ambavyo anaweza kuepukana na hawa wanawake wasumbufu ambao haijalishi utakuwa muaminifu,unajali sana,unampa kipaumbele muda wote lakini bado utaona kuna mfululizo wa matukio yenye kuibua ugomvi na migogoro. ujumbe huu umegawanyika sehemu zifuatazo I.Sifa 8 za Mwanamke ambaye hapendeki ii.Vyanzo vya Mwanamke kuwa hapendeki iii.Njia za kukabiliana na Mwanamke ambaye hapendeki SIFA 8 ZA MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI Sifa ya…

Read More

MANENO YA USHAURI KWA WANAWAKE!!! • Hakuna mwanaume anayetaka mke ‘kichaa’! Ni wal ambao hawajakua wanaitwa wavulana ndiyo wanaotaka wapenzi vichaa’, kwa hivyo usidanganywe na Mvulana anayekutaka ili afanye party na wewe kwa bidii kila weekend, anataka tu afichue kifua chako, atataka uvae nguo za kubana upake, flashy, makeups na ushuke na chupa 11 za bia wakati yeye katumia chupa 15, jua kuwa mwanaume wa namna hii HATAKUOA KAMWE! • Mvulana ambaye anaongea maneno machafu na anataka ngono na wewe kila mahali wakati bado hajakuoa atakuona kama mashine ya kitanda wakati wa ndoa. • Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya…

Read More

KWANINI UNA MATATIZO YA NDOA 1. KUJARIBU UPENDO WAKO Mara tu unapokiri kumpenda mtu, changamoto zitakuja kujaribiwa ikiwa nyote wawili mko serious kuhusu hilo. Upendo lazima ujaribiwe kuona kama utastahimili. Upendo wako unaweza kustahimili mtihani wa wakati? 2. MAHUSIANO YANVYOKUACHA UCHI Hakuna kinachokuvua nguo kama ndoa. Katika ndoa, mtagundua mambo ambayo tayari yamekuwepo au ambayo mnayapata mnapoendelea kuwa pamoja. e, nyinyi wawili mnaweza kuwa uchi bila kuoneana haya? Je, unaweza kupendwa kwa jinsi umbo lako lilivyo kweli? 3. EGO Ego itasababisha ugomvi na mabishano. Ego ndiyo inayowazuia wanandoa wengi kutatua masuala yao haraka, kutafuta msaada kupitia tiba, kukiri makosa, kusikiliza…

Read More

MWANAUME ELEWA HILI   Mke wako si malaika; kuna wakati atafanya makosa mbele ya ndugu zako. Kama mume, wajibu wako wa kwanza ni kumlinda mke wako dhidi ya ndugu zako. Ikiwa amekosea au ukiona wanamvamia kwa maneno, kumuongelea vibaya, badala ya kuingia na kuchangia, kumponda, au kuongeza maneno mabaya, mlinde. Simama upande wake, na wakati mwingine jifanye kana kwamba wewe ndiye unayependa hali hiyo. Kwa mfano, labda anavaa nguo ambazo kwenu hazikubaliki. Badala ya kuanza kumporomoshea maneno kama, “Huyu mwanamke kiburi sana, nishamuambia asitukalie uchi!” ongea nao kwa utulivu. Waambie, “Mimi ndiye nampenda, ni mke wangu, na ninafurahia jinsi alivyo.”…

Read More

NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Tafiti za kisaikolojia zinaeleza kwamba wanawake hawajui wanataka nini kutoka kwa mwanaume hivyo basi ikiwa wewe ni mwanaume acha kupoteza muda wa kutaka kujua mwanamke anataka nini bali weka sheria na muongozo wako mwenyewe kisha mwanamke wako ataufuata. ZIFUATAZO NI NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Njia hizi 7 zipo kama ifuatavyo 1. KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST) Mwanamke yeyote ambaye nyumbani kwao mkuu wa familia ni mama,au amekuwa bila baba ndani ya familia,au baba…

Read More

Mambo 5 Ambayo Utajifunza Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kila mtu huwa anajifunza kitu tofauti katika mazingira tofauti.Ikitokea mahusiano kuvunjika wapo hujifunza kuacha kuamini jinsia tofauti maisha yao yote , vilevile wapo huamua kujifunza kujichukia wao wenyewe, vilevile wapo hujifunza kwenye makosa yao lakini vilevile wapo ambao hawaamini kama wanakosea popote. Kwa vyovyote itakavyokuwa mahusiano kuvunjika huacha athari hasi au chanya, mahusiano kuvunjika yanaweza kukusaidia au kukuharibia. tuangalie mambo 5 ambayo unaweza kujifunza baada ya mahusiano kuvunjika MAMBO 5 AMBAYO UTAJIFUNZA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA Mambo hayo 5 kwanzia namba moja mpaka namba tano. 1. MAUMIVU YA MAPENZI NA AIBU YA…

Read More

JINSI YA KUJUA YA KUJUA KUWA HAKUPENDI 1. Yeye atakuwa na shughuli kila wakati unapomuhitaji uwepoi wake. 2. Hakuheshimu. 3. Hakupigii simu au kukutumia meseji, wewe ndiye utakayetuma ujumbe na kupiga simu bila kujibiwa. 4. Hajisikii vizuri kutembea na wewe na kukuonyesha kwa marafiki zake, anatoka na wewe usiku tu, uatadhani wewe ni vampire. 5. Anakufokea, anakutukana na kutumia maneno ya kashfa. 6. Kila unalomfanyia kwake huwa kosa liwe jambo dogo au kubwa kwake yeye ni kosa. 7.Hajali furaha yako,hawekezi kwako wala hafanyi chochote cha maana kwenye mahusiano yenu. 8. Anakulipizia kila kosa unalofanya anakosa kabisa huruma 9. Hakupi haki…

Read More

Tabia Ya Kutaka Kumdhibiti Mwenza Husababisha Migogoro Ya Kimapenzi Fahamu viashiria vya tabia hiyo,vyanzo vya tabia hiyo na ufumbuzi wake migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia huwa inajitokeza pale ambapo mwanaume au mwanamke anachukua jukumu la mzazi wa mwenza.Kwa maana inaitwa parenting your partner kwa maana ya tabia ya kumchukulia mwenza wako kama vile ni mtoto mdogo hivyo muda wote unakuwa unamrekebisha tabia na kumuelekeza nini cha kufanya. badala ya mahusiano kuhusisha watu wawili wenye akili timamu inakuwa kinyume chake inakuwa mama-mtoto au baba-mtoto . Mwanamke anachukua tabia ya mama mzazi au mwanaume anachukua tabia ya baba mzazi mahusiano yanakuwa…

Read More

Mwanaume – Fahamu Haya Ili Uwe Bora Katika Mahusiano   Mwanamume anayeweza kudhibiti hamu ya tendo ni mtu anayeweza kuishi miaka mingi duniani. Wanaume hawajui kwamba baadhi ya kushindwa kudhibiti hamu husababishwa na kuwa na wanawake wengi japo Sio wanaume wote. Wanawake wengine wanakuja kwako kwa lengo la uharibifu. kuwa Makini sana: 1. Mwanaume wa kweli ana mwanamke mmoja tu maishani mwake. 2. Usiruhusu kupandisha hisia wakati wote. Mishipa mingi huchoka kudhibiti uume wako ikiwa hutaki kudhibiti hali hiyo. 3. Usimchumbie mwanamke kwa sababu ana umbo zuri, matiti na umbo la kuvutia. Haya mambo ni ya kupotosha. 4. Sio kila…

Read More

Kuwa Na Busara Epuka Kumuuliza Mtu Maswali Haya 1. Hujaolewa tu? 2. Kwanini Huna Watoto? 3. Utazaa lini, umri unaenda! 4. Unafanya kazi wapi? 5. Kwanini Umenenepa/Umekonda? Watu wanapitia mambo mengi magumu ambayo huna taarifa nayo wala hujawahi kuyasikia, jitahidi kuwa mwenye ufikirio unapozungumza na wengine. Ikiwa wewe umefanikiwa kupata vyote jitahidi kutoropoka maneno unayodhani yako sawa kwa upande wako. Kuna watu wanapitia changamoto za mahusiano, uzazi, uchumi na mambo mengine ya kifamilia, try to be kind! Nakumbuka kuna siku sikuwa najua lolote lile nikapata mawasiliano kwenye group na school mate mmoja hivi, maana miaka mingi ilipita bila mawasiliano, mule…

Read More

Mambo Ambayo Huwezi Kuyanunua Kwa Pesa Kwenye Uhusiano Hapa kuna mambo ambayo pesa haiwezi kununua katika uhusiano: 1. Kuaminiana: Kuaminiana hujengwa kupitia matendo, mawasiliano, na kujitolea, si kwa mali. 2. Upendo: Upendo wa kweli na mapenzi hayawezi kununuliwa au kubadilishwa na zawadi. 3. Heshima: Heshima hupatikana kwa kuelewana, kuhurumiana, na fadhila. 4. Mawasiliano: Mawasiliano yenye nguvu yanahitaji jitihada, usikivu wa makini, na akili ya kihisia. 5. Muunganisho wa Kihisia: Muunganisho wa kina wa kihisia hujengwa kupitia uzoefu ulioshikiriwa, kuongozwa na huruma. 6. Ukaribu: Urafiki wa kweli unapita zaidi ya uhusiano wa kimwili; inahitaji ukaribu wa kihisia na kushinda mazingira magumu.…

Read More

Sheria 15 rahisi za mwanaume ambazo kila mtu anapaswa kuzijua: 1. Hasira ni adui yako namba moja kwenye maisha, iruhusu ije na pia iruhusu iondoke lakini usiiruhusu ikutawale. 2. Huhitaji watu au vitu vya kimwili ili kuwa na furaha. Wapo watu watakaokuzidishia hasira zaid na kukuharibia furaha ndogo uliyo nayo. 3. Wanaokuchukia ndio watu wako wa karibu, ukiwa na watu wanaokupenda watumie ipasavyo. 4. Maana halisi ya Familia haimaanishi mchangie damu tu hata watu baki ni familia yako. 5. Ndugu msipigane wala kugombana kwa zaidi ya masaa 24. tabia hizo hufanywa na Wanawake, sio wanaume. 6. Kujifunza jinsi ya kupigana…

Read More

SIRI 9 KUBWA KATIKA NDOA! Siri ya 1: Kila unayemuoa ana udhaifu. Hakuna mtu aliye mkamilifu, anayekuja katika vivuli vyote vya ukamilifu ndiye aliye hai ndani ya mwenzi wako, na huyo ni Mungu tu. Kwa hiyo ukizingatia udhaifu wa mwenzi wako huwezi kupata kilicho bora kutokana na nguvu zake. Tazama, wanandoa wanaodumu ni wale wanaokuza nguvu za kila mmoja, badala ya udhaifu wao. Siri ya 2: Kila mtu ana historia mbaya kwenye mzunguko wa maisha yake. Hakuna mwenye umalaika. Unapooa au kuolewa acha kuchumbia zama za mtu. Cha muhimu kwenye maisha ya ndoa ni kujari maisha ya sasa ya mpenzi…

Read More

MWANAMKE – WAFAHAMU VIZURI WANAUME, EPUKA KUUMIA KIMAPENZI Wanaume huwahitaji wanawake kwa sababu kuu mbili, tendo na upendo wa kweli, lakini mara nyingi wanaume huwa hawatambui wanawahitaji wanawake kwaajili ya tendo au kwa ajili ya upendo, hali hii hupelekea wanaume kuoa mtu asiye sahihi kwenye maisha yake. Mwanaume anaweza kukupenda kwa kiasi kikubwa na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini kama atapata mtu ambaye ataleta utulivu katika maisha yake, basi atamuoa. Wanaume ni watu wenye maono ya ajabu sana hasa wanapofikiria kuhusu ndoa, huwa hawafikirii kuhusu wao wanafikiria kuishi tu na mtu yeyote…

Read More

MAMBO 4 YA KUZINGATIA UKITAKA KUWA MWANAUME IMARA AU RIJALI 1. UHURU Mwanaume Rijali anathamini uhuru wake kuliko kitu chochote,mwanaume Rijali hawezi kuishi kwa kumtegemea Mwanamke wake kwenye fedha,salio,kula,kuvaa, nyumba ya kuishi, gharama za matibabu, usafiri,zawadi n.k mwanaume Rijali anajua ni wajibu wake kuhakikisha maisha ya mwenza wake yanakuwa salama. mwanaume Rijali haishi kwa kutegemea sapoti ya Mwanamke bali Mwanamke akitoa sapoti inakuwa bonus ili kuepuka kumlaumu Mwanamke pale ambapo haonyeshi ushirikiano. Mwanamke yeyote akiona unamhitaji sana ili mambo yako yaende huanza kuonyesha dharau waziwazi,atakuwa na kiburi, majivuno,ataanza kuonyesha jeuri kwa sababu anajua hauwezi kumuacha wala hauwezi kuishi bila yeye.Lakini…

Read More

Sifa Za Mwanaume Ambaye Atasumbuliwa Na Mwanamke Maisha Yake Yote   Na jinsi ya Kuwa Mwanaume Imara – Anakuwa hajiamini mbele ya Mwanamke,akiona mwanamke mwenye muonekano mzuri tu anapagawa,anatetema sana,anahisi Mwanamke huyo ni malaika na mkamilifu,kisha anajiona yeye yupo na dosari nyingi sana na mapungufu mengi sana ambayo yatamkwaza Mwanamke huyo,hivyo ataanza kuonyesha kumnyenyekea sana, kumbembeleza sana, kujitutumua sana, kujieleza sana, kumuahidi mambo mengi sana,kutumia fedha nyingi sana ili kumfurahisha akiamini atapendwa sana kuliko wanaume wote lakini huambulia kuchunwa fedha zako zote na kuachwa mifuko mitupu,hujibiwa kwa maneno makali sana yenye udhalilishaji,hufokewa,hutukanwahuambiwa wewe sio wa HADHI yangu kisha mwanaume anaanza…

Read More

Mwanamke anaweza kukwambia tuachane isiyomaanisha, akiwa kwenye mwonekano unaoitwa seriously. Kisha akabadilika kuwa kwenye huzuni ya kweli, kama utaamua kukubaliana na yeye. Kwasababu alihitaji umbembeleze, sio utembelee kauli yake. Ngoja nikwambie kitu mwanaume mwenzangu. Siku mojamoja kuwa Kaisal kimaandishi, halafu msomee kwa sauti ya Khan Mbarouk. Mwambie licha ya udhaifu wako wa kutamani wengi, lakini unampenda peke yake. Msimulie hadithi za kina Sharifa na Sarah, walioahidi kukupa hadi Mungu alivyovikataza. Mwambie amestahili kuwa na wewe, sio bahati kama mitaa inavyozungumza. Mkumbushe sifa ulizomwongopea, kipindi cha harakati zako za kumtongoza. Mwambie unamwona malaika aliyetoroka peponi, kila unapomtazama Eva wako wa Vikindu.…

Read More

Sababu kadhaa Kwanini Mwanamke aliye na Wapenzi wengi wa zamani ni Chaguo Hatari kwenye Ndoa Waungwana, tuseme ukweli. Historia ya mwanamke ni muhimu kuifahamu kabla hujamuoa. Ikiwa atakuwa na wapenzi wengi kwaajili ya kujiridhisha kwa nafsi yake kwene ngono, basi huyo hatafaa kuwa mkeo halali unayemhitaji kujenga nae mustakabali salama wa maisha. Ukweli ni mchungu sana lakini lazima niuseme na endapo utaupuuza ukweli utakupeleka kwenye njia ya hatari zaidi, ikiwa ni pamoja na kuvunjika kwa ndoa, na hata uharibifu wa kifedha. Acha nikuchambulie, moja kwa moja kwa uhakika. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini wanawake walio na viwango vya juu…

Read More

Jinsi Ya Kudumu Muda Mrefu Kitandani Wakati Wa Tendo 1. Jua jinsi ya kumuandaa mwanamke hasa kumtia nyege, usiwe na haraka ya kuingiza mashine kabla mwanamke harowa 2. Badilisha mtindo hasa unapokaribia kufika kileleni 3. Epuka sana kujichua au punyeto. Hii itakufanya ushiriki vizuri zaidi katika kutengeneza mapenzi na mwenzi wako. punyeto hufanya uongeze kasi ya kufika kileleni 4. Jua jinsi ya kuiingoza akili yako. Akili yako ndiyo inayodhibiti viungo vyako wakati wa tendo. Unaweza kuiongoza akili yako kuvumilia wakati wa kumwaga au kutoa maji 5. Jaribu Kuwa na wakati wa kumbusu wakati wa kufanya mapenzi 6. Tulia. Usichangamke sana.…

Read More

UKWELI KUHUSU WANAWAKE KUPENDA MVUA NA KULOWANA 1. Baadhi ya wanawake hupenda mvua wakati wa masika na vipindi vya mvua. Mume mwerevu hapo anajifunza na kutambua kuwa ni wakati ambao mke wake anapopandisha joto hii ni fursa ya kufanya mapenzi zaidi. 2. Madhumuni ya kulowa kwa mwanamke ni kufanya tendo la ndoa ambalo linahusisha msuguano kati ya uume na uke, wakati kuna kama kabaridi kaliko changanywa na joto penzi huwa la kufurahisha. 3. Wakati wa mvua au baridi kiasi fahamu kuwa mwanamke uke wake huongezeka ute na uke wake huwa wazi mara nyingi mwanaume wakati wa mvua hakikisha unakuwa karibu…

Read More

UKIMHESHIMU MKE WAKO NA WATU WATAKUHESHIMU PIA   Kanuni ya kwanza ya maisha: Ili kuheshimiwa kama mwanaume, ni lazima watu wamheshimu mwanamke wako! Najua inaweza kuonekana kama jambo dogo, lakini ndiyo ukweli. Kama watu hawamheshimu mwanamke wako, basi jua hata wewe wanakudharau. Iwe ni mama yako mzazi, dada yako, au marafiki zako, ni lazima wamheshimu mwanamke wako. Hapo ndipo utajua kwamba wanakuheshimu wewe. Labda nikupatie mfano: Umeoa, kama mama yako anamtukana mke wako, kama dada yako anamtukana mke wako, au kama jirani au rafiki wanamzungumzia vibaya mke wako mbele yako, si kwamba hawamheshimu mke wako tu, bali wanakudharau wewe. Wanakuona…

Read More

KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UJAUZITO Kiu yetu baadhi ni kujibiwa maswali kama, ni ruksa kujamiina na mjamzito… Jibu ni NDIYO Kama jibu ni ndiyo je style zote zinaruhusiwa…! Jibu ni HAPANA Staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa…. 1. KUINAMA Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukuma matumbo lake. Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa…

Read More

Mambo Ya Kuzingatia Unapokua Na Mtoko Na Mwanaume Kwa Mara Ya Kwanza. 1. CHAGUA ENEO ULILOZOEA. Kama umepata nafasi ya kuchagua,basi chagua eneo ambalo umelizoea.Kwenda sehemu iliyozoea kunakuongezea utulivu na kujiamini.lakini hata ukialikwa sehemu flani basi pendekeza eneo lenye hadhi sawa na hilo lakini ambalo umelizoea. zingatia eneo hilo lisiwe nyumbani kwako ama kwake. 2. KULA /KUNYWA ULICHOZOEA. Kama mtoko huo utajumuisha kula ama kunywa basi zingatia vile ambavyo umevizoea. 3. KUWA NA PESA YA KUTOSHA MATUMIZI YAKO. Zingatia sana hilo,uwe na hela ya kwenda na kukurudisha utokapo lakini pia zingatia sana utachokula na kunywa kiendane na mfuko wako,habari za…

Read More

Dalili Kwamba Mahusiano yenu Yanakwenda Kufa – Chukua Hatua Mapema   1: MIGOGORO Ya Mara kwa Mara. Ni Jambo la kawaida Kupishana Mwanaume na Mwanamke wakiwa kwenye MAHUSIANO. Kwa sababu Ya “Gender Difference”……! Lakini Kuna Kiwango Cha Migogoro ikianza unajua kabisa hapa Hamuendi MBALI. Migogoro isiyoisha ( Endless Conflict)…! Migogoro inayokuja kwa kujirudia rudia ( Repeating Conflict). Kuna kitu kinaitwa “CONFLICT SPINNING” “Ni Hali ya kuwa kwenye Mzunguko wa Migogoro”. MGOGORO huu ukiisha unaibuka Mwingine. Hii ni Kusema……..! “Mnatumia Muda Mwingi katika KUTATUA Migogoro Zaidi Ya Muda wa Kufurahia PENZI lenu”. 2: MANENO Mnayotamkiana Mkiwa kwenye MGOGORO. Umewahi kusikia USEMI…

Read More

KULALA NA WANAWAKE WENGI HAKUKUFANYI KUWA MWANAUME BORA Kulala na wanawake wengi tofauti hakufafanyi uanaume wa mtu au kuwafanya kuwa wanaume bora.” Hapa kuna baadhi ya sababu kwa nini: Uanaume wa Kweli_ 1. Heshima na wajibu: Uanaume wa kweli ni kuheshimu wengine, kuwajibika kwa majukumu yako, na kuwajibika kwa tabia yako kila wakati. 2. Akili timamu kwenye hisia: Mwanaume halisi anagusa hisia zake, anaweza kuzieleza kwa njia yenye afya, na anatakiwa kuwa na huruma kwa wengine. 3. Uadilifu na tabia: Mtu mwenye tabia njema ni mtu anayesimamia maadili, na kanuni, na ahadi zake Hatari za Kuwawekea Malengo Wanawake 1. Lengo_:…

Read More

MAMBO 16 YANAWEZA KUUA NDOA 1. Uvivu wa kijinga usio na msingi unaua ndoa 2. Kuwa na Mashaka na mwenzio kunaua ndoa 3. Kutokuaminiana kunaua ndoa 4. Kutoheshimiana kunaua ndoa 5. Kutosamehe kunaua ndoa 6. Mabishano yanaua ndoa 7. Kutunza siri kutoka kwa mwenzi wako kunaua ndoa 8. Kila aina ya ukafiri unaua ndoa 9. Mawasiliano duni yanaua ndoa 10. Uongo unaua ndoa kirahisi 11. Kuhusiana zaidi na wazazi wako kuliko mwenzi wako kunaua ndoa 12. Kukosekana au kutofanya tendo kwa kutofurahishana kunaua ndoa 13. Kuhangaika kunaua ndoa 14. Maongezi mengi ya hovyo yanaua ndoa 15. Kutomwamini Mungu kunaua ndoa…

Read More

Makosa Ambayo Watu Wanafanya Kwa Sababu Ya Mapenzi:   Upendo unaweza kusababisha watu kufanya makosa, ambayo mengine yanaweza kuwa na matokeo ya kudumu. MAKOSA YA KAWAIDA: 1. Kupuuza kumuonya mwenzio kwa tahadhari kama ishara za onyo 2. Kuzingatia masuala ya utengamano 3. Kupuuza maadili na mipaka ya kibinafsi 4. Kutoa zawadi zinazoathiri kujithamini 5. Kuwezesha au kuvumilia tabia ya kuwa na matusi 6. Kuchanganya mapenzi na kutamani au kupendezwa na hali hiyo 7. Kukimbilia kwenye ndoa kisa ahadi ya ndoa 8. Kupuuza mawasiliano na utatuzi wa migogoro 9. Kutanguliza upendo kuliko kujijali 10. Kukaa katika mahusiano yenye sumu au yasiyo…

Read More

MAMBO 23 YA KUFANYA ILI KUMWEKA MUMEO KWENYE MIKONO YAKO MUDA WOTE 1. Mwite jina lake kimapenzi 2. Mruhusu atumie mamlaka yake akiwa kama kichwa cha familia. 3. Usimuongezee changamoto anapokuwa hayupo sawa. 4. Jaribu kujishusha anapokuwa na hasira. Unaweza kuutumia muda wakati atakapokuwa katika wakati wa utulivu na atakuomba msamaha na kukuelezea kwa nini alifanya hivyo ambayo vilikukasirisha. 5. Kuwa mwepesi wa kusema neno”Samahani mpenzi” wakati wowote unapomkosea, msisitizie msamaha wake, thamini na kumbusu anapokukosea. 6. Mzungumzie vizuri mbele ya Marafiki zake na ndugu zake. 7. Waheshimu wazazi wake 8. Jitahidi kuwanunulia wazazi wake zawadi na hivyo hakikisha kwamba…

Read More

KUUGULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA, NI Nzuri au Mbaya? Kuugulia wakati wa tendo ni ufafanuzi wa asili hasa ule wakati wa tendo wa raha na msisimko. Kuomboleza hukusaidia kuwasiliana na furaha na pia hukusaidia kuunda muunganisho wa kina na mwenzi wako kwa kueleza hisia. Wanawake huugulia wakati wa kujamiiana ili kuwasiliana na waume zao kwamba wanafurahia kile wanachofanyiwa. Milio ni mwitikio wa mwili wako kwa raha unazopata. Kuugulia humwambia mumeo kwamba umewashwa au unahisi raha. Kuugulia ni kelele ya kuvutia isiyo ya hiari unaugulia wakati wa joto kwa sababu unashindwa kuvumilia hisia zako Wanaume pia Kuugulia kwa sauti kubwa…

Read More

JINSI GANI MWANAUME ANAWEZA KUMFANYA MWANAMKE AJISIKIE KUFANYA TENDO 1. MTAZAME KWA JICHO LA BASHASHA Mwanamke huwa anahisi kuhitajika zaidi kulingana na mwanaume wake anavyomtazama machoni. Wanaume ni viumbe wenye msisimko kwa muonekano au viungo vyao hasa wakijua matumizi kwa hiyo atatazama kuona kama macho yako yanamwambia neno ‘Nakutaka’ 2. MJULISHE JINSI AKIWA KWENYE HALI YA HAMU Anapokuwa anajisikia hamu vizuri. Ikiwa uko karibu naye tumia mbinu kwa bidii au kufikiria juu yake wakati ninyi wawili mpo mbali mpe taarifa juu ya kinachoendelea ndani ya boxer yako kwa ajili ya faraja mjulishemkeo anahitaji kujua . 3.USIFIE MWILI WAKE Mzungumzie, mwache…

Read More

UNAPOBAHATIKA KUPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI YA KWELI NA ANAYEKUTHAMINI KILA SIKU UTAKUWA UNAAMBIWA MANENO HAYA 1. Habari ya Asubuhi mpenzi, natumai ulipata usingizi mzuri sana. Habari za leo? Amka ujiandae kuelekea kazini. Usisahau kuomba dua na maombi kwaajili ya kazi. 2. Ndiyo kipenzi, nimekukumbuka sana, natumaini unafurahia siku yako, naelekea jikoni kuandaa chakula cha mchana. tutazungumza baadaye. 3. Usiwe na presha mpenzi wangu, najua utafikia malengo yako ya maisha. Mimi nasimama kama msaada kamili kwako. 4. Usisahau kusali kila ifikapo saa ya kufanya ibada kuanzia asubuhi, ,mchana jioni na usiku. Kumbuka nguvu zetu ziko kwa Mungu. Nipigie ukiwa tayari kwa…

Read More

MAMBO 14 AMBAYO KILA MWANAMKE ANATAKA MWANAUME WAKE AJUE KUHUSU KITANDANI Wanaume na wanawake wana mtazamo tofauti kwa tendo la ndoa kwa hivyo ni muhimu kwa mwanamume kuwa na wazo la kile anachotaka wakati wa kufanya mapenzi. Hapa kuna mambo 14 ambayo kila mwanamke anataka mwanaume wake ayajue 1. Anataka uzingatie maeneo yake ya asili yanayo mpa hamu ya tendo la ndoa. 2. Kabla hujaanza kunuandaa hakikisha upo safi kwenye mwili wako huna uchafu wowote 3. Fahamu kuwa Kinembe chake ni sehemu nyeti sana hasa wakati wa tendo kinachukua nafasi kubwa sana ili yeye afike kilelelni. Epuka kutumia nguvu wakati…

Read More

MAPENZI KWENYE NDOA YANAPOKUWA MATAMU 1. Wote wawili mkiwa hamchokani na kuwa na hamu na mwenzie 2. Usingizi utapendeza zaidi mkiwa mnalala wakati sahihi 3. Kutokuwa na stress huleta ustawi wa kihisia na kiakili 4. Migogoro istokee mara nyingi na kama ikitokea itatuliwe mapema 5. Kuwa na Mazungumzo ya karibu zaidi na mwenzio mara nyingi 6. kufanya mapenzi kwa lengo la kuwa na watoto kunaleta furaha 7. Wawili nyinyi mnatakiwa kupeana nafasi ya kuvutiana zaidi 8. Wote wawili muwe na nyongeza ya kimaisha kujipatia kipato 9. Wote Wawili mrudi nyumbani kwa wakati sahihi 10. Wote Wawili jitengenezeeni kumbukumbu ya mapenzi…

Read More

WAPENDWA WANAUME MLIOOA  Hakuna atakayekuambia haya ila mimi nitakuambia; Ukitaka kufika mbali kimaisha, mpende mkeo, mtunze vyema, mfurahishe na maombi yake yatakufungulia milango ya mafanikio.  Kumbuka mambo yanapobadirika kiafya au kifedha ni mkeo tu ndiye atakayekulisha na atakuwepo kwa ajili yako wakati wa shida na matatizo. Marafiki zako wengi na mademu wa pembeni watakuacha!

Read More

LUGHA TANO ZA MAPENZI Watu wengi wanafikiri kimakosa kuwa kuna lugha moja tu ya mapenzi. Hebu tuliangalie hili kiundani. Dhana ya Lugha 5 za Upendo ilibuniwa na Dk. Gary Chapman mnamo 1992. na hizo Lugha tano za mapenzi ni: 1. Maneno ya uuhakika 2. Muda bora 3. Mguso wa kimwili 4. Matendo ya utendaji 5. Kupokea zawadi Tangu wakati huo, watu wengi wamekuwa wakitaka kujua “Lugha ya mapenzi ni ipi?” Ukweli ni kwamba, uhusiano/ndoa yako inahitaji Lugha hizi zote za Upendo kwa kipimo kamili. Ngoja nikuelezee. MANENO YA UHAKIKA: Mpenzi wako atakuhitaji umhakikishie. Upendo huwekwa hai kwa uthibitisho. Ndiyo maana…

Read More

MUDA WA TENDO LA NDOA 1. Sio kila wakati ni wakati wa kufanya tendo la ndoa. jifunze kumtambua mwenzi wako akiwa na uhitaji na asipokuwa na uhitaji 2. Kama wewe ni mwanaume una udhaifu wa kufika kileleni haraka sana, basi jaribu kujisoma timing yako ili uache kumpa mateso hivyo basi unapoona ukaribia punguza spidi na mtoe babu nje pale unapohisi unakaribia kufika kileleni. Hii itachelewesha kumwaga haraka 3. Usitumie muda mwingi kufanya staili moja wakati wa kufanya mapenzi. Mwenzi wako anaweza kuchoka haraka. Muda mzuri ni wakati unapohamia kwenye tendo la ndoa huwa linahitaji uchunguzi wa kutosha. Kwa mfano, usibusu…

Read More

VIDOKEZO 18 VYA NDOA 1. Ukiolewa utawavutia sana wanaume wengine. Jifunze kuweka mipaka 2. Kila ndoa ina changamoto zake, zitambue njia za kuzitumia changamoto hizo kutunza ndoa yako 3. Unaweza kuwa tayari kuwa kwenye ndoa lakini ukiolewa na mtu ambaye hayuko tayari kuwa chaguo lako utachanganyikiwa sana. Usiwe unampenda mtu asiye sahihi kwako kwa njia sahihi 4. Tambua Kuna maisha ukiwa kwenye ndoa, Jaribu kufuata lengo lako binafsi lakini timiza kwa pamoja na mumeo 5. Mkioana lakini mkawa mnapenda ushindani tambua kuwa ndoa hiyo haitakufaa 6. Tafuteni shughuli za kufanya nyinyi nyote kwa pamoja kama wanandoa. Upendo hujengwa na shughuli…

Read More