Author: Raha Special

NILAMBE HUMO HUMO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 3 Wengine ndugu zao wa kiume walikuwa wamewadhulumu mali za urithi walioachiwa na wazazi wao, wengine walikuwa yatima walioondokewa na wazazi wao na kukosa mtu wa kuwaangalia! Wengine walikuwa wametupwa na wazazi wao baada ya kuzaliwa wengine… wengine! Basi ilimradi kulikuwa na mlolongo wa matatizo ambayo kwa hakika yalichusha na kuudhi. Hofu ya ukimwi je? Walikuwa nayo lakini wangefanyaje? Waliona bora waishi kwa furaha leo kwa kuwa hata kesho wasipokufa kwa ukimwi kama watajitunza, basi watakufa kwa njaa, umasikini na adha zingine kadha wa kadha.…

Read More

NILAMBE HUMO HUMO ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 …ulikuwa mduara wa Segere kwa lugha isiyo rasmi. Au ‘mnanda’ kama ilivyozoeleka. Baadhi ya wakazi wa kitongoji hicho walikuwa wakizunguka kwa pozi huku wakizungusha viuno vyao taratibu kwa ustadi mkubwa. Mirindimo ya ngoma sambamba na kiuno cha mwanamama mmoja kilichokuwa kikizunguka vitamu vikayafanya macho yangu yamuandame! Yakamwandama kila alipokwenda. Halafu ngoma ikazimwa. Yule mwanamama ambae wakati huo alikuwa ameshagundua kuwa nilikuwa nikimtazama akanitupia jicho na kuachia tabasamu. Ngoma ikapigwa upya na kurindima kwa robo saa hivi. Ilipozimwa tena na moto ulio kuwa ukitoa mwanga…

Read More

KAKA CHENI.. NDIYO NINI SASA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 9 IMEANDIKWA NA : MAZUNDURU ATHUMANI Baba aliingia ndani nyumba kubwa. Baada ya kama dakika kumi akatoka akiwa ameongozana na mama… “Kaka yako yuko?” aliuliza baba. “Yupo.” “Amerudi saa ngapi?” aliuliza mama… “Anasema alikwenda kununua sabuni ya kuogea,” nilimtungia uongo… “We Cheni,” aliita mama.” “Naam.” Kaka Cheni alikuja, lakini niligundua kwamba, nilimtungia uongo mbaya sana… “Ulikwenda wapi?” “Dukani…” “Kununua nini?” Mimi nilijua kaka Cheni alisikia niliposema alikwenda kununua sabuni, kumbe hakusikia… “Kununua wembe,” alisema na kwenda kinyume kabisa na maelezo yangu… “Wewe na…

Read More

KAKA CHENI.. NDIYO NINI SASA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 5 ulitokana na kaka Cheni. “Nitamshauri kaka Cheni ahame. Atafute chumba akapange kokote kwingine, pale nyumbani si sahihi tena kwake,” niliwaza moyoni. *** Ilikuwa saa mbili na nusu usiku, tulikuwa sebuleni tunakula, mimi nakula na mama na bibi, kaka Cheni anakula na baba kwenye meza yao. Kwa mbali mimi nilisikia mlio wa mlango wa chumba cha kaka Cheni ukifunguliwa, nilimtupia jicho baba akaonekana hajasikia, nikamwangalia mama, pia akaonesha hajui kinachoendelea, nikamwangalia kaka Cheni mwenyewe, akanifinya jicho. Ina maana yeye alijua kuna mtu kaingia…

Read More

KAKA CHENI.. NDIYO NINI SASA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Sijui nini kiliendelea, nilipitiwa na usingizi moja kwa moja na kuja kushtuka saa kumi usiku nikiwa napitisha kumbukumbu kichwani, nikakumbuka mara ya mwisho ilikuaje. Nikakumbuka nilifikia sehemu moja na kaka Cheni na mwanamke wake, nikakasirika sana. *** Asubuhi ilifika, kulikucha, nikatoka kufanya kazi za ndani uani huku nikiwa nalenga kuona kama yule mwanamke wa kaka Cheni aliondoka au alilala palepale. Nilifanya kazi kwa umakini wa macho. Muda mwingi nilikuwa nakazia macho mlangoni kwa kaka Cheni. Saa moja, kaka Cheni alifungua mlango wake.…

Read More

NILIOA MWANAMKE JINI NA KUZAA NAE – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 21 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: NILIOA JINI NA KUZAA NAE 1 – 5 NILIOA JINI NA KUZAA NAE 6 – 10 NILIOA JINI NA KUZAA NAE 11 – 15 NILIOA JINI NA KUZAA NAE 16 – 21

Read More

ROHO YAKE INADAI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 11 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: ROHO YAKE INADAI 1 – 3 ROHO YAKE INADAI 4 – 7 ROHO YAKE INADAI 8 – 11

Read More

NILAMBE TENA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 “Nimekuelewa Lina. Lakini mbona zimebaki siku chache kwa wewe kuondoka? Hiyo kazi nitaikamilisha vipi?” nilimuuliza Lina wakati huo akipaki gari pembeni ambapo sikuchelewa kumbandika swali linguine kabla hajanijibu ya awali. “Mbona unapaki kabla hatujafika? Au umeona sehemu iliyobakia nitembee kwa mguu?” “Si kweli maswali yako na vilevile nikikujibu nitakudanganya kwa wakati huu. Cha muhimu yatazame macho yangu halafu utajua nini namaanisha na kipi nakihitaji toka kwako.” Nikamtazama kama alivyotaka. Macho yake malegevu kama vile kipo alichokula kuyalegeza zaidi. Lakini pamoja na kumuangalia moyo wangu ulikuwa…

Read More

NILAMBE TENA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Ashh!!! OOhhpss!! Bado buana. Kidogo tu hata mizuka haijanipanda ushanilalia kifuani. “Nilambe tena buana” “Sina tena muda huo kwanza sitaki tena” Hiyo ilikuwa ni katika nyumba ya kupanga. Maisha yangu ya hali ya chini mno. Kuishi chini ya elfu moja na mia tano. Chumba nilichokipanga hakikuweza kuzuia sauti za chumba cha jirani yangu. Hivyo ikawa ni suluba mno kwa upande wangu kutokana na sauti ile ya mwanamke jinsi alivyoonekana kulalama kimahaba lakini mpenzi wake akamjibu vibaya. Cha kunishangaza baada ya jibu lile, sauti ya mwanamke…

Read More

NILIOA JINI NA KUZAA NAE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 16 ILIPOISHIAMsichana huyo alitoa kichwa kwenye dirisha la gari na kuniambia.“Kijana hujambo?”“Sijambo. Habari yako?”“Nzuri. Unarudi nyumbani?”“Ndiyo,ninarudi nyumbani”“Ingia garini nikupeleke. Nina mazungumzo na wewe!”“Una mazungumzo na mimi?” nilimuuliza kama vile sikumsikia vizuri.“Mbona umeshituka?”“Hapana, sikushituka”“Basi ingia garini”Nikafungua mlango wa upande wa pili wa dereva na kujipakia. Msichana akalindoa gari.SASA ENDELEA“Unaitwa nani?” akaniuliza.“Naitwa Alfred”“Umeanza hizi kazi za ulinzi lini?”“Nina muda mrefu isipokuwa kwenye kampuni hii niliyoko sasa, nimeanza siku chache tu zilizopita”“Sawa. Una mke na watoto?”“Hapana, sijaoa bado”Msichana aliniangalia akatabasamu kabla ya kuniuliza.“Una mchumba?”Na mimi nikatabasamu…

Read More

NILIOA JINI NA KUZAA NAE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 11 ILIPOISHIA..”Kama wewe ni Mtemi Wembe, mimi ni Banuna mwana wa Ziraili…mimi wa ukoo wa kifalme. Wewe huwezi kuniita mimi….”“Nakwambia…..!” Mtemi wembe alitaka kusema lakini Banuna hakumpa nafasi.“Una shida gani na mimi?” akaendelea kumuuliza kwa sauti yake kali na ya kiburi.“Nataka kukutenganisha na Alfred, leo iwe mwisho wako kumfuata!” Mganga akamwambia kwa sauti kali.Bananuna kwa jeuri alikishika kiuno chake akamwambia mganga.“Nakwambia huniwezi! Alfred nitakuwa naye hadi kifo chake. Simuachi! Unasemaje?”Hapo hapo mganga naye akapandisha jini lake.“Shiit! Wewe nani Tanzania? Utakwenda tu!. Leo nitakuondoa…

Read More

NILIOA JINI NA KUZAA NAE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 06 ILIPOISHIA..Mchungaji aliinuka na mimi nikanyanyuka. Tukatoka kwenda kwenye lango. Tulipofika hatukumkuta yule msichana.“Naona ameshaondoka alikuwa amesimama hapa”Nilimuonesha Mchungaji mahali alipokuwa amesimama yule msichana.“Pia nataka twende ukanioneshe hilo gofu ambamo uliwakuta” Mchungaji akaniambia na kuongeza “Tutakwenda kwa gari langu”“Sawa, twende nikakuoneshe”ENDELEAMchungaji alikwenda kutoa gari lake akanipakia na tukaelekea Gofu. Tulifika katika lile ghala nililokuwa ninalinda nikamuonesha. Kisha tukaenda katika lile jumba la zamani lililokaa kama gofu.“Ndipo hapa?” akaniuliza huku akishangaa.“Ndipo hapa” nikamjibu.Tulishuka kwenye gari tukawa tunalitazama gofu hilo.“Wewe ulikuja saa nane usiku mahali…

Read More

NILIOA JINI NA KUZAA NAE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi SEHEMU YA 01 Nilikuwa bado kijana na umri wangu ulikuwa wastani wa miaka ishirini na mitano. Sikuwa nimepata elimu ya kutosha baada ya wazazi wangu wote wawili kufariki dunia wakati nikiwa mdogo.Nilianza maisha ya kuhangaika tangu nikiwa mdogo baada ya wazazi wangu hao kufariki dunia. Nilianza kuajiriwa kazi ndogondogo ili nipate pesa za kujikimu na nilipofikia umri wa miaka kumi na minane ndipo nilipopata ajira rasmi.Ajira yenyewe ni ya kazi ya ulinzi. Niliajiriwa katika kampuni moja ya ulinzi, kazi yangu ikiwa ni kulinda zamu usiku.…

Read More

USIKU WA KAFARA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 3 Neema alichelewa kwani kabla ya kurudi ndani ya gari alifikiwa na mzee juma ambae alimshika na kumvutia kifuani kwake “Mtulie msije mkafa kabla ya wakati …kijana mmoja amfunge aliekuwa chini na mwingine amtoe huyo kinyago alie bakia kwenye gari” mzee juma aliongea akiwa kamkumbata neema kwa nyuma ya mgogo na muda huo misuli ya maumbile yake ikimsimama kuwa sambamba nyuma ya mak*lio ya neema. Dolla alikuwa kama ana karibia kupoteza fahamu kwa kuto kuamini anacho kiona na muda huo kijana alieshika panga na kamba…

Read More

USIKU WA KAFARA ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 USIKU WA KAFARA! 31 DICEMBER Ilikuwa bado masaa sita siku igeuke kisha mwaka 2016 upite na kuupisha 2017, macho mengi ya watu yalisubiria kwa hamu hayo masaa machache yaliyo bakia waweze kuushuhudia usiku mpya wa mwaka 2017 ,wengi wali subiria masaa yale wakiwa sehemu za starehe wakipata moja moto na nyingine baridi na baadhi waliusubiri mwaka mpya katika nyumba za ibada na wengine majumbani mwao. Shamra shamra kutoka kwenye kila kona ya dunia zililindima kutoka kwa watu walio usubiri huu mwaka kwa hamu ya…

Read More

SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 9 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU 1 – 3 SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU 4 – 6 SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU 7 – 9 SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU 10 – 12

Read More

ROHO YAKE INADAI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 8 Asubuhi ya saa moja na nusu … . “Olivia!” Mama akaita. Akajaribu kufungua mlango, haufunguki! Akapigapiga kioo kumshtua, hamna majibu. Olivia alikuwa anatazama mbele, akitabasamu, akipeleka usukani kushoto na kulia. . . “Mama,” Brian akaita. Alikuwa ameshaanza kupata hofu. Wisconsin alimshika Mama Brian mkono akamwambia, “Huyo si Olivia!” mara Olivia aliyekuwepo kwenye gari akageuza uso wake na kuwatazama. Ajabu uso wake ulibadilika ghafla na kuwa mweupe pe kama kitambaa. Michirizi meusi ikachipuka usoni. Macho yamekuwa meusi ti na fidhi zake zikajazwa na meno mithili…

Read More

ROHO YAKE INADAI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 Binti huyo mdogo alikuwa anatazama hapo dirishani. Ni kama vile alikuwa anamwona Brian na pia anamfanyia mazingatio. Brian akamtazama vema binti huyo. Akili yake ikamwambia ndiye mtu aliyemwona kwenye ndoto siku ile. Akili yake ikamwambia kuwa binti yule ni Kecie! . . Brian akafikicha macho yake kama mtu asiyesadiki. Alipotazama tena, bado akamwona binti yule! Alikuwa amesimama kama mstimu akimtazama, ila wanafunzi wengine walikuwa wanampita kana kwamba hamna kitu. Ina maana walikuwa hawamwoni! . . “Kecie!” Brian akasema kwa kunong’ona. Ajabu binti yule akatikisa…

Read More

ROHO YAKE INADAI ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Massachusetts, Boston, 1975. Mwanaume mmoja mrefu aliyevalia suti na koti refu jeusi alisogelea mstimu wa umeme na kusimama hapo. Mwanaume huyo alikuwa ni mzee wa makamo ya hamsini na, na mkononi mwake alikuwa amebebelea makaratasi kadhaa rangi nyeupe ielekeayo kuwa kahawia. Alikuwa ameupinda mdomo, na macho yake yalionyesha kuchoka. Hata mwendo wake uliunga mkono hilo. Alichomoa karatasi mojawapo kati ya zile alizozibeba, akaibandika hapo mstimuni na kabla hajatazama kama karatasi hiyo imekaa vema, akaendelea na safari yake. Bila shaka alikuwa na kazi kubwa mbele…

Read More

NYETO NYETONI – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 25 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: NYETO NYETONI 1 – 5 NYETO NYETONI 6 – 10 NYETO NYETONI 11 – 15 NYETO NYETONI 16 – 20 NYETO NYETONI 21 – 25

Read More

PENZI NI HAKI YANGU – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 10 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: PENZI NI HAKI YANGU 1 – 3 PENZI NI HAKI YANGU 4 – 6 PENZI NI HAKI YANGU 7 – 10

Read More

NYUMBA YA MAAJABU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 Walikaa pale sebleni kwa muda kidogo na hata mchana iliwakutia pale pale, muda kidogo Neema akamwambia Sophia kuwa chakula cha mchana kilikuwa tayari mezani, Sophia alimuangalia na kumuuliza kuwa amekipika muda gani kwani kwa kumbukumbu zake walikuiwa wote hapo sebleni kwa muda wote pamoja. Neema akatabasamu na kumwambia Sophia, “Tulikuwa wote ndio ila wewe muda mwingi ulikuwa unasinzia, mimi nimeenda kupika nimekula hata hujajua. Pole dada, ila ni hali yako hiyo ndio imekufanya hivyo” “Kheee kwani unajua kama mimi nina mimba! Nani kakwambia?” “Si…

Read More

NYUMBA YA MAAJABU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Ilikuwa ni siku ya furaha sana walipohamia kwenye hii nyumba nzuri na ya kupendeza, tena iliyovutia katika macho ya watu wengi sana. Mke alisikika akimuuliza mume wake, “Ibra, uliwezaje kuwekeza pesa nyingi za kununua nyumba nzuri kama hii?” “Mke wangu Sophia, kwakweli mambo ya Mungu ni mengi sana, hata mimi sikutegemea kupata nyumba kama hii kwa ile pesa ambayo nilikuwa nayo. Kwakweli tushukuru tu kwa kupata mwanga wa maisha” “Nadhani sasa mipango yetu itatimia mpenzi” “Ndio mke wangu kwa hapa lazima mipango itimie” “Hivi…

Read More

SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 10 Suma hakuamini alipoambiwa na Kidawa kuwa akitoka kazini apite kwa Kidawa! Simu ilikata aliruka kutoka kwenye kiti chake akasimama akaanza kushangilia kama kaokota almasi mchangani! “Yes!!!” Alijipanga ili kuhakikisha anampa dozi nzuri na tamu sana mpenzi wake huyo alimmiss sana! Sabrat alifika home akaingia bafuni akaoga kisha akajifunga kanga moja akakaa sebuleni! Mawazo yake yote yalikuwa kwa Suma, mwanaume huyo alimchanganya sana binti huyu wa kijini! Akajikuta anatamani muda ukimbie ili jioni ifike mapema Suma atoke kazini apitie kwake kumpa penzi! Muda…

Read More

SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 7 Moyoni nilihisi kufarijika maana ile aibu n dharau sasa vitapungua nilisema nikirudi lazima nifanye kitu!!!! “Haya lala mwanangu ngoja mi nikalale,tutaonana kesho hakujakucha nilikuja kukushtua usiharibu dawa!” “Sawa mama!” Niliinuka nikijihisi mwepesi sana nikakojoa nikarudi kulala! ********* Asubuhi kulikucha nikaamka na furaha sana,nilitoka nje nikamkuta Bi Mwana kashaamka anaota zake jua! Nilimsalimia akaitikia kwa uchangamfu mkubwa,Ila tofauti na siku zingine nilimuona alikuwa akiangalia sana jua,ikabidi nimuulize. “Mama,mbona unaangalia sana jua?” “Mmmhh!acha tu mwanangu!” “Kuna tatizo mama!” “Hapana naliangalia sababu kuna siku zinakuja…

Read More

SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 4 Tulipoishia…. John tayari kachomoa betri,kamtoa Kidawa bikra yake kamuingiza duniani,dunia ya mapenzi Ila hofu ya Kidawa ni kuwa anahisi John kamwagia ndani…. Songa nayo…. Nilimsukuma John pembeni,nikainuka nikapitisha mkono wangu kwenye kitumbua changu,nguvu ziliniishia kidole kilitoka na mbegu za John!! “Aaaahhhh!!John mbona umemwagia ndani sasaa!!” Nilimuuliza John ambaye hakuonyesha wasiwasi wowote,ndiyo Kwanza alijigeuza akaangalia pembeni nilikaa chini hapo naskia maumivu makali huku chini na mawazo ya mimba tena,nilijuta kumfahamu John! “Ndiyo huku uliniahidi ntapata furaha John??” Nilimuuliza John ambaye alisimama akaniangalia Kisha…

Read More

SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Kidawa Said Kidaluso,ndiyo majina yalioandikwa kwenye kitambulisho changu cha Taifa(NIDA).Nilitabasamu nikikumbuka vile nilivyokipata siku mbili nyuma! Sikuhangaika sana kukipata kama wenzangu na mimi,sikupanga foleni nikachomwa na jua la utosi kama wenzangu. Nilishasikia serikali ikitangaza sana kuhusu kusajili laini kwa alama za vidole,kama unavyojua watanzania hatuamini mpaka tuone,Ila nilipoona Mambo yamekuwa magumu kila kona naskia NIDA!NIDA!NIDA! Nikiwasha redio NIDA,nikiwasha TV NIDA na popote ninapokwenda ni NIDA. Maji yalipofika shingoni nikaona isiwe tabu nikachukua simu yangu,nikaitafuta namba ya buzi langu linalofanya kazi kwenye idara…

Read More

TAREHE 9 SEPTEMBER ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 3 Asubuhi palipokucha Zack alidamka mapema,, akaenda kufungua maduka yake.. kisha akawaacha wafanyakazi wakiendelea na kazi,, yeye akaingia ndani ya gari lake akaelekea kwa lafiki yake kipenzi,, ili ampeleke kwa mganga! alipofika akamkuta rafiki yake anamsubiri! bila kupoteza muda wakaongozana mpaka ndani ya gari la Zack na safari ya kuelekea kwa mganga ikaanza! walitumia lisaa limoja njiani, hatimae wakafika kwa mganga aitwae MANYENYE,,Nyumba ya Manyenye ilionekana kujengwa kwa miti na kuzungushiwa nyasi kavu,, na nje ya nyumba hiyo,, kulikuwa na mawe mawili makubwa kiasi yakiwa…

Read More

TAREHE 9 SEPTEMBER ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Mnamo mwaka 2007,,alionekana binti mrembo kupita kiasi akitokea bafuni,, akazipiga hatua kuufuata mlango wa chumba chake,,,binti huyo anaitwa shamy! akaufungua mlango wa chumba chake akaingia ndani,, Shamy alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu,,maarufu ka MLIMANI/UDSM….huu ulikuwa mwaka wake wa mwisho chuoni,,, akichukua shahada ya udaktari… Shamy akajifuta matone ya maji yaliyokuwa mwilini mwake kisha akavaa gauni lililoshikilia mwili wake na kuonekana vyema uhalisia wa umbile lake lililokuwa linamvuto wa aina yake! wanaume wengi walimtaka Shamy kimapenzi,, lakini Shamy alikuwa na msimamo mmoja tu,,,,, akili…

Read More

KIBAMIA – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi EPISODE 1 – 14 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: KIBAMIA 1 – 3 KIBAMIA 4 – 6 KIBAMIA 7 – 10 KIBAMIA 11 – 14

Read More

AZIZA WA FACEBOOK ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu ya 5 Japokuwa Eduado alikuwa amenipa ishu ya kumfuatilia Aziza kama mchezo fulani lakini kadri siku zilivyokuwa zikizidi kwenda mbele na ndivyo ambavyo nami nikazidi kufall inlove. Nilikuwa nikipenda sana Aziza, kila nilipokuwa nikiingia facebook na kumkosa, sikuwa nikijisikia raha kabisa. Kuna nyakati za shida zikaingia, nyakati ambazo sikuweza kumuona Aziza hewani. Katika nyakati hizo maisha yalikuwa ya tabu sana, nilikuwa nikikosa furaha hata katika maisha ya kawaida. Nilimzoea sana Aziza, nilimpenda sana Aziza kwa hiyo kutokuuona uwepo wake machoni mwangu kilikuwa ni kitu ambacho kiliniumiza…

Read More

AZIZA WA FACEBOOK ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu ya 1 Najisikia nimechoka sana, nimechoka sana kwa sababu nilikuwa nimetoka kucheza mpira uwanjani huku nikiwa nimechafuka kupita kawaida. Ninapofika nyumbani, ninaoga na kisha kuchukua simu yangu kwa ajili ya kuangalia updates za facebook, sikukuta hata meseji moja zaidi ya notification tu, tena wala hazikuwa nyingi. Nilichokifanya ni kuanza kuzugazuga hapa na pale na kisha kutulia. Mara ghafla nikaona namba moja nyekundu kwenye sehemu ya meseji, kulikuwa na meseji imeingia, nilichokifanya, nikaifungua na kuanza kuchati na mtu huyo huyo. EDUADO: Mambo vipi Shahruk Khan. MIMI: Hahahha!…

Read More