Mambo 12 Mabaya Wasichana Angalieni Kabla Mwanaume Hajakuoa Wanawake wengi wanajulikana kwa msingi wa maamuzi yao ya ndoa juu ya mambo ambayo hayatadumu maishani. Haya makosa wameyafanya wengi wao kuingia kwenye ndoa zisizo sahihi na kugeuka kuwa watumwa wa maisha ya ndoa. Tunahitaji kutambua na kukabiliana nayo: 1) UREFU: Ndoto ya kila msichana leo hii duniani ni kuolewa na mvulana mrefu, mweusi mwenye sauti ya baritone, nashangaa walipata wapi wazo la kuwa wavulana warefu ni bora zaidi kuliko wengine kwenye ndoa. Halo Wasichana, mtu mrefu anaweza kukupa shida ndefu; urefu sio kitu muhimu lakini cha mhimu mtu awe na kina…
Author: Raha Special
Njia Za Kumfanya Mwenzi Wako Afurahie Kutumia Muda Na Wewe 1. KUWA NA AMANI Watu wengi hujikuta wakirudi eneo lile linalowapata amani 2.KUTIMIZA MAHITAJI YA MWENZI WAKO Wakati mwenzi wako ANAKUTIMIZIA mahitaji yako ya kimapenzi na ya kihisia lakini anahakikisha umerizika, utaendelea kurudi kwake 3. KUWA MTU WA KUTHAMINI Mshangilie mwenzi wako, onyesha kwamba unamthamini. Watu huenda mahali wanaposherehekewa, sio kuvumiliwa tu 4. ONGEZA THAMANI YA MWENZI WAKO Mwenzi wako anapokuwa na wewe, kuna wakati mwache aondoke akiwa yupo kwenye ubora, mwenye busara, aliyeburudishwa zaidi, mwepesi, mwenye furaha zaidi kuliko hapo awali. Kuwa mtu ambaye huongeza thamani kwa kusudi la…
JINSI YA KUOMBA KUFANYA MAPENZI KWA MWENZI WAKO 1. Mguse kwenye sehemu za kumsisimua ili kumtia hamu. Chuchu, shingo, au mgongo 2. Mabusu karibu kila mara humfanya afikirie kufanya mapenzi 3. Oga nae au mwalike mwenzi wako kwenye kuoga, fanya mazoea hayo mara nyingi. Cheza nae ukiwa bafuni 4. Mtumie mwenzi wako meseji za kihuni hata kama mchana huku ukimwambia utakavyomfanyia. uKifika wakati unafika nyumbani, nyinyi wawili mtakuwa katika hali ya hamu 5. Pandisha mwili wa mwenzi wako joto la juu zaidi, miguso na mhemko itamsisimua mwenzi wako 6. Mavazi kwa ajili ya tendo la ndoa. Kuna nguo za ndani…
UKWELI KUHUSU WANAWAKE 1- Mwanamke anapokuwa na hasira, zaidi nusu ya anachosema-huwa hamaanishi… 2- Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume anayempenda kwa dhati. 3- Mwanamke si kama ‘detol advert’, usipomtunza wewe… kuna Wengine watamtunza. 4- Inachukua muda kwa mwanamke kumwamini mwanaume, ni ngumu mwanamke kubadilika anapofanya maamuzi yake, lakini . 5- Mwanamke ni kama shule ambayo hata ukisoma vipi huwezi kuhitimu. 6- Cheti chako cha ndoa sio “leseni ya kuendesha gari”, Cheti chako cha ndoa ni “sawa na kibali cha kuendeshea gari tu. 7- Anaweza kuwa uchungu sana moyoni lakini usiku huwa mtamu sana, yote…
Mambo 10 Ambayo Wanawake Wanayapenda Kwenye Tendo La Ndoa Lakini Wanaogopa Kukuambia. Kwa hiyo ukiwaona usiwachukulie kama wa bei nafuu au bei poa, jaribu kuwapuuza, lakin usipuuze hisia zao au la usiwakatae kabisa kwasababu ndugu yangu kukataliwa kunaumiza mno Hii inaweza kumfanya mwanamke akate tamaa kihisia, ajione kuwa mtu asiyejua mapenzi, unajua kuwa kuchukia tendo la ndoa na kujiona huna thamani hupelekea kuharibika kisaikolojia na kupelekea kuwa katili saa zote na kukosa moyo wa kibinadamu. Mwanamke AKikataliwa kijinsia na mwanaume kunaweza kumfanya mwanamke ajione kuwa hatamaniki na hana thamani katika hii dunia na kuharibu heshima yake kwa 80%! Mojawapo ya…
JINSI YA KUWA MKE MWENYE UPENDO NA BORA 1. Kumbuka kwamba mapenzi si jukumu la mume peke yake 2. Mpongeze mumeo akiwa amevaa vizuri na ananukia vizuri 3. Gusa paja la mumeo wakati anaendesha gari au ameketi karibu hasa unapotaka kumwambia jambo. 4. Wakati mwingine jaribu kutumia simu kumchombeza kwa maneno ya chumbani kiuchokozi 5. Chezea vidole vyake wakati nyinyi wawili mna mazungumzo ya kwenu binafsi na kujadiri maisha 6. Jaribu Kumbembeleza na kuweka kichwa chake kifuani mwako mkiwa wawili kitandani 7. Weka mkono wako kwenye mikono yake kama Malkia anayejua msimamo wake kwenye ndoa 8. Wakati mwingine vaa Mavazi…
Fanya haya ili Umuone Mpenzi wako ni Mpya kila Siku – Hutamchoka kabisa Mwanamume na mwanamke wanapooana na kufanya ngono mara kwa mara, ni rahisi kujenga mazoea na kutengeneza njia ndogo za mapenzi na kufanya kila mtu kupunguza hamu kwa mwenzie na kumuona wa kawaida mpaka itokee siku mmoja kati yao awe na hamu ya tendo la ndoa. “Tayari mnapeana raha lakin za muda mfupi. Ifuatayo ndiyo njia halisi na halali na itakayokufaa ili usijenge mazoea na kumuona mkeo/mpenzi wako wakawaida 1. Kumkumbatia mwenzi wako. ni Kitu rahisi sana japo watu wengi huchukulia kawaida 2. Kumbusu mwenzi wako sehemu nyingi bila kuwekewa…
JINSI YA KUTUNZA HISIA ZA MKEO/MPENZI WAKO 1. Mtazame machoni wakati anazungumza nae, ili kumfanya ashindwe kujiamini wanawake wengi huwa hawajiamini wakiwa wanatazmwa na mwanaume usoni 2. Wakati unavuta pumzi, mpe nafasi aongee. Ni jambo la mhimu sana kuwa na mtu asiyeweka vitu rohoni na kukuficha 3. Mguseguse mahara mbalimbali. kishike kiganja Sugua mkono wake, mshike kiuno, kumbusu. maana mwili wa mwanaume na mwanamke ikigusana huamsha hisia 4. Wakati wa shida akiwa analia, usiondoke chumbani. Mkumbatie, mfariji, awe analia kwa sababu yako au kwa suala lingine 5. Asubuhi Muulize hali yake, alilala vipi, siku yake imekuwaje. neno Habari za asubuhi,…
MTAMKIE MPENZI WAKO/MKEO/MUMEO MANENO HAYA Nikiwa na wewe ninahisi kama npo kwenye ndoto ambayo sitaki kuamka. Busu lako nyororo huondoa pumzi yangu na kuuacha moyo wangu ukipaa juu yako. Jinsi unavyonitazama kwa upole na uangalifu kama huu hunifanya niwe kwa ajili yako tena na tena. nazipenda Nyakati rahisi kama vile kushikana mikono huku ukinitazama au kujikunja juu ya kochi na ukiwa na furaha. Mapenzi yako na mahusiano yetu ya kina kati yetu ni tofauti na kitu chochote ambacho ninewahi kupata hapo awali. napenda kupotea katika macho yako yanayovutia na jinsi unavyofanya nikumis. Wewe ni mtu wangu wa karibu,…
TIBA 10 BORA ZA MAHUSIANO 1. Upendo ni chaguo. unatakiwa kuwajibika kwenye chaguo lako. Hakuna asiyejua kupenda. Mapenzi na vivutio ni vitu viwili tofauti, unaweza kuvutiwa na mtu lakini mapenzi yakafifia mapema. 2. Furaha yako, utimilifu wa furaha unakutegemea wewe, kwa maana nyingine usiruhusu mtu yeyote kukuamulia furaha yako wakati wewe unapaswa kuwa na furaha yako kwaajili ya maamuzi yako, Kuwa huru kihisia. Usiwekeze hisia zako kwa mtu yeyote bila kumtambua vizuri, kumbuka kwenye chaguo lako unapaswa kuwajibika kfanya maamuzi yako mwenyewe 3. Kukabiriwa na changamoto. Watu wengi wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mahusiano/ndoa zao kwa sababu ya hadithi nyingi…
MPENZI ASIYEKUPENDA MKIWA KWENYE WATU WENGI Wakubwa TuMasomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/18nzXdfWCm9wnMHyQOR4M8VOrtTLAvB6I/view?usp=sharingHealth Benefits of Love 1. Improved Mental Health and Reduced DepressionIn a loving and supportive relationship, you have a partner with whom you can share your thoughts, feelings, and challenges, reducing feelings of loneliness and isolation. Emotional support and encouragement from a loved one can also boost self-esteem and self-worth. 2. Pain Relief and Increased…
KWA NINI MPENZI WAKO HAKUPENDI SANA? Wakubwa TuMasomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/1FBGxxAExAkwiyYWO6Mk8S8t_VgtWA21k/view?usp=sharingHealth Benefits of Love 1. Pain Relief and Increased Pain Tolerance Emotional connection and closeness with a loved one may cause the production of endorphins. Endorphins are often referred to as the body’s natural painkillers. They have the remarkable ability to block pain signals, reducing the perception of discomfort and physical distress. This pain-relieving…
ANAYEKUTESA KIMAPENZI, NA YEYE ANATESWA PIA Wakubwa TuMasomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/1yBDWNWgaps6i_qqLiy2vPLCCUXwxUyWm/view?usp=sharingWhy Love is Most Important? 1. Love is the foundation of spiritualityLove is the bedrock of spirituality because humans are spiritual beings. Do not equate love to sensations like desire and sexuality alone. Your personal relationships, including romantic ones, strengthen your spiritual love. Some cause pain to teach you forgiveness, while others lead to…
MWANAMKE ASIYEKUPENDA ANAVYOATHIRI NGUVU ZAKO ZA KIUME Wakubwa TuMasomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/1OLog65zIm2Ly2OeZbxOrLxC3R2CXCYGP/view?usp=sharingHistory of Love Only fairly recently has love become the subject of science. In the past, the study of love was left to “the creative writer to depict for us the necessary conditions for loving,” according to Sigmund Freud. “In consequence, it becomes inevitable that science should concern herself with the same…
SABABU ZA WATU KUTESEKA KWENYE MAPENZI, NA UFUMBUZI WAKE Wakubwa TuMasomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/1ax3fV83DClBckd8KVY3-BynRY2FR8Soi/view?usp=sharingSignificance of Love in Our Lives 1. Love spurs healthy emotional development and attachments. As babies, we all search for love from our caregiver(s). When a parent talks to a child, touches them gently, or rocks them to sleep, they’re infusing their offspring with feelings of love. A child…
TABIA ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA AKIFIKA KWAKO Wakubwa Tu Masomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea. Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi. BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi, au soma kama zinazovyoonekana hapo chini:https://drive.google.com/file/d/1ENmBpW2MrTxdWmNK9G7h9dzzyqBArf-u/previewWhy Love Is Important in Relationships, Society, & for Yourself 1. Lowers Blood Pressure Happily married couples tend to have better blood pressure levels than those who are unhappily married or single. So, when you’re with the one you love, that light, fluttering…