𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗨𝗦𝗜𝗜𝗡𝗚𝗜𝗭𝗘 𝗬𝗢𝗧𝗘 𝗜𝗡𝗔𝗨𝗠𝗔
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 16
Kumbe Pamela alivyotoka na spidi ile alienda moja kwa moja ofisini kwa Mr Donald, alipofika alianzisha fujo akidai kusalitiwa na Mr Donald, Mr Donald alimuuliza:
“Wewe ninani kwangu hadi nikusaliti eeh!, naomba usijizime data kabisa, haya potea hapa huna maana yeyote kwangu”
Pamela aliendele kusema kuhusu mimi akidai ni mtoto wa mchepuko wake Mr Donald, ndipo Mr Donald alimropokea na kumuambia kuwa:
“Sawa sasa haya ondoka sina uhusiano wowote na wewe, hata mtoto unaedai niwako hakutaki, na mimi pia nilisha kufuta kwenye kumbukumbu zangu kama tuliwahi kuwa wazazi, hivyo potea maishani kwetu hatuku taki hilo unalotaka kwangu haliwezi kutokea kamwe, potea huko”
Pamela aliona aibu kwani hakuna maneno mazuri hata moja anaambiwa kila anapokutana na Mr Donald, alikuwa wakulia tuu lakini hakuchoka kila siku kumfuata, siku moja ilikuwa ni siku yangu ya kuzaliwa yaani birthday, nilikuwa sina hili wala lile Mr Donald na Henry aliniandalia tafrija bila mimi kujua, walialikwa baadhi ya wafanyakazi wa ofisini kwake Mr Donald, marafiki pamoja na baadhi ya ndugu zake Mr Donald, ilipofika jioni nikiwa natoka chuo sina ninalo lijua mimi, nilipofika nyumbani pale getini nilipiga honi mlinzi alinifungulia geti nikiwa naingia, nilishangaa kuona ukimya mkubwa nyumbani na giza totoro, nilipaki gari na kumuuliza mlinzi:
“Uncle vipi leo mbona kunagiza namna hii?
Yule mlinzi nae alipangwa namna ya kunijibu, akaniambia:
“Sijajua nini tatizo boss”
“Ndani yupo nani ina maana Henry na daddy hawajarudi, hapana saa mbili hii sio kweli bwana, na da Merry pia hayupo?
“Nilimuona Merry akizunguka kule kwenye garden nenda mtizame huko”
“Sawa”
Nilienda garden sikuelewa niliona giza nene, nilivyo muoga nikawa nasogea huku nikiita:
“Da Merry upo wapi?
Nilipofika garden ile nisogee kidogo nilishangaa taa zilinimulika, na hapo hapo nilisikia watu wakiimba:
“Happy birthday to you”
Nilishtuka sana badala ya kushangilia nilijikuta nalia pekeangu, alikuja daddy na kunikumbatia kwa nguvu huku akinong’oneza sikioni”
“Pole kipenzi kwa mshtuko usilie haupo mwenyewe tupo wote, na hii ni planing yangu na Henry please”
Wakati huo Henry aliniletea cake na kunisogezea nipulize mishumaa, nikapuliza nikiwa nimekumbatiwa na daddy Donald, baada ya hapo nilimjibu daddy:
“Hapana silii kwakuwa umenishtukiza, bali mmenifanya nijione wa thamani kiasi hichi daddy, asante sana”
“Usijali dadaangu mimi pia nilitamani nikufanye uwe mwenye furaha sana, lakini ona sasa unalia tusamehe dada mimi na daddy”
Nilijitoa mikononi mwa daddy na kwenda kumkumba tia Henry, huku nikimuambia:
“Jamani kipenzi changu silii kwa maumivu nalia kwa furaha, asante sana nilikupenda nakupenda nitaendelea kukupenda siku zote kipenzi changu”
Tulikuwa na furaha sana watu wote waliokuwepo pia walifurahia sana, baada ya muda tukiwa tunafurahia niliwalisha cake, watu wote huwezi amini na Pamela alijipenyeza alikuwepo ndani ya pati yetu, nilishindwa kuelewa nilikuwa najiuliza au daddy amemsamehe, niliona nisivuruge furaha ya watu hivyo nilikaa kimya na kujumuika kufurahia pamoja, tukiwa tunakunywa na kucheza mziki daddy aliomba usikivu wetu wote na wageni waalikwa, akasema mbele ya watu:
“Naomba mbele yenu wote muwe mashuhuda kwa hili, naenda kumuomba mrembo akubali kuchumbiwa namimi, kwanza kabisa Henry je unaniruhusu nifanye hivyo”
Kila mtu alifurahia na kutamani kujua ninani anaeenda kuchumbiwa usiku wa leo, pia mimi nilikuwa na wasi wasi je nimimi au huyo Pamela, Pamela aliamini niyeye kanisa bila ubishi.
SEHEMU YA 17
“Nataka kwanza mwanangu kipenzi Henry anipe jibu kama ananiruhusu, haya kijana wangu njoo haraka na uniambie”
kweli Henry alisogea mbele na kusema:
“Mimi ninani nisijari furaha ya babaangu kipenzi, na napenda kukuona ukiwa na furaha baba haya tafadhari muite huyo mrembo na umchumbie haraka tafadhari”
Donald alimkumbatia mtoto wake Henry na kisha alisema:
“Naomba binti mrembo kuliko wote mrefu kama twiga mwenye haiba ya kike, ana aibu sana na mwenye upendo mkubwa kuliko chochote, huyo binti yupo hapa hapa, alimlea mtoto wangu na kumjali kama alisha wahi kuwa mama, japo kuwa alikuwa mdogo lakini alikuwa akihakikisha mtoto wangu haisi kumkosa mama, aliumia alipomuona mwanangu kaumia alilia alipo muona mwanangu analia, nataka mjue nampenda sana tena sana zaidi ya sana, na huyo mrembo ni Camira”
Kisha daddy alitoa Pete na kupiga goti huku akiniambia:
“Tafadhari nakuomba Camira kuwa mke wangu, kuwa ubavu wangu wapili, kuwa dunia yangu yenye utulivu na amani”
Nilikuwa nimesimama mbele yake kiukweli nilijawa na hisia nzuri na kujikuta natokwa machozi ya furaha, Henry akanisogelea na kuniambia:
“Camira tafadhari usikatae kwani nisingependa kuona tunatengana mimi wewe na daddy siku zote, naogopa usije kuchumbiwa na watu wengine ukatuacha sisi, Camira nilikuwa najua kuwa wewe ni dadaangu wa kuzaliwa, lakini nilikuja kugundua kuwa wewe haukuwa dadaangu wa damu, hivyo niliumia sana kiukweli unajua kwanini, ulinijali sana kuliko hata mama alienizaa ulinipa mapenzi ya kweli, na ulinifunza kilakitu kuongea kutembea kijiamini na kujitegemea, pia ulinifundisha nini maana ya upendo upendo wakweli, ulimfanya daddy kuwa na nguvu tena ulimfanya awe mwenye subira, tafadhari pokea pete ya daddy tusije kutengana tena”
Nilimkumbatia Henry na huku nikilia na nilimuambia:
“Jamani kwanini mnakuwa hivii Henry unadhani naweza bila wewe na daddy Donald, haya tafadhari Mr Donald nivalishe Pete nataka kuambatana na wewe popote kule utakapoenda, sitaki kutengana na familia yangu yakweli”
Nilinyoosha mkono na kumruhusu anivalishe pete, wakati Donald ananivalisha pete ilisikika sauti ya mwanamke Pamela akisema:
“Donald ni mumewangu mimi pekeangu mimi ni mama wa Henry”
Donald hakujali hadi alipoiingiza pete kidoleli kwangu kisha akasimama na kusema:
“Mabibi na mabwana sizani kama kuna mtu aliwahi kusikia kuwa Donald ameoa, au hata kamchumbia mtu ila leo ndio mara ya kwanza kufanya hili, hivyo ninawashukuru sana kuwa nami kwa usiku huu waleo, usiku uliojaa furaha na upendo mkubwa kwangu asante sana”
Henry alienda getini na kumuita mlinzi na kisha akamuambia:
“Umewezaje kumruhusu Pamela kuingia ndani kuharibu furaha yangu, ili usipoteze kibarua chako haraka nenda hakikisha unamtoa bila vurugu”
Yule mlinzi alimfuata Pamela na kumdanganya kuwa kunamtu anataka kuongea nae, hivyo alijua moja kwa moja atakuwa Henry au Donald, hivyo alimfuata mlinzi hadi getini, alipo fika alimuambia:
“Sitaki kukipoteza kibarua changu tafadhari ondoka mwenyewe kabla sijakuonyesha upande wangu wa pili”
Hivyo Pamela alikasirika sana na kutoka ndani ya geti la Mr Donald, tulisherekea kuvishwa pete na birthday yangu, watu walitupongeza kwa hatua tuliofikia, wengi walimsifia sana Donald na kumuambia:
“Hakika umepata binti mrembo sana yupo kama modo hivi, anakitu furani hiviii ndani yake huyo mrembo, hivyo mfanye afikie malengo yake pia”
Kiukweli Mr Donald alifurahishwa sana na watu kunisifia, alikuwa muda wote kaushikilia mkono wangu, hakuruhusu kabisa mtu yeyote anisogelee, hadi sherehe inaisha watu wakatawanyika na kutuacha wenyewe nyumbani kwetu, tuliingia ndani Henry alikuja karibu yangu na kuniambia:
“Haya sasa acheni kujificha kama paka na panya, uwanja ni wenu sasa nenda kwa daddy ila kuwa makini ni mzee huyoo”
Kisha alicheka na kukimbia nilitoka mbio na kumkimbiza, alikimbilia chumbani kwake na kuufunga mlango, nilisimama mlangoni na kumuambia:
“Henry wewe acha ujinga wako, unavyojua nitamfanya nini huyu mzee mimi”
“Ahahahaaaaa dada nimesema tuu mbona umepaniki mimi mwenyewe najua huna la kumfanya maana kazeeka tayali, ahahahaaaaa”
“Sawa bwana umeniweza naenda kulala sasa, ila kesho njoo mwenyewe nivute masikio yako hayo mtoto mtukutu”
“Ok sawa nitafanya hivyo dadaangu”
“Usiku mwema kipenzi changu mtukutu”
“Nakwako pia mama”
“Mh! Yaani wewe, utanifanya nikeshe hapa”
Kisha niliondoka hapo mlangoni kwa Henry huku nikitabasam, nikiwa sebleni nilishangaa nimevutwa na kunyanyuliwa juu juu, nilishtuka na kumtizama aliefanya hivyo alikuwa ni daddy Donald, alinipeleka hadi chumbani kwake kisha akafunga mlango, alienda akaniweka kitandani vizuri kwa mahaba yoote, nilimuambia:
“Ooh! Kumbe unanguvu bado?
“Unasema?
“Hapana sio mimi ni Henry aliniambia kuwa umesha zeeka niwe makini wewe”
“Oooh! Watoto wadogo wanapata wapi nguvu ya kunijadiri mimi, ili nisiwe midomoni mwao sasa ngoja nikuonyeshe”
“Wow”
“Mmh!”
Alivua shat lake na kufungua mkanda wa suruali yake, kisha alinisogelea na kuniinua akanifungua zipu ya gauni langu mgongoni, kisha aliinyanyua gauni akaitoa pembeni, alinitazama kwa matamanio makubwa chuchu zangu zikiwa zimesimama mithiri ya embe sindano, alinisogelea na huku akihema mapigo ya moyo wake yalikuwa yame badilika, nilikuwa nimelala chali akaja kwajuu yangu, alianza kwa kunitembezea ulimi vizuri kabisa shingoni akaja mdomoni na kushuka kifuani, alikuwa mtundu sana Mr Donald wa mahaba, alijua kucheza na sehemu muhimu za kumlegeza mtu, na kumfanya akili kilakitu hakika hatakama ni kesi ingekuwa ndio adhabu hiyo ili nifunguke, kwa huyu jamaa ningesha kuwa nimesha toa siri siku nyingi, aliendelea hakuishia hapo alishuka hadi kwa bibi kwanza alinivua chupi, na kuendelea hadi nilijikuta napiga kelele mwenyewe, nikisema:
“Donald………aaaahhhh! Mmmmh! oooohh! Nakojoa aaaah! Donald”
Aliniachia na kuniweka vizuri kisha alivua boxer yake, mashallah alikuwa yuko vizuri sana jamani mashine iko wima tayari kwa mechi tu, alisogea karibu yangu na kupiga magoti mbele yangu, aliinyanyua miguu yangu na kuiweka begani kwake, kisha alianza kuizamisha taratibu huku akinitizama machoni, alikuwa full romantic nilijikuta natokwa machozi ya raha tuu aliingiza yote, hadi nilitoa sauti:
“Aaahhhh! Mmmmhhhhh! Aaassshhhh! Oooohh!……aasshhhh!…baby!, mmmmhhh oooh!… Aaaashhhh!
Ilikuwa ni tamu hadi nilikuwa nachanganyikiwa, nilipiga kelele za mahaba jamani huku nikimfinya na kumkwangua mgongoni, ilikuwa sio shoo ya kitoto nilivurugwa na kumpa sarut Mr Donald nilimuambia:
“D umeniweza asante ………asante baby umenijulia oooh! Asssshhhh, tamu sana jamani”
Aliongeza kasi na nguvu pia alinishika vizuri na kuning’ang’ania, kumbe alikuwa akipiiz aliunguruma na huku jicho likiwa limemtoka haswaa, hadi alipo maliza kisha alijilaza kifuani kwangu kwa uchovu mkubwa, na akiniambia:
“Asante sana baby”
Nilimkumbatia pia nikamuambia:
“Asante wewe ulienifundisha kilakitu ulieniingiza kwenye hii dunia ya mapenzi, hakika nina enjoy sana penzi lako Donald”
“Karibu sana kipenzi changu nakuahidi nitakulinda kama mboni ya macho yangu”
Tuliinuka na kwenda bafuni kuoga pamoja na tulipo maliza tulirudi kitandani, tukalala tukiwa tumekumbatia vizuri hadi asubuhi tulkiwa bado tupo kitandani, tulisikia mlango ukigongwa tulishtuka:
SEHEMU YA 18
Hivyo Donald aliinuka na kusogea mlangoni na kuuliza:
“Nani?
Alijibu da Merry:
“Ni mimi Merry boss”
“Mbona asubuhi asubuhi jamani kunanini kwani”
“Kunamgeni”
“Mgeni!, mgeni gani asubuhi asubuhi yote hiii, atakuwa ni Pamela tu, ngoja nakuja”
Donald alichukua pensi na tishet akavaa na kufungua mlango huku akimuuliza da Merry:
“Huyo Pamela yupo wapi?
“Hapana sio Pamela boss, ni mwanaume mmoja yupo hapo sebleni anamtaka Camira”
“Mwanaume anamtaka Camira?
“Ndio boss”
Donald alienda kwa shauhu na mshangao kutaka kumjua ninani, na anataka nini kwangu wakati yeye anaenda kumuona huyo mwanaume, na mimi nilichukua nguo na kuvaa ili niende kumuona ninani huyo kaja, hivyo Donald alikutana na huyo jamaan na kumuuliza:
“Wewe ninani hadi unamtaka Camira asubuhi yote hii?
“Mimi ni baba mkubwa wake Camira nimekuja kumchukua na kurudi nae nyumbani, kwani natumai mtoto wako kaisha kuwa mkubwa na anajiweza sasa, namchukua Camira mwanangu sasa”
“Camira ni”
“Sawa, naenda bamkubwa ngoja nijiandae”
Kabla hajamalizia Donald kuongea nikamkata kauli kwa kusema hivyo, kisha nilielekea chumbani kwangu kujiandaa ili niondoke na bamkubwa, Mr Donald alinifuata kwa nyuma na kuniambia”
“Hapana Camira huwezi kunifanyia hivi yaani kirahisi tuu unaondoka nae, na mbona umenizui nisimuambie kuwa wewe ni mchumba wangu eeh!?
“Hapana Donald sio kirahisi hivyo kama unavyofikilia mimi nawajua vizuri hawa watu, hivyo niache tuu niende kisha nitakutaarifu nini kinaendelea”
“Sio nini kinaendelea nataka nije wanitambue na nifuate taratibu zoote zinazo takiwa”
“Ok sawa basi mpenzi niruhusu niondoke sasa”
Nikiwa nimemkumbatia Donald na kumuambia hivyo, Mr Donald aliniambia:
“Basi sawa sina jinsi wewe jiandae na uende, ila utakuwa unanipa taarifa kila hatua”
“Ok sawa daddy”
Nilibadili nguo na kuvaa gauni lefu ambalo kwetu ndio tunavaa nguo aina hiyo, nguo fupi suruali ni nguo wanasema sio vazi la heshima, nilipo maliza nilichukua nguo chache sana na kisha nilitoka chumbani huku Mr Donald akiwa nyuma yangu, nilipofika sebleni nili muambia bamkubwa:
“Haya tuondoke sasa bamkubwa”
Kabla hatujaondoka alitokea Henry akaniambia:
“Ndio unataka kuondoka bila hata kuniambia kitu, unataka kurudia kufanya kosa kama alilolifanya Pamela nawewe?
“Hapana kipenzi imekuwa ghafla ila usijali nilazima ningeongea nawewe kwenye simu tuu, sikutaka kukuamsha nilijua utakuwa bado umelala, sikutaka kukushtua sipendi uumie kipenzi changu, haya sasa naondoka jiangalie vizuri na mtunze daddy by”
Tulitoka nje sikuchukua hata gari langu nililonunuliwa na Mr Donald, nili bolt na kisha tukaondoka na bamkubwa, kiukweli niliwaumiza sana Donald na Henry siku hiyo ilikuwa mbaya sana, hata mimi nilihisi maumivu ndani ya moyo wangu kutengana na watu niwapendao, baada ya masaa kadhaa tulikuwa tayari tumefika nyumbani, nilipofika nilimsalimia mamkubwa na bibi, kisha nilipumzika kidogo chumbani nilikuwa nachat na Donald muda wote, ili kumtoa wasiwasi juu yangu nikiwa chumbani alikuja mamkubwa na kuniambia:
“Camira kesho kutakuwa na shughuri ya uchumba wako hapa nyumbani, hivyo jiandae unakaribia kuolewa”
“Nini mamkubwa?
“Hujawahi kunikatalia kitu pia hili huwezi kunikatalia sawa kipenzi, hivyo naomba utulie tulifanikishe na hili pia litapita tu sawa?
“Lakini mamkubwa kwanini unanifanyia hivi mimi?
“Ni kwaajili ya ndugu zako pia kwa faida yako”
“Ndugu zangu, wamefanyanini?
“Hujui kitu wewe jiandae tuu sinamuda wakukueleza hilo”
“Lakini mamkubwa?
“Hakuna cha lakini hapa kaa kimya tuu”
Kisha mamkubwa aliondoka nje na kuniacha mwenyewe, ukweli nilivurugwa sana kwani hakuna anaetaka kunisikiliza kabisa, hivyo niliamua kumpigia simu Mr Donald na kumuelezea kila kitu, huwezi amini Mr Donald alichukia sana na kuniambia:
“Nilijua tuu kuna ujinga unaenda kutokea huko sasa ndio nini hivi, ninakuja Camira usiogope sawa kipenzi?
“Nahofu pia juu yako tafadhari acha nitajua namna ya kufanya Mr Donald”
“Siwezi kukuacha nakuja huko huko huwezi kunikatalia kwa hili nakuambia camira bay”
Kisha alikata simu na kujiandaa kwa safari aliingia ndani ya gari, akiwa yeye na dereva wake, wakaanza safari kuja Nzega, niliogopa sana maana huwa wanamambo yakikatili sana, sijui itakuwaje nilikuwa najiambia mwenyewe.
SEHEMU YA 19
Niliinuka na kumfuata bibi chumbani kwake, nibibi mzaa mama kisha nilimuambia:
“Bibi mbona mimi sielewi, yaani nimeletwa kama ng’ombe na kuja kuambiwa nijiandae kwa ndoa tuu, je mume anaeenda kunioa ananijua na mimi namjua hakuna, kwanini nimekuwa nafanyiwa mambo haya kilasiku bila kuulizwa nini nataka hata maramoja, au kwakuwa mimi sina wazazi bibi eeh!?
“Hapana mjukuu wangu haya yoote nimambo ya huyo mume wake mamamkubwa wako, na huyo mamamkubwa wako sijui yukoje anashindwa hata kumkatalia, ananiudhi sana mimi pia”
“Nimeongea na mamkubwa nikamuuliza kwanini unanifanyia hivi, alinijibu kuwa kwaajili ya ndugu zangu na faida yangu mimi, je unaweza kuniambia ndugu zangu wamefanyaje?
“Hao watoto wao kaka zako, wamesababisha balaa tuu, ndio wamekuleta wewe ulipie ujinga wao, kwa kuolewa na huyo mpuuzi mwenyekiti, niujinga huu”
“Bibi sipo tayari kuolewa na mwenyekiti mimi, tafadhari nisaidie bibi”
“Mimi pia sipo tayari kuona hilo linatokea mjukuu wangu”
“Bibi samahani kukwambia hili, najua nimekosea tayari, ila mimi nimevalishwa Pete ya uchumba tayari na mchumba wangu, ni boss wangu ndio kanichumbia bibi”
“Je unauhakika anakupenda?
“Sana, na hata nilivyomuambia kuhusu hili yupo njiani anakuja bibi, kanisomesha na hapa nilipo nilikuwa namalizia elimu ya chuo nikatafute kazi tu, ili nikuchukue nikakulee mimi mwenyewe umekuwa kama mama kwangu, bibi nisaidie kwa hili”
“Basi sawa tulia huyo mwenzio asijitokeze huku nyumbani akakae kituoni au barabarani sawa, kisha utatoroka haraka na kumfuata alipo, baada ya hapo mtaenda kufunga ndoa ya haraka kuzuia hili sawa kipenzi changu, lasivyo babaako mkubwa atakuchukua tuu na kukuozesha, jiandae usiku na urushe begi lako nje kisha toka kama unaenda chooni, iwe usiku sana wote wakiwa wamelala sawa?
“Sawa bibi”
“Haya kajitulize ila hakikisha unampa taarifa mwenzio sawa”
“Sawa bibi”
Nikaondoka na kwenda chumbani kwangu huwa nalala na mtoto wa mamkubwa wakike, alikuwa ni msichana mkubwa sasa tofauti na nilivyo muacha, nilimtumia msg Donald na kumuelekeza kilakitu alichonielekeza bibi, Mr Donald aliniambia:
“Sawa mpenzi wangu chochote nitafanya kwaajili yako nipo tayari, Camira ninakaribia kufika huko kuwa na amani sawa nakupenda baby”
“Nakupenda pia mpenzi wangu”
Kisha nilijifanya nimelala kitandani, alikuja yule binti mtoto wa mamkubwa, na kuniamsha kisha akaniambia:
“Dada mama anakuita ukale chakula”
“Kamuambie mama yako sina njaa tena”
“Lakini dada usifanye hivyo kwani utajiumiza wewe mwenyewe, inuka dadaangu japo tonge mbili tatu tuu utakuwa sawa”
“Asante nenda kale wewe kipenzi mimi nipo sawa tuu”
“Haya sawa”
Binti alienda na kumuambia mamaake, kisha mamkubwa alimwambia:
“Achana nae hata afanyeje nilazima ataolewa tuu na mwenyekiti, ili wanangu waachiwe mpuuzi mkubwa huyo”
Walimaliza kula na kila mmoja aliingia chumbani kulala, watu wa huko kijijini kwetu huwa wanakawaida ya kulala mapema sana, kuanza saa mbili mpaka saa tatu ndio usiku mkubwa haswaa, wanasemaga huwa kuna fisi wala watu huanza kuzurula mida ya saa moja ya usiku, ndio imani tumejijegea hivyo ila kwa usiku huo nilisema, ni bora fisi anile lakini sio ndoa hiyo yakipuuzi, hivyo nilimsubili binti hadi kalala kisha nilitupa begi dirishani, na baada ya hapo nilitoka na kujifanya naenda chooni, nilisogea dirishani kwa bibi kisha nilimuambia bibi:
“Naondoka bibi nitakurudia jiangalie vizuri kipenzi changu”
“Usihofu kuhusu mimi jiangalie wewe kuwa makini njiani sawa?
“Sawa bibi nakupenda sana”
“Hayasasa wahi nakupenda pia”
Niliondoka haraka nilipitia mashambani moja kwa moja, nilijikaza mno japokuwa nilikuwa naogopa kunatisha sana giza nene, hadi nilipotokea barabarani nikaiona gari ya Mr Donald nilipo muambia apaki, kwani angefika karibu na makazi watu wangeisikia gari lazima wangeamka, kwani magari kuja kwetu ni nadra sana, hivyo Donald aliponiona alishuka na kuja kunikumbatia huku akiniuliza:
“Upo sawa kipenzi haujaumia sehemu eeh! Hakuna kitu kimekuumiza baby?
“Hapana Daddy tuondoke haraka hapa sitaki hata kuvuta pumzi ya hapa, haraka D tuondoke”
Tuliingia kwenye gari na kuondoka safari moja kwa moja mjini, hadi kulipokucha asubuhi mamkubwa alikuja chumbani ninapo lala na binti yake, ili tuu kuniamsha niaze kujiandaa alishangazwa kumkuta mwanae pekeake, akamuamsha na kumuuliza:
“Dada yako yupo wapi?
“Sijui mama nilikuwa nimelala mimi sasa nitajuaje”
“Na begi lake pia halipo, kaondoka huyu mpuuzi mumewangu…….mumewangu!,
Aliita kwa sauti ya juu sana hadi bamkubwa akatoka upesi , na kumuuliza:
“Nini tena wewe makelele asubuhi yoote hiii?
“Mume wangu hayupo Camira, ametoroka”
“Mpuuzi mkubwa nikimpata atanijua mimi ni nani yake mjinga yule nipeni maji nisafishe uso wangu, atakuwa hajafika mbali huyo najua magari yanaodoka saa mbili nitamkuta tuu stend, mpuuzi mkubwa”
SEHEMU YA 20
Kwakuwa tuliondoka usiku sana tuliingia dar alfajiri hata baadhi ya watu hawakuwa wameamka, tulienda tukaoga na kubadili nguo kisha tulienda kwa mkuu wa mkoa kufunga ndoa ya kiserikali, kabla ya saa nne asubuhi tulikuwa tumeapa kuwa mume na mke, kisha tulirudi nyumbani tukiwa na vyeti vyetu, kwakuwa nilikuwa nimechoka sana Mr Donald akaniambia,:
“Kapumzike kidogo mkewangu kipenzi”
“Pia wewe umechoka sana njoo tupumzike wote”
“Basi sawa”
Tuliingia chumbani kulala hakika nilikuwa naamani kabisa, kwani mimi ni mke halali wa Mr Donald, hadi kufikia mida ya mchana tulichoka kupata chakula cha mchana da Merry alikuwa katuandali, wakati tunakula Henry alirudi na kunikuta alifurahi sana na kuja kunikumbatia, akaniambia:
“Wewe sio kama mama Pamela, wewe unajali na una upendo wa kweli nakupenda mama Camira”
“Ooh! Jamani Donald ona huyu mtoto anajua kukuza mambo tu, hembu njoo unikumbatie upesi nilimis kumbato lako sana”
Hivyo Henry alicheka kwa furaha na kuja kunikumbatia, kiukweli ninampenda sana Henry na niliogopa kama ningempoteza, hakika kwa sasa ninafuraha sana kisha nikamuambia:
“Haya kama mimi ni mamaako njoo ukae tule sasahivi”
“Nawezaje sasa kukataa nawakati wewe ni mamayangu mimi, haya ngoja nikanawe mikono yangu”
Henry alienda kunawa mikono yake na kuja kula chakula pamoja nasisi, tulikula chakula na kisha tulipomaliza kula Henry alienda chumbani kwake, nasisi tuliinuka na kwenda chumbani kwetu, tulikaa na kupiga story wenyewe, Donald akaniambia:
“Kesho tunaenda kuandikisha ndoa kanisani ili tuifanye kidini pia, sawa mkewangu kipenzi”
“Sawa mumewangu, furaha yangu ni kuwa wako na kilasiku nikiamka niwe nakuona wewe tuu pembeni yangu”
“Asante mpenzi mimi pia”
Siku hiyo iliisha vizuri kabisa, siku iliyofuata asubuhi na mapema mida ya saa tatu asubuhi, tulitoka mimi na mumewangu Donald na kwenda kanisani, tulifanikiwa kuandikisha ndoa na kisha tuliondoka na kurudi nyumbani, tulipofika nyumbani tukiwa tumekaa tunapiga story mara tulisikia kama fujo hivi getini, hivyo Donald aliamua kutoka na kwenda kutizama kuna tatizo gani, ndipo alimkuta baba mkubwa na wanaume kama watatu hivi, walikuwa wanafosi kuingia ndani hivyo Donald akamuambia mlinzi:
“Waruhusu waingie”
Wakaingia na kisha akawaambia:
“Karibuni sijui niwasaidie nini?
Bamkubwa akajibu:
“Najua Camira karudi huku tena na kama yupo ndani kwako mtoe kwa amani tuu”
“Samahani huyo unaemuulizia hapa sio tuu Camira bali ni mkewangu halali kabisa wa ndoa”
“Unasema?
“Ndio na kama huamini nitakusibitishia hilo”
Kisha aliingia ndani Donald na kutoka na cheti cha ndoa yetu, tena kimegongwa muhuri wa serikali akawaonyesha, bamkubwa alichukia sana na kusema:
“Kwahiyo mmeamua kutuchezea mchezo sio eeh!, basi umwambie huyo mpuuzi Camira asije kutegemea kuwa ana ndugu huko nyumbani, hatumtaki tena tumevunja undugu nae hivyo kama akifa utazika pekeako”
“Hakunashida huyu ni mkewangu mimi ni ndugu yangu mimi wewe nenda tuu hakuna haja ya kukomaza mishipa yako buree”
“Sawa “
Hivyo bamkubwa na wenzie waliondoka zao nyumbani, nilifurahi kiukweli kwani hili nalo limepita, hivyo tulianza mafundisho ya ndoa hadi tulipomaliza, na kuanza kujiandaa kwa harusi kubwa ya mfanya biashara mkubwa Donald na mimi, nilipelekwa kuchagua gauni zuri lenye mkia mrefu, pamoja na viatu na mapambo mazuri yakuvutia, Donald alinipeleka kunitambulisha kwa kaka yake, alifurahi kuniona kakaake na kumuambia Donald:
“Hakika umefanya jambo jema sana mdogowangu, nilikuwa nahofia kuwa utazeeka pekeako”
“Aah! Kaka kwanini itokee hivyo hasa kwa mimi mdogoako, nakualika sasa uje haraka kuungana na mimi katika furaha niliyokuwa nayo kaka”
“Sawa mdogowangu nitakuja kukuunga mkono hata ukitaka nikufanyia sherehe kubwa wiki nzima, nipo tayari mdogowangu”
“Hapana kaka najua hata mwezi unaweza lakini mimi nakuomba niachie nimalizie mwenyewe hili, kwani nimesha fanikisha maandalizi kwakiasi fulani tayari”
Kaka wa Mr Donald pia alikuwa ni tajiri sana, alifurahishwa mno na maadalizi ya harusi yetu, kisha tulirudi nyumbani kwetu, na baada ya siku mbili ilifika siku ya harusi yetu, tulijiandaa na hakika nilipendeza sana, tulisimama madhabauni na kula kiapo kwa Mungu, kisha tulitoka hapo tukiwa na furaha mnoo, na kwenda hotelini kupumzika kwa muda ili tuende ukumbini, nilioga na kupumzika kidogo nikiwa hapo nilianza kujisikia vibaya gafla, nilitapika mno na kizungu zungu nilimpa hofu sana Donald, hadi alimuita doctor wake hapo hotelini, na baada ya kufanyiwa vipimo doctor alimpa majibu Donald kuwa:
“Vipimo vinaonyesha mke wako hana tatizo lolote, ila nikupongeze hongera sana Donald muda sio mrefu unaenda kuwa baba tena”
“Unasema?
“Ndio Donald”
Asikuambie mtu Donald alifurahi sana kusikia, kisha akamuuliza doctar maswali kadhaa jinsi ya kunitunza, aliambiwa na kisha alikuja nilipokuwa nimelala na kuniambia:
“Kipenzi changu Camira doctor kasema unaenda kuwa mama”
Nilitabasam na kumkumbatia Donald kisha nilimuomba nilale kidogo, kwani nilikuwa bado sipo sawa najisikia vibaya mno, nililala hadi muda wa saa kumi na mbili niliamka na kujiandaa, kwani nililetewa nguo nyingine ya ukumbini, hakika nilipendeza sana alikuja mtu wa make up na kunipamba, nilikuwa kama malikia kabisa baada ya muda tuliongozana na mumewangu hadi ukumbini, watu walipotuona walitusifia haswaa na kisha nilikuwa Sherehe ikaanza, Donald alikuwa makini sana na mimi muda wote, namshukuru Mungu hadi mwisho sikutapika kabisa kwani sikula chakula nisichokitaka kabisa na kula bites tuu, Henry alikuja kutuaga wakati wa sisi kwenda hanimuni, Donald akamdokeza na kumuambia:
“Mwanangu Camira tayari ni mama mtarajiwa, hivyo jua umesha kuwa sasa una mdogoako anakuja”
Henry alifurahi sana na kunipa hongera mno, alitamani akae namimi tuu anitizame muda wote yale ninayo yapitia, nikamuambia:
“Jiandae narudi kipenzi changu utanichoka wewe”
“Siwezi hata kidogo mbona wewe hukuweza kunichoka pia mimi sitoweza”
“Sawa tutaona, haya sasa nina usingizi muda wote tutaonana by kipenzi changu”
“Haya kapumzike sasa”
Tuliondoka kiukweli kila aliekuja kwenye shuguli yetu alifurahi mno, alipenda kila kilicho tokea hapo hivyo walienda kuhadithia, hadi mitandaoni ilirusshwa habari yetu, tulienda arusha kwenye hifadhi ya taifa ngorongo, na tulikuwa hoteli ya Serena hoteli hakika nilifurahi sana, Henry tulimuacha nyumbani tulitamani angekuwa nasisi, lakini ilikuwa ni hanimuni inatuhusu sisi tuu, nae alitumia nafasi hiyo kumsamehe mamaake mzazi japo kuwa hakutaka ukaribu nae, kwani ilikuwa ni ngumu sana kuweza kuwa nae karibu, baada ya maswala ya harusi kupita tuliishi kwa furaha sana, nilikuwa najaliwa sana mimi na hali yangu hii, wote wawili walinifanya nideke mimi Donald na Henry, walinipenda sana nilikuwa nafuraha mno na familia yangu, pia dada Merry alikuwa ni kama dadaangu tuu alinijali mno.
Mwisho ……..

