UTANIPA NINI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 1
Mimi ni msichana mdogo mwenye umili wa miaka 16″ naitwa penda* tiyali nilisha maliza shule ya msingi dalasa la saba, kwa bahati mbaya nilifeli katika mtihani kutokana na uelewa wangu kuwa mdogo dalasani na utolo nao ulichangia kwa sababu nilikuwa sipendi kwenda shule wazazi wangu walini sisitiza sana nisome elimu yangu itakuja kunisaidia Mimi pamoja na wao pia lakini nilipuuzia na kuona ujanga kabisa *yani shuleni napegwa kila siku na mwalimu. Sasa nitaipendaje shule,* basi baada ya majibu kutoka na kuonekana kama nimefeli ilinibidi nibaki nyumbani kula ugali na kufanya kazi za nyumbani” siku moja alikuja shangazi yangu hapo nyumbani kwetu* yeye alikuwa anaishi mjini. Alifika mida ya jioni nilimpokea vizuri nikaongea nae mawili matatu harafu nikaenda kuandaa chakula cha usiku “yeye alibaki na mama yangu hapo sebuleni” kipindi hiko baba alikuwa amesafili* kwenda kijijini kuwajengea nyumba babu na bibi* shangazi na mama walianza kuongea mambo mbali mbali, eeh habari za mjini wifi yangu naona Leo tena
umetu kumbuka, mama alianza kwa kudadisi hivo” habari za mjini nzuri tu kweli imepita miaka takilibani mitatu sasa sijaja kuwa ona nilitamani sana kuja kuwa tembelea lakini Mme wangu alikiwa anaumwa” wifi yangu, alisema hivo, shangazi, pia akaongezea kwa kusema. wifi tofauti na kuja hapa kuwajulia hali pia ninahabari nyingine” habari gani tena hio wifi, mama aliuliza hivo, habari ni kwamba nimekuja kutafuta msichana wa kufanya kazi za ndani kuna mmbunge mmoja tumaishi nae jilani anataka mfanya kazi sasa Mimi niliongea nae nika mwambia nitakuja huku kijijini kutafuta msichana aliye tulia” shangazi alimwambia hivo mama yangu” sasa wifi utampata wapi mfanya kazi huku, mama aliuliza, wifi wewe ndio unisaidie kutafuta kama tukipa yule mbunge atatulipa pesa harafu tuna gawana” mhh kwani anapesa nyingi eti ” ndio wifi yani anapesa haswaa , shangazi alisema hivo” mama akatafakali kidogo harafu akasema wifi unaonaje tukimpeleka huyu mtoto wangu penda, maana anakaa tu nyumbani hana kazi yoyote hata masomo amesha feli” hata Mimi nilikuwa na wazo hilo hilo”wifi yangu penda akiwa anafanya kazi kwa huyo mmbunge maisha yetu yatakuwa mazuri kwa sababu atalipwa mshara mnono, na kwanjinsi navyo muona penda anaweza kufanya kazi hiyo” basi ngoja niumuite iliaje tuonge nae kwa kina mpaka atuelewe baada ya hapo tunampigia simu baba yake tuna mweleze hali halisi kama akikubari kesho itabidi uondeke nae” mama alimwambia hivo shangazi* harafu wakaniita. , penda, njoo Mara moja , abee mama nakuja, nilitikia huku naipua sufulia ya wali jikoni nikaiweka chini harafu nikaenda , mama unasemaje nilifika na kuuliza hivyo ,mwanangu penda hebu kaa hapo chini kunajambo mhimu tunataka kukuambia mama aliniambia nikakaa harafu nikatega sikio kuwa sikiliza” penda mwanangu shangazi yako amekuja na habari njema* ameniambia kwamba kule mjini kuna mtu anahitaji msichana wa kazi, tena inasemekana ni mmbunge harafu ana pesa nyingi tu Mimi nilikuwa nakuomba wewe uambatane na shangazi yako kesho muende mjini ukafanye hio kazi nafikili itakuwa vizuri zaidi na ukienda ukafanya kazi kwa bidii na uaminifu unaweza kutimiza ndoto yako hata sisi huku tutakuwa hatukosi hela ya mbonga” mama aliniambia hivo” sawa mama hakuna shida naweza kwenda kufanya hio kazi ila malipo yake sh ngapi nilikubari harafu nikauza hivo” laki mbili na nusu kwa mwezi , shangazi alinijibu nikafurahi sana maana hizo laki nilikuwa nasisikia” sikuwahi kuzipata tangu nizaliwe” shangazi na mama walifurahi sana baada ya kuona Mimi nimekubali kwenda kufanya kazi mjini nyumbani kwa mmbunge* hapo hapo mama alichukua simu harafu akatafuta namba ya baba alipo ipata akampigia” punde baba alipokea simu wakasalinia harafu mama akamueleze mbam
Kwamba Mimi nataka kuchuliwa mjini.kufanya kazi za ndani’ baba nae hakuwa na kipinga mizi alisema muache aende kujitafutia maisha na yeye” mama alipo kata simu akamiambi baba amekubali niende nikafanye kazi, tulipo kubalina vizuri nikainuka kwenda kupakua chakula nilipo maliza kupakua nikapeleka chakula hapo sebuleni nyumbani kwetu hatukuwa hata na meza niliweka chini tu tukaanza kula” Mimi nilikula kidogo tu nikaacha harafu nikaenda kukunja nguo zangu na kusiweka kwenye kifuko” ilikujiweka tayali kwa safali, nilipo maliza kukunja nguo nikalala mapema. yani nilitamani kesho ifike niende mjini nikaone maata mengi ,nililala mpaka asubuhi mama akaja kuniamsha nikaoge ilituondeke” nilamkata nikaenda kuoga haraka nilipo maliza kila litu nikatoka na kifuko changu cha Rambo, ndani yake kulikuwa na nguo chache tu” Jamani umasikini huu nilikuwa sina hata begi, tulikunywa kwaza chai harafu Mimi na shangazi tukaondaka mama alinisihi niwe makini huko niendako , nilikubali tulipanda gari ikatupeleka mpaka mjini, nilianza kushangaa watu na magari pamoja na majumba makubwa yalivyo kuwa mengi” mhh shangazi huku mjini kuzuri jamani,nilimwambia hivo shangazi huku bado naendelea kushangaa , moja kwa moja shangazi alinipelika kwenye nyumba moja kubwa , harafu nzuri yani sasa shangazi hapa kwa nani” nilimuuliza hivo* hapa kwa mmbunge na ndipo utakuwa unafanya kazi” shangazi aliniambia hivo sikuamini maneno yake maana nikiitazama nyumba ilivyo nzuri nikijatazama na Mimi nilivyo choka mbaya* hakika ilikuwa vitu viwili tofauti” shangazi hivi kweli nitaganya kazi hapa
mimi*
ndio penda” utafanya kazi hapa ila nakuomba ujiamini ngoja nigonge kengele shangazi alisema hivo harafu akabonyeza kengele””
Sehemu ya 2
baada mda kidogo mlango mdogo ulifunguliwa na mwana jeshi* ,habari za saizi nzuri tu niwasaidie nini * mwanajeshi aliuliza hivo ” tunaomba kuonana na mmbunge shangazi alisema “wakati huo Mimi nilikuwa bado naendelea kushangaa mazingila ya mjini’ *ngojeni nikamuite” ila nimesaha kitu” nikamwambie anaitwa na nani” mwambie” esi” ok pw mwana jeshi alienda kumuita bosi wake , *bosi esi, anakutafuta yuko pale mlangoni mlinzi jeshi alimwambia * hivo bosi wake,* baada ya kumfikia * esi mwambie aingine” tu yuko peke yake au yuko na mtu mwingine* ndio bosi yupo na msichana mdogo mdogo hivi”ila mrembo sana* mjeshi alisema basi akarudi getini akatuambia bosi* kasema muingie ndani”Mimi na shangazi tuliingia kwenye mjengo huo hakika palikuwa pazuri tangu nizaliwe penda”mimi mie* sijawahi kuona sehemu nzuri kama kwenye nyumba ya mmbunge”
tulikalibishwa ndani ukumbini” shangazi alikaa kwenye kochi Mimi nikakaa chini kwenye zulia kwa sababu nilikuwa naogopa kuchafua makochi ya watu” wewe binti mbona unakaa chini wakati makochi yapo* hebuinuka, ukae usiongope hapa ni nyumbani ” mmbunge aliniambia hivo” nikainuka kiuoga uoga nikakaa. Kwenye kochi* eeh” nambie esi” huyu ndio mfanya kazi uliye nilitea au” ndio mweshimiwa huyu ndio binti wa kazi anaitwa penda” anajua kila kitu kuhusu kazi za ndani ila huko alikotaka hakuna umeme” kwahiyo mtafundisha kidogo kupikia kwenye jiko la umeme na mambo mengine* shangazi alisema hivo nikamuona mmbunge amefurahi sana” esi huyu ni binti mzur sana harafu anaonekana yupo makini ‘kalibu sana penda” Mimi ndio nitakuwa bosi wako” jisikie huru kabisa” mmbunge alinikalibisa” vizuri” aliulizia vitu kidogo nikaju ipasavyo kisha nika muuliza bosi* mshahala wa kazi kiasi gani.laki mbini na nusu kwa mwezi* ila ukifanya kazi kwa bidii naweza kukuongezea bosi” alinijibu hivo* basi shangazi aliaga kuondoka walitoka nje na mmbunge wake” sasa mweshimiwa* mfanya kazi nimekupatia uishi nae vizuri maana ni ndugu yangu huyo*pia naomba ujila wangu nimehangaika sana kumpata*”‘usijali esi tutaishi nae vizuri* shika na ujila wako. alisema mmbunge huka anatoa pesa mfukoni mwake harafu akampa shangazi.baada ya kupata pesa shangazi aliondoka” kwenda nyumani *mmbunge alirudi ndani akanikuta Mimi na ushamba wangu naangalia kila sehemu kama mwizi ,sasa binti njoo uweke huku nguo zako upate kupumzika”kazi utaanza kesho* nakuona umechoka sana” boss” aliniambia” nikainuka na kumfata anapo elekea tulipanda juu ya ya ngazi gorofani”* harafu bossi akafungua mlango wa pili katika milango mitano iliyopo”* tukaingia” ndani chumba kizuri kina kila kitu* nilianza kuogopa kwa sababu Mimi ni mwana mke sasa kuingia chumba kimoja na mwana ume ni hatali kwa chuchu zangu na kitumbua changu naweza kunyonywa”‘chuchu na kitumbua ” kikaliwa* bule” lakini nilijikaza tu bosi aliniambia kwamba hicho ndio chumba nitakacho kuwa nalala niliweka kifuko changu cha mambo* bosi alitoka akaniacha nikajifungia huko chumbani” kisha nikajilaza kwenye kwenye godoro safi nilikuwa siamini kabisa niliona kama ndoto” nililala mpaka mda wa chakula cha uksiku * mke wa bosi alikuwa tayali amerudi kutoka kwanye mihangaiko yake ” alikuja kuniamsha tuende kula” nilishuka kitandani” nikaongozana nae kutelemka chini ya ngazi mpaka sebeleni tulikaa mezani watu watatu” Mimi na mke wa bosi na bosi mwenyewe” wewe Dada unaitwa nani” aliniuliza hivo mke wa boss” anaitwa penda* ” waooh jina zuri sana* ulisha maliza kusoma*” ndio
ok sawa kalibu sana jisikie uko nyumbani hapa tuko wengi ila wengime wapo masomoni wakirudi utawaona*sawa Dada ila Mimi nataka kwenda kuoga nitakapo maliza kula nitaoga wapi”niliuliza hivo maana hii nyumba” nilikuwa siielewe”* usijali penda wewe kula kwanza ukishiba nitakupeleka chooni ukaoge* aliniambia mke wa bossi ,* ikabidi niendeleaa kula kiuoga uoga* sikushiba hata ” nikachukua maji nikanawa * vipi tena umenawa mapema hivi kula usiogope* boss Mimi nimeshiba”nilijibu,hivo boss” yeye na mke wake waliendelea kula mpaka waka maliza*”harafu Dada mke wa boss akanipeleka chooni akani fundisha jinsi ya kutumia na nilimuelewa , akaniacha ** nikaoga kisha nikaenda juu chumbani kwangu ‘ nilifika nikaji futa futa maji harafu nikaji tupa kitandani ” nikalala bila nguo yoyote iliangarau kitumbua changu kipate hupepe na feni” nilitanua na miguu kabisa*
Sehemu ya 3
mhh leo na mimi nimelala kwenye kitanda kizuri kama hichi jamani hata siamini
*nilijiuliza hivo” huku nalipiga piga godoro”
sio siri lilikuwa godoro zuri la samani* hata nyumbani kwetu baba na mama hawakuwa nalo” wakati nifikilia , boss ni mke wake walikuwa bado wamekaa mezani wana jalidi mambo yao ya kifamilia”badae wali badilisha maongezi wakaanza kuniongelea Mimi ” hivi, Mme wangu huyu mfanya kazi uliye muleta leo ataweza kufanya kazi kweli* maana namuona kama bado ,mtoto” mke wa boss alisema hivo*, unajua mke wangu siku zote mlima haupandwa kwa kuutazama,* na huwezi kujua ukali wa pili pili kama hujaionja, pia unae muona hawezi ndio wa kukushinda wewe” nazani umenielewa” boss alimjibu”hivo mke wake harafu akainuka” kisha akaenda ukumbini akakaa kwenye kochi akaanza kubonyeze simu yake, alikuwa anabeti ,mchezo wa siku hizi* mke wake alibakia hapo mezani anafikilia maana ya maneno aliyo ambiwa na mmewe ,
* mhh sasa anamanisha Mimi siwezi kufanya kazi au , mbona simwelewi, pao wacha tuone” alisemea hivo mke wa boss, kisha akainuka, na kutoa vyombo ambavyo tulikuwa tunatumia kula” alivipeleka jikoni” baada ya hapo akaenda chumbani kutandika vizuri kitanda chao alipo maliza akalala” siku hio alikuwa amechoka, sana” usingizi ulipo mpitia Mme wake alikuja nae akavua nguo kisha akapanda kitandani” akalala, mda furani ulipo fika boss akaomba mzigo kwa mke wake*mke wangu nipe kidogo nichangamshe mwili” aliongea boss, kwa sauti nzito kama gunia la mahindi” Mme wangu leo nimechoka siwezi” naomba uniache nilale, mke alijibu na kuzidi kujifunika shuka zaidi
*basi Mme ikabidi akaushe tu”
wakati boss na mke wake wana ombona tendo la ndoa , nilikuwa nimelala usingizi fofofo, kutokana na uzuri wa kitanda, usingizi, nilipata mapema, tu* usiku nao una mengi maana vitu vingi vibaya hufanyika usiku’ na mapenzi Mara nyingi hufanyika usiku”Mimi yote hayo sikuya waza* wala hayakunikuta* nilala mpaka asubuhi saa kumi na mbili, kamili* nilinuka *nikavaa nguo zangu harafu nikatoka chumbani” nikashuka chini ya ngazi mpaka, ukumbini , sikukuta mtu yoyote hapo niliangalia angalia vitu vilivyo kuwa hapo nikaona kuchafu kuna mavumbi” nikaenda sebuleni, nako nikakuta kuko ovyo , tu nilitazama nyuma ya mlango nikaona ufagio*, kizoleo* ,mopu *na ndoo ndogo” nikachukua ufagio kwanza nikaanza kufagia nilifagia kote sebuleni na ukumbini kisha nikazoa” uchafu* harafu nikachuka kitambaa nikakilowesha maji , kidogo* nikaanza kufuta sehemu yenye mavumbi, mpaka kukawa safi baada ya hapo nikachukua mopu, na ndoo yake nikatia maji, kiasi, kisha nikaanza kupiga deki, nilipiga, fasta nikamaliza ,nikahamia kwenye ngazi nilisafisha” mpaka juu” nako nikafagia na kudeki, nilipo maliza” nikarudi nikaenda kukaa sebuleni, nikajikunyata kama sio Mimi ambee nilikuwa asafisha*, mke wa boss, alipo amka akatoka chumbani kao alipofika ukumbini akaona hapo chini anapo kanyaka kumelowa kidogo , aliangalia, kwenye tivi akaona iko safi na meza za hapo zilikuwa safi, mhh inamaana huyu mtoto amesha amka na kufanya yote haya*, alijiuliza hivo’ harafu akaja sebuleni akanikuta nimekaa chini nikiwa nimejikunyata kama mwizi anae taka kuchomwa moto”. Dada shikamoo, nili musalimua baada ya kumuona* akaitikia harafu akaniuliza”penda,,* umeamka zamani ety naona umesha fanya usafi nyumba imekuwa afadhali kidogo* ,ndio dada ila vyombo mnakosheaga wapi humu ndani au njee, nilimuuliza Dada maana nilikuwa” sitaki kujifanya mjuaji, sana hata maji ya kupigia deki niliyakuta kuta kwenye ndoo tu” vyombo tuna kosheaga njee na huku jikoni, , Dada alinionyesha” sehemu ya kuoshea vyombo, nikaviosha saa hio hio”, baada wiki moja” nilikuwa nimesha jua kila kitu boss na mke wake, wanipenda sana, kwa sababu nilikuwa Dada mchapa kazi “kama zama za magufuli raisi wa Tz, ila sasa yule mlinzi ambae pia ni mwana jeshi, alianza kuniletea mazoea ya,,,,
Sehemu ya 4
kunitania tania nilikuwa sipendi, kabisa utani wake ila sikuweza kumwambia kwa sababu alikuwa mtu mzima na hakili zake ila ajifanya kujichetua kila anaponiona” * maisha yaliendelea siku moja,” nilimfata mjeshi kwenye kibanda chake*, kwenda kumuomba simu nimpigie mama yangu iliniweze kumjulia khali, kaka mjeshi naomba uniazime simu yako nataka nimpigie mama nimsalimie” nilifika nikamwambia hivo mjeshi kwanza alicheka harafu akaniambia *unajua wewe penda ni mtoto mzuri sana hupendezi kununa nuna kila wakati’ shika simu hii hapa ila usiwe unanuna sawa, mrembo, mjeshi aliniambia hivo* nikamtazama tu sikuweza kumjibu chochote, nilichukua simu nikaanza kuandika namba za mama angu, nilipo kamilisha nikimpigia simu iliita mpaka ikakata bila kupokelewa nikapiga tena ikawa hivo hivo” basi ikabidi nimrudishie mjeshi” simu yake, shika simu yako nimempigia mama hapokei”nilimwambia hivo mjeshi ,* aah hapokea kivipi mrembo au ulikuwa umekuja kuniambia kitu” umeogopa nambie usiogope tupo wawili tu” mjeshi aliniambia hivo” nikanuna na kuondoka zangu nilikuwa sipendi kabisa habali za kuambiwa* mrembo sijui mzuri” nilienda nikaingia zangu ndani, nikapanda ngazi” na sasa hivi inachanua) nilifika chumbani kwangu nikaingia harafu nikaanza kukunja kunya nguo zangu* maana siku hio nilikuwa nimefua* nilipo maliza kukunja nguo nikaziweka kwenye begi zuli nililo pewa na boss wangu* aliniambia, ni zawadi yangu kutokana na kufanya kazi vizuri” nilipo ziweka nikashuka chini” nikaanza kufanya maandalizi ya chakula cha mchana,kukiweka mezani”*wakati huo boss na mkewe walikuwa hawapo” ila nilijua wanaweza kurudi mda wowote” kuja kula” nilipo maliza kuweka nikapakua chakula kingine nikampelekea mjeshi” nilifika nikamuwekea kimya kimya tu, *penda mbona umenuna” hivo jamani unajua hutakiwi kufanya hivyo kwa sababu siku zote humu ndani tuna baki Mimi na wewe tu sasa kukitokea tatizo huko ndani nani utamuomba msaada zaidi ya mimi * mjeshi nilimsikia anaongea hivo huku Mimi naishia zangu nadi,”wala sikumjali*
mida ya saa nane mchani* boss alirudi” nilimpokea baada ya kufunguliwa geti” na milnzi jeshi” akaingiza gari ndani alipiga honi nikatoka kwenda kumpokea mizigo kama kawadia, nilipo fika kwenye gari nikamsalimia kwa adabu zangu zote harafu nikafungua mlango wa gari kama nilivyo zoea nikatoa mizigo” nikapeleka ndani nilifika nikaanza kufungua mfuko mmoja baada ya mwingine nikatoa kilichomo ndani na kuweka sehemu yake” nilipo fika mfuko wa mwisho ambao ulionekana kuwa mzuri zaida” nikataka kufungua” Mara boss, akafika harafu akaniambia” Dada huo mfoko usiufungulie hapa nenda kafungulie chumbani kwako utakacho kiona chukua ni zawadi yako. boss, aliniambia hivo huku anavua suti yake na kuiweka pembeni akakaa mezani akajipakulia chakula mwenyewe. akaanza kula inaonekana alikuwa na njaa sana” Mimi nilichukua huo mfuko nikaenda chumbani” kwangu, nikafungua haraka haraka nikaanza kutoa vitu vilivyo kuwemo”ya kwanza ilikuwa tisheti nikatoa sikati nikatoa sigilia ya mwisho ilikuwa chupi” mhh boss akajuaje kama nilikuwa nahitaji chupi na sigilia”nilijiuliza hivo” kusema kweli nilikuwa nimepanga nikipoke mshahara wangu nikanunue mahitaji yangu ya nguo za ndani na nguo za kuvaa tu” ila boss, kaniwahi”nilizi jalibisha” zikanipendeza kweli kweli “angeniona yule mjeshi angenisifia mpaka nywele ,nilipo maliza kujalibisha, nikazivua harafu nikavaa taka taka zangu * nikaenda kwa boss, nilimukata anaendelea kula , nilimtazama harafu nikaanza kucheka chata kwa aibu nilikuwa na lengo la kushukuru lakini sasa nilijikuta nashindwa” wakati najichekesha mwenyewe” boss yeye alikuwa hana habali na Mimi aliendelea kukandamiza tu kama masanja” boss asante, nilisema hivo,, kwa bahati mbaya tu hapo ndipo aibu ilinijaa zaidi” asante na wewe kwa chakula kitamu, boss alijibu* akainuka” na akaenda chumbani kwake”aliniacha Mimi nikatoa sahani aliyo kuwa anatumia kula”pamoja na kikombe alichokuwa ananywea juisi, nilienda kuviosha njee na kuvianika huko huko” harafu nikaenda jikoni nikajilaza ,Mara usingizi ukanipia nilikuja kuamka saa kumi” jionia nikaenda kuoga kawaida yangu *kwa siku nilikuwa naoga mara mbili” baada ya kumaliza kuoga nilienda kubadilisha nguo” nikavaa kile kisiketi kipya* nilicho nunuliwa na boss, huku juu nilivaa tisheti. Yangu ya zamani ilikuwa mzuri sana” nilitoka nje nikaanza kuzunguka zunguka” Mara nikakutana na mjeshi*, hakili ikamtoka baada ya kuniona nilivyo pendeza ” penda umependaza mtoto. Yani unani maliza moyo wangu mpaka mweli , hakika mtoto unajua kujipamba na urembo wako unazidi kuwa urembo zaidi, mjeshi, alinisifia lakini sikuweza hata kuongea neno moja*niliendelea na mambo yangu” ilipo fika saa ,kumi na mbili jioni honi nje ya geti ikalia” mjeshi alifungua” geti *gari ikaingia ilikuwa gari ya mke wa boss alipo simamisha gari tu nilishangaa kumuona kijana mmoja mzuri, anashuka ndani ya gari wakati huo yeye alikuwa hajaniona niliendelea kumtazama”sijui ilikuwaje kuwaje nikajikuta tunatamaza mana USO kwa macho* na huyu kijana ,*
Sehemu ya 5
penda njoo ushushe mizigo huku mbona umezubaa tu mke wa boss aliniambia hivo ndipo nikashtuka”,* nikatazama chini na kuanza kupiga hatua kusogea hapo kwenye gari nilimusalimia mke wa boss, harafu nika msalimia na huyo kijana,* nilimwambia ,kaka mambo yeye, akajibu marahabaa , duuh nikajua kumbe na yeye nimemu changanya kwa uzuri wangu*, nilichukua mizigo nikaipeleka ndani, harafu nikasimama tu hapo sebuleni , mke wa boss aliingia akaenda chumbani kwake moja kwa moja, yule kijana* nae aliingia akanitazama” usoni niliona aibu nikashindwa kumtazama “nikajifanya kufungua fungua mizigo hapo mpaka yule kijana akaondoka nilimuona anapanda ngazi kwenda juu*, ilioneka hakuwa mgeni katika nyumba huyo”* nilivyo kuwa mmbea nilianza kumfata nyumba ilinimuone anaenda kuingia katika chumba gani” kwa bahati nzuri nilifanikiwa kumuona” anaingi chumba jilani na chumba changu * basi nikarudi sebeleni kuchemsha maji kwenye chupa ili mtu yoyote atakae hitaji maji ya moto kwenda kuoga basi afike na kuchukua tu asianze kunisumbua mimi”* nilipo teleka nikawa nasubilia yachemke baada ya mda kidogo mke wa boss alikuja” akaniambia* penda, huyo niliye kuja nae ni mtoto wangu bado anasoma , anaitwa” daudi” pia ni mtundu sana kuwa makini nae* kama livyo kuwa makini” na kazi yako* aah sawa mama nimekuelewa pia nime furahi kumfahamu” nilijibu huku natia maji kwenye chupa zingine,
ila kuna kaka zake wawili watakuja mwezi ujao wao wako kenya wanasoma huko* kwani mama una watoto wangapi * Nina watoto watano wakike wawili na wakiume wa tatu,* mke wa boss alinijibu swali langu *nikatamani nimuulize swali ilingine lakini nikapotezea tu maana hawa mabossi nao ni matatizo wakati mwingine* ukiwauliza uliza sana mwishoni watakuona mpelelezi, harafu wana kutimua kazi* usiku tayali ulikuwa umesha ingia sikuwa na haja ya kupika, kwa sababu chakula kilikuwepo nilikuwa nasubuli mda ufike tu niweke hapo mezani watu tuaanza kula, mke wa boss ” alienda ukumbini akawasha TV akaanza kutazama mchezo, na Mimi nilijisogeza* nikakaa kwenye zulia harafu nikaanza kutazama*, nilipo nogewa na mchezo* Mara nikasikia kuna mtu ananiita huko juu, niliinuka nikaenda mpaka juu nika mkuta yule kijana yupo kifua wazi , nika muuliza daudi* daudi vipi” Dada hebu njoo unisaidie kutandika shuka jipya kwanye godoro langu, maana lililo kuwepo. silipendi* mhh kwani siku zingine anakuba dilishiaga.nani* Nilimuuliza hivo akajibu”siku zingini wana nibadilishiaga Dada zangu*ila sasa,hawapo njoo unisaidie Mara moja tu* daudi aliniambia” hivo ikabidi nikubali kuingia chumbani kwake nimsaidie kutandika shuka* nilipo ingia tu nikamuuliza shuka unayo taka kutandika” iko wapi alinipa nikaanza kutandika huku anani chombeza kwa maneno mazuri ya kunisifia Sifia* ,niliishia kucheka tu” Mara nikashangaa ameanza kunishika mgongoni* nika simama harafu nika mwambia sitaki mazoea kwenye mwili wangu,*hapo hapo nika nuns” nilitaka kutoka lakini, alinizuia mlangoni” nikashindwa kupita*, daudi nipishe nipite Mimi*Dada , tuliabasi tupige story “kidogo* hapana sitaki story za chumbani kwako. Mimi. Dada” usiogope daudi aliniambia harafu akanikumbatia kwa kushtukiza* alinikela” sana nikamsukuma huko lakini kwa bahati mbaya alikuwa ameni ganda sana”tulianguka wote kitandani”
Mara ghafla,,
INAENDELEA

