CEO ALINOGEWA NA UTAMU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 16
Ceo Remmy alimbeba mwanae walipanda gari safari yaoniliishia hotelini. Hotel ilikuwa kubwa sana nanhuduma zote nilipatikana ndani ya hotel hiyo.
Kila mtu aliyewatazama Remmy na Gift hakuacha kusema wamefanana sana. Basi Remmy ndo alizidi kuvimba kwa kujiona yeye ni mwanaume kweli kweli wengine ni kenge tu 😀😀.
Akiwa anakula maisha na binti yake simu yake ilianza kuita mpigaji alikuwa ni mama yake, aliamini endapo atapokea simu ya mama yake basi atamuharibia furaha yake siku hiyo.
Aliacha iite mpaka ilipokata, baada ya hapo alizima kabisa ili asipatikane.
Kwa masaa machache tu Gift alimzoea baba yake na kuwa huru nae. Haki hiyo ilizidi kumpagawisha Remmy.
Majira ya jioni nililudi kutoka kazina nakutana na taarifa za kushangaza. Nilimlahumu mama kwanini ameluhusu Gift kuondoka na Ceo huku ninkijua kwa nna yoyote ile hata yeye asingeweza kumzuia.
“Basi hatukuwa na namna zaidi ya kuwadubilia waludi.
Saa moja usiku Remmy alifika nyumbani. Kiukweli sikuwa na kauli juu yake nilimpokea tu mwanangu na kumuangalia kwa kumchunguza kama yupo sawa.
“Alikuwa na baba yake, haina haja ya kuwa na wasiwasi”
“Gift hana baba, baba yake alishakufaga” Nilijitahidi kuuficha ukweli uliokuwa wazi.
“Nisamehe najua nilikutembea ukaliti ila halikuwa dhumuni langu, kuna hali niliipitia nilishindwa kudhuia hisia zangu, nguvu za kiume zilinizidi kama nisingepata usaidizi ningekufa kabisa”
Nilitaka kupaniki mama aliniwai akanitoa nje.
“Kuna wakati ni bora busara na hekima kuliko hasira. Kama ametambua makosa yake na ameomba msamaha samehe ili umpe mtoto haki yake. Huoni kama ni mtu mwema sana maana hata alipokuingilia hakukuacha bure japo ulikuwa umezimia. Kama angekuwa mtu mbaya kupita kiasi usingepata hata senti yake na leo hii adingekuwa hapa”
“Mwanangu changamoto za maisha tuzitumie kama fulsa na sio kuzibeba chuki kwa kila jambo. Siongei kwa kumtetea Ceo kisa tu ana hela. Vipi unafikilia nini kuhusu zawadi?, hata akikuwa mkubwa bado utamnyima haki yake kwa baba yake. Samehe binti yangu maana maisha ni safari ndefu sana”
Nilimuelewa nama kwa kiasi. Tuliludi ndani nilikuwa mpole sana. Ceo Remmy alituaga huku akiahidi kesho atakuja kwaajili ya mazungumzo zaidi na aliniambia kesho nisiende kazini.
Alipotaka kuondoka Gift alimganda, mtoto hakutaka kuona baba yake anamuacha. Alianza kulia huku anaita baba.
Nyie nilibaki kwenye mshangao aiseee kweli damu sio maji.
“Naomba niondoke nae”
“Atakusumbua usiku” Nilimwambia.
“Ondoa shaka nitammudu”Nilikubali japo singo upande.
Remmy na Gift waliondoka pamoja.
Wanafika nyumbani majira ya saa tatu usiku anamkuta mama yake na Nari wamekaa sebleni ukaaji wao ulionyesha kwamba wamamsubilia yeye.
“Tangu lini umeanza kunidharau”
“I sorry mom”
“Alafu mbona sikuelewi. Huyo mtoto ni wa nani?”
“Mama hili swali ni la kuniuliza kweli ikiww macho yako yanatazama?”
“Usiniambia huyu ni mjukuu wangu mimi?”
“Bila shaka. Anaitwa Gift”
“Ebu kuwa serious mb…..wa wewe. Naomba uniambie una mpango gani na Nari?”
Kabda kumjibu alimtazama Nari mwenyewe. Nari aliinisha kichwa chini……….
SEHEMU YA 17 – 18
“Nilidhani utaondoka mwenyewe kukimbia hii fedheha ila ajabu mpaka sasa bado upo hapa” Remmy alimwambia hayo Nari.
“Mama mimba ya Nari sio yangu. Ukweli kuhusu mimba yake anaujua mwenyewe?”
“Nini?” Mama aliuliza kwa paniki.
“Muulize?”
“Nari ya kweli haya?”
“Nafikiri hata tu mimi kuwa mama mtoto wake ila mimba ni yake”
“Mnanichanganya ujue, alafu huyo mtoto kwani hana mama?”
“Mama yake yupo. Nari sema ukweli mimi ushahidi wote ninao usimvuluge mama yangu”
“Basi nitaondoka bila kuvulugha hii familia” Nari aliyasema hayo aliinuka ili aondoke ila mama alimsihi akae. Mama Remmy aliamini mwanae hampendi tu Nari ndo maana anakataa mimba.
“Remmy acha upuuzi unataka nikupe laana. Hivi unajisikiaje kimtumia binti wa watu alafu unamuacha kwa dharau na mimba juu”
“Mama nimesema hiyo mimba sio yangu kwanini unanilazimisha nikubali kulea damu ya Omary” Remmy aliongea kwa paniki. Nari balishtuka balaa, mama yake baada aliganda kwa muda.
“Omary?, Omary gani unayemzungumzia?”
“Dereva wangu”
“Mmmmh! Umeamua kumsingizia kijana wa watu?”
“Mama kwanini mgumi kuelewa wewe, hivi unashindwa kunielewa mwanao unataka nieleweke na nani sasa?, nimesema mimba sio yangu ya Omar na siwezi kumuoa Nari” Remmy aliongea hayo kwa paniki baada ya hapo aliondoka anaenda chumbani kwake.
Ukimyabulitawala kati ya Lissa na Nari. Nari alimuomba Lissa akapumzike.
“Kesho naomba uje nyumbani mapema kabisa nina mazungumzo na wewe” Madame Lissa alimpigia simu Omary alimwambia hayo.
Usiku huo ulikuwa mzigo kwa madame Lissa. Alishindwa kabisa kuipata usingizi. Alienda kumgongea kijana wake kwaajili ya mazungumzo.
“Hujalala tu?” Remmy alimuuliza mama yake baada ya kumfungulia mlango.
“Nahitaji kuzungumza na wewe”
Alimluhusu mama yake aingie.
“Ni kweli mtoto amekufanania sana. Naiona sura ya marehemu mume wangu. Anaitwa nani?”
“Jina lake ni Gift”
“Ila mwanangu sikuelewi matendo yako. Ni sawa mtoto ni wetu je siku zote alikuwa wapi na mama mtoto yupo wapi?”
Remmy hakutaka kumficha mama yake alimueleza mazingira aliyokutana na mimi, alimueleza kila kitu.
“Ni binti uliyemtoa usichana ndiye uliyemzalisha, hii imekaa vizuri. Hakika huyu ni Gift. Sasa vipi hukus Nari.
Remmy hakutaka kuzungumza alimuonyesha mama yake ushahidi, ni video za ovyo sana za Nari na Omary.
“Ukweli mwanamke huyu nilimpenda sana nadhani unajua mama ila Omary sio mwanaume wake kwa kwanza kunisaliti. Alishatembea na rafiki yangu Dickson mpaka walipeana na mimba ila alitoa kisiri yote hayo najua na toka nigundua kuwe ametembea na rafiki yangu sina mapenzi juu yake tena”
“Uwiiii! Kumbe huyu mwanamke ni mshe…..nzi wa tabia” Mama mtu alipaniki vibaya mno. Remmy alimtuliza mama yake.
“Kuhusu Omary hana kosa kosa ni la Nari yeye ndo shinikozo, anamtishia Omary kama atakataa basi atamuharibia kazi”
Mama mtu alijisikia vibaya, hakutaka maxungumzo yaendelee alimtakia mwanae usiku mwema.
Remmy alinipigia simu usiku huo
“Analia?, kama anasumbua niambie nimfuate.
“Ondoa shaka mtoto yupo na baba yake, amelala muda huu. Kesho asubuhi nitamtuma Omary awafuate awalete nilipo”
“Sawa”
Usiku huo ulikuwa mrefu sana kwa Nari.
“Sina haja ya kuendelea kubaki hapa, ni aibu na fedheha. Acha niondoke niludi kwetu” aliyasema hayo na kuanza kupanga nguo zake kwenye begi akisubili pakuche aondoke………
SEHEMU YA 19 – 20
Palikucha asubuhi Remmy alihakikisha mwanae anapatiwa uji wa lishe na kuwa msafi muda wote. Saa mbili asubuhi walikutana mezani kwaajili ya kifungua kinywa ila Nari hakuwepo.
Alitumwa dada wa kazi akamuite. Muda mchache Nari anatoka akiwa na Begi lake.
“Kabda hajaanza kuongea chochote mimi na Lissa tulifika nyumbani kwa Remmy tukiongozwa na Omary.
Nari baada ya kuniona alikunja uso.
” Wewe umefuata nini hapa?” Eti aliniuliza.
“Ni mama mtoto wangu, karibu nyumbani Shanzah. Mama Lissa karibuni”
Lissa na Sarah wanatazamana kila mmoja anastuka. Lissa anamuuliza sarah
“Ni wewe?”
Sara nae anamuita Lissa.
“Lissa”
“Nyie wawili mnafahamiana?” Remmy alimuuliza mama yake. Kwa aibu mama yake anatazama chini.
Nari kuona mambo hayaeleweki anaamua kujiondoa kabda hayajamgeukia.
Nilimtegea mguu makusudi ili aanguke. Baada ya Nari kuanguka nilizungumza.
“Unakumbuka siku ulioufedhehesha moyo wangu kwa kunifanya mtumwa wako?, siku ya leo hata nikikwambua urambe kisigino changu utaramba” Nari alikuwa mdogo haswaaa.
“Nisamehe nimejifunza kuwa mwema kwa kila mtu”.
“Mimi ni mwema na sina roho mbaya, inaku uende” Nari aliinuka akasepa zake.
Mama Lissa aliniambia yeye anaondoka haoni kama sehemu hii anastahili kuwepo.
“Mama kuna nini kinaendelea kati yenu?” Remmy alimuuliza mama yake.
Sarah pasipo kumjibu kijana wake alimsogelea Lissa na kumuangukia miguuni. Wote tulishangaa kulikoni.
“Naomba unisamehe Lissa, nilikutafuta kwa muda mrefu ili nikuombe msamaha ila sikufanikiwa kukupata”
Kumbe bhana Sara ndiye alikuwa mchepuko nunda wa mume wa Lissa mpaka kupelekea kuibunja ndoa ya mwenzie na kuolewa yeye. Alijua kumpa heka heka mwenzie. Alijua kumtesa, yaani maisha magumu aliyopitia Lissa nyuma yake yupo Sarah.
Ishu ilikuwa nzito sana asikwambie mtu. Ila mwisho wa siku Lissa ali samehe maana hata kama angeendeleza chuki isingezaidia kwasababu mwanaume mwenyewe akishafariki, aliahidiwa kuludishiwa kila kitu chake alichochuma na mume wake maana nyumba na biashara baadhi bado zilikuwepo na msimamizi alikuwa Remmy.
Lissa alikabidhiwa Mali zake na Sarah huku Remmy ndiye akiwa sababu ya wawili hao kupatana. Hatimaye Remmy akawa na mama wawili.
Sikusahau maraiki zangu walionitendea wema. Nyamizi akiwa mmoja wapo. Nilimuomba baba gifti amuhamishe kitengo Nyamizi, hilo likapita.
Remmy alinichumbia na mahari yangu nilipendekeza apokee Lissa. Baada ya harusi yetu kupita. Mimi na familia yangu mpya, Remmy mume wangu, Gift mwanangu pamoja na bibi zake tulifunga safari mpaka mwa shangazi yangu mama Tima.
Nilimkuta shamgazi amekaa nje na Tima pamoja na mtoto mdogo wa mwaka mmoja wanakunywa uji wa sembe. Maisha yamewapiga sio mchezo. Nguo nilizokuwaga navaa mimi ndiyo walizovaa wao. Ama kweli MUNGU mkali.
Hawakuamini macho yao baada ya kunioma.
“Mwanangu umeludi?” Shangazi alinikimbilia na kunikumbatia. Sikuwa na baya nilionyesha kuwafurahia japo akuwa mlenzi mzuri kwangu”.
Basi tulikaa chini kwaajili ya mazungumzo.
“Shangazi. Huyu ndiye mwanaume aliyenitoa bikra yangu na ndo baba mtoto wangu” Niliyasema hayo na taratibu machozi ya kuanza kunitoka.
Shangazi alianza kuniomba msamaha kwa kujutia yote aliyonifanyia.
“Hapana ulikuwa sahihi haujawai kukosea. Kuna wakati huwezi kufanikiwa mpaka uchukiwe na kuna wakati huwezi kupendwa mpaka kuchukua. Chuki zako na malezi yako leo ndo yamenifikisha hapa. Unastahili shukrani” Niliongea hayo kwa hisia alafu nikamkumbatia shangazi yangu.
“Remmy alitoa bahasha iliyo na pesa nyingi alimpatia shangazi huku akisema (HIYO NDO ZAWADI YA BIKRA YA SHAZNAH)
MWISHOOOOO!!!!

