CEO ALINOGEWA NA UTAMU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 11
Palikucha Asubuhi. Remmy aliamshwa na sauti ya mpenzi wake Nari.
“My darling. Amka baba nimekumiss eti”
Kwa uchovu Remmy aliamka alipokelewa na kumbato matata kutoka kwa mrembo Nari ni mrembo haswa na kwa mwenye muonekano wa kishua.
“Usiku wa jana nilikutamani mno ila niliumia pindi nilipoambiwa kuwa humechoka sana, hivi unawezaje kuchoka darling hata ushindwe kunisapa hi mpenzi wako. Nina wivu mwingi mno juu yako”
Mr Remmy aliishia kutabasamu tu.
Basi walianza kubebishana ili wapeane kidogo cha asubuhi ila kabda hawajanyanduana simu ya Remmy iliita.
“Kuna wafanya biashara wamekuja hapa kazini wanahitaji kuonana na wewe”
“Ni lazima waonane na mimi?” Aliuliza.
“Ni muhimu maana wamesema wana hapa kwaajili ya mazungumzo ya kibiashara na sio ununuzi pekee”
“Sawa nakuja waambie wanisubili kama lisaa limoja”
“Baby usinikatili jamani. Unaniachaji kwenye hali hii?, ona kitumbua kilivyolowana jamani” Nari alilalamika huku akimuonyeshea Remmy kitumbua chake.
“Ni muhimu nifike kwa wakati, usiku nitakukula mpaka useme basi sweet” Remmy aliyasema hayo baada ya hapo alizama bafuni kujimwagia maji chap chap.
Akiwa anajiandaa alimpigia simu dereva wake amfuate.
Alifika ofinisi alifanya mazungumzo ya biashara na watu wale na baada ya hapo alipata wasaa wa kuwa peke yake hapo ofisini kwake ndipo alikumbua kuhusu mimi.
Alimuita dereva wake kwaajili ya mazungumzo.
“Hivi ni kweli yule binti ndo yeye?”
“Bila shaka ni yeye boss. Namkumbuka vizuri kabisa”
“Basi nakupa kazi na pia najua wewe ni msiri wangu isitokee ukaja kusema nilishawai kumbaka mwanamke. Nadhani unafahamu mazingira niliyokuwa nayo siku ile”
“Ondoa shaka kwa hilo boss. Niambie nini unataka mikufanyie nipo tayari kukutii”
“Nataka ufuatilie yule binti anafanya kazi kwenye kitengo gani hapa, na ukishafahamu hilo basi hakikisha unamuhamishia kwenye kitengo cha mauzo, kivyovyote vile hata kama hana elimu nataka awe pale, asijui kama mimi ndiye nimemuamisha kitengo. Sitaki kuonana tena na huyu binti kwanza naogopa ila pia sitaki afanye kazi ngumu kuanzia sasa”
” Serious?”
“Mimi na wewe tushawai kuwa watani eti eeeeh?”
“Aaaaah sawa boss nimekuelewa”
Omary alianza kufanya kazi aliyopewa na boss wake. Alianza kuzunguka huku na kule kunitafuta. Alifanikiwa kunipata japo mie sikumuona maana nilikuwa busy na kazi.
Alimfuata kiongozi wetu.
“Anaitwa yule binti aliyejifunga kiremba cha pink kichwani?”
“Ni ngumu kujua majina ya wafanyakazi wote wa kitengo changu maana kama unavyoona walivyo wengi. Ngoja niangalie namba yake kwenye daftari ndipo tujue jina lake” kiongozi aliongea hayo. Ni hivi kazini huwa tunavaa sale zilizo na namba mgongoni.
“Namba yake ni hii” kiongozi alimuonyesha Omary.
“Onhooooo! Shaznah Omary” Omary alifurahi kimtindo na kujipa ubaba maana jina lake na la marehemu baba yangu yamefanana.
“Ndiyo anaitwa Shaznah. Kuna tatizo mkuu?” Hapo kazini kila mtu ana mkubwa wake yaani Omary nae anaitwa boss kwa baadhi ya viongozi wa hapo.
“Njoo nje nina mazungumzo ya Siri kidogo”
Kiongozi alimfuata. Omary alimwambia nataliwa kuhamishwa kitengo hivyo leo nipewe taarifa alafu nilipwe pesa yangu haijalishi hata kama nimefanya kazi kwa uchache na baada ya hapo niondoke nyumbani kujiandaa na kuanza kazi nyengine kesho.
“Nakukabidhi wewe hili swala ulisimamie, kesho Shaznah Omary aanze kazi kitengo cha mauzo. Hakikisha hajui kama ni mimi ndiye nimemuhamisha huku”.
“Sawa boss nimekuelewa” Walimaliza mazungumzo Omary aliondoka.
“Mmmh watu wana bahati au ni manzi wake?” Kiongozi alijiuliza mwenyewe huku anapiga hatua za taratibu kunifuata nilipo.
“Jina lake anaitwa Shaznah Omary” Omary baada ya kuingia ofisini kwa Remmy alimfahamisha jina langu.
“Sikukutuma kuniletea jina lake kamili na sina shida na jina lake. Nari atakuwa hapa muda si mrefu. Kamsubilie nje” Ceo Remmy aliongea hayo………
SEHEMU YA 12
Remmy hakutaka kusikia habari zangu tena na ni kwasababu hakutaka kukumbuka kile alichonifanyia.
Basi gafla tu bin vuu! Kiongozi aliniambia nimfuate, niliongozana na kiongozi mpaka kwenye jengo la mauzo ya bidhaa.
Aliongea na kiongozi wa pale na kwakuwa alikuwa ashapewa taarifa alinipokea.
“Kuanzia sasa utafanya kazi kwenye kitengo hichi” Nilistuka baada ya kuambiwa hayo.
“Karibu bana binti na uondoe shaka. Kwa leo nenda nyumbani ukajipe mapumziko kwaajili ya kuanza kazi mpya kesho”
“Sawa” nilijibu tu mdomoni ila kichwani nilikuwa na maswali kibao ya kuwauliza ila sikuweza. Basi nilipewa pesa yangu elfu saba huyo nikaondoka.
Nilikuwa natembea mwenyewe kwa huku akili yangu inswaza inawezekana vipi nipelekwe kitengo cha juu hivyo ikiwa hata sina muda mrefu tangu nianze kufanya kazi. Inamaana mimi ni mchapaka kazi sana au.
Nilikuja kushtuka nimepalamiana na mtu.
“Samamahani sikukuona” Nilinaswa kibao matata cha shavuni.
“Kwamba mimi ni mzuka mpaka usinione pusi wewe na imenikanyaga mguuni”
“Nisamehe dada ni bahati mbaya tu” muonekana wa binti yule ulikuwa bomba sana kwanza msafi balaa alagu mzuri sana.
“Haya nifute miguu yangu chap ns upotee hapa” Nikawa natafuta cha kumfutia maana ni kweli miguu yake ilikuwa na vumbi kidogo ila sio kwamba mimi ndiye sababu la hilo vumbi.
Nilishtukia tu nimevuliwa kiremba changu kichwani kikatupwa chini.
“Nifute haraka” alimaanisha nimfute na kiremba changu. Muda huo huo Omary alifika eneo hilo.
“Kuna nini mbona kama hakupo sawa hapa?”
“Si huyu mpuuzi amenipalamia, sijui ni mwehu”
“Nafikiri ni bahati mbaya, twende nikupeleke”
“Unipeleke wapi na hili vumbi la miguuni. Binti nifute usinipotezee muda.
Kinyonge nilimfuta, baada ya kumaliza kumfuta alinisukumia huko. Akaondoka.
“Sorry” Omary aliniomba samahani nae akaondoka.
Nilivaa kiremba changu nikaendelea na safari yangu.
“Usiniambia ushaharibu huko kazini?” Mama aliniuliza baada ya kufika nyumbani.
“Sio kweli. Huwezi amini mimi huyu nimehamishwa kitengo?”
“Usiniambie?, kwaiyo upo kitengo gani?”
“Nipo kitengo cha mauzo ya bidhaa”
“Haaaaa! Hii inawezekana vipi alafu mbona gafla?”
“Mie mwenyewe sielewi imekuaje kuaje ila namshukuru MUNGU tu mama. Maisha yetu yanaenda kubadilika”
Basi siku hiyo ilikuwa ni siku ya furaha baina yangu na Lissa.
“Nimeshindwa kuvumilia mpaka hiyo usiku. Nimekufata unipee hapa hapa nina nye….ge baby nielewe tafadhali” Nari aliongea kwa sauti yenye hisia kali huku akiwa anampapasa Remmy kifuani.
“Nari umekuwaje kwani?. Tupo wapi?”
“Haijalishi nachojua mimi mapenzi ni popote”
“Naheshimu Ofisi naomba uludi nyumbani tutaonana badae na kumakizana huko nyumbani sio hapa ofisini” Remmy akiongea Serious.
“Najua ushapata mwanamke mwengine ndo maana hujafurahia uwepo wangu tangu nije” Nari alilalamika ila Remmy wala hakumjibu.
Kwa hasira Nari aliondoka nje ya ofisi alikutana na Omary alimkwida shati alianza kumvuta kama punda.
“Madame kuna shida?” Omarybalimuuliza.
“Shiiiiiii!” Alinyamazishwa asiongee chochite.
Omary akishangaa baada ya kuingizwa chooni.
“Kuna tatizo gani Madame?”
“Nina nye….ge naomba unitulize kidogo Remmy hajali tena hisia zangu” Nari aliongea huku analia………
SEHEMU YA 13
Kimasihara masihara Omary alikula demu wa boss wake.
“Hii iwe siri baina yetu isitokee mtu yoyote kujua”
“Siwezi kumwambia mtu yoyote hata mimi naipenda kazi yangu”
Kila mmoja alipitia njia yake baada ya kutoka chooni.
“Ila Omary mbona amenimalizi hivi. Anazungusha, anaigusa, anaisugua, anakuna uwiiiiii! Kuna wanaume wanajua kututo….. Mmmh” Nari alijikuta anaongea mwenyewe akiwa ndani ya gari safari kuludi kwa madame Sala mama wa Remmy.
Majira ya jioni Remmy analudi nyumbani alipolelewa vizuri na mama yake. Kama mnavyojua tabia ya wanawake wengi baada ya kukutana na mwanaume ambaye anaona amemzidi mume wake au mpenzi wake kitandani basi dharau za chini chini zinaanza na mwishoe wanashindwa kuficha makucha yao
Basi ndivyo ilivyokuwa kwa Nari. Uchangamfu na shobo kwa Remmy alipunguza ndani ya masaaa tu tangu aliee na Omary.
Baada ya chakula cha usiku Kila mmoja alienda kulala chumbani kwake. Hisia za Remmy zilimwambia huenda mpenzi wake amechukia kwakuwa alimnyima kule ofisini.
Aliona si busara na yeye kumkaushia inabidi amuanze kumuomba mzigo.
Akitoka chumbani kwake alienda chumbani kwa Nari. Alimkuta anaongea na simu.
“Nilifikili umelala?”
“Nipo macho karibu?” Nari alimkaribusha.
Remmy alianza chombeza za hapa na pale ila Nari hakumpa ushirikiano na hakutaka kufanya hayo maana alijua kama atafanya hayo basi Remmy atajua tunkuwa ameshatumika maana sio kwa ule moto wa Omary.
Huku na kule wapi. Remmy alivyoona mpenzi wake hatoi ushirikiano aliludi chumbani kwake kiroho mbaya.
Asubuhi na mapema niliwasili kazini. Niliwai kufaka sijui ni kile ki hamu cha kuamishwa kitengo maana hata usiku sikulala vizuri nilikuwa naona hapakuchi 😂😂😂.
Nilipangiwa majukumu yangu huku kiongozi akinisimamia maana sikuwa na elimu ya kusema niwe katika kitengo hicho. Kazi ilikuwa ngumu maana ilihitaji akili na sio nguvu.
Mwanzo ulikuwa mgumu sana ila kutokana nilipata wasimamizi wa zuri wa kunifundisha utendaji wa kazi ilikuwa rahisi kuelewa.
Nilishangaa pia namna Kiongozi alivyo mnyenyekevu kwangu. Sikujua kama nipo hapo kwa maaguzo ya baba mtoto wangu.
Madame sarah hakuacha kumlalamikia kijana wake kuona.
“Umri unaenda utaoa lini Remmy?”
“Muda bado. Muda ukifika nitaoa tu mama ondoa shaka”
“Muda bado kivipi na una kila kitu, umri unaenda unafaa kuitwa baba sasa na mimi pia nina hamu ya kuitwa bibi. Nari yupo hapa sijui unafikilia nini kuhusu yeye. Ni binti mzuri na mwenye kuvutia pia”
“Usijali mama nipe muda kila kitu kinaenda kulingana na mipango”
Siku zilizidi kusogea kama mjuavyo siku hazigandi. Mshahara wangu wa mwezi uliingia kitita cha laki tano. Nyie sikuwai kushika pesa nyingi kama hiyo tena iwe kwa kazi ya mikono yangu.
Nilimshauri mama tutafute chumba kizuri cha umeme tuhame pale gizani. Basi tulipata chumba kizuri cha umeme maisha mapya yalianza. Sikuacha ku save pesa.
“Hivi hujawai kuonana tena na Ceo Remmy?” Usiku mmoja baada ya kuludi kazini mama aliniuliza.
“Sijawai kuonana nae na wala sina mpango huo”
“Mmmmh! Ila nahisi ni yeye ndiye aliyekupandisha cheo, si rahisi kwa mtu kama wewe usiye na elimu kufanys kazi kwenye kitengo cha mauzo ya bidhaa”
“Atajua mwenyewe kikubwa pesa napata mama’
“Lakini huoni kama unamnyima mtoto haki ya kumjua babs yake. Gift amekuwa sasa na anazidi kukuwa”
“Nitamlea mwenyewe mama siwezi kujipendekeza kwa mtu aliyenibaki hata iweje na usije kumwambia mtu yoyote kuhusu hili……Mimi ni single mama acha iwe hivyo”
Vile Ceo Remmy ambavyo hataki nimjue kama ni yeye aliyenibaka miaka ya nyuma na ndivyo hivyo hivyo na mimi. Sitaki anijua………Sa itakuaje jamani 😄😄😄 watu wanajuana alafu kila mmoja hataki mwenzie amjue pasipo kujua kuwa mwenzake anamjua vizuri………
SEHEMU YA 14
Siku nazo hazikusimama. Kazini nilikuwa mzoefu sasa. Siku moja gafla tu Ceo Remmy alikuja kutembelea kitengo chetu. Kwa mala nyengine tulionana tena.
Kila tulipotazamana mapigo ya moyo yalikuwa Juu sana. Basi baada ya kulidhishwa na maendeleo aliludi ofisini kwake.
“Kwanini kila nikimuona yule binti nakosa ujasiri na nsjikuta naumia sana, yaani sina mood kabisa yakuelendelea kuwepo hapa” Aliongea mwenyewe akiwa ofisini kwake.
Alitoka ofisini alimwambua Omary amludishe nyumbani
“Mbona unaonekana haupo sawa, kuna tatizo?” Omary alimuuliza.
“Nahitaji kupumzika tu”
Omary alimfikisha nyumbani boss wake.
“Nakupa kazi ya kumfuatilia yule binti kwa undani?” Remmy alimwambia Omary kabda hajashuka kwenye gari.
“Ni nani boss. Shaznah?”
“Ndiyo”
“Sawa ondoa shaka”
Remmy anaingia tu ndani anapokelewa kwa furaha na mama yake.
“Imekuwa vyema umeludi mapema leo”.
” kuna tatizo?”
“Hakuna tatizo bali kuna habari njema”
“Nakusikiliza Mama?”
“Nari ni mjamzito?”
“Nini?”
“Nasema Nari mjamzito, nimefurahi mno hivi karibuni nitaitwa bibi” Mama yake aliongea hayo kwa furaha ila Remmy ni kama vile alipaniki sana sema hakutaka kumuonyesha usoni mama yake.
“Mbona kama umezipokea hizi taarifa tofauti na nilivyo tarajia?”
“Amna. Nari mwenyewe yupo wapi nipate kusikia kwa mdomo wake hizi taarifa”
“Yupo chumban kwake”
Remmy alienda moja kwa moja chumbani kwa Nari. Alimkuta Bado amekaa kitandani yupo mbali kimawazo.
“Alichoniambia mama ni kweli?” Remmy alimuuliza.
“Hajaongopa, usije kusema sio yako” Nari aliongea kwa unyonge?”
“Unafikiria nini kuhusu maisha yako?” Remmy alimuuliza.
“Sijui nisemaje ila tambua kuwa nakupenda, naomba unioe Remmy” Remmy alimuangalia Nari alafu aliachia tabasamu na kutoka chumbani.
Alienda chumbani kwake huko akili yake haikutulia kufikilia kitu kimoja, alikuwa na mawazo mengi sana.
Majira ya saa moja usiku alipokea simu kutoka kwa Omary.
“Kuna taarifa zozote?”
“Ndiyo boss. Nimemfuatilia Shaznah nimefahamu anapoishi”
“Hilo tu?”
“Pia ana mtutu umri nahisi miaka mitatu kwa nilivyomuona. Nimefanikiwa kumpiga picha nakutumia saivi whatsapp”
“Okay”
Baada ya kukata simu Omary alimtumia Remmy picha ya mtoto. Remmy Jicho likamtoka.
Ujumbe kutoka kwa Omary uliingia.
“Kwa taarifa nilizopata na namna mtoto alivyokufananina nina uhakika Asilimia 100 mtoto ni wa kwako. Maana inasemekana Baba mtoto hakulikani kwasababu Shaznah alibakwa”……….
SEHEMU YA 15
Taarifa hizo zilimpagawisha Remmy alikosa utulivu. Alihisi joto mwili mzima. Ilimlazimu aingie bafuni kuoga bila kupenda.
Alitamani kesho ifike haraka ili ayajue mengi sana.
Asubuhi wakiwa wanakunywa chai, madame Sarah aligusia kuhusu ndoa kati ya wawili hao.
“Ndoa?” Remmy aliuliza kwa hamaki?”
“Kuna wakati sitaki unipinge mimi ni mama ako. Huyu binti lazima umuoe maana tayari ana damu yetu”
“Kaa nae chini akuambie ukweli” Remmy alimuambia hayo mama yake alafu alimgeukia Nari mwenyewe.
“Wakati mzuri ni huu ukweli umuweka mtu huru” Remmy aliongea hayo baada ya hapo aliwasusia na chai akasepa.
“Usijali mwanangu Remmy ni mwanangu mimi na lazima akuoe wewe atake asitake”.
“Ni sawa”
“Kabda hatujafika ofisini naomba unipeleke anapoishi Shaznah”
Omary alitii. Alimpeleka moja kwa moja mpaka ninapoishi.
“Ni pale na yule mtoto anayecheza pale kibarazani ndo mwanae”.
Remmy alishuka kwenye gari. Alipiga hatua mpaka alipokuwa Gift. Alimuangalia binti yake alijikuta anadondosha machozi kwa uchungu. Alijiona ni katili kupitiliza.
Lissa anatoka ndani anamkuta Remmy. Alishtuka manusura adondoke.
“Ceo ni weww?” Lissa alimuuliza Remmy?”
“Unanifahamu kabda?”
“Nilishawai kuwa mfanya kazi wako kwenye kiwanda chako. Karibu sana, karibuni ndani”
Bila kusita Ceo Remmy na Omary waliingia ndani. Kidogo ndani niliparekebisa kwa kununua vitu kidogo vya kisasa.
“Wewe ni mama wa Shaznah?” Remmy alimuuliza Lissa .
“Naweza kusema ndiyo”
“Bila kunificha naomba kumjua Shaznah kidogo”. Lissa alifunguka yote na wala sio kidogo.
“Ni sawa nilimkosea sana ila kwanini alinificha. Wanangu anaishi maisha ya tabu ikiwa baba yake nipo vizuri. Namuomba mtoto nimbebe”
Remmy alimbeba mtoto wake alilia machozi ya furaha, mtoto alikuwa copy yake kabisa.
“Anaitwa nani?”
“Jina lake ni Gift”
“Hakika hii ni zawadi”. Siku ya leo naomba niitumie kuwa na wazadi hii. Gift mama mimi ni baba yako. Niite baba”
“Babaa!” Gift aliita huku analia hali iliyoibua hisia sana na wote walijikuta wanalia sio Lissa wala Omar.
Remmy alimbembeleza binti yake mpaka alinyamaza. Alimwambia anaondoka na Gifti atamludisha badae. Alitaka siku hiyo aitumie na mwanae tu.
Lissa hakuwa na mashaka kabisa na Ceo Remmy. Ceo aliondoka na Gift, alianza kumpitisha mwanae shopping. Alimnunulia kila kitu alichoona kinamfaa binti yake, gari zima lilijaa.
“Baada ya hapo aliomba kwa muhudumu asaidie kumbadilisha mwanae muonekano kuanzia mavazi na kila kitu. Baada ya lisaa limoja tu lilitosha Gift kuwa na muoneka kama mtoto wa mfalme…………
INAENDELEA………

