CEO ALINOGEWA NA UTAMU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 1
“Upo sawa Mr Remmy?” Dereva wake walimuuliza baada ya kumuona ametoka nje ya club kubwa maharufu huku akiwa anayumba sana.
“Nina hakika wapuuzi wale wameniwekea madawa kwenye kinywaji” aliongea hayo kwa taaabu sana. Steven dereva wake alimsaidia kumuingiza ndani na ya gar.
“Nini kimetokea?”
“Nahisi kuna mpango wameupanga juu yangu ukiachana na maxungumzo ya kibiashara. Naomba uliondoe gari haraka eneo hili nahisi bado wananifuatilia” Omary alitii amri ya boss wake.
“Nipeleke hotelini”
“Vipi unaonaje tukianzia hospitali?”
“Nahisi si salama kwangu. Nifikishe hotelini” kwakuwa Omary anajua hotel anazopenda kwenda boss wake alimpeleka moja kwa moja kwenye hotel ambayo anapendelea sana kulala hapo akipata dhalula
Alimlaza kitandani boss wake na asijui nini kimemsibu. Alishangaa zaidi baada ya kumuona boss wake analia huku akiwa ameshika maumbile yake yaliyokuwa yamesimama dede.
“Boss” Alimuita.
“Nakupa kazi ya kunitafutia mwanamke wa kulala nae haraka iwezekanavyo, Hali yangu sio nzuri wa..shenzi wale wameniwekea dawa za nguvu za kiume kwenye kinywaji”
Omary alitii, aliondoka hapo hotelini lengo kwenda kumchukua dada poa amletee boss wake. Akiwa ndani ya gari anaangaza huku na kule alifanikiwa kumuona binti akiwa anatembea kando ya barabara yenye utulivu isiyo na watu.
Ni usiku wa saa sita ni nadra sana kukuta watu wanatembea barabarani.
Nikiwa sina hili wala lile, mawazo kichwani rundo, siku hiyo ilikuwa mbaya sana kwenye kijiwe changu cha biashara. Mimi ni muuzwa vitafuno bagia na chai usiku maeneo ya barabara kuu.
Nilistuka baada ya gari kufunga freki mbele yangu. Nilishuhudia mlango wa gari umefunguliwa akishuka mwanaume alinifuata mpaka niliposimama.
“Nina shida na wewe usiku wa leo” aliongea kama vile ananijua.
“Mimi sio dada poa kama unahitaji dada poa nenda kwenye madangulo utawakuta kibao” Nilimjibu nikataka kuendelea na safari.
“Imekuwa vyema sana kukutana na wewe, kwakuwa umesema wewe sio dada pia basi utamfaa bosi wangu usiku wa leo. Kwa hiari yako naomba upande kwenye gari”
“Wee! Kaka nikome aiseee usitake kuiharibu siku yangu zaidi. Nimekwambia mimi sio dada poa, unaona hili deli lakini?, nimetoka kwenye biashara yangu na siku ya leo umenidodea niache buana sitaka kuvunjiana heshima na wewe”
Kabda kijana huyo hajanijibu simu yake iliita, aliipokea akaiweka sikoini. Nilipotaka kuondoka alinidaka mkono wangu kwa nguvu.
“Niache bhana wee vipi, sikujui hunijui achana na mimi ntakuitia nzi hapa hutoamini” Niliongea kwa kufoka ila ilikuwa ni bure tu, alisendelea kuongea na simu huku akiwa ameukamata mkono wangu kisawa sawa.
Baada ya kumaliza kuongea na simu alinigeukia na kuniomba nipande kwenye gari ana mazungumzo na mie.
Kwakuwa nilishaijua nia yake nilimgomea na kumuomba aniachie niende zangu. Eneo hilo lilikuwa tulivu sana hakuna raia aliyekatisha usiku huo wa saa sita.
Basi baada ya kumuwekea mgomo ilibidi atumie mabavu kuniingiza ndani ya gari.
Gari liliondolewa kwa kasi ya ajabu. Tulifika mpaka mwenye hotel, alinishusha kubabe kwenye gari niliendelea kuweka mgomo ila haikusaidia kitu.
Basi alivyokuwa ananivuta vuta kama gari bovu uzuri muda ulikuwa umeenda sana, watu hawakuwepo kabisa nje ya hotel na hata ndani zaidi ya wahudumu tu.
Tulipanda lift baada ya kushuka kwemye lift aliniongoza alianza kuniongoza kama kawaida. Niliona sasa huyu mbwa yupo serious hatanii weee nisiangue kilio kama nimefia.
Hata alijali basi, mwanaume huyu hakuwa na hata chembe ya huruma. Alifungua mlango tuliingia ndani.
Uwiiiiii! Nilichokiona nilipiga ukunga mie. Ile nageuka ili nikimbia Omary alinidaka.
“Unaenda wapi sasa?” Aliniuliza kibabe.
“Nimesahau bagia zangu” Niliyasema hayo ili tu nipate upenyo wa kutoka maana yaliyomo yamo………
SEHEMU YA 2
Yaliyomo yalikuwemo kweli, mwenzenu mie niliona tango na kijana mmoja aliyelala kitandani akiwa mtupu.
“Boss huyu hapa” Kijana yule aliyasema hayo huku akinisukumia kitandani na baada ya hapo alitoka tukabaki wawili sasa.
“Tafadhali usiniingilie nihurumie mimi sio dada poa”
“Sitegemei kama utazungumza chochote. Hali yangu ni mbaya siwezi kukuelewa, naomba utoe ushirikiano maana sitaki kufanya na wewe kama vile nakuba….ka” Remmy aliongea hayo huku anaugulia maumivu.
Hakutaka kupoteza muda kuzozana na mie alianza kunifanyia mbwembwe ila mie sikutoa ushirikiano, alipoona simpi ushirikiano alisitisha kuniandaa akazama chumvini.
Imeingia kidogo yaani kichwa tu ikagoma kuendelea. Nikasikia anaguna.
“Mmmh”
“Naumia buana niache kwanini unataka kunikatili hivi tena bila hata kinga” niliongea hayo huku nikiwa nalia ila mwanaume huyu aliweka pamba masikioni.
Alisukuma mtarimbo wake kwa nguvu nati zikakatika(si mnaelewa lakini) basi mie hayo maumivu sasa.
Mwenzenu nilikuwa binti kigori alafu ndo natolewa bikra yangu kwa mtindo huo yaani nimebebwa tu huko barabarani naletwa hotelini kufanywa na mwanaume nisiyemjua.
Kijana yule alininyandua hakujali kabisa kilio cha maumivu yangu. Uwiii nililia weeee! Maumivu yalipozidi nilizimia 🙌🙌🙌.
Nakuja kuzinduka alfajili ya saa 11 nilikuwa nimefunikwa vizuri na shuka. Nageuka upande wa pembeni hakuna mtu. Niliinuka kwa kunyata lengo langu nitoroke si ndo naona deli langu pamoja na chupa yangu ya chai. Juu ya deli kulikuwa na kikaratasi kidogo na pesa nyingi.
Niliangaza huku na kule nijihakikishie kama kweli nipo peke yangu. Nilichukua ile karatasi nlikutana na ujumbe mfupi usemao!
“I sorry”
“Ubwa huyu ama zangu ama zake. Naamini tutakutana tena” Niliongea hayo kwa uchungu sana yaani sikuamini kama bikra yangu imetolewa kijinga namna hiyo.
Sikutaka kupoteza muda kusubili kupambazuke, nilivaa chap nikabeba vitu vyangu bila kusahau pesa.
Nilinyoosha moja kwa moja mpaka nyumbani, niliingia kwa kunyata uzuri nilikuwa nalala chumba cha peke yangu.
Nilijiegesha kitandani, usingizi ukanipitia bhana nilikuja kustuka naamshwa na shangazi.
Shangazi ndo mzazi wangu mimi. Baada ya wazazi wangu kufariki alibeba jukumu la kunilea.
“Kulikoni unalala mpaka saivi watu tuna njaa, unaumwa?” Aliniuliza.
“Najisikia vibaya tu. Jana biashara ilikuwa mbaya tukisema tuitumie hii pesa kula asubuhi na mchana inamaana tutaumaliza mtaji?”
“Kwaiyo tusile?, mdogo wako analalamika njaa huko. Ebu kwanza toka huku njoo sebleni”Shangazi aliyasema hayo baada ya hapo alitoka na mimi pasipo kukawia nilimfuata nyuma yake.
“Unatembeaje hivyo wee Shaznah?” Shangazi aliniuliza alipoona nachechemea.
“Jana niliumia mguu wakati naludi”
“Mmmmh kwanza uliludi saa ngapi maana mpaka tunalala hukuwa umeludi” mtoto wa shangazi Tima aliniuliza.
“Jana nilichelewa yaani biashara ilikuwa mbaya sana si mnaona deli hilo?”
“Usikute hata haukwenda kwenye biadhara, ulikuwa kwa mwanaume, sikuizi naona umekuwa mjanja njanja sana” Tima aliongea.
“Ebu na wewe nyamaza. Kwanza unafaa kwenda na mwenzio kwenye biashara, nimekulea vibaya sana sijui leo kesho Shaznah hayupo tutaishi vipi?” Shangazi aliongea hayo.
“Mimi huyu nikauze bagia barabarani weeee subutu”
“Shaznah jitunze sana. Unakumbuka nilikwambia bikra yako ni zawadi yangu? ya kukulea tangu ukiwa mdogo haijalishi nimekulea kwenye mazingira gani ila naamini malezi nayikupa ni mazuri na yatakufanya uishi popote na mtu yoyote.
” naludia tena kaa ukijua kuwa bikra yako ni zawadi yangu. Jitunze sana ili nije kujivunia wewe siku za usoni” Shangazi aliyasema hayo, bikra yenyewe ninayo sasa🥹🥹🥹.
Ushatolewa usiku wa jana na mwanaume nisiyemjua………..
SEHEMU YA 3
Bikra yenyewe ninayo sasa🥹🥹🥹. Ishatolewa usiku wa jana na mwanaume nisiyemjua.
Nilimkabidhi shangazi pesa za biashara.
“Kikubwa mtaji mmeludi. Hizi bagia zilizobaki fanya kuzipitisha mitaani ili tupate hela ya kula. Shangazi aliniambia.
Hanaga huruma na mimi kabisa alafu ananiambia huruma sio malezi na mtoto wake ni kama yai. Hapo nishamwambia kuwa najisikia vibaya na mguu unauma alafu ananiambia nikatembeze bagia tena daaaaaah!
Tima amekaa yupo busy anachati na watu wake anasubilia mie nikaangaike yeye ale bila kutumia nguvu. Sema nini maisha haya kuna muda mtu anakufanyia mabaya kumbe ndo anakutengenezea njia ya kutoboa, anakufundisha maisha bila kujijua.
Sikutia hata maji usoni, nilifuta matongotongo kwa vidole vyangu. Nikabeba deli huyo nikaingia mitaani kutembeza bagia.
“Ila mama unajua kumnafikia huyu mb….wa” Tima alimwambia shangazi.
“Yaani unajifanya unampenda kumbe unamtesa weee kiboko. Na lenyewe lilivyo jinga linajua linapendwa”
“Ebu na wewe huko fanya ku kubandika chai saivi”
Majira ya saa tano nililudi nilikwakuta mama na mtoto wamekaa kibalazani wakiwa wameandaa vikombe na chupa ya chai”.
“Bora vibamaki kidogo. Hivi tutanywea chai. Umechoka sana binti yangu”
Baada ya kunywa chai Shangazi aliniambia nijiandae twende sokoni tukanunue vitu vya biashara. Yaani nilikuwa nachoka mwenzenu sio pouwa kabisa.
Nilienda chumbani kwangu kujiandaa ndipo nikapata wazo la kuangalia pesa zile nilizopewa, niliishiwa pawa baada ya ya kukuta patupu. Nilijua moja kwa moja Tima kapita nazo maana anatabia ya ku search vitu vyangu.
Kumshtakia sikuweza maana pesa zilikuwa nyingi shangazi angehoji nimezipata wapi na hata yeye kunishtakia hakuweza maana angesema basi pesa zote angechukua Shangazi.
Sikuwa na namna nilikausha tu ila roho iliniuma balaaa, pesa ambayo kama kipozeo sio chini ya laki nne Tima kachukua hajaniachia hata elfu moja tu,
Kwa hasira nilianza kulia. Yaani na kuangaika kote kuwalisha mimi ndo nilikuwa kama baba wa familia maana Shangazi nae ni mjane.
Mpaka nakuwa mie navaa machupi ya mtumba sijui ndo ya urithi 😄😄😄. Maana wanasema chupi za mtumba ni chupi za urithi😅😅😅.
Kama kawaida jioni naenda kwenye biashara huko heka ni nyingi sana.
Nina rafiki yangu mmoja huyo huwa namueleza matatizo yangu.
“Kwanini unavumilia yote hayo na uwezo wa kujitafutia ridhiki unao?, toka pale kapange usiwe mjinga”.
“Namuhurumia shangazi, licha ya kunifanya kama mtumwa ila ana mazuri yake pia. Yeye ni kama baba yangu”
“Watu kama nyie ni ngumu sana kuwashauri sababu mna huruma kupitiliza. Endelea kuwa mtumwa ila ukichoka utaondoka na kwa taarifa yako sahau kabisa hata kuolewa”
Shoga angu nae alinisimanga.
Siku zilizidi kusogea. Asubuhi moja baada ya chai Shangazi aliniambia ana mazungumzo na mimi.
“Nakusikiliza shangazi. Niliitikia wito wake.
” umekuwa sasa binti yangu”
“Ni kweli” Nilimjibu kwa unyonge.
“Nimekutafutia mwanaume sasa tena mwanaume wa maana”
“Jamani shangazi!”
“Sio kwa ubaya ndo maana nimekwambia kwa sasa umekuwa au wewe hutaki kuwa na familia?”
Sikuwa na lakumjibu zaidi ya kukaa kimya.
“Umepata mwanaume wa maana, kwanza anapesa alafu ni wale wanaume sijui mnawaitaga mubaba wangu eeeeeh!” Shangazi alikuwa anaongea mwenyewe mie namtazama tu natamani hata kulia maana kwa namna alivyomuelezea huyo mwanaume nilijua moja kwa moja ni mtu mzima haswaaaa!
“Sasa binti yangu Bikra yako inaenda kutupa utajiri, tunauaga umasikini muda si mrefu. Si unayo lakini?” Shangazi aliniuliza…………
SEHEMU YA 4
Shangazi aliniuliza.
“Sijui nimwambie tu ukweli nijiepushe au ndo nitaharibu kabisa?” Nilijiuliza mwenyewe akilini mwangu.
“Ni sawa tu” nilimjibu shangazi shingo upande.
“Sikuizi watu wanaangalia sasampa mwanangu, au hautaki kuwa slay queen?”
“Shangazi bhana mie sipo tayari kuolewa kwa sasa tena mwanaume mwenyewe hata Simjui bhana”.
” mb…wa wewe tangu lini umeanza kunipinga?” Shangazi alipaniki na matusi juu”
“Kuna nini?” Tima aliuliza baada ya kufika.
“Si huyu hataki kuolewa na mzee Benito”
“Kama hataki niolewe mie bhana.
“Mshe…..nzi wewe una bikra?, Ushatolewa na wahuni huko. Mzee Benito anataka mali safi kama Shaznah”
“Ndo hataki sasa unamlaximishaje”
Vulugu likaendelea kwa mama na mtoto Tima anataka kuolewa mbadala wangu na shangazi hataki coz mwanae sio bikra
Siku hiyo shangazi aliniambia nisiende kwenye biadhara mume wangu mtarajiwa anakuja kuniona, hapo ndo nikaamini kuwa shangazi yupo serious na jambo hilo hana mzaha.
Basi heka heka za usafi zilikuwa nyingi, Huwezi amini siku hiyo shamgazi aliniogesha kama mtoto mdogo alisugua mpaka gaga langu/kisigino cha mguu. Alininyoa nywele za kwapa. Alipotaka kuninyoa kwa bibi nilikataa kwa kisingizio cha kusema naogopa atanikata bahati mbaya.
Nikamwambia acha nitajinyoa kwenyewe tu. Hofu yangu ningetanua miguu kushoto na kulia angenigundua kuwa nishatumika.
Basi baada ya kumaliza kuogeshana na kila kitu shangazi alinivalisha dela aliloninunulia, yaani hilo dela nilinunuliwa special kwaajili ya kuonana na huyo mubaba.
Hakuishia hapo alinipodoa nikapodoka, aiseeee kwa mala ya kwanza tangu nizaliwe nilijiona nimependeza na mimi.
“Mzuri mwenyewe binti yangu na umependeza sana. Nakuombea ukadumu kwenye ndoa yako” shangazi aliongea hayo. Niliachia tabasamu kinafki tu.
Majira ya Jioni shangazi alipokea simu kutoka kwa Mr Benito.
“Sitaweza kufika leo nimepata dhalula. Endelea kumtunza mwali wako”
“Umeniangusha sana, namna nilivyofanya maandalizi ya kukupokea yaani nimegharimu si chini ya laki moja alafu ndo unasema huji kweli?”
“Kuhusu pesa usijali nakutumia”
Baada ya kumaliza kuongea Mr Benito alimtumia shangazi pesa laki mbili. Basi shangazi yangu mie alimmwagia sifa kibao huku akinionyesha muamala wa pesa aliyotumia.
“Yaani mwanangu si nilikwambia unaolewa na mtu wa maana kabisa. Sasa huko unapoenda usinisahau shangazi yako. Mie ndo mama yako na mie ndo baba yako”
“Siwezi kukusahau shangazi🥹🥹🥹”
Huyu sijui nimwambie tu kuwa mimi sio bikra maana huko mbele kisije kikaumana jamani. Nilikuwa namawazo tele nianzaje kumwambia shangazi, atanielewa kweli na mala nyingi amekuwa akinisisitiza nijitunze bikra yangu ndo zawadi yake.
“Kuanzia sasa utakaa mwali nahofia usije ukaniharibia mipango yangu. Hakuna kutoka ndani kila kitu nitafanya mimi huku nje na vya ndani tutasaidiana napohitaji msaada. Hii pesa iliyotumwa wacha nikakufanyie shopping nataka mumeo akikuona adate zaidi”.
“Lakini shangazi” kabda sijamaliza kuongea shangazi alixungumza.
“Hakuna cha lakini, ngoja nikakununulie vitu muhimu, kwanza nataka unyorodoke ngozi hiyo iwe laini kama ya mtoto mchanga, nywele hizo uende saloon kuziweka sawa”
Shangazi hakutaka kunipa nafasi ya kunisikiliza anachoamua yeye ndo hicho hicho…….
SEHEMU YA 5
Alienda kunisagulia vitu huko, alininunulia mpaka nguo za ndani special sio mtumba tena 🥹😀😀 tena dazen kabisa, taiti, sidilia, mafuta ya kupaka ya 40000 huko eti anataka ni glow ndani ya siku moja nyie 😄😄😄.
“Shangazi kwanini unafanya yote haya. Ujue hii hela umeipoteza tutaijutia, yaani ingesaidia hata kufungulia biashara nyengine tuache kuteseka barabarani usiku”. Nilimwambia shangazi.
” unafikir kuna kuteseka tena basi?. Mwanangu sie tushajipata bhana.
“Mmmh!” Niliguna tu.
Basi nilipelekwa saloon mimi kutengenezwa nywele. Eeeeh mimi huyu nikawa kama kamdori jamani maana MUNGU nae aliniumba🥰.
“Weee mama Tima heka heka hizi kwema kweli?” Jirani mama Nasya alisalimia kwa kiuliza baada ya kuona mabadiliko yangu.
“Kwema kabisa. Alafu nilisahau tu kukwambia maana heka heka ni nyingi shoga angu. Shaznah amepata mchumba naozesha mwenzio, na raha iliyoje!” Shangazi aliongea.
“Ndo maana naona unamgarimu amependeza kweli na alivyo mzuri sasa mwenyewe. Allah akamdumishe kwenye ndoa yake”
Mie sikutaka hata kuendelea kuwasikiliza maana wananivuluga tu akili yangu. Niliondoka nikawaacha wenyewe.
“Nipe siri basi shoga angu” mama Nasya alimchimba shangazi.
“Raha ya kuitunza bikra ya mtoto si nilikwambiaga lakini. Nailinda bikra ya Shaznah maana ndio utajiri wangu wa baadae”.
” Hivi shoga uko timamu kweli?, kwa akili zako hizo unaona Shaznah ni bikra?”
“Nina uhakika asilimia mia bado binti kigori. Namjua vizuri Shaznah sababu nimemlea tangu mdogo”
“Kwa hizo biashara unazomsukumia akafanye huko barabarani tena binti aliyepevuka analudi usiku wa saa tano saa sita bado tu unakazania na kujipa asilimia zote kuwa Bikra unaona umelea kwenyewe?, shoga sijakataa kwamba hawezi kuwa bikra ila siwezi kukubali kwa asilimia zote hilo nalipinga wazi wazi. Mazingira uliyomlea Shaznah ni ngumu sana kuwa bikra maana najua anakutana na vishawishi vingi sana kuwa makini”
“Weee nae hunaga zuri kila kitu kibaya ebu bhana niache mie, unajifanya kumjua sana kuliko mie mama yake” Shangazi alipaniki.
“Basi shoga angu, tusigombane kwa vitu vidogo hivi”
“Eeeeeh ndo hivyo naozesha mie na misasampa naivuna” Shangazi alimtambia mwenzie.
Majira ya usiku tulipika wali na msamaki maana sio samaki.
Chakula kilitengwa shangazi akanijazia siku hiyo, pande la samaki hilo, ubwabwa sahani full.si kawaida yake kunipa chakula kingi ila siku hiyo nilimshangaa.
“Kula mwanangu unenepe kidogo mumeo akija akukute na nyama za kutosha.
“Mmmmh!” Tima aliguna na kuanza kumlalamikia mama yake amempa samaki kidogo.
“Kila siku wewe nakupendelea kwasababu wewe ni mdogo kwa Shaznah na sio kwamba namfanyiaga roho mbaya ila leo nimefanya kwa Shaznah unaumia nini sasa” Shangazi alifika.
Wanaendelea kuzozana saa ngapi mie uvumilivu ukanishinda nikakimbia nje kutapika. Yaani ile harifu ya samaki ilijua kunivuluga mimi.
Basi nilitapika weeee!
“Na kama sio mimba sijui” Tima aliongea.
“Shindwaaaa mb…..wa weeee!” Shangazi alimjibu na tu…si juu”
Baada ya kumaliza kutapika nililudi ndani.
“Shangazi sijisikii kula tena naomba nikapumzike”
“Shaznah unanitisha ujue”
“Usijali shangazi nipo sawa” Nilienda chumbani kwangu
“Mama huyu ni mtamzito utake usitake, hakuna ndoa tena hapa😀😀😀. Tima aliongea hayo na kuangua kicheko balaaaaa!
“Huna tofauti na mchawi mb…wa wewe”
“Sikia bi mkubwa. Mie nakipimo cha mimba kama vipi tuhakikishe roho zitulie au unasemaje?”
“Uwiiiii! Hapa kweli sina Mtoto mimi, yaani Tima mpaka vipimo vya mimba unavijua na umri huo?”
“Ebu basi na wewe mama khaaaa! Kwani mie na udogo gani. Ngoja nikachukue chumbani kwangu” Tima alienda kufuata kipimo cha mimba alimkabidhi mama yake.
Wote kwa pamoja walikuja chumbani kwangu. Niliambiwa nipime mimba sikuwa na ujanja.
Ebu wacheni nilie kwanza mimiðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜……….
INAENDELEA………..

