DAAH.. KUMBE NI NDUGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 36
“Nilitamani dunia isimame nishuke, lakini haikuwezena, Nakwambia mwili wangu ulikufa ganzi..
SONGA MBELEE…Nae peni aliposikia maua analia na kutamuka maneno hayo,
“alivaa nguo zake kisha akafungua mlango akatoka kwa kasi.
“Chooni Nikabakia mimi nilikuwa nimeishiwa nguvu Nilikuwa nimeegemea ukuta huku najuta kujifanya mjanja wa mapenzi.
“Baada ya mda Nikajifunga taula harafu nikaanza kutoka
Nilisahau mpaka kujimwagia maji “
Nilifika mlangoni nikamuona maua amekaa analia sikuweza kumtazama kwa mara ya pili Nilikuwa naona aibu kichizi”
nilimpita kama simjui nikaenda kuvaa nguo harafu nikaondoka Nikaenda kazini Nilipofika Nikapoteza modi ya kufanya kazi,
sikuweza kufanya kazi yoyote mawazo kichwani yalikuwa mengi mno
” Daah inamaana peni anangoma,
inamaana Na mimi nimekwatua,
Ooh hapana sitaki kuamini, Nilijuliza maswali mengi nikakosa majibu,
Mida ya Saaa 8 mchana Baba maua akarudi nyumbani peke yake, chakula kikatengwa mezani Zoi na Peni, Ndiyo waliyoshiriki kula pamoja na Baba maua,
Wakati wanakula akawauliza,
* Maua yuko wapi mbona haji kula,
* Kaka maua yupo chumbani amelala nimeona siyo vyema kumuamsha. Chakula chake kipo jikoni akiamka,
Zoi akajibu”
* ok sawa lakini nataka nikuulize wifi yako kaiambia utaka kwenda nyumbani je ni kweli.
*Ndio kaka nilikuwa naomba kesho niondoke Zoi akajibu,
Sawa kama umejiandaa kesho mimi nitakupeleka stendi ukapakie gari lakini kulla haraka tuende mjini nikakununulie nguo zako, na.
zawadi za mama utampelekea,
* Maua alikuwa amejifungia chumbani kwake alikuwa hataki kuonana na mtu yoyote maumivu ya mapenzi: yalimtawala
” kwanini kila siku nafumania mimi tu ninamkosi gani mimi.
Maua akajiuliza. Kufumania inauma sio mchezo. yani usiombe kufumania.
” Usiku wa saa mbili peni aliaga akisema anakwenda dukani kununua losheni
” wakamluhusu aende, Peni alikwenda huko dukani
Hatukuja kwamba peni ametoroka tuliendelea kusubiri mpaka tukaenda kulala peni hakurudi tena”
“Kesho yake Asubuhi na mapema Zoi akapelekwe Stendi kupanda gari asafiri kijijini.
* Zoi nenda ukamsalimie Mama umwambie aje na yeye mjini,
* Sawa kaka nitamwambia Bay bay ,
Zoi na Kaka yake waangana zoi akapanda gari akaanza safari kurejea kijijini,
Baba maua yeye alikwenda kazini,
” Huku nyumbani Sasa Mama maua alihitaji kuichoma moto albamu. Yenye picha za siri. alikwenda kuichukua apoificha.
” Lakini akapatwa na mshangao baada ya kukuta kwamba ile albamu haikuwepo tena sehemu hiyo ” Mama maua alipagawa akaanza kutafuta na kutafuta lakini wapi”
Tobaaaah Nani kaichukua albamu yangu “
“mama maua akajiuliza huku mikono kichwani utafikili dada wa kazi kavunja sahani ya Bosi mkolofi.
“Nani sasa kaichukua kama sio mme wangu,
lakini angekuwa yeye angeniuliza mh mbona balaa hili. Nitaificha wapi sura yangu.
“Wakati mama maua apagawa na kupoteza picha,
Mimi nilijishauli,; kwamba niende hosipitali Nikapime, kweli nilijiandaa kisha nikaenda hospitali. Ebwanaee Nilipoigia nikaeda nikapima Sasa nikaambiwa
*nenda ukakae pale walipowezako tutakuita.
“Kweli nikaeda nikakaa kweye bench ambapo walikuwepo watu wengine wanaosubiri majiu.
Mwanamke mmoja niliye kaakalibu yake akaitwa. Baada ya mda akatoka ameshikilia karatasi huku analia.
Wakaitwa na wengine hakuna hata mmoja. aliyetoka anafuraha vilikuwa vilio kwenda mbele. Nilipo baki peke yangu kwenye Bench nilitamani kuyakimbia majibu,;
Wakati nimepata wazo hilo la kukimbia majibu. nikaamua kulifanyia kazi nilipoinuka iliniondoke mara Ghafla daktali akaniita,
“Joshua peter masanja” njoo majibu yako tayari
Niligeuka kwa unyonge nikamfata Daktali.
Tuliigia kwenye chumba akaihoji maswali kadhaa kisha akanipa ushauri kidogo. Ndipo akanikabidhi kalatasi ya majibu yangu. Nilipokea kwa hofo kubwa mno kisha nikaitazama ilikujua majibu yametoka vipi.
Je Nimeutua au nimesalimika.
SEHEMU YA 37
“Mara baada ya kuitazama kalatasi Nikayaona majibu”
Nilishuka chini ya kiti nikapiga magoti Kumshukuru Mungu” kwani Majibu yalikuwa mazuri Sikupata maambukizi yoyote.
Nilipomshukuru mungu wangu nikaninuka.
kisha nikamuuliza Dokta.
* inamaana dokta Mtu ambaye hana virusi akifanya mapenzi na mtu mwenye virusi bila kuchubuana Hawawezi kuambikizana.
* maambukizi ya virusi katika kufanya mapenzi yana sababishwa na michubuko chembe chembe za damu zinaweza kuambikiza, lakini bila hivyo huwezi kuambikizwa,
“Kijana nakusihi usisahau kutumia kinga wakati wa kufanya mapenzi Ni hatari kwa afya yako,
Dokta aliniambia hivyo.
*Asante sana dokta Baada ya mkushukuru Nikamuaga dokta nikaondoka ndani ya hosipito. nikiwa ninafuraha tele moyoni,
“Bado mungu alikuwa ananipenda hakutaka kunitia doa.
“Nilienda mpaka nyumbani Nikiwa na furaha Zangu. Mara Ghafla
” furaha ikapotea baada ya kufungua mlango mdogo wa Geti na kuona Begi la nguo zangu na vitu vingine vimetupwa nje.
Wakati nashangaa Nikamuona mama maua anatoka ndani akiwa amebeba viatu vyangu,
kisha akavitupa Nje.
Nilisogea nikamuuliza,
* Mama vipi mbona umevitoa nje viwalo vyangu”
* wewee weeee Koma kuniita Mimi mama yako unavyo niona naweza kuzaa mtoto mwezi jambazi kama wewe ,
Tena chukua matakataka yako uondoke nyumbani kwangu Pumbavu wewe.
Mama maua alikuwa na hasira kali.
alinijibu na kunitukana juu,
* Samahani Naomba unieleze unieleze nimekukose nini ndo niweze kuondoka.
* Wewe mwozi umeiba Albamu yangu naamini hivyo kwa sababu wewe tu ulikuwa unajua ninapo iweka. Kama unataka kukaa hapa niletee Albamu yangu”
* Hapana Mama mimi sijaiba Albamu.
Nilijitetea Mno Lakini mama maua hakunielewa kabisa, ikabidi Niondoke Na Begi Langu”
;Nilienda kwa rafiki yangu nikamuona hifazi japo nikae siku mbili tatu,
rafiki yangu Salu Alinipokea. Nikaanza kuishi hapo,”
“Baaada ya Siku Tatu maua alitamani uwepo wangu nyumbani kwao, akamfata mama yake akaanza kumwambia”
* Mama nakuomba Joshua tumludishe Hapa, Nime mumissi sana,
Maua akamwambia Mama.
* Joshua wa nini hapa,
“mimi Sitaki watu wezi katika nyumba yangu”
* Lakini mama kunakitu nataka nikuambie
* kinahusu Nini?
* Mimba yangu.
* imefanya nini ?
* Mama Leo nakwambia Ukweli nimecoka kukuficha wewe ni mama lazima nikuambie tu ili unisaidie” Mimi sikubawa na mtu yoyote,
Yule mganga aliwadanganya tu.
Hii mimba amenitia joshua uliye mfukuza hapa”
Maua alitoboa siri.
* Mmmmmh Mungu wangu Eti Nini .
mimba ya joshua,
“Mama maua akauliza huku amekodowa macho
Kwa mshangao.
SEHEMU YA 38
*Ndiyo mama hii mimba ya joshua,
Maua akajibu tena huku anaitazama tumbo lake. Hapo sasa mama maua alichoka kichwa hadi miguu, akashindwa hata kumlaumu Maua.
Akakate Chini na kuanza kulia.
* Mama vipi mbona unalia. Maua akauliza. Lakini hakujibiwa,
“””Kwa upande wa Zoi Tangu afike kijijini nyumbani kwao,
” Siku Nne zilizopita Hakupata mda wa kukaa na kuichambua ile Albamu aliyoiba Huko mniji kwa kina maua, Sasa siku ya Tano aliamka Asubuhi Akachukua begi Lake kisha akalifungua Ataitoa iyo Albamu. Kisha akaanza kutazama picha Zilizomo. Zoi aliona picha nyingi mno Za Mama maua Na mmewe, Zingine Za kwake peke yake, na nyingune Za maua,
Lakini alipokuja kuona picha zangu na maua Tulizo pigwa pamoja utotoni, zikamfanya aamini maneno ya mganga mdochi.
alivyo waambia kwamba joshua na Maua Ni Mapacha.
“Zoi alipomaliza kuzitazama akazipeleka kwa mama yake.
*Mama Hebu Tazama hizi picha
* picha gani tena Mwanangu akauliza huku anazipokea.
Kisha akaanza kuzitazama,
* Mh Huyu Si joshua aliyefariki baada ya kuchapwa Chapta mgongoni.
* Hapana Mama, huyo hajakufa ,
joshua yupo tena nina Mimba yake.
* Yupo umemuona wapi.
* Mama. Joshua anaishi mjini kwa kaka juma” Wanaishi naye kama mpangaji.
” Mimi sikujua kama ni ndugu yetu nikaanzisha nae mahusiano akanipa mimba Harafu Sio mimi Tu Hata maua Nae anamimba yake kubwa tu.
*;Mmmh wewe Zoi unayosema ya kweli unitafutie Balaa wewe mtoto mtu aliyekufa anakupaje mimba,
* Mama kama huamini ngoja nikuonyeshe picha yake ya Sasa nimepiga nae wiki mbili zilizopita,
Zoi akawasha simu yake kisha akafungua kwenye;
faili ya picha harafu akanuonesha picha zangu tulizopiga Naye,
Mama yake. Alipoziona picha zangu za ukubwani.
Akauliza.
* Je ulishawahi kumuona kama anayo chapta mgongoni, ;Zoi Akaulizwa,
* Ndiyo mama anayo tena inafanana kabisa na chapta za familiya yetu,
*Je kaka yako analijua hili.
* Hapana Mama Nahisi hajui Zoi akanijibu
* Mpigie Simu Kaka yako mwambie atume Nauli Tuende huko mjini Tukamuulize Huyu Mama Maua atueleze Nini kilitokea mpaka akatuambia joshua amekufa harafu tuliye mzika ni nani,
fanya hivyo haraka.
Zoi, aliambiwa hivyo Na Mama yake kweli Zoi. Akapigia simu”
Wakati Huo Baba Maua alikuwa njiani Na Gali yake nzuri alikuwa anaelekea Kazini. Mara simu yake ikaanza kuita.
akautoa mfukoni Kisha akapokea.
* Hellow Zoi hujambo.
* Sijambo kaka shikamoo.
* Marahabaa vipi mama anaendeleaje.
* Anaendelea vizuri Lakini kaka Mama ameniagiza Nikuambie Kwamba ututumie Nauli Kesho tunatalajia kuja huko mjini.
Zoi akasema,
* mh Zoi Kuna nini kwani mbona ghafla.
* Atakuja kukuonesha picha Ni mhimu tuma nauli utume na yakutolea,
Zoi alipojibu hivo Akakata Simu.
” Kwakuwa baba maua hakuondoka Na pesa mfukoni, ikambidi arudi Nyumbani. Kuchukua. Aligeuza gari akaanza kurudi nyumbani.
Baada ya dakika Tano akatinga nyumbani aliiacha nje gari akashuka na kuelekea ndani akionekana mwenye Haraka.
Alipoingia Ndani akakutana na Mkewe.
* Eeeh umenitisha. mbona heya heya hivyo umesahau nini mme wangu,
“Mama maua akauliza,
* Hata sijasahau chochote. Lakini Zoi anipigia simu ameniambia wanataka kuja huku nimekuja kuwachukulia nauli Niwatumie.
* Mh mbona Ghafla hivyo wamekueleza Wanakuja kufanya nini,
* Walisema kwamba wanakuja kutuonesha picha.
Wamesisitisa kuwa hizo picha Ni muhimu,
“Mama maua alipojibiwa hivyo Mwili wake ulitetemeka.
“Wakati Huo Maua alikuwepo Pembeni anawasikiliza.
aliposikia hayo machache akajiambia
Mh kumbe Zoi anataka kurudi tena.
Sasa ngoja,
Maua alisema harafu akakimbia chumbani kisha akachukua simu. harafu akapiga namba iliyo seviwa, Tina.
Baada ya nda mfupi Tina akapokea simu.
* Hellow Tina Upo wapii
“Maua alimuuliza Tina kwa sauti ya chini chini ,
huku anatazama mlangoni kwa wasiwasi..
SEHEMU YA 39
* Mimi Nipo nyumbani kwani ulikuwa unatakaje.
Tina akajibu kisha akauliza,
* Nataka uniletee hizo picha ulizonitumia kwenye simu.
Maua akajibu,
* Mh Maua hizo picha nilimpa joshua sika ya jana jioni mida saa 10 maana niliambiwa nimfikishie yeye na tiyari nimefanya hivyo,
wewe mtafute joshua.
” Tina akamjibu hivo maua. Basi wakamaliza kuongea.
“Maua akatafuta namba yangu akapiga,
“””Wakati huo mimi nilikuwa nyumbani kwa rafiki yangu Salu, nilikuwa Nafua fua nguo zangu Mara Ghafla Simu yangu ikaanza kuita. Nilikuwa nimeiweka pembeni juu ya ndoo Nikainuka harafu nikaifata. Nilipofika nikaitazama ndipo nikaona jina maua,
“”Mh kunanini tena mbona ananipigia Asubuhi yote hii, nikajiuliza hivyo kabla sijapokea. Harafu sasa nikabonyeza kitufe cha kupokelea,
Kisha nikaisogeza simu kwenye sikio.
* Hellow Mambo.
* poa mpenzi wangu joshua mzima.
* Mimi nipo fleshi vipi mbona umenipigia Simu asubuhi yote hiii.
“Nikamuuliza hivo maua,
* Joshua Leo Sijisikii vizuri Naona siku zangu za kujifungua zimefika na leo ndo mwisho mda wowote naweza nikaishikwa na uchungu,
Nilikuwa nakuomba uje nyumbani nipate kujifungua kwa amani,
“Maua akaniambia,
* Maua mimi siwezi kuja huko sababu mama yako Amenifukuza ameniambia nimeiba Albamu.
* Joshua ile Albamu aliiba Zoi. Akaenda nayo kijijini Sasa wanakuja yeye na bibi kuja kuweka sawa kila kitu,
Kwahivyo nakuomba urudi nyumbani Njoo na zile picha alipokupa Tina.
Maua aliniambia hivyo harafu akakata Simu”
“Baada ya kuchukua pesa Baba maua akaenda kwa wakala kisha atazituma kijijini.
Alipomaliza kutuma akampigia simu Zoi Na kumuuliza kama zimefika,
Zoi alijibu kwamba zimefika na wakati huo walikuwa wanafanya Maandalizi ya safari,
” Basi Baba maua alikwenda kwenye majukumu yake ya kila siku,
lakini wakati yuko njiani alikumbuka jinsi mke wake alivyo shtuka mara alipompa habari kwamba Zoi Na mama yake. Wanatataka kuja kuleta picha,
” mh mbona mke wangu alitaharuki hivyo Nilipo mwambia picha. harafu alionekana kutopendezwa na kile nimemwambia Sijui kwanini,
Baba maua alijiuliza hivyo, lakini hakupata chembe ya jibu,
Akaamua kupotezea,
“”” Huku nyumbani Mama maua kiti kilikuwa hakikaliki yani alikuwa amepagawa kabisa. Wasiwasi na mashaka vilimtawala.
Mara simu yake ikaita aliichukua haraka
Kisha akapokea,
* Hellow Mama maua yapata Miaka ishilini naaa , Nimechoka kukuvumilia uliniahidi Utanipa kiasi cha milioni 10 Nikuibie maiti iliyofanana kidogo na mwanao joshuo.
kisha nikutunzie Siri yako,
Lakini mpaka sasa umenipatia Milioni 6. Tu,
* Dokta kanje, naomba univumilie kidogo nitakupa milioni zako Nne,
* Sina mda wa kuvumilia tena Badae nakuja nyumbani kwako kumweleza ukweli wote mme wako,.
“Dokta kanje alimwambia hivo harafu akakata Simu, Hapo sasa mama maua. alionekana kuchangikiwa hakujua afanye nini.
“” amakweli hii ni sikuyakufa kwa nyani,
Mama Maua akajiambia,
Saa zilisonga hatimae ikafika Saa 11 jioni
“Honi ya Gari ikasikikaa Maua akatoka kwenda kufungua Geti. wakati huo mama maua alikuwa anachungulia dilishani. alitaka kuona kama kweli dokta kanje amekuja,
Geti lilipofunguliwa “Baba maua, akaingiza Gari ndani,
harafu akashuka mara akashuka Dokta kanje.
Hapo Sasa Mama maua akajisemea mwenyewe. Nimekwisha,
Wakati mama maua bado anazubaa Ghafla akashuka mtu mwingine Huyo ni Zaidi ya Dokta Kanje,
“Mama Maua alipomuona yule alianguka chini akazimia kwa uoga.
SEHEMU YA 40
*Kalibuni kalibuni sana.
Baba amua aliwakalibisha ndani Dokta kanje na mwezie.
* Asante Sana mbwana Juma. Dokta kanje akashukuru huku wanakaa kwenye makochi ukumbini.
Wakati huo maua alikuwa anakatiza mara akaulizwa na baba yake,
* Maua mama yako yuko wapi,
* mh alikuwa hapa labda kaenda chumbani.
Maua akajibu,
* kamuite mwambie kunawageni.
* Sawa Baba.
Baada ya kujibu hivo Maua alikwenda chumbani ilikumita mama yake. Lakini cha kushangaza alimkosa,
ikabidi atazame chumba kingine “chumba cha kalibu na sebule Chini ya dilisha ndipo alikuwemo mama maua, katika kutafuta hatimae maua aliingia kwenye kile ;akamkuta mama yake ameanguka chini. Maua alipiga kelele kumuita Baba Yake.
” punde tu juma. Akafika.
* maua nini tatizo mbona hivi,
* Baba hatamimi sijui nimemkuta amelala tu.
Maua alipojibu hivyo Juma akamuita Dokta Kanje.
* Dokta kanje hebu njoo huku mara moja,
Dokta kanje alienda kumsikiliza Juma.
alipofika akauliza,
* Vipi juma”
* mtazame mke wangu.
Juma akamwambia .
Basi Dokta kanje, alifanya vipimo vyake kisha akawaambia
* Mwangine maji huyu amezimia tu.
Baada ya kuambiwa hivyo Baba maua alifata maji akayaleta harafu wakamwagia Ndoo moja kubwa. alipomwagiwa maji “Mama Maua akazinduka.
“”””Wakati Huo mimi nilikuwa njiani Naelekea nyumbani kwa kina maua Nilikuwa na Bahasha niliyo hifadhi picha ndani yake,
Nilitamani Sana kufungua ili nizitazame Picha. Lakini Haikuwa ruhusa maana aliyenipa aliniambia kwamba nisizitazame Mpaka pale atatakapo kuja Yeye kuniambia kwamba nizitazame. Tena aliniahidi kunikuta nyumbani kwa kina maua”
“Basi Sikuweza kuzitazama nilibaki nimezibeba tu.
” Nilienda mpaka nyumbani wa kina maua Mlango mdogo wa geti ulikuwa wazi Niliingia tu.
bila kubofya kengele.
Nilipo Sogea kalibu na mlango wa kuingia ndani, Nikabisha
“Maua alikuja baada ya kusikia Sauti yangu,
* Oh kalibu joshua jamani.
Maua akaniambia.
* Asante. Vipi yupo Nani.
* Yupo baba and mama. na wageni wawili.
Kalibu ndani, Maua alinijibu harafu akanikalibisa ndani,
“Basi nikaingia Nilishangaa kumkuta Baba mleze aliyenilea mpaka nikakua. Nilimfata nikamsalimia tukakumbatiana kwa furaha sababu ni miaka mingi hatujaonana.
* Mwanangu Joshua ulikuwa wapi siku zote nilikuwa nakutafuta wewe. Toka mama yako afariki uliondoka nyumbani.
Baba mlezi akaniuliza hivyo.
* Baba niliondoka kwenda kutafuta maisha.
Nikajibu.
Mara Dokta kanje akaniambia nikae.
Basi nilikaa kisha Dokta kanje akaanza kuongea nia na zumuni La yeye kuja nyumbani hapo.
* Naomba mnisikilize Kwa makini.
“Joshua Najua unaamini kuwa Mr Richard ni baba yako.
“Hata Wewe Mr Richard unaamini kuwa joshua ni Mtoto Wako.
Lakini Sio hivyo Mr Richrd, Joshua Sio mtoto Wako
Dokta kanje aliongea maneno ambayo hayakueleweka vizuri kwa Mr Richard.Hata Kwa Juma. Na Mwanae maua hawakuelewa.vizuri Lakini mimi Na mama Maua Tulimwelewa vizuri Dokta kanje.
* Dokta Kanje mbona Sikuelewi uliniambia nije kumchukua mtoto wangu joshua yuko hapa sasa unaleta habari gani hizi,
* Mr Richard hebu mtazame Mama maua kisha muulize kitugani kinasababisha analia.
Dokta kanje aliposema hivo. Wote tukamtazama mama maua .
* mke wangu unalia kwanini.
Juma ambae ni baba maua akawahi kuuliza kabla ya Mr Richard.
* Wewe mama jibu Swali mme wako anakuuliza.
Dokta kanje sasa akachochea Moto.
SEHEMU YA 41
“Mr Richard alikuwa amekaza macho kumtazama huyo mama maua,,,,
*Kweli Mr Richard. Joshua Siyo mtoto wako Huyu ni mtoto wangu niliyembeba tumboni kwangu miezi Tisa.
Mama Maua alisema hivyo maneno hayo yanilifanya mimi Na Baba Maua tushangae kwa kiasi kikubwa,
* Eti Nini Joshua ni mtoto wako kivipi,
Mr Richard akauliza kwa jaziba. Hapo sasa Mama maua akaanza kusimulia Mkasa mkubwa. Ambao ulituacha midomo wazi”
* Mr Richard Mimi Na mke wako tulikuwa marafiki sana yeye alibahatika kuolewa na wewe tajiri ila mimi nikaolewa na mwanaume aliyekuwa masikini. Mungu akanijalia Nikapata mimba na nikajifungua watoto mapacha. Maua na joshua.
“Lakini mke wako hakubahatika kupata mimba wala mtoto Pamoja na ujaridi wenu.
“Kutokana na usumbufu wako wa kumsumbua mke wako kwamba unahitaji mtoto Hata ndugu zako walimsumbua mno.
“Nakumbuka mkeo alikuambia kwamba ana mimba tena akakuomba kwamba urudi nyumbani kwao, akakae huko mpaka atakapo jifungua,
“ndipo atarudi na mtoto.
“Nakwambia ukweli Mr Richard mkeo alikudanganya. Sababu alikuwa hana kizazi”
Lakini”
Hiyo ilikuwa ni njama ya mimi na yeye
tuliyo panga kwamba Nitamuuzia Mtoto wangu mmoja kati ya hao mapacha wangu ilimradi kulinda ndoa yake.,
Mke wako aliporudi kutoka kwao alikuja akakuambia kwamba ajifungua mtoto wa kiume ” Ulifurahi sana Ukapa zawadi ya Gari.
Nafikiri unakumbuka” picha mlizopiga siku hiyo nilikuwa nazo. Hata siku namkabidhi mtoto. Mke wako tulipiga picha kama kumbukumbu. Nilikuwa nazo”
“Kama bado huamini maelezo yangu kabla Joshua Sijamuuza Nilimpeleka kijiji kwa Babu yake Akachapwa chapta mgongoni walichapwa Wote wawili. Chapta hiyo hata mme wangu anayo. Joshua mwanangu hebu vua Shati Tukutazame mgongoni.
“Mama Maua akaniambia hivo.
Baada ya kusimulia mkasa mlefu;
” Na mimi nikainuka kisha nikavua shati kila mtu alinitazama mgongoni na kuona chapta niliyonayo mgongoni.
Hapo Sasa Mr Richard hakuwa na nguvu ya kupingana na Mama. ikabidi akubaliane na hali halisi japo kuwa inauma lakini angefanya nini,
Mr Richard hakuweza kuendelea kukaa yeye na dokta kanje waliaga kisha wakaondoka.
Tukabakia familiya tu.
* Mke wangu kwenini ulitudanganya kwamba joshua amekufa.
Baba akamuuliza “Mama.
* Mme wangu Uliondoka nyumbani ukaniacha nina ujauzito ukaenda Morogoro.ulikaa huko miaka Mitatu Bila mawasiliano yoyote ulitegemea nani atanipa chakula ulitegemea nani angenilipia kodi ya nyumba. ulitegemea nani atanihudumia.
“Mke wa Mr Richard alinisaidia mpaka akachoka, Nikimkopa Madeni mpaka akakataa kunikopesha, mtaa wote huu nilikopa mimi kwajiri ya mkujirisha na kujilipia kodi ya nyumba pia kujivisha,
” Niliomba msaa kwa ndugu zako lakini nao walinisaidia Hadi wakachoka”
“Nikaamua kumuuza Mtoto mmoja ilinilipe madeni kisha nipate sehemu ya kukaa, hii nyumba unayo iyona alininunulia Mke wa Richard baada ya kumuuzia Mtoto, akanipa na pesa nikalipa madeni yote, nikanunua chakula,
zingine nikafungulia biashara. Hadi uliporudi ukanikuta naishi maisha mazuri.
“Mama alimwelezea Baba Asababu iliyopelekea yeye kuuza mtoto,
Wakati Baba anatafakari jambo la kuongea
“Mara Ghafla maua akashikwa uchungu
“Maua alianza kupiga piga tumbo lake, Huku amelala chini Bila kupoteza mda tulimbeba kutampeleka Hospitali.
Badae mimi na baba Tukarudi nyumbani. Sikuweza kujua maua alitumia mda gani hadi kuzaa Walilala huko huko Hospitali.
wakati tupo nyumbani Mimi. Na baba Tukiwa Tunafuraha ya kutambuana,
Baba aliniomba msamaha.
* Joshua naomba unisamehe sana mtoto wangu Nisinge kimbia nyumbani na kumuacha mama yako haya yote yasinge Tokea.
Baba aliniambia hivo.
* Baba Mimi nimekusamehe ila ninafuraha kukujua Maana tangu nizaliwe sikuwahi kukuona
Nilikuwa naishi hapa nyumbani kama mpangaji.
DAAH KUMBU NI NDUGU” Nikasema hivyo,
“””Usiku huo tuliongea mengi na Baba yangu
badae tukaenda kulala.
Kesho yake Asubuhi na Mapema. Zoi na Bibi waliwasili Nyumbani Mda huo walitukuta tunajiandaa kwenda hospitali. Kumchukua Mama pamoja na Maua,
“* Oooh Mama mmefika kalibuni sana,
Baba akawakalibisha.
* Asante juma. vipi huyu kijana ni nani
* Mama huyu ni mjukuu wako anaitwa joshua.
* Joshua gani
“Bibi aliuliza Basi hapo Baba akawaeleza kila kitu
Kuhusu mimi.
* Eeeh Sawa mwanangu nimekuelewa Lakini sasa kuna tatizo Huyu mdogo wako Zoi Ana mimba hata maua nae Nasikia pia ana mimba je unamjua aliyewapa hizo ujauzito. Bibi akamuuliza Baba wakati huo mimi moyo ulikuwa unadunda maana bibi aliposema kuhusu mimba niliogopa mno.
* Mama hukusu mimba ya Zoi Sijui ila Maua alibakwa na mtoto wa diwani Mbaga ambae sasa yuko jera. Maana niliwapa polisi kazi ya kumkamata Hadi sasa Anamiezi mitatu jela.
“Baba akajibu hivyo.
* Mh Kaka umemfunga bule mtoto wa watu yule mganga aliwadanganya tu ila aliye mpa mimba ni joshua huyu hapa hata mimi nina mimba yake.
“Zoi aliongea hivyo mimi nilitamani kimbia maana ilikuwa ni aibu kubwa siyo mimi hata baba nae alipata aibu hapo hapo alianza kunipiga mwa hasira lakini bibi akaingilia kati akanitetea kwa kusema.
* Juma hupaswi mkupiga mtoto kwa sababu walikuwa hawajuani kama wao ni ndugu. Tunapaswa tukae chini kama familiya tujue tulalimaliza vipi hili tatizo. Wakati Bibi anasuruhisha Ghafla Maua na mama wakashushwa kwenye bajaji Tuliwapokea Wakatueleza kwamba maua amezaa mtoto wa kiume Lakini hakuna hata mmoja aliyefurahia ikabidi tukakaa chini kama familiya
Mama nae akaelezwa kuhusu mimba ya zoi pamoja na mtoto aliyemzaa maua.
Ilikuwa ni haibu kubwa hata kutazana hatukuweza lakini bibi akasema Jambo hilo tukalifanya kuwa siri ya familiya tu. Maana wangejua watu wengine ingekuwa ni aibu kubwa kwenye familiya yetu ingepoteza heshima. Kweli hilo tukalipitisha
Tangu siku hiyo Mimi na Maua, tuliachana kabisa. Hata Zoi Niliachanae.
Baada ya Wiki mbili” Bibi na Zoi wakarudi kijiini
” Na Mimi Nilihama nikaenda kukaa kwenye nyumba mpya ambayo alininunulia Baba,
tena walinitafutia Na Mke nikaoa. ili
kuepusha mambo mengine Walijua kwamba ,
kama ningeendelea kubakia hapo nyumbani Mimi na maua tusinge achana.
Nawashukuru wazazi wangu walifanya maamuzi ya Busara sana,
MWISHO WA KISA CHA MIMI NA MAUA.
Asante kwa kuwa nami mpaka hapa tulipofikia ni mwanzo wa hadithi nyingine,
HUENDA HII ITAKUWA NA PART 2 Maana mtoto wa maua alikuwa Wa kiume;
Zoi nae alizaa mtoto wa kike lakini mtoto yule aliibiwa, aliye muiba nae akampoteza mjini.

