DAAH.. KUMBE NI NDUGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 31
“Maua akajibu hivyo bila kujua kwamba “Zoi anataka aniloge mimi niachane nayeye..SONGA MBELEE…
” Usilo lijua sasa hivi utalijua badae “
” Zoi alijisemea kwa moyo.
huku bado wanaendelea kupika chakula cha usiku.
” ilipofika mda ya saa mbili na nusu usiku Nikamuaga Salu kisha nikaondoka nyumbani,
“yani huyu zoi kama atasubutu kusema mbele za watu ninamkana sitokubali hata kidogo kwanza hawawezi kumuamini”
“Lakini yule kichwa kibovu anaweza akafichua siri yangu na maua,
Daah sijui nifanye nini naogopa hata kuingia ndani.
“Nikajiambia mwenyewe huku nimesimama getini. Nikaendelea kufikiria mara nikapata wazo.
Nilitoa simu yangu mfukoni kisha nikampigia Zoi.
* Hellow Zoi njoo unifungulie geti
* sitaki,
Zoi akajibu.
* jamani mpenzi wangu njoo nimekuleta zawadi.
“nilipomwambia nimemleta zawaidi.
“Akaniuliza.
* umeniletea zawadi gani.
* njoo utaiyona ?
* sawa nakuja zoi akajibu kisha akakata Simu.
Baada ya dakika mbili Zoi akafika na kufungua mlango mdogo wa geti, nikaingia.
* joshua zawadi yangu ipo wapi.
* Zawadi ni kwamba, nimekubali kuwa hiyo mimba ni yangu lakini nakuomba usimwambie mtu,
Nilipo mwambia hivyo Zoi akafurahi mno. Basi tukaenda zatu ndani.
“Kesho yake asubuhi Na mapema, Maua na Zoi waliamka wakafanya usafi wa nyumba kwa kusaidiana japo maua alikuwa hawezi kufanya kazi ngumu lakini hivyo hivyo alisaidia. Walipo maliza wakapika chai. Nyingi ya kutosha wakanya kidogo kisha wakaondoka kuelekea kwa mganga.
* maua mbona tunaenda tu lakini hatufiki.
Zoi akamuuliza maua mda huo walikuwa barabarani na gari yao safari inaendelea.
* Ma mdogo hapa ndiyo kwanza tupo lobo ya safari huyu mganga anakaa mbali sana lakini anadawa za ukweli.
* Sasa wewe nani aliyekupeleka mpaka ukapajua
* Tunaendaga na baba kuchukua dawa za kutengenezea biashara zake.
Maua akajibu hivo.
Baada ya masaa manne,
wakafika nyumbani kwa mganga mdochi.
Kwa bahati nzuri siku hiyo wakakuta hakuna watu.
“Wakashuka kwenye Gari kisha. Wakaingia kilingeni “Mdochi aliwakalibisha.
Kisha akawaambia Ninajua shida yenu mnahitaji dawa ya mvuto kwa mwanaume si ndiyo.
* Ndio mganga nampenda sana lakini yeye ananizingua tu.
Zoi akajibu.
* Mabinti mimi ni mganga niliye balikiwa uwezo mkubwa sana. Labda nikuambieni ukweli kabla sijawapa dawa.
” huyu kijana mliyekuja kumfanyia dawa Ni ndugu yenu wa damu kabisa ?
Mganga mdochi aliwaambia hivyo maua na Zoi wakatazama kwa mshangao.
* Ndugu yetu kivipi.
Maua akauliza
* wewe hapo ni pacha wako.
Mganga akajibu.
* Mmmh mganga unamanisha Joshua.
“Zoi nae akauliza.
* Ndiyo.
* mmh hapana mganga inawezekanaje
Jamani ,
Maua na zoi ? wakanza kuliliana?
huku wakiwa hawaamini alichokisema mganga.
SEHEMU YA 32
* Huu ndiyo ukweli ila kama hamuni,
amini. Mtakapo rudi nyumbani kamuulizeni mama yenu. Kuhusu joshoa.
“Mganga akajibu hivo.
*Mganga unaweza kutuambia , Nini kilitokea mpaka joshua tukawa hatumjui sisi, kama ni ndugu yetu”
Maua akauliza.
* Swali hilo kamuulize mama yako atakujibu”
“Zoi na maua hawakuitaka tena dawa ya mapenzi yaliyowakuta Ni makubwa hayabebeki ?
“kibaya zaidi wote walikuwa na mimba zangu”
” wakainuka kisha wakatoka kwenye kilinge cha mtalamu.
Walikwenda wakajipakia kwenye gari yao kisha wakaondoka zao. Hawakuweza hata kuongeleshana njiani kila mtu alikuwa na mawazo yake na mipango yake kichwani.
” majila ya mchana saa nane tukiwa tumekaa mezani tunakula ugari samaki mimi na Baba maua pamoja na mke wake.
Baba maua akaniuliza.
* joshoa hivi unafahamu wamekwenda wapi Maua na mwezake,
* Hapana mzee mimi sijui hawakuniaga kabisa.
“Nikajibu huku nabugua mnofu wa Samaki.
* Sijuwi wamekwenda wapi maana hatasimu zao wameziacha chumbani kwao. isitoshe Maua hana tabiya ya kuondoka bila kuaga”
“Baba maua akajiuliza. Lakini swali lake Likabaki kuwa kitenda wili tu, kilichokosa mteguaji?
basi tukaendelea kukandamiza ugari samaki.
Chakula kilikuwa kitamu sana?
” siwezi kuficha mama maua, alikuwa mpishi bora. Sio kina maua na zoi wanaopika ilimladi chakula”
Baada ya kula sana, mimi nikashiba nilinawa maji kisha nikaenda kutazama Tivii ukumbini Maana ilikuwa inaonyeshwa move Nzuri.
* Maua hivi tunaenda kumuuliza vipi mama yako.
Zoi akamuuliza Maua wakatihuo walikuwa wamesimama nje ya Geti.
* mimi mwenyewe hatasielewi tunaenda kuanzaje kumuuliza, maana nakumbuka kunasiku anikuta chumbani kwa joshua atazama picha,
” aliichukua akaichana kwa hasira.
*mh kwenye hiyo picha alikuwepo nani?
* Tulikuwepo mimi na joshua picha
hiyo ilipigwa utotoni.
“Maua akajibu,
* Duh kama alichana picha.
hawezi kutuambia kisalisi “tunatakiwa kuwa makini katika hili. tuzikukupuke tu.
eehee Maua nimekumbuka juzi nilimuona mama yako anaficha Albamu ya picha twende tukaichukue tutazame picha zilizopo” hutapata mwongozo, Zoi akamwambia maua wazo lao lilikuwa zuri Geti wakajifungulia wenyewe kisha wakaingia. Wakapaki gari kisha Wakaingia ndani.
Moja kwa moja walikwenda kuichukua albamu
ilipokuwa imefichwa. “cha kushangaza hawaikuta yani ilikuwa imeshaondolewa.
* mh ilikuwa hapa hapa nafikiri amesha iondosha.
* ma mdogo usijari mimi nitaitafuta. Chumbani kwao kesho wakienda kazini.
“Maua alisema hivo Basi wakaelewana.
Siku ikapita kesho yake?
mimi niliamka mapema nikaenda kupaka rangi nyumba ya bosi furani. nilipaka mpaka mchana Nikarudi nyumbani
” Nilikuta kunamsucha mrembo amekuja nilimkuta amakaa yeye na mama maua nikawasalimia kisha nikaanza kuondoka mara nikamsikia yule msichana anauliza
*Shangazi huyu kijana anaonekana msitalabu anaitwa nani.
SEHEMU YA 33
* Peni, huyo anaitwa joshua ni mpangaji ndugu wa hapa nyumbani.
Mama maua. Akamjibu yule msichana mgeni aliyemuita kwa jina la Peni.
* Mh Shangazi hapo sijakuelewa kidogo umeniambia ni mpangaji ndugu kivipi.
* Nina manisha kwamba alikuwa mpagaji wetu zamani lakini sasa hivi tunaishi nae kama ndugu,
*Aah hapo nimekuelewa peni.
akasema hivyo. Wakaendelea na story zao.
“Kwa upande wangu Nilipoingia ndani nikaanza kuchungulia dirishana kumtazama tena yule demu.
” ametokea wapi tena mrembo huyu.
Nikajiuliza huku bado namtazama nilimuona anacheka na kufurahi pale alipokuwa anaongea na mama maua.
* joshua unafanya nini hapo dilishani.
Sauti ya maua nikamsikia anakiniuliza hivyo. Nilishtuka lakini sikutaka kuonyesha mshituko wangu. Nikajifanya kulifunga dilisha kisha nikageuka na kumjibu.
* Nilikuwa nafungu hili dilisha maana linajibamiza bamiza tu.
* mh aya chakula kipo mezani tumekuwekea
sisi tumesha kula mda kidogo.
* Sawa ila naenda kuoga kwanza maana huko kazini kulikuwa na watu wengi nimeshindwa kabisa kuoga.
* Haya Nenda ukaoge mpenzi.
Maua alipokuwa ananiambia hivo.
Kumbe baba yake nae alikuwa anatoka chumbani lile neno mpenzi akalisikia.
* alikuja akatutazama mimi na maua.
harafu akanisalimia mimi kisha akaondoka Zake.
* mh joshua umemuona Baba alivyo tutazama hadi nimepata wasiwasi.
* Hata mimi ninahisi amesikia ulivyo niambia.
Wacha niende kuoga. Mimi na maua tukatawanyika kila mtu akafata mambo yake.
Nilikwenda moja kwa moja chooni Nikaingia na kuoanza kuoga. Baada ya dakika kadhaa nikamaliza kisha nikatoka nikiwa kifua wazi Nilipofika ukumbini tu nikakutana na yule msichana mgeni.
Nikamuona jinsi anavyo kitazama kifua changu kipana.
* vipi mbona unanitazama sana umeona kitugani kimeganda kifuani kwangu nikiondoe.
“Nikamuuliza hivyo.
* mh hapana mimi sikutazami.
Peni akajibu hivyo””harafu akabarakisha kuondoka”
Niligeuka nikamtazama nyuma Nikaona mbuga imejaa wanyama inavutia watalii yani alikuwa makalio makubwa yaliyo mpeneza.
“Daah mtoto mzuri sana huyu.
“Nikajiambia kisha nikatokomea zangu chumbani.
* Unajua Zoi Sukuelewi kabisa siku hizi yani umekuwa mvivu kila wakati wewe unalala tu unachagua chakura wakati mwanzo haukuwa hivyo. Hebu niambie unamatatizo gani.
Mama maua akamuuliza Zoi.
* Wifi mimi niko sawa tu wala usijari
“Lakini natamani kurudi nyumbani nimechoka kukaa hapa.
“Zoi akajibu hivyo.
* Aaah kumbe umemissi nyumbani Sasa si ungelituambia tu.
kuliko kutufanyia vituko hapa ndani.
* Wifi nilikua nahofia mtanikataza.
* ok Subiri Kaka yako akirudi nitakuja kumwambia kama atakubari kesho kutwa utaondoka maana unatakiwa upate siku moja ya kujiandaah.
* Sawa Wifi nitafurahi ukifanya hivyo nimemsi sana mama yangu” Zoi akajibu.
“Maua alitoka chumbani kwa Zoi. Akaenda kuendelea na majukumu yake mengine.
“Hili jambo ni kubwa mimi na maua hatuliwezi Bora nirudi nyumbani nikamwambie.
Mama kwamba. Kaka Juma. anawatoto mapacha.
Zoi akajiambia hivyo.
ilikuwa imeshapita wiki moja tangu Peni.
Aje hapo nyumbani.
Siku nilienda kwenye Shelehe Nikarudi saa Sita usiku ufunguo wa Getini nilikuwa nao nilifungua nikaingia. Kisha nikaenda mpaka
Dilishani kwa Peni. Nikaanza kumuita
* Peni njoo unifungulie mlango.
* Wewe nani.
Peni akaniuliza
* Mimi joshua.
*Mh usiku wote huu ulikuwa wapi.
*Njoo kwanza unifungulie nitakuambia.
* Mimi huwa situmwi bure utanipa nini nikikufungulia,
Peni. Akaniuliza hivyo. Nikafikiria kidogo kisha nikamuuliza ?
* kwani wewe unataka nini..
SEHEMU YA 34
*mh sasa joshua Nataka hivi. Peni alianza kuongea huku anajiuma uma ulimi.
*Uje ulale chumbani kwangu si unajua mimi mgeni nyumba hii sijaizowea naogopa kulala peke yangu.
Peni, akaniambia hivo. Kwajinsi nilivyo kuwa namtamani nikafurahia mno aliponiambia hivo.
* Hakuna Noma njoo ufungue haraka basi maana unavyo chelewa kuja nawapa faida Mbu kwa kunyonya damu yangu,
“Nikamwambia peni, kisha nikazunguka mlangoni, wakati Peni.anatoka kuja kunifungulia.
Kumbe Baba Maua Nae alikuwa Ukumbini amekati anatazama moves kwahiyo alipomuona Peni , anakwenda mlangoni akamuuliza
* Peni unakwenda wapi
*Anko namfungulia mlango joshua,
*Rudi ukalale nitamfungulia mimi?
“baba Maua alimwambia peni,
” japo peni alikeleka lakini Hakuwa na jinsi alirudi chumbani kwake? akachungulia dilishani kutazama. Kama bado nipo lakini, hakuniona
“mda huo mimi nilikuwa mlangoni.
nasubiri peni afungue. Baada ya dakika moja ukafunguliwa mlango. Nikashangaa kumuona Baba Maua wakati nilitegemea kwamba Anafungua Peni
.* Shikamoo mzee ? Nikamsalimia .
* Marahaba Vipi umetoka wapi sahiii usiku.
* Mzee nilikuwa kwenye harusi mtoto wa Mzee ngasa. Alikuwa anaolewa,
*aah Sawa lakini hapa nilikuwa nakusubiri wewe tuzungumze jambo?
“Baba Maua akaniambia hivo,
“Nilipata hofu kidogo.
“Basi tukaketi kwenye makochi Tukaanza kuzungumza,
*Joshua hivi wewe baba yako yuko wapi?
Baba Maua akaniuliza hivo.
*Kusema kweli Baba yangu Mimi simjui Hata mama yangu nae simjui.
Kabla sijaja kupanga chumba hapa. Nilikuwa naishi Masaki kwa mama mmoja siku zote nilikuwa najua kwamba yeye ndiye mama yangu Lakini kumbe hakuwa mama. wa kunizaa? aliniambia mwenyewe kwamba yeye sio mama yangu mzazi ila alininunua Hosipitali nilikuwa Naumwa?
Nikamjibu hivi
*Huyo mama yupo wapi kwa sasa ?
* Alishafariki nikajibu.
* OK basi kwaleo inatosha tutazungumza siku nyingine’ Najua umechoka Nenda ukapumzike, *Sawa mzee. Baada ya kujibu nikaenda kulala kutokana na uchuvu Sikupata mda wakuyatafakali mazunguzo. Nilijitupa kitandani nilala.
*Mme wangu Zoi anataka kurudi nyumbani
*wewe Nani kakwambia
* ameniambia mwenyewe nikuambie tumpangie safari.
*Sawa ngoja nikirudi nitaongea nae Harafu usiku tutaongea Mimi na wewe latiba ya kumsafilisha ? Baba Maua akamwambia mke wake,
Mda huo walikuwa barabarani na gari yao wakielekea kazini.
Huku nyumbani tulibakia Watu wanne. Zoi Na maua waliamka wakaenda chumba anacholala mama maua na mke wake; Lengo ilikuwa ni kutafuta Albamu ya picha. Walipoingia wakaanza kutafuta kila Sehemu?
Sasa katika kutafuta mara Zoi akafanikiwa kuiyona Albamu alipoiona akaichukua na kuificha. Hakutaka kumuonesha maua.
Wakati wao wanatafuta Picha, Mimi Nilikuwa Bafuni Naoga kisha nijiandae kwenda kazini, Wakati Peni Anapiga Deki Mara Ghafla akashikwa na mkojo alikuja mbio akaingia Choni kutokana papara zake hakuniona nilikuwa nimesimama ?
Akavua Chupi Haraka kisha akainama iliakojoe Kabla hajashuka chini. Mara Ghafla akahisi kitu cha kusisimua kime…
SEHEMU YA 35
Kimemgusa mwenye msitali wa matako yake Penina, akaruka kama chura anayejitosa majini.
Uuwiiiii jamani nini Tena.
Peni. Akauliza huku anageuka nyuma kutazama. Ndipo akaniona nipo nyuma yake akabaki mdomo wazi alipoiyona Mshine yangu.ilivyi tinda. Na ukubwa.
” wakati huo na mimi nilikuwa nimesha maliza kutoa mapuvu ya sabuni usoni vile nafumbua macho tu. Namkuta peni ananitazama kuanzia juu mpaka chini.
*Khaa peni. Wewe Nanikuambia kuingia huku bila Hodi.
“Nikamuuliza peni.
* Watu wakiingia chooni wanafunga mlango.
Sasa wewe umeingi haujafunga unamaana gani mimi nimeigia nikajua hakuna mtu.
Peni, akanijibu huku macho yake yamezama kuitazama mashine yangu.
” Nikamsogelea harafu nikamshika maziwa.
* Joshua mimi sitaka bwana. Peni akaniambia huku anasogea kwenye kona badala ya kutoka nje.
* hutaki vipi bahna kwani umesahau tulicho kiongea jana usiku.
* Sijasahau lakini naogopa unadudu kubwa mno mimi sijawahi kuingizwa dudu kama hili.
“Peni akajibu.
* Peni dudu kubwa ndo yenyewe nikiingiza unapata utamu kama wote isitoshe mimi ndiyo mwalimu wa mapenzi utamu wote upu kwengu hakuna mwanaume mwenye utamu kama wangu,
acha uoga. Nipe kitumbua hicho nikisugue.
Baada ya kumwambia hivyo Peni. akakubali Nilimchezea chezea kisha nikaanza kumpakua.
* Maua mimi nimechoka kutafuta Bora naona tuache tu.
Zoi. akamwambia Maua.
* Hata mimi nimechoka nilitaka nikuambie ila umeniwahi.
Maua akajibu.
* Basi tuondoke tutaifuta siku nyingine.
Baada ya zoi kusema hivyo wakatoka nje ya chumba kile.
Lakini wakati wanatoka Zoi alikuwa ameificha ndani ya nguo zake ile Albamu.
“Huyu Peni. Kaenda wapi kaacha ndoo na dekio hapa. Maua akamuuliza Zoi.
* Hata sijui labda muite ,
Zoi akajibu huku anaingia chumbani kwake alipoingia akaitoa ile albamu kisha akaitia kwenye begi lake.
” Nitaenda kuitazama nyumbanii.
Zoi akajiambia harafu akalala kitandani.
akaanza kufikiria jinsi atakavyo mweleza mama yake na ushahidi wa picha aliyoupata,
” kwa upande wa Maua wakati yupo hapo sebuleni. machale yakamcheza akaanza kumtafute peni. kimiya kimiya bila kumuita,
alikwenda kumtazama chumbani kwake .
“Lakini hakumkuta, akaenda jikoni huko pia hakumkuta, Akaeda nje akatazama kote
Lakini bado Peni, hakumuona,
” Maua akaenda chumbani kwangu huko pia hakukuta mtu. akatazama viatu vyangu akaviona vipo vyote.
Mh mbona viatu vya joshua vipo inamana yupo pamoja Na Peni.
Maua akajiuliza huku anaufunga mlango aliendelea kumtafuta Peni. Sasa alipopita kalibu na choo mara Ghafla akasikia miguno kama watu wanafanya mapenzi.
Akasogea kisha akachungulia. baada kuchungulia akabahatika kumuona Peni alikuwa anaheme na kupika kutoa miguno ya utamu na maumivu ndani yake, maua akajitahidi kuchungulia vizuri shida yake alitaka kumuona mwanaume anayemtoa jasho peni, baada ya kuchungulia Sana sasa akafanikiwa kuniona. Maua aliponiona kuwa ni mimi ninaefanya mapenzi Na Peni, aliumia sana, pale pale akaanza kulia huku ameushikila mlango Maua akaongea Maneno haya kwa uchungu na maumivu, “
* Joshua umefanya nini sasa mbona huja mpeleeza wala kutuuliza kuhusu afya yake Peni anakunywa vidoge kila siku, Labla hunisii nakuambia hivi huyo unafanya nae mapenzi ni mgojwa,
Nikamsikia maua ananiambia hivo “
Dah
Nilitamani dunia isimame nishuke,
lakini haikuwezekana nakwambia mwili wangu wote ulikufa ganzi”
INAENDELEA

