JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
SHAMBA BOY AKAMATWA KWA KUCHEZA NA MKE WA BOSS WAKE
Ilivyoripotiwa na chanzo ambacho hakijathibitishwa kwenye mitandao ya kijamii, huko Kapsabet, Kaunti ya Nandi, mwanamume mmoja anayefanya kazi kama mvulana wa shamba katika nyumba ya chifu alijipata pabaya baada ya kunaswa akicheza densi na mke wa chifu.
Jambo la kushangaza ni kwamba mwanamume huyo alinaswa akiwa amevalia nguo za chifu na kupigwa vibaya na wanaume watatu, ambao ni majirani wa chifu huyo, kabla ya kumjulisha chifu kuhusu tukio hilo.
Chifu alifika na askari polisi wanne, na mtu huyo alikamatwa na kupelekwa kituoni. Mke wa chifu alidai baadaye kuwa alimlazimisha kucheza.

