DAAH.. KUMBE NI NDUGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 26
“Hapo sasa maua hoi,
Mama yake nae akapata presha,
Lakini baba yake,,SONGA MBELEE,,,,
“akauliza
* mganga unamanisha kwamba huyu Joshua ninae ishinae nyumbani kwangu, kama mpangaji,
* Hapana sio huyo
Pale kwa diwani Mbaga,
kunakijana mmoja anaitwa Joshua aliyetoka marekani mwaka jana, nazani unamtambua,
sasa huyo ndiye aliyefanya nyinyi kufika hapa,
Mganga mdochi akajibu hivyo,
majibu yakamkomboa , maua maana alijua kwamba Mganga amemgeuka
“kiukweli mganga mdochi alimtisha Maua mpaka wasomaji wa hii Hadithi jana aliwatisha mno niona comment zenu,
“Baba Maua alipatwa na hasira zaidi maana tokeazamani alikuwa ugomvi na na huyo diwani Mbaga, siku zote alikuwa anamsubili aingie kwenye angazake tu,
* Nakuamini sana mdochi sasa ngoja nikamshugulikie huyu mpuuzi Utazisikia habari Zangu,
“Baada ya kuongea hivyo, Juma, ambae ni baba yake maua, alimbeba mkewake aliye anguka kwa presha na kupoteza fahamu,
walitoka kwenye kilinge cha mganga wakaenda mpaka kwenye gari yao wakajipakia na kuondoka,
* wewe maua inamaa wakati wanakubaka ulishindwa kuona sura zao au walikutishia kusudi usiwataje,
* Hapana baba mimi sikuwaona kwasababu walinikaba na kunifunga kitambaa usoni Maua akajibu hivo,
* Aaah pole sana mwanangu ila nakuhakikishia kwamba huyu mpuuzi anaenda jela, juma” akamwambia maua,
Wakati safari inaendelea mama maua akazinduka,.
Kisha akauliza.
* mh Tunakwenda wapi jamani,
* Tunakwea nyumbani mke wangu,
* vipi yule mganga amesemaje,.
* kasema Joshua wa diwani Mbaga ndiye alimbaka Maua,
* mh kumbe yule Mimi nilizani wa nyumbani kwetu,
* hapana yule ni kijana mstalabu hawezi kufanya ujinga kama huu,
* Sasa Mme wangu utachukua hatua gani maana Mbaga ni mtu anayejua shelia isitoshe yeye ni kiongozi wa jimbo letu, hata tukimshitaki Lazima atashinda yeye,
* usijari mke Wangu Mbaga hawezi kunishinda kwa kitu chochote kile, Tutaongea nyumbani zaidi,
Juma akamjibu mke wake,
basi wakaendelea kwenda mbele,
baada ya masaa wakafika nyumbani, honi ya gari aliisikia mda huo alikuwa anafua shuka la kitandani ambalo tulilichaua wakati tunafanya mapenzi, Zoi alienda akafungua geti gali ikaingia, Akashuka Maua na wazazi wake,
* Zoi habari za hapa nyumbani,
Mama maua akamsalimu Zoi,
* Nzuri tu wifi yangu mpendwa,,
* Zoi, Joshua yuko wapi,
Maua akauliza, Lakini Zoi, akapuuzia hakumjibu kitu, yani aliona wivu,
” maua alipoona Zoi hataki kujibu akaingia ndani kisha akaenda kucheki chumani Kwangu,
Lakini alipoingia Hakunikuta ila akaikuta picha ipo kitandani, aliichukua akaanza kuitazama
“Maua akapatwa na mshangao mkubwa baada ya kuwatambua watu waliyopo pichani Ghafla akaishiwa nguvu akaketi kitandani, huko machozi yanaanza kumtoka,
,mlango wa chumba changu ulikuwa wazi Wakati mama yake anakatiza Ghafla akamuona Maua ameketi kitandani analia Huku amekamata picha,
* maua kunatatizo gani mbona unalia,
Mama maua aliingia chumbani kisha akamuuliza Maua,
* Maua akampa ile picha,
Mama maua aliipokea kisha akaitazama harafu akaichana vipande vipande kwa hasira,
,Wakati maua anamshangaa mama yake, Mara Ghafla,,,
SEHEMU YA 27
Nikaingia chumbani kwangu nikashangaa kuwakuta maua na mama yake,
*Mama kunashida gani mbona mmeingia chumbani kwangu bila ruhusa yangu,
” Nikamuuliza mama maua,
* kwani hii nyumba ni yako mpaka naniuliza hivo,
Hebu nipishe huko.
“Mama maua akanijibu kwa hasira kisha akamshika mkono mwanae iliwatoke nje pamoja
“Maua akainuka huku anatazama chini wakatoka nje nikabaki peke yangu niliufunga mlango watuwengine bwana hawana ustarabu wanaingia tu. chumbani kwa mtu bila hodi. Nilijiambia harafu nikataka Nijilaze kitandani nipumzike kidogo maana nilikuwa nimechoka balaa.
Lakini kabla sijapanda kitandani nikaviona vipande vya picha nikapata mshangaoh
“Khaah nani ameichana hii picha Nikajiuliza huku naviokota vile vipande hata hivyo sikuweza kumjua aliyehusika.
Nikasikitika sana lakini sikuwa na jinsi,
Baada ya kuviokota vilikuwa havifai nikavitupa kwenye kidoo cha kutilia uchafu
” harafu nikalala zangu,
Siku zikasonga na Maisha yakaendelea humo ndani ilikuwa fulu kuchukiana yani maua na zoi hawapatani kabisa kwajiri yangu.
lakini mama maua nae alikuwa haitii salamu yangu kila nikimsalimia. Labda akiwa na mme wake ndo anaitikia. Sikujua chanzo cha kunichukia mama yule,
* mama hivi kwanini sikuile ukaichana picha.
“Maua akamuuliza mama yake,
mida hiyo ilikuwa jioni wamekaa barazani wanasukana nywele.
* maua ile picha ina siri kubwa sana katika nyumba hii sitapenda uijue siri mpaka siku kifo changu.
* Lakini mama naomba uniambie ina siri gani na mimi nitakuambia siri yangu.
* mh wewe nae unasiri gani hebu endelea kunisuka achana na hizo mambo.
Maua alipojibiwa kwa kuzarauliwa ikabidi anyamaze kimiya.
” ilikuwa mida ya Asubuhi majira ya saa 5
“Maua akaniambia tutoke kwenda sehemu tulivu tukazungumze. Siku hiyo nilikuwa siendi hata kazini nikakubali. Basi tukaondoka kwa kutumia gari
Tulienda kwenye uwanja wa mpira pembeni kulikuwa na mti wa muembei ulikuwa na kivuri mwanana tukapaki gari harafu tukashuka kishi tukaketi chini ya huo muembe.
* joshua hivi unajua kwamba hii mimba inanitesa sana harafu wewe umeniachia mimi kila kitu.
*Sasa unataka mimi nifanyaje,
Nikakamuuliza maua.
* Nataka unihudumie. yani sikuhizi huninunulii maembe na ndimu hata kiliniki hunipeleki naenda mwenyewe tu,
* hayo mambo ya kike mimi siwezi kukupeleka kiliniki kila mwezi. Hata nikikupeleka siri yetu itagundulika. Harafu maua juzi mlipoingia chumbani mwangu kwanini mkaichana picha iliyokuwa kitandani.
” Nilimjibu maua harafu nikamuuliza.
* Mama alinikuta naitazama nikampa na yeye atazama lakini cha kushangaza akaichana huku namuona kwa macho yangu mawili.
Lakini mimi ninahisi kunasiri anaijua mama.
Kwanza wewe uliitoa wapi.
Maua akaniuliza.
* juzi kunamtu aligonga kengere nikaenda kufungua mlango ila sikuona mtu nikaona picha tu . Aliyeileta sikumuona.
Nikamjibu hivo maua.
* Hapo nimepata picha siku tulienda kwa mganga nimsikia mama anaongea kwenye simu. Nakumbuka alitaja picha.
Maua akaniambia hivo nilishangaa niliposikia kwamba maua alienda kwa mganga.
* maua mlienda kwa mganga kufanya nini.
Nikamuuliza hivo.
* joshua nitakuambia badae. Lakini nimepata wazo mama yangu anapenda kunywa bia akilewa huwa anaongea siri zote ? unaonaje tukazinunue kisha tumpelekee. Maua akanishauli. Nikakubali tulienda tukanunua bia kisha tukarudi nyumbani geti tukajifunguli wenyewe maua alipopaki gari. Tuongozana ilikuingia ndani mara tukamsikia zoi anasema.
*Wifi huyo mganga wenu aliwadanganya mimi ndie najua kilakitu kuhusu mimba maua hata aliye mpachika namjua.
* Zoi hebu niambie nitakupa chochote.
* usijari wifi ngoja nikwambie Zoi akajiandaa kuropoka lakini kabla hajasema chochote akapata kichefu chefu Zoi akaanza kujihisi kutapika,,,?
SEHEMU YA 28
Mh wifi nina mkojo ngoja kwanza niende chooni,
Zoi Alidanganya hivo, akainuka haraka alipokalibia chooni akataka kutapika njiani ikambidi kukimbia “alipofika akaanza kutapika matapishi madogo madogo.
*Mh inamana kibendi tiyari kimenasa jamani hata siamini lakini huyu joshua mh”
” Zoi alijiuliza mwenyewe baada ya kutapika akasafisha kisha akatoka huku amenyong’onyea hakuwa na furaha tena wala kiherehere.
Mda huo huo mimi na maua, ndo tulikuwa tunaingia ndani tukakutana usikwa macho na Zoi ila alipotuona tupo pamoja; wivu na chuki zikawa upande wake alichukia mno roho ikamuuma
hadi akaenda chumbani kwake iliasituone.
* Mama leo tumekuletea Bia najua utakuwa umezimisi sana si ndio.
Maua alimwambia mama yake.
“Huku mimi nipo pembeni kidogo maana mimi huyo mama zilikuwa hapandi? wala kushuka? tangu siku anichanie picha,
* Jamani mwanangu asante kwa kunijari hii ndiyo raha ya kuzaa watoto jamani, Nilikuwa nimemisi kulewa sasa wacha nikunywe,
“Mama maua alisema huku anaiweka pembeni simu yake kisha akazipokea bia kwa furaha kubwa
akaziweka juu ya meza,
Harafu mwenyewe akafata garasi ya kunyea.
* Maua ngoja mimi niende kulala kidogo akilewa utaniita nije tumuhoji kwa pamoja,
* Sawa mme wangu nenda nitakuita.
Maua akaniambia hivo. Sikuwa na mjadala nikaenda zangu kulala,
Nilipoingia chumbani tu?
“Ghafla simu ikaita nikaitazama nikaona namba na jina nililo sevu kimoja, Alikuwa ni zoi niliye msevu hivyo,
* Hallow zoi vipi.
* Hivi wewe joshua unanichukulia je mimi.
* mbona unaniuliza kwa jaziba kwani nimekukosea nini mpaka unanikasilikia hivyo.
Kabla sijamjibu swali lake na mimi nikamuuliza swali
* Naomba kwanza unijibu unanichukuliaje
* nakuchukulia kawaida tu. Kwani kunatatizo,
“Nikamjibu Zoi,
* kutwa nzima wewe unalanda na maua tu ‘
hauna hata mda wa kuzungumza na mimi
hivi unazani mimi siumii, joshua kama utaendelea kunizarau na kunitelekeza nitakacho kuja kumfanyia uyo maua wako hautaamini,
Zoi aliniambia hivo kisha akakata Simu,
“Daah huyu nae analazimisha mambo tu
yani anajua kabisa kama simpendi lakini bado anang’ang’ania tu,
Nilijiambia harafu nikalala zangu kitandani,
* Mama maua aliendelea kunywa bia wakati huo alikuwa amesha maliza bia moja yapili anamalizia
Mara kengele ya getini ikalia
* Maua nenda ukamfungulie baba yako tena amekuja wakati mzuri kweli, Mama maua akamwambia mwanae. Maua alikereka maana ujio wa baba yake umeharibu mipango yetu. Maua alienda kufungua kweli akamkuta ni baba yake
* Shikamoo baba?
Maua akasalimia.
* marahabaa mama yako yupo wapi,
* yupo ndani.
Maua akajibu.
Wakaongozana ndani.
* kalibu tunywe mme wangu leo maua ametupa ofa.
Mama maua akamwambia mme wake.
Kweli wakajumuika kuzinywa hizo bia walipozimaliza wakakokotana chumbani kwao kufanya mambo yao.
“Kwahiyo mbinu yetu ikafeli hatukufanikiwa, kuzungumza na mama maua akiwa yupo tungi.
“Siku iliyofata ilikuwa j mosi ilikuwa ni wikendi Hakuna aliyekwenda kazini familiya nzima ilikuwepo nyumbani.
* Josha mimi nadaiwa kwa mganga maana siku tuliyokwenda nilimwambia asiongee ukweli nikamwahidi pesa.
Maua akaniambia mda huo nilikuwa nafua nguo zangu yeye anaosha vyombo.
* kwani mlienda kufanya nini?
* baba na mama walitaka kujua mwenye hii mimba. lakini nikafanya ujanja mganga akawadanganya.
* sh ngapi anakudai huyo sangoma?
* laki tatu na inatakiwa nimlipe kesho.
* Duh mbona hukusema mapema laki tatu tunazipata wapi”
“nikamuuliza maua
* pesa zipo lakini chumbani mwa ma mdogo.
ila tunapaswa kuziiba usiku wa leo.
Maua aliponiambia hivo mara mama yake akaniita.
* joshua njoo
Nilikwenda kumsikiliza japo kuwa nilikuwa na wasi wasi
* twende chumbani kunakazi nataka unifanyie.
Mama maua akaniambia.
* kazi gani mama nikamuuliza
* kitanda changu kunasumbua sana?
“Njoo ukinitengeneze jamani.
mama maua aliniambia huku ananivuta chumbani kwake,
” Mmmmh,
SEHEMU YA 29
Nikaguna huku Naingia.
* joshua najua wewe ni wewe ni fundi sasa naomba unifungie kitanda changu kimelegea unaweza ukakitazama mwenyewe ukaliona tatizo mimi naenda kuoga.
“Mama maua akaniambia hivyo.
* Sawa mama ngoja nikitazame.
Nilipomujibu hivo mama maua akatoka akaniacha peke yangu chumbani.
alipotoka tu akajiambia,
“Mh kweli damu nzito kuliko maji tazama huyu mtoto ananiita jina hili.
Harafu nashundwa kuficha upendo kabisa. tunapoelekea mme wangu atakuja kujua ukweli hapo ndipo nitakiona cha mtema kuni sijui nitaificha wapi sura yangu. Mama maua alijiambia mwenyewe akionekana kusikitika kana kwamba amebeba siri kubwa moyoni mwake kilicho msikisha zaidi alikuwa anaziona dalili za hiyo siri kufichuka.
“Wakati huo mimi nikiwa chumbani nafunga kitanda mara Ghafla Nikaiyona Albamu ya picha ilikuwa chini godoro nikaichukua huku nikitaka kuifungua ndani ilinione kuna picha za ainagani Lakini kabla sijaifungua mara ghafla. Nikasikia vishindo vya mtu anakuja. Nikailejesha haraka mara nikamuona Mama maua ameingia mkuku mkuku alifika akafunua godoro kisha akaichukua ile albamu akaondoka nayo bila kuniongelesha neno Lolote. Nilipata mashaka kuhusu hiyo albamu lakini.
Nikaendelea kufunga kitanda na baada ya mda mfupi nikamaliza nikatoka zangu nje
“nikaendelea kufua,
* joshua mama yangu alikuwa anamwambia ukafanye nini.
Maua akaniuliza hivo.
* aliniita nikamtengenezee kitanda nimesha maliza. Nikamjibu maua harafu tukaendelea na maongezi mengine.
* joshua mpenzi wangu nikuambie kitu.
Maua akaniuliza kwa sauti ya upole sana.
* niambie tu nipotayari kukusikiliza mpenzi wangu,
* ok Mimi nadaiwa laki tatu kwa mganga kama unazo naomba uniazime nikalipe.
* mh huyo mganga anakudai laki tatu kwa kigezo gani.
Nikamuuliza
“Maua akanieleza yote yaliyo jitokeza siku ambayo walienda huko kwa sangoma.
* kwahiyo unataka ukamlipe kesho.
* ndiyo mpenzi
* poa subiri badae nitaenda bank kukuchukulia ila mambo makubwa kama haya uwe unanishilikisha au unaniambia mapema umenielewa.
Nikamwambia maua.
Akatikisa kishwa ishala kwamba amenielewa.
Baada ya Wiki moja Zoi akapata nafasi ya kufika hospitali kucheki afya yake maana dalili za kuwa na mimba aliziona lakini akaenda kujihakikishia na ndipo akaambia kweli ana mimba.
Wakati yupo njiani anarudi nyumbani akaanza kujiambia.
” Mimi sifichi kama anavyo ficha ficha maua Naenda kuongea ukweli Najua watamwambia joshua anioe na hapo ndipo nitamkonya tonge mdomoni maua, Zoi alijiambia hivo huku anafurahia moyoni mwake.
* mke wangu Leo nilikwenda na jeshi la polisi nyumbani kwa diwani mbaga kumkamata yule kijana joshua aliye mbaka mtoto wetu.
Lakini Tumekuta hayupo pamoja na mbaga.
“Mke wake ametuambia wamesafili marekani kuchukua madawa ya kulevya. Kwahivyo iyo kesi ya ubakaji nimeiacha mikoni mwa polisi.
“‘ Baba maua akawambia mke wake huku wameji pumzisha kitandani
“Mda huo na mimi nilikuwa chumbani kwa maua tunatekenyana tu kwa mahaba
” baba na mama maua, walikuwa hawajui kama nipo wao walijua nimeenda kazini.
“Zoi alifika nyumbani akakuta nyumba ipo kimiya kama hakuna watu kumbe wapo”
Zoi alikuja akachungulia kwenye chumba cha maua ndipo akatuona tuna Tumenogewa.
“akajiambia ngoja niwawashie moto nione jinsi wanavyo ungua washenzi hawa.
* mpenzi wangu nakuona sasa mimba imesha anza kuwa kubwa harafu unapendeza ukiwa hivi.
Nikamwambia maua huku nalipapasa tumbo lake, Mara ghafla Ukafunguliwa Mlango wa chumba cha maua, tukashtuka na kutazama alikuwa ni Zoi Hatajakaa sawa mara tukamsikia anasema wifi njooni sasa muwaone wanavyo fanya hii ni zarau kabisa.
Zoi aliposema hivyo nilitamani dunia itoboke nidumbukie. Wakati nikiwa sijui nini cha kufanya, nikamuona mama maua ameingia harafu sasa nyuma yake..
Ooh my God
SEHEMU YA 30
Baba maua nae akaingia kwa kasi ya ajabu.
* joshua unafanya nini chumbani kwa mwanangu, baba maua akaniuliza kwa sauti ya ukali yenye hasira.Nilitetemeka mno Wakati nafikiria jibu mara ghafla maua akasema.
* Baba nimemuita mimi aje kunitengenezea simu yangu wala hakuna chochote kibaya kinaendea
* Simu kwanini atengenezee chumbani wakati sehemu zingine zipo”
* baba hebu tazameni hali yangu ilivyo.
niliona uvivu kutoka nje nikaona bora nimuite tu” Dah jibu la maua iliendana na mazingira yenyewe maana tulikuwa hatujavua nguo harafu simu ilikuwa juu ya meza kalibu na kitanda. isitoshe maua alikuwa mjamzito tumbo kubwa
* aaah kumbe ndo hivyo nikafikiri mnafanya mambo ya kijinga.
*Hapana baba mimi najiheshimu pia hata ninyi nawaheshimu siwezi kufanya mambo kama hayo nyumbani tena mchana kama hivi.
Maua akajibu hivo
*” Harafu Zoi nawewe uache kusumbua watu wazima umetukatisha usingizi bule?
” Mama maua nae akamwambia Zoi kisha wakaondoka yeye na mumewake wakaenda zao kuendelea kulala?
* Umeambulia nini sasa na umbea wako.
Maua akamuuliza Zoi”
* nimewaonea huruma tu msizani nimeshindwa Zoi akajibu harafu akaondoka.
* yani Nakuchukia ungejua ungerudi kwenu kijijini.
* basi maua inatosha achana nae Nikamtuliza maua kisha na mimi nikamuaga nikaondoka kusema kweli ule uoga wa kukuswa kufamaniwa nilikuwa bado ninao.
” Nilipokuwa natoka kwa maua nikutana tena na Zoi Akanipa habari mpya ikanivuruga hakili.
* joshua mimi tayari nina mimba yako nahivi nakwambia nimetoka hospitali nikapewa majibu haya Zoi aliniambia hivo kisha akanipa kalatasi ya majibu. Niliichukua nikaisoma .
* wewe zoi unione mimi bumbu wazi ninahakiri zangu timamu” umekuta wapi kufanya mapenzi siku moja na kupata mimba tena usirudie kuniambia ujinga nitakuja kukukata makofi hiyo mimba peleka kwa malaya mwenzio mjinga nini” Nilimfokea zoi harafu ikamtupia kalatasi lake nikaanza kuondoka.
* Nakwambia hivi hii mimba umenipa wewe tena kwatalifa yako firiji langu haligandishi leo leo naogea ukweli mbele ya kaka na wifi Lazima unioe. haiwezekani unitie mimba harafu unikatae mbona haukukataa kunitia dude lako.
“Zoi aliniambia hivo akionekana kuchukizwa” Nimtazama kwa hasira nikataka nimzabe kibao lakini nikashindwa. Nikamuacha nyumba sasa ilikuwa chungu. Sikuweza kukaa nyumbani nilitoka nikaenda dukani kwa rafiki yangu salu,
* hivi saku. inawekanaje kufanya mapenzi na mwanamke mara moja akapata mimba.
Nikamuuliza rafiki Salu.
* ndiyo inawezekana kama utafanya nae yupo kwenye siku zake, sababu yai la uzazi linakuwa limefunguka ,kwahivyo ukishuti ndani kitu kinanasa, vipi ushamtia mimba mtoto wawatu nini,
Salu akaniuliza ikabidi nimueleze ukweli wote.
*Kwa upande wa zoi alifikiria kisha akapatazo.
“Mh hapa inabidi nikajipendekeze kwa maua ilianisaidie. Zoi akajiambia kweli alianza kujipendekeza kwa maua mpaka ilipofika jioni maua alikuwa ameingia kwenye laini.
* unajua maua kunakijana nampenda.
lakini yeye hanipendi.
* mh pole ma mdogo anaitwa nani uyo kijana.
* hata jina simjui amekataa uniambia nakuomba kama unapafahau kwa mganga unipeleke nikamloge anipende.
Zoi akamwambia maua,
* mh kwa mganga tena Lakini usijari mimi napafapa fahamu nitakupeleka
* nitashukuru kweli maana huyu mwanaume ananikosesha usingizi”
Lini sasa tutaenda.
* Tutaenda kesho asubuhi kwa mganga mdochi.
Maua akajibu hivyo bila kujua kwamba Zoi anataka kuniloga mimi Niachane na yeye.
INAENDELEA

