GIFT NISHACHAFUA CHUPI MIMI JAMANIIIII AAAAASSSH
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 9
Mbona unanipa hongera😳😳 nilimuuliza dactari kwa sauti ya uoga sana🥲🥲 dactari aliishia kutabasamu kisha akanipatia majibu yangu ya vipimo🥲🥲🥲majibu ya vipimo yalionyesha kuwa mimi ni mjamzito 🥲🥲🥲Swala la ujauzito lilinishtua kiasi😳😳 lakini kabla sijafanya mapenzi na Ryan hicho ndo kitu nilichokitarajia kitokee kwa sababu niliamini hata ikitokea ikashindikana sisi kuwa pamoja swala la mtoto linaweza kurahisisha mambo😞😞😞cjy itakuwaje baada ya hapa nilizidi kujihoji…..ilibidi sasa nitoke kule hospital nikarudi kwenye gari niliona ni vyema nimtafute baba kijacho ili niweze kumjuza juu ya matokeo ya kile tulichokifanya😔😔😔nilichukua simu nikampigia simu ikaanza kuita ikapokelewa……
Baada ya Ryan kupokea alinijulia hali nikamwambia siko poa🥹🥹 naumwa💔💔 unaumwa nini nikamwambia nahisi I’m pregnant🤰🥲🥲 really?!….unamaanisha tumboni kwako kuna mtoto wangu😭😭😭 Ryan alikuwa so emotional😢😭 aliniomba nipime ili tuwe na uhakika nikamwambia arledy nishapima😔😔Ryan alitaka kujua kama nyumbani kwetu tayari wanazo taarifa za ujauzito wangu nikamwambia hakuna anayejua🥹🥹…..alinisisitiza sana nisiwaambie haswaa baba yangu kwa sababu hatokuwa tayari kumpokea huyo mjukuu nitayemzaa ambaye ni damu ya Ryan…..nilishtuka baada ya kuyasikia hayo kutoka kwa Ryan nikawa sielewi mambo mbona yanazidi kuwa magumu🥺🥺🥺
Ryan alinielezea kuwa hata licha ya baba yangu kuomba yeye apelekwe mbali na mimi bado amezidi kuwa anamtumia vitisho vya kumtaka Ryan akatishe kabisa mawasiliano na mimi na akae kabisa mbali na mimi🥹🥹🥹Ryan alizidi kuumia na kujiuliza ni nini mwisho wa haya yote🙏🙏 sitamani kabisa kuendelea kukaa mbali na wewe Gee but your family hawataki kabisa mimi na wewe tuwe pamoja💔💔💔 natamani kuwa pamoja na wewe nikulinde wewe na mtoto wangu lakini nashindwa nifanye nini coz every day baba yako amezidi kuwa ananisakama na kutishia sana sababu yako💔💔💔 nilikosa raha baada ya kusikia vile nikajiuliza why daddy anafanya hivyo🥹🥹 nilishikwa na hasira sana nikajiuliza why anataka kuniharibia maisha?!…..niliongea sana na mchumba wangu Ryan akanisisitiza nisije utoa ujauzito wake na nisijemsaliti kwa sababu bado anaamini ipo siku mimi na yeye tutajakuwa pamoja tumlee mtoto wetu pamoja😭😭😭 alilia mno mwanaume wangu aliniambia ugumu anaoupata akitaka kuwasiliana na mimi kwa sababu kambi aliyopelekwa ni ya mbali mno na ni sehemu ambayo mtandao kidogo ni ishu💔💔
Tulizidi kutiana moyo na kuamini kuwa bado tuna nafasi ya kuyapambania mapenzi yetu🙏🙏🙏 baada ya kuongea kwa muda mrefu tuliagana mimi nikaondoka kuelekea nyumbani nilipofika nyumbani nilishangaa kukuta ugeni😳😳😳 nilimkuta Brighton pamoja na baba yake wakiwa wako nyumbani kwetu🫢🫢🫢 niliwasalimia kisha nikapitiliza kwenda chumbani kwangu nilijifungia huko kisha nikakichukua kile kipimo changu cha mimba nikawa nakitizama tu na kujiuliza itakuwaje siku hii mimba ikijulikana kwa baba yangu💔💔?!……wakati ambao nilikuwa niko chumbani kwangu nikiwaza juu ya kile nilichokipanda ghafla kuna mtu akagonga mlango wa chumbani kwangu😳😳😳 nani tena🤔🤔🤔nilinyanyuka na kwenda kufungua nikamkuta Brighton……are you okay?! Aliuliza huku akinitizama kwa umakini…..hapana nilimjibu huku nikiwa nafunga mlango na kusogea nje ya chumba changu……aliniomba tuongee tuliongozana mpaka nje tukaketi Brighton alinipa habari njema za yeye kuhamia rasmi nchini Sweden😳😳 kwangu zilikuwa ni taarifa mbaya na za kukera😝😝nilijua fika yote hayo ni mbinu za wazazi kutaka kutusogeza karibu ili tutengeneze ile chemistry itakayotusaidia kuweza kuwa na ukaribu😌😌wow ni sarprise hii🙄🙄alafu umekuja kwa kunishitukiza hukuniambia kama unarudi Sweden why?!……. Brighton alismile kisha akaniambia nilitaka tu kukusaprise na pia nimeandaa kitu kizuri sana kwa ajili yangu mimi na wewe👋👋 mmmhhh kitu gani tena Mungu wangu😳😳😳😳
Nilianza kumdadisi Brighton ili anielezee ni kitu gani alichokiandaa kwa ajili yetu ila hakutaka kufunguka aliniahidi kesho mapema nikishatoka kazini atakuja kunichukua anipeleke nikakione hicho kitu alichokiandaa kwa ajili yangu mimi na yeye🙄🙄🙄mmmhhh nilizidi kuwa na wasiwasi isije kuwa ni ndoa ya ghafla mimi siko tayari kabisa kuolewa naye😌😌 nilimkubalia tu ili kumridhisha….tuliendelea kupiga story za hapa na pale kumbuka hali yangu haiko sawa na hata kukaa pale nje na Brighton nilijikaza tu ili asijisikie vibaya akaona ni kama namdharau ila kiukweli hali yangu haikuwa sawa…..siku hiyo bibi ndo aliingia jikoni kuandaa chakula kilipokuwa tayari alikuja kutuita nje mimi na Brighton ili tuingie ndani tukaungane tuweze kupata Dinner kwa pamoja muda huo tumbo likawa linanivuruga kinoma😑😑 kichefu chefu cha kila time nilikuwa tu na kilimao changu nikawa nakilamba lamba pale ili kuepusha ile hali ya kutema tema ovyo 🫢 tuliingia ndani na Brighton tukakuta chakula kiko mezani kitendo tu cha kufungua hotpot na kuanza kupakua chakula ile harufu ya chakula ikanivuruga nikajikuta napatwa na kichefu chefu cha hatari mpaka nikashindwa kujizuia nilifunika haraka ile hotpot kumbuka mezani kuna baba yangu na baba yake Brighton bila kumsahau bibi na Brighton nilitaka kukimbilia nje nikaona hapa nitaumbuka ikabidi nijikaze😑😑😑kimoyomoyo nikawa najisalia🙏🙏
Nilijikaza ile hali ikatulia kwa bahati nzuri Brighton akajiongeza akaniomba anisaidie kupakua msosi wangu ikabidi nisogee pembeni akanipakulia chakula changu akaniwekea ile harufu ya chakula bwana ikazidi kunitesa nikaona hapa nikiendelea kujikalisha hapa nitawatapikia watu cha kufanya wacha nijidai naenda kulia nje ili nikimwage hiki chakula😑😑 the way nilivyokuwa nahangaika bibi naye akanisoma kuwa siko sawa….bibi alinihoji Gee una shida Gani chakula mbona hauli kiko vile vile?! Nikasingizia ni cha moto sana natamani nitoke nacho nje kipigwe upepo kipoe poe ili niweze kula kwa amani😞😞😞bibi aliniruhusu nikatoka na sahani nilichungulia huku na kule nikaona hakuna mtu anayekuja nikakimwaga haraka kile chakula kisha nikaenda kuketi kibalazani nisubilie wamalize kula niingie ndani…..nimeketi pale mara Brighton naye akatoka na sahani yake ya chakula akaja akaketi pembeni yangu🙌🙌🙌kibaya zaidi akataka kunilisha kile chakula nikawa nakataa yeye analazimisha hadi akafanikiwa kunilisha kichakula kidogo mdomoni sasa kilichotokea baada ya hapo😑😑😑 ni matapishi ya bila kujizuia nilimtapikia Brighton yeye na chakula chake😑😑nilitapika mno hadi nguvu zikaniisha nikataka kudondoka Brighton akaniwahi akanizuia nisidondoke alinibeba akanipakata kisha akaniuliza najisikiaje nikamwambia sorry I’m not okay nahitaji kupumzika mara bibi akachungulia dirishani akatuona ikabidi atoke haraka kuja kuangalia nini kimetokea alipokuja bibi akanikuta nikiwa kwenye hiyo hali na mkononi nina kakipande ka limao moja kwa moja bibi akajua huyu ana mimba😞
Episode 10
Bibi aliniangalia kama mtu anayetaka kulia😑😑😑 alimuondoa Brighton tukabakia wawili🥹🥹 bibi alinishika kwenye mapigo ya moyo akajiridhisha bila kusubilia jibu kutoka kwangu😞😞😞 alichoniuliza ni kitu kimoja tu😭😭😭nani mhusika.!? Nikaanza kujiuma uma😝 bibi aliniita majina yote ya ukoo yakaisha akawa ananibembeleza nimwambie ukweli mimba ya nani sikuweza kufanya siri nilimuweka wazi bibi nikamwambia mwenye ujauzito ni Ryan😭😭😭 swali lingine aliloniuliza bibi ni jee atakuoa?! Siyo mara ya kwanza bibi kuniuliza hivyo🥲🥲….nilitikisa tu kichwa kama ishara ya kumwambia ndiyo naamini atanioa bibi aliniambia nimwambie baba haraka juu ya ujauzito niliokuwepo nao…… nilimpigia bibi magoti nikamwambia baba hatakiwi kujua chochote kwa sasa🙌🙌🙌 bibi akahoji utamficha mpaka lini?!….. umeshabeba ujauzito wa mtu kinachotakiwa ni yeye kukuoa mwende mkaulee ujauzito wenu ni jukumu lake hilo🙌🙌🙌bibi hakuwa anaelewa ahadi tulizowekeana mimi na baba🥺🥺🥺 alikuwa hajui kama baba alishanionya hapo kabla ili nisije jiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na mjeda itakuwaje kama akija kugundua kuwa mimba niliyonayo ni ya mmoja wa watu ambao yeye hakuwahi kutaka mimi nijenge ukaribu nao?!….🥹🥹🥹
Mimi na bibi tulielekea ndani chumbani kwangu bibi alitaka kumjua kiundani mwanaume aliyenipa ujauzito na alitaka kuongea naye ili ajue ni yapi malengo aliyonayo kwangu😞😞😞 nilimwelezea bibi kila kitu jinsi nilivyokutana na Ryan sote tulipendana kutokea siku ya kwanza tulipoonana😔😔……siku chache baada ya kufahamiana na Ryan ndipo alipojitokeza Brighton naye pia akaniomba tuweze kuwa kwenye mahusiano nilimkatalia Brighton na kumuweka wazi juu ya Ryan…. inawezekana mipango ya Baba ni kuniona mimi nikiolewa na Brighton kwa sababu baada ya mimi kumtajia Brighton mwanaume ninayempenda ninahisi yeye ndo alipeleka taarifa kwa baba na baba akawa amemuondoa Ryan pale kambini💔💔 baba yangu alikuwa na cheo kikubwa sana jeshini, hata licha ya kuwa tayari ameshastaafu lakini bado kuna watu wa karibu naye wapo kwenye vitengo vikubwa sana jeshini, hao ndio aliowatumia baba kumuondosha Ryan ilimradi tu aende mbali na mimi😔😔yote hayo nilikuwa nikimwelezea bibi yangu😔😔😔 ni kwanini baba yako afanye hivyo kwa mtu unayempenda huenda alishaona huyo mtu siyo sahihi kwako☺️☺️☺️ siyo hivyo bibi😭😭😭 sababu iliyomfanya baba kufanya hivyo ni kwa sababu yeye hataki mimi nifall kwa mjeda💔💔 unamaanisha nini Gift😳😳 ina maana baba yako alishakuonya juu ya hayo yote?!…..
Maswali ya bibi yalionyesha wazi kuwa yeye hakuwa anajua chochote kile😞😞 ilibidi nimwelezee juu ya ile ahadi aliyoniambia baba niiweke kabla ya kwenda kuianza kazi yangu katika kambi ya kijeshi😞😞😞bibi alistaajabu na sote tukaanza kujiuliza ni kwanini baba azuie huenda kuna sababu ya muhimu inayomfanya yeye kulipinga hilo😞😞😞bibi aliniahidi kuwa yeye ataenda kuzungumza na baba ili ajue ni kwanini yeye hakutaka mimi niweze kuwa kwenye mahusiano na mjeda…… habari za ujauzito ilibidi tubakie nazo kwanza iwe siri hadi pale tutakapoijua sababu ya baba ni ipi haswa!…….nilizidi kuwa na hofu kwa sababu sikujua ni kipi kitaenda kutokea na uamuzi gani utatolewa na familia yangu😑😑😑bibi aliniomba nimtumainie Mungu ili kila kitu kiende kama nitakavyo na mwisho baba aweze kubariki ndoa na mwanaume ninayempenda😔😔😔kama nilivyokwisha waambia mama yangu aliaga Dunia nikiwa mdogo sana nimelelewa na bibi yangu na huyo ndo nimekuwa nikimchukulia kama mama yangu😭😭😭ananipenda sana bibi siku zote alikuwa akinichukulia kama kitinda mimba wake❤🔥❤🔥❤🔥 usiku huo alinipa moyo sana kisha akaniomba nilale nipumzike nisijistress kwa sababu hali niliyonayo haitaki stress😩 nililala lakini ukweli ni kwamba kichwa kilikuwa kinachemka kwa mawazo…..
Huku Brighton huku Ryan yupi atakayefanikiwa kufunga ndoa na mimi😑😑 binafsi nayempenda ni Ryan mwanaume mpambanaji hana utajiri wa kuzaliwa nao vyote alivyonavyo kavitafuta kwa jasho lake🙏🙏🙏 Ryan kazaliwa kwenye familia ya kawaida tu kama ya kwangu , Ryan ni miongoni mwa wale vijana wapambanaji waliostrago kuzibadirisha familia zao kutoka kwenye jina umasikini kuwa familia zenye maisha bora……Brighton ni wale watoto wa matajiri waliozaliwa kwenye pesa wamekua nazo wakizichezea kama kitu cha kawaida tu naweza kusema Brighton yeye pesa siyo shida zake wazazi wake ni mabillionea wakubwa nchini China na hata yeye anamiliki mali nyingi sana…..shida ni moyo wangu haukuwahi kumchagua hata siku moja….sikutaka kuolewa na mtu kwa sababu ya mali zake mi nilitaka kufuata kile kilichochaguliwa na moyo wangu😔😔😔swala la Brighton kuhamia nchini Sweden bado lilizidi kunipa maswali mengi sana kwanini ahamie Sweden ghafla kiasi hiko😳😳 na hiyo sarprise aliyoniandalia ni sarprise gani?!……usiku mzima nilikesha nikiwaza hadi pale kulipopambazuka nikadamka mapema nikaanza maandalizi ya kujiandaa kwenda kazini…..Brighton na baba yake walilala pale kwetu…..nilipomaliza kujiandaa nilikwenda nikawasalimia niliwakuta wako Dinning wanakunywa chai baba yake Brighton ananipenda sana ni mzee ambaye tangu zamani alizoea kuniita Princess yeye hakuwahi kubahatika kupata mtoto wa kike wana mtoto mmoja tu ambaye ni Brighton baada ya kuwasalimia nilimimina chai kidogo nikaijaza limao si mnayajua mambo ya mimba changa🙈🙈
Sasa zile limao ni kama Brighton alianza kuzishtukia😳😳😳aliniangalia sana wakati nilipokuwa nikiijaza chai yangu limao alishindwa kuvunga ikabidi aniambie this is too much umeweka nyingi sana siyo salama kwako😳😳😳 aaa it’s fine nina mafua ndo maana naitumia hii ili angalau nipate radha ya chai😝😝 nilidanganya hivyo kisha nikainywa ile chai haraka haraka kabla haijapoa nikaimaliza kisha nikaaga kwa ajili ya kuondoka sasa wakati natoka Brighton akaomba nimngoje tutoke wote🥺🥺🥺 tuliambatana hadi nje akaomba nisiondoke na gari yangu tutumie yake coz jioni atakuja kunichukua kazini mmmhhh sikuwa na kipingamizi juu ya hilo nilimkubalia tukaitumia gari yake sasa wakati tulipokuwa kwenye gari hewa ikawa nzito kidogo nikawa najisikia kama nataka kutapika🫢🫢🫢mmhh yasijetokea ya jana Bora nifungue Dirisha nipate hewa 😑😑😑 kipindi hicho ulikuwa ni msimu wa baridi sana👋👋😌 niliposhusha kioo cha gari Brighton akaanza kunishangaa nimevaa makoti mawili kujikinga baridi na bado ninathubutu kufungua kioo na ilihali nje kuna baridi kali mpaka ukungu umetanda hewani na chini kumejaa theluji😳 Brighton aliniangalia sana kisha akaniuliza Gee una tatizo gani?! are you pregnant 🤰 ?! 🤔🤔
je una mimba?!….. 🤔🤔
Episode 11
Kwanza baada ya kuulizwa hivyo ikabidi nikifunge kioo haraka kisha nikajidai ni kama vile lile swali sijalisikia vizuri🫢🫢🫢ikabidi niulize upya……whaaaat?!😳😳pregnant???? 🤔🤔🤔 why pregnant?!……aaa….mmmh I don’t think so🥺🥺uh sina mimba☺️☺️ na kwanini unanihisi kuwa nina mimba???? do I look like I’m pregnant?? 😳😳😳 swali moja nikajikuta nimetoa maelezo buku na maswali ya kutosha kwa Brighton 😝😝😝Brighton hakuongea chochote ila alionyesha dhahiri kuwa kuna kitu kakihisi mwilini kwangu😑😑😑 alikaa kimya kwa muda kisha akaniambia sorry nimeuliza tu😞😞…..baada ya hapo Brighton hakuzungumza neno lingine tena😞😞 alidrive hadi kazini kwangu akiwa kimya tu😑😑😑 nilipofika kazini mie nilitelemka zangu kwenye gari nikawa najiziba ziba na yale makoti niliyoyavaa kitumbo chenyewe kidogo ndo kwanza mimba ilikuwa na wiki tatu kuelekea nne lakini nilikuwa najihisi ni kama kila mtu akiniangalia tumboni atanijua🙈🙈 haswa baada ya Brighton kunishtukia ndo kabisa nikazidi kuogopa😔😔😔 nilipokwisha shuka kwenye gari nilimuaga Brighton bado alizidi kunichunguza sana😞😞😞niliondoka nikamuacha akiwa amesimama ameiegemea gari yake ya mamillion huku kichwani akionekana kuchanganyikiwa sana💔
Alisimama kwa Muda mrefu kidogo kisha aliondoka😑😑 kwa bahati nzuri muda huo huo Ryan akanipigia alipiga video call ikanidi nijifungie ofisini ili nisipate usumbufu niongee naye kwa uhuru🥹🥹🥹kila tukipigiana video call huwa tunasali kwanza tunayaombea mahusiano yetu ili Mungu aendelee kulilinda penzi letu na atupiganie dhidi ya vikwazo vyote vinavyojiinua kwenye uchumba wetu ili tuweze kuifikia ndoa🙏🙏 Ryan ana hofu ya Mungu anamwamini Mungu kuliko kitu chochote🥹🥹🥹 baada ya kusali tulibakia kutizamana tu na kudondosha machozi😭😭 kila mmoja aliishia kuitachi screen yake ya simu kwa lengo la kumshika mwenzie lakini tulikuwa mbali tusingeweza kushikana ni hisia tu ndo zilikuwa zinatuzidia mpaka tunajikuta kuipapasa mikono yetu kwenye screen kwa lengo la kushikana💔💔 nilimmiss sana mwanaume wangu mpaka nikawa nashindwa kujizuia kumwaga machozi😭😭😭 hata yeye alikuwa anajikaza tu lakini machozi yalimuumbua aliishia tu kuniomba nimlindie mtoto wake nami nijilinde pia kwa ajili yake😑😑🙏 hakusahau kunielezea upendo alionao kwangu na kwa mtoto wetu tuliyekuwa tunamtarajia mwisho kabisa Ryan aliniomba nimuombee kwa sababu kuna sehemu wanasafiri kwenda kufanya kazi na huko uwezekano wa kutumia simu ni mdogo mno😭😭😭
Aliniaga na kuniambia nina imani nitatoka nikiwa hai na tutaonana tena🙏🙏🙏 kwa heri ya kuonana My love utanikosa hewani ila moyoni kwangu umejaa tele daima nitazidi kukuombea wewe na mtoto wetu nawe usiache kuniombea ili kazi nikaimalize nikiwa salama BYEEE DARLING na kabla sijakata simu naomba utambue kuwa wewe pekee ndo unayenipa sababu za kuendelea kuishi……I LOVE YOU🥹🥹❤️ baada ya kusema hivyo Ryan alinipungia mkono kisha akanitupia kiss ya hewani na baada ya hapo alikata simu💔💔😭😭 nililia mnooo😭😭😭niliona ni kama vile anazidi tu kwenda mbali na mimi💔💔kwanini inakuwa hivi😭😭mawasiliano ndo kitu pekee kilichokuwa kikitufariji na kutufanya tujihisi ni kama vile tuko pamoja🥹🥹 imekuwaje tena wampeleke katika eneo la hatari ambako hata simu tu hatokuwa akiitumia😭😭moyo uliniuma kupita kiasi…..baada ya kulia sana nilipitiwa na usingizi mzito nikajikuta nasinzia kule kule ofisini😞😞😞 nililala kwa takribani masaa matatu mnamo mida ya mchana ndipo nilipomsikia rafiki yangu Brinnah akiwa anagonga mlango na kuniomba nimfungulie…….
Niliamka na maluweluwe kibao machoni nikajinyoosha kisha nikaenda kufungua mlango……Brinnah aliingia akiwa na chakula mkononi alikiweka mezani kisha akanikumbatia😭😭😭sasa ile hug🫂 ikanifanya nianze kulia upya Brinnah aliniambia i see like hauko sawa what’s wrong Gee🥺🥺 Brinnah ni rafiki pekee wa kike niliye naye ni rafiki ambaye nalingana naye kimo mpaka umri ni rafiki ambaye tunafit kila kona na tunaelewana sana urafiki wetu ilikuwa ni zaidi ya urafiki🤣🤣🤣wenzenu tulifika hadi ile stage ya BFF 💓🫂 best friend forever tulikula na viapo vya kuwa marafiki mpaka ahela🤣🤣 kama mjuavyo marafiki wa kweli hawafichani kitu…..situation niliyokuwa nayo ilikuwa ni ngumu mno sikuwa na uwezo wa kuihandle peke yangu😑😑 ilibidi nimwelezee Brinnah kwa sababu huyo ndo mtu pekee aliyekuwa ananielewa na kunifariji…… baada ya kumwelezea kila kitu Brinnah aliniambia kitu kimoja tu I’m on your side bestie and I promise you nitakusaidia kwa kila wakati utakaponihitaji……Brinnah aliniambia mimi niko tayari kumkosa yule nimpendaye ilimradi tu wewe umpate Ryan wako🤝❤🔥 ikitokea ukalazimishwa kufunga ndoa na Brighton basi nakuhakikishia mimi nitakuwa tayari kwenda kufanyiwa hata sajali ya kubadili sura niwekewe sura yako ilimradi tu nikae kwenye nafasi ya ndoa na Brighton wewe utoroke uende ukamtafute Ryan wako❤🔥❤🔥🙏
Maneno ya Brinnah yalinitia nguvu nikajikuta hata zile stress nilizokuwa nazo zimepotea👏👏 nilimkumbatia bff wangu mpaka machozi ya furaha yakanitoka🥹🥹🥹 ukibahatika kumpata rafiki wa kweli kwenye maisha yako piga goti na umshukuru Mungu aendelee kuudumisha urafiki wenu……ni marafiki wachache sana wanaojitolea kwa marafiki zao🙏🙏🙏marafiki wengi wa siku hizi wapo kwa ajili ya kuwaumiza wenzao tu…..Brinnah aliirudisha tabasamu usoni kwangu nikapata hata nguvu ya kula chakula nilimpa habari njema best yangu juu ya ujauzito wangu alinipongeza na kunisihi nizidi kumuomba mungu amlinde Ryan wangu huko aliko❤🔥❤🔥❤🔥 ilipofika jioni ya siku hiyo Brighton alinipigia simu akanijulia hali kisha akaniuliza kama nimeshatoka ofisini nikamwambia ndo nataka kutoka aliniambia kuwa tayari yuko nje ananingoja mimi😕😕 nilitoka kweli nikamkuta yuko pale tulisalimiana nikapanda kwenye gari alikuwa kaniletea ice cream nikafurahi hatari🙈🙈Nilifungua ice cream yangu nikawa najilia na safari ikaendelea bado sikuwa natambua ni sarprise gani hiyo ninayoenda kuonyeshwa😌😌 Brighton naye hakutaka kuniambia😌😌 alitaka niende nikaishuhudie sarprise yangu kwa macho yangu mwenyewe 🙄🙄 wakati safari inaendelea nikashangaa Brighton ananiambia et kabla hatujaenda kuiona sarprise yangu aliyoniandalia tupite kwanza hospital nikatibiwe😳😳😳😳 alidai kuwa tayari ameshaongea na Dactari atakayeenda kunifanyia vipimo ili tujue tatizo linalonifanya nipatwe na hiyo hali ya kutapika tapika nitibiwe mapema kabla halijawa kubwa😳😳
Mungu wangu🫢🫢🫢
Je unahisi ni kitu gani Brighton amekiandaa kwa ajili ya Gee?!….itakuwaje huko hospital majibu yakitoka?!
Episode 12
Hospitali tena🫢🫢 wakati nikiendelea kustaajabu Brighton aliiacha barabara kuu akaingia katika barabara la kuelekea katika hospital moja hivi ya private😳😳😳nilishindwa hata namna ya kumzuia mjue🤣 nikabakia nimetoa macho kama fundi saa🙄🙄🥺 tumefika nje ya hospital gari ikaingizwa parking😝 hata ice cream sikuweza kuendelea kuila🤣🤣 kichwani nilikuwa nawaza itakuwaje baada ya vipimo😌😌😌 baada ya mshikaji kuingiza gari parking alitelemka akanifungulia mlango nikashuka🤣🤣 nilikuwa natetemeka kwa uoga mpaka miguu ikawa inavibrate na vile nilivyo mwembamba ilibakia kidogo nidondoke🤣🤣🤣Brighton akanishikilia akanikumbatia ubavuni mwake kisha akapiga simu kwa dactari wake akamwambia kuwa tayari ameshafika tuko nje mmmmhhhh😳😳🥱…..dactari alituruhusu kuingia ndani😑😑😞 tulipofika ofisini kwa dactari tukaulizwa kama ni couple💑 mmmhhh kila mmoja akamtizama mwenzie🤣🤣🤣tukakaa kimya badae nikaropoka sisi siyo wapenzi ni marafiki tu alloh🫢🫢🫢 Brighton alijisikia kulia😭😭😭 alinitizama kwa jicho la huzuni kisha akasema its okay wacha mimi nikupishe ukishamaliza utanitext nije nikuchukue😞😞😞
Brighton aliondoka akaniacha na dactari lol nikasema afadhali🤣🤣 sasa the way yule dactari alivyokuwa akinitizama mhhhhh😳😳😳mbona kama vile ananichunguza🫢 au Brighton kaishamwelekeza cha kunipima eh😳😳😳 dactari baada ya kuniangalia sana aliniomba nipande kitandani anipime joto na pressure 🫢🫢🫢 ikabidi nipande mapigo ya moyo nayo yakawa yananidunda sana🙌🙌 kumbuka Brighton akigundua kuwa mimi ni mjamzito ni lazima habari zimfikie baba yangu na huo ndo utakuwa mwanzo wa mvurugano kifamilia😞😞 baada ya kupanda kitandani mara nikashangaa dactari ananigusa kwenye mapigo yangu ya moyo🫢🫢nilishtuka nikamtoa mkono haraka alismile na kuniambia congratulations…..😳😳niliinuka kitandani nikaketi kijasho chembamba kikawa kinanishuka mwili mzima😑 Doctor unaongea kuhusu nini😒😒😒 hongera ya nini unayonipa🥹🥹🥹 Dactari akaniambia unaonekana kama mjamzito mapigo yako ya moyo yanathibitisha hilo but itabidi tufanye vipimo ili tuweze kuhakikisha🙄🙄 sina mimba doctor🗣️🗣️ alf unatakiwa kutambua kuwa hapa nilipo niko kwenye siku zangu kwanini unaongea vitu vya uongo una uhakika gani kuwa mimi ni mjamzito 😳😳😳nilimcharukia🥱🥱🥱🙈kisha nikasimama na kutaka kuondoka yule dactari akaniita na kuniomba msamaha😝😝😝lengo langu ilikuwa ni kupanic nizuie vipimo visifanyike🙈 wakati dactari alipokuwa busy kuniomba samahani mi nikachukua mkoba wangu na kutoka nje😝😝
Mefika nje nikaanza kujifutisha vimachozi vya uongo na kweli🤣🤣🤣Brighton alishtuka kuniona nalia😳😳😳akanifuata na kuniuliza nini tatizo 😳😳 nikamwambia kwa hiyo umenileta huku ili nibakwe😭😭😭sikuwa nalia kiukweli ukweli nilikuwa namwigizia tu😝😝 kubakwa??…😳😳 unamaanisha huyo Dactari alitaka kukufanyia ushenzi????😡😡 Brighton alibadirika ghafla akachomoa simu na kupiga police😳😳😳nilimnyakua simu haraka nikaikata unafanya nini☺️☺️☺️nilimuuliza kwa sauti ya juu na kuanza kumfokea si ni wewe uliyenileta huku ulikuwa na lengo gani🥹🥹nitajuaje kama na wewe ndo lengo ulilokuwa umepanga na huyo dactari anaanzaje kunishika kifuani bila ruksa yangu nilifoka kwa hasira kisha nikaanza kuondoka mbio hospitalini pale🏃♀️🏃♀️
Brighton alijutia mno alinikimbilia akaanguka chini na kunipigia magoti aliomba radhi sana🧎♂️🧎♂️ nikaona yeees💃🏼💃🏼 nimefanikisha lengo langu🕺🕺🕺nilimgeuzia mgongo nikasmile kwanza kisha nikayafuta machozi na kujipongeza congratulations dear Geee umeigiza vyema sana👯♀️🕺 hayo ni maneno niliyoyazungumza na nafsi yangu kisha nikamgeukia Brighton na kumnyanyua kutoka chini😝😝😝nilimuonya nikamwambia wakati mwingine kabla hujafanya uamuzi kama huu inabidi unishirikishe kwanza mimi🥹🥹🥹 Brighton alinihug akaomba msamaha kwa mara nyingine nikamwambia its okay lakini sitaki ufanye chochote makosa ni yako ukimshitaki huyo dactari nitakuchukia kwa sababu wewe ndo umenileta kwake😌😌 Brighton aliniahidi kuwa hatomfanya chochote na hatorudia tena kuisogelea hiyo hospitali😌😌😌nilichokitaka hatimaye kikafanikiwa👏👏 tuliondoka pale hospital bila kufanya vipimo……Brighton alinipeleka sehemu moja hivi akasimamisha gari pembezoni mwa barabara kisha akaniuliza bado umeninunia🥹🥹?! Nilitabasam na kumwambia ondoa shaka yasaisha hayo nina imani wewe ni mwema hauwezi kunidhuru🤝🫂 alifurahi kusikia hivyo tukakumbatiana na kutelemka kwenye gari…… upande wa pili kulikuwepo na wafanyabiashara mbalimbali, wauza ice cream, vinywaji na wachoma nyama mishikaki na chips kulikuwepo na vyakula mbalimbali Brighton aliniomba tupouse pale tupate chochote kitu turefresh kisha tuweze kuendelea na safari yetu….. tuliketi sehemu tukachomewa mishikaki tukala na kinywaji cha baridi baada ya hapo Brighton alinipeleka mtaa mmoja hivi unaosifika sana hapa sweeden😳😳😳
ni mtaa wa watu vigogo mtaa ambao majengo yake yote yanafanana na ili uishi kwenye huo mtaa lazima uwe na uwezo wa kujenga ghorofa iliyodizainiwa vizuri kama ilivyotaratibu za watu wanaoishi mtaani hapo🙌🙌 mbona kanileta huku kuna nini🤔🤔🤔nilijiuliza bila kupata majibu😳😳😳 tuliposhuka kwenye gari Brighton akaniuliza unauonaje huu mtaa nikamwambia ni pazuri sana panavutia👌👌👌bado nilikuwa sijajua Brighton kanipeleka pale kufanya nini….. kila nikimtizama usoni anaonekana kuna kitu kinamsibu akilini ni kama mtu anayetaka kufanya kitu lakini anahofia😳😳😳 ilibidi nimsogelee na kumhoji ni kwanini umenileta huku kuna nini?!…..baada ya kumuuliza Brighton akaniambia first of all nataka utambue hiki ninachoenda kukifanya ninakifanya kwa sababu ya mapenzi na upendo nilionao kwako😔😔😔ni kitu gani na kwanini unaonekana katika hiyo hali kuna nini Brighton niambieeeee🥺🥺🥺 nikashangaa kijana wa watu anaanza kulia😳😳😳mbona simwelewi huyu ana nini si aseme🥺🥺🥺Brighton alinishika mikono yangu alafu akaniomba nimtizame kwa sekunde kadhaa😳😳😳nilimtizama kama alivyonielekeza kisha nikamwambia kuna nini?! Brighton aliniuliza swali moja hivi ikitokea nikafa sasa hivi utakumbuka kitu gani kutoka kwangu😳😳
Mbona kufa????😳😳😳
Episode 13
Kwanini kufa???😳😳😳 ina maana umenileta hapa ili nikishuhudie kifo chako?!……. na kwanini unaongelea habari za kufa unanitisha bwana🫂🫂 niliongea hivyo huku nikiwa nakilalia kifua cha Brighton….. wanaume ni dhaifu sana haswa pale unapojua kuwatumia kisawa sawa 🤣🤣🤣baada ya kujilaza kifuani kwa Brighton alinikumbatia kwa mikono yote miwili kisha akaniuliza Gee nina kasoro gani kwani?!.???. Kwa nini hunipendi😭😭😭 Gee nakupenda na moyo wangu wote nahisi ni kama vile bila wewe siwezi kufurahia kitu chochote hapa Duniani😭😭 kuna muda huwa natamani niache kila kitu nipate upendo wako tu🥹🥹 nina kila kitu anachohitaji mwanadamu kuwa nacho lakini sina furaha😭😭😭 furaha yangu ni wewe Gift kwanini unanikatili💔💔?!…. niambie chochote utakacho nikufanyie mimi nipo radhi ilimradi tu niupate upendo wako…..Brighton aliangusha kilio bila kujizuia ama kweli kwenye haya maisha unaweza ukawa na kila kitu na bado ukamkosa mtu wa kukupenda tu👌👌 Brighton ni mzuri very cute guy👌👌 ana pesa na mali za kumwaga lakini sikuwa na hata chembe ya hisia kwake😝😝😝😝 hata kama ningemwambia nampenda bado ningekuwa namdanganya😞😞😞niliwaza kipi nimjibu Brighton kuna wazo liliniijia kwa vile Brinnah kaahidi kunisaidia kwenye hili jambo wacha nianze kuigiza upendo kwa Brighton ilimradi tu asiendelee kumsogeza Ryan kwenye hatari zaidi😔😔😔
Siku ile kwa mara ya kwanza nilimtamkia Brighton nikamwambia from today until forever nitakuwa wako siku zote za maisha yangu, I know you love me and I love you back❤🔥❤🔥❤🔥sikutamka kwa kumaanisha ilibidi kusema hivyo ili angalau wapunguze kumuumiza Ryan wangu😭 Brighton alilia chozi la furaha alinibeba juu kama katoto nyieee hii miili midogo hii🤣🤣🤣🤣unabebeka kama katoto😝 msela alinibeba kwa furaha akaniambia niliyangoja sana haya maneno matamu kutoka kwako hatimaye leo nimeweza kuyasikia😭😭 asante sana Gift I promise you hautojutia kunichagua nitakupenda mpaka siku nitakaporudi mavumbini🫂 wakati yeye alipokuwa akiyafurahia majibu ya uongo kutoka kwangu mwenzie mawazo yangu yote yalikuwa kwa Ryan wangu😭😭😭nilitamani yeye ndo angekuwa amenibeba kama vile💔💔 nilitamani yeye ndo angekuwa ananifurahia kama vile😭😭😭 sijui hata huko aliko yuko katika hali gani😭😭😭😭nilijikuta namwaga machozi lakini Brighton aliyapangusa na kuniambia I know why you are crying……
Anajua ni kwanini nalia?????😳😳 kajuaje?????🙄🙄🙄ina maana Brighton anajua kile anachokifanya kwa Ryan eeh😳😳😳najua tu huu mchezo anaucheza yeye na baba yangu🥺🥺🥺ni kwanini wanafanya hivyo🥹🥹 sasa hii ngoma waliojiingiza kuicheza watajuta👌👌 naenda kuwaonyesha kuwa hata mimi ni mkali wa hizi ngoma📌📌nililifuta chozi kisha nikatabasamu tabasamu la maumivu makali sana😒😒😒 Brighton alichokuwa anakipambania kwangu ni mimi kumkubali yeye kuwa mwanaume wangu cha kushangaza ni kuwa wakati yale yote yalipokuwa yakiendelea pale kwa pembeni kuna mtu alikuwa anarecord kila kitu😳😳😳hilo sikulijua mpaka pale alipotusogelea na kutonesha picha zetu😳😳hi ni nini???.??.🥺🥺niliuliza kwa mshangao lakini Brighton alinituliza na kuniambia siyo kitu kibaya Darling picha ni moja ya vitu vitakavyokuwa vikitukumbusha ni wapi tulipoanzia💋💋💋sikuamini kama alifanya hivyo kwa lengo hilo tu moja nahisi alichukua picha ili kumlingishia Ryan…..furaha ya Brighton ilikuwa ni kumuona Ryan akiwa anaangamia💔💔 hakutaka kummaliza mara moja alichokitaka ni kummaliza taratibu kwa maumivu makali……akili ilianza kufunguka na kujiambia nisipoamka mapema nitampoteza mwanaume ninayempenda kwa sababu naona kabisa tunapoelekea Brighton atakuja kumuua Ryan🥺🥺
Baada ya kuzitazama zile picha Brighton alifungua gari akachukua kitambaa cheusi kisha akaniambia baby now I’m going to show you something I prepared for you👏👏 ninaenda kukuonyesha kitu nilichokiandaa kwa ajili yako…..aliongea hivyo Brighton kisha akanifunga kitambaa cheusi machoni, baada ya hapo akanishikilia mkono na kuniongoza njia, tulitembea mwendo kidogo akaniomba nisimame😳😳 nikasimama akaanza kukifungua kitambaa kukitoa machoni kwangu🥱🥱 nilikuwa na bashasha ya kutaka kujua nini kakiandaa kwa ajili yangu😌😌😌🙌 baada ya kutolewa kitambaa machoni zilisikika sauti za watu wakiwa wananiambia 🗣️🗣️🗣️sarpriseeeeeeeeee😳😳 niliyafungua macho haraka nikashangaa niko ndani ya mjengo mrefu wa ghorofa na ni mjengo ghali wa kifahari sana😳😳 niliyanyanyua macho yangu kuutizama ule mjengo mpaka juu kisha nikayashusha taratibu na kuyaelekeza pembeni nikawashuhudia familia yangu na familia ya Brighton wakiwa wamesimama na nyuso zao zimejaa tabasamu mwanana🤔🤔🤔what’s going on here😳😳😳niliuliza huku nikiwa naendelea kuyakagua mazingira yote ya lile eneo😕😕 ghafla liliwashwa bango moja likaleta mwanga wa pinkie na maandishi yalioyoandikwa kama ifuatavyo……Gee this is for you💘💘💘 hii ni nyumba nimekuwa nikija kuishughulikia sweeden kwa kipindi kirefu sana namshukuru Mungu kwa kuwa sasa imekamilika na ninaikabidhi kwako wewe, kama mmiliki na kuanzia sasa wewe na familia yako mtaanza kuishi hapa💋💋 really?!?????😳😳
Kweli?!????😳😳😳 baada ya kuuliza hivyo ilisikika sauti ya Brighton kutokea nyuma yangu akiwa anajibu yes Darling this is true😊😊 alitoa hati ya nyumba na kiwanja akanikabidhi na majina ya mmliki yalikuwa ya kwangu😳😳😳🙌 nilipokea nikasoma nikabaki kutafakari mbona Brighton ananifanyia mimambo mikubwa mikubwa kiasi hiki…..jumba lote hili kanimilikisha mimi🙌🙌 kama mnakumbuka hapo nyuma niliwaambia sisi kwetu tulikuwa na maisha ya chini tu ya kawaida hata nyumba yetu ilikuwa ni ghorofa moja kuu kuu iliyochoka na ni ndogo isiyovutia……sikuamini kama mimi ndo ninaenda kulala kwenye jumba la kifahari kiasi hicho na siyo kulala tu na kuimiliki mazima😭😭😭aisee nililiaaaaa nilimkimbilia bibi yangu nikamkumbatia naye akawa anamwaga machozi kanilea yule na ananijua vizuri kuliko mtu yeyote😭😭😭😭baada ya kumkumbatia bibi nilimkumbatia baba yangu bila kuwasahau wazazi wa Brighton nilipokwisha wakumbatia wote ndipo nilipogeuka nyuma kwa ajili ya kumkumbatia Brighton nikashangaa kumkuta akiwa amepiga goti chini mkononi kashikilia kibox cha Pete😳 unafanya nini😳😳 nilimuuliza Brighton huku machozi mengi yakiwa yananitoka kabla Brighton hajaongea chochote nilishangaa kuliona bango kubwa lililokuwa nyuma yake ukutani, likiwa linawaka na kumetameta🫢🫢lilisheheni rangi mbalimbali za kuvutia bila kuyasahau maandishi makubwa yaliyoandikwa *WILL YOU MARRY ME?!???!!!.??💋💋💘*
Kipi atakachoamua Gift?!…… Brighton au Ryan?! Mapenzi ya kweli au pesa????…..
Episode 14
Lile tukio nalo inaonekana lilipangwa mapema ndo maana Brighton alihakikisha namkubalia kabla ya kwenda kunionyesha hiyo sarprise yenyewe🥺🥺 nifanye nini mbele ya hawa wazazi🫢🫢 nilikaa kimya nikawa natafakari what to do😔😔 watu wote walikaa kimya wakawa wananitizama mimi nitatoa majibu gani🥺🥺 kabla sijatoa majibu nilianza kumkumbuka Ryan wangu😭😭from the first time tulipoonana the way alivyoniagiza maji akayatumia kusafisha nywele zangu vile alivyo mpole yale macho yake ya kusinzia bila kusahau siku ile kitandani vile alivyonipa penzi tamu the way alivyonitia taratibu akawa ananibembeleza na kuniingizia mboo yake taratibu hata nilipolia kwa maumivu yeye alinipuliza na kunibembeleza💋💋💋ni mtamu ana sauti nzuri anajua kuhandle na kikubwa zaidi ni mtoto wake aliyeko tumboni kwangu😩😩 siwezi kumsaliti Ryan wangu nilijisemea hivyo kisha nikaanza kutikisa kichwa na kurudi nyuma😒😒😒watu wakaanza kustaajabu🫢🫢 what is going to happen😳😳 wakati bado nikiwa naendelea kurudi nyuma ghafla niliukumbuka ushauri wa rafiki yangu Brinnah ikabidi nistop😌😌😌……
Niliposimama angalau mioyo ya watu ikatulia🤣 nahisi baba yangu alichokuwa anakiwaza akilini ni lile jumba tu🤣🤣 aliponiona narudi nyuma alitaka kupandwa na pressure🤣🤣🤣 nilisimama nikawa natabasamu😑😑😑halikuwa tabasamu la kumaanisha lilikuwa tabasamu lililojawaa maumivu 💔💔kwanini baba anashindwa kuthamini mtu ninayempenda anamthamini Brighton sababu ya pesa😭😭😭niliumia mno lakini yalikuwa ni maumivu ya ndani kwa ndani nahisi mtu pekee aliyeigundua hali ninayoipitia ni bibi yangu kwa sababu yeye nilishamdokezea juu ya mtu ninayempenda na anatambua wazi kuwa tumboni kwangu nina ujauzito wa mwanaume mwingine🥺…..kilichokuwa kinaendelea pale hata mimi nilijiuliza mwisho wake ni upi🥹🥹🥹 niliwaza kwa muda mrefu kidogo baada ya hapo nilianza kupiga hatua kusogea sehemu alipo Brighton🚶🏼♀️🚶🏼♀️ aliponiona namfuata machozi ya furaha yalimtoka🥲🥲🥲 nilimsogelea kwa karibu kabisa then nikasimama nikawa namwangalia vile alivyojawa na furaha……Brighton alinishika mkono wangu kisha akaniuliza habitity are you ready to marry me🥹🥹 sikupoteza muda niliitikia nikamwambia yes Darling I’m ready💋💋💋 Brighton alinivisha Pete ya uchumba kidoleni kwangu akiwa anasindikizwa na shangwe kutoka kwa wazazi wetu👏👏👏👏
Walifurahi sana lakini mwenzao sikufurahia chochote🥺🥺 nilikuwa na kinyongo nao wote🥹🥹🥹 nilihisi ni kama nia yao ni kuniuza tu😭😭😭hakuna hata mmoja aliyeniuliza kama niko huru na jambo lile wao wanafikili kila mtu ni lazima kuchagua pesa kuliko upendo wa kweli💔💔Baada ya kuchumbiwa tulipewa baraka kutoka kwa wazazi wa pande zote mbili baada ya hapo tuliifungua nyumba yetu kwa pamoja tukafanya maombi……ilifanyika sherehe ndogo ya wanafamilia tu…..tulikula tukanywa tukakuenjoy😌 usiku huo wazazi walitupatia ushauri wa namna ya kuyatunza mahusiano yetu wakati ambao tutakuwa tukiingojea ndoa😌😌😌 ilitolewa historia fupi ya urafiki wa familia hizo mbili ya kwetu na ya kwao Brighton lengo la wazazi ilikuwa ni kutuona tunaungana ili tuweze kuudumisha na kuuendeleza urafiki wa familia zote mbili…..usiku ulipokuwa mkubwa familia ya kina Brighton waliondoka tukabaki sisi peke yetu😭😭 mi nilianza kulia bila kuongea chochote nililia mno mpaka nikawa namuita marehemu mama yangu😭 bibi alikuwa anajua kinachoniliza baba yangu bado hakuwa anaelewa….
Kitu alichokuwa anakiamini baba yangu ni kuwa mimi na Ryan hatukufanikiwa kufall in Deep love❤️ yeye alijipa matumaini ya kuwa aliwahi kumuondosha Ryan kabla mambo hayajaharibika😌😌😌baba alianza kunihoji kipi kinakuliza Mwanangu leo ni siku yako ya furaha unatakiwa kuifurahia siku hii na siyo kuwa na huzuni kwanini unalia☺️☺️☺️ hivyo unavyomtaja mama yako unanifanya hata mimi kukumbuka maumivu niliyokwisha yasahau😭😭 baba mpaka akalia maskini🥲🥲🥲 palepale bibi ikabidi aingilie kati akamuuliza baba kuna chochote unachotuficha?!.?…..baba akashtuka na kufuta machozi kisha akauliza mnaongea kuhusu nini?!…..bibi yangu hajawahi kutaka mimi niumie😞😞yale maumivu niliyokuwa nayo ndiyo aliyokuwa nayo bibi yangu😞😞😞 alimuuliza baba hili swala la uchumba ulimuuliza mwanao au laa?!…..baba hakuwa na majibu zaidi ya kujitetea kwa kusema kuwa Brighton ndo mwanaume sahihi kwangu☺️☺️☺️bibi hakutaka kuendelea kupoteza muda alimuweka wazi baba juu ya mpenzi wangu Ryan akamwambia kuwa tayari mimi ni mjamzito nina mtoto wa Ryan tumboni kwangu🙌baba baada ya kuambiwa hivyo alibadirika akawa kama mnyama😑😑
Aiseee🙌🙌 sijawahi kumuona baba akiwa na hasira kama alizozipata usiku ule😌😌😌alikuja akanishika akainua mkono akataka kunipiga akashindwa kumbuka mimi ndo katoto chake cha pekee na ananipenda kupita maelezo🥺🥺🥺alishindwa kuniadhibu akaishia kuupiga ngumi ukuta na matokeo yake ni yeye ndo aliumia na kuanza kuvuja damu nyingi kwenye viganja vyake vya mikono😭😭😭 baba alilia kwa uchungu na kuniuliza Gift ina maana ahadi uliyonipa ni ya uongo💔💔💔kwanini umefanya hivyo mwanangu😭😭😭…..🗣️🗣️🗣️🗣️kwaniniiiiiiiiiiii💔💔💔 nilimpigia magoti baba nikamwambia samahani baba😭😭😭😭🙌nampendaaaaaaaaa😭😭 tunapendana sana na Ryan nakuomba usitutenganishe sitaki mtoto wangu alelewe na mwanaume mwingine😭 Ryan ndo mtu pekee anayenipenda kwa dhati🥹🥹 mapenzi yetu ni ya kweli Baba😭😭😭baba yangu aliniomba nifunge mdomo na nisiongee chochote😔😔 nilikaa kimya nikawa nalia baba kuna mtu alimpigia simu akamwambia huyo mwanaume mshenzi amemtia binti yangu mimbaaa😭😭😭😭ninataka nimuadhibu kwa mikono yangu mwenyewe😡😡😡….alipokwisha kuongea hivyo baba alikata simu kisha akaniambia nitakurudia mpumbavu mkubwa wewe😡😡😡baba alivaa kama mtu anayeenda vitani kisha usiku uleule akawa ameondoka kabla hajatoka aliniachia onyo moja!nihakikishe Brighton hagundui chochote juu ya huo ujauzito wangu……
Wapi anakoenda baba yake Gift?!…
Episode 15
Baada ya baba kutoka usiku huo wa manane nyumbani tukabakia wawili na bibi😔😔ndani ya lile jumba la kifahari kuligeuka kukatawala majonzi🥹🥹 nilikimbilia chumbani nikachukua simu yangu nikampigia Ryan mtandao ulikuwa mbovu sana simu haikuweza kuconnect😭😭 nilianza kuzunguka chumba kizima na simu yangu mkononi😞😞😞bibi yangu alikuwa mlangoni akiniangalia vile nilivyochanganyikiwa……alinisihi nitulie nimtumainie Mungu yeye ndo muweza wa yote🫂🫂 bibi alinikumbatia huku akiwa anayadondosha machozi kwa uchungu😞😞😞 aliniomba usiku huo tuanze kusali tumuombee baba pamoja na Ryan🙏🙏🙏 hatukuwa na muda wa kupoteza tulianza kufanya maombi haraka iwezekanavyo😭😭😭 wakati tukiendelea na maombi niliisikia simu yangu ikiita😳😳😳 nilitulia nikaacha kuomba nafsi ikawa inaniambia huyo anayenipigia lazima ni Ryan nilitaka kukatisha maombi nikaipokee simu lakini ghafla bibi alinigusa bega na kuniomba niendelee kusali tulipanga kuomba kwa dakika 60 bila kupumzika ilibidi niipotezee ile simu nikaendelea kuomba😞😞😞zilipokwishapita dakika sitisini tulipumzika kuomba nami nikaelekea ilipo simu yangu nikaichukua na kutoa lock haraka😑😑😑 kama nilivyowaza anayepiga ni Ryan haikuwa uongo ni yeye ndo alikuwa anapiga……wakati bado nimeishikilia hiyo simu kwa bahati nzuri ilianza kuita nikaipokea haraka na kuita helloo
Ryan aliongea kwa sauti ya chini sana akaniambia Darling please pray for me 🥹🥹🥹I’m not okay na sijui kama nitakuwa salama kitu pekee kitakachoniweka salama ni maombi yako🙏 Gee pray for me please Darling sitaki kufa bila kuonana na wewe tena😭😭 sitaki kufa bila kumuona mtoto wangu💔💔💔sikujua hata niongee nini nikawa nalia tu😭😭😭 Ryan aliniaga akaniambia sehemu nilipo siyo salama kuongea na simu nikifahamika kufanya mawasiliano hapa nitauliwa🥹🥹🥹 kabla sijaongea chochote niliisikia sauti ya mtu pembeni akiwa anamuuliza Ryan wewe ni nani😳😳😳na kwanini uko hapa🙌🙌🙌 sikujua hata kilichoendelea zaidi ya kuusikia ukilele wa watu kama wanagombana baada ya hapo simu ilikatwa na sikujua kilichoendelea ni kitu gani🥹🥹🥹nilipojaribu kuipiga tena namba ya Ryan haikuwa inapatikana😭😭😭cha kushangaza ni kuwa baada ya hilo tukio moyo wangu uliniuma kuliko kawaida🥹bibi aliniomba turudi kuomba nikamwambia hapana bibi😭😭😭siwezi tena😭😭😭 sizani kama kuna usalama kwa Ryan wangu😭😭😭 bibi nahisi kuna kitu kibaya kimetokea💔💔💔 bibi alinisihi niwe na imani tuendelee kuomba nilimwambia kama ni kuomba twende tukakeshe kanisani siyo hapa tena🙌
Huo usiku mimi na bibi kila mmoja alibeba sadaka yake kisha tukafungasha kuelekea kanisani🥲🥲 tulifika kanisani mida ya saa nane tukakuta kuna walinzi pale tuliomba tukafunguliwa tukaingia kanisani mimi na bibi tukatoa sadaka zetu ili hata maombi tutakayoyafanya yaweze kukubalika mbele za Mungu🙏🙏🙏 baada ya sadaka tulisujudu na kuanza kusali……. tulisali usiku mzima bila kuchoka😭😭 kulipopambazuka tuliondoka pale kanisani tukarudi nyumbani nilipumzika kidogo kukawa kumeshakucha nikajiandaa kwenda kazini……sikuwa na amani moyoni mwangu😭😭 kibaya zaidi mpenzi wangu bado hakuwa anapatikana😑😑Wakati natoka kuelekea kazini nilimkuta Brighton nje akiwa na gari yake😳😳 mbona anakuja kuja bila taarifa huyu😒😒😒nishaanza kumchukia yote yanayotokea nilishaanza kuona yeye ndo sababu….nilimsalimia kwa mbali kisha nikawa naondoka🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️kabla ya kupiga hatua nyingi nilimsikia Brighton akiwa ananiita babe🥲🥲 nilisimama kisha nikageuka nakumtizama🥹🥹🥹baada ya hapo niliondoka bila kumuongelesha chochote😭😭😭 macho yangu yalikuwa yamevimba mno usiku mzima sikulala nilikesha kwenye maombi…..machozi yalikuwa yananitoka bila break nilianza kutembea mbiombio kuelekea kituo cha tax ile mitaa ya kitajiri halipiti tren wala daladala🥲🥲🥲na hiyo siku sikuwa na mood ya kudrive nilitaka nikodi tu tax inipeleke hadi kazini😔😔😔 wakati nikiwa natembea haraka haraka Brighton alianza kunikimbilia nyuma nyuma alikuja akanishika mkono kwa hasira akanisimamisha kwa lazima😔😔😔
Alinitizama mno kwa hasira nami nikamkazia macho kwa hasira😏😏😏 nilijitoa mikononi mwake na kumsonya kisha nikaanza kuondoka🥺🥺🥺 Brighton alinishika tena kwa nguvu akanivuta kwa lazima hadi sehemu alipoegesha gari akanipandisha kwenye gari lake kwa lazima naye akapanda kisha akalock milango yote akaketi na kuanza kuniangalia bila kuongea chochote😩😩 nilishikwa hasira na vile nina kamwili kadogo nikapanda juu ya viti nikahama kutoka siti ya mbele nikaketi nyuma peke yangu sikutaka nikae pembeni yake😣😣 muda wote Brighton alikuwa kimya tu ananiangalia vile ninavyohangaika☹️☹️hasira si zikanituma nigonge gonge vioo vya gari😑😑nikachukua limkoba langu nikaanza kupiga vioo bado Brighton akaendelea kukaa kimya akawa ananiangalia tu😒 nilichoka kuhangaika ikabidi nitulie na kulia tu😭😭😭 nililia mpaka Brighton akanionea huruma😭😭 alihamia siti ya nyuma akanikumbatia kwa nguvu na kunifuta machozi🫂🫂mwili wangu ulikuwa mdhaifu na nilikuwa na mausingizi ya kufa mtu😔😔 ile hali ya kukumbatiwa na kubembelezwa nikajikuta napitiwa na usingizi🥲🥲niliposinzia mshikaji alinipeleka hadi ofisini nikiwa usingizini akaniombea ruhusa kazini kisha akanipeleka nyumbani kwake akanilaza vizuri kitandani kwake kisha akaketi pembeni akawa ananibembeleza tu😔
Nimelala kwa masaa yasiyopungua 6😔😔😔 nakuja kushtuka nakuta Brighton naye kasinzia kwenye kiti kheee kwanza nilitaka kukimbia😳😳 hapa ni wapi🥺🥺🥺🥺niliamka haraka nikashuka kitandani nikaanza kuvuta kumbukumbu nimefikaje hapa😳😳😳😳wakati bado niko navuta kumbukumbu Brighton naye akashtuka usingizini……kwanza nilikimbilia chooni huyu mshenzi isijekuwa amenionja nikiwa usingizini🤣🤣🤣lakini hapana hakufanya kitu anajiheshimu bwana ndo maana alienda kujilaza kwenye sofa akaniacha kitandani peke yangu🤣🤣Brighton alipoamka alijinyoosha kisha akanisogelea na kuniuliza how do you feel😟😟😟 nilikaa kimya hivi ulisha wahi kupendwa na mtu alf wewe ndo kwanza unakuwa huna feeling zozote juu yake😕😕 kila anachokufanyia unaona usumbufu tu🥲🥲 sikumjibu Brighton nilichokifanya nilichukua kimkoba changu nikawa naondoka sema jamaa anaishi bwana🙈🙈 jumba kama uko peponi🤣🤣 wakati nataka kutoka nikazuiliwa nikafungiwa chumbani yeye akatoka akaniacha peke yangu😳 anafanya nini huyu nyau nilimtukana matusi kibao kimoyomoyo lakini🤣🤣 nishafungiwa kipi nifanye ilibidi niketi nitulie nikachukua na simu nikaanza kumtafuta Ryan…… wakati bado napiga simu ya Ryan kwenye runinga iliyokuwepo chumbani kwa Brighton nikaona ni kama taarifa ya habari alf ninachokiona ni sare za wajeda kuna nini yarab😳😳nilirusha simu pembeni haraka nikachukua remote nikaweka sauti kwenye TV aiseeeeeeeee😭😭😭
Nini tena Jamani🫢🫢????
INAENDELEA

