
za Mapenzi, Maisha na Uchawi Mautundu Kitandani
MIMBA YA MWALIMU
EPISODE 5
Baada ya kusikia sauti ile ya mkuu wa shule na Sir albet . niliwaza sana na kweli lisah ndo kweli anaingia geto kwangu lakini alivovaa iloashiri kama vile nilipanga kuwa aje getooooo…ili nimpelekeee moto kumbe hata mi nimefanya kwa wema tu.
Lakini binadamu wakiamua lao na kielelezo tayari kipo haiwezekani majira ya usiku mwanafunzi tena wa
kike anaingia chumbani kwa
mwanaume na tayari nina tuhuma kuwa ni mwalimu kijana penda totoziiiii
mkuu wa shule akasema “askari kamata huyo anatuharibia wanafunzi “
nilisema kwa sauti kubwa “hapaanaaaa”
Ghafla Nilishtuka kutoka usingizini oooho kumbe ndoto , nilitokwa na jasho jingi na pumzi yangu ilinivuta sana . Nilijihisi kama nimetoka kupambana na jinamizi. Nilikuwa nimeota ndoto ya kutisha—ndoto ambayo Lisah alikuwa ameingia
nyumbani kwangu usiku wa manane,
na mara ghafla, mkuu wa shule pamoja na mwalimu Alibert na polisi pia waliibuka wakinituhumu kwa mambo mazito yasiyo na msingi…….
Nilijikuta nikikaa kitandani kwa sekunde kadhaa, nikijaribu kupambanua ukweli na ndoto. “Ni ndoto tu,” nilijisemea huku nikifuta jasho usoni mwangu. Lakini hata hivyo, hofu ya ndoto hiyo ilikuwa imeniacha nikitetemeka. Mawazo yalirudi haraka kwa hali halisi ya Lisah—tabia yake ya hivi karibuni na mazungumzo yetu ya
jana yalikuwa bado yanacheza
kichwani mwangu.
Baada ya kujituliza, nilitoka kitandani na kuelekea jikoni. Nilihitaji maji ya baridi ili kuweka akili yangu vizuri . Nilipokuwa napiga fundo la maji, nilisikia mlio wa hodi kutoka nje. Moyo wangu ulinyonga kwa hofu, nikikumbuka ndoto ile. Nilijiambia, “Hapana, siwezi kuwa bado naota.” nilijipiga piga kifua na kujaribu kujifinya finya isije ikawa ndoto .
Nilipohisi naumia nikajua ni kweli
,niliogopa nkasema asije akawa ni lisah tena naiogopa miaka 30
Kwa tahadhari, nilielekea mlangoni na kufungua taratibu. Nilisimama hapo kwa mshangao . Alikuwa ni jirani yangu aliyefahamika kw jina la Alex
“samahani jirani naomba niazime kibetoti”
“oooooooooh kiberiti subiri dakika mbili”
niliingia na kuchomoa kimoja kwenye kibunda cha kasuku nabkumpelekea ..
“Aisee hiki apa kitumie na usikirudishe
“
“Asante sana ndugu yangu jah akubless” alinishukuru sana
Nilipotazama kwenye chumba chake nilimuona binti mdogo tu akitoka geto kwa jamaa , lakini sikutaka kuyafuatilia maisha ya watu . Maana jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza . nilirudi geto na kulala zangu ….
……….WIKI MOJA BAADAYE ………..
Nilikataa mawasiliano na yule binti Lissah maana kwa mandoto hayo
duuuh nilisema nisije nikapigwa miaka
30 na ndo kwanza sina hata mtoto wa kusingiziwa hivyo nipunguze shobo kabisa .
Basi siku moja niliingia darasani kwao niliwafundisha kidogo na kuwapa kazi nacholipenda darasa lao wapo active wanajibu maswali pia wana akili sana
…
Lakini lissah hakuonekana na furaha sana zaidi alikuwa akinitazama nikimwambia ajibu swali anakuwa kama alikuwa mbali na mimi ndo namshtua kutoka kwenye mawazo .
basi muda ule ulipita na majira ya jioni
nilikuwa nakatisha eneo lililokuwa karibu na maabara .
Ghafla ilisikika sauti tamu sana ya kumtoa nyoka pangoni . Niliitambua ni ya lissah
“mwalimu mbona unanikwepa ” “kwanini nikukwepe lissah”
“Basi tu naona hutaki kuongea na mimi najisikia vibaya”
“mmmh hapana sio nakutenga ni ubize wa kazi”
“nilitaka nikuulizw kitu “
“okay sawa unaweza kuuliza “
“ulinisamehe kwa kile nilichokifanya ??
maana nakosa hata amani”
“nikamwambie nisingekusamehe ungekuwa umefukuzwa shule mpaka leo”
“Asante mwalimu kwa kujali ” nilimwambia “karibu sana !!!!”.
Lakini kumbe hayo yakiendelea Sir Albert alikuwa nyuma ya mlango wa maabara hivyo alisikia kila kitu alitikisa kichwa akasema “sawa”
EPISODE 6
Basi tunaendelea pale pale tulipoishia baada ya sir Albert kuyasikia yale
maneno na kutikiasa kichwa kwa
umbeya alioupata ….
Muda huo mimo naongea yote kwa kujiachia sikijua kuwa Sir Albert yupo nyuma ya mlango wa maabara na kashakusanya data
lissah aliendelea “mwalimu unajua tungo za kiswahili zinanishinda sana “
nilimjibu “nitakuelekeza mdogo wangu usijali”
Akaonyoosha mkono nikampa na wangu tuliposhikana nilihisi kuna tuhiisia fulani zinapenya moyoni mwangu
Macho yangu hayakuchoka
kumtazama lissah aliyekuwa katabasamu meno yake thelathini mbili njee huku tushavu twake tukimuongezea urembo wake zaidi jamani hisia zinakuja halafu zinakata alinitekenya na kidole na kuniambia mwalimu baadaye (see you later sir)
Aliondoka lakini nilibaki nikimtazama sio siri yaani sijuwi anataka nini huyu mtoto ila nitajua namna ya kudeal naaye ..
Sir Albert alijisemea moyoni mwake ” hapa kuna kitu kikubwa kina endelea
kati ya sir rashidy na huyu binti
nitafanya uchungu ili nijuwe ni nini hicho sitakubali kushindwa yaani ikiwa kama nikigundua wana mahusiano sio siri . Rashid atajuta kunifahamu na kujiunga katika shule hiii…
SASA NATAKA NIELEZE BINTI ALIPORUKA ALIENDA WAPI…..
siku ile ya tukio , Lissah aliruka ukutani akiwa amevaa kisuruali kinachombana sana juu alivaa kishati kinachombana na chepesi kilikuwa ni cheupe alielekea disko . Tabia za lissa ni msichana
anayependa sana kwenda disco yaani
raha yake ni kujiachia achia tu
KUCHEZA DISCO , KUOGA AAAAAAAAH!!!!!!!!
Basi alipokuwa disko akicheza alikuja kaka mmoja
Nakumshika kwa nyuma baada ya lissah kukata mauno kama feni mbovu na ukichukulia nyuma bomboclaaaat ‘ hivyo yule jamaa alimshika kwa nyuma
. Lissah alimpeleka puta puta kijana yule mpaka alikuwa akilizungusha bodi huku nyimbo ya singeli ilokuwa ikiimba
“achia bodi moja moja weka ” na Lissa
aliliweka kweli mpka yule jamaa msumari uliinuka hali iliyomfanya lissa ajiondoe na kumeambia yule kaka
“jishikilie babu , unashindwa kujikaza “??
” nijikaze na nini wakati mtoto wewe ni fundi”?
lissah alicheke” ufundi ndo vitu vyangu nimefundwa mimi????
Yule jamaa kwa kuwa alikuwa kalewa hakuweza kujizuia hisia zake alimsogogeza lisaah ukutani kisha akaanza kutumia ulimi wake kutalii shingoni mwa lissah , lissah alikuwa
akisema “sitak” lakini sauti ilikuwa
ikiishiwa nguvu na kupungua kila jamaa anapozidi kufanya survey ya ulimi wake shingoni mwake ile anataka kuingiza mkono kwenye mtindi wa lissah . sababu yeye msumari ulikuwa tayari unahitaji “Gusa achia twende kwao”
Akili za lissa zilirudi chapu na akasema “niachie we mbwa mbona kama hujiheshimu , una dhani mi najiuza au ni malaya ?? mi sio mwanqmke mrahisi kama unavyofikilia mimi ni chuma kigumu we punguza shobo ..”
” unajua we mtoto ngozi yako laini ani
nipatie basi mwenzako maji yamejaa kichupa pa kumwagia sipaoni”.
“Anhaa kwa hiyo ndo umechagua kumwagia kwangu sio ?? hebu nitokee hapa …”
” tafadhali mrembi twende basi ukanipe “
“hivi we kaka unajielewa kweli”
“najielewa ndio ila kwa utamu wako sioni sisikii???”
“we ni mse*** kweli kwahiyo kila mtu unamuona ni wa kukidhi haja zako sasa baki mwenyewe”
Lissah aliondoka na alipofika kwenye
ukuta wa shule alipanda na kurudi hostel alikokuwa akilala na hivyo ndivyo ilivyotokea siku ile alipotoroka
……..
*****
Tunaendelea pale pale tulipoishia ambapo sir Albert alipanga kuniadabisha kwa kuhisi huenda ninaahusiano na siri na lissah kumbe hata ndo kwanza tunanyemeleana
…..waswahili wanasema tunapiga pasi nyingi ili magoli bado . lakini kwa Albert tayari nimeshayakanyaga na jamaa tayari tumeingia kwenye mfumo wake
Basi muda wa kula chakula cha mchana rafiki yake lissah, jeska aliamua kumuuliza kwa kina lissah
“hivi lissah nikuulize kitu??” “ndiyo uliza nakusikiliza” . “unampenda sir ???” “mmmh sir gani tena ” “acha kujifanya hujuwi”. “kweli sikuelewi jeska ” “namaanisha sir Rashidy”
Lissa alicheka na kusema”sasa kwanini nisimpendw mwalimu wetu”
“Yaani lissah una makusudi wewe”.
“makusudi gani tena ??”
“unajua nachokuuliza ila unazuga”.
“ila naomba iwe siri yako , ndiyo nampenda “
“sasa si umwambie ??” “nashindwa naanzia wapi”
“we jaribu kivyovyote maana nakuona unavonen’geneka “
“sawa nitajaribu “
Kengele ikagonga hapo ndipo ilipokatisha maongezi na wanafunzi wote wakaingia . darasani. na kilikuwa kipindi cha sir Albert
huyu ni mwalimu wa mathematics
aliiingia darasani na kuanza kupiga majungu
” kuna wanafunzi nawatazama
,nawazoom kwa darubini kali wenyewe kila kukicha kwa walimu . ngoja mpachikwe mimba mtajua hamjuwi!!!!
Wanafunzi wakawa wananon’goneza maneno mbali mbali”sir Albert wiki ya tatu hii sutuali ile ile”
“wanasema ukitaka ujuwe elimu haina faida angalia kiatu cha mwalimu wako”.
“hili li baba ni limbea kama demu hivi, ndo maana halijaoa mpaka leo”
“na limalaya kweli lilinitongoza
nikalikatalia “
“mmmh mi siwezi kutoka na mwalimu ambaye hachani nywele “.
duuuh maneno yakilkuwa ni mengi sana … .
Basi majira fulani, nikiwa nimepoa zangu ghafla lissah alikuja tena na kuniazima simu aongee na baba yake nilimpa na kumuelekeza kama pasword itatokea achore herufi Z basi ilibidi aende chooni akaongeee na simu maana shule ile mwanafunzi haruhusiwi kuwa na simu …..
Basi kumbe lissah lengo lake ilikuwa
nikuingia mtandaoni lakini kabla hajaingia alipitia kwenye file langu lavideo ile kulifungua aliona video nyingi lakini kuna moja ilikuwa ni nyeusi hivyo alitaka kujua ile video ni ya nini alikuwa kapunguza sauti ile kuplay ilikuwa ni filamu mmoja ya kituruki inaitwa “PRIVATE TUTOR” hii ni filamu ambayo ina maudhui ya ngono alipoplay alishtuka sana ……
Usikose sehemu inayofuata …..