CHOMEKA BASI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 09
Alionekana Saimon kufurahia sana ile kampani ya Stela na kujikuta akitabasamu wakati wote na kutulia kwa muda huku akiendelea kujiburudisha na vinywaji vyake. Kumbe Stela alikuwa amekwenda ufukweni hapo na kina Vaileth na hakutaka kuwambia wakina Vaileth kama Saimon yupo kwenye huo ufukwe kwasababu aliona kama Vaileth huwa hamuelewi Saimon.
Watu waliendelea kula raha mpaka giza lilipoingia na kila mtu akawa ameondoka na muda huo ndio kwanza Saimon alikuwa anaingia kwenye gari huku akiwa anatazama saa yake ya mkononi. Mwanaume aliwVaileth gari yake na kuanza kuitoa kwenye maegesho huku kimvua kikiwa kinaanza kunyesha na kufanya sasa hata kuabaridi kazidi. Watu walianza kukimbizana na kukimbilia kwenye magari yao waliyokwenda nayo mahala hapo na magari yakawa yanaondoka ili mvua isije ikawa kubwa na kuwakuta wakiwa bado kwenye fukwe hiyo.
Saimon aliitoa gari yake kwenye maegesho na kutaka kuingia barabara kuu lakini ilimbidi asimamishe gari maana aliweza kumuona mwanadada amejikunyata kwenye kibanda kimoja na akiwa amevaa nguo za kuogelea tu na mvua ikiwa kubwa kupita kiasi. Saimon alijikuta akipatwa na huruma na kila alipokuwa anatazama pembeni magari yalikuwa mbali na aliona hana msaada na mvua ilikuwa inazidi kutwanga kwa kasi, aliamuwa kugeuza gari na kuisogeza hadi karibu na kibanda kisha akatazam nyuma na kuona kuna mwamvuli umening’inizwa na huo mwamvuli ni wa bosi wake. Mwanaume aliuchomoa kisha akashuka kwenye gari na kwenda hadi kwenye kile kibanda na kumuita yule dada aje amsaidie.
Haraka yule dada alikimbia kwenye msaada na kwenda kuingia upande wa pili wa gari, na ndipo Saimon alipoingia nayeye kwenye gari na ile anakaa sasa vizuri kila mmoja alijikuta akimshangaa mwenzake maana walikuwa wanajuana vyema. Alikuwa simwingine bali ni Vaileth yule mtoto wa mwenye nyumba aliyopanga Saimon, walibaki kutazamana na Vaileth mwenyewe alionekana kutamani hata kushuka ila alipoipimia hiyo mvua huko nje akabaki tu ametulia huku aibu kwa mbali ikimtanda.
“usijali kila kitu kitakuwa sawa.” Saimon alizungumza huku akiwa anampatia koti lake na kumfunika.
Vaileth alikosa cha kuzungumza maana mtu usiyempenda ndiye huyo amekuja kukuokoa kwenye majanga na mvua ilikuwa kubwa sana kiasi cha kufanya hata wenzake wakati wanakimbilia kwenye gari walilokodi wakawa wamemsahau na nguo zake zilikuwa zimo ndani ya ile gari na yeye akawa amebaki na nguo za kuogelea tu. Mtoto wakike alikuwa amebaki na chupi sambamba na kigauni chepesi mwilini na ukichanganya na lile koti alilokuwa amepewa na Saimon ndio kidogo akawa ameuficha mwili wake.
Hata hivyo Vaileth alikuwa ni msichana mrembo anayevutia na alikuwa mwenye mwili fulani wenye umbo zuri na rangi yake nyeupe iliyokuwa inamfanya aonekane hata kama wamekaa wasichana wanne kwenye kundi. Alikuwa anakisura fulani cha umapepe na alikuwa anakasura ka kitoto kiasi kwamba mtu ukimtazama kwa wasi wasi unaweza ukasema alikuwa hajafikisha miaka 20 ila kiukweli alikuwa anamiaka 22 na alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi.
“ulikuja peke yako?” saimon aliuliza.
“hapana nilikuja na kina Stela.”
“wako wapi?”
“hata sijui maana nimewatafuta na hata sehemu ilipokuwa gari tuliyokuja nayo sijawakuta wala sijaikuta gari yenyewe.” Vaileth alijibu huku akiwa anatetemeka.
Hapo unaambiwa alikuwa mpole na mdogo kama miguu ya sisimizi na alikuwa anatia hadi huruma unaweza ukasema sio yule aliyekuwa anajitamba na kucheza cheza jana yake pale kwao na asubuhi aliyekuwa anajibu kwa dharau kuhusu gari iliyokuwa imeegeshwa uwanjani kwao.
“basi usijali tunaweza kwenda nyumbani, lakini kuna sehemu nitapitia kama hautojari.”
“sawa haina shida.” Akiwa anazidi kujifunika koti mwilini mwake.
Saimon alikuwa anamtazama na alikuwa anajua fika ya kwamba huyo msichana huwa haziivi na mara nyingi walikuwa wanakumbana na kutazamana kwa dharau na kuonekana kabisa hawapatani. Na mara nyingi walikuwa hata hawasalimiani na walikuwa wanapitana tu kimya kimya na aliyekuwa anaonekana jeuri sana ni Vaileth. Basi safari ilianza kuelekea nyumbani ila Saimon kuna sehemu alikuwa anapitia na huku akiwa anamtazama Vaileth kwa jinsi alivyokuwa anazidi kutetemeka kwa baridi ukichanganya na tunguo alitokuwa amevaa basi akawa ndio anazidi kutafunwa na baridi yenyewe.
Mapaja yalikuwa nje nje na yalikuwa yanatamanisha kuyatazama lakini mwanaume akaamuwa kukomaa na usukani wa gari yake ili mradi mambo yasije yakawa tofauti. Gari ilitembea lakini cha ajabu ilikwenda kusimama kwenye duka moja kubwa la nguo na Saimon akashuka huku akimtaka Vaileth amsubilie na kwenda kuingia ndani, baada ya dakika chache alionekana kurudi ndani ya gari huku akiwa amebeba baadhi ya mifuko na kuingia nayo ndani ya gari.
“unaweza ukabadili nguo.” Huku akiwa anamkabidhi mfuko mmoja uliokuwa una nguo ndani yake.
Kwanza kabla ya kupokea Vaileth alibaki akimtazama Saimon na kujiuliza maswali mengi kichwani mwake maana aliona kama mtego ama kama mtu anamjaribu vile.
“usijali vaa kuna taulo humo unaweza ukajikausha maji kisha ukavaa.”
Vaileth hakujibu kitu ndio kwanza alikuwa anauchukua ule mfuko huku akiwa anamtazama Saimon bila kumpatia majibu.
“au unaona soo kubadili nikiwemo ndani.” Huku mwanaume akifungua mlango na kushuka kisha akaenda kusimama nyuma ya gari.
Alisimama baada ya muda kisha akasikia Vaileth akiita na aliporudi ndani ya gari akamkuta amevaa na amebadilika na alikuwa anaonekana ni mrembo balaa kwa jinsi alivyokuwa amevaa na kupendeza.
“sasa tunaenda mahali nilipokwambia natakiwa kwenda.”
“kwani lazima kwenda wote?”
“ndio kwasababu nikisema nikupeleke nyumbani sitoweza kurudi tena huku maana nitajihisi uvivu.”
Vaileth hakujibu alitulia huku akiwa anatengeneza nywele zake zilizokuwa zinaelekea kukauka kwa muda ule. Na kweli walijikuta wanasimama mbele ya ukumbi mmoja wa kifahari na kutakiwa kushuka huku Vaileth akiwa anVailethngaa yale mazingira na kumtazama Saimon.
“unaweza ukanisubilia hapo nje.” Saimon alizungumza huku akiwa anachukua ule mfuko mwingine.
Vaileth alishuka na gauni lake lenye rangi nyeupe lililokuwa limemchonga umbo lake zuri na kumfanya aonekane msichana wa familia moja ya kitajiri. Alikuwa amevaa na kiatu kimoja kirefu na chenyewe kikiwa kina rangi nyeupe na kila alipokuwa anawaona watu wanaoingia kwenye huo ukumbi walikuwa wamevalia nguo nyeupe tupu.
“tunaweza kuongozana.” Saimon alisikika akisimama pembeni ya Vaileth.
“kwani kuna nini hapa?”
“usijali leo umekutana na bahati kubwa sana.” Saimon alizungumza huku akitabasamu.
Walionekana kumsogelea mwanamama ambaye ndiye bosi wake na Saimon nayeye alionekana kufurahia kumuona Saimon mahara pale.
“waoh! Mmependeza sana.” Bosi wake Saimon aliwasifia Saimon na Vaileth.
“asante sana.”
“bosi anaitwa Vaileth ni rafiki yangu na ni mtoto wa mwenye nyumba wangu.” Saimon alimtambulisha Vaileth.
“ohhoo! Nimefurahi kumfahamu, karibu sana Vaileth.” Akiwa anampatia mkono.
“asante sana.”
“sorry tunaweza kuzungumza pembeni kidogo.” Bosi akiwa anamsemesha Saimon.
“bila shaka.”
Walitoka na kumuacha Vaileth akishangaa shangaa yale mazingira huku asijue pale ni wapi maana walionekana watu wenye pesa tu na hata magari waliyokuwa wanapaki hapo nje yalikuwa ni yale ya gharama. Baada ya muda sasa alionekana dada yake Saimon akiingia ndani ya ukumbi na watu wote ndani yake wakaanza kuangua shangwe baada ya kumuona ameingia.
“jamani watu wote mliokuwa huko nje mnaweza kuingia ndani maana mwali wetu tuliyekuwa tunamsubilia ndio ameingia.” Alisikika Mc akizungumza.
“nilijua utakuwa kampani yangu leo?”
“imetokea kama dharula.” Saimon alijibu.
“kwa hiyo tunafanyaje?”
“hata sijui.”
“yani wewe kila kitu huwa haujui sijui kwanini?”
“kwasababu sijui.”
“ok usijali ila kesho nazani hatutaingia ofisini ntahitaji uniletee gari yangu nyumbani kuna safari nahitaji kwenda.”
SEHEMU YA 10
“kwanini usingeenda nayo leo.”
“hapana siwezi kufanya hivyo utahitajika kurudi nyumbani kwako na mbaya zaidi upo na mtoto mzuri pale.”
“ok sawa twende ndani.” Saimon alizungumza huku akiwa anaongoza kwenda alikokuwa amesimama Vaileth.
“tunaweza kwenda ndani.” Saimon alizungumza huku akiwa anamshika mkono Vaileth na kuingia ndani.
Wote walianza kuongozana kwenda ndani huku bosi wake akiwa anawafata nyuma kwa madaha na kila mmoja siku hiyo alikuwa amependeza unaambiwa ndani ya vazi jeupe. Ilikuwa inaitwa Sarah White Party na kila mmoja uliyekuwa unamuona humo ndani alikuwa amevaa nguo nyeupe kasiri wahudumu waliokuwa wamevaa suti nyeusi. Ila kuanzia mapambo mpaka meza na viti vilikuwa vina rangi nyeupe kila kona.
Waliingia ndani na utambulisho ulianza na familia nzima ya kina Saimon ilisimama mbele huku sasa Vaileth akipata kujua ukweli juu ya familia ya Saimon na kugundua ni mtoto wa kitajiri sema tu ubishi wake ndio uliomfanya kwenda kuishi uswahilini. Sherehe ilikuwa ni kubwa na kila mtu alikuwa mwenye furaha na wengi waliokuwa humo walikuwa watu wenye pesa zao. Na hiyo unaambiwa ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa ya Sarah ambaye ndiye dada yake na kijana Saimon. Baada ya sherehe kuisha Saimon aliagana na ndugu zake kisha akamchukuwa Vaileth na kwenda ndani ya gari huku Vaileth akiwa anamtazama bila kummaliza.
“kwanini uliamuwa kwenda kukaa mbali na familia yako?” Vaileth aliuliza huku akiwa anafunga mkanda kwenye siti.
“una swali lingine?”
“hapana.”
“basi huruhusiwi kuuliza tena swali.” Huku mwanaume akiwa anawVaileth gari.
Safari ilianza ya kurejea sasa wanapoishi hao watu wawili na kila mmoja alionekana kukaa kimya ila Saimon alionekana akiwaza mambo mengi kichwani mwake huku Vaileth nayeye akionekana kuwaza jambo fulani na kila mara alionekana kutaka kuongea lakini akawa anashindwa na kusita. Lakini mwishoe aliamuwa kuvunja ukimya na kuzungumza huku akiwa anamtazama Saimon aliyekuwa yuko bize na usukani.
“samahani…!” Vaileth alizungumza huku akiwa anajishtukia.
“kwa kipi?”
“nilikuwa nakuchukulia tofauti na ulivyo.”
“unamVailethka na kuhisi ulikuwa unakosea?”
“ndio!”
“kwanini?”
“kwasababu nilikuwa nambebesha mtu dhambi ambayo sio yake.”
“basi kama ni hivyo hata mimi napaswa kukuomba msamaha.”
“kwanini!?” Vaileth alihoji huku akiwa anamtazama Saimon aliyekuwa anaendesha gari na kumtazama kwa kuibia upande aliokuwa amekaa Vaileth.
“kwasababu nilikuwa nakuchukulia msichana mwenye dharau na mapepe lakini leo ndio nimeona uhalisia wako.”
“nikoje!?” huku akitabasamu kwa mbali.
“ni msichana mwenye adabu na nidhamu sema tu kukaa kwenu ndio kunakufanya ushindwe kuwa na heshima, nazani hiko ndicho kitu ambacho hata mimi nilikuwa nacho kipindi naishi kwetu, lakini nilipokuja kuanza kukaa pale kwenu nikaanza kujifunza heshima na adabu ambayo ilikuwemo ndani yangu japo nilikuwa sijui.”
“nazani kuna kitu kilikuwemo ndani yangu.”
“kitu gani?” Saimon alihoji huku akiwa anamtazama Vaileth.
“sijui ni wivu, sijui niseme ni chuki.”
“haya basi tuseme chuki.”
“hapana ilikuwa sio chuki.”
“kwamba ni wivu ama?”
“ndio!”
“kwanini?”
“labda nianze na hilo swali kukuuliza wewe?”
“kwanini!?”
“ndio kwanini?”
“kwanini kuhusu nini?”
“kwanini unawanawake wengi na usiwe na mwanamke mmoja?”
“hahahahaha…! Kwamba ndio linakuja kuunga suala lako la wivu?”
“sijui niseme ndio ama hapana.”
“nazani ni ndio?”
“ndio!” Vaileth alijibu kwa aibu sana huku akiwa anatabasamu.
“hata mimi nazani sijui ila nahisi kama vile kuna jibu moja lipo kichwani mwangu.”
“lipi?”
“bado sijapata mwanamke ambaye atanifanya nitulie na nimuwaze yeye tu.”
“unamaana ukimpata huyo mwanamke utaacha hiyo tabia?”
“ndio!”
“kwanini nisiwe mimi…!”
Kwanza pale pale gari ikafungwa breki kubwa na kuwekwa pembeni huku Saimon akiwa anamtazama Vaileth bila kuamini kwa kile alichokuwa anakisema. Wanakwambia ndege mjanja hatimaye amekuja kunasa kwenye tundu bovu na kijana wa watu alionekana hata yeye alikuwa akimmezea mate muda mrefu huyo binti.
“unaweza ukarudia tena ulichokisema?”
“kwanini nisiwe mimi huyo mwanamke atakaye kufanya utulie?”
“kwani kuna kizuizi kipi katikati yetu hapa tulipo?” saimon aliuliza akiwa anamtazama Vaileth.
“nazani hakuna zaidi ya aibu tu.” Vaileth alijibu huku akiwa anamtazama Saimon kwa aibu.
Saimon aliona siku hiyo amejirambia dume na sio garasa kwanza alisogea karibu na kumtazama na kujikuta wote wakitazama usoni kwa aibu lakini Vaileth ndiye aliyekuwa ana aibu zaidi. Pale pale mwanaume akamchomeza kwa busu la kwenye bega na kutaka kumvamia lakini Vaileth akamzuia kwa kumuwekea mkono kinywani mwake.
“naomba tutafute lodge nzuri tukalale ili usiku huu upate kuenjoy uzuri wangu na utamu wa mauno yangu.” Vaileth aliongea akiwa anamapozi na jicho amelilegeza kwa mahaba.
Haraka Saimon alirudi kwenye kiti chake na kuwVaileth gari kwa kasi kisha akageuza na kurudi eneo ambalo yeye alikuwa anajua kuna lodge za maana na wataweza kuenjoy na huyo mtoto. Wanakwambia wahenga ndugu zake na Kigoye ya kwamba wagombanao ndio wanaopatana sasa ndicho hiki kilichokujua kutokea kwa hawa watu wawili, na sio kupatana tu bali wagombanao ndio wanaokulana mwisho wa ugomvi wao.
Gari ilitembezwa kwa kasi na kwenda kusimama kwenye lodge moja ya kifahari na kushuka wote wawili huku Saimon akionekana kabisa kuwa na mizuka na huyo mtoto wa kike ambaye mara nyingi alionekana kumletea dharau. Bahati nzuri huduma za hapo lodge zilikuwa zinaenda haraka haraka sana na walikuwa wameshapatiwa chumba na ndani ya dakika 15 walikuwa wako ndani ya chumba na kila mmoja akiwa kwenye mwili wa mwenzake.
Yule aliyekuwa anasema ya kwamba labda afe ndio alale na Saimon ama afanye naye mapenzi yani leo amechukuliwa kiulaini tena akiwa na akili zake timamu kiasi cha kumfanya Saimon akama anamsukuma mlevi vile kumbe anakwenda kula tunda kiulaini. Nguo zilikuwa zishatupwa huko na walikuwa wamebaki kama walivyozaliwa kasoro tu maumbo yao yalikuwa yameongezeka nikiwa na maana urefu na baadhi a viungo vingine kuota ukubwani na vingine kukuwa kwa kasi.
Mwanaume siku hiyo alikuwa anataka kuikamia shoo na kutaka kumuonesha mtoto wa kike kwanini wasichana wenzake walikuwa wanatoka huko kwao na kwenda chumbani kwake kuchukua muhogo wa jang’ombe hali ya kuwa walikuwa wajawazito. Alikuwa anamchezea kila kona ya mwili wake na Vaileth wa watu akawa amebaki hoi hajiwezi na kwa vile alikuwa mchovu kwenye kuchezewa mwili wake basi alikuwa amelegea hata kukata yale mauno aliyokuwa anayakata siku ile alipokuwa na wenzake hayakuonekana. Mambo yalikuwa mazito kwake na Saimon alikuwa yuko mwilini akiendelea kugawa dozi kwa kila kona ya mwili na hakutaka kumpatia nafasi Vaileth ya kupumua maana alikuwa anamdomo sana huyo binti.
SEHEMU YA 11
Sasa siku nyingine maboy ukikutana na msichana anayependa kuongea na kujiona yeye ni keki dawa yake ukimbamba kwenye kona zako ama ameingia kwenye 18 zako wewe usimpe nafasi ya kujitetea. Hapo tunakwambia hatakiwi kupewa nafasi kubwa ya kuucheza huo mchezo cha zaidi unatakiwa umpatie dozi yani tunakwambia we mpelekee moto tu hata alalamike anaungua wewe weka moto tu. Sas andicho alichokuwa anakifanya Saimon kwa Vaileth alijua kabisa huyu msichana huwa anapenda sana kuongea na kujisifia sasa usipompatia dozi ya sawa sawa basi unaweza ukaumbuka wewe.
Alichezewa mpaka akawa yuko kitandani amejilaza akihema juu juu kama injini ya ndege yenye itirafu na kufanya ndege ipoteze ramani angani.
“ngoja kwanza nahisi pumzi kukata.” Vaileth aliomba poo kwa muda.
Lakini Saimon hakutaka kuacha kabisa alikuwa anampa mapumziko huku akiwa anacheza na bibi maeneo ya kati na kutaka hata kusipumzike na wakianza kazi waanze wakiwa kama wanaanza upya. Alikuwa anasugua taratibu na kidole chake na kumfanya Vaileth awe kama mgonjwa wa tumbo tena lile tumbo la kata ama mgonjwa wa vidonda vya tumbo vilivyokuwa vimechachamaa na kumfanya ajinyonge nyonge kila wakati.
Vaileth alipoona sasa ameanza kupata tena nguvu akajinyanyua kitandani na kumdaka Saimon huku akiwa anamnyonya ulimi na ndipo sasa ufundi wake wa kukata kiuno ulipoanza kuonekana. Kosa alilolifanya Saimon ni kumpa mapumziko ya muda mfupi na kumfanya sasa mtoto wa kike aonyeshe ujuzi wake na maufundi yake. Uno lilianza kukatwa kwa kasi ya taratibu na kumfanya Saimon achanganyikiwe na kubaki akisikilizia jinis mauno yanavyomwagwa kama mtu anayemwaga maji juu ya bati. Akasukumwa kwanza kitandani huku akiwa bado mwenye mshangao na mtoto wa kike akienda juu yake na kumkalia kwenye mashine huku akiwa anakata mauno na kumfanya Saimon achanganyikiwe na kujiuliza alikuaga wapi siku zote hizo asimchukue huyo mtoto wa mwenye nyumba yake.
Kila mtu alikuwa akipata nafasi ya kumuonesha mwenzake maufundi alikuwa anafanya hivyo na alikuwa hataki kukosea wala kuchezea hiyo nafasi si unajua mtu ukiwa unatafuta kazi sehemu halafu wakwambie tuoneshe ufanisi wako? Basi utafanya kazi kwa uwezo wako wote ili mradi tu ukapate hiyo nafasi iliyopo. Basi Vaileth alionesha ujuzi wake na kujikuta akigeuzwa na kijana Saimon kuja juu yake huku akipitisha dekio kama kawaida yake na kuanza kumpagawisha mtoto wa watu aliyekuwa analia na kujikuta sasa amechoka kuchezewa na huko chini kukiwa kunapwita kwa kudai mashine iingie ili mambo yaendelee kwa utamu wake.
Saimon alichokuwa anakifanya wakati huo alikuwa ameikamata mashine yake huku akiwa anaipigisha blash juu juu kwenye tunda la Vaileth kiasi cha kumfanya mtoto wa kike awe anashtuka shtuka na kutetema kama yule mchezaji wa timu fulani maana utamu ulikuwa unakuja na kuondoka. Saimon alikuwa anafanya hivyo mpaka pale Vaileth alipoudaka muhogo wenyewe na kuanza kuuchua taratibu huku akiuelekeza wapi pa kwenda lakini Saimon alikuwa anaukwepesha na kuanza kuupitisha juu mara chini ili mradi kumrusha roho mtoto wa watu.
“jamani Saimon chomeka basiii……!!!” alisikika Vaileth akilalama baada ya kuona utamu unazidi halafu mashine haitaki kwenda mahala pake.
Hapo sasa Saimon akaona kama mtoto amekubali na amenyoosha mikono juu ya kwamba tayari amekubali amezidiwa na akiongeza kuchelewesha mashine basi atamuuwa mtoto wa watu. Mwanaume akaiset mahala pake na kuterezea ndani kiasi cha kumshtua mpaka Vaileth aliyekuwa hajiwezi akigalauka kw autamu na raha za hako kamchezo hapo kitandani. Saimon akaona kitandani kama hapanogi alimkamata Vaileth kiunoni na kumnyanyua juu juu hadi kwenye kiti kidogo na kumkunja hapo huku akiwa amemuweka kwa chini nayeye akiwa yuko kwa juu akipeleka moto wa uhakika. Vaileth hakuwa na jambo lingine zaidi ya kulia kwa uchungu huku akisikilizia mashine inavyotema cheche na msuguano wa hali ya juu kiasi kwamba alihisi ukipitisha mafuta ya petroli karibu basi unaweza ukatokea mlipuko mkubwa.
Ulikuwa utamu wenye maumivu na ile staili ama mkao aliokuwa amewekwa ulikuwa mkao hatari sana kiasi cha kumfanya mtoto wa kike awe anashindwa kuvumilia na kumuomba Saimon abadilishe mkao. Saimon hakuwa na roho mbaya akamtaka mtoto akae mkao anaoutaka yeye maana mikao yake bwana huyu ilikuwa ni ile kamata ni chinje.
Mtoto akajichagulia mkao wa chutama nikupe na Saimon wala hakuwa na kipingamizi zaidi ya kupeleka moto kikubwa utamu ukolee na moto uwake, hapo ndugu yangu bwana Modo anakwambia acha moto uwake kama kwenye ile filamu ya mateka. Huko ndani kulikuwa ni vilio tu lakini sio vile vilio vya msiba ama vilio vya ugomvi hapana vilio vya maraha kama ulikuwa huvijui na unaboy wako basi achana naye huyo tafuta boy atakayekufanya uwe unalia hivyo vilio.
Mtanange ulipigwa humo ndani na kumfanya kila mmoja afurahie utamu na mahaba ya humo ndani maana utamu juu ya utamu tena ukizingatia wote wawili walikuwa wanatamaniana kwa muda mrefu huku wakiwa wanashindwa kuambizana kama wanapendana. Mzunguuko wa kwanza uliisha na mwanaume akatoka nje kwenda kuagiza chakula ili wapoze njaa na ilikuwa ni usiku kama saa6 kwa hiyo walipokula chakula hiko wakatulia kwa muda na kwenda kujimwagia maji kisha wakarudi kitandani kulala, lakini bado walionekana kuendelea kutamaniana maana kila mmoja alionekana kama anamtamani mwenzake.
Wakajikuta wakianza tena ule mchezo wa kudokoana dokoana na kujikuta mara kitu imo wanaanza tena michezo yao ya kupandiana kwa juu. Mpaka kufikia hapo mimi sikutaka ushaidi nikaamuwa kuondoka huku nikiacha kama watu wakiendelea kuguna na kupeana utamu kama mwanzo na nilikuwa nasikia kabisa Vaileth akilia kama mwanzo ila sikutaka kuendelea kushuhudia huo ujinga wao na kuondoka zangu. Kwa hiyo sikuweza kujua kilichokuwa kinaendelea na sikuweza kujua kama walimaliza saa ngapi.
**********
Ilikuwa asubuhi ya siku iliyofata ilionekana gari ikipaki nje ya nyumba ya kina Vaileth kisha akashuka Vaileth huku akiwa kama mwenye aibu na ile anashuka tu akakutana na Stela. Hapo ndipo wanapokwambia wahenga siku ya kutembea uchi ndio siku ambayo unakutana na mkweo, sasa ndicho alichokutana nacho Vaileth maana kila siku alikuwa akielezwa na Stela habari za Saimon alikuwa anakataa na kumkandia kw asana.
“heheheheeee…!” Stela alicheka huku akiwa anafunga mlango wa chumba chake.
“unacheka nini sasa?” Vaileth aliuliza kwa aibu.
“ulikuwa unakataa nini? Na bora ulivyorudi maana jana umetupa shida ya kukutafuta mpaka polisi, yani tumekesha usiku kucha kukutafuta wewe. Mbaya zaidi na simu yako tulikuwa nayo yani mama yako kaongea huyo mpaka mapovu yamemtoka.”
“yupo wapi?”
“yupo ndani presha imempanda.”
Wakati Stela na Vaileth wanazungumza alionekana Saimon akishuka kwenye gari huku akimsalimia Stela na kuingia ndani kwake. Hata hakukaa alibadili nguo na kuingia tena ndani ya gari lakini hata kabla hajaondoka alimsemesha Stela.
“vipi naweza nikakudrop ofisini kwako?”
“tena utakuwa umenisaidia.” Stela alizungumza huku akiwa anaingia ndani ya gari na Vaileth akiwa anaingia ndani mwao.
“ulimpatia wapi?”
“nilimkuta ametulia huku hana la kufanya ndio nikaamuwa kumsaidia.”
“mh! Moto uliwaka huku nyumbani.”
“weeee….!”
“mama yake aliwaka balaa hadi presha imempanda.”
“duh!”
“ila usijali ulimaliza kila kitu?” Stela aliuliza.
“kila kitu nilimaliza na nashukuru sana kwa plan yako.” Saimon aliongea huku akiwa anampatia pesa Stela.
“zanini sasa?”
“kwa ajili yako au?”
“cuzo hebu acha ujinga bwana…, si unajua hii ni plan ili kumpata huyu mtoto ama?”
“najua lakini si umefanya kazi kubwa.”
“hebu achana nazo hizo pesa.” Walizungumza huku wakiwa wanacheka,
SEHEMU YA 12
Kumbe bwana ile ilikuwa ni plan ya Stela na Saimon hata suala la kumuacha Vaileth kule ufukweni ilikuwa imepangwa na hao wawili na ukweli ni kwamba hawa watu ni mtu na binamu yake na hata kwenda kupanga hapo nyumbani kwa kina Vaileth ilikuwa ni mpango wa kumpata huyo msichana. Vaileth alikuwa ni msichana aliyekuwa anasifika sana hapo mtaani na hata Saimon aliweza kumuona mtaani na alipokwenda kumueleza Stela basi wakaamuwa kufanya mchakato wa kumpata lakini walijikuta wakipata shida sana maana Vaileth alionekana kutopenda wavulana licha ya kuwa alionekana ni mcharuko.
Vaileth alishawahi kuwa na mvulana na alimpatia ujauzito lakini kwa bahati mbaya mtoto alifariki baada ya tu ya kujifungua na huyo mvulana kwanza alimkataa na kuikataa hata mimba yenyewe. Basi tangu hapo Vaileth akawa hapatani na wanaume na ukimpelekea suala la wanaume hataki kabisa na kujiweka kando, na hata kipindi cha mwanzo Saimon alipohamia kwenye hiyo nyumba aliwahi kumdokezea na ndipo walipokuja kukosana na kuacha hata kuzungumza na kusalimiana. Lakini bila kujua ya kwamba Stela aliyewahi kupanga hapo kwa miezi mitatu mbele nayeye alikuwa kwenye dili la kupatikana Vaileth akawa ameshatengeneza ushoga na huyo msichana.
Mpamgo ulikuwa mrefu na mpaka walipokuja sasa kumnasa kabisa kabisa Vaileth na Saimon akaamuwa kupiga kabisa ili asije akatoswa na kumkosa jumla, ila jamaa alikuwa anahitaji kumuoa na hata hiyo siku alipokwenda naye kwenye sherehe ya dada yake ilikuwa ni kwenda kuwaonesha ndugu zake na kila ndugu alikubali kwanini Saimon alikataa kufunga ndoa na mtoto wa kitajili aliyekuwa amechaguliwa na baba yake.
Gari ilisimama kwenye saloon ya mchongo ya Stela kisha Saimon akaondoka zake hadi ofisini kwao na alipofika tu ndani akapokelewa na bosi wake.
“vipi ulifanikisha?” bosi wake alimuuliza.
“nashindwaje wakati kila kitu kilikuwa kimepangwa.”
“ila we dogo ni mbaya na sikuwa najua kama kweli unajua kuchagua.”
“ila ase mnahitaji pongezi sana.”
“kwanini?”
“bila nyie kumwambia mzee anipe muda wa kumpata huyu mtoto leo hii ningekuwa hata kusalimiana naye nasalimiana naye.”
“hilo kawaida mdogo wangu.” Huku wakikumbatiana.
Kumbe bwana hata huyo bosi wake alikuwa sio bosi wake bali ndiye aliyekuwa dada yake mkubwa aliyekuwa akiitwa Asteria. Walikuwa wamejipanga watu ili mradi mdogo wao ampate Vaileth mtoto mwenye mVailethuzi makubwa kama yule wajina wake Aisha mVailethuzi.
“kwa hiyo?” saimon alihoji.
“kuhusu nini?”
“kuhusu hii gari.”
“si ameshajua?”
“ndio?”
“endelea nayo kuwa nayo kwanza si gari yako.”
“jamani hongereni kwa kuweza kufanikisha kazi yenu.” Jay alisikika akizungumza huku akiingia kwenye ofisi yake.
“hongera nawewe kwa kuweza kufanikisha hili suala maana tulikuwa tunatumia ofisi yako.”
Kumbe hata hiyo ofisi waliyokuwa wanaitumia kama ndio kazini kwao ilikuwa ni ofisi ya Jay ambaye ni rafiki wa Saimon tangu wanasoma sekondari. Kila kitu unachokiona kilikuwa kimepangwa kwenye hilo dili na yote hiyo ilikuwa kumpata mtoto Vaileth na kweli akawa ameshapatikana.
**********
Miezi mitatu ilipita na mipango ya harusi kwa kati Vaileth na Saimon na kweli mambo yakawa na mwisho wa siku ndoa ikapita na kukamilisha azma ya Saimon kumpata mwanamke aliyekuwa anamtaka yeye kwa muda mrefu. Ilikuwa ni ndoa ya kifahari sana kiasi kwamba kila mtu alikuwa akistahajabu na kutoamini kama kweli Vaileth amepata mwanaume tajiri kiasi kile na wengi walikuwa wanajua laikuwa mpangaji wao ila walikuwa hawajui kama ni mtoto wa kitajiri aliyekwenda pale kwa ajili ya mpango wa kumpata Vaileth.
-MWISHO-

