MWALIMU MKUU, TARATIBU JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 1
Kuna muda huwa tunalaumu wanaume kwa umalaya wao, bila kujua kuwa mwanaume huwa anakuwa Malaya zaidi na kufanya makusudi kama hakupendi vizuri, wanaume huwa wanatulia kwa wanawake wanaowapenda, tena wanatulia mpaka unaweza ukadhan sio wao ambao walikuwa wanapiga wanawake wao matukio mfululizo…
Ukiona anachepuka hadharan asilimia kuwa huwa hawajiamin, au kama anajiamin basi hasimami kama mwanaume kwako, hivyo anafanya kusudi ili tu uumie kama anavyoumia yeye, au hakuwah kukupenda na hana hisia na wewe, na hakuna sababu nyingine hata kama anakuja na kukulilia na kusema amepitiwa, wanaume huwa wapo makin sana likija swala la wanawake wanaowapenda kwa dhati kabisa ya mioyo yao….
Sheila ni mwalimu wa Kiswahili na historia, nimehitimu masomo yangu katika chuo kikuu cha dar es salam, mwaka 2017..
Mwaka 2020 nikaajiriwa katika kijiji cha igagala mkoani tabora, kutoka nyumban kwetu arusha na wakati huo nilikuwa bint wa miaka 25 tu, na nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambae nilikuwa nampenda sana ila alikuwa muongo sio kidogo, alikuwa yaan ananidanya mpaka vitu ambavyo sikuwa nadhan kama angepaswa kunidanganya…
Kiukweli nilichoka na ile hali ya kudanganywa nikawa najiambia kuwa nikipata mwanaume ambae atakuwa anaeleweka namuacha maana nilishapoteza kabisa hisia nae, nilishaamua kuwa na maisha yangu ila ndio hivyo nilikuwa nae kama kupoteza muda, nay eye alilijua hilo, nilipunguza sana kumtafuta, na nikajiwekea mipaka kama mwanamke ninae jua thamani yangu, siku zote kama mtu anakupenda na kukuthamin ataanza kukutafuta yeye, na hata kama ukimtafuta hataweka lawama maana anakutafuta kwa sababu moyo wake unataka na sio kwa sababu wewe unamtafutaga…
Nilipofika kazini nilimkuta mkuu wa shule wa kiume, kila mtu alikuwa anamuogopa na kumchukia kutokana na namna ambavyo alikuwa anaishi na wafanya kazi wake, nikajaribu kuuliza ni kwa sababu gani wanamchukia kiasi chote hicho, ila hata hawakunambia walimu wenzangu kuwa wanamchukia kwa sababu gani..
Basi maisha yakawa yanaendelea na Yule mkuu hata mimi alikuwa ananifokea bila sababu, yaan anaweza kutoka huko alipotoka akaanza kufokea watu balaa hata kama hamjamkosea, na alikuwa ni kijana wa makamo kwa kumuangalia anaweza kuwa na miaka 33 mpaka 35 hapo, hivyo alikuwa bado kijana mwenye nguvu ila alikuwa anaonekana mkubwa kutokana na mwili aliokuwa nao…
Hakuwa mnene, ila alikuwa mrefu na kifua kilicho jaa na namna anavyonuna ndio kukamfanya azidi kuonekana mtu mzima licha ya kuwa na umri wa kawaida…
Sasa pale kazini nilimkuta mwalimu mmoja wa kike, na mimi nikawa watatu, Yule mwalimu wa kike sijui ndio alishazoea kukaa na wanaume mpaka na yeye akawa mwanaume, hakuwa anakauli nzuri, yaan ni amri amri tu, na kingene hakuwa anajali hata muonekano wake, yaan anaweza akalala na nguo na kesho akaja nazo hizo hizo kazini, sijui hata ni kwanini hakuw anajizingatia kiasi chote hicho…….
Pale kazin walikuwa wanamuita jembe la mkulima, maana alikuwa anafanya kazi za kila aina, na hakuwa anachoka, kiukweli alikuwa mchapakazi sana, ila kazi zote ngumu alikuwa anafanya, mpaka ule ukike wake ukaondoka na akawa kama mjomba, mpaka sura ikakomaa kama sura ya mwanaume kabsa na mimi nilipofika ndio nikawa kama mwanamke wa kwanza kwenye ile shule…
Kuanzia kuvaa mpaka matendo nilikuwa tofauti sana, huwa nina sauti nzuri na hulka ya kudeka deka, hivyo wanaume wengi wa pale kazin wakawa wananiambia kuwa mfundishe mwenzako nayeye kuwa mwanamke kama wewe, maana amezidi ukauzu, ila hata sijui nitamfundisha vipi…
Episode 2
Siku moja mkuu wa shule alikuja, alitukuta tunakula akaanza kufoka “ yaan mnakula kabla hata muda wa kula kufika, kwa hali hii shule itaenda mbele kweli na watoto watafaulu kama ndio walimu wenyewe mnaendekeza matumbo tu na sio kufata ratiba ya shule, nikaona walimu wote wameacha kula, nilishangaa maana kwanza pale ni serikalin, kufuatilia ni sawa nan i haki yake kufanya hivyo, ila kwanini sasa anafokea watu namna ile, kwanza watu wenyewe ni wanaume na wengine hata ni wakubwa kuliko yeye…
Nikawa namuangalia simmalizi, nikashangaa ananiropokea na mimi na kusema “ na wewe usinishangae tu hapa, kafanye majukum yako…
Hata sikumjibu kitu, nikachukua sahani kisha nikaanza kupakua chakula, kila mtu ambae alikuwa pale akaanza kunishangaa maana nilikuwa tayar ninachakula changu, alafu napakua kingine, kisha nilipomaliza, nikabeba na jagi la maji na kutoka nje…
Watu wote walikuwa wananiangalia hawaelewi nafanya nini, nikaenda moja kwa moja mpaka ofisin kwa mkuu kisha nikamtengea kile chakula na alipoona nimeingia ofisin kwake alikuja haraka haraka, maana kwanza watu wengi huwa wanaogopa sana kuingia ofisin kwake, kwa sababu kwanza hatakag mazoea na ukiingia ofisin kwake ni lazima ukutane na lawama kabla haujasema kilichokupeleka…
“ umefata nini huku? Akauliza kwa sauti ya ukali…
“ samahan kama nitakuwa nimekosea, tulikuwa tunakula nikaona sio vizuri kula bila kukuletea na wewe, nikasema kwa sauti ya unyenyekevu mkubwa huku nikiwa nimeangalia chini..
“ mimi sijaja kula hapa nimekuja kufanya kazi, na kama ningekuwa nina shida na chakula ningeenda kula maana hakuna mtu ambae anaweza kunizuia hapa, akaendelea kusema..
“ samahan mkuu najua una maamuzi na hatuwezi kukupangia kitu, na ukwlei hata mimi binafsi nipo tayar kuishi chini ya amri zako, ila naomba sana kama mtu akikukosea muite ofisin, pale kuna watu wazima sana ambao wametuzid sote, kuna watu wanachangamoto zao za afya na kifamilia, sasa nakuomba sana mkuu wetu utumie busara kwenye kuongea na kila mtu hapa kazin, nadhan hata mazingira yetu ya kazi yanaweza kuwa mazuri, na ukaona utendaji ambap utakuwa na ufanisi mkubwa sana, ambao hata wewe usinge utegemea kabisa………
“ unanifundisha kazi, wewe umekuja hapa hata miezi miwili hujamaliza unaanza kunifundisha kazi, unakuja kunambia kuwa nichekee ujinga si ndio kama hauna cha kuongea toka ofisin kwangu…
Nikamuangalia kwa sekunde kadhaa machoni, lengo ni kumsoma kuwa ni mtu wa aina gani, kisha nikaondoka zangu…
Basi nilipokuwa kumbe namuangalia mapigo yake ya moyo yakaanza kwenda kasi, akawa hajielewi elewi shida ni nini, akawa amekaa kwenye kiti chake akawa anajikuta anatabasamu tu, hata hajui anatabasamu kwa sababu gani, kisha akawa anakula chakula huku taswira yangu ikawa inamjia mbele yake kila wakati, kila wakati akawa kama ananiona mbele yake, mpaka yeye mwenyewe akawa anajishangaa kuwa amepatwa na kitu gani maana sio kawaida yake kabisa…
Basi nimefika ofisin walimu wenzangu wakawa wananiuliza nimefata nn kwa mkuu, nikawaambia tu, kuwa nilienda kumuelekeza asiwe anatufokea tena, maana hapa kuna watu wazima kuliko yeye, na sote ni watu wazima tena ni wasomi kabisa, hivyo hakuna haja ya kutuelekeza kana kwamba anamuelekeza mtoto mdogo, ambae hana muelekeo na haelewi anachoambiwa…
Wakaanza kucheka, kisha mmoja wa walimu wenzangu akasema “ kama amekuelewa niite kunguni..
Mara nikashangaa mwanafunzi amekuja kisha akasema “ mkuu anakuita…
Kumbe alishaanza kudata, wenzangu wanajua kuwa kimenilamba..
Episode 3
Basi nikaenda wenzangu wananionea huruma, nimefika nikashangaa ameniambia nikae kwenye kiti chake, kisha akaanza kuniangalia sana, nilijikuta naona aibu, maana mimi ni mwanamke nay eye ni mwanaume, sasa kitendo cha kuangaliana vile, ni lazima kingenifanya niwe na aibu tu..
Alikuwa anaonekana hana cha kusema, na ningemshangaa sana aniite ofisin kwake bila sababu na kweli hakuwa na sababu kabisa ya kuniita ofisin..
“ umeleta chakula lakin haujaleta glass ya maji ya kunywa unataka ninywe maji ya kwenye jagi? Akauliza ila angalau safar hii hakuwa ameongea kwa jazba..
“ samahan mkuu naenda kukuletea, nikaenda mezan kwake kisha nikaanza kusafisha meza kwa adabu kubwa sana, kisha nikaondoa vyombo na wakati huo alikuwa ananiangalia sana, ila sikumjali wala nini, na baada dakika chache nikaja na glass kisha nikampa ili aweze kunywa maji ya kunywa na kwa sauti ya unyenyekevu nikasema “ karibu maji, nikammiminia kisha nikasimama pemben akanywa alivyomaliza nikamuuliza “ naweza kwenda….
Kwa mara ya kwanza kuanzia nafika pale kazin nikamuona anatabasamu, kisha akaangalia chini kwa sekunde kadhaa na kuinua uso wake kunitazama kisha akanambia “ unaweza ukaenda..
Niliondoka bila nkujua nimemuachia mkuu wangu maradhi ya moyo wake, ambayo hata yeye mwenyewe hakuwa anajua kama anaugua, ila alianza kubadilika ghjafla, akawa kwanza hafoki anaongea na watu kistaarabu mpaka watu wakawa wanamshangaa huyu anashida gani…
Matra akabadilisha uongozi akanichagua mimi kama mtaaluma mkuu, na lengo ni kuwa niwe nae kwenye vikao vingi, maana siku zote shule ni taaluma, nilishangaa sana maana kwanza sikuwa na uzoefu na hio kazi, na hata mwalimu wa taaluma ambae nilimkuta alikuwa ana nguvu na uwezo zaidi kuliko hata mimi, sasa sikujua hata ni kwa sababu gani amemtoa na kuniweka mimi…
Nilibaki kwenye taharuki, nikamuomba ampe nafasi ya ualimu wa taaluma mtu mwingine ila alikataa na kunambia kuwa mimi ndio naweza kuifanya hio kazi vzr kuliko mtu mwingine yoyote yule…
Basi maisha ya kazin yakaenda, mkuu wetu alikuwa anaitwa ahmed, akaanza kubadilika, akawa anaweza kupokea posho ya madaraka kisha akaweka hela mezani tukachinja mbuzi, au hata tukala vizur alikuwa anakaa sana ofisi ya walimu wote, lengo ni kuniona, mwanzo sikuwa najua kuwa lengo lake kuu ni mimi, na hakuwah kunambia jambo lolote lile, na kila mtu anajua kuwa aliachana na mke wake, kipindi hicho hakuwa na maisha, akaja kukutana na mdada wa kirangi, mzuri wa sura umbo na kila kitu, ila alikuwa mzuri sana na kutokana na uzuri wake akamuoa, ila Yule mwanamke akaja kuchukuliwa na watu wengine ambao wanajua kuhudumia mwanamke mzuri, mkewe akaanza vitimbi, akawa ana maneno machafu, anamfumania kila siku, mwisho wa siku akajionea cha kufia nini, akaamua kumpa talaka na kuanzia hapo akaanza kujituma sana mpaka akaja kupata kazi, ila alikuwa ni mtu wa hasira sana, yaan hata akianzisha mahusiano na mtu hayadumu maana atamtolea maneno machafu mpaka mwanamke atakimbia mwenyewe, yaan alikuwa na kisirani kiasi kwamba kila mtu alikuwa anamuona kama adui na wakati ameachwa na mwanamke mwingine….
Episode 4
Kipindi mimi nipo pale shuleni, nimeajiriwa kama mwalimu mpya, hata na yeye alikuwa ana mahusiano yake mengine, ila kila siku alikuwa anampiga matukio dada wa watu licha ya kuzaa nae watoto wawili, ila moja ya sifa yake kubwa kwenye kijiji ambacho tulikuwa tunakaa ni umalaya wake………
Basi nikawea ni mtaaluma na kama secretar wa shule, nilikuwa naweza kurumia komputa kwa kiasi chake, hivo kazi zikawa zinaenda vizuri tu kwa msaada wake…
Siku moja nikashangaa anawaruhusu watoto waondoke, na kweli wakaondoka, na walimu siku hio walitoka mapema sana kazin mpaka nikawa nashangaa kwa nini wametoka mapema kiasi kile, akataka niingie ofisin kwake ndio nifanyie kazi..
Siku bisha maana sikuwa najua malengo yake, basi nikaingia ofisin kwake nikawa nipo busy na laptop naandika zangu document flan ambayo alinipa niicharaze…
Kumbe alikuwa nyuma yangu ananiangalia tu, sikujua, kwanza nilihisi nipo pekee yangu pale ofisin kutokana na ukimya uliokuwepo, kuna muda nikanyanyuka ili walau nikapate maji ya kunywa, maana nimefanya kazi muda mrefu sana, ndio nikamuona alikuwa amesimama pemben ya mlango, nikajikuta nimesema “ kumbe upo hapa, nilijua nipo pekee yangu, ila hata hakunijibu kitu akawa kimya ananian galia, nikajiambia kuwa atajijua mwenyewe , sasa ile nampiota nikashangaa navutwa kisha akanikumbatia kwa nguvu sana huku akiwa anatetemeka…
“ samahan mkuu mbona sikuelewi, nikaanza kuuliza ila hata hakunijibu akawa kimya amenikumbatia na alikuwa anahema haraka haraka kana kwamba alikuwa anakimbizwa, nikawa najaribu kujitoa mwilini mwake, ila hata sikuweza kwa namna alivyokuwa amenishikilia vizur ikabidi nitulie tu, kwa sababu kwanza siwez kushindana na mwanaume hata siku moja, alipoona nimetulia akaanza kutaka kunipa love bite, sikuwa nataka nikawa najilazimisha kujitoa kwenye mwili wake, ila alikuwa amening’ang’ania balaa….
“mkuu unafanya nini lakin? Ikabidi niulize tu, kwanza sikuwa najua kama alikuwa ananitaman, siku zote nilimchukulia kama kiongozi wangu wa kazi, na siku zote nikawa namuheshimu, sikuwah hata mara moja kudhan kama anaweza kuwa na hisia na mimi, na cha pili, alikuwa anaishi na mwanamke hapo hapo kijijini, sikutaka matatizo na wanaume za watu….
“ kwanini umeniroga? Akaniuliza…
Nilishangaa sana kwanini ananiuliza hivyo, kwa sababu kwanza sikuwa najua kama ananipenda, na pili nawezaje kumroga mwanaume mtu mzima kama huyu, sasa namroga ili iweje, namroga ili kitokee kitu gani…
“ mimi kukuroga, sasa nakuroga kwa sababu gani? Ikabidi niuliuze..
“ umeniroga Sheila, juzi nilikuwa kwenye pikipiki naendesha, mawazo yakatoka bara baran nikaanza kukuona mbele yangu nusu nipate ajali, yaana nakufikiria mpaka najiona kabisa hii sio kawaida yangu kuwa namfikiria mwanamke kiasi hichi, kuna muda nashindwa hata kufanya majukum yangu kwa sababu nakufikiria hivi, kwanini umeniroga wewe mwanamke, naona kabisa hii sio akili yangu, akawa anasema……
Nikashangaa huyu nae vipi, sasa mimi nimroge ili nigundue nini, na wakati anaongea hivyo alikuwa bado kanikumbatia, nikajitoa mwilin mwake, kisha nikamuambia mimi sijawah hata kuwaza kukuroga kama hautojali naomba niondoke, aisee alinivuta akaanza kunikiss, ni kama hakuwa anaweza kujizuia akiwa karibu yangu, nikawa natapa tapa, ila hakuniachia hata kidogo, akanikiss huku mikono yake ikifanya utalii kwenye sehemu mbali mbali za mwili wangu, kuna namna kamsisimko kalikuwa kanakuja, ila kiukweli kutoka moyon sikuwah kutaman hata kwa bahati mbaya kuwa na mahusiano na mwalimu kama huyu, maana sifa zake za ajabu zimeenea kijiji kizima…
“ mama naomba kidogo tu, hapa nilipo nimezidiwa mamaa, nikashangaa anatoa mtalimbo wake, na kweli ulikuwa umesimama dede kana kwamba unataka kuchomoka, nikawa najiambia “ leo kazi ipo…
Episode 5
“unataka kufanya nini wewe, au unataka kunibaka, nikaanza kusema ila hata hakunisemesha, akachukua mkono wangu wa kushoto kisha akaushikisha pale ulipo mtambo wake, yaan kitendo cha mkono wangu kuishika tu akafunga macho kisha akahema kwa nguvu, na kusema “ nisaidie madam yaan hapa nilipo sijiwezi kabisa, sijiwezi I want you Sheila, naomba nisaidie tafadhali…
Nikaona sasa huu ni upuuzi, nawezaje kumsaidia na wakati ni mwanaume wa mtu, nan i ghafla sana bora hata angenitongozaga ningejua kuwa huyu kweli alikuwa anahisia na mimi, n na kingine hata sikuwa na hisia nae hata kidogo, nilimuona kapoa ila nilishaapa kuwa siwez kukaa na mwanaume ambae anaongea kwa amri kama ambavyo huwa anaongea yule kijana……
“ samahan mkuu naomba niende, nikasema huku nikiwa nataka kuondoka zangu, ila hata hakuwa ananisikiliza na akawa anaendelea kuniomba kuwa nimesiadie, nikaona huu sasa ni upuuzi nikataka kupiga kelele, akatabasamu na kusema “ leo hapa shulen hakuna mtu zaidi yangu mimi na wewe, hivyo hata upige kelele kiasi gani hakuna mtu atakusikia…
Fanya kama ninavyokuambia ili mambo yaishe turudi nyumban, maana siwez kukuachia ukaondoka na wakati nipo kwenye hali kama hii mishipa imenisimama balaa, sio siri naumia sana..
“siuende nyumban kwako ukapate hio haki kwa mke wako, na sio kwangu, nikaanza kujilalamisha..
“ hisia zangu zipo kwako ndio maana nimekuja kwako, ila laity zingekuwa kwa mke wangu basi ningemfata yeye, ila nahisi kabisa kuwa nakuhitaji sana mamaa, na nina tamani sana hata wewe ndio ungekuwa mwanamke wangu…
Nikaona sasa ameshaanza kupoa nikawa nataka kuondoka ila akanivuta na kuanza kunishusha ngu zangu taratibu, nikaona ehee kizaa zaa sasa hichi, nikaleta vurugu ila ni kama alisha vurugwa, akanivua nguo ya juu kisha akapitisha mtalimbo wake katikat ya maziwa yangu kisha akayabana mpaka akapata bao, yaan hapo mimi hakuna kitu hata kimoja nilichokuwa nakifanya…
Akanifuta alikuwa ana lesso yake, kisha akasema “ leo usiku nitakuja nyumban kwako hivyo jiandae kwa ajili yangu, hakikisha umekula vizuri maana nakutaman sana wewe mtoto hujui tu, sasa nikajua masikhara…
Usiku kama saa mbili kasoro hivi nikapika kisha nikala, baada ya hapo nikaona bora nikaoge, kweli nikatoka na kwenda kuoga, ile natoka bafuni namkuta mwamba amekaa kwenye godoro, na wakati huo sikuwa hata nimenunua kitanda, sasa nilikuwa nimevaa kanga moja na maji yananichruzika, kwanza nilishtuka sana nilipomuona, sikutegemea kabisa kama ningemkuta humo ndani…
Aliniangalia kisha akameza fundo la mate na kusimama kisha akanambia “ naomba nikufute maji mrembo wangu…
“ mrembo wako? Ikabidi niulize, sikuwa najua ni lini nilianza kuwa wake, nikaona sasa huyu ameshachanganyikiwa huyu sio bure …
“ mkuu naomba utoke nyumban kwangu, ila hata hakuwa ananisikiliza, kanifuta maji kwa ustadi kisha akanitupa kitandani, baada ya hapo akaniziba mdomo ili nisiweze kupiga kelele, maana ingawa nilikuwa nakaa nyumba nzima pekee yangu ila kulikuwa kuna nyumba nyingine pemben, akanifunga na mikono ili nisiweze kumsumbua, kisha akaanza kunilamba mwili mzima kama katoto cha paka…
Episode 6
Sio siri alikuwa anajua kucheza na mwili wa mwanamke, ila sikutaka kulala nae, maana nilikuwa nina uhakika kuwa sikuwa nampenda, na kingine nilishasikia kuwa alikuwa na wanawake wengi hivyo nikahisi kuwa anaweza hata akawa na maradhi hivyo sikutaka kuambukizwa, ila alipocheza na mwili wangu nikaloa, ndio kama akapagawa, hakuwa anajali hata nikashangaa anazama chumvini, nilijikuta nahangaika maana sijawah kusikia raha kama ambayo nilisikia siku ile, mwisho akaingia yeye kupiga shoo, akawa anasema “ nakuamin nakuamin sana Sheila ndio maana sijaja na kinga, sijui hata alikuwa anashika wapi huku ndani maana nilikuwa nasikia raha balaa, mwisho akapata bao la kwanza ndio akanifungua, alikuwa anajua kuwa yeye ni fundi hivyo alijua nitampa pongezi kwa juhudi, ila badala yake nikaanza kulia na kumuambia “ umenikosea sana, naomba utoke nyumban kwangu…
Hata hakunisemesha akachukua simu yangu kisha akajisave “ MUME WANGU.. kisha akanambia ole wako ubadilishe jina kisha akaondoka zake……
Nilibaki nalia tu, sikuwa na cha kufanya akaondoka na alipofika sijui wapi akatuma sms inayosema “ umemaliza siku zako lini…
Ndio kama akanifungua aklili, yaan amefanya bila kinga ni lazima kutakuwa na maradhi na mimba, hata sikumjibu nikaanza kupiga mahesabu, nikaona kuwa nilikuwa kwenye siku za hatar, nikona sasa changamoto hio, kesho yake asubuh na mapema sikwenda kazin, kwanza asingeweza kunifokea maana kwanza ameniingiolia bila ridhaa yangu…
Nikaenda hospital nikawaambia kuwa kuna mwanaume amekuja kwangu na kunilazimisha ni tende tendo la ndoa bila ridhaa yangu, kwanza sio mpenzi wangu, wakataka niende nikatoe taarifa [polisi sikutaka maana sikutraka mambo yawe mengi, basi wakanipiuma pale virusi vya ukimwi na mimba, nikakutwa sina magonjwa yote hayo, wakanipa p2 na pep zile za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa masaa sabini na mbili….
Basi nikarudi nyumban ila sio siri nilikuwa nina hasira sana na yule fala, kila nikimfikiria nataman hata nimchome chome visu, sasa anawezaje kuja kunilazimisha kulala na mimi, na wakati anajua kabisa kuwa sikuwa namtaka…
Nimerudi nyumban nashangaa namuona mwamba huyu hapa..
“kwanini leo haujaja kazini? Akaniuliza bila hata salamu…
“ haikuhusu, nije nisije wewe shida yako ni nini kwani? Na mimi nikauliza swali juu ya swali..
“ jibu swali kabla haujauliza hayo maswali yako ya kipuuzi, nambie kwanini haujaja leo kazini?..
“ naomba uondoke nyumban kwangu, na kama unataka kutenmgeneza figisu niache kazi haya sasa kazi kwako tengeneza ndio sijaja hivyo, nikasema kwa jeuri kisha nikawa naenda zangu ndani, nikashangaa nimevutwa kisha akawa ananiangalia kwa sekunde kadhaa, saa ngapi asianze kunikiss..
Nikaanza kujitoa mwilini mwake maana niliona kama ananidhalilisha vile, nikawa napambana sana kujitoa mwilini mwake ila haikuwa rahisi, akaninywesha glass kadhaa za mate kisha akaniachia, akaniangalia kwa sekunde kadhaa na kusema “ wewe ni jukumu langu na nitahakikisha kuwa unakuwa wangu leo kesho na hata milele…
“ ila mimi sikutaki na sitaki kuwa na wewe, nikasema..
Akacheka kidogo kisha akasema “ baada ya kuniloga na kuhakikisha nimechanganyikiwa juu yako, baada ya kunifanya kila nikikuona nipatwe na msisimko ndio unakuja kunambia kuwa hanitaki, kama haujui kama mimi ni kichaa sasa ndio utajua kuwa mimi ni kichaa na mwenda wazimu kabisa yaan, huniachi hata ukitaka kufanya hivyo, akanisogelea tena akanikumbatia kwa nguvu sana kisha akawa anahema kama jenerator, nikajua ehee muda sio muda mambo huenda yakaharibika, nikawa najitoa, nikajitoa kweli namuona mwamba amelegea , akanikiss kwenye mashavu yangu kisha akaondoka zake…
INAENDELEA …

