AAAHHH BOSS TARATIBU JOMON UTANITOA KIZAZI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 11 & 12
Ilipoishia….
Kitendo kilichokuwa kinanifanya nije shangae basi baada ya kumfikisha nyumbani kwake niliianza safari yangu ya kurejea nyumbani huku akili yangu ikiwa unamuwaza boss jinsi alivyokuwa akinisifia kwa uzuri wangu.
Songa nayo…
Kiufupi sikuwa naelewa kabisa boss alikuwa naaamana gani ya kunidifia kiasi hicho, au ndo wale wale kama wanaume wengine jinsi walivyo nilikuwa mtu wakijiuliza maswali mengi pasipo na majibu ndani mwake .
Siku hiyo sikuchukua usafiri wowote ule hata hivyo nilikuwa nimemic mambo ya kulala , me huwa nimtu walilala jamani ndomaan napendeza kila siku .
Baada ya kuchukua baadhi ya mapocho pocho ,nilianza safari yangu ya kurudi nyumbani, baada ya mda niliwasili nilikuta mama akiwa naangalia zake tamthilia, nilimsalimia kisha akanikumbatia,.
Aliuliza? Vipi mwanangi leo vipi siku yako ya kwanza imeendaje, nilimjibu imeenda tu vizuri,
Siku hiyo iliweza kupita na siku zilizidi kusonga mbele,niliendelea na kazi yangu , wakati huo boss sikuwa namuelewa kabisa alizidi kuweka ukaribu mwingi sana kwangu kitu ambacho nilikuwa sikuelew kabisa
Siku moja tukiwa kwenye kwenye nikiwa nampeleka kazini, tulipata ajali kidogo iliyonipelea mimi kuumia mkono,
Basi niliwahishwa hospitali haraka kwa ajili ya huduma ya kwanza, nakweli baada ya kufika hospitali nilioatiea huduma ya kwanza, baada ya hapo aliitwa kimu ambaye ni boss Wangu kwa ajili ya kuniona
Hata hivyo mkono nilihakikisha wangu ulikuwa umeumia sana. Nilikuwa nahisi maumivu makali sana.
Alisogea mpaka sehemu nilipokuwa nimelala,nakuanza kubembeleza akidai nisijali nitakuwa sawa.
Kiukweli anilibembeleza nikatamani asiache mwenzenu na nilivyonapenda kudekezwa mimi, ndio kabisa pamoja na maumivu niliyokuwa nikihisi ila kwa jinsi alivyokuwa akinibembeleza maumivu yenyewe yalianza kupungua mwenzenu .
Baada ya mda kupita niliweza kuruhusu kutoka hospitali, boss kimu alinirudisha hadi nyumbani, wakati huo mama angu hakuwa najua lolote lile ,
Sikutaka kabisa kumpigia simu kwasababu nilihofia wenda akapata presha na ninaweza kumpoteza.
Alishangaa!!! Tu kusikia honi za gari, basi me hata kugombea sikuwa naweza nilikuwa nahisi maumivu makali kwenye mguu pamoja na mkono.
Alibeba hadi ndani , swali la kwanza kama ilikuwa imepatwa nanini? Binti yangu,nilishindwa cha kumjibu zaidi ya kumwambia usijali mama kwasasa niko sawa chakushukuru nikwamba niko hai mpaka sasa.
Mama angu alibaki na bumbuazi akiwa haelewi nini afanye kwa wakati huo
SEHEMU YA 13 & 14
Kimu aliniingiza mpaka ndani kwetu alinilaza kwenye soga huku akijaribu kumwambia mama asijali hivi karibuni nitakuwa sawa, mama tena na mapresha yake sangapi asiye kulia kama mtoto.
Huku akidai kuanzia sasa niache hiyo kazi kwasababu hataki kunipoteza kisa kazi yangu, nikijaribu kumtuliza mama walau aweze kutulia ila yeye alikulia kitu hicho cha mimi kuacha kazi.
Kim aliniomba ninyamaze na niwe kukubaliana na kile ambacho mama anazungumza, kusema ukweli hata boss Wang naye sikuwa namuelewa kabisa.
Niliona hana tofauti na mama angu kwamba hata hao madereva wengine wanaopata ajali barabarani ndo wanaacha kazi au.
Ilinibidi nitulize japo sikuwa tayari kuacha kazi hiyo kwasababu nikazi ambayo ilikuwa inanipa kiasi kikubwa sana ambacho kilikuwa kinakidhi mahitaji ya hapo nyumbani,
Nilikuwa na ndoto ya kumuachisha mama kazi ya upishi kwasababu hata moto nao sio mzuri kwa afya ya binadamu, ila mama hakuwa anaelewa Jamani.
Nilihisi ndo ndoto zangu zote zinaenda kuishia ukingoni,niliwaza mengi sana ila moyo sikuwa tayari kupoteza kazi yangu, nilijua nikipona basi kwa namna yeyote ile nitaweza kushawishi mama angu.
Basi mama aliondoka kwenda jikoni kwa ajili ya kumuandalia Kim chochote kitu kile cha kutia kinywani mwake
Baada ya mama kuondoka boss kimu aliniomba nitulie yeye atajua ninamna gani atafanya,
Boss najua unanidanganya kwa kujifariji uongo, wenda mimi sikuwa na kuendesha vizuri boss ndomaa ukaamua kuanaiachisha kazi kijana namna hiyo Yani umepitia kwenye mstari wa mama alioupitia.
Alichonijibu boss nikwamba hayo nimawazo yangu finyu ila ahadi yetu iko pale pale na kazi bado nitaendelea kufanya
Basi mama alimpatia grass ya juice boss, nabaada ya hapo aliketi pembezoni mwangu, akinibembeleza utapona binti yangu wala kutokuwa hivi siku zote .
Boss baada ya kuimaliza juice yake aliomba kuondoka, aliacha kiasi cha shilingi laki moja akidai kitatusaidia kwenye baadhi ya matumizi yetu.
Na tulihitaji chochote kile tusisite kumfahamisha , sikuwa najua kama boss Wangu ana roho nzuri kiasi hicho jamani basi aliniaga na kudai haitaacha kuja kuniona mpaka pale nitakaporudi kwenye hali yangu
Daah nilitamani asiondoke jamani, nilitamani kupona haraka ili nirudi kazini kwangu, aliaga nakuondoka zake
Siku hiyo iliweza kupita siku zilizidi kusonga mbele hatimaye hali yangu ilianza kurudi sawa ila boss Wangu hakuacha kunipigia simu kwa kununulia hali .
Aliniomba niwe nafanya mazoezi ili viongo vyangu virudi kwenye hali yake .siku moja alikuja nyumbani kwa ajili ya kumpeleka uwanjani kwa ajili ya mazoea.
Nakumbuka ilikuwa siku ya juma mosi alikuja nyumbani kwetu akamuomba mama angu kama itawezekana basi anipeleke nikanye mazoezi ili viongo vyangu viweze kiwa sawa.
Mama kwakuwa alikuwa kashaanza kumuamini basi hakuwa na bodi ya kumkatalia, alichomuomba nikwamba awe makini namimi nisije kuumia tena.
Nilienda kuvaa nguo za mazoezi zilionyesha Shep ya mwili wangu, boss alibaki amenishangaa!!! Alishindwa hata chakusema ila macho yake yalionyesha dhahiri kuna kitu alitaka kuongea””
INAENDELEA

