MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 16
Ghaflaa Hali Ya Saraah Inaonekana Kubadilika kabisaa, Mda huo huo Jay nae anaonekana akiingiaa ofisini mulee anaingiaa na kushtukaa kumuona Madam Lindaa, Narshaa, Dr Abdul Na wotee hawaa wanaonekama kumtazama Saraaah Huku Jordan Akiwa Amekaa Na Mr Poul Akiwa Pembeni mwake.
“Mmmh kunaa nn tenaa hapaa duuuh yaaan hiii ofisinii ni shidaa tu ase “Jay anasemaa yote hayo uku akisogeaa karibu sanaa ili kuelewa ni jambo gani linaloendeleaa hapo.. Mdaaa huo Boss Jordan hanaa Hataa Haraka
yyt kbsaaa.
Saraah anazidii kujisikiaa vibayaa na anaamuaa kukimbiaaa katikaa washing Tablee iliyom kuwa mulee Ofisini Anapofikaa Saraah Anatapikaa sanaaa na Kushika tumbo lakee.
Watu wotee wanaonekana kubaaa hasaa Madm Narshaa na Lindaaa.
Lakini kwa upande wa Jordan Anaonekanaa kuwaa na tabasamu saanaa kbsaa.
“Jordan hi hi hi hiyoo ni mi mi mbaa yaa kwako au yaa naaan ?”Narsha Anasemaa hayoo yote huk akiwa na kigugumizi kikubwaa sana..
Madam Lindaa naye anaanza kugombaa sanaaa maan hataa aelewiii kabisa
“Jordan Saraaah Anamimbaa yako Ya Nan niambie nijuee””Madam Linda Alisema. Doctor Abdulh naye alikoswa ham kbsa maan alikodishwa kutoka mbali ili kujaa kujifanya Abdulh wake wa utotoni na kumpata Saraah Ikn sasa na yeye anashangaa anapomuonaa Saraaah kuwaa kamaa anamimba.. Lkn Jordam Alikuwaa hataa hana haraka na waoo Jay Piaa Alikuwaa anachekaa tuu akisubirii jibu la mwisho ni lipi kuhusu Saraaah. Baada Ya Kuzozanaa sanaa Jordan Alisema na kutembeaa mpk palee alipokuwa Saraaah. “Ni Mdaa Sasa Nimekuaa na Ni Na Haki Ya
Kuchaguaa Chcht Piaal Saraah Ndiye Mwanamkee Ni Naye Mpendaa Sanaa Na Zaidii Plà Saraah Anaujauzito Wanguu “Jordan Alisemaa.
Jay Na Mr Poul Walitabasamu Kabisaa Huku Wakipigaa Makofii na kushangiliaaa kwa furaha Wakisemaa”Wooooyoooooo woyo woyo Hahhahah”llikufurahaa kwao sanaa Ikn Mdaa Huo Narshaa hana Hamu kbsaaa Yaan. Jordan Akiwaa Karbuu Na Saraaah Anampigiaaa Gotili Na Kuchukuaa Mkono Wa saaraah Na
kuumvalishaa petee.
Watuu Baadhi walioneshaa uchangamfuu mkubwaa lakin Kwa Narsha, Madam Lindaa na Dr Abdulh kiukweli iyoo siku ilikuwa mby sanaa kwao kiasi kwambaa Narshaa Alitoaa machozii ya maumivuu ya moyonii.
Saraaah Alishangaa Sana baada ya kuonaa kavalishwaa ilè petee alikuwa na furahaa sanaa na akaamuaaa kumyanyuà Jordan Na Kumkumbatiaa kwa nguvu.
“Nakupenda Sana Mumee Wanguu Saraah Alisemaa uku akitoaa machozi ya furahaa. “Nakupendaa zaidii mwanamke Wangu “Jordan Alijibu uku akionesha Hisiaa Zake Kwa Nguvu… Wachukuaa Matukio Huwa Hawakoswii Jay Na Mr Poul Walikuwaa wanarecord tukio Ilikuwaa Vibes Sanaa Asee Yaan. Baada Ya Hayo Jordan Aliamua kumsogeleà Mama Ake. “Mama najuaa Hujapendaa But Anza Kupenda Mama Naelewa Wewe Unafanya Yote Haya sio Kwasababu Ya Narsha Ilaa Ni kwasababu Ya Wazazi Wa Saraah Ambao Unaungomvi nao, ugomvi huwa unasamehewa Mama Ety Sawa Mama Naomba Uachane na hayo mambo hataa wazazi wa Saraah hayo mawazoo na Saraah piaa hafahamu ichil kituu plz mammy sawa “Jordan Aliongeaa Ayo Maneno kwa Uchungu sanaa Maana Anaelewaa hana Mama Na mama ake tegemezi Ndo huyu..
Siku zote kama kitu sio tabiaa yako lazimaa ukiache tuu.
Madam Lindaa Anachooamuaa Nikumbatia Mwanae Jordan.
“Nisamehe Mwananguu Kwa yote niliyofanyaa hasaa ya kukuumizaa wewe na Saraah nmekuelewaaa nafanyaa mambo mabayaa sanaaa mwanangu Jordan piaa Saraah nisameh mwanangu kwa yote nimekubali piaa uwe Mke wa Mwanang Siku zote””Madam Lindaa Alisema Huku Akimsogeleaa Saraah Piaal Nakumkumbatia piaa.
Watatu hawaa walielewanaa kbsaa, Narshaa Anaonekana kuwaangaliaa Kwa Jicho Kali. “Hahahah kumbee sikujuaa kama hata madam lindaa utanisaliti sasa naombaa tusifahamianee kwanziaa sasaa na mtajutiaa maamuzii yenu wotee “”Narshaa Alisemaa Kwa Hasiraa Sanaa Na kuondoka mahali palee lakini Anaonekana Akiwaa Anamawazo Ya kulipiza Kisasii.
Madam Lindaa alitikisa kichwaa nakusemaa “Na Kama hutaachaa Biasharaa Zako Basi Zitakuumizaa Kbsa”
Doctor Abdulh piaa aliondokaa bilaa kusema chcht sasa sijui aliwazaa nn piaa, Umojaa Wao Ulianzaa Tenaa Upyaa Kama Mwanzoo Na Mapenzi Yao Ya Dhati Pia Yalionekana Kwa wingi…
Chapter 17
“Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
Tusijuane wotee Na Ninawaahidii Kujutia Maamuzii Yenu wotee Narshaa Alisema Hayo Kwa Hasira Sana Na kuondoka Mahali Pale Lakini Anaonekana Akiwaa Na Mawazo Makubwa Ya kisasiii.
Madam Linda Alimtikisiaa kichwaa na kumwambiaa awe Makini sanaa maaa Biasharaa Zakee na Yatamuumizaa Siku Mojaa. Mambo Yake
Doctor Abdulh Yeye Piaa Aliamuaa Kuondokaa Bilaa Kusemaa Kituu.
Familiaa Hii sasa Yotee Inafurahaa Sanaa Maana Umojaa Upo Tenaa..
Usiku unaaingiaa Wanaamuaa Kurudi Nyumbni Baada Ya Mda Wanakutanaa Kwenye Dinner Ili Kupata Chakula.
Madam Lindaa Akiwaa Pembeni anasemaa Ketino Wote Mimi Ndo Mama Wa Familia Kwasasa Kwahiyo Ntawahudumia Wote
Kwenye chakulaa.” Jay Anaonekaa kuchekaa Sanaa “Mmh na mm
itabidii nitafuutee Jmn Heee “Jay Alisemaa. Wote Walichekaa na kufurahii sanaa.
Madam Lindaaa Aliwapatiaa chakula kilee kwa ustadii zaidii Uku Akihakikishaa Mama Kijacho Anakulaa Kishibaa kabisaaaa.
Familiaa hii ilifurahiaa sanaa chakulaa kilee
Upande Wa Narshaa leo anaonekana akiwaa Amemkodi Mwanaume Kwa Ajirii Ya Kutoleaa Stress Ikm Narshaa Anaonekaa Akiwa Amelewaa Sanaa Kiasi Ambacho Haijiitambui kbsaa..Usiku unaendaa vizurii kabisaa
Ni Asubuhi Nyingne Inayokuchaa Vizurii
Kabisaa Ukiwaa Ni Midaa Yaa Saa Nne Wanaonekana Ofisini Mule Madam Linda Leo Anaonekanaal Akiwaa Busy Na Kazii Yake Hivo Hivoo Kwa Upande Wa Jordan Na Saraaah.
Upande Wa Njee Jordan Anaonekana
Akiizunguka zungukaa katikaa kuzunguka kwakee akiwa busy na simu yakee Ghafla anagonganaa na Mfanyakazi Wakike Ambaye Alikuwa Mrembo Sanaa Mwenye Kuvutia kbsa. “Samahani Boss Jay”Jenny Alisema Huku
Akiondokaa. Baadaa Ya Jenny kupigaa hatuaa kama tano ivii Jay Moyoo Ulimuumaa Sanaa.
“Hey Njoo Kwanza “Jay Alisemaa.
Jenny hakujali Aliamuaa Kurudii III Amsikilizee Jay
“Samahani Unaitwaa Nani” Jay Aliulizaa.
Kwa tabasamu kubwaa kabisa Jenny Alijitambulishaa.
“Aaah sawaa vp tunawezaa kwendaa Njee Tukaongee kidogoo “Jay Alisemaa
“Sawa Wewe Ni Boss Kwahiy Sizn Kama kuna hajaa Ya Kuombaa ruhusaa”
Wiwili hawaa waliondokaa na kwendaa zaoo. Tunarudii upande wa Ofisini Huko ndan Madam Lindaa Yupo Anawapigishaa Story wenzake. “Halfu Kesho Let Us Go Somewhere To Enjoy Au mnasemaje watoto wangu”Madam Lindaal Alisema.
“Yes Mammy Twendeni Tuchaguee Sehem Nzuri Kabisaa Twende Maake Tunamdaa Piaa hatujaa Enjoy Wotee Ety Jordan Alisemaa
huku Jichoo Kodooo Kwa Saraaah.
Saraah Yeye Aliambuliaa Kicheko kikubwa tuu nakusemaa “Nataka kuogeleaaa Tu Jmn” Watatu hao walichekaa sanaaa.
Upandee Wa Narshaa Anaonekaa Aklamkaa Akiwaa Na Maumivuu Katika Mwili Wake Anagunduaa kuwaa Mr Man Aliyelala nae yupo kasimama kwa njee na Anagunduaa kwamba Alimuingiliaa Kijinsiaa Na kumuumizaa vibayaa
Katika mwili wakee. “Nini hichii tenaa “Narshaa Alimuulizaa Mtu Yule.
“Usijali nataka tufanye biasharaa kwa pamoja mm ntakuwa kam Mpenzi wako Naelewa unamaumivu ya kuachwa but usijali tutalipiza
kisasi wotee”
Narsha kwa upnde wake alimpotezeaa na kwendaa kuogaa ilu aondokee aendelee na majukumu yakee menginee baada ya kuogaa Alimpigiaa Mr Mask
“Hellow Boss”Mr Mask Alisema.
“Naomba ufatiliee ile familia na ujue namna gan
ya kuiangamiza na usisahau kbsa hii wiki tutaenda kupokea mzigoo wetuu Fanyaa Ivoo Sawaa “Narshaa Alisemaa Na kukataa Simu Ileee.
Masaa Yaliendaa na Usiku piaa uliendaa
Ndani Ya Mjengo Leo Jay hayupo Kabsaa. Jordan Anaamuaa kumpigiaa Jay.
“Hellow leo uko wapi ase “Jordan Alisemaa.
“Hahah mimi nipo tukutanee kesho beach jmn kuweni na usiku mwema “Jay Alisema Na
kukataa Simu kabisaa. Wote walishangaa na ili wabidi kuamini tuu Jay Yup salama.
Upande wa Jay Jay Anaoneknaa Akiwaa Amemkumbatia Jenny na Huku Wakichekaa Kama Vichachaa Wadogoo (Mapenzii Ni Upofuu
Kiukweli).
Mpakaa hapo niwazi kabsaa kuwa watu hawa wanamahusianoo
“Beib Mimi Nahitaji Mtoto “Jenny Alisemaa. Kwa tabasamu kubwa Jay Alimshikaa mashavuu na kumwambiaa.
Its My Idea Piaa Tutapataa Usijali kabsaa kwasababu tumeshaelewanaa tutapataa na kesho ntaenda kukutambulishaa sehemu maan Familiaa yote itatokaa out kesho Jay Alisemaa Huku Akimpigaa mabusu shingoni na kumlambaa piaa hiyoo hahaa wawili hawaa walimalizanaa kitandani wenyew kbsaa
Usiku Ulipitaa Na hatimaye Palikuchaa Tenaa. Midaa Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekaa Kuwafatiliaa kina Madam Lindaa, Leo Mr Mask Anaonekana kutembea na risasii akiwaa na
mpango wa kuuwaa familiaa nzimaaa Mdaa huo Kweli Familiaa ilee inatokaa njee Ya fensi Na Gari Lao Nawanaanzaa Kuondokaa, Wanapoondokaa Mr Mask Yupo
Nyumaa Yao Akiwa Kashikaa Risasii na Kutarget sehem nzuri ya kupigaa petrol Tank ili Apitee Amalizie kuwashaa moto Garii lilee…..
Je Atawezaa Kuangamizaa familiaa Nzimaa Kwa Wakati Mmoja Na Vp hali Yao Itakuwajee
Chapter 18
Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
Na Risasi katikaa kazi yake akiwaa na lengo la
kuu la kuuwa familiaaa yotee, Mda huo kweli familiaa ile inaonekana kutokaa njee ya fensi na Gari Lao Na wanaaza. kuondokaa.
Mda Wanapoanza kuondoka Mr Mask Yupo Nyumaa Yao Akiwaa Kashikaa Risasi Yake Na kuterget vizuri ili petrol Tank na litakapo pasukaa tuu apigee risasi kweny lami ili asababishe cheche ambazo zitalipuaa gari na kuuwa familiaa nzimaa.
Wakati Mr Mask anafanyaa yale yote kumbe nyumaa yake kulikuwaa na defender ya polisi mda tu Mr Mask ananyanyua risasi yake ili kushoot anasikiaa “Upo chini Ya Ulinzi Usisogee Popote Wekaa Silahaa Yako Chini Na Unyooshee Mikono Juu” Polisi Alisemaa…
Mr Mask Kwa Ubishi Wake Alianza Kukimbiaa Polisi walikuwa hawanaa mdaa tenaa walimpigaa Risasi Ya Mguuni..
“Aaah Aaah Aah” Mr Mask Alisemaa kwa machungu sanaa huku akiliaaa. “Chukuaa Pingu Mfungee Na Awekwe Kwenye Gari Twende Kituoni Kwa Mahojiano Zaidi Hospital Badae Atapelekwa Akiwa Chini Ya Ulinzi.” Askari Polisi Alisemaa…
Mr Mask Alishikwa Na Polisi Nakishaa Kupelekwaa Kituo Cha Polisii
Upande wa pili huku Madam Lindaa Jordan na Saraah wamefikaa zao beach ni mwendo wa story vichekoo tu Maraa Nyuma yao wanasikiaa sautii ya Jay Akisemaa “Surprise”.
Wanapogeukaa nyumaa wanakutanaa na Jay Akiwaa na Jenny wakiwaa wameshikanaa mikono hao.
“Heee Jay Kaletaa Mchumba “Jordan Alisema huku Akichekaa sanaa Madam Lindaa Na Sarah wote walishiaa kuchekaa sanaa maana hawakutegemea kituu icho ukikumbukaa ni jana tu ndo Jay Alikuwa
Singlee Ety Leo Kapataa Mtu
“Hahah Yeah Is My Queen Tenaa Wife Mmh Anaitwaa Jenny “Jay Alisema huku akiwaa na tabasamu sanaa….
“Half kunakitu hatujaa sema hapa tumetokea hospitalini kupimaa kituu na imejulikanaa kwambaa Mrs Jay Anamimba Yangu yenye siku tu Jay Alisem kwa tabasamu sanaa. “Ase napata wajukuu wawili wasio pishanaa sanaa “Madam Linda Alisema huku akiwa na furaha sana had machozi piaa, Vicheko na Tabasamu La Kweli Lilizidii
kuonekana maana hawakutegemea mambo meng hasaa kuishaa kwa ugomvi na familia kukaa chini tenaa kwa pamojaa. Mr. Mask Akiwa Kituoni anakutana na kipigo kikali sanaa ambacho kinasababishwaa na kutokusemaa yupo chini ya nan yaan ni nan anayempaizoo kazi (Boss wake.) Lakini na Juhudi zote izoo za polisi bado Mr Mask Anakuwaa Mgum Kusemaaa. Na Polisi wanachoamuaa ni kumchukuaa na kumpelekaa
hospitalini kwa matibabu ya awali kwanza maan alikuwaa na jerahaa kali la maumivu ya mguuni alipopigwa risasi
Mr Mask Akiwa Hospitalini taarifa zinafikaa kwa
Narsha. “Kama hili limetokeaa basi Mr Mask Lazim auwawe akiwaa hapo hapo hospitalini.” Narshaa Alisemaa huku Akijiandaa na kubebaa kakopo kasumu kenye sindan kwa lengo la kupump dawaa kweny milija ya Drip. Narshaa anavaaa nguo aina ya baibuli isiyoweza kumuonesha
kbsaaa.
Malekezo yote Nasraa alikuwaa ameshapataa kwahiyo alipofikaa hospitalini alipitaa shortcuts ili kufikaa chumba kilee.
Lkn kumbe polisi piaa wamepataa taarifaa tayari kuwaa Boss Wa Mr Mask Atakuwep Hapo Hospitalin Kwaajili ya kuja kumuona Polisi wanatapakaa konaa zote za hospitalini ili watakapo muona wamkamate kwa wepesi.
“Mmh Ivi kumbe wamegunduaa ntakuwaa hapaa ilaaa sio mbayaa ngoja waonee kama watanipataa “Narsha Alisemaa huku akiangazaa huku na kulee na ndipo alipofanikiwaa kumuonaa. nurse mmoja
aliyekuwaa anaingiaa chooni. Narshaa alimfataa kwa nyumaa na yeye akaingiaa chooni mule.
“Naombaa uvue hizi nguo zako na unipatiee lasihivo utakufaa hapahapa “Narshaa Alisemaa Akiwaa na Kisuu Mkononii ambacho kilikuwa kikalii sanaa..
Yule Nurse kwa uogaa Alivuaa Nguo па kumpatiaa na kishaa Narshaa akamfungiaa mulee chooni na yeye kuondoka. Narshaa alipanda ngaz kwa ngazi kama Nurse wa pale Ikn kumbe
ni kama muuuwajii. “Samahni polisi nahitaji kufikaa katika chumba nmba 226 kwa ajiri ya matibabu ya mgonjwaa. “Narshaa Alisemaa.
“Hapana Hairuhisiwi mtu yoyote kuingiaa katikaa icho chumbaa kwasasa Polisi Alisemaa. “Hapana na kibali tayr natakiwaa nikampee mgojwaa hudumaa maake ni mdaa wa matibabu yake “Narshaa Alisemaa.
Walizidi kubishanaa sanaa kwa mdaa mrefu piaaa. Narshaa Alionaa kamaa hapo atapotezaa mdaa na kujaa kukutwaaa hapo Alichoaamuaa nikugeuza ili aondokee mdaa anageuzaa tu Sauti ili sikikaa ikiombaa msaadaa na haikuwaa ya mtu mwingne alikuwaa ni yule nurse Baada ya polisi kusikiaa vile alikimbiaa ili kutoaa msaaadaa na hap ndipo Narsha Alipo ingiaa mulee chumbn.
“Mr Mask kazi yang imekushindaa na bado upo chini ya ulinzi sasa ili usiumiee zaiidi.boraa nikuuwe mwenyewe “Narshaa alisema huku akichomekaa sindano kweny mlija wa drip ile… “Narshaa kweli unaniuaa kweli “Mr Mask Alisemaa Vilee huku akiumiaa na kutoaa machozii…
Polisi wanafikaa na kumfunguliaa mlango yule mdada.mdada yulee anapigaa kelel akisema “Muuwaji Yupo Juu Muuwaji Yupo Juu “Nurse
yulee alisemaa
Na hapo ndipo polisi walipo pataa akili na kugundua yule hakuwaa nurse alikuw nimuuwaji ndo maana alitakaa sana kwendaa kule ndanil ..polisii wanaamuaa kurudi speed sanaa kulee juu.
Narshaa akiwa kulee chumbn anamalizaa kazi yakee na kufunguaa mlango kutoka mdaa anatokaa anawaona polisi hao wakijaa juu kwa speed Na polisi piaa wanamuona kinachofata ni
mshike.
“Hakikisheni hatoki hapaa polisi mkuu alisema. Narshaa nae aliongeza speed ya kukimbiaa sanaa make akidabwaa hapo ni shuhurii nyingnè tenaa
Jee Polisi Watafanikiwa au watashidwaa kumkamataa na vip hali yaa Mr Mask Itakuwajee
Chapter 19 & 20
Narshaa akiwa kule chumbani anamalizaa kazi yake na kufunguaa mlango kutoka,mda anatika anawaonaa polisi na polisi pia wanamuona Narsha anatokaa akiwa anakimbiaa sanaa huku
polisi wakimfukuziaa sanaa
“Hakikisheni haondokii hapaa Polisi Alisemaa. Polisi walikaa huku na kulee ili anapokujaa tuu akamatwee Narshaa alikimbiaa na kujifichaa sehem na kutoa sim kumpigiaa yule Mr Man Kwajili Yaa Msaadaa. “Nipo kwenye matatizo naombaa msaadaa wako Narsha Aliisema.
“Nilijua tu bila mm huwez nipo njiani nakujaa “Mr Man Alisemaa. Njiani Mr Man anaonekanaa kuendeshaa gari speed huku akiongeaa na simuu nyingnee. “Kesho tunakamilisha kila kitu kwahiy naombaa
tuu mkae pozi la kwenda Mr Man Allikata simu na kuendelea na safarii yakee ya kwenda kwa Narshaa. Anafanikiwaa kumtorosha Narsha plaa kutoka
pale hospitalini. Upande wa Hospitalini Mr Mask Akiwa na hali mbayaa sanaa na maumivu ya kusalitiwaa na Narsha anaamuaa kuaanzaa kusemaa sirli zotee za Narshaa kwa askari polisi. anaanzaa kwa kusemaa “Narshaa sio mtu
Mwemaa Ni muuwaji madawa ya kulevyaa.
yapokelewa kesho airpot mauwaji na kaniuwaa
plaa “Mr Mask Alimalizaa kusemaa hayo uku akitubu dhambi zakee na akafariki palee palee maana ilee sumu ilikuwaa imeshamtafunaa sanaa mwilini.
Familiaa ya madam Lindaa wapo wakifurahi sanaaa maana hawakupata furahaa kbsaa Saraah leo anaamuaa kuwapigiaa wazazi wake
waliopo Marekani
“Hellow how are you “Saraah alisema. Jmn Saraah ni mdaa hatuja onana kipenzi “Mama Saraa Alisema. Walisalimianaa sanaa maana ilikuwaa ni mdaa
sana hawajaongeaa. “Mam kunakitu nataka kukwambia ety “Saraah Alisema “Nambie mwanangu wa pekee siunaelewaa. kilaa kitu must nikusikilize maana wew ndo zawad yetu kutoka kwa Mungu. “Mama Saraah Alijibu huku akitikisaa kichwaa kama isharaa ya kukubalianaa na jambo lilė.
“Mama ninamchumba na si mwingne ni Abddulh yule wa zamn mama Saraah Alisema. “Wooow baby jmn “Mama aliisemaa.
Saraaah alianzaa kumueeleza story mzaa kuhus Jordan from the first day ameenda kule Dar es salaam na mpk kuhus yeye kujaa Huku Arushaa
kikazi hadi kukutanaa nae tena. “Daah Kweli Mungu Kakusaidiaa Sanaa Mwanangu, Kwahiyo uyo mkwe wangu Yuko wap “Mama Saraah Alisemaa. “Yupo Anakusilizaa piaa. Saraah alisema ivo huku Jordan Akisogea eneo alipokuwepo ill aonekanee plaa
“Jamn Handsome sanaa Ety “Mama Saraah. alisemaa huku akitoaa maneno mazur ya kumsifiaaa Jordan
Jordan aliaanza kwa kusalimiaa na kuanzaa. kuwapigishaa maake ukizingatia Jordan Ni mchangamfu sanaa.
“Mam Na Baba kuna kitu sijawaambia ni kwambaa Saraah Anamimba tyr Ya katoto ketu ka kwarıza Jordan Alisemaa kwa msisitizoo sanaa
“Woow jmn kajuukuu jmn, Ilqq naombeni mfunge harusi hivi karibun ili muwe na uhuruu mkubwaa sanaa sawa wanangu Mama Saraah Alisemaa huku baba saraah piaa akiwaa na
furahaa sana. “Usijali mama ni baada ya wiki mbili tuu mbeleni. bas tutaanzaa maandalizi ya harusi “Jordan
Alisemaa
“Hahah sawaa nmefurahi ww ni mkwe boraal
wiki ijayo ntakujaa uko nawapenda sana wanangu “mama Saraah alijibu.. Waliongeaa kwa mdaa mrefu sanaa ambao kuhusu mambo mengi sanaa maana kwasasa familiaa yao imekuaa kubwaa sasaa
Ni midaa ya usiku sasa upande wa Narsha wakiwaa wamekaa wanajianda kupokeaa mzgo wao wa madawa ya kulevyaa.
“Mda Maalumu kwaa ajir ya mzigo ni kesho saa 9 asubuhi katik uwanjaa wa ndege tutasubir ndege private ndo yenye mzigo wetuu Narshaa Alizidii kutoa tarifaa kwa watu wake ili wajipangee kbsaa Ikn yote ayo anaongeaa Mr
Man Akliwa anamsikilizaa kbsaa. Baada ya dakikaa kama tano Mr Man Anaendaal njee nakuanza kuongea na simu akisemaa. “Mdaa Ndo huu kesho mnatakiwaa kuvamia
palee mtakapoonaa blashraa inamalizikaa kumbukeni lengo letu kuu nikumfirisii huyu mwanamkee “Mr Man Alisemaa na kusisitizaa sanaa akiwaakumbusha mdaaa ni saa 9 alfajirii sanaa na baada yaa apo alikataa simu ilee. Mpka hapo inaonekana kbsaa kuwaa Mr Man
Plaa Hana Mpango Mzuri na Narshaa..
Huo huo mdaa polisi wapo makini kabisaa wanapanga mikakati maana Marehemu Mr Mask Alikuwa Ameshawapaa Documents Zote kuhs siku hiyo kwahiyo sasa ni mdaa wa wao kujiandaa usiku ulee polisi hawakulala kbsaa
maana walikuwaa wanatafutaa wahusika wa madawa na pesaa za bandia kwahly polisi walichoamuaa ni kwendaa maeneo ya airport na kukaa kabisaaa ili mdaa utakapofikaa wawatime vizuri na kuwakamataa hapo hapo…. Mdaa ulizidi kwendaa na hatimaye ni midaa ya saa 9 Polisi wakiwaa tayr eneo la tukio kwa ajili ya kazii.
Ni saa 9:10 Msafaraa wa Narsha unaoneka na kufikaa mahali palee kwaa ajirii ya kufanya
biashara yao. Na Ndege piaa inafika Ikn wanaotokas njee ya ndege ni watu kutokaa njee yaan walikuwa ni wapakstani kbsa. Kwahiyo izi ni biasharaa haraam za nch na nchi
, Wanapaanza kufanya mabadilishano ghaflaa tenaa yanaingiaa magari matano meusi yenye watu ambao walikuwaa na silaha kali na walipo fika pale wanawazungukaa wale wote yaan hichi sio kikosi cha mwingne ni cha Mr Man.
Mr Man Anaanzaa kuchekaa kwa nguvu sanaa kiasi ambachoo watu wanashangaa kbsa”Narsha ulizan mm nipo na ww hapnaa kitu kama ichoo lengo langu lilikuwaa kukuangushaa sasa kama mnataka kupona weken kilaa kitu chini na mtupatie pesaaa na madawaa piaa tuondokeee
Ubishi kati yao uliaanzaa maan hicho kitu kwanzaa Narshaa hakuwahi kukiwaza kbsa lkn leo anasalitiwas na yule ayekuwa anamuamini na kumuonaa mwemaa sanaa kwakee Ikn leo ndo kasalitii Wakati wote yanafanyka polisi
walikuwaa wakishuudiaa tuu.
321 Vamiaa “Kamandaa mkuu alisemaa na
kweli polisi wote walivamia sehem ile na kuwaweka chini hataa Ivo polisi walikuwas. wengi kwahiyo kupitiaa wingi wao kazi ilikuw nyepesii sanaa kwao na waaarifu wote walipelekwaa jeraa na mahakamn kwaa aajiri ya hukumu yao. Narshaa aliumiaa na kujutiaa sanaaa Ikn yote hayo alijilahum kwann aliyafanyaa lkn hakupaataa jibu sahihi.
Ni Asubuhi nyingnee Tenaa Famiiaa ya Madam Lindaa Wakiwaa wanakunywaa chal wanashuudiaa Taarifaa kamili Wote hawaa wana huzunikaa maan Narsha Alikuwa kam Ndugu kwao lkn leo ameamua kuchagua sehem Isiyo sahihi kbsaa.
Siku Zinapita na Leo inaonekana kuwaa ni Harusi ya watu hawa Wanne Yaan Saarah Jordan, Jay Na Jenny plaa Harusi yao inakwendaa vizurii sanaa maana hataa wazazi wa Saraah Walikuwepo.
Maishaa yanazidii kwendaa kbsaa Na familiaa Nzimaa inaamuaa kurudi Dar na msimamizi wa company anawekwaa Mr Poul. Ambayee anaonekana kuendesha campany
kwa Akili sanaa na juhudi piaaa. “Ndani ya Maishaa Usikate Tamaa Ya kitu Falanil Maana Kilaa Kitu hupatikana hakunaa ambacho huwaa hakirudi au hakipatikani.

