NAJUTA KUMUOA CHANGUDOA
SEHEMU YA KUMI NA SITA
Nilishangaa Sana nikabaki namtumbulia macho “Wee dada Vipi taira nini Ebu toka” ilibidi nitoke nikakutana na kundi la wadada wanaojiuza nao wamekimbilia guest nikajua Mamaa nakamatwa muda si mrefu nifanyeje sasa nifatane na wale wa Dada au la maana niliwaona wanakimbilia chooni ikabidi nianze kufungua kila chumba nibahatishe chumba kilichokuwa wazi,Polisi nao washafika eneo la tukio “Watakuwa wako chooni”Polisi mmoja alikisia na ikawa kweli wakaingia chooni.Mimi waliniona Ila walihisi nimetoka chumbani maana nilikuwa nimeshikilia mlango “Dada salamu alaykum”Polisi mmoja alinipa salamu Kwa kuniheshimu mavazi niliyovaa “Waalakumusalam””Samahani kama utakuwa unataka kwenda chooni subiri kidogo kuna watu tuwakamate””Sawa haina Shida”Niliitikia huku ule woga wangu wa kukamatwa ukiwa unaishiaishia.Ili kuonyesha msisitizo nikasogea kabisa karibu na Yule Polisi kusubiri wale wadada wakamatwe ili nami niingie chooni .Muda si mrefu Polisi walitoka na wale Malaya alafu Askari mmoja akaniomba msamaha “Dada Samahani Kwa usumbufu” Mimi nikaitikia “Haina Shida” Kisha nikaingia chooni. Nilipofika chooni nikawaza nifanye nini sasa,nikajihisi nimechoka kutokana na purukushani za siku nzima nikahisi nahitaji mapumziko ya kulala Ila nikaona acha nioge Kwanza.Nikafungua bomba la mvua na kuanza kuoga.Unajua Bwana vyoo vya guest hamna Kwa wanaume wala wanawake wote mnaingia sehemu moja mara nikasikia jamaa wawili wanaongea “Dah hawa Polisi wamekuja kutuharibia mudi kweli ,Yahaani mtu ushakodisha chumba usiku mzima alafu unalala Bila Malaya kweli si Bora tu pesa yetu ya guest tunywe bia tutalala kwenye viti”Hapo nikapata wazo Mimi nilikuwa na shida ya kulala siku hiyo kwanini nisiwatunuku tu hawa mpaka asubuhi.Ilibidi nitoke fasta uchi uchi nikawauliza “Kwani mna sh ngapi””Elfu ishirini usiku mzima””Duh wote wawili Kwa elfu ishirini!””we unataka sh ngapi””Mi nataka elfu 40″Tulikubaliana tukaingia chumbani wakapiga bao mojamoja alafu wakawa wanasubiri wasimamishe tena Ila wakachemka wakasema “itabidi tupige vile vya asubuhiasubuhi tulale Kwanza” “Poa”Nikawajibu alafu nikauchapa usingizi.Asubuhi saa kumi na moja wakaniamsha wakakojoa tena bao mojamoja alafu hao wakaenda kuoga wakaondoka nafikiri walikuwa na safari hawa watu.wakaniachia umiliki wa chumba nikafunga mlango nikahesabu pesa zangu ni laki moja na elfu 80.Ikabidi nimalizie usingizi wangu
SEHEMU YA KUMI NA SABA
Nilipitiwa na usingizi nikaamka kama saa tatu hivi baada ya muhudumu kugonga mlango wangu “Hodihodi Muda wa guest ushakwisha tunataka kufanya usafi”Basi ikabidi niamke fasta nikavaa viwalo vyangu pamoja na lile juba nikatoka nje Ila nikawa na mawazo “Dada Maria pale alikuwa anafanya nini?”Mimi ninavyojua Dada Maria ana mume Sasa imekuwaje tena pale anafanya mambo ya ajabu.Ikabidi niende mapokezi kuulizia “Samahani Kaka naweza kupata kitabu cha majina ya wateja walioingia Jana hapa”Yule mkaka akanishangaa ghafla Bila salamu wala chochote namuuliza maswali ya ajabu “Dada vipi Bila salamu Bila kujitambulisha wewe ni Nani unaniuliza swali kama Hilo” Ikabidi niwe mpole “Samahani za asubuhi nilipitiwa ,Mimi naitwa Frida nimetokea songea sasa jana nilimuona mtu kama Dada yangu hapa ndo maana nimeuliza kitabu cha majina ya wageni waliolala hapa Jana” “Aahaa Hapo sawa unajua siku nyingine mtu anaweza akahisi wewe ni Askari,Ila bahati mbaya hapa Sisi hatuandikagi majina””Basi Kaka kuna msichana mmoja ameingia chumba kile cha Kwanza sijui unamfahamu”Yule Kaka akabaki kucheka “Dada yangu Mimi hapa napokeaga tu wageni siwezi kumfahamu mtu labda kidogo angekuwa changudoa wa hapa ningemjua” Basi nikaondoka nikiwa nimekata tamaa ya kumpata Dada Maria nikawa naendelea kuwaza “Inamaana Maria anachepuka Kwa mumewe au ameachika”Basi ikabidi niondoke kiunyonge nikatoka nje ya baa nikawa nasubiri gari kituo la buguruni likaja gari nikapanda nikakaa siti ya dirishani nikiwa naishangaa Shangaa Ile baa mara nikamuona Dada Maria anatoka kwenye baa akaita bodaboda.Nilishtuka nikamwambia konda fasta “Samahani kuna kitu nimesahau naomba nishuke” Wakati huo gari lilikuwa lishaanza kuondoka “Dreva simamisha gari kidogo tumshushe huyu Dada sijui ana mawazo gani”Nikashuka aise mpaka kuvuka barabara alikuwa ashaondoka nikaita “Maria “Kwa nguvu lakini pengine hakusikia au kama alisikia basi alisikia Kwa mbali maana nilimuona akigeuka huku na huku kuangalia anayemuita Nani lakini hakumuona,Sikukata tamaa Ikabidi niende kuwauliza wale bodaboda “Eti mnamjua Yule Dada aliyeondoka na pikipiki saa hivi”Bodaboda Ikabidi waangaliane wakacheka mmoja akasema kimasihara “Tunamjua ndio ni mbunge wa jimbo la Temeke”Alafu wakacheka wote nikagundua nimeuliza swali la kipuuzi. Nikabaki nimenyong’onyea nikawaza ndipo nikapata wazo niifatilie pikipiki licha ya hivyo ilishafika mbali.”Tunaweza kuifata Ile pikipiki?” Nikawauliza bodaboda “Ndio lakini washafika mbali,Lakini haina Shida subiri nimpigie simu Yule aliyembeba Yule Dada tuone wameelekea upande gani”Bodaboda mmoja alinipa maneno yaliyonitia moyo huku akipekua namba kwenye simu na kupiga. Alipiga simu ikaita Sana lakini jamaa hakupokea “Dah jamaa mwenyewe hapokei Dada labda umsubiri”Ikabidi nimsubiri mara kidogo bodaboda hiyo Hapo imerudi kumbe hakumpeleka mbali .Wakati huo Judy naye alikuwa anatoka baa “Eehee Frida mbona bado huko hapa Ebu twende nyumbani wenzetu wako Polisi tukawatoe””Subiri kidogo”nilijibu nikiwa na shauku ya kumuuliza maswali Yule bodaboda aliyempeleka Dada Maria “Eehee Judy mbaya wako nimempeleka Sasa hivi” Yule bodaboda alipofika tu Hilo ndo likawa neno lake la kwanza
SEHEMU YA KUMI NA NANE
“Achana naye mshamba tu yule”Judy alijibu Kwa kebehi inavyoonekana Judy na Maria wanaugomvi wao.”Frida turudi nyumbani tukawatoe wenzetu” Judy aliniambia Mimi nikamjibu “Subiri Kwanza”alafu nikamwambia bodaboda “Samahani kaka unaweza kunipeleka ulipompeleka Maria””Maria ndo Nani?”Kumbe inavyoonekana Maria hatumii jina lake halisi anajiita Queen. “huyo huyo Queen” “Eehe we Frida vipi unataka kwenda Kwa Queen kufanya nini ebu turudi nyumbani bwana” Judy alisema huku amenishika mkono ananivuta kama mtoto mdogo nikakasirika nikatoa mkono “Ebu niache kwanza””We unajua wenzetu wako ndani”Nikamjibu Kwa hasira “Bwanaeee tangulia nakuja”Judy alikasirika na lile jibu nililompa ikabidi aondoke zake.Yule bodaboda akajibu “Ndio ni buku” Nikatoa pesa na kurudishiwa chenchi Kisha nikapanda hao mpaka Kwa Dada Maria.Si mbali sana na hapo Kwa sokota ila kama unavyojua nauli ya bodaboda popote inaanzia buku.”Ndo hapa”Ikabidi nishuke kisha bodaboda kuondoka.Ilikuwa ni nyumba moja nzuri wala sikutarajia kama Dada yangu anaishi humo “Duh hapa Dada Maria anaishi na mumewe?” Ilibidi nijiulize kabla ya kugonga nikagonga nikaanza kuhisi “Au nimemfananisha” Muda kidogo Dada Maria huyo akaja kufungua “Eehee Frida umefikajefikaje hapa”Dada Maria alishangaa kwa maana hakutarajia kama nitakuja tena kufika mpaka nyumbani kwake kabisa Ikabidi anikaribishe mpaka sebuleni “Karibu mdogo wangu,Umenishangaza sana umefika mpaka kwangu kabisa umefikajefikaje”Ikabidi nimuelezee story yote mpaka Mimi kufika pale kisha akasikitika “Pole sana mdogo wangu lakini unakujaje mjini bila taarifa,Ndio kipindi kile nilikuwa nakaa ubungo stend lakini si rahisi kumpata mtu Kwa staili hiyo unayoijua wewe” “Samahani Dada yangu”Ikabidi niombe msamaha “Shemeji yu kwapi?”nikauliza swali yeye akajibu “Shemeji yako nilishaachana naye Muda mrefu na saa hizi naishi mjini Kwa kazi uliyonikuta nayo Jana, Pamoja na yote nisingependa wewe uendelee kufanya kazi kama nayofanya Mimi,Saa hivi twende buguruni ukachukue mafurushi yako,Kesho nikusindikize asubuhi ukapande gari urudi nyumbani Sawa””Sawa”Niliitikia kinyonge ila kiukweli sikuipenda kauli ya Dada Maria kusema ananirudisha nyumbani.Dada Maria alijiandaa Kisha tukaelekea buguruni.
SEHEMU YA KUMI NA TISA
Tulifika buguruni tukawakuta wale wenzetu ndo wametoka kutolewa na Judy polisi.Yahaani walikuwa kama vile wananisubiri mimi vile kufika tu nikaanza kushambuliwa na maneno “Wee mshenzi ebu nipe elfu 15″ Fred huyo.”Nilipe elfu 10 yangu ya KY” Rose huyo.”Huyu Malaya aondoke hatumtaki”mwingine huyo “Alafu eti anaushoga na Queen”Judy huyo.”Queen Yule Malaya mchafu”Basi mradi maneno tu Mimi nikavua kile kiblauzi nikakirudisha Kwanza Kwa Rose.Juba la watu nikalirudisha Kwa Judy “Juba hili linahitaji maji hivyo Fanya unipe hata buku”Nikachukua furushi langu nikatoa nguo nikavaa nikaanza kuwalipa pesa zao alafu nikabeba furushi langu nikaaga “Kwaherini jamani asanteni Kwa msaada wenu””Haya nenda mama usirudi hapa alisema mmoja wao”Mimi nikaondoka .Wakati huo Dada Maria alikuwa nje ananisubiri. Akanipokea furushi tukarudi Kwa sokota.Siku hiyo Dada hakwenda kazini tulishinda wote nyumbani huku akinisisitiza kuwa mjini sio kuzuri pia akiniambia kuwa asingependa kuniona mdogo wake nakuwa changudoa.Kwa kweli iliniuma sana Ila nilishindwa kumwambia kuwa Mimi sitaki kurudi kijijini.Tulilala tukaingoja kesho na kesho ikafika alfajiri ya saa kumi Dada alinikurupua “Haya amka ujiandae”Niliamka Kwa unyonge sana nikajiandaa.Kisha yeye akanitolea begi la nguo zake amenipa kama zawadi “Hizi nguo ni nzuri utavaa mdogo wangu sawa””Sawa” nilipokea lile begi Kwa huzuni sana. Hao tukaongozana mpaka ubungo akanikatia tiketi na kunipa hela ya Kula njiani da kwakweli alinihuzunisha sana
SEHEMU YA ISHIRINI
Gari ilianza kuondoka mida ya saa kumi na mbili kamili huku moyo wangu ukiwa unaendelea kufukuta.Nilijikuta namkasirikia Dada yangu.Nilikaa kitambo kidogo kwenye gari huku nikiwaza narudi kijijini kufanya nini sasa,Kulima,au narudi nikapauke?Kwanini Dada yeye yupo mjini na anafanya biashara zile zile na anajionea Sawa .Nikajikuta naanza kupata ujasiri nikamwambia konda “Samahani naweza kushuka hapo””Eehee kufanya nini?””Kuna kitu nimesahau” “Dada ukishuka Kwa hiyari yako nauli hairudishwi””Haina shida sihitaji hata hiyo nauli”Basi nikashushwa sikujua ni wapi ila baadaye nilijua ni kimara baada ya kuulizia kwa watu.Ilibidi niende buguruni licha ya kuwa wamenifukuza,Nilipofika buguruni ilikuwa bado asubuhi nikakodi Guest ya kulala siku hiyo pia kupaki vitu vyangu mchana maana nisingeweza kutembea na mizigo kila napo kwenda.Nikatoa baadhi ya viwalo kwenye begi la dada nikavivaa.Kisha nikawa nimetulia tu mitaa ya buguruni nasubiri kiza kiingie ili nimuone Rose kuna maswali machache nimuulize lengo langu halikuwa tena kuishi Kwa Fred maana siku ile nilifukuzwa kama mbwa.Usiku ulifika nami nikajongea nikamkuta Rose kama kawaida amejitenga peke yake “Mambo Dada Rose” “Eehee Frida mi najua uko sokota””Sokota wapi we acha tu dada yangu” Ikabidi nimueleze stori yote ilivyokuwa mpaka mimi kufika pale “Kwa hiyo unampango gani?””Mi nimekufata ili unielekeze maeneo biashara hizi zinapofanyika ili nami nikatafute Maisha huko””Haina Shida”Rose alinielekeza maeneo mengi tu uwanja wa fisi, kinondoni makaburini,Temeke hospital,Mbagala Zakhem nk.Pia alinielekeza namna wanavyojiuza watu huko kulingana na eneo ,Kote huko sikukupenda ila nilioapenda Mbagala Zakhem kutokana unakaa kwenye baa ukipata mteja analipia guest na anakupa pesa yako pia nilipapenda kwasababu ni vigumu kukamatwa na askari. Rose akanipa namba ya simu ya mdada fulani anayejiuza pale nikifika nimtafute.
INAENDELEA…………