NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGUðŸ˜
Episode 46
Baada ya nusu saa hivi tulisikia ngurumo ya gari nje, mama alitoka ndani kwenda kuangalia, alikuwa ni baba Rey akiwa ameambatana na vijana wake wanne, mama aliwakaribisha ndani mwenyekiti akiwemo, baba Rey alinitizama kwa hasira sana kiasi kwamba mapigo yangu ya moyo alianza kwenda kasi kuliko wakati wowote ule katika maisha yangu.
“Mama Radhia hebu wakati unaongea na wageni narudi sasa hivi” Mwenyekiti alimwambia mama . “Ah sasa mwenyekiti unaenda wapi wakati suala hili pia lipo kwenye majukumu yako ya kazi?” Mama alimwambia mwenyekiti,
Mwenye kiti akamwangalia mama na kumpa ishara fulani ya kumkonyeza🤨 “Narudi sasa hivi” alisema mwenyekiti na kuondoka zake.
Episode 47
“Mama sisi hatuna mengi ya kuongea hapa tumekuja kuchukua wahalifu wetu maana tumeacha mazishi bado inaendelea huko nyumbani hivyo tulitaka hawa wawe kwanza chini ya ulinzi wa polisi” alisema baba Rey 😳 nikaogopa sana. “Ni sawa baba lakini hiki kijiji kina sheria huyu mwanangu naye ni miongoni mwa wanakijiji ndio maana suala hili nimemshirikisha mwenyekiti basi ningeomba usubiri mwenyekiti arudi, ili naye aseme lake” alisema mama . “Ouky ni sawa pia” baba Rey alijibu huku akinitazama sana kama vile anataka kunimeza mzima mzima.
Tuliendelea kusubiri huku kimya kifupi kikichukua nafasi, kila mmoja alikuwa amekaa kimya akiwaza🤔lake, muda usisogea kidogo mara tukasikia hodi, “karibuni” alijibu mama ndipo tukamuona mwenyekiti akiingia ndani pamoja na maafisa wa polisi wanne ambao wote walikuwa wameing’iniza pingu kwenye luksi za suruali zao za kazi. Baba Rey alitoa macho 😳kwa mshangao, hakujua ni kitu gani kinaendelea mpaka polisi wamefika pale…..
JE NINI KILIENDELEA SASA?
Episode 48
“Hodi” Tulisikia mtu akibisha hodi mlangoni. “karibu” aliitikia mama, mara tukashangaa mwenyekiti akiingia ndani akiwa ameongozana na askari wanne ambao walikuwa wamening’iniza pingu kwenye luksi za suruali zao za kazi, baba Rey alionekana kuingiwa na wasiwasi😳 na kuwa kama mtu anayeshangaa kuwa imekuwaje wale polisi wakaenda kuitwa.
“Habari zenu, mimi naitwa askari Jose” alijitambulisha askari aliyeonekana kuwa mkubwa kuliko wenzake huku akitoa kitambulisho chake na kutuonyesha wote mule ndani, basi na wenzake wakafanya hivyo hivyo, baada ya hapo askari Jose akaanza kuongea. “Sisi kama askari tumehusishwa kwenye jambo ambalo nadhani ndilo lililowaleta nyinyi wageni wetu” alisema askari Jose baba Rey na wenzake wakakung’uta vichwa vyao juu chini, ishara ya kukubaliana na afande Jose.
Episode 49
“Basi ni hivi tumepata habari kuwa hawa mabinti huko walikotoka wamesababisha maafa hivyo lengo lenu kuja ni kuwafikisha hawa mabinti kwenye vyombo vya dola kusudi wachukuliwe hatua kali za kisheria kama wahalifu wengine au sivyo” aliuliza askari Jose. “Ndio hivyo kabisa afande” alijibu baba Rey.
“Sawa lakini pia tunasikia hawa mabinti huko walipotoka wamenyanyasika kwa zaidi ya miaka sita wakafanyishwa mapenzi na mbwa na video zao zikirekodiwa na kwenda kuuzwa nje ya nchi, biashara hiyo haramu imeshamiri sana Tanzania na inafanyika kwa siri sana, sasa nyinyi ni miongoni mwa wahusika mnaofanya biashara hiyo😳” alisema askari Jose kwa sauti kidogo iliyojaa chembechembe za ukali.
Episode 50
“Hapana afande hizo ni njia tu za hawa mabinti wanatumia kujitetea, lakini hawa mabinti walikuwa wanafanya kazi kwangu, mmoja ni mfanyakazi wa ndani na mwingine ni mfanyakazi wa wa dukani” alisema baba Rey bila kujua kwamba ushahidi wote upo kwasababu tuliondoka Dar na simu ya mama Rey, kisha tukamkabidhi mwenyekiti na mwenyekiti akawapa polisi.
“😂Mzee wangu hivi unajua ushahidi wote tunao hapa🤨” alisema askari Jose kwa kucheka kisha akakunja sura yake mara moja. “Kweli afande mimi ni binadamu siwe…siwe…siwe” baba Rey aliongea kwa kigugumizi huku akitetemeka kama mpapai uliopigwa na kumbunga baada ya kuona afande Jose akitoa simu ya mama Rey mfukoni mwake😳 alishangaa sana, akabaki aki…..
JE NINI KILIENDELEA?