NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU.
Episode 16
Vijana wale watatu ambao walijazia miili yao mithili ya wapiganaji wa miereka, wakaninyakuwa pale nilipokuwa nimekaa na kunitoa nje kwa nguvu😭huku nikiwa nalia kwakuwa nilikuwa sijui ni wapi wananipeleka,, basi walipotoa uwani wakanipakiza ndani ya ya gari lao jeusi, mule ndani ya gari wakaniziba mdomo wangu kwa gundi nyeusi ya karatasi na kunifunga mikono yangu na miguu kwa kamba ngumu sana.
Wote waliingia ndani ya gari akiwemo Rey, kisha Dereva akapandisha viyoo juu ambavyo vilikuwa ni viyoo vya Tinted (kiyoo cheusi ambacho hakioneshi ndani) akaliwasha gari na kumpigia mlinzi honi afungue geti, mlinzi alipofungua geti dereva alitoa gari nje ya geti kisha akaishika barabarabara kuu na kuanza kuendesha gari kwa speedi kama vile anaendesha ambulance iliyobeba mgonjwa mahututi. Gari lilitembea kwenye barabara kuu kwa mwendo mrefu kisha likafika sehemu, likaiacha barabara kuu na kuishika barabara ya vumbi inayoelekea msituni😳 hofu ilizidi kunimeza kwani sikujua napelekwa wapi.
Gari lilizidi kwenda msituni tena ndani ndani sana kiasi kwamba kulikuwa na miti mingi iliyojifungafunga kwa matawi yake na kutengeneza giza fulani hivi, 😳 kwa macho ya woga na yaliyojaa machozi 😭nikamtazama Rey bado Rey alizidi kunipa ishara ya kunikonyeza kana kwamba ana jambo lake anataka kulifanya. Hatimaye tukafika kwenye jumba moja kubwa sana lililokuwa huko msituni, taa kubwa za sola zilikuwa zikiwaka kila kona ya jumba hilo licha ya kwamba ilikuwa ni mishale ya saa 9 jioni lakini ungeweza kusema ni saa 1 usiku kutokana na giza la msitu.
Episode 17
Haraka nilivutwa nje ya gari putaputa nusura nivunjike mguu 😭 nikaingizwa ndani ya jumba lile,😳 nikashangaa kuwaona wasichana wengi ndani ya jumba lile, ajabu nikashangaa kuwaona wazungu kama wanne hivi ambao ndio walikuwa wasimamizi wakiwa wameshika makaratasi fulani hivi kwenye mikono yao kama kwamba mule ndani kuna biashara haramu ilikuwa inaendelea.
Basi bwana Rey akaanza kuongea na wale miamba watatu waliojazia miili yao kama wacheza masumbwi, “Jamani naombeni mniwie radhi kwa hili, naombeni kwenye hela alizowapa baba yangu niongezee milio 3 mniachie huyu binti niondoke naye” aliongea Rey. Mwamba mmoja akacheka sana. Na kumwambia Rey. “Hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza hii ni oda kutoka kwa baba yako, amekulaghai uje na sisi huku ili tukuue kwasababu tayari imeshajua siri zake nyingi” alisema kidume mmoja kisha akatoa bastola kibindoni mwake na kumfanya Rey macho yamkodoke😳 Nikiwa siamini kabisa macho yangu mara ghafla…….
JE NINI KILIENDELEA SASA?
Episode 18
“Hii ni oda kutoka kwa baba yako, kakuagiza utusindikize ili baada ya kukamilisha kazi yetu utupatie malipo lakini hakuwa na maana hiyo alikuwa na maana kwamba baada ya sisi kumfikisha huyu binti huku ukishatupatia mshiko wetu na wewe tukumalize huku huku maana umeshazijua siri zake nyingi hivyo anahofia usalama wake” Mwanaume mmoja aliyejazia misuli kama mnyanyua vyuma ama mfyatua matofali ya block alimwambia Rey. 😳 Macho yalinikodoka Rey kwa mshangao, yule mwanaume akauagiza mkono wake wa kiume kibindoni mwake na kuchomoa bastola, kabla haichomoa vizuri gafla nilitaharuki Rey akimshindilia yule mwanaume ngumi nzito ya mbavu, mwanaume yule alipepesuka na kudondoka chini, haraka na kwa ushapu wa hali ya juu Rey akiwahi bastola ile na kuanza kuwaelekeza wale wanaume wengine waliojazia miili yao kama wapiganaji wa miereka, nao walitoa bastola zao na kumnyooshea Rey huku Rey akirudi kinyume nyume mpaka mlangoni.
Apolitoa tu mguu mlangoni alitoka mbio huku wale wanaume wakimkimbiza mule msituni.
Episode 19
Mzungu mmoja mwenye nywele za mvi na kitambi kikubwa akawakusanya walinzi wote wa lile jengo na kuanza kuwaambia “Gawaneni majukumu wengine wabaki hapa kuwalinda hawa wasichana na wengine wahakikishe wanaenda kuzuia njia zote za msituni huyo kijana aliyekimbia asitoke nje ya msitu huu maana biashara yetu itaharibika, haraka fanyeni hivyoo😳” alisema yule Mzungu kwa hasira, basi haraka haraka wakagawana majukumu, walinzi wachache wakabaki wakitulinda na wengine wakatokomea msituni wakiwa na mitutu ya bunduki,,
Tukiwa tumebaki sasa pale kwenye lile jumba, akaja mzungu mmoja wa kike mwenye sura ya kigaidi kama tyson, akatoa amri “Kama wewe ni mgeni naomba unyanyuke unifuate” alisema yule mzungu wa kike, kumbe sikuwa pekee yangu wageni tulikuwa wengi, basi mie
Episode 20
nikanyanyuka na pamoja na wenzangu wengi tu tukamfuata yule mzungu mpaka kwenye chumba kimoja ambacho kilikuwa kama maabara, hapo kulikuwa na sindano za kila aina, tulidungwa sindano kwenye miili yetu na kulegea kama wale wabwia unga, nililegea hasa sehemu za joint, kwenye magoti na nilihisi usingizi muda wote.
Hatimaye kweli nilipitiwa na usingizi licha ya kwamba nilikuwa nina njaa 😭 kulipokucha, sijui hata nililala kwa mda gani au siku ngapi lakini nilipozinduka mbele yangu alikuwepo baba Rey, baba Rey akaanza kuongea na yule mzungu. “Hapa kuna wasichana wanne tunawapeleka australia kwa ajili ya kwenda kuchukua figo zao na kwenda kuziuza kwenye mahospitali makubwa kwasababu tumewapima na tumeona figo zao hazina tatizo, lakini wengine wawili tunawapeleka Mexico kwa ajili ya kwenda kucheza filamu za ngono, sasa huyu binti wako yeye ulitaka tukulipe shilingi ngapi?” Mzungu alimuuliza baba Rey lakini kabla baba Rey hajajibu ghafla……..😳 wote jumba nzima tukashtukia……
JE NINI TENA?