NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU.
Episode 06
Nilipokuja kuzinduka nilikuwa cinnamon kwangu peke yangu, nilihisi maumivu makali sehemu za siri sambamba na mawazo chungu mzima, Ajabu alikuja bosi akiwa ameshika pesa mkononi. Akaniambia “Radhia haya ndio malipo yako kwa kazi uliyoifanya jana. Lakini malipo haya ninamtumia mama yako kwenye simu.” Niliumia sana kwasababu licha ya mateso niliyopata sikuambulia chochote, pesa alitumiwa mama kijijini. Hata nilipomuomba bosi simu niongee na mama alikatalia katukatu na kusema amekwisha kuongea naye kila kitu hivyo mimi sina haja ya kuongea naye. Kwa kweli roho iliniuma kama kidonda kilichotiwa chumvi.
Basi jioni ya siku hiyo bosi akiwa ametoka. Nyumbani alibaki mtoto wake wa kiume. Nikamfuata na kuanza kumueleza. “Kaka hivi kwa mfano angekuwa ndio mdogo wako anafanyiwa kama ninavyofanyiwa mimi ungejisikiaje?, Hakika sijapendezwa na unyama wa humu ndani tafadhali nisaidie kaka” Nilimwambia huku nikibubujikwa na machozi kama bomba la mvua. “Usijali mdogo wangu hata mimi sijapenda vitendo ambavyo wazazi wangu wanafanyia wafanyakazi wanaokuja humu ndani. Ila nitakupa mbinu ambayo itakusaidia” Alisema kaka Rey. “Ahsante sana kaka na nitashukuru sana”
JE REY ATAWEZA KUMSADIA RADHIA DHIDI YA UNYAMA ANAOFANYIWA?
Episode 07
“Radhia mimi nitakusaidia uweze kutorika humu ndani……. ila tafadhali usiende kumwambia mtu yeyote mambo yanayoendelea humu kwani wazazi wangu wanaweza kupata kesi. Pia sijawahi kumsaidia mfanyakazi yeyote aliyeletwa humu ndani na kufanyiwa ukatili ila wewe ndio wa kwanza, nimeamua kukusaidia kwasababu umri wako bado mdogo pia hukustahili kuyapata haya” Alisema kaka Rey. “Ahsante kaka nakuahidi sitamwambia mtu yeyote yaliyonikuta na unyama niliokuta endapo nitasalimika kutoka humu ndani” Nilimwambia kaka Rey.
“Basi usijali mdogo wangu usiku wa leo nitakutoa nje ila utaruka ukuta kwasababu tukitokea getini mlinzi atatuzuia maana yeye na mama ni kitu kimoja” Kaka Rey aliniambia. “Ondoa shaka kaka mimi nitafanya kila utakachonieleza ili mradi niweze kutoka humu ndani” Nilimwambia kaka Rey.
Ilikuwa ni usiku wa saa 5 nikiwa nimelala chumbani kwangu. Kaka Rey alikuja kuniamsha “Radhia amka twende” Niliamka taratibu na kutoka naye mpaka nje lakini tukiwa nje kaka Rey alinivuta karibu yake na kunikumbatia. Kisha akaninong’oneza masikioni mwangu “Radhia tafadhali usije ukanisahau popote uendapo kwani nimefanya hivi ni kwasababu nakupenda, fikiria umeingiliwa kimwili na mbwa ila bado nakupenda. Hata siku ya kwanza wewe kuja humu hakika nilivutiwa sana na wewe” Alisema kaka Rey huku tukiwa tumekumbatiana. Gafla kaka Rey alipigwa risasi na kudondoka chini . “Simama hivyo hivyo” Ni sauti ya baba Rey iliyoniamuru. Nilisimama huku nikitetemeka. “Unataka kutoroka eeh, si eti sasa kama ndio ulikuwa mpango wako sahau kabisa kutoka humu ndani” Alisema baba Rey huku akinipiga makofi na kunirudisha ndani. Sikujua kilichoendelea nje kwani baada ya kufikishwa ndani baba Rey alinishushia kipigo mpaka nikapoteza fahamu.
Episode 08
Siku zilisonga nikiwa bado nimo mule ndani, ila mpango wa kaka Rey kunitorosha ulikuwa palepale japo tulikuwa tukiongea kwa siri sana. Basi siku moja baba Rey pamoja na mwanae Rey walikuwa wamesafiri baada ya Rey kupona. Nyumbani nilibaki mimi, mlinzi, mama Rey pamoja na mabinti zake wanne. Ilikuwa ni usiku wa saa nne. Watoto wa mama Rey waliwahi kwenda kulala. Sebuleni alibaki mama Rey peke yake lakini alipitiwa na usingizi akiwa palepale sebuleni. Simu yake ilikuwa pembeni yake na hata ilipokuwa ikiita hakuweza kuisikia. Niliichukua ile simu na kwenda nayo chumbani kwangu kisha nikaificha uvunguni. “Sasa hii simu itanisaidia kutoka humu ndani pamoja na kuripoti kila kitu kinachoendelea humu kwa maafisa wa polisi.” Nilijisemea mwenyewe nikiwa nimelala.
Asubuhi kulikucha mama Rey alikuja kuniamsha tena kwa kunimwagia ndoo ya maji. “Shikamoo mama” Nilimsalimia. “Nani mama yako unafikiri mimi naweza kuzaa litoto lenye sura mbaya kaka wewe. Sasa kwa taarifa yako nimepoteza simu yangu humu ndani kama ni wewe umeichukua naiomba maana simu yangu ina siri nyingi sana ila endapo utakataa kuwa sio wewe uliyeuchukua halafu nikaja kukuta nayo hakika utaijutia siku ile uliyozaliwa. Nitakuua tena kwa kifo cha mateso makubwa” Mama Rey alinitolea maneno ya vitisho lakini mimi nilizidi kumkatalia kuwa sijaichukua simu yake. Nafsini mwangu nilijisemea kuwa nitajitahidi kuificha ile simu mpaka nifanikishe mpango wangu wa kuwasiliana na watu mambo yanayoendelea mule ndani ili niweze kusaidiwa.
JE RADHIA ATAFANIKIWA KUJITOA NDANI YA NYUMBA YA MAMA REY?
Episode 09
Basi baada ya kumkatalia mama Rey kwamba sijachukua simu yake, alitoka chumbani kwangu na kwenda kwenye chumba cha wanawe kuwauliza. Alipotoka haraka mimi nikazama uvunguni na kuichukua ile simu kisha nikaizima kimia kimia huku nikiweka mkono wangu kwenye spika ya simu ili isitoe sauti. Baada kufanikiwa kuizima basi nikapanda juu ya kitanda changu, urefu wa kimo changu ukanisaidia nikaweza kunyoosha mkono wangu juu na kufikia sehemu yenye shimo la siling board ya chumba changu. Nikaificha ile simu huko darini nikiamini kwamba hata wafanye msako wa aina gani hawawezi kuipata. Baada ya muda kidogo alikuja Violet mtoto wa wa mama Rey kuniita. “Dada unaitwa na mama Sebuleni” Nilitoka chumbani kwangu huku nikiwa nina uoga wa hali ya juu.
Nilipofika pale sebuleni mama Rey alikuwa amekaa na mabinti zake wote “Jamani nimepoteza simu yangu humu ndani, aliyechukua naomba anirudishie, au aiweke tu sehemu yoyote ya wazi mimi nitaiona na kuichukua😭” alisema mama Rey huku akilia, yani na ujanja wake wote aligeuka na kuwa mdogo kama piriton. Simu yenyewe hata paswedi hakuweka wakati alikuwa anajua kabisa kuwa ina nyaraka za siri, sijui alijiamini nini huyu mama.
Episode 10
Basi alipotueleza hayo akaturuhusu kila mmoja akaendelea na majukumu yake huku akisisitiza sana kwamba aliyechukua simu yake hata asipomkabidhi mkononi aiweke tu sehenu yoyote ya wazi😌 alikuwa mnyonge kupitiliza. Mchana ulipofika nilitwa mezani kula, nikashangaa sana wakati siku nyingine nilikuwa nakula na mbwa leo imekuwaje tena. Basi nilipofika mezani nilijisevia chakula kwenye hoti poti kama wenzangu na kuanza kula. Mama Rey alinitazama machoni sana machozi yakaanza kumtoka😭 “Radhia tumetafuta simu tumekosa tafadhali sana kama ni wewe umechukua naiomba’ aliongea mama Rey huku akibubujikwa na machozi. “Mama nini sijaichukua” Nilimjibu. Mama Rey aliendelea kula lakini chakula kilikuwa hakipandi, sikujua kwamba ile simu ina siri gani kubwa kiasi cha kumfanya ashindwe kula, akaacha chakula chake alichokigusa tu kwa vijiko viwili kisha akaondoka na kwenda chumbani kwake.
Usiku uliingia, tukala chakula cha usiku kama kawaida, nikakaa sebuleni na kuangalia TV na wenzangu kama mwanafamilia, kwa ujumla walianza kunijali hali fulani hivi, tulikaa sebuleni mpaka saa sita tukiangalia Tv baada ya macho kuchoka kila mmoja akaelekea chumbani kwake kulala. Nilipohakikisha nyumba nzima wamelala usiku huo taratibu nilipanda darini na kuichukua ile simu. Nikarudi na kuketi kitandani kisha nikaiwasha kimia kimia huku mikono yangu ikiteremeka mpaka ikawa inatoa jasho kutokana na woga niliokuwa nao.
Simu ilipowaka haraka nikaweka namba ya mama ya mama kwani nilikuwa nimeikariri kichwani, mama akapokea kisha nikaanza kuongea naye kwa sauti ya chini sana. “Shikamoo mama, jamani mama huku nilipo mimi nateseka mama😭” Nilianza kuongea kwa huku machozi yakinitoka. “Unateseka na nini acha unafiki wakati bosi wako ndio ametoka kunitumia laki tatu kwenye simu juzi, acha umbea najua tabia yako hupendi kutokewa si ajabu hata huko ukifokewa kidogo tu unaona kwamba unaonewa hebu acha kwanza nimpigie huyo baba unayeishi naye hapo nimueleze ili ukileta ujinga akupitwange vizuri” alisema mama kisha akakata simu. “Uwiiiii sasa nimekwisha😭” Nilijisemea moyoni baada ya mama kukata simu ili ampigie baba Rey ambaye hakuwepo hapo nyumbani.
JE ITAKUWAJE?
NA JE IKIFICHUKA KWAMBA RADHIA NDIYE ALIYEFICHA SIMU YA MAMA REY ITAKUWAJE?