NAOGOPA KUWA MWANAMKE 26
Nilitoa vyombo kinyonge sikujua ni kwanini ila ile kauli iliniuma kumbe Brayton anamwanajeshi wake basi nilikosa amani nilielekea chumbani kwangu mpaka mda wanaondoka niliagana nao juu kwa juu..
Brayton alirudi usiku nilikuwa nipo ndani alinigongea sana wala sikutaka kufungua nililala mpaka asubuhi nilikusanya nguo zangu kwenye begi nilizamilia kuondoka yaani yule raia wa kawaida tu alinizimisha je huyo mwanajeshi wake si atanidedisha kabisa..
“Safari ya wapii!?..
Lilikuwa ni swali kutoka kwa Brayton baada ya kuniona na mizigo..
“Nimeona bora niende nyumbani nikapumzike..
“Kwahiyo humu huwezi kupumzika!?.. Aliuliza huku akinifuata nilikosa ujanja.
Alivyoona nipo kimya aliivuta begi yangu na kwenda nayo chumbani kwake wala sikuwa na shida vile nguo nyingine nilikuwa nazo niliondoka moja kwa moja nilielekea kwa mama G..
“Mtoto mbaya sana wewe ndio nini kunitia aibu… Alinipokea kwa kichambo Mama G.
“Sass si ndio nimerudi kwanza siwezi kuolewa tena nina mpango wa kuama mkoa hapa…
“Huwezi kuolewa au umeshafanywa mke huko na Brayton…
“Brayton ana wanawake zake tena ni mabondia kweli.. Nilisema hivyo kauli ambayo ilimchekesha mama G..
Nilielekea kwenye geto langu cha kwanza kuangalia ni pesa zangu zote zilikuwepo nilitafuta kibegi kidogo dogo na kupark nguo zangu chache kisha nilielekea chooni kuoga baada ya mda nilitoka..
Niliingia ndani nilishtuka baada ya macho yangu kukutana na macho ya Brayton tena akiwa chumbani kwangu kwani hata aliuliza cha kwanza kufanya alisindika mlango..
“Nikikupa mimba utatulia eh…. Alisema Brayton huku akifungua vifungo vya T shirt yake.
Alivua Shirt na kuitupa pembeni maana hata hakukuwa na Kitandani zaidi ya kigodoro kilicho kama ulimi wambwa..
Mda wote nilijibanza ukutani maana sikuwa na nguo nyengine zaidi ya khanga tu iliyoishia magotini.
Basi taratibu alianza kunisogelea nilikuwa nikitetemeka alinikamata na kunipa romance ya nguvu yaani ya kibabe huku maana mikono yangu yote aliibana sijui ilikuwaje kuwaje khanga si ikanianguka chini..
Nilitaka kuchumaa niokote Brayton kwani hata aliniruhusu alinikumbatia kwa nguvu huku akihema..
“Hivi unajua kama nakupenda!?.. Aliuliza Brayton kama mtu aliyechanganyikiwa maana hakutulia kabisa pia alikuwa anavuta pumzi kwa nguvu sana.
Sasa nguvu ya kugoma inatoka wapi hivi mnalijua kumbato la mwanaume wewe na vile nilikuwa nishapenda nilikaa kimya tu mda wote na wala sikutamani aniachie…………
NAOGOPA KUWA MWANAMKE 27
Hivi unajua kama nakupenda!?.. Aliuliza Brayton kama mtu aliyechanganyikiwa maana hakutulia kabisa pia alikuwa anavuta pumzi kwa nguvu sana.
Sasa nguvu ya kugoma inatoka wapi hivi mnalijua kumbato la mwanaume wewe na vile nilikuwa nishapenda nilikaa kimya tu mda wote na wala sikutamani aniachie..
“Vaa tuondoke..
Basi nilivaa chapu kisha tuliondoka maana alikuja na gari hata sikujua tunaenda wapi mpaka tuliposimama kituo cha polisi..
“Kuna mini Brayton!?..
Walla hakunijibu aliongoza ndani sikutaka kusimuliwa nilimfuata kumbe Tina amekamatwa na kusekwa sero mbona niliachia tabasamu maana nilikuwa nikimuogopa kupita maelezo..
“Umemkamata saa ngapi!?..
‘Wala sijamkamata kajikamatisha mwenyewe mda alivyoondoka nyumbani akaja kunishtaki akati nilishamkatia RB kitambo sana.. Alisema Brayton na kuelekea kwa maafande baada ya mda tuliondoka na kumuacha Tina..
“Imekuaje kuaje!?.. Niliuliza kutaka kujua.
“Nimetoa maagizo wamuachie baada ya wiki yaani akae ndani siku saba ndio atapatiwa zamana kisha tuendelee na kesi..
Kidogo nilipumua nilipanga kumuuliza kuhusu huyo mwanajeshi wake na Kelvin amemfanya nini mbona hakunitafuta tena..
“Unawaza Sana eh!?…
“Amna siwazi… Tulifika kwa Brayton alipitiliza moja kwa moja jikoni baada ya mda alileta msosi nilikula kidogo yaani nilikuwa mtu wa aibu aibu Brayton alikuwa mkavu balaa..
“Kuna nataka nikuulize na unijibu vizuri!?..
Nilikaa kimya ishara ya kuwa aniuliza aliacha kula na kunisogelea “Nipe tena historia yako kiufupi na nambie kwanini ulikuwa unajifanya wanaume?..
Nilikaa kimya sekunde kadhaa “Mimi nimezaliwa peke yangu nilivyokuwa dalasa tatu MimiBaba na Mama walifariki baada ya hapo sikuwa na msimamizi hata kula yangu ilikuwa shida maana wazazi wangu hawakuwa watu wenye kipato kikubwa.. Kitu cha thamani walichoniachia ni Upendo wao tu maana bado umebaki moyoni mwangu sijawahi acha kuwaombea..
Pia nyumba tuliyokuwa tukiishi ndio kile chumba kimoja ambacho nakitumia mimi..
Maisha baada ya wazazi kufariki yalikuwa ni magumu sikuwa nategemeo nilianza kwenda mitaani kuungana na watoto wenzangu.
Maisha ya mtaani yalikuwa ni mabaya sana…
Nilinyamza na kufuta machozi Brayton alikuwa akinitazama tu..
“Maisha ya mtaani ni adhabu.. bila kuomba omba tulikuwa hatuli saa nyingine tunavizia matajiri wakitupa mavyakula yaliyoharibika tunaokota.. Pia kila siku nilikuwa nashuhudia watoto wenzangu wakikamatwa na kubakwa na wakaka wakubwa pamoja na wababa wengine tena wanafamilia zao tukio lililonifanya niogope zaidi na ndio lililoniathiri ilikuwa ni kifo cha katoto kadogo alifariki baada ya kuba..ba…..
Nilikuwa na kwikwi iliyoambatana na kilio nilishindwa kumalizia kauli ya mwisho Brayton aliniwahi kwa kunikumbatia alianza kunibembeleza.
“Mimi ndio mzazi wako nitayabeba mazito yako.. Nakupenda Shamimuh uliumbwa kwajiri yangu sijaanza kukupenda leo nilikugundua mda tu ndio maana sikuacha kupambana kwajiri………..
NAOGOPA KUWA MWANAMKE 28
Nilikuwa na kwikwi iliyoambatana na kilio nilishindwa kumalizia kauli ya mwisho Braytona aliniwahi kwa kunikumbatia alianza kunibembeleza.
“Mimi ndio mzazi wako nitayabeba mazito yako.. Nakupenda Shamimuh uliumbwa kwajiri yangu sijaanza kukupenda leo nilikugundua mda tu ndio maana sikuacha kupambana kwajiri yako… Njoo nikuonyeshe kitu..
Alisema huku akininyanyua na kunipeleka chumbani kwake nilishangaa chumba kimerembwa sana ukutani kulikuwa na picha zangu nyingi sana ambaZo hata sikujua nilikuwa napigwa saa ngapi..
Nilisogea ukutani na kugusa picha moja licha ya kwamba ilinishangaza pia sikujua nani aliipiga ilikuwa ni picha ya tukio ile siku niliyotumbuiza kwenye Event ya boss Kelvin tena ile mda Brayton amenibeba baada ya kuanguka..
Nilitabasamu na kuuliza “Hii picha imekuaje kuaje!?..
“Unadhani sikukujua nilianza kukugundua mda but sikuwa na haraka… Ni mmoja kati ya rafiki zangu niliokuwa nao siku ile ndio nilimpa kazi ya kutupiga picha..
Alisema Brayton huku akicheka nilibaki nimeshangaa kumbe ujanja wangu ulikuwa ni bure tu..
Niliisogelea picha nyengine ilikuwa ni ile siku nimelala nilivyoamka nikakuta Brayton ananitazama usoni nilivuta pumzi na kujiona mpumbavu sana..
Brayton aliniacha nikiwa nashangaa shangaa palivyo pendeza alikamata taulo na kuelekea bafuni zilipita dakika kadhaa bila yakutoka niliona bora nimfate..
Sasa namfataje na hizi nguo si nitaloa nilipunguza nguo mwilini na kiherehere changu nikakamata taulo fupi nilifunga kiunoni na kupitiliza bafuni..
Nilikuta Brayton akioga macho yetu yaligongana nilishusha macho chini nilikutana na mashine..
Weee!.. Kihere here chote kiliniisha mbona kubwa hivi niliuwahi mlango kutoka nje lakini bahati haikuwa upande wangu nilidakwa mkono kitaulo kisianguke nini nilibaki kama nilivyokuja duniani….
“Nilikuja.. Kukuangalia tu.. Nilisema huku nikiwa nimefumba macho.
“Sawa.. Sijakataa nimekusogeza ili uniangaliw vizuri.. Alisema huku akinigusisha mashine yake acha mkono wangu ubablet maana sio kwa msisimko nilioupata maana mkono wake mmoja ulikuwa ukipapasa viziwa vyangu ambavyo havikuwahi kuguswa na yeyote..
Macho yalilegea mfano hakuna nilimsogelea usawa wa mdomo anipe ile kitu ya kikorea………….
NAOGOPA KUWA MWANAMKE 29
Alisema huku akinigusisha mashine yake acha mkono wangu ubablet maana sio kwa msisimko nilioupata maana mkono wake mmoja ulikuwa ukipapasa viziwa vyangu ambavyo havikuwahi kuguswa na yeyote..
Macho yalilegea mfano hakuna nilimsogelea usawa wa mdomo anipe ile kitu ya kikorea ya kuitwaga Romance..
Brayton hakuwa nyuma alinibandanisha ukutani na kunipa nilichotaka huku mikono yake akiitumia vyema kupapasa mwili wangu..
Baada ya yote alinibeba kunipeleka kitandani sikuwa naelewa kitakachotokea baada ya mda Brayton alivunja ngome…
“Yaaalaa… Uuuwiiii unaniumiza Brayton.
Niliugulia uku nikimpiga na kumng’ata ili aniachilie kwani alikuwa anaelewa sasa ndio kwanza alikuwa akiongeza speed nilipiga kelele mpaka nilichoka nilibaki kumuangalia.
“Hakikisha umenimaliza na mwili wangu ukauzike pembeni ya kaburi la mama..
Nilisema kwa hasira maana niliona kama ananikomoa fulani basi aliniachia kilio kikaanza yaani niliumia kweli kitanda kilichafuka chafuka..
“Pole Mke wangu.. Ooh samahani nimekuumiza lakini utakuwa sawa haichelewi kupona..
Alisema Brayton huku akininyanyua sikutaka kuelewa kabisa “Kesho tukifanya tena kesho kutwa utaenjoy.
Alikuwa mkavu niliachia bonge sonyo yaani aya maumivu niliyopata harafu nifanye tena unamasihara baba..
Nilioga na kuvaa kisha nilielekea nje kupunga upepo jioni tulikuwa pamoja tukiongea..
“Vipi kuhusu mwanamke wako huyo mwanajeshi mwenzako!?
Nilimuuliza swali ambalo hakulitegemea kabisa “Wala sina mwanamke nilopanga nae malengo tulikuwa tukifurahishana tu..
Washikaji wapuuzi usiwasikilize.. Alisema Btayton.
“Nisiwasililize.. Kwani wao hawana akili mpaka waongope!?..
Mda naendelea kumhoji Brayton simu yake iliita..
“Hello shikamoo mama..
“Marhaba we Brayton nimepata malalamiko Tina yuko sero na wewe ndio umemsweka kuna ukweli!?.. Aliuliza Mama yake.
“Ndio Yuki sero lakini kawekwa na polisi wala sio mimi alirkuja kunifanyia fujo kwangu akamuumiza Mke wangu mtarajiwa..
“Sitaki kujua kakamatwa na nani ila nenda kamtoe mtoto wa watu kabla mambo hayajawa makubwa.. Eh kumbe unamke kabisa na unakaa nae mbona hujanambia kesho nikuone nyumbani..
Alisema mama huyo na kukata simu yaani alikuwa anaongea Bryton lakini nilikuwa natetemeka mimi.
“Brayton mama yako ni mkali sana!?.. Nilisema huku nikishusha pumzi.
“Ni vile hujawahi kumuona ila hana mambo mengi na sio mkal.. Alisema huku akinionyeshea picha ya mama yake kwenye sim…………..
NAOGOPA KUWA MWANAMKE 30
Alisema mama huyo na kukata simu yaani alikuwa anaongea Bryton lakini nilikuwa natetemeka mimi.
“Brayton mama yako ni mkali sana!?.. Nilisema huku nikishusha pumzi.
“Ni vile hujawahi kumuona ila hana mambo mengi na sio mkal.. Alisema huku akinionyeshea picha ya mama yake kwenye simu yake.
Basi tulilala mpaka asubuhi Brayton alijiandaa kuondoka kazini lakini kabla hajaondoka alinipitisha saloon nikasuke maana jioni tulikuwa na safari ya kwenda kwao..
Nilimaliza kusuka na mapema kisha nikarudi nyumbani kuweka mambo sawa jioni teyari Brayton alisharudi tulikula na baada ya yote nilielekea kuoga nikiwa chooni Brayton alinifuata tulioga vizuri kipengele alikuwa anataka mzigo..
“Hapana Brayton sitaki utaniumiza…
“Leo nafanya taratibu taratibu… Niamini utaenjoy tu. Alinibembeleza Brayton mpaka nilirainika nilienjoy tofauti na jana yake..
Baada ya mda tulifika ukweni Brayton alisimamisha gari tulishuka tukiwa tumeulamba sana nilipendeza mno Brayton ndio usiseme tuliingia ndani na kupokelewa na mdogo wake wa kike yule aliyekuwa anasoma china na alishawahi kujaga kwa Brayton kama mnakumbuka..
“Karibu jamani kaka naona umeniletea wifi yangu..
Alisema huku akinikumbatia kwa uchangamfu basi tuliingia ndani palikuwa pazuri hakuna mfano tulisalimiana lakini hakunitambua kabisa..
“Mama katoka lakini atarudi sasa hivi.. Wifi unafanya kazi gani!?..
Aliniuliza huku anatabasamu kabla sijasema chochote Brayton aliwahi kujibu..
“Aah bado anasoma.. Vipi dada yuko wapi alete juice.
Alisema Brayton na kufanya ndugu yake anyanyuke..
“Kama mama atakuuliza chochote mwambie umasomea sheria..
Alisema Brayton Baada ya kubaki peke yetu basi tuliendelea kupata juice iliyoletwa na dada wa kazi punde mlango mkubwa ulifunguliwa aliingia mama yake na Brayton nilimjua kwasababu nilishaoneshwa kwenye picha..
Wote tukinyanyuka kumpokea alifurahi sana aliniuliza uliza baadhi ya maswali wala hakuwa na mambo mengi alinipokea mkwewe..
Tulirudi nyumbani tulipanga kufunga ndoa ya kimya kimya hakukuwa na shida ya dini sababu mama yake Brayton alikuwa Mwislamu hivyo Brayton aliifuata dini yangu..
Tina hatukuwa na habari nae tena na Kelvin alikuwa akiniita shemeji wala hakuwa na kinyongo na Brayton sikujua waliyamaliza vipi Mama mara zote huja kunitembelea hata mimi pia sikuwahi kumsusa..
Basi nilirudi shule nilisoma sana nikatafutiwa na mwalimu wa kunifundisha ngeli baada ya miaka mitano mbele nikawa mwanasheria na tumebalikiwa mtoto mmoja wa kiume amefanana na baba yake..
Nampenda sana Brayton pamoja na mwanangu..
MWISHO❤❤🙏🙏