Clickable WP Image
JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

NIGHT CLUB

Sehemu ya 36

Ilipoishia………. kumekucha!!Anti Suzy ni dada yake Salim mume wa Maiyah!Wamekutana uso kwa uso na Erick katika nyumba ya dada yake….

Songa nayo……….

Macho yangu yaligongana na Salim tukaangaliana,niliyakwepesha macho yangu nikaangalia chini!

Salim alikuwa na maswali mengi sana akijiuliza nimefikaje kwa dada yake!!

“Vipi hawa ni kina nani?”,alimuuliza Anti Suzy!

“Aah!sorry Kaka sijakutambulisha,baby njoo!”

Alimuita Abobo akamsogelea akamshika mkono!

“Huyu ni mume wangu mtarajiwa Kaka anaitwa Abobo,kwa hiyo ndiyo shemeji yako!

Abobo huyu ni Kaka yangu anaitwa Salim!”

Walishikana mikono na Salim!

“Nashukuru kukufaham shemeji!”

“Nami pia!”,alijibu Abobo!

“Na hawa?”

“Hao ni rafiki zake na Shemeji yako Kaka !”

“Aah!okay karibuni sana!”,alisema Salim.

“Ahsante sana!”,tulijibu kwa pamoja!

“Okay mi natoka nadhani tutazidi kufahamiana,shemeji dada yangu huyu mtunze bhana!”

“Usijali shemeji ameshafika kwa american Ninja hapa!”

“Hahahahaaa!Aya bhana kwaherini!”

Aliaga akaondoka zake kidogo moyo wangu ukapumua!

Ila alipotoka tu meseji ikaingia kwenye simu yangu kutoka kwa Salim!

“AHSANTE SANA KIJANA MAIYAH ANA MIMBA NTAKUPIGIA UJE UCHUKUE ZAWADI YAKO!”

Nilishtuka sana sikutegemea habari zile,japo ukifanya mapenzi na mtu lolote linaweza kutokea!

Kuna mambo ya ajabu duniani,Ila nahisi hili ni la ajabu zaidi!!!

Kumpa mke wa mtu mimba halafu mume wake anakushukuru na anataka akupe zawadi kwa kweli nilishangaa sana!

“Oyaah vipi umemkumbuka yule demu wako nini?”

Aliniuliza kwa matani Kessy!

“Ha…ha…hamna niko poa niko fresh leta pombe hiyooo!”

Nilijitahidi kuchangamka wasione utofauti!

Anti Suzy alikuwa mkarimu sana kwetu tulikunywa tukala tukafurahi!

Mwisho wa siku usiku uliingia ndipo Abobo akaanzisha mada ya Casino!

“Oyaaa!si tunaenda Casino au?”,aliuliza Abobo!

“Ni wapi mzee?unajua sijawahi kwenda Casino!”,nilisema muda huo pombe imekolea kichwani japo si sana!

“Hata mimi yani naskia huko ni balaa!!”

“Twende nikawaonyeshe dunia mbwa nyieee!!”

“Daaah!tukabadili nguo sasa!”

“Hahahahaha!Mke wangu ngoja niwapeleke hawa wakavae,nyie mafala nifuateni!”

“Sasa nje si huku?”,alisema Kessy!

“Nifuateni nyie vipi?”

Tulimfuata Abobo akatupekeka mpaka kwenye chumba kimoja akaingia na sisi tukaingia!

Tulishtuka sana!kwenye kile chumba kulikuwa na nguo,viatu,miwani yaani utasema ni duka!

“Oyaah!hili duka au?”,niliuliza swali la kijinga sasa duka linakaaje ndani?

“Tulia wewe!!hizi pamba zangu,badilisheni hizo tambala turuke!!”

“Dahh!we fala umelenga penyewe Ila siku ikiteleza tu ikazama topeni kaka unarudi karumeee!!”,alisema Kessy!

“Hahahahahahaaa!siku hizi nalenga kama sniper mzee niko makini!!”

“Hahahahahahaaa!”,tulicheka wote Kisha tukaanza kuchagua nguo za kuvaa!

Safari yetu iliishia masaki kwenye Casino moja nzuri sana!

Sikuwa nimewahi kuingia Casino ilikuwa ni mara yangu ya kwanza!

Kulikuwa na vingi vya kushangaza,Mambo niliyokuwa nayaona kwenye filamu za wachina na wazungu sasa niliyashuhudia!

Kulikuwa na kila aina ya uchafu mle,watu kukaa uchi ni kawaida sana kwao!

Kuna sauti ilipita kichwani kwangu nikaskia ikiniambia!

“ERICK HIVI NIKISEMA LEO NDIYO MWISHO WA DUNIA,NA NIKAKUKUTA HUKU UTANIJIBU NINI?”

Ile sauti ilikuja na kupotea mara kwa mara.

Siku ile nilikuwa kama mtu aliyekuja dar kwa mara ya kwanza na kuanza kushangaa maghorofa ya Kariakoo!

Kulikuwa na mwanga hafifu ila niliweza kuona mambo mengi.

Niliona watu wakicheza kamari huku wakiwa na wanawake wamevaa nusu uchi kama si uchi kabisa!

Tulitafuta sehemu tukakaa Mimi na wenzangu!

“Hivi wewe boya jimama lako linakuruhusu vipi kuja sehemu kama hizi!!”

Nilimuuliza Abobo maana Anti Suzy kabaki nyumbani!

“Yule mzungu bwana,Ila tu nisilale nje yani na nikirudi akiutaka muhogo nimpe basi!”

“Daahh!humu ni laana tu!!”

“Hahahahaaa!nimewaleta duniani na nyie mpate hadithi ya kusimulia kwa wajukuu zenu!!”

Tulikunywa huku wadada warembo wakiwa nusu uchi wanakuja na kutukalia mapajani kama kututega!

Nakumbuka alikuja dada mmoja mrembo akamkalia Kessy ambaye tunamjua mzee wa kufungua na kufunga zipu!

Yule dada alimkalia Kessy huku mkononi kashika pakti ya kondomu!

Alifika akaanza kumpapasa Kessy ambaye alianza kuweweseka!

Alipitisha mkono akafungua zipu Kisha akaishika bakora ndani ya boksa na kuanza kuichezea!!

“Hata hapahapa nakupa sijavaa chupi!”

Alisema tule dada kwa sauti ya chini yenye kubembeleza!!

“Mmmhh!hapahapa,u…u…mesema hapa hapa!!”

“Ndiyo kondomu zipo!”

“Mmh!shingapi?”

“Elfu ishirini tu fastaaa!”

Kessy aliingia mfukoni akatoa noti mbili za elfu kumi kumi akampa yule dada!!!

Alipopokea tu yule dada akamkalia Kessy vizuri Kisha akapandisha kimini chake juu!

HAYA SASA MAMBO NI MOTO!

UNAHISI NINI KITATOKEA HAPO!

Sehemu ya 37

Ilipoishia………….Abobo amewapeleka washkaji zake kwenye Casino,kwa Mara ya kwanza wanakutana na Mambo ya ajabu yenye kustaajabisha….

Songa nayo……..

Kessy alikuwa ameuziwa kesi tayari,alikuwa ameshaingia kwenye mtego wa yule dada moja kwa moja!

Kessy alikuwa kama gari tu alimuachia dereva afanye atakavyo…..

Yule dada akaushika muhogo ambao alishauvisha kondomu kisha akaingiza pangoni!!!

Kisha akaanza kukatika taratibu bila papara!

Sikuamini kabisa mambo niliyoyaona,bakora yangu ilisimama ikakaza sikuweza kuvumilia kumuangalia Kessy anafanya mapenzi mbele yetu!

“Oyaah! Erick mbona kimya changamka kijana huku ni duniani!”

“Acha zako wewe huku ni kuzimu wewe!!”

“Hahahahaaa!kula raha kijana maisha yenyewe mafupi haya!”

Nikiwa natafakari ninayoyaona mara ghafla alikuja binti wa kiarabu akiwa amevaa chupi tu na  hata chuchu zake aliziacha wazi!

Bila ruhusa alinikalia mapajani kisha akaniambia!

“Kunyonya utanipa msimbazi mpaka ukojoe,na kutia mwiko chunguni fasta nipe nyekundu mbili,na ukitaka topeni elfu therathini!”

 Yule dada alikuwa mrembo sana lakini sikuwa na mzuka wa kufanya mapenzi mle!

Katika maisha yangu sikuwahi kupenda kumnunua mwanamke anipe mapenzi,huwa napenda kumtongoza anikubalie siyo kumnunua!

Nilisimama nikamuacha yule dada nikaanza kuzunguka mle Casino!

Nilifika sehemu ambayo kulikuwa na shoo wadada wanacheza uchi wa mnyama!

Na siyo kucheza tu,walikuwa mpaka wanakalia chupa za soda na bia!

Watu walikuwa wengi wanawashangaa huku wengine wakishangilia na kuwarushia pesa!!

Sikuwa nimewahi kujua kama dunia ina dhambi namna hii!

” HAYA SI NDIYO MAMBO YALILETA GHARIKA HAYA JAMANI!”

Nilijiuliza moyoni muda huo macho yanaendelea kushangaa mambo mengi ya ajabu!

Nilipogeuza shingo pembeni kulikuwa na watu wanafanya mapenzi,wengine wananyonya bakora,yani balaaa tupu!!

Baada ya shoo ya wale madada kumalizika,walishuka chini huku wakishobokewa na wanaume kibao!

Ilitangazwa shoo maalum ya mtu mmoja!

Nadhani wenyeji wanajua nini maana yake,walianza kushangilia huku wanapiga makofi!

Punde aliingia dada mmoja akiwa amevaa chupi tu na sindiria!!

Alikuwa mrembo sana yule dada,moyoni nilikiri kweli yule dada ni mrembo!

Alifika na kuanza kucheza nyimbo za kijamaika huku anajisheua kwa mapozi yenye kudatisha sana!

Licha ya mbwembwe walizoonyesha wale wanawake waliotoka lakini hakuna hata mmoja aliyemfikia yule dada!

Alikuwa na kiuno kilaini sijapata kuona,alinishawishi mpaka nikasogea Karibu ili niweze kumfaidi vizuri!!

“Whaaaaaaaaaaaat!!!”

Nilishtuka sana si kidogo,sikuamini mwanamke niliyemuona mbele yangu,anacheza na kufurahisha watu alikuwa ni mwanamke ninayemfahamu kabisa!!

Mwanamke ambaye nimetoka kushea naye kitanda kimoja majuzi tu!

“Cleopatraaaaaa!!!”

Nilishika kichwa changu huku nikiyatumbua macho yangu na mdomo ukiwa wazi kwa mshangao!!

Nilijiuliza inakuwaje mwanamke yule mrembo aende kujianika vile mbele za watu!!

Cleopatra alikuwa hodari haswa,hakuwa ameniona na hata kama aliniona sidhani kama alinikumbuka!

Ulifika muda akaanza kuvua sindiria yake Kisha akawatupia watazamaji wake!

Hakuishia hapo alivua na chupi yake akairusha ikaniangukia usoni mwangu!

Niliishika ile chupi kwa hasira nikaitupa nikaondoka zangu pale!

Mwanamke ambaye nilifanya naye mapenzi tena bila Kinga alikuwa anajishaua uchi mbele ya wajuba!

Nilirudi nikamkuta Kessy amekaliwa na mwanamke mwingine tofauti na wa kwanza wanafanya mapenzi!!

“Kaka vipi hujaona tu?chagua hata mzungu upige shauri yako,uzuri humu huwezi kugonga bila ndomu!!”

Alisema Abobo ambaye sikumjibu kitu!

Nilifika nikakaa kisha nikaanza kunywa pombe kwa hasira sana, Cleopatra aliharibu siku yangu!!

“Oyah!vipi mbona umebadilika ghafla?”

Aliniuliza Abobo ambaye sikumjibu Bali nilimtupia swali!

“Na wewe vipi mbona huruki na mijimama Kaka!”

“Hahahahah!nimeoa saivi Mimi siyo mwenzenu!”

“Kuoa hiyo kwiyo!”

“Tulia wewe Anti Suzy siyo mjinga kuniruhusu kuja huku ana makachero kila kona,na anaweza hata kuniua nikimsaliti!”

“Mmh!Aya bhana!”

Niliendelea kupombeka huku kichwani nikimuwaza Cleopatra!

“Kaka unaitwa!!”

Alikuja dada mmoja akanishika mgongoni!

“Na nani?”

“Na Queen Patra!”

“Queen patra ndiyo nani?”

“Twende utamuona!”

Nilimuaga Abobo kuwa narudi muda si mrefu!

Yule dada aliniongoza mpaka kwenye chumba kimoja ivi tukaingia na kumkuta huyo Queen Patra akiwa amekaa ametugeuzia mgongo!

Yule binti alipofika tu akatuacha akaondoka,kichwani bado nilijiuliza ni Nani huyo Queen Patra!!

“Wewe ni nani?”

Nilimuuliza huku nikimsogelea Kisha nikasimama nyuma yake!

“Mimi ndiyo malikia wa humu ndani QUEEN PATRA!”

Sauti ile haikuwa ngeni,nilihisi naifahamu!

JE NI NANI HUYO?

NA KWANINI KAMUITA ERICK!!!

Sehemu ya 38

Ilipoishia……….Erick kaitwa na Queen Patra,ambaye anaonekana ana jambo la kusema naye!!!

Songa nayo………..

Bado sikuwa nimemjua yule mwanamke,maana bado hakugeuza shingo yake!

“Bado sijakujua!!”,nilimwambia yule dada!

“Siyo lazima unijue ila nataka kujua kitu kimoja!!”

“Kitu gani?”

“Kwanini nilipokutupia chupi yangu ukaitupa chini??kwanini unatupa chupi ya malikia?”

Swali lake lilinifanya nimjue aliyeko mbele yangu ni Cleopatra!

“Cleopatra!”

Nilimuita kwa sauti ya chini japo aliskia,alishtuka maana mule hakuna anayemjua kama Cleopatra bali Queen Patra!

Aligeuka haraka na kusimama hakuamini aliponiona,glasi yake ya mvinyo ilianguka chini na kuvunjika vipande!!

“Kessy!!”

Aliniita huku kashika mdomo wake kwa mshangao!!

Machozi yalinitoka kwa uchungu na hasira!

Mwanamke mrembo kama Cleopatra kujichezesha uchi mbele ya wanaume ni dhambi kubwa!!

“Kessy!”

Alinisogelea Cleopatra muda huo amevaa gauni refu jekundu lililomkaa vizuri mwilini!!

“Umefuata nini huku Kessy?”

“Unafanya nini huku Cleopatra?”

Nilimuuliza swali Cleopatra ambaye machozi yalimlenga!

“Erick najua unavyonifkria,najua ni ngumu kunielewa Ila mi nipo kazini!”

“Kazini!!!!kazi gani??hii ni kazi??kucheza uchi?kujidhalilisha!!”

“Erick sa ntafanya nini?”

“Umeangalia vyote vya kufanya hujaona umeona uje uanike uchi wako humu?”

Cleopatra alianza kulia kwa sauti kubwa,maneno yangu yalimchoma!!

“Halafu unajikuta malikia eti Queen Patra!!malikia wa Casino!!ujinga mtupu,upumbavu mtupu!!”

“Erick unanionea!!”

“Nakuonea mimi?dah!yani si bora ungeuza hata karanga na sambusa mitaani kuliko kujidhalilisha ivi!!”

Niliongea kwa hasira Kisha nikageuka niondoke Cleopatra akanishika mkono!

“Erick usiende nisubiri tuondoke wote!!”

“Uondoke na mimi kwani ulikuja na Mimi?”

“Samahani Erick sitaki kukupoteza na nilishaanza kukupenda!!”

“Wapende hao unaowachezea na kuwarushia chupi,eti malikia!chefuuuuuuu!!”

Niliutoa mkono nikaondoka zangu kurudi kwa washikaji zangu!

Nikamkuta Kessy anafanya mapenzi na mwanamke  mwingine tena!

“Oyaaah!tuondokeni!!”

“Mbona fastaaa!”,

“Tuondokeni kama mpo bado mi naondoka zangu!!”

“Poa si unamuona Kessy kakamatia zigo!!”

“We fala tunaondoka endekeza ngono mbwa wewe utakufa!!”

Kessy alivyoona tunaondoka alichomoa bakora yake,akamuacha yule dada anapiga kelele!

“We Kaka hujamalizia hela yako,we Kaka njoo umalizie!”

Alipiga yowe yule dada ambaye licha ya kupewa pesa lakini alionekana ana hamu sana!

Nilimuona kijana mmoja alijiongeza akaenda kumpachikia bakora akaanza kumpelekea moto taratibu!!

“Dah!Erick leo unaondoka bila demu ajabu kichizi!”,alisema Abobo.

“Sijiskii!”

Niliwajibu kwa mkato kisha nikakaa kimya!

“Oyah we fala funga zipu yako bwege wewe umewafaidi leo!”

Abobo alimwambia Kessy ambaye alijisahau kufunga zipu yake baada ya shughuli nzito!!!

Abobo alimpeleka Kessy nyumbani kisha akanipeleka nyumbani akaondoka zake!

**************

Kulikucha nikajiandaa nikaelekea kazini.Nilifika mapema siku hiyo nikafungua banda langu na banda la Abobo ambaye ni wazi alikuwa amelitelekeza baada ya kupata kitonga kwa Anti Suzy!

Nilipomaliza kupanga vitu nilimfungulia na Kessy ambaye naye alichelewa sana siku hii nadhani ni wale warembo wa Casino walimchosha!

Kisha nilikaa na kuanza kutafakari maisha yangu!

Tukio la jana lilinipa maswali na mawazo mengi sana!

Nimekutana na wanawake wengi kwenye Club mbalimbali na kufanya nao mapenzi tena kwa njia isiyo salama kabisa!!!

Mwanamke kama Cleopatra kumkuta anacheza uchi na tayari nilishampitia tena pekupeku nilipata wasiwasi mkubwa!!!

Nilianza kuogopa na kuihofia afya yangu kabisa!

Nikiwa natafakari ghafla nilimuona Kessy akija huku akiwa ameongozana na Cleopatra!!

Nilishtuka sana sikutegemea ugeni ule,hasa ukizingatia mazingira niliyojiwekea mbele ya yule mwanamke kuwa mimi nina hela,hali hiyo ilinifanya nihisi aibu!

Sikutaka na sikupenda Cleopatra anijue mimi ni chinga!!

Cleopatra alikuwa amevaa baibui jeusi na kilemba kichwani,ukimuona usingekubali kama ni yeye alikuwa anacheza na kuvua chupi Casino!

Aliponiona alitabasamu kwa furaha ila binafsi nilibaki kumshangaa mpaka aliponifikia na kunikumbatia!!

Uzuri wake ndiyo uliowafanya machinga wenzangu wapige kelele kushangilia mtoto mkali kuzimika na chinga!

Moyoni nikajisemea,”mngejua nimetumia gia gani kumpata huyu mrembo!!”

“Aya kazi kwako kijana,mimi nimeamka asubuhi namkuta mlangoni!”

Alisema Kessy Kisha akaingia kwenye banda lake!

“Baby kumbe unafanya kazi huku?”

Aliniuliza Cleopatra lakini sikumjibu kitu!

“Erick,najua unaweza kuona aibu sababu nimejua kazi yako,Ila usijali mi nakupenda na nimeridhia kuwa na wewe!”

“No!Queen Patra siwezi kuwa na wewe!”

“Jamani usiniite ivyo,niite tu Cleopatra jamani Erick nisamehe!”

Sikutaka kuonekana nalumbana na Cleopatra niliingia naye kwenye banda langu Kisha tukaanza kuongea!

“Ivi unaweza kuacha kazi zako kweli wewe?”

“Erick!naweza,Ila kama tu utaniambia unanipenda na uko tayari kunifanya mke wako!”

ERICK ATAKUBALI KUMUOA CLEOPATRA?

AU ITAKUWAJE?

Sehemu ya 39

Ilipoishia……….. Cleopatra ameenda mpaka Karume na kuonana na Erick,huku alimwambia kama atamuoa basi ataacha kila kitu!

Songa nayo………..

Lilikuwa ombi la kawaida ila gumu sana kwangu!

Kukubali kumuoa mwanamke ambaye alikuwa anacheza uchi Casino na kuvua mpaka chupi haikuwa rahisi!

“Erick najua unavyonifkria lakini hujui nyuma nimekutana na nini mpaka nifike hapa!”

“Sitaki kujua Patra!”

“Sawa Erick!Ila ukikubali kunioa naapa Erick naacha kila kitu niwe na wewe!”

“Siyo rahisi Patra!”

“Erick nimefanya mambo mengi duniani,starehe za kila aina,hakuna sehemu ya starehe sijafika Tanzania mpaka nje ya Tanzania!

Erick nimezunguka Dubai,Ibiza mpaka marekani huko nimekula bata!”

“Kwanini unaniambia yote hayo Patra?”

“Sababu nahitaji kutulia sasa,nakuambia sababu nataka ujue hakuna starehe sijafanya Erick!!”

Maneno ya Cleopatra yalinishawishi moyoni na kujikuta naingiwa na imani hasa baada ya kumuona anatokwa machozi!

“Nibadilishe Erick!ni wewe tu wa kunibadilisha!”

Aliongea kwa uchungu huku analia Cleopatra nikamhurumia!

Nilisimama nikamkumbatia kisha nikamuuliza!

“Unaniahidi utabadilika Patra!!”

“Nakuahidi babaangu nakuahidi!”

Alisema Cleopatra huku analia kwa uchungu!

Nilimbembeleza na kuamua kumpokea ili aweze kutabadilisha maisha yake!

Urembo wake,umbo lake na sauti yake vilitakiwa kuendana na tabia yake!

Nilimuahidi nitamsaidia kubadilika!

Siku hiyo tulishinda na Cleopatra karume akinisaidia kuuza mitumba na sindiria mpaka jioni!

Tulifunga Kisha tukaongozana kwenda nyumbani!

Patra alishangaa nampeleka sehemu nyingine tofauti na ile ya Mwanzo!

“Karibu baby!”

“Baby kwani unaishi hapa au kule?”

“Naishi hapa ndiyo kwangu, pale ni kwa shemeji yako Kessy!”

“Hahahahaha!Ila mume wangu una mambo!”

“Kwanini?”

“Ndiyo nini kuvaa suti na kumgeuza mwenzako bodyguard siku ile kumbe rafiki yako?”

“Hahahahaah!swaga tu Patra!!”

“Dahh!ulituweza kwa kweli,Ila big up maana ivi ivi mngeambulia matusi tu wale shoga zangu Wana dharau haswa!”

“Hahahahaaa!”

“Mpaka leo wanajua kama hufanyi kazi benki basi unamiliki maduka kadhaa Kariakoo, na bidhaa hununui hapa unapaa Dubai!”

“Hamna bhana hapa ndiyo kwangu!”

“Kuzuri mwaya mume wangu!”

“Karibu jiskie huru!!”

“Ahsante nataka nikupikie mume wangu,nadhani leo ndiyo mwisho wa kula magengeni!!”

“Kabla hujapika nimekumiss hatari!”

“Mmh!umemiss nini?”

“Mahabaaaa!viuno vileeee vya twanga pepeta!!”

“Mmh!kweli baby!”

“Ndiyo hun!”

“Basi njoo unishike kiuno changu mpenzi!”

Nilisogea nikamshika kiuno kwa nyuma Patra ambaye ameumbika si haba!

Nilibinya wowowo lake huku nampapasa taratibu ulimi wangu ukiwa shingoni unachora lovebite!

“Aaashiiiii baby bhanaaaa!yaache mat*ko yanguuuu!!”

Nilimgeuza nikampa ulimi tukaanza kudendeka!

Patra alilegea haswa!Ndani ya dakika kumi alijikuta amebakiza chupi tu!

“No baby!nataka nikakojoe nionyeshe bafuni!!”

Niliingia naye chumbani nikamuonyesha bafu akaingia ndani ya dakika tano akatoka na kunikuta na Mimi nimebaki na boksa tu shughuli ikaendelea!

Ulifika muda wa kumvua chupi yake ambayo inaleta hisia sana ukiivua kwa madaha!

Siyo unavua chupi kama unataka kubaka!

Nilimlaza chali kitandani kama daktari anayetaka kumpima mgonjwa!

Kisha nikashuka mpaka kiunoni nikaanza kuivua taratibu chupi kwa meno!

Meno yalivyokuwa yanamkwaruza kiunoni yalimuongezea hisia na kujikuta analalamika kwa mahaba!

“Erick nivuee nitie unaitesaaaaaa!unanitesa babaangu nipe!”

Nilicheka moyoni kuona mgonjwa anataka sindano kabla hata hajavua nguo!

Mpaka ninamaliza utaratibu wangu wa maandalizi Patra alikuwa amemwaga machozi kama mvua na kuvunja dafu mbili bila bakora!

Mechi ilianza rasmi na staili yetu pendwa na kuua mende,kabla hatujahamia nyingine na nyingine tena!

Mpaka tunaachiana tayari ilikuwa imefika saa tatu usiku!

“We mwanaume mashine!”

“Nawe mwanamke feni!!”

“Sikufichi Erick unanipatia sana yani,unanipa nachotaka mpaka unanizidishia dozi baba utaniua!!”

“Nawe viuno vyako vya makasino upunguze utavunja bakora yangu we mwanamke!”

“Niache hukooo!”

Tulitoka tukaenda kutafuta chakula tukarudi,nikatoka tena kufuata soda nikiwa peke yangu!

Wakati narudi jirani akanisimamisha mlangoni!

“We mkaka umezidi umalaya ndiyo nini kutuchanganya kama iviii?”

“Wee ebhu nipishe bhana achana na Mimi?”

“Weeee!usinambie ivyo na umekula kitumbua changu usijishaue!!”

“Ebhu nipishe nipite kwani mi mumeo?”

“Sasa nakuharibia naenda kusema kila kitu kwa hiyo dada,namuambia wewe ni malaya umenichezea umenitia umeniacha!”

“Unataka nini kwani?”

“Nataka unipe saivi twende chumbani kwangu ukanipe ndiyo nisikuharibie!”

JE UNAHISI NINI KITATOKEA?

ERICK ATAFANYA NINI?

Sehemu ya 40

Ilipoishia…………Erick kabananishwa na jirani,ambaye anataka wakafanye mapenzi ili amsitiri hasifichue mabaya yake!

Songa nayo…………

Jirani alinibana hakunipa nafasi,akanivutia mlangoni kwake nikakataa!

“We vipi?mbona sikuelewi!”

“Utanielewa tuuu!”

“Jirani,jirani!”

Alinivuta kwa nguvu mwisho nikajikuta nimeingia chumbani kwake!

“Haya umeingia humu,ukizingua napiga kelele unanibaka!”

Alisema jirani huku amesimama mlangoni!

Tayari nilikuwa nimeyakanyaga na sikuwa na jinsi hivyo niliamua kutumia akili!

“Sikia jirani mimi sioni haja ya kulumbana!!”

Niliongea kwa sauti ya chini yenye utulivu!

“Unamaanisha nini?”

“Yule ameshalala kwanza hata mimi nimekumiss sana njoo nikupe nikalale zangu!”

“Hayo ndiyo maneno sasa, nipe babaaa!!”

Alisema jirani akanisogelea akanikumbatia huku ananipapasa mgongoni!

“Kuna joto washa feni!!”

Alienda kuiwasha feni ambapo kile kitendo cha kuinama tu aliskia mlango unalia ‘puuuhh’.

“Jirani!jirani we jirani!!”

Nilimuacha huku nyuma ananiita bila mafanikio!!

Nilitoka mbio mpaka chumbani kwangu nikamkuta Patra ananisubiri kwa hamu!!

“Mbona umechelewa!!”

“Aah….kulikuwa…na foleni kubwa!!”

“Mmh!sawa njoo tule sasa pole mume wangu!!”

Tulikaa tukala ila moyoni sikuwa na amani kabisa!Nilikuwa na wasiwasi jirani anaweza kuja kugonga mlango muda wowote kuniharibia, nashukuru ilo halikutokea!

Tulipomaliza kula kama kawaida tulifanya tena mapenzi kisha tukalala!

Asubuhi tuliamka na penzi zito ndipo Patra akaniandalia kifungua kimya!

Niliingia kazini nikiwa mwepesi na mwingi wa furaha!

Sikujua kwanini moyo wangu ni kama ulitua kwa Patra,licha ya yote mabaya niliyoyaona kwake!

Nilikuwa kama mchungaji anayempokea jambazi kanisani akiamini atabadilika na kuwa mtu mwema!

Pia sijui ni ukubwa au ni nini ila nilijiskia kuachana na mambo ya kurukaruka huku na kule,kudonoa donoa kila punje!!

Ingawa moyoni nilihisi nimetua kwenye mti wa miba Ila nilijipa moyo!!

“Ivi huyu Abobo ndiyo kalitelekeza banda lake?”,Kessy aliniuliza!

“Dah!ndugu yangu mi mwenyewe niko gizani kama wewe!”

“Sasa itakuwaje?”

“Itakuwaje kivipi yule anatembelea gari la milioni mia nane aje auze mtumba wa faida ya buku au buku mbili kweli?”

“Dahh!Ila anafeli sana mshikaji wetu!”

“Sikia mwanangu Kessy,tusimseme sana,tujaribu kuvaa viatu vyake,tungekua yeye tungefanya nini??”

“Ila poa sio kesi,Mimi naona tuliendeleze hili banda faida tutakuwa tunagawana mi na wewe,hili kama akirudi atalikuta!!”

“Uko sawa maana ya kesho hatuyajui!!”

Nikiwa nimetulia zangu sina hili wala lile,mume wa Maiya alinipigia simu!!

Huwa napoteza furaha kabisa nikiona simu yake,nillijikaza na kuipokea!

“Haloo,Mr Erick nilikuambia uje uchukue zawadi yako mbona hauji,au unataka uje udai kuwa huyu ni mtoto wako?”

“Haaa…paa..na !”,nilimjibu kwa kubabaika maana aliongea kwa hasira kidogo!

“Hapana ila ni nini?”

“Ila nilisubiri unipigie sababu unajua nakujaga huko nimefumbwa macho!!”

Nilimsikia Salim akishusha pumzi Kisha akaanza kuongea taratibu,nahisi jibu langu lilijitosheleza!

“Okay,okay,gari litakuja hapo jioni!!”

“Sawa boss!”

Alikata simu nikashusha pumzi ndefu sana,japo Salim ananipa pesa ila bado nilikuwa na hofu kubwa,”hawaeleweki hawa anaweza kunibadilikia muda wowote”,nilijisemea moyoni Kisha nikaendelea na Mambo yangu!

Kama kawaida jioni ilifika Salim akanipigia simu kunijulisha kuwa gari ilishafika!

Nilifunga banda langu kisha nikaelekea ilipopaki gari!!

Nilipanda kisha nikafungwa kitambaa safari ikaanza!!!

Nikiwa njiani simu yangu iliita nikaitoa ili niipokee,wale walinzi wakanizuia!!

Baada ya dakika kama arobaini gari lilisimama,nikafunguliwa kitambaa usoni!!

Tulikuwa ndani ya jumba like la kifahari tayari.

Nilishuka nikaongozwa mpaka kwenye chumba kimoja ambacho sikuwa nimewahi kuingia kabla!!

Nilimkuta Salim akiwa amekaa kwenye kiti akanipokea kwa tabasamu pana la kinafiki!

Ndiyo, naliita la kinafiki sababu nilikuwa najiuliza anapata wapi ujasiri wa kunipa tabasamu??

“Karibu uketi bwana Erick!”

Nilisogea kimya na kuketi kwenye kiti mapigo ya moyo yakidunda kwa kasi!

“Mr Erick!”

“Naam!”

“Nimekuita hapa kukupa taarifa kuwa mke wangu Maiya amepata ujauzito,kwa hiyo nashukuru sana kwa kunirejeshea heshima yangu!!”

“Heshima kivipi boss?”

“Hahahaha!Yule ni mwanangu Erick,Maiya akijifungua ntaitwa baba na mimi!”

“Hongera boss!!”

“Kabla sijasema ahsante kuna kitu nataka nikuombe!”

“Kitu gani?”

Nikiwa najiuliza, Salim aliamka akaingiza mkono kwenye koti lake na kutoka na bastola!

“Utanisamehe Mr Erick!mwanangu hawezi kuwa na baba wawili duniani!”

Alisema Salim huku kaninyooshea bastola akaikoki Kisha ukaskika mlio mmoja tu “PAAAAAAH”.

ERICK AMEKUFA?

NA NINI HATIMA YA ABOBO NA KESSY!!

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!