NIGHT CLUB
Sehemu ya 26
ONYO: Hawaruhusiwi wenye Miaka chini ya 18 kusoma hii Hadithi
Ilipoishia………Erick katekwa na watu wasiojulikana anapelekwa kusikojulikana…..
Songa nayo……….
Lilikuwa ni tukio la kimya kimya kiasi kwamba hata Abobo na Kessy hawakujua chochote!!
Waliendelea kupombeka mpaka walipoona nimechelewa kurudi ndipo wakashtuka!
Waliniangaza kote chooni na kuniulizia kwa watu bila mafanikio!
Hakuna aliyewaza kama naweza kuwa nimetekwa!
Sababu mengi yaliyotokea niliwaficha sikuwaweka wazi!
Wenyewe walijua nimepata demu nikawatoroka!
Waliondoka zao nyumbani maana hata simu yangu haikupatikana!
*********
Ndani ya gariĀ nilikuta watu watatu wote wanaume waliojazia!!
Waliniweka kati Kisha wakanipokonya simu wakaizima!
Wakanifunga macho kwa kitambaa cheusi na mikono yangu wakaifunga!!
“Utii wako ndiyo uhai wako!!”
Alisema mmoja wa wale jamaa!
“Kukuruka tukudunge sindano ya sumu!!”
Mwingine naye alinitishia kisha wakati nimemgeukia wa kulia kwangu wa kushoto alinidunga sindano!
Macho yalikosa nguvu yakawa mazito kichwa kilikuwa kama nimebeba mifuko miwili ya simenti kichwani!
Nilijikuta nimezimia sikujua kilichoendelea!!!!
Nilikuwa kama kwenye usingizi ghafla nikafumbua macho!
Mazingira ya sehemu niliyokuwa yalikuwa mageni kabisa!!
Kilikuwa chumba kizuri kilichopambwa kwa nakshi mbalimbali za kipwani pwani!!
Mavazi niliyokuwa nimevaa yalikuwa mavazi ya kulalia ya gharama sana!!
Nikiwa pale nashangaa mlango ulifunguliwa akaingia mwanaume mmoja wa makamo akiwa anatabasamu!!
Sikuwa nimewahi kumuona kabla sikuwa na kumbukumbu ya kukutana naye mahali popote!!
“Kijana relax uko Salama kama tu utafanya nachokisema!”
“We ni nani?unataka nini?”
“Hahahahaaa!unataka kunijua?”
“Bila shaka!!”
“Naitwa Salim ni mume wa Sumaiyah nadhani tulishachati kidogo!”
Nilishtuka nikajikuta kijasho chembamba kinanitoka!
“Kijana Maiya ni mkewangu wa ndoa tulifunga ndoa ya kifahari kwao Oman Ila hatuna watoto!
Miaka mitano baada ya kumuoa nilikuwa jabali kweli,nilikuwa shupavu mpaka nilipopata ajali na kupoteza nguvu za kumridhisha mkewangu kitandani.
Nilimwambia atafute mwanaume wa kuishi naye Ila abaki kuwa mkewangu,alikataa sababu alinipenda!”
“Kwanini unaniambia yote haya?”,nilimuuliza yule jamaa.
“Kwasababu amekuchagua wewe baada ya miaka kadhaa,amefanya mapenzi tena na wewe!kwa hiyo amekuchagua wewe!!”
“Kama sitaki?”
“Ntakulazimisha!!”
Alisema yule jamaa Kisha akapiga mluzi kama ishara,punde tu akaingia Maiya akiwa amevalia nguo za harusi kama mhindi!!
“Karibu kipenzi!Karibu Maiya!nimeileta furaha yako mpenzi!!”
Alisema yule jamaa kisha akasimama akamshika mkono Maiya akamsogeza na kumketisha kando yangu!!
“Erick!”,aliniita yule jamaa
“Naam!”.
“Huyu ni mke wetu mimi na wewe mi nitampa pesa na kila kitu,wewe utampa penzi analotaka!!”
“Lakini Kaka mi siko tayari!!”
“Usijali kama nilivyokuambia ntakulazimisha tu hakuna namna!!”
“Naomba niende tu Kaka!”
“Kazi njema Erick!mpe Maiya anachotaka!!”
Alisema yule jamaa kisha akaondoka akaniacha chumbani na Maiya!!
“Maiya ivi nini hiki mbona sielewi??”
Nilimgeukia Maiya nikamuuliza!
“Huelewi nini Erick?we fanya anachotaka Salim!”
“Hukuniambia lakini kama umeolewa!!”
“Hayo hayasaidii kwa sasa yaliyopita si ndwele tugange yajayo!!”
“Maiya mi siwezi!!”
“Salim ni katili kuua kwake siyo shida kabisa sijui kama ungependa akufanyie ivyo!!”
“Maiya siwezi aniue tu!!”
“Okay sawa subiri kifo chako!!”
Alisema Maiya Kisha akatoka chumbani nikabaki peke yangu!
Punde alirudi Salim akiwa na walinzi watatu,wawili walikuja wakanishika mmoja akanichoma sindano Kisha wakaniachia!!
Wale walinzi walitoka Maiya akaingia,chumbani tukawa mimi,Salim na Maiyah!!
Salim alikaa kwenye sofa na glasi ya pombe Maiyah akabaki kasimama ananiangalia!
Ile sindano waliyonichoma sijui ilikuwa na nini nilijikuta napatwa na hamu kubwa ya kufanya mapenzi!
Nilijikaza lakini nilishindwa bakora ilivimba hadi ikauma!
Maiyah bado alisimama ananiangalia,Salim naye ananichora tu!!
Nilishindwa kujizuia nikajiuliza nakufaje na njaa wakati chakula nakiona?
Niliinuka nikamsogelea Maiyah bila kujali Salim yuko mule ndani!
Aibu ilipotea kabisa,nikamkumbatia Maiya nikaanza kumnyonya mate huku namvua nguo zake kwa pupa!!
Ndani ya dakika tano tu Maiya alikuwa mtupu kabisa nikamlaza chali kitandani!!
Sikumuandaa sana,hali yangu ilikuwa mbaya sana!
Niliingia katikati ya mapaja nikaichomeka bakora yangu taratibu!!
“Ooohhhpsssiiii polepole mpenziiii!!!”
Hamu niliyokuwa nayo sijui tu walinichoma nini?
Nilifanya mapenzi na Maiya bila kumruhusu apumzike!!!
Yalifika masaa mawili bado sijashuka yaani nikimaliza naunganisha!!!
“SALIM NIMETOSHAA!!!”
Nilishangaa Maiyah anamuomba Salim na siyo mimi ninayefanya naye mapenzi!!
UNAHISI KWANINI MAIYAH ANAMUOMBA SALIM NA SIYO ERICK ANAYEFANYA NAE MAPENZI??
Sehemu ya 27
Ilipoishia………..Erick kachomwa sindano iliyoamsha hisia na kujikuta anafanya mapenzi na Maiya mbele ya Salim ambaye ni mume wake!!
Songa nayo………..
Sikujua walinichoma sindano gani ile mpaka nikawa vile!
Masaa mawili nilikuwa juu ya kifua cha Maiyah pembeni yake amekaa Salim anaangalia kila kinachoendelea!!
“Salim nimechokaaa!!”
Maiyah baada ya kuona maji yamezidi unga akakimbilia polisi!!
Baada ya kusema vile Salim alisogea akiwa ameshika sindano akanichoma mgongoni!!!
Usingizi ulinipitia nikajikuta nimelala juu ya kifua cha Maiyah!!!
Nilikuja kushtuka baadae nikiwa ndani ya kile chumba pembeni yangu alikuwepo Maiyah anatabasamu!
Aliponiona tu nimeamka akatoka ndani ya kile chumba aliporudi alikuwa amabeba poti mbili za chakula!!
“Amka ule mpenzi!!”
Nilihisi njaa sana sikuwa na muda hata wa maswali,niliamka nikakaa kitako Maiya akaninawisha!!
Nilifunua poti la Kwanza lilikuwa limejaa nyama za kuku na la pili lilikuwa na pilau!!
Nilikula Sana siku ile,sijawahi kula chakula kingi namna ile!
Nilipomaliza nilibeua kisha nikatulia nikimuangalia Maiyah!!
“Maiyah!kwanini mnanifanyia hivi?”
“Nakupenda Erick!Sioni tatizo wewe kuwa na mimi sababu Kwanza mume wangu kama alivyokuambia hana uwezo wa kuniridhisha na siyo kuniridhisha tu hata jogoo hawiki kabisa!!”
“Lakini Maiyah kwanini mimi?mbona wapo wengi sana?”
“Nahisi we ndo umebahatika Erick,sababu nina miaka simjui mwanaume na wewe ndiyo umeingia moyoni mwangu kwa hiyo nimekuchagua wewe!!”
“Una maana gani kusema umenichangua?”
“Nataka tuzae Erick!Na Salim mimi nataka nimuue niwe na wewe tu!!”
“Stop!!!ivi unajua unaongea nini?acha upumbavu utaniweka matatizoni mume wako sijui jini yule halafu unaongea ujinga!”
“Siyo ujinga Eri…….!”
“Nyamaza Maiya badili mada!!”
Maiya alinisogelea akaanza kunipapasa kifuani,nilishtuka sana maana nimechoka balaa!!
“We Maiya situmefanya hadi ukaomba po?”
“Jamani Erick mi hata sitaki mpenzi naskia raha nikikipapasa kifua chako tu!!”
Nilikaa kimya nikimuacha Maiya afanye anachotaka ila sikumruhusu aiguse bakora yangu!!
Nilikuwa na mawazo mengi sana,nikifkria juu ya hatma ya maisha yangu!
#######
Misukosuko niliyopitia ndani ya siku mbili hizi ilinifanya nipoteze kilo kadhaa mwilini!!
Usingizi ulinichukua nilikuja kushtuka asubuhi Maiya akiwa pembeni yangu!!
Mlango ulifunguka Salim akaingia akiwa na tabasamu pana!!
“Mr Erick hongera sana naona Maiya anatabasamu sasa!!”
Sikumjibu kitu bado sikuamini ile michezo,nilijua wanataka kunifanyia kitu kibaya!
Mwanaume gani wa kumruhusu mkewe kufanya mapenzi na mtu mwingine!!
“Mr Erick unaweza kwenda sasa ntakuita akikuhitaji!”
Ile kauli ilinifanya nikurupuke nikashuka kitandani nikaanza kuangaza nguo zangu sikuziona!!
“Angalia hapo kwenye kabati kuna nguo chagua unayotaka chini kuna viatu vaa unavyotaka!!”
Alisema Salim nami bila kusita nikaangalia kabatini nikashangaa kukuta suti tu na mashati!!
Sikuwahi kuvaa suti kabla ile ndiyo ilikuwa siku yangu ya kwanza!!
Nilichagua suti nyeusi na shati jeupe nikavaa kisha nikatoka nikimuacha Maiya bado kalala!!
Salim aliniongoza mpaka nje nikapata kuona mandhari ya jumba lile lenye ghorofa tatu!!
Mazingira ya nje yalikuwa mazuri sana nilishangaa sana nikajiuliza hapa ni ikulu au wapi?
“Unajua kuendesha gari?”
Aliniuliza Salim akivunja ukimya!!
“Hapana sijui!”
“Jifunze sasa,ungekuwa unajua ningekupa gari hapa uondoke nalo!!”
Nilinyamaza sikumjibu,moyoni niliona mapicha picha tu yani nilale na mkewe halafu bado anipe gari niliona miujiza!!
Tulifika mpaka kwenye maegesho ya magari tukasimama!!!
“Bwana Erick!Wewe ni rafiki yangu sasa usiogope!!”
“Naanzaje kutokuogopa?”
“Hahahahaha!jiamini najua huyaamini maamuzi yangu,ila tambua ni bora nikamjua anayempa raha mkewangu kuliko kwenda kuhangaika mitaani huko!!”
Salim alinipa bahasha ambayo sikujua ndani kuna nini!
“Hiyo itakusaidia siku mbili tatu!!”
“Ni nini?”
“Hahahahahaha! Erick hiyo ni pesa ila usiniulize ni shingapi,ntakupa dereva utamwambia sasa wewe kama akupeleke karume au kwako ubungo!”
Nilishtuka nikajiuliza amejuaje mi naishi ubungo!
“Usishtuke Erick hii dunia ni rahisi sana kuiweka mikononi!!”
“Una maana gani?”
” Utanielewa siku moja Ila chonde najua una kazi zako Ila Sasa nimekuongezea kazi,kazi ya kumridhisha mkewangu!!”
“Sawa naomba niende!!”
“Sawa Erick ila chondechonde siku nyingine nikikuita uje siyo tutekane tena hayo mambo ya kishamba,sisi ni marafiki au vipi?”
Aliongea Salim Ila sikumjibu kitu niliingia kwenye gari cha ajabu nikawakuta wale jamaa wa siku ile!!
Nilipoingia tu bila kuuliza walinifunga kitambaa machoni safari ikaanza!
“Kwako au Karume?”
“Karume!!”
Nilitaka niende kazini nikawatoe hofu rafiki zangu ambao nahisi watakuwa wana wasiwasi sana!
Gari lilisimama nikafunguliwa kitambaa machoni nikaruhusiwa kushuka!
Nilishuka tayari tulikuwa Karume,mavazi niliyovaa yaliwafanya wanaonifahamu waniangalie kama jini!!
“Oyaaaaa!falaa kavaa suti!!”
Abobo ndiyo alinipokea kwa bashasha na utani mwingi!!
“We bwege nini?muulize alikuwa wapi huyu bwege yaani katutoroka halafu anakuja kama mbunge,isije kuwa ametia nia!!”
Alisema Kessy akimsisitizia Abobo!
“Ila kweli ulikuwa wapi wewe mbwa!”,aliuliza kibabe Abobo!!
UNAHISI ERICK ATASEMA ALIKUWA WAPI?
NA MKASA UPI UNAFUATA BAADA YA HUU?
Sehemu ya 28
Ilipoishia……….Erick anarudi kazini baada ya kutoweka jana usiku,je atasema alikuwa wapi?
Songa nayo……….
Kuna mambo ya kuongea na kuweka hadharani,Ila kuna mambo ya kuyaficha na kubaki nayo moyoni!
Ukijua kuchuja maneno utaishi vizuri sana,siyo kila neno ni la kumwaga hadharani,jifunze kuweka Siri!!
“We bwege sema ulitokaje pale na ulienda wapi?na suti umepata wapi?”,aliuliza Abobo!
“Nyie maboya nini?acheni wehu Kessy anaondokaga Club kimya kimya anamuaga nani?nilipata demu nikatoroka,halafu kuhusu suti si zinauzwa hizi!”
“We sema vizuri kabisa nyoosha maelezo,hii suti ya kibunge kabisa hii anavaa Diamond Platinum hii huwezi kununua!”
Alisema Kessy ambaye kati yetu ndiye anayemiliki suti!
“Ebhu niacheni bhana!”
“Yani unavaa suti unakuja kuuza sindiria!”,alitania Abobo!
“Acha zako wewe hii kazi ujue mbwa wewe!”
Niliingia kwenye banda langu nikafungua nikaanza kuuza zangu sindiria!
Kati ya siku nilipata wateja ni siku ile,aiseeh wateja walikuwa wengi Sana!
Siku ile nilipata siri nyingine ya biashara!
Ukiwa unauza vitu vya kina dada inabidi uwe nadhifu sana,hata bodaboda chunguza vizuri,madada zetu wanapanda bodaboda za watu walio nadhifu kwa aslimia kubwa!!!
Nilipata muda nikaangalia ile bahasha ambayo sikuwa nimeifungua,kulikuwa na noti nyingi sana nyekundu tupu!
Nilishtuka sana bado amani ilikuwa mbali na moyo wangu!
Kichwani nilijiuliza inakuwaje mtu ananiruhusu nilale na mkewe na pesa ananipa?
Sikuzihehasabu zile pesa pale hakukuwa salama Sana!
Muda ulifika nikafunga banda langu nikarudi nyumbani!
Nilipofika tu nikafunga mlango nikavua ile suti nikabaki na boksa nikaichukua bahasha nikazimwaga noti mezani!
Nilizihesabu zote japo nilichukua muda kidogo!
Ilikuwa milioni kumi kamili,nilijilaza kwenye sofa nikiwa na maswali yaliyokosa majibu,mwisho nikajisemea!
“Ngoja tuone itakuwaje!”
Niliingia bafuni nikaoga Kisha nikatoka kuelekea kwenye Banda la chipsi kutafuta chakula!
Hakukuwa na foleni sana,nilinunua nikarudi zangu nyumbani!
Nilipofika mlangoni kabla sijafungua jirani aliniita!
“Jirani!”
Niligeuka bila kumuitikia nikamuangalia kwa macho yanayosema..
“Sema nakuskiliza!”
“Jirani samahani kuhusu jana!”
“Bila samahani!”,nilimjibu kimkato maana nilikuwa na hasira kidogo nipigwe risasi sababu yake!
“Lakini jirani unakuwaje na mahusiano na majambazi?”
“Ebhu achana na mimi bhana!!”
Niliingia ndani nikimuacha jirani ananiita bila mafanikio!
Niliufunga mlango kwa ndani sikutaka usumbufu kabisa!
Sikuwa nimewasliana na Aisha tangu niachane naye jana Asubuhi!!
Niliingia zangu ndani nikalala Ila simu yangu iliita!
Nilipoangalia alikuwa Salim ananipigia nilipokea haraka!
“Haloo!”,niliita.
“Haloo Mr Erick!Maiya anasema umemblock bwana mtoe anataka kuchat na wewe!”
“Sawa!”
Niliitika nikiwa siamini kama duniani kuna mwanaume kama Salim,na kama ananiigizia basi ni zaidi ya Shahruk Khan wa India!!
Niliitoa namba ya Maiya kwenye blacklist tukaanza kuchati,hakuwa na stori nyingine zaidi ya kusema kanimiss sana!!!
Usingizi ulinichukua nikalala,nilishtuka asubuhi nikaingia bafuni nikaoga nikajiandaa nikabeba na bahasha yangu nikatoka!
Nilitaka kupitia benki kwanza kuweka ile pesa benki!
Nilifika mapema tu nikawa mteja kama wa pili kuhudumiwa!
Niliweka pesa benki salio lilisoma kwama milioni thelathini na tano!
Nilitabasamu nikaondoka zangu njiani nikampigia simu mama yangu!!
“Mama vipi kwema uko!!”
“Kwema mwanangu!”
Niliongea naye nikimuuliza maendeleo ya biashara niliyomfungulia ambayo aliniambia inaendelea vizuri anamshukuru Mungu!
Nilifika karume nikawakuta Abobo na Kessy wameshafika!
“Ila we jamaa siku hizi umekuwa unachelewa wewe tu mzee!!”
“Siyo ivyo mzee mambo yanaingiliana mjini hapa tunaishi kimkakati!”
Alikuwa ni Abobo mshkaji wangu anayeongea sana!
Nilifungua banda Kisha tukaanza kupiga stori huku tunasubiri wateja!!
Alikuja mdada wa chakula akatuuliza kama atuletee chai!
“Waletee supu ya elfu tano tano hawa na chapati nne nne!niletee mimi chai ya maziwa na chapati mbili,bili zote zangu!!”,nilisema nikitoa ofa kwa washkaji zangu
“OYOOOOOO!!BOSS KASEMA!!!”
Alipiga kelele Abobo kama kawaida yake!
“We dada mi niletee ya elfu mbili tu na chapati mbili hiyo ya elfu tano unanikomoa au?”,alisema Kessy!
“Na wewe kaka!?”,yule mdada alimuuliza Abobo!
“Wee hujaskia boss anasema niletee alivyoagiza usipunguze usiongeze!!”
Alijibu Abobo!
Supu ilikuja tukanywa tukafurahi!
Simu ya Abobo iliita alipokea akaanza kuongea alipokata simu akashangilia!!
“OYOOO!ANTI SUZY KANITAFUTAAAA!”
Mimi na Kessy tuliangaliana sababu hatukujua Anti Suzy ni nan!?
“We vipiii?”,tulimuuliza Abobo!
“Tulieni ivyo ivyo kudadeki!!”
“Sasa tutulie nini?”
“Nyie si mlinibeza yule jimama aliyenitimua kanitafuta anasema tuonane leo Samaki Samaki mlimani City!!”
“Weeeee!kweliiii?”
“Ndiyo oyoooo wanangu nimetoboaaaaa!!”
HAYA KUMEKUCHA ABOBO ANATAFUTWA NA JIMAMA LAKE LENYE PESA CHAFU!
Sehemu ya 29
Ilipoishia………Abobo ametafutwa na jimama lake,lililomtimuaga ndani baada ya kukosea kisima na kuzamia topeni bila ruhusa!!
Songa nayo……..
Abobo alishinda anatabasamu tu,yaani hakutulia kabisa.
Kitendo cha kutafutwa na Anti Suzy aliona ni kama neema imemshukia!!
“Oyaaaahh!mwanangu niazime suti yako mwanangu nipige leo nikakutane na mama lao!!”
“Wewe unaumwa nini? Sasa mimi unaona na wewe tunalingana?”
“Daahh!ila kweli!!”
Siku hiyo Abobo alishinda kama kuku jike anayetaka kutaga,yuko huku mara yuko kule!!
Kama ilivyo kawaida ya jua likichomoza linazama pia hatimaye jioni ilifika ukafika muda wa Abobo kwenda kuonana na Anti Suzy mlimani City!
“Oyah!Abobo tunaenda wote mlimani City!!”,alisema Kessy!!
“We bwege unadhani kule utapata mademu wako wa bure bure eti!!”
“Tunaenda wote bhana!hauko Salama lazima tuhakikishe uko salama bhana!”
Nilimwambia Abobo ambaye alikubali tuongozane naye!
Tulirudi nyumbani tukajiandaa,binafsi nilivaa suti yangu niliyoipata kwa Maiya!
Tulikutana sehemu tuliyokubaliana Kisha tukakodi Uber!
“Ila we bwege umepania sana ndiyo nini unapendeza kuliko bwana harusi!!”
Alisema Abobo akiniambia Mimi baada ya kupendeza kuliko wote!
“Tulia wewe naenda kuondoka na mzungu leo!!”
Tulifika tukamkuta Anti Suzy katulia peke yake kwenye meza anakunywa pombe kali ya gharama sana!
Tulienda wote tukamsalimia kisha Mimi na Kessy tukakaa pembeni kwenye meza yetu!!
Kabla hatujaagiza vinywaji alikuja mhudumu akatuuliza tunatumia nini!
Tuliagiza lakini tulishangaa tulivyoagiza vilikuja mara kumi yake!
Yaani kama uliagiza bia mbili zinakuja kumi!
“Dada vipi nimegiza henkeni mbi mbili?”,nilimuuliza!
“Usijali Kaka mmeshalipiwa na yule dada!”
Alisema yule mhudumu huku ananyoosha kidole kwa Anti Suzy!!
Hakukuwa na swali tena!Tulianza kunywa taratibu huku meza yetu ikiwa imejaa vinywaji vingi!!!
***********
Abobo alimsogelea Anti Suzy akampiga busu zito la shavuni Kisha akakaa!
“Nambie mama la mama!”
Abobo alianzisha mazungumzo!
“Safi kwema?”,alijibu Anti Suzy!!
“Kwema kabisa japo nilikumiss sana mama lao!”
“Wewe muongo mbona hujanitafuta?”
“Duh!Sasa ningekutafuta wapi namba yako sina?”
“Siungekuja nyumbani!”
“Weeeeeehh!nikatwe kichwa yani unalindwa kama Raisi!”
“Hamna bhana ungekuja tu!!”
“Sasa mbona ukiwa kwenye starehe unakuwa peke yako?”
“Wapi hata hapa wapo Ila huwezi kuwaona!!”
“Wapo!?”
Alibabaika Abobo akaanza kuzungusha kichwa huku na kule!
“Usiogope bhana!”
“Unanitisha zile mbavu zile duhh!”
“Usjali bhana Abobo nimekumiss sana nimevumilia nimeshindwa japo uliniudhi sana kuninyoosha malinda yangu bila idhini yangu!!”
“Nisamehe iliteleza tu sikudhamiria!”
“Dah!yani kuteleza ndiyo ukang’ang’ania huko huko mpaka ukamaliza au ndiyo michezo yako?”
“Hapana mummy!siyo michezo yangu ni pepo tu la Ambarutty liliitelezesha bakora makusudi,siunajua siku hizi kuna jini anaitwa Amberrutty!!”
“Hahahaahhaa!unajua nacheka kama mazuri ila nilichukia Sana!”
“Nisamehe Mama lao!”
“Ndiyo maana nimekuita hapa!!”
“Umenisamehe!!”
“Nataka tuyaongee Abobo,nimelitafuta penzi kama lako sijaona,ntakusamehe kama tu ukiniahidi haitotelezea huko tena!!”
“Naomba unielewe mi siyo kambale hata niishie topeni,ile ni bahati mbaya tu haitotokea,mi kibua baharini ndiyo makazi yangu!!”
“Sawa Abobo nataka nibadilishe maisha yako,Mimi nina pesa chafu ukitulia Mimi nakupa maisha!!
“Mbona mimi niko tayari yani hata ukitaka nini mimi ntafanya!”
Alijibu haraka haraka Abobo kusikia kitonga alihisi mwili unasisimka!
Akifikria magari makali ya Anti Suzy na jumba lake la kifahari alipagawa haswa!!
**************
Tulipokaa mimi na Kessy pembeni walikuja wadada watano wakiwa wamevaa kisistaduu haswa!!
Walikaa pembeni yetu wakaagiza vinywaji vyao wakaanza kunywa!!!
“Oyaaa!Kessy umeona wale watoto!!”
“Mmmmh!wale wazungu hatuwawezi!!”
“Acha zako wewe tulia nikuonyeshe hawa tunaishi nao!!”
“Halafu we akili zako mavi mavi yaani unajikuta umevaa suti basi ndiyo unaweza kila kitu!!”
“Tulia wewe fanya ninachokuambia!!”
“Ebhu niambie!”
“Muite mhudumu mwambie aje hapa kuanzia sasa wewe ni bodyguard wangu!”
“Heeeee! bodyguard??”
“Ndiyo!unataka demu hutaki?”
“Nataka!”
“Muite mhudumu!”
Kessy aliondoka akamfuata mhudumu akarudi naye!
“Sikia dada si unawaona wale wadada wamegiza savanna?”
“Ndiyo kaka!”
“Nataka uwashushie kumi kumi kila mmoja na Santi Anna tatu pale shusha na k vant mzinga mmoja!!”
“Heeee!Erick unataka kuua!!?”
Aliuliza Kessy kwa mshangao!
“Niite boss Mimi saivi siyo Erick ni boss wako!”
“Sawa boss!!”
JE NINI KITAENDELEA?
WAZEE WA NIGHT CLUB!
WATAFANIKIWA KUWATEKA WALE WADADA!??
Sehemu ya 30
Ilipoishia…….Erick kamgeuza Kessy bodyguard wake ili apate muda wa kuwashika wale wadada wanaoonekana ni matawi ya juu sana!!
Songa nayo…….
Niliamua kutumia nguvu ya pesa kuwaingia warembo wale ambao walionekana matawi ya juu sana!!
“Usiniite Erick!niite boss!!”
“Sawa Eri…aah Yes boss!”
“We jichanganye ukiteleza tunawakosa hawa ndege!!”
Nilikuwa na kiburi mfukoni nilikuwa nina milioni moja napia nina kadi yangu ya benki,na kingine ninaweza kudroo pesa benki kwa kutumia simu yangu
“Una shingapi we boya?”,nilimuuliza Kessy!
“Nina laki tano boss!”
“Oooh!okay!”
Mhudumu alikuja na vinywaji akashusha pale kwenye meza ya wale wadada bila kuuliza akarudia vingine akashusha tena walikuwa wanachati na simu zao wakasita kwanzaššš
Wakaangaliana Kisha kwa pamoja wakauliza!
“Nani kalipia????”
Mhudumu bila kupepesa macho akanyoosha mkono kuonyesha tulipokaa Mimi na Kessy!
Nikawapungia mkono kuonyesha ni mimi boss mtoto!
Walitabasamu wale madada kisha wakaanza kupombeka huku wanachezea simu zao!!
Sikutaka kwenda pale niliendelea kukaa palepale na Kessy!
“Oyaah!twende sasa tukajiunge nao!”
Aliniambia Kessy baada ya kuona sina mpango wa kujiunga kwenye meza ya wale wadada!
“Tulia wewe acha pupa!!”
“Unajua sikuelewi sasa umenunua mipombe yote ya nini?”
“Halafu mbona unajisahau mimi boss wako ujue tutaenda muda ukifika!”
Kessy alinyong’onyea sana,aliona kama nimenunua vinywaji vya bure!!!
“Sawa boss!”,alijibu kiunyonge!
########
Abobo na jimama lake walikuja wakatuaga wakaondoka zao!!
Tukabaki mimi na Kessy tunakunywa pombe huku tukiwavutia kasi wale warembo mjini tunawaita maslay queen!
“Oyah!Kaka muda unaenda ujue halafu sikuelewi!”,alilalamika Kessy!
Kabla sijamjibu mrembo mmoja kati ya wale warembo alinyanyuka akaja mezani kwetu!!
“Sorry naitwa Sandra nashukuru,nimekuja kushukuru kwa vinywaji!!”
Alisema Sandra huku anampa mkono Kessy!!
“Bo…….bo…..bosi ni huyu?”,alibabaika Kessy akisita kupokea mkono wa yule dada ambaye kwa urembo tu unaweza ukamfananisha na wale wadada wanaotokea kwenye video za wasanii wakubwa bongo!
Yule dada alinigeukia akanisalimia Kish akashukuru!
“Usijali mrembo karibu Sana!”,nilimjibu kwa utulivu na sauti ya mtu ambaye haijui shida duniani!!
“Samahani sijui tunaweza kujumuika pamoja pale kwenye meza yetu mtupe kampani kidogo?”
“Bila shaka mrembo!!”
Sandra aliondoka Kisha Mimi na Domo zege wangu tukainuka huku kuelekea kwenye ile meza!
“Kaka wewe ni masta umecheza kama Pele!”
“Tulia niachie mimi nipige chenga zote we benzema subiri kuweka kambani tu!”
Tulifika tukakaa maslay queen wakatukaribisha kwa uchangamfu na bashasha!
“Naitwa Mr Erick na huyu ni rafiki yangu anaitwa kessy!!”
“Ooh!Mr Erick mimi naitwa Precious huyu hapa anaitwa Joyce au pretty girl,yule ni Zulekha au Zuuh,yule pale anaitwa Sandra na wa mwisho ni Cleopatra!”
Alisema Precious ambaye anaonekana Kati ya wote yeye ndiyo anaongea zaidi ya wote,kibongo bongo tungempa jina la mapepe!!
Wote ni wazuri ila kuna mzuri zaidi yao ambaye ni yule alitambulishwa mwishoni kabisa, Cleopatra!
Nimeona warembo wengi ila yule dada ni balaa!
Alikuwa mrembo haswa,urefu wake,umbo,rangi ya ngozi yake,macho yake makubwa na shingo yake ya twiga viliyafanya macho yangu yasitoke kabisa kwa yule binti!!
“Sijui mmekula warembo!”
“HATUJALAAA!!”
Niliuliza swali likajibiwa haraka na Precious au mapepe!
“Kessy kamuite mtu wa jikoni alete vitu hapa!”
“Sawa boss!”,alinijibu Kessy Kisha akainuka na aliporudi alikuwa na mhudumu wa jikoni!!
“Karibuni!!”
Alisema yule mhudumu kwa ukarimu na tabasamu pana!
“Waskilize hawa!!”
Nilisema kisha yule mhudumu akaanza kuwauliza!
“Kwani hakuna menyu hapa?”
Aliuliza Precious!
“Aah!jamani P si useme tu jamani unatumia nini?”
Walianza kuagiza pale vyakula ambavyo sijawahi hata kuviskia jamani nyie acheni maslay queen wanakomoa uuuwiiii šš
Binafsi mimi na Kessy tuliagiza tu vyakula vua kawaida Ila wenzetu vilishuka vyakula sijui vya kichina vile au kifaransa!
Walikula na kusaza kiburi kilikuwepo kamilioni kumi ka bure nimekapata kwa Maiya!
Ulikuwa ni muda wa kulewa sasa walikunywa sana wale wadada,walikunywa mpaka wakasaza!
Muda huo wote najichunga nisipoteze dira,katika mazingira yale mwenyeji hutakiwi kulewa kuliko mgeni!!
Hivyo nilikuwa namsihi Kessy anywe kwa mahesabu!!
Mpaka inafika saa tano tayari wale wadada walikuwa hoi kwa pombe!!
“Yani mimi naondoka na Erick twende ukanit*mb**** mpk asubuhi!”
Alipayuka yule Precious au mapepe kwa sauti ya kilevi!!
“Nani kasema?Nani kasema yani hapa Erick twende ukatupe woteeeeeee!”
Aliingilia Sandra yule aliyekuja kutuita kwenye meza yetu!
Moyoni nilihisi ushindi mkubwa nia yangu ilikuwa ni kuondoka na wale wadada wote mpaka nyumbani!!
“Oyah!Sasa unaona sasa kwako kungekuwa na vitu situngeenda kwako tatizo Saida kaiba kila kitu!”,nilimlaumu Kessy!
“We unaongea nini??nimenunua kila kitu ni kipya,kwanza aliondoka na fenicha kuu kuu nilishapanga kuziuza kitambo!”
“Kwahiyo kwako saivi fresh?”
“Ndo ivyo!!”
“Basi poa!”
JE WATAFANIKIWA KUONDOKA NA WALE WAREMBO WOTE AU ITAKUWAJE?