𝗡𝗔𝗝𝗨𝗧𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗞𝗔 𝟮𝟬𝟬𝟬, 𝗞𝗔𝗡𝗔𝗛𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 1
Weka uku mume wangu.
” Sitaki uko ni dhambi sitaki mke wangu umepatwa na nini?
” Weka mume wangu si siri yetu kwani atajua nani nakupa vyote.
” SITAKI NIMESEMA SITAKI TENA NAONDOKA KULALA SEBULENI.
( Nilitoa sauti ya ukari siwezi kufanya kitu kama icho mimi yani mimi niingie topeni uyu mke wangu kanionaje nikaenda kukaa ukumbini na simu yangu ananitumia sms)
” Samahani mume wangu nilikuwa nakujaribu kama wewe iyo michezo yako njoo tulale nashukuru nimepata mume mwema”
( Nilisoma sms ila kichwani mwangu nasema uyu kuna mtu alikuwa anampakua sasa kinamuwasha yani hii dunia ina mambo ila kama atarudia tena hii kauli nampa taraka siwezi kuwa na mke msen… mimi…..kidume sikwenda kulala mpaka asubuhi nikampa pesa ya matumizi nikaenda zangu kazini sasa nikamtafuta rafiki yangu wa karibu sana anaitwa awadhi nikamshirikisha swala hili akaniambia)
” Wewe shemeji hapo anarinda ndoa yake anajua wanaume wengi tunasahau familia zetu kwa sababu ya ndogo za nje sasa yeye anataka kukupa ndani nje usitoke tena.
” Sasa ilo swala kwa mke wangu kweli nifanye mbona si kitu kizuri.
” Ujawai kula ata siku moja ndogo?
” Sijawai na sitowai.
” Basi komaa ivyo ivyo usije kujaribu.
” Sasa unaniambiaje?
” Wewe si umesema akirudia unampa taraka mpe usikae nae atakuja kukupa siku moja utakuwa umeharibu msimamo wako.
” Samahani rafiki yangu wewe ukioa unaweza kufanya jambo ilo.
” Kwa mke wangu apana ila nje nawadonyoa tu si wananipa wenyewe.
” Awadhi usifanye icho kitendo ni dhambi kubwa sana sana kwa Mungu yani ata shetani mwenyewe anakukimbia anasema ilo lake.
” Duuu poa tu ndugu yangu shabani au sheby Duu.
” Poa.
( Niliondoka mpaka nyumbani ndio nikasikia sauti ya mashoga zake mke wangu wanapiga story na mke wangu)
” Shoga Jana mume wangu nikampa ndogo si naona kaitusua vizuri alafu Leo ananiambia sema zawadi gani nikupe kumbe waume zetu wanapenda aya mambo.
( Nikasema kimoyoni kumbe mke wangu mashoga zake ndio wanamwaribu mala namsikia mwengine anasema)
” Ila mume ukimpa uku anatulia mwanzo mwanzo tu akizoea yani anakuwa vile vile macho juu mimi nawashauri wenzangu tusiingie zambini kwenye ndoa zetu kuna wanaume wengine awapendi aya mambo musiwaingize zambini.
” Mmm nani asiyependa wanapenda sana ila awataki kujulikana.
( Nikasema kimoyoni naenda kuwafukuza hawa mashoga wa mke wangu na wasije kukanyaga tena hapa awana story za maana wanaongea upumbavu ndani kwangu nikaingia ndani mke wangu akanipokea mzigo uku amepiga magoti)
” Karibu mume wangu nyonga mkalia ini wewe ndio mume wangu wa harali karibu nyumbani kwako.
( Yani mapokezi yale bado kidogo yanitoe kwenye njia ya ukari ila wale mashoga sasa kabla sijawaambia ondokeni wenyewe wameondoka wameniacha na mke wangu sasa namwambia mke wangu)
” Wale mashoga zako siwataki hapa kwangu.
” Sawa awatokuja mimi nitaenda kwao.
” Sitaki uwende kwao kiufupi sitaki ushoga na wale wanawake kabisa.
” Hilo mume wangu alitowezekana acha tu nikwambie ukweli wale nimesoma nao nimekuwa nao Leo niache ushoga nao kisa nini sasa?
” Chagua moja taraka au uachane na mashoga wale ukae kwenye ndoa hii?
EP 2
Mume wangu tuache hii mada nakuomba.
” Tunaachaje na wale mashoga zako siwapendi.
” Mume wangu mzuri ujue nakupenda sana alafu unavyonikomalia ivyo unaniumiza moyo wale mashoga zangu wenyewe wananiambia nimepata mwanaume Bora mzuri alafu bonge la bwana ivi nikiwaambia aya vyeo vyote si wanakushusha mume wangu usijari mimi wale wala siwafatishi maongezi yao.
( Sijui nilipatwa na nini nikajikuta sisimamii msimamo wangu mke wangu kanivua viatu kasogeza beseni katoa soxsi ananisugua miguu kwenye maji ya baridi Basi nasikia raha nimetulia najikuta naanzisha story zengine)
” Mke wangu ushawai kufika tandika sokoni.
” Nilikuwa naenda kila ijumaa kununua vijora unajua tandika kuna vitambaa vyingi unataka kunipeleka mume wangu.
” Amna nilizani upajui Siku nikupeleke je kkoo?
” Uko si ndio kwenyewe naendaga kununua vya kisomari mume wangu wewe umeoa mtoto wa mjini sio wa mbwinde.
” Sawa.
( Akamaliza kuniosha miguu akaifuta kwa kitambaa ikang’aa sasa anachukua wembe ananikata kucha taratibu za mguuni mimi moyoni nasema KUPENDWA ndio uku nawaza kununua kidude cha kukatia kucha mke wangu ana mbwembwe anakata kucha uku ananipuliza miguu nasisimka)
” Hahaha acha kufanya ivyo mke wangu unanitekenya.
” Mume wangu na wewe TULIA nitakukata.
” Sawa.
( Nikatulia akanikata kucha vizuri nasikia raha akamaliza hapo akahamia mikononi kama kawaida kaiosha mikono alafu akanikata kucha mahaba niue akamaliza akaenda kunipelekea maji chooni ananiambia)
” Aya nenda kaoge mume wangu mimi nakuandalia chakula au twende wote tukaoge uanze kula uko uko chakula chako ulicholipia kwa wazazi.
” Amna mke wangu acha nikaoge tu mwenyewe alafu nije kula chakula hiki ulichopika.
” Sawa mimi ni wako muda wowote nipo kwa ajiri yako mume wangu.
” Sawa.
” Hila mume wangu kesho ukitoka kazini njoo na kisahani cha chai.
” Kinauzwa wapi?
” Duka la vyombo nunua vikombe vyenye kisahani chake.
” Sawa mke wangu.
( Nikaenda kuoga uku nasikia raha sana uyu mke wangu sio mchezo anajua mahaba ananifanya nisishinde kijiweni kwa raha izi nikatoka kuoga nikamkuta kanuna)
” Mke wangu vipi mbona umenuna tena.
” Umeniuzi kwanini umejifuta maji uko si ungetoka na maji maji yako nije kukufuta mimi angalia nipo na taulo nakusubiri utoke kuoga nikufute aya nitafuta nini sasa.
” Hilo sio la kununa mke wangu acha niende kujimwagia tena maji uje unifute.
” Tunaenda wote.
” Sawa twende.
( Tukaingia chooni kuoga uyu mke wangu ana mambo Jamani katoto ka 2000 kananipa raha si kakanifanyia mambo aya… yani kimeweka povu taulo kinanisugua mwilini uku yeye kavaa mtandio tu mwepesi )
” Unaumia mume wangu.
” Hapana.
” Vipi nitoe huu mtandio au?
” Toa si utaingia maji huu utaloa.
” Sawa ila ungeutoa wewe mimi mikono yangu ina mapovu mume wangu.
” Sawa nautoa ila mke wangu wewe.
” Ila Nini mume wangu kitendawili.
” Tega.
” Vua nikupe utamu.
” Ndizi.
” Umepata mume wangu aya toa mtandio mume wangu.
” Hahaha mke wangu unanisisimua usifanye ivyo.
( Alikuwa ananisugua kwapani na kitambaa chenye povu uku mkono wangu mmoja unamtoa mtandio mke wangu)
EP 3
Akabaki mtupu udenda unanitoka Nile kwanza chakula cha haki yangu ya ndoa…anamaliza kunisafisha tunasikia hodi na sauti ya mama yake mzazi)
” Mume wangu samahani mama uyo anapiga hodi acha nitoke chooni niende kumsikiliza mama.
” Sawa futa mapovu ayo mikononi.
( Akafuta mapovu na akatoka uzuri wa choo cha ndani ndio huu ingekuwa choo cha nje mama yake angeona mwanawe anatoka chooni asingejisikia vizuri angejua amekatisha mechi…mimi Nikatoka nikakaa chumbani kwanza namsikia mama mkwe anamwambia mwanawe)
” Mwanangu siku ile ilikuwa haraka haraka ya harusi nikashindwa kukwambia mambo ya msingi ambayo ukae nayo kichwani mwanangu.
” Mambo gani tena mama.
” Nataka nikwambie maneno uishi nayo kwenye maisha yako unisikie kwa makini.
” Niambie mama.
( Na mimi nikatega sikio nimsikie mama mkwe anachomwambia mwanawe)
” Mwanangu usikae kwenye kiti kaa chini hapa unisikie kwa makini kabisa.
” Sawa mama.
( Mke wangu akakaa chini na mama yake akamsimamia mbele kumbe wazazi awataki watoto wao waharibike ila watoto wenyewe sasa ndio mtihani mama yule anasema)
” Binti yangu, usifanye utengano kati ya mume wako na ndugu zake; inaweza kuwa hatari kwako kuna wakati wao watazungumza kwa sauti moja kama ndugu wewe utakosa la kujitetea.
Binti yangu, najua kwamba baadhi yenu wasichana hamtaki kuolewa na mwanamume ambaye mama yake bado yupo hai, msiwaze hivyo kamwe, ukifanya hivyo, unadhani mke wa mwanao atapaswa kuwa na mawazo hayo?.
Binti yangu, nisikilize, nilipoolewa na baba yako, alikuwa mdogo kama mshahara wake lakini nilichagua kuwa nae.
Binti yangu, kuna jambo hili naona linatokea wakati wako, baadhi yenu wasichana sasa wanapata mimba kabla ya siku ya harusi, ni vizuri, haijawahi kutokea wakati wetu kwa sababu hata iwe nini, hatujawahi kufungua mapaja yetu kabla ya harusi nashukuru mwanangu umenistiri ukupata mimba.
Binti yangu, sawa, ndiyo, niliwahi kufunga kitambaa cha baba yako kwa sababu nilifikia kikomo cha uvumilivu na hilo ndilo jambo pekee nililoweza kufanya, lakini jambo moja ambalo sijasema ni kwamba tulilitatua suala hilo. siku hiyohiyo na hiyo ilikuwa mara ya mwisho nilijaribu kukupata wewe.
Binti yangu, angalia huko juu. Hiyo ni picha ya harusi ya baba yako na mimi, mtazame akitabasamu, najua umeshaiona mara nyingi lakini usichojua ni kwamba baba yako alikasirika kabla ya kuipiga picha hii, natumai umempata mwanaume ambaye hasira zake hazifai jitahidi kumrudisha kwenye hali yake akiwa na hasira.
Binti yangu, wakati Baba yako anaendesha baiskeli, nilifurahi kila wakati kupanda juu yake na kupanda naye, sio kwa sababu sikuwaona wale wanaume wenye magari yao, lakini kwa sababu macho yangu pia yaliwaona wale wanaume wakitembele baiskeli pia nao wanaenda kwenye nyumba zao sawa na wale wenye magari.
Binti yangu, ikiwa wewe na mumeo mkila chakula kidogo kwa upendo, mtashiba. japo sio kila wakati jitahidi kumuunga mkono katika kila awamu anayopitia.
Binti yangu, usije kumbana mumeo mapajani mkiwa kitandani, siku alipokulipia mahari ndiyo siku ambayo ulipoteza nafasi ya kufanya hivyo, usiwe hivyo, usiwe mkaidi na jaribu kujiridhisha. hata kama ulikuwa na hasira naye.
Binti yangu, mwanamume angekuheshimu na kujivunia zaidi ikiwa umejifunza na sio kumtegemea kabisa. Jitahidi kupata pesa zako mwenyewe na hata ukiwa nazo, basi jitahidi uwe mnyenyekevu kwa mmeo.
Binti yangu, chini ya mti wa kakao ambao nilikutana na Baba yako ulikuwa wazi na mzuri uliotutosha kwa mazungumzo yetu, ndiyo; ulikuwa wazi na mzuri wa kutosha ikiwa unaelewa ninachomaanisha.
Binti yangu enzi zetu tulikuwa na miguu ya mvuto na vifua vilivyo imara ili kuonyesha wanaume wetu, kweli tulikuwa na wazuri zaidi, hata hivyo, tunapovaa tunafunika sehemu hizo za miili yetu, si kwa sababu hatukuwa wastaarabu. kama nyinyi watu mngeiita, lakini kwa sababu tunajua kwamba macho ya wanadamu yana njaa, wengi wao wanakuja tu, kugusa na kwenda zao.
Binti yangu, kuna jambo hili ambalo nyinyi wasichana sasa mnafanya, wanasema ni ufeministi. Kweli, unaweza kudhibitisha kuwa sawa na mwanaume katika jamii lakini tafadhali, sio kwenye ndoa yako kwa sababu katika uzee wangu, sitaki kuanza kuhesabu waume zako.
Binti yangu, ndoa sio Kituo cha marekebisho, ikiwa hafai kwako kabla ya ndoa, hakuna chochote anachofanya kitakuwa cha kutosha baada ya ndoa.
Binti yangu, unaweza kuona bado ninavaa gauni langu la usiku, ndiyo, kwa sababu ya mume wangu; baba yako, bado nataka kuonekana sexy. Kwa hiyo, uangalie vizuri mwili wako, uangalie vizuri kwa mtu wako na usionekane kama bibi baada ya kujifungua.
Binti yangu, mimi ni mama yako na bado, sivutiwi na wewe kuja kwangu kila wakati ikiwa kuna kitu kibaya na mume wako. Ingawa siku hizi naona baadhi ya akina mama wakidhibiti nyumba za watoto wao wa kiume na wa kike, ningesema tu; aibu kwao!
Binti yangu, ili uwe na nyumba yenye amani na watoto waliofunzwa vizuri, uwe na sauti moja na mumeo, ungana naye kusema HAPANA anaposema HAPANA mbele ya watoto lakini baadaye mkiwa peke yenu, unaweza kumsihi. kwa NDIYO, ikiwa sivyo, watoto wataona mwanya wa kufanya vibaya, ama kwako au kwa baba yao.
Binti yangu, ni hayo tu.
( Mke wangu akasema)
” Asante mama nimekusikia.
” Mimi naondoka saizi mumeo anaweza akarudi akaona mama mkwe sijielewi ndoa changa nimekuja kwako.
” Subili ule mama.
” Acha niwai mwanangu Magari ya mbagara si unayajua shida yake nimekuja mala moja tu kukwambia ayo.
” Sawa mama.
( Mke wangu akutaka kumwambia nipo ndani…akampa nauli mama yake na akaondoka…mimi nikakumbuka Leo kuna mechi ya chama langu nje Nikatoka chumbani Nikamwambia mke wangu)
” Naenda kuangaria mpira narudi Leo chama langu linacheza.
” Sawa usichelewe kurudi mimi siri mpaka wewe urudi.
” Sawa.
( Nilitoka ila sikufika mbali nasikia mke wangu anaongea na simu na shoga yake)
” Yani mama kaja kanifunda kweli kweli yani wazee bwana.
” Wewe udugu wangu achana na mambo ya mama yako mwanaume anakolezwa kitandani aswa umpe kisusio utafurahia ndoa.
” Mwenzio nilijaribu kumwambia akaja juu kweli kweli.
” Wenzio atusemi wewe wawapi udugu unahamisha.
” Nahamisha.
” Ndio habari ya mjini inamaana ujui kuamisha.
” Nitajaribu leo nihamishe.
” Poa tena shemeji uyo kama ajawai atapiga kelele za utamu.
” Hehehehe aya shoga baadae salio lenyewe sio lingi nataka kumpigia mama yangu nimuulize kama kafika mimi.
” Poa usisahau kuamisha.
” Poa poa.
(Nilienda kwenye mpira uku nawaza mke wangu anataka kuhamisha yani anipe ndogo ivi akifanya ivi nimpe taraka au Nile tu?)
INAENDELEA

