𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Ep 10
“kheee” binti alishangaa kwa sauti, alionekana kushtushwa sana na kule alichokuwa amekiona kwenye ule ujumbe “Huyu vipi? Sasa anafikiri laki tano ndo itanipa wazimu?” alisema kwa hasira na kusonya tena halafu akaweka simu yake kule. Halafu akaendelea na mapishi yake.
Ilipofika kama dakika kumi hivi Jonas akamtumia ujumbe mwingine “Mbona hujanijibu?”
Aneth alipoona usumbufu unazidi ilibidi afute zile jumbe zote kisha akaizuia (kuiblock) ile namba isije ikamuharibia ndoa yake.
Binti alipomaliza kupika aliketi sebuleni akampigia Erick ambaye ni Mumewe akamuuliza “Vipi uko wapi mi nataka kula”
Erick akamjibu “Oh my wife, kula bado niko mbali, sitoweza kuwahi, unajua unatakiwa ule kila saa maana mpo wawili hapo” alitania Erick
“Hahaa…kwenda huko” alisema binti kwa furaha kwa sababu Erick alikuwa amemtania kidogo
“Sawa kula”
“Mbona siku hizi hupati hata nafasi ya kuwahi mume wangu?”
“Nipe wiki mbili tu mke wangu nitaanza kurudi mapema, maana kuna pesa nina hasira nayo sana”
“Mmmh sio kwamba umepata bi mdogo?” alisema Aneth kwa utani
“Wee…bi mdogo gani tena? Hivi unafikiri ninaweza kukusaliti? Kwanza nahisi nikienda na demu mwingine hata haitasimama”
“Eti haitasimama…kwa wanaume ninavyowajua nyie, hata kwenye mgomba mkitoboa mnafika….”
“Hahahaaa…..tatizo la kuoa mchaga mifano yote inaanzia kwenye migomba”
“Hahaaa….bye bwana, kwanza uko wapi mbona nimesikia sauti ya kike hapo?”
“aaaah sauti ya kike wapi bwana niko kwenye gari mi na Dullah”
“Mh haya bhana, basi uwahi”
“Kwenye saa sita nitakuwa hapo”
“Poa”
Erick alikuwa akimpenda sana mke wake, na hakuwahi kumsaliti hata mara moja tangu walipoingia kwenye mahusiano, aliamini mwanamke yule ana nyota ya uchumi
Alimgeukia Dullah akamuambia “Unajua huyu mwanamke aliponikubaliaga hivi tu, pesa zilianza kutiririka mfukoni mwangu, yaan zilikuwa nyingi kweli kweli…ninampenda sana”
“Ni kweli ana nyota huyu demu”
“Nom asana”
Ilikuwa ni furaha tele kwa upande wa moyo wa Erick, lakini wakati Aneth alipomaliza kula akaswaki na kujilaza kitandani, alianza kuwaza mengi, kumbukumbu kubwa iliyomjia ni kumbukumbu ile ya Haidali kutaka kumpiga busu pale kwenye gari
Haidali mara zote alikuwa akimkumbusha mapenzi yake yeye na Amidu kipindi yuko hai. Aneth aliwaza mengi alijikuta anaanza kusisimka halafu ilikuwa inachukua muda mrefu sana yeye kupata penzi maana mume wake alikuwa binzr sana na kazi.
Hisia zilimpanda Aneth akiwa kitandani na alijikuta anamtumia ujumbe Haidali, na kumuita “Boss”
Haidali aliirukia simu haraka, maana naye alikuwa na mke pia, alipoitazama ile message alijua Aneth amemmiss, halafu alikuwa amelala kitandani na mkewe na mtoto wao mchanga, ndipo akashuka na kupiga simu ya uongo na kweli akatoka pale chumbani akiongea mambo ya kazi
“Eeeh….kuna detail gani……mtu anataka bima….magari saba ya mizigo? Aaah milioni 21” alisema kwa uongo ili akakae sebuleni achati na Aneth “Enhee ngoja niangalie kwenye laptop” alisema kuondoka mpaka sebuleni.
Alipofika aliwasha laptop kisha akazugia ili kama mke akija akute akiitumia tumia ajue ni masuala ya kazi.
Akamtumia ujumbe Aneth “Hello dada shikamoo” alimtania
“Marahabaa…mdogo wangu nkajua umelala” alisema Aneth
“Sijalala hata….vipi wewe?”
“Niko kitandani…usingizi hakuna”
“Kwanini usingizi hakuna? Kwani mumeo hajarudi?”
“Hajarudi….vipi wewe upo nani?”
“Niko mwenyewe sebuleni hapa….nije hata tulale wote?” alisema mtaalam
“Njoo ila ukikamatwa shauri yako”
“Mh na kweli….ngoja nikupigie video call”
“Sawa”
Haidali alikuwa ashapata hisia na mke wa mtu, lakini vile vile mwanamke mwenye mimba ya mumewe yeye akawa anampenda tu hivyo hivyo
Alimpigia video call halafu wakanza kutazamana, binti alikuwa amjifunika, walisogeza video pembeni wakawa wanachati kwa maandishi, ndipo Haidali akamuandikia binti kwamba amfunulie aone hata nyonyo
Aneth bila kusita, wala bila kuogopa, alishusha shuka chini halafu akamuonyesha mapapai, yalikuwa yamejaa kulingana pia na ujauzito ndo kabisa yalivutia sana tu.
“Woow” Haidali alisema kwa hisia “Nataman nije niyanyonye” alisema
“Njoo” alisema binti na kuyafunika
“mmmh mbona unafunika bhasi, funua basi, toa kabisa hilo shuka nione” alisema mtaalamu
Aneth alijifunua, chini alikuwa amevaa chupi, ilikuwa imembana haswaa….alizamisha mkono ndani ya chupi na kuanza kujipapasa kwa mkono wake peke yake
“Auwii” alisema mwamba kwa sauti Aneth akaishusha chupi kidogo halafu akaipandisha na kucheka kwa aibu na kujifunika shuka
Haidali mashine ilimuuma maana ilimsimama haswa…..alijikuta anapagawa, halafu mamasawe akakata ile video call na kumtania “Njoo nikupe yote”
ENDELEA
“Weee bana unanitamanisha halafu nikikuomba hata busu tu hutaki”
“No sio hivyo bwana, tuchati tu mambo ya hivi ili mimi sitaweza kuwa na wewe kimapenzi”
“Kwanini sasa unanionea hivi? Unajua nakupenda sana”
“Najua sana lakini wewe ni boss wangu, halafu nina mume na vile vile nina mimb…..huogopi?”
“Siogopi chochote…nakupenda hivyo hivyo…”
“Hapana boss…ila leo nina hamu hatari”
“Daaah please Aneth naomba unikubalie ombi langu mwenzako nakupenda sana na naamini unalijua hili please naomba nafasi nitakupa kitu unachokitaka”
“Mh” binti aliguna
Lakini Haidali hakujibu tena, alikuwa ameshapandwa na hisia, na alichokifanya alienda chumbani akamvamia mke wake na kumpa vituz huku akivuta picha ya Aneth
EP 11
BAADA YA WIKI MOJA
Kila siku mazoea kati ya Haidali na Aneth yalikuwa yakizidi zaidi na zaidi na hata kuonekana kabisa kila mmoja alikuwa akimuhitaji mwenzake licha ya binti kukataa kutoka na Haidali.
Wivu ulimuandama sana binti kila alipomuona Haidali akiongea na mwanamke mwingine, na hata hivyo siku moja Haidali alitembelewa na rafiki yake wa kike ofisini, huyu alikuwa ni mwanafunzi mwenzake enzi akisoma chuo.
Haidali alijifungia ofisini kwake akawa anapiga stori mbili tatu na huyo binti ambaye alikuwa anaitwa Jasmin Zuberi.
Kwa kuwa Aneth alikuwa ni binti pekee pale ofisini, kwani Irene biseko alikuwa ameshahamia katika ofisi mpya iliyokuwa imefunguliwa maeneo ya Bagamoyo, muda huo Aneth alikuwa ofisi ya nje kidogo mida ya saa kumi. Alikuwa peke yake
Alisikia ukimya umetawala katika ofisi ya Haidali, ndani ya dakika nzima, kilichofuata ni kicheko cha nguvu kati ya Haidali na Jasmini wakiwa wamejifungia ofisini.
Aneth aliguna halafu akasema “Atajua mwenyewe, kwanza mimi sio mpenzi wake” aliongea kwa hasira kisha akainuka na kufunga kila kitu halafu akabeba pochi yake
Ilikuwa ni desturi mara zote binti huyu kumuaga Haidali wakati akienda nyumbani, hata hivyo siku ile hakutaka kumuaga kwa sababu hakutaka kumsumbua akiamini yuko na mgeni wake wa muhimu sana.
Aneth alionekana kukasirishwa na kile kitendo, alitoka zake, sasa tumbo la mimba lilionekana limeshakuwa kubwa kabisa, alipofika katika barabara ili apande bajaji, alimkuta Jonas ambaye ni mfanyakazi Senior (mkongwe) kwake akiwa amesimama barabarani.
“Aneth” Jonas alimuita na kujikoholesha halafu akamsogelea “Umemuacha nani kule?”
“Ah yupo boss…..” alisema binti
“Ok wewe ndo unaenda nyumbani?”
“Ndio”
“Anhaa…samahani tunaweza kuongea kidogo?” aliuliza Jonas
“Nini tena Senior lakini?” aliuliza binti
“Kwanini unanitesa hivi, Aneth unajua nakupenda sana na naamini unaelewa hili, nikubalie basi dear mbona hivi lakini”
“Bwaana…nielewe, mimi siwezi kuwa na mwanaume yeyote zaidi ya mume wangu”
“Sawa, kwa hiyo unavyomjali Haidali wewe unaona sawa au ndo mumeo nini?”
“Hee kumbe unaumiaga….unateseka ee?”
“Siteseki ila”
“Embu niache bwana kaa na mke wako, anakutosha mbona mkeo Rebecca ni mzuri tu tamaa za nini?”
Jonas alibaki akimuangalia tu, binti alikuwa na jeuri hasa. Mara bajaji ilifika akapanda na kuelekea nyumbani, siku ile alikuwa na hasira sana, hata hakujua kwanini alikuwa najisikia hovyo vile.
Alipofika nyumbani alipatazama, pamechafuka hapati muda wa kufanya usafi, nguo ni chafu kila kona b, majani yameanza kuota, halafu akifika anatakiwa apike, vyombo ni vichafu, yote hii ni kwa maana yeye alikuwa bize na kazi vile vile mumewe alikuwa bize sana na biashara zake
“Aaaah bwana” alisema kwa hasira huku akiweka nguo chafu kwenye tenga halafu akaenda bafuni kuoga, yaani alichoka akijumlisha na hasira, alikuwa kama amechanganyikiwa.
Baadaye alilala kitandani akiamini ataamka mapema aweze kufua nguo zake. Akiwa amelala alisikia simu inaita, akaitazama ilikuwa inatoka kwa Haidali, ndipo akaamua kuikaushia kabisa.
Akiwa anazaidi kupumzika, ghafla alisikia geti limefunguliwa, akashtuka na kuinuka kitandani akachungulia kupitia dirishani, aliona mumewe amerudi, ilikuwa ni mapema sana, haikufika hata saa moja usiku.
“Mh mbona mapema leo?” alijiuliza binti na kurudi zake kitandani.
Mumewe Erick, aliingiza gari ndani ya geti halafu akaingia ndani ya nyumba huku akiita “Babe…babe” huku akiwa akiwa ameshika mfuko mkononi ulikuwa umejaa matunda na viungo vingine. Alikuta ndani hakuko kawaida, palichafuka, na mara nyingi alikuwa akija usiku tena amelewa hivyo hakujua kama kuna tatizo huko.
“Abee” alisema Aneth ambaye alikuwa amejilaza kitandani
“Uko powa?” aliweka vitu jikoni kisha akaingia hadi chumbani, akamkuta mkewe akiwa amelala anaonekana kuchoka. Mwamba akajua lazima binti mimba ndo inamsumbua
“Niko powa”
Erick aliketi huku akifungua vishikizo vya shati na alikuwa akimtazama mkewe
“Umechoka” alisema Erick “Yaani ukirudi unalala tu, ndo maana nilikuwa sitaki ujiunge na kazi kipindi hiki cha ujauzito” alisema Erick halafu ghafla simu ya binti ikaita, Haidali alikuwa anapiga.
Kwa kuwa halina pazia, jicho la Erick lilitua katika kioo cha simu ya mkewe na kukuta anayepiga ni Haidali, akaitazama na kutoa macho haraka, maana ukiangalia simu ya mpenzi ni sawa na kukata kitunguu, muda wowote machozi yanaweza kutiririka
Aneth aliivuta kisha akaiweka silent na kusema “Huyu boss mbona anasumbua hivi” halafu akaiweka pembeni.
Erick alitulia kimya, alijua kabisa hata kama ni boss basi kamwe asingeweza kumtongoza mwanamke ambaye ana mimba. Hata hivyo baada ya Haidali kuona simu yake haijapokelewa alituma baadhi ya jumbe lakini binti hakuzifungua wakati mumewe akiwepo, alijua kabisa zinaweza zikawa message ambazo hazitampendeza mume wake
Erick alitoka akiwa kifua wazi mpaka alipofika jikoni akaanza kuosha vyombo kwa badala ya mkewe, huku nyuma alimuacha mkewe akiwa anasoma zile messages alizokuwa ametumiwa na Haidali nza zilikuwa mbili
1. Mbona haupokei simu yangu
2. Umeondoka bila hata kuniaga kwanini lakini wakati sio kawaida yako?
3. kama umekasirika niambie, lakini kiukweli yule sio mpenzi wangu
Binti alizisoma halafu akajibu “Umeamua kuja kunioshea na mwanamke mwingine, ningejipendekeza kukuaga ya nini?” alimtumia halafu akamblock na kufuta zile messages zote kwa sababu alikuwa hataki mume wake aone
Kwa kifupi ni kwamba huyu mwanamke alikuwa ashaaanza kupata wivu mkubwa sana kwa Haidali na ndio maana alimuambia kwamba alikuja kumuoshea na mwanamke mwingine.
Alipomaliza naye aliinuka akamfuata mumewe kule alipokuwa akifanya usafi kisha akamuuliza
“Mh, mume wangu umeamua kunisaidia? Samahani sijapata muda wa kufanya usafi kabisa, halafu naona kama nazidi kuchoka maana hii mimba nayo inazidi kukuwa”
Erick alizidi kusafisha vitu mbalimbali, huku mkewe naye akijitahidi kusaidiana naye….walipochoka alimuuliza “Tunafanyaje sasa mama mtoto?”
“Sijui tusubiri mpaka mwezi wa kumi na mmoja mdogo wangu anamaliza kidato cha nne, atakuja kunisaidia”
“No mwezi wa kumi na moja ni mbali, kama kazi umeanza hata mwezi hujamaliza pashakuwa hivi, ni miezi hiyo minne yote itawezekana?”
“Sasa tufanyeje mume wangu?”
“Nafikiri tutafute housegirl” alisema Aneth
“Sawa, tafuta halafu mimi utanishtua” alisema Erick
“Sawa”
Walipika wakala halafu waka….na kulala
EP 12
Siku ile ilipita, hata asubuhi ilipofika, binti alienda kwenye kisanduku cha jumbe zilizozuiwa halafu akaangalia kulikuwa na jumbe nyingi sana za Haidali akimuomba msamaha, mara nyingi alikuwa akijitetea kwamba yule Jasmin sio mpenzi wake ila tu ni rafiki.
Aneth alizisoma zile jumbe vizuri lakini hakujibu, alihudhuria kazini kama kawaida na alifanya kazi lakini bado ukaribu wake na Haidali ulikuwa mgumu ni kama vile walikuwa wagomvi
Pia Jonas alikuwa amemnunia binti maana ilikuwa ni masaa machache tangu jana yake jioni, binti alipomletea mashauzi wakati akijaribu kurusha ndoano kwake.
Ilipofika saa 8 mchana, kwa kuwa Haidali alikuwa ni boss, alimfuata binti akamuomba watoke wote wakapate chamchana.
“Hapana bwana, huu ni muda wa kazi” Aneth alijifanya anakaza
“Please naomba tuende si dakika kumi na tano tu tunakula?” alisema Haidali huku akimvuta mkono mpaka binti akasimama akawa anacheka kwa aibu
“Niachie bwanaa” alisema binti akijaribu kujivuta
“Twende bana….acha mambo yako” alisema Haidali na kuzidi kumvuta mpaka binti akajikuta ameondoka naye
Walifika nje, wakapanda gari la mtaalamu halafu wakaondoka kuelekea katika hoteli moja ambayo ilikuwa ni mbali kidogo na pale kazini, Haidali alifanya hivi kwa sababu alikuwa na jambo la muhimu alilotaka kumuambia mtoto wa kike
Walifika pale wakaketi na kuagiza chakula na vinywaji, ndipo Haidali akaanza
“Aneth” alisema huku akichukua kipapatio cha kuku akakitia mdomoni na kutoa hapo pande la nyama, Aneth alimgeukia na kumtazama bila kuongea chochote ikabidi Haidali aendelee kuongea “Nisamehe” aliomba msamaha
“Mh mi hujanikosea chochote”
“Najua nimekukosea kwa sababu jana mpaka leo umeninunia tu, nashindwa kujiamini ninahitaji msamaha wako” alisea mtaalam Haidali
“Hee…e mimi hata hujanikosea, sijanuna niko zangu tu vibaya halafu mi nitakununia kwa sababu gani wakati wewe ni boss tu?”
“Sijui, lakini Aneth nikuambie tu kitu kimoja mwenzako mimi nimekupenda kweli kweli na ndo maana nakuomba msamaha, mimi pia nahitaji kuwa na wewe kimapenzi, naomba unijibu yote leo”
Haya maneno yalimshangaza sana Aneth, alijikuta anamshangaa sana, hakujua ni mwanaume wa aina gani kumpenda yeye na alikuwa na mimba “Hivi Haidali upogo serious katika hili?” aliuliza huku akimshangaa
“Niko serious sana….nahitaji kuwa karibu na wewe kila mara…nakupenda na niko tayari kwa lolote juu ya hili”
“Duuh…” binti alishangaa ten asana “sijawahi kuona mwanaume wa hivi” alisema
“Usinifikirie vibaya naomba unijibu nikae kwa amani” alisema Haidali
Aneth alimshangaa Haidali mpaka akashindwa kula, Haidali aliinuka akaenda mpaka ndani akaongea na mtu mmoja, halafu akarudi na kumkuta binti akiwa amekaa pale, akamuambia
“Aneth…”
“Abee”
“Naona hapa kuna watu wanatuangalia kwa style fulani halafu wewe ni mke wa mtu ninapata wasiwasi naomba tuondoke tupande juu ghorofani”
“Mh si turudi tu ofisini?” aliuliza binti
“Ofisini ya nini bwana? Mimi ndiye boss, hata nisipoenda hamna tatizo wewe twende”
“Mh”
Binti hakuwa na pingamizi kubwa, walichukua chakula na vitu vyao wakapanda mpaka juu, cha kushangaza kabisa, kule juu kulikuwa ni chumbani kwani hoteli ile pia ina vyumba vya kulala wageni
“Heeh….mbona ni chumba sasa Haidali?” aliuliza binti
“We tukae hapa ndo pamejificha halafu hapa hakuna anayetuona mi nina hofu kumbuka hata mimi nina ndoa pia”
“Yaani wewe” alisema Aneth huku akiingia katika chumba kile.
Kilikuwa ni chumba kizuri, chenye kila kitu ndani, yaani self contained ndipo wakaketi kwenye viti na kuweka vilaji vyao mezani halafu wakaanza kuongea.
Haidali alimchombeza sana Aneth siku ile, Aneth alijikuta anafikiria mambo mengi, ilipopita kama nusu saa hivi, walimaliza kula ndipo Haidali akaanza kumgusa binti mabegani
“Aneth, please nipe hii nafasi” alisema Haidali huku akizidi kumtazama kimahaba hali ambayo ilimtoa binti katika ule msimamo kwani alikuwa akimkumbuka marehemu Amidu kila alipotazamana naye alikumbuka penzi moto moto alilokuwa akipata kwa marehemu huyo wa kiluguru
“Please, Haidali, mimi ni mke wa mtu, na mume wangu ananipenda na ananituza” alisema binti na kuinuka lakini Haidali naye alimshika akamshika kwa nguvu na kumkalisha kitandani
Alipomkalisha alianza kumpapasa “Tafadhali” alisema huku akimsogezea mdomo, binti naye akawa anaukwepa na kujilaza kitandani….alipojilaza tu hivi ndipo Haidali akamshika maziwa na kumlalia
Bila kuzungumza chochote Haidali alimsogezea tena mdomo, binti akazidi kujisahau na kumuachia ulimi wakawa wanapigana mate taratiibu.
Baada ya sekunde kadhaa Aneth alipeleka mkono kwenye nguo ya binti iliyokuwa gauni fulani pana, akawa anapandisha mkono ndani mpaka alipoipata nguo ya ndani, aliisogeza taratiibu pembeni halafu akaanza kutekenya sehemu nyeti za binti
Binti alianza kutoa mihemko na kuzidi kumkumbatia na denda likiendelea kupigwa.
Haidali alikuja kummaliza pale alipochomeka dole kunako na kusababisha binti kukamaa na kuachia ulimi akaanza kulalamika “AAASH wewe acha please”
Haidali alipoona tuna limeivaa, alimpanda mtoto wa kike mapajani na kunyanyua gauni vuzuri akataka kuivua nguo ya ndani ndipo binti akamzuia
“Wait”
“Nini sasa beby?”
“Haidali nina mimba” alisema mtoto wa kike huku jicho likiwa legevu “Utathubutu hivyo hivyo?” aliuliza
“Mi sina tatizo” alisema Haidali huku akitikisa kichwa kwa hisia.
Binti alimtazama kwa sekunde kadhaa ndipo akamuachia na kujiachia akampa nafasi mtaalamu afanye chochote katika mwili huo ambao sio mali yake bali mali ya mume wake aitwaye Erick.
JE ITAKUWAJE?
UNAMPA NENO GANI HUYU BINTI?
INAENDELEAAA

