KAHABA MLOKOLE
Sehemu ya 6
Sasa usingizi ukawa unagoma kabisa kuja akatoka kwa kunyata kutoka katika chumba ambacho alikuwa amelala na kuanza kutafuta nilipo….
Siku hio nilikuwa kwenye siku zangu, hivyo sikuweza kumkubali mwanaume yoyote Yule kwaajili ya kulala nae, sasa kuna muda nikawa nimetoka naenda zangu uani, sasa wakat natoka uwani nikashangaa nashikwa mkono, nilipogeuza macho alikuwa ni Julius, “ unataka nini wewe muda huu? Ikabidi niulize
“ nataka huduma, akajibu Julius kwa sauti ya kujiamin…
“ huduma gani wewe mwanaume, embu achana na mimi, na kwanza leo nipo kwenye siku zangu, nikawa kama najitetea…
“ ndio nina hamu sasa tafuta namna ya kunisaidia na sio kuniambia upuuzi wako, kisha akatoa kama laki tatu kisha akanimwagia kwa maana alijua fika kuwa kwenye hela sichomoi, basi nkaanza kulamba koni pale, akawa analalamika akawa anasema kuwa “ uijifsnye unanichanganya , siwez kukuoa, ahhh siwez kukuoa mimi, alikuwa analalamikian utamu mpaka unaweza ukamuonea huruma, basi nikafanya yangu mpaka nilipoomaliza, nikawa nataka kuondoka, nikasikia anasema “ japhet ni nani kwako?
“ haikuhusu kwani una tatizo na mimi? Nikamuuliza…
“ hapana nakuuliza tu kuwa japhet ni nani kwako?…
“ japhet ni rafiki yangu, haya sema kama una swali lingine nataka kuondoka zangu, nikasema ..
“ najua unaniongopea na najua ni lazima atakuwa ni mmoja wa wanaume ambao wameshawah kukununua ila unajifanya ni rafiki yako ilikufunika kombe mwanaharamu apiti, na hautakaa usikie nikikuuliza, kwa maana sijui unahisi nina wivu na wewe au vipi, mimi siwez kumuonea wivu changudoa, akawa anasema Julius …
“ umemaliza kuongea , au unataka kuniongezea pesa nikupe huduma, maana naona kama unaongea mambo ambayo hayapo, alafu upo kama unataka kunichamba, mimi ni wakike bro, kama umeona nimeshakuhudumia, achana na mimi kwa maana huna unalolijua kuhusu mimi, nikasema kisha nikawa nataka kuondoka zangu, nikashangaa nasikia Julius anasema “ usije ukadhan kuwa wewe ni mwanamke spesho sana kuna wanawake wengi wazuri sana kuliko wewe, so acha kuringa kisha akaondoka zake, nikaona ni kama maneno ya mkosaji, na hayana yanachonipunguzia wala kunionezea kwenye maisha yangu, so nikampuuza tu kisha nikaendelea na maisha yangu…
Kama kawaida yangu asubuh saa kumi na moja nikaanza safar ya kurudi nyumban , kwa maana nilitakiwa kuwa kanisani kabla ya saa kumi na mbili kamili, kweli niliwah, nikafanya usafi na baada ya hapo tukaanza morning prayer, tulivyomaliza morning prayer , mama mchungaji akatuita, akawa anataka tukapate chai kwake, basi tulikuwa wane, tukakubali, sasa ukitoka kwa mchungaji ni lazima upite kanisan ndio uende unapotaka, ile napita tu kanisani, nikashangaa nakumbatiwa kwa nyuma, nilijua ni lazima atakuwa Julius, nilikuwa najua kuwa ananipenda, ila sikujua hata ni sababu zipi ambazo zilimfanya anipende, ila sikutaka kumuonesha hali yoyote, nikageuka kisha nikamsalimia pale…
“ nilikumiss sana aneth, na kama hautajal naomba sana tufunge ndoa baada ya mwezi mmoja mbele kwa maana nateseka sana na wala sitaki kuendelea kukukosea kwa maana nakupenda sana….
“ samahan bwana Julius, nilikuwa nakuchukulia kama rafiki na kuna kijana ambae amemuambia mchungaji kuwa ananipenda so nimeona niolewe nae, samahan najua wewe ni mwanaume mzuri sana, ila naomba umuombe mungu akupe mke wako, na mke wa maisha yako, nikasema…
Sio kweli kwamba nilikuwa na mwanaume ila nilimuona kama anakuja kwa kasi sana, na mimi sikuwa nataka kuongea nae hata kidogo na wala sikutaka kuendelea kuwa na ukaribu nae, kwa maana niliamin kuwa siku moja anaweza akaja akanichomesha mtaan….
“ una sema nini? Akauliza Julius kwa sauti ya ukali kidogo kisha akawa ananikokota, sikujua ananipeleka wapi, kumbe alikuwa anataka twende kwa mchungaji kuhakikisha kama ni kweli amenitafutia mchumba au laa, nikaona hapa ni pabaya, kwa maana kwanza najulikanaga sisemagi uongo, nikaanza kujiliza, mpaka Julius akawa anashangaa nalia nini, kumbe nataka nimuigizie tena, kwa maana nilikuwa namuona kama amezidi kuwa king’ang’anizi…
Sehemu ya 7
“ unalia nini wewe? Julius akaniuiza…
“ najutia kwa bwana mungu wangu kwa kusema uongo, sijui atanipa adhabu gani siku ya mwisho, naomba nisamehe sana, nikasema ..
“ mbona sikuelewi? Akauliza Julius kwa sauti ya mshangao……..
“ hakuna mwanaume yoyote Yule ambae alienda kwa mchungaji, nilikuwa nakudanganya tu, nikasema hapo najizuia kulia, kwa sababu nimefanya dhambi ya kusema uongo, nikashangaa ananikumbatia kisha akaniambia “ kwanini sasa ulikuwa unanidanganya mamaa, au haunipendi? Julius akaniuliza ….
“ samahan sana ila sikuwa na namna nyingine zaidi ya hio, kwa maana sitaman kuolewa na wewe, nikasema , hapo Julius akashtuka kidogo kwa maana alikuwa anajitahidi sana kunifanya nijisikie vzr, alikuwa anapambana sana kunifanya nijione kama mwanamke wa kipekee sana, alikuwa anajitahid sana kuhakikisha nakuwa nafuraha, siku zote za maisha yangu, na alikuwa napesa pia, nani ngumu kwa mwanamke yoyote anaetaka maisha mazuri kumkataa mwanaume kama Julius ……..
Ila sikuwa namtaka kwa sababu najua hata hajui mimi ni nani, nin kweli kuna wakat nilikuwa nataman kuacha ukahaba ila nilikuwa nshindwa kwa maana mimi na dada yangu tulikuwa tunahitaji pesa nyingi, yaan karibu million kumi, na nilikuwa nataman siku moja na mimi niwe mke wa mtu, ila sikujua hata itakuwaje mpaka nikaolewa….
“ sikuelewi aneth, naomba unambie ni kwasababu gani hautaki kuolewa na mimi? Akauliza Julius …
“ najua wewe nikijana mzuri sana nan i ndoto ya kila mwanamke, ila mwenzio nimesali na kuomba sana, ila bwana mungu wangu hajawah hata siku moja kunionesha wewe kama ndio mwanaume wangu, hajawah hata siku moja kunionesha kama wewe ni mwanaume wa maisha yangu, so naamin mungu atakuja kunionesha mwanaume mwingine na sio wewe, kwa maana najua bwana mungu wangu ananipenda sana, na ingekuwa ni wewe, basi angeshanionesha ishara tu kuwa wewe ndio Yule mwanaume ambae namtarajia, nikasema hapo Julius ananiangalia akiwa kama haamini hivi….
Nikawa naondoka zangu, basi akaniambia kuwa nikalale nipumzike na kesho yake atakuja kuongea na mimi vzr, ila hata sikumjibu, ila niliona no bora nihame mtaa, kwa maana sikuwa nataka kukutana na julius kila wakat, nikaenda kumuambia dada yangu, nay eye akawa ananisupport kuwa tuhame mtaa na nikakubali…..
Basi nikaenda kutoa taarifa kanisan na wakaonekana kunielewa, na kwakuwa tulikuwa na pesa kidogo haikuwa shida kwetu, basi siku hio hio tukahama, na dada yangu alifurahi sana kwa maana alikuwa anataka tuhame siku nyingi, ila mimi ndio nilikuwa nakataa kwasababu ya ibada ambazo natakiwa kuzifanya kila siku….
Basi tukahama mtaa wa mbali kidogo na dada akaenda kuniombea ruhusa kwa boss wangu, sijui alikuwa danga lake, kwa maana hajawah kumkatalia dada yangu jambo lolote lile analoliomba, kumbe ile siku ambayo mimi sikuwa nimeenda, Julius alienda na mwanamke pale akataka kunirusha roho, ila kwa bahat mbaya sikuwepo, akaenda kumfata meneja na kunioulizia, hapo mimi nimelala zangu tu ndani, mara dada yangu ananipigia na kusema kuna dharuram anaomba niende kazin, basi nikaenda nikashangaa natakiwa kumuhudumia Julius na mwanamke wake, nikajua fika anataka kunifanya nijisikie wivu….
Nikamfata meneja na kumuambia kuwa siku ile nilikuwa nimechoka sana, nahitaji kupumzika, akanambia kuwa ataniwekea chumba kwaajili ya kupumzika siku hio, maana kazi zetu ili ulale, ni lazima upate mwanaume wa kulala nae, na tofaut na hapo hauwez kulala kamwe, yaan ni utafanya kazi usiku kucha……
Sehemu ya 8
Basi akatoa odda kuwa chumba kimoja kisipewe mtu, kwaaili ya mimi kupumzika na nimuhudumie Julius na alikuwa ni mteja amabe akija pale kazin basi kila mtu atafurahi, kwa namna ambavyo anamwaga mahela…
Basi wakawa wanalishana pale huku wananiangalia, na kila saa wananiita, mara niwamiminie kinywaji, mara niuwabadilishie chakula, nikawa natii, kwa maana ndio kazi tena, nikiwa pale mara simu yangu ikaanza kuita, alikuwa ni japhet, akaniuliza nipo wapi, nikamuambia kuwa nipo kazin….
“ niko boared sana huku nyumban kama hautajali naomba nije tupige story, nikakubali, kwa maana hata mimi nilikuwa nipo bored kwa namna ambavyo Julius ananituma kama mfanyakazi wake…
Baada ya dakika chache japhet alikuja, alikuja na kukaa na mimi, sasa wakat Julius anageuza macho anakutana na rafiki yake kakaa na mimi, akazidisha mbwembwe, mara amkiss Yule mwanaume, mara afanye hivi, ila sikuwa namjali, sasa kuna muda wakakokotana mpaka chumban, na kwakuwa niliitwa kwaajili ya kumuhudumia Julius alipokuwa anaenda kulala nikaomba na mimi nikapumzike, na japhet nae akawa anataka nay eye akapumzike, ila vyumba vikawa vimeisha, nikamuambia tukalale wote na tulikuwa tunajuana na hakuna hata mmoja ambae alikuwa na hisia kwa mwenzake, na tumeshawah kulala sehemu moja sio mara moja, so halikuwa jambo la ajabu sana kwetu…
Basi niko chumban napiga story na japhet mara tukasikia mwanamke anatukana, kuwa ‘ yaan umeninunua uje kupiga na mimi story, hivi wewe mwanaume unaakili wewe, mimi sijiuzi kwa sababu ya pesa bro nataka huduma, alafu unakuja kunileta ngonjera zako, ikabidi tutoke tuone ni nani huyo ambae alikuwa anapiga kelele, ndio tukaona ni Yule mwanamke ambae alikuwa na Julius alikuwa anataka kuondoka na hapo vyumba vyote vimefunguliwa na watu wanachungulia ni nani ambae anagombana na mpenzi wake, sasa si ndio julius kugeuza macho akatuona mimi na japhet tunatokea chumba kimoja, akawa kama asikilizi zile kelele za Yule mwanamke wake, akawa anatuangalia sisi tu…..
Basi baada ya yule mwanamke kuondoka kila mtu akarudi kwenye chumba chake, na mimi na japhet tukarudi kwenye chumba chetu, kumbe huku Julius hana aman anajua moja kwa moja kuwa mimi na japhet tunakulana , kumbe hakuna hata kitu kinachoendelea, tukawa tunapiga story mpaka tunacheka, kumbe Julius amekaa mlangoni anatusikiliza, alipoona vicheko vimezidi tukashangaa mlango unafunguliwa, na kumbe tulisahau kuufunga…
“ posh baby, naomba ukaendelee kunihudumia, maana leo nimelipia pesa kwa meneja wako kwaajili ya kunihudumia, twende ukanimiminie kinywaji, akasema Julius baada ya kuingia ndani…
“ usiku huu, kwani unashida gani na huyu mwanamke bro, akauliza japhet ..
“ ndio usiku huu, maana simuon yoyote kati yenu akiwa amelala, simuoni yoyote kati yenu akiwa anausingizi, mnaonekana kama mlikuwa mnapiga story na hamna dalili ya kulala sasa hivi au baadae, so nakuomba kwa heshima yako posh baby, njoo unihudumie, na kama unataka kujiunga na sisi karibu sana, akasema Julius kumuambia japhet …….
Sikutaka kubishana nae, nikawa natoka kwenda kumiminia hicho kinywaji anachotaka, sasa ile nimetoka tu, na kuufunga mlango ambao nimeutokea, nikashangaa ananivuta na kunibusu, alikuwa kama anaukame, maana alikuwa ananibusu kwa fujo, aiseee nilimuwasha kibao na wakat huo huo japhet nae akawa anatoka chumban akaona namna ambavyo Julius alivyokuwa ananibusu na kile kibao nilichompa …
Sehemu ya 9
Nilikuwa najua kuwa Julius alikuwa ananipenda, na mimi nilikuwa nampenda pia, ila nilikuwa naogopa siku zote akija kujua kuwa nina sura mbili atanifanya nini,kuwa nina sura ya aneth mlokole, na posh baby mdangaji, basi alipoona rafiki yake kaniona akaanza kucheka kisha akasema “ yaan mimi naanza kumkiss kahaba , ama kweli mimi sina akili, ila hawa madada poa ni watu wawaganga sana, usikute hata umeniloga ili nikupe pesa zangu, akasema Julius kisha akaondoka zake, lakin japhet alishajua kuwa rafiki yake alikuwa ananipenda, akanifata na kuniuliza, “ vipi mahusiano yako na Julius …
Ikabidi nimuhadithie japhet kila kitu, kuwa alishawah kuninunua, mara moja ila kesho yake nikamkuta kwenye mtaa ambao naishi, na pale mtaan kila mtu anajua kuwa mimi ni bint niliekoka, sasa rafiki yako wakat wote huu alikuwa anakuja kunambia kuwa anataka kunanioa kwenye tasira yangu ya ulokole, alafu anakuja kulala na mimi kwenye taswira yangu ya ukahaba,na akija kukutana na mimi mtaan alikuwa ananiomba msamaha sana, na kutaka nikubali anioe, na akija club kila siku alikuwa ananitolea kauli chafu, bila kujua Yule mlokole na huyu kahaba ni mtu mmoja, ila nahisi anajishangaa kwanini anahisia na taswira zote mbili, akijua kuwa Yule mlokole na huyu kahaba ni watu wawili tofauti kumbe ni mtu mmoja, nikaendelea kumsimulia japhet…..
Ila nahisi kama anajishangaa kuwa hisia anazozipata akiwa na mimi kama mlokole na akiwa na mimi kama kahaba ni moja na ndio maana ananisumbua, nikasema, aisee japhet alicheka sana, kisha akasema “ kumbe jamaa ameshapenda ndio maana anahangaika kiasi hichi, ila kwanini kwanza umekuwa kahaba mama, maana mimi naijua misimamo yako, nilikuwa naamin siku moja utaolewa ukiwa bikra ila leo umeangukia kwenye baishara chafu kiasi hichi? Akauliza japhet …
“ hata mimi sipendi kabisa ninachokifanya ila ndio hivyo sina namna, mama yangu mpaka sasa hivi yuko india, moyo wake una shida, so tunahitajika million kumi, na pesa yote ambayo naipata mimi na dada yangu tunaipeleka kwenye matibabu ya mama yangu, so sina namna nyingine ile ya kutafuta pesa zaidi ya hii, ila pia sikutaka kuingia kwenye ukahaba mpaka siku niobwaka na Yule aliefanya hivyo badala ya kuniheshimu aliaza kunitukana kuwa nimezubaa, na nikama kile kitu kiliniathiri na kujiona kama sina thaman tena so nikaona sina cha kufanya zaidi ya kufanya hii kazi, nikasema na japhet alionekana kunionea huruma sana, na akawa ananisihi na kuniambia ataanza kunisaidia nay eye pale ninapokwama na ataanza kunitafutia kazi, kwa maana anataman niache biashara haramu, na nikakubaliana nae pale….
Hukon kumbe Julius usingizi hauji, akawa anajiuliza mimi nalalaje na japhet mpaka asubuh, ila sikujal na kumbe kulipopambazuka akaenda kwenye ule mtaa ambao nilikuwa naishi akaambiwa nimehama, alipagawa, akaja pale ofisin mchana akawa anataka meneja amuitie mimi, na wakat huo nilikuwa na japeht tunajaribu kutafuta namna ya mimi kupata kazi…
Mara nikapigiwa na meneja kuwa Yule meneja wa ile baa, kuwa kuna mteja anataka nimuhudumie, “ lakin huu si wakat wangu wa mapumziko, meneja wewe mwenyewe ni shahidi kuwa nimefanya jana kazi usiku kucha na wakat huu natakiwa kupumzika, so boss nakuomba uniache nipumzike kidogo na nitakuja jioni, nikasema kwa maana wakat huo nilikuwa nimechoka sana…
“ kuna laki mbili hapa, akasema meneja, na niliposikia pesa, kidogo misimamo yangu ikalegea, nikaanza kujiandaa na kwenda kwenye ile pub …
Sehemu ya 10
“ ameshalipa pesa na kuna laki mbili yako hapa, sasa utachagua uje au tuachie hii pesa iendee kwa mtu mwingine, akasema boss kisha akakata simu…
Tuendelee….
Nikamgeukia japhet na kumuambia kuwa Julius ananihitaji sasa hivi tunafanya je na sina nguo zangu za kazi, kwa maana kwa wakat huo nilikuwa nimevaa kiheshima kama kawaida yangu…
“ nitakupa hio laki mbili, akasema japhet…
“ naomba uweke hio laki mbili unayotaka kunipa na nikachukue laki mbili ya japhet kwa maana nahitaji sana pesa, nikasema na japhet akaonekana kunielewa, akaniingiza dukan akanichagulia kiwalo, kisha akaniomba anipeleke, kwa maana alikuwa na usafiri na mimi nikakubaliana nae hapo….
Tumefika pale kwenye baa, nilikuwa na japhet, Julius alimkata jicho ila hakujal akawa anamsalimia, ila ni kama hakuwa hata anataka salamu yake, nikapewa laki mbili yangu nikaanza kumuhudumia Julius ila ni kama hakuwa na raha kabisa yaan, akanigeukia akawa anataka nimuwekee pombe tu, alikunywa sana siku hioz, kisha akawa anasema “ aneth kwann umeniacha bila chaguo, ni kweli hunitaki ila angalau usingeniacha aneth, hapo alikuwa amelewa njwi ,
Sio siri nilijisikia vibaya, na nikawa nataman hata kumfariji, ila sikujua naweza kumfariji vipi, “ umenifanya nije kumpenda kahaba, kwanini umeniacha aneth , Julius akawa anaendelea kulalamika ..
sasa mimi na japhet tukawa tunaangalina tu, kwa maana tulijua fika anamzungumzia aneth mlokole , bila kujua huyo aneth amekaa nae pemben yake, na aliaka nimuhudumie ile ajifariji..
basi tukampeleka Julius nyumban kwao ila mimi waliniacha kwenye gari kwa maana nilikuwa nimevaa nguo ya ajabu mpaka nikawa naogopa kushuka, nikawa namsikia mama yake akiwa anasem “ kukumbia uoe ndio umeona uwe unalala kwenye madanguro na uwe unakunywa hivi mwanangu, kwani una shida gani na wanawake mwanangu mpaka unashindwa kuoa, ndio nikagundua sababu ya Julius kutokupenda kulala nyumban ni kwa sababu ya kelele za mama yake za kila siku, kelele za utaoa lini…
Basi japhet baada ya kumfikisha chumban kwake, alirudi kwenye gari kisha akaniuliza ni jambo gani ambalo limetokea, nikamuambia kuwa nilikuwa nimehama, so nahisi baada ya kunikosa ndio akawa hivi…
“ ila mshkaji anakupenda sana, kwann usikubali akuoe, na huyu mtonyo anao, hata hio ishu yako naamin kuwa ni lazima atakutimizia kwa namna anavyokupenda, akasema Julius ..
“ tatizo anajua kuwa mimi ni bikra na wakat hata yeye nimeshalala nae mara kibao, nikasema japhet akaanza kucheka kisha akasema “ Ila wewe kiboko, sasa utamficha mpaka lini kuwa wewe ndio Yule bint mlokole ambae alikuwa anatangaza nia kila siku? Aauliza japher..
“ hata sijui mwisho wa huu mchezo utakuwa ni lini ila ngoja tusubiri tuone, basi siku hio nilizunguka sana na japhet ila sikupata kazi, alijaribu kuniulizia kwa marafiki zake, ila waliishia kumjibu kuwa wakipata watamuambia, so japhet akanirudisha mpaka nyumban na kwa mara ya kwanza , basi akaniaga pale kisha akaondoka zake, ila asubuh nashangaa nagongewa hodi kwenda kufungua mlango nashangaa namuona Julius pamoja na japhet pamoja, nilishtuka nikajua ni lazima japhet ameniuza tayar…